ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

DIVA THE BAWSE AONYESHA MAISHA YA KIFAHARI/ SOFA YA MILLION 20/AFUNGUKA SAUTI ZA KWA MANGE KIMAMBI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 570

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 9 หลายเดือนก่อน +22

    Sio swala la ukishua ndio uwe unapenda kusoma vitabu mimi pia napenda sana kusoma vitabu sana ila sio mtoto wa kishua ni hobbi ya mtu jamani diva

  • @starzone0458
    @starzone0458 9 หลายเดือนก่อน +29

    She is hard working she deserves a serious man for love

    • @novasmgode2943
      @novasmgode2943 9 หลายเดือนก่อน +2

      If that’s the only thing you think men wants, u should do more research

  • @dianerditto
    @dianerditto 9 หลายเดือนก่อน +27

    Tuliokuja moja kwa moja kutokea kwenye app ya mange tujuane

    • @fatmasaid9400
      @fatmasaid9400 9 หลายเดือนก่อน +1

      Inaitwaje hio app napitwa

  • @esthermatisho2604
    @esthermatisho2604 9 หลายเดือนก่อน +29

    Diva ananipa huzuni kila ninapo msikiliza 😢 she needs help kichwa au akili yake imetigisika kwakweli,especially baada ya kusikiliza voice notes kwa Mange App as woman utalia guys 😢😢

    • @moffimms8211
      @moffimms8211 9 หลายเดือนก่อน

      Naomba nitumie namimi iyo voice

    • @kandydgitaltz
      @kandydgitaltz 9 หลายเดือนก่อน +1

      utakuta hujawahi kuolewa, kuogea utumbo kama huu sio ajabu

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅nimecheka hapo akili imetingisika😂😂😂. Huyu dada ana tatizo very serious, she needs help

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u 9 หลายเดือนก่อน +2

      Aan vituko ipo hiv 80% waafrika hatujajielewa akili zetu zimeishia hapo kuonyesha saman za ndan tunachekesha kwakwel 😅😅😂😂😂

    • @Anzalmidel
      @Anzalmidel 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @elviuskanena6799
    @elviuskanena6799 9 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu analazimisha kuonewa wivu wakati ni wa kuonea huruma.😅

    • @tunajaribu
      @tunajaribu 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 me naona aibu

  • @user-jf6vk1qm2b
    @user-jf6vk1qm2b 9 หลายเดือนก่อน +19

    Huyu dada anahitaji msaada wa kisaikolojia ana tatizo kichwani

  • @PriskilaMajengo
    @PriskilaMajengo 9 หลายเดือนก่อน +21

    Huyu Diva sijui sura yake vizuri anabadilika Kila siku jamani

    • @kubrymtutala9574
      @kubrymtutala9574 9 หลายเดือนก่อน +3

      Ana sura 99 bado moja zifike 100

    • @mozamagaya8618
      @mozamagaya8618 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa ata Mimi simjui diva hahaha

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 9 หลายเดือนก่อน

      @@kubrymtutala9574 😂😂😂😂

  • @godsdaughter2820
    @godsdaughter2820 9 หลายเดือนก่อน +51

    Body language,face expression,can tell everything 😂😂😂the woman is forcing everything 😢alafu Diva una ushamba mwingii,matajiri hawajitangazi,miwani kwa nyumba ndo imenimaliza😂😂😂😂😂

    • @ReshimaaChitende
      @ReshimaaChitende 9 หลายเดือนก่อน +3

      Miwan nyumban😢mshamba haswaaa😅

    • @vickyitenyo.
      @vickyitenyo. 9 หลายเดือนก่อน +1

      I know right??! Miwani ni za nini kwa nyumba??

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 9 หลายเดือนก่อน

      Miwigi na miwani mpk nyumbani tena ndani hujiamini mshamba mkubwa nyumba unazopanga kila kitu unakikuta humohumo ukishindwa kodi unasepa na begi lako hizo nyumba nyumba ni parm village mtu yoyote anakaa

    • @aminamgaya7511
      @aminamgaya7511 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa aise halafu ukimwambia ukweli anakublock🤣🤣🤣

  • @gres1182
    @gres1182 9 หลายเดือนก่อน +15

    Zari ana pesa lakn sija wai kumuona ana ushamba kma huu jamen 😂😂😂😂😂

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli maneno yako! Ila kila mtu na Tabia yake😅

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 9 หลายเดือนก่อน

      Mashamba sana katika kwenye maisha ya Chini sasa kama kipofu aliyeona jogoo kila kitu yeye anasema kikubwa kama jogoo

  • @tirzahtess3799
    @tirzahtess3799 9 หลายเดือนก่อน +2

    Aki am kenyan and I love diva am coming so that she can adopt 💞💞me

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 9 หลายเดือนก่อน +36

    Demu anajiaibisha, coz ayo sio maisha yake watu tunamjua fika.
    But anahitaji msaada wa kisaikolojia

    • @faidhacute
      @faidhacute 9 หลายเดือนก่อน +1

      Acha wivu utakuuua 😢

    • @jacquelineshija2984
      @jacquelineshija2984 9 หลายเดือนก่อน

      We acha tu pengine yuko kwenye tangazo na utoto mwingi sana

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hilosofa lamilioni 20 naona silioni hapo niyakawaidatuu

    • @Josephineexsuper
      @Josephineexsuper 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna muda nawaza hata ndoa na Abdul ilikuwa kiki tuu hamnaga... Yani she is soooo fake

    • @tunajaribu
      @tunajaribu 9 หลายเดือนก่อน

      Hata yangekuwa yake unayaona yanachochote cha maana kweli

  • @marthagodson4447
    @marthagodson4447 9 หลายเดือนก่อน +37

    diva ana shida ya afya ya akili

  • @neemajeremiahs8430
    @neemajeremiahs8430 9 หลายเดือนก่อน +40

    Hivi hizi hela si angejenga nyumba yake jamaniii 😔😔😭.. Kwelii tunatofautiana vision

    • @awadhisarai4331
      @awadhisarai4331 9 หลายเดือนก่อน +6

      Kwani umesauh umsemo wa wenye akili hawana mali na wenye mali hawana......😅😂

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mmenichekesha mno Hadi raha

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli Kwa kabisa angejenga tu

    • @monadinadi5295
      @monadinadi5295 9 หลายเดือนก่อน +1

      Umeonaeee

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 9 หลายเดือนก่อน

      yaani anaona amemal8zaaa

  • @user-tt6jt8pz5m
    @user-tt6jt8pz5m 9 หลายเดือนก่อน +4

    DIVA MIE HATA UWEJE NAKUPENDA. UKICHEKA LAZMA MIE NICHEKE😂❤❤U MADE MY DAY TODAY WALAH. ILA KWA UTANGAZAJI NI FIRE❤❤my BEST COUPLE IS ABDUL AND DIVA😂😂NAWAPENDAAAA 😂😂😂MNAWACHOMA ROHO WASOWAPENDA

    • @steveabel5819
      @steveabel5819 9 หลายเดือนก่อน

      Acha unafki😂😂

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah M/Mungu awajaalie kwenye maisha yenu Inshaallah

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu atatokaga hapa maiti sababu analazimisha saaana mpaka huruma ulivokua unajigamba eti mwanamke unapaswa kua hivi vile kumbe ilikua utopolo tu pole amka bado mapema

  • @elizabethbwakila3982
    @elizabethbwakila3982 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ktk mastaa nampenda sana shilole. Yule ndio staa wa kuigwa jamn yupo kwakeeee. Hata ukiingia kwake kila kitu ni chake.

  • @jazeerajuma5014
    @jazeerajuma5014 9 หลายเดือนก่อน +19

    Alhamdulillah kwa afya mungu alionijalia mengine ni mapambo tuy ya dunia

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 9 หลายเดือนก่อน +4

    Naona yupo nyuma sana kimaendeleo😂 watu siku hizi hawaeki perfumes na cream kwenye dressing table kuna kabati maalum za perfume..ww mtangazaji njoo ufanye interview kwangu halafu uone the different kwangu na kwake😂😂

  • @Boaz22
    @Boaz22 9 หลายเดือนก่อน +22

    Laptop inawekwa kwenye box la viatu halafu na nyie mnamwamini??😂😂 matajiri hua hawaongei, huyu hana kitu, hivyo vitu vyote unakuta kwa apartments, muongo mkubwa Diva. Hana lolote dada kunuka😢

    • @queenlinda255
      @queenlinda255 9 หลายเดือนก่อน +5

      Jama yani mimi nilitaka kusema ivyo ivyo izo nywele zake zenyewe ni feki yani feki sana sana 🤣🤣🤣

    • @claudiokelly8944
      @claudiokelly8944 9 หลายเดือนก่อน +1

      Sio box la viatu mbona ni box lake kabsa

    • @chany9950
      @chany9950 9 หลายเดือนก่อน

      Iyo nikweri👍🏽👍🏽👍🏽

    • @Boaz22
      @Boaz22 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@claudiokelly8944kwahio ata wewe ujui box la viatu lilivyo,? Pole sana

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 9 หลายเดือนก่อน +3

    Diva uwa mshamba yan anatumia nguvu nyingi kutuaminisha vitu sijui yupoje asee

  • @btylove1870
    @btylove1870 9 หลายเดือนก่อน +18

    Diva anamatatizo ya akili. Kuhusu Abdul hana love kabisa na diva. Wanaume tafuteni pesa please, ukiwa mwanaume hunapesa unakuwa lofa tu.

  • @tidyclevertz
    @tidyclevertz 9 หลายเดือนก่อน +61

    Ila hili life la kiwaki sana, tunavyooneshwa hiyo nyumba as if she owns it, yet akiumwa wanaanza kuomba michango kubabeeki

    • @wardawarda-fp3qe
      @wardawarda-fp3qe 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisaa yaani 😢😢

    • @jacquelineshija2984
      @jacquelineshija2984 9 หลายเดือนก่อน +5

      Bwana we mara hizo furniture unazikuta unaingia wewe na begi lako la nguo tu

    • @tidyclevertz
      @tidyclevertz 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@jacquelineshija2984 tunapigwa na vitu heavy 🤣🤣🤣

    • @TausiOmary-od3my
      @TausiOmary-od3my 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kodi yenyewe alichangiwa hapo akwende

    • @user-mr7gl5ox6u
      @user-mr7gl5ox6u 9 หลายเดือนก่อน +2

      Matajir hawajionyesh nyumba ake ipo simple sana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 9 หลายเดือนก่อน +4

    ilove diva ana slaying nzuri big up diva

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 9 หลายเดือนก่อน +5

    Diva dada aaangu usitumie nguvu nyingi kuaminisha watu....kuwa huyo kaka unampeleka.....ndomaana watu wanafanya makusudi kukumiza coz ndounaonyesha uzaifu wa ww kupend sanas

  • @chibandamwende3676
    @chibandamwende3676 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ila Diva unafosi jamani hivi huyu mhuni bado unamuweka???yani the body language is off !!!alafu dont bother about price alot just give us a tour we will know how much 😅😅😅,good apartment

  • @BrigitaKawau
    @BrigitaKawau 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sina kitu na haya maisha yako Diva siyapendi ni ushamba kwakweli Yani hata kama huna akili au unavyosema umesoma Kwanini usiwe mwenye uelewa huu ujinga haufanani kabisa wengi wanapesa na maisha mazuri yakukuzidi ila hawafanyi hivi pole sana

  • @chimamilion
    @chimamilion 9 หลายเดือนก่อน +6

    Diva anapenda sifa mbele zawatu ssa kujifanya ww upojuu zaid yamumeo ndo nn?afu ikitokea kitu namumeo jaribu kuwanaka mfyuuu

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 9 หลายเดือนก่อน +6

    Uyu ameshaga changanikiwa anaongea sana tena hajaulizwa yani ana ka mchangnyiko furani waliyo kua karibu nae wamupeleke kuona mganga wa hakili😅😅😅😅

  • @mackysuphian
    @mackysuphian 9 หลายเดือนก่อน +11

    Hata hao matajiri hawabadilishi furniture after three months😂😂😂khaaa! Kama ni hvyo si bora ujenge tuu..na tuna abari zako umetelekeza furniture huko kazilipie kwanza🤣🤣🤣

    • @zamdamasondole8272
      @zamdamasondole8272 9 หลายเดือนก่อน +4

      Tumuombe tu baada ya miezi 4 huyu mtabgazaji arudi tena kwake 😅.Diva ni muongo sanaa 😂hao matajiri hawafanyi hiivyi😅.wiki lenyewe fake😅limekakaa km Zombie

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@zamdamasondole8272why zombi jamani

    • @poshsmith4268
      @poshsmith4268 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @umukulthumu1419
      @umukulthumu1419 9 หลายเดือนก่อน +3

      Waarabu wenye hela zao wenye maisha yao hawabadilishi makochi hovyo😂😂😂 labda mpaka sikukuu ikikalibia wanapeleka kwafund kubadilisha kitambaa chanje hawanunui mpya😆😆😆😆😆😆sijui yy anajikuta nani

  • @user-tx6nz4up5h
    @user-tx6nz4up5h 9 หลายเดือนก่อน +24

    Nilichojifunza hapo ni kujitahidi kuonyesha maisha ya kitajiri lakini kiuhalisia huyu dada ni mwongo, kwenye appartment huwa mara nyingi zinakuwa na vitu ndani, ila huyu dada anajitutumua kumweka mume kwenye maisha flan ili atulie naye, lakini ana fake life

    • @samwa9496
      @samwa9496 9 หลายเดือนก่อน +2

      Sio zote zingine zinakuwa wazi, au saa ingine wewe mhitaji unaweza waambia huhitaji furniture

    • @preciouspeter6126
      @preciouspeter6126 9 หลายเดือนก่อน +3

      Apartments zipo ambazo ziko wazi pia my darling. Sio zote ni fully furnished

    • @aishamridy4774
      @aishamridy4774 9 หลายเดือนก่อน +2

      @@samwa9496hizo Appartement nazijua zina kila kitu ndani humo kaongeza tu vitabu tu hvy 😂😂

    • @samwa9496
      @samwa9496 9 หลายเดือนก่อน

      @@aishamridy4774 😂😂😂

    • @ElizabethWamcha
      @ElizabethWamcha 9 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kila kitu unakikuta umo zaid ya nguo zako tu ndio unaongia nazo 😅

  • @fatmaabasi6867
    @fatmaabasi6867 9 หลายเดือนก่อน +9

    Hyo hela ya kubadilisha furniture mara hii kannue good quality wigs😢

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 9 หลายเดือนก่อน +5

    Dada pole uko mjinga ,unamajigambo

  • @hamidasalum157
    @hamidasalum157 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu dada aibu hana nyumba ya kupanga ndio anajishauwa hivi du kweli bora ukose mali upate akili tuuu uyu dada hama haya sijui ana nini vitu anavyojishauwa na matendo yake tofauti unaona kabisa anajitututumua ili kutafuta sifa

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 9 หลายเดือนก่อน +1

    Palm village na Dar villas apartments gharama zake kwa mwaka unaweza jenga nyumba yako kubwa nzuri tu,,sasa sijui wanafeligi wapi hawa watu,,,

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 9 หลายเดือนก่อน +2

    UNAJIDAI NA NINI PUMBAVU WW WEWE SIIO MZUNGU AU UMEUZA ASILI YAKO. WAJIDAI KUONGE KIZUNGU RANGI JE ? MBONA WW NI MWAFRICA? WAJIDAI NA VITU JE UNGEKUA UNA UTAJIRI WA KINA BAHWANI UNGEFANYA NN. UNASALI ?

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 9 หลายเดือนก่อน

    Tutake radhi Diva house wife ni watu wa chini? Hiyo ni heshima tu ya kumfanyia mumeo watu wana pesa na wanapika sema kweli tu hujui kuoika au unataka na sisi tukuoneshe maisha zetu sisi sio marimbukeni like you

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 9 หลายเดือนก่อน +13

    Diva upo kwenye denial mbaya mno. Huyo atakuja kukupiga tukio baya hutaamini maana hakupendi

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 9 หลายเดือนก่อน

      Inakuhusu nini! Si uache apige tuu

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 9 หลายเดือนก่อน

      Wivu acha wivu

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 9 หลายเดือนก่อน

      Ampige matukio mara ngapi 😂😂😂

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 9 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi nimehisi hasa haya maisha yake hayapendi ila anapata pakutelezea tu! Mungu awasaidie

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 9 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Tnz M/Mungu anakuoeni. Nchi mmeikandamiza mpkaa mtu anafikia kuita waandishi wa habari ndani ya nyumba kuja kuonyesha vyakula, lotions, creams, shower gels, baby wipes, unbranded bags, viatu, miwani nk. Wkt hvyo vtu kwa maisha ya wenzetu ni kawaida???

  • @happynathan8226
    @happynathan8226 9 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu dada nyie ni mgonjwa wallah😂😂 Diva sio mzima kabisa na wambieni 😢

  • @yustamshana-sx8dy
    @yustamshana-sx8dy 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mwongo, furniture za appartement za hapo amezikuta 😅

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k 9 หลายเดือนก่อน +3

    Siyo kwa kujisfia huko duh😊😊😊

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 9 หลายเดือนก่อน +7

    Diva ukimaliza nyumba yako nitafute mm nitakufanyia design na kukuwekea vitu vya kisasa mpaka utashangaa..😊

    • @navyoagrey7523
      @navyoagrey7523 9 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli mana apo mh! Cjaona cha ajabu sana 😢

  • @khadijab7066
    @khadijab7066 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu niweke mie ,unapesa arafu umepanga mtiani jamani master wa bongo pasua kichwa

  • @dayanafelly1488
    @dayanafelly1488 9 หลายเดือนก่อน +12

    Diva kwenye interview unajifanyaga kiswahil kinakupa tabu... Ila ukiwa unamuanika mumeo unaongea kiswahil imenyooka hatari huongez hata neno moja là kimombo😂😂

  • @faidhacute
    @faidhacute 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nakupenda we mdada mpaka naumwa ❤❤❤❤❤ DIVA THE BAWSE ❤❤❤

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ferniture 20mil then baada ya miezi 3 anagawa loh!

  • @MizeKombeSuleiman-id1rp
    @MizeKombeSuleiman-id1rp 9 หลายเดือนก่อน +6

    Aki uyu dem limbukeni acha tu

  • @user-xo4zc9vu5w
    @user-xo4zc9vu5w 9 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu akusaidie jamani Mumeo awe mkweli abadirike na husiache kumuombea

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 9 หลายเดือนก่อน +1

    MWANAUME ALI SAWASAWA HAWEZI KURIDHIKA AJE MWANAUME KUTEMBEA CHUMBA ANAPO LALA NA MKEO . UNAWAONESHA WATU NYUMBA NA VILIVOMA HUU NIUSHAMBA . NANIASIO KUANAVO. WAPOWATU WAMILIKI MAJUMBA YAMEPAMBWA KWA DHAHABU. NAHAJIGAMBI WALA KUJITANGAZA MITANDAONI. NJOO TUKUONESHE HUKU MAJUMBA NAVILIVOMA UTAZIMIA.

  • @Anzalmidel
    @Anzalmidel 8 หลายเดือนก่อน

    Divaa wacha pombe ur cute hardworking lady 🎉

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 9 หลายเดือนก่อน +13

    Hizi ndio hela zetu tulizokuchangia nini😂

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mkimaliza kwa Diva mje. Kwangu mlekodi jamani😁😁 Hizo fenicha unazobadili kila miezi mitatu naziomba

  • @rahmahabibu4727
    @rahmahabibu4727 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mtangazaji kashajua diva hayuko sawa na anaenda nae Ivo ivo 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @umukulthumu1419
      @umukulthumu1419 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂🙌

    • @user-uj5wg9mm2t
      @user-uj5wg9mm2t 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @annamontana2854
    @annamontana2854 9 หลายเดือนก่อน +3

    Wigi limekauka kama limedumbukia kwenye uji

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 9 หลายเดือนก่อน +10

    Kwahiyo na miwani ya fashion ukiwa umekaa ndani kwako?😅

    • @fatmaomar1881
      @fatmaomar1881 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @awesosaladi3638
    @awesosaladi3638 9 หลายเดือนก่อน +5

    Diva the bawser unyama ni mwingi sanaaa😅😅😅😅

  • @user-is7ot7bq9x
    @user-is7ot7bq9x 9 หลายเดือนก่อน +1

    Diva adi namuonea huruma Aseee jinsi Anavyompenda uyu kaka afu uyu kaka Amekaa kihuni sana wala hana mpango na mkewe

  • @neemaberny3598
    @neemaberny3598 9 หลายเดือนก่อน +4

    Yani mtu anaejopanga kudanganya lazima avae miwanii😂😂 dada hajiamini huyu..

  • @HajatAbdul
    @HajatAbdul 9 หลายเดือนก่อน

    Jaman diva ukibadilisha izo sofa na iyo tv naomba unipe nakuomba sana shabiki wako sana kwenye lavi davi

  • @steveabel5819
    @steveabel5819 9 หลายเดือนก่อน +2

    Apartment ni ya kawaida sanaaaa hamna cha ajabu like for real😅 hata kwenye charts hanusi……huu ni ushamba jmn kusema every worth ya kitu chako cha ndani for what then??!? Huyu hajielewi lol nilikua namwona wa maana kumbe hamna kitu😒 so sad watu wenye expensive life wanajenga mi mansion yeye anatamba na hio cheap apartment😂😂 ndo maana she settle for less kwa huyo mume wake ambae ni queer huh

  • @faidhacute
    @faidhacute 9 หลายเดือนก่อน +3

    Roja fala sana eti huea unalewa kabsa 😂😂😂😂😂😂😂 kwahy mtu anakunywa wine anashindwaje kulewa

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 9 หลายเดือนก่อน +6

    Uyu anajishaua jaman khaaaa mpk anakela

  • @Keyjop
    @Keyjop 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ko diva miwani anapikia anaogea ana lalia ana ...in short ,
    question
    ko miwani Kwa diva ndio Kila kitu

    • @tunajaribu
      @tunajaribu 9 หลายเดือนก่อน

      Alisema huwa anaona aibu

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan unaita media kutuonyesha vitu vya ndan 😂😂😂

  • @keyla3641
    @keyla3641 9 หลายเดือนก่อน

    Diva wewe ni hodari sana unajituma nahitaji mtu sahihi wakuwa nae anaejituma km wewe ishi rahisi useful nyingi ujenge achana na ya dunia kaa kimya fanya yako

    • @AshaKassim-tu7gz
      @AshaKassim-tu7gz 9 หลายเดือนก่อน

      Muongo diva apartment nyingi hukuta kilakitu..nihiyo ck ya kudaiwa Kodi ndo itajua hujui cjui usowako utauweka wp?

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ila diva jaman kwahio huyu mwandish kamwita kwaajili ya kuonesha maisha anayoishi😂😂😂😂

  • @angelgodfrey4870
    @angelgodfrey4870 9 หลายเดือนก่อน +1

    Aaah kumbe ni apartment mm nkajua kajenga, nimeacha ata kuangalia

  • @user-df5mj8pf2q
    @user-df5mj8pf2q 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nimependa sn maisha yuko acheni kumuonea wifu

  • @ashurakiswamba7085
    @ashurakiswamba7085 9 หลายเดือนก่อน +4

    Huna wakishuwa chochote acha majivuno diva ungekuwa mzuri wallah cjui ingekuwaje .mungu amekupa machoo TU lakini .alikuwa angekupa sura shepu ingekuwa shidah lakini mungu 🙏 amejuwa maskini..Sasa hiyo miwani haivuliwi hiyo sura inashida ganiii?

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 9 หลายเดือนก่อน

      Wanawake mna wivu siku zote tuoneshe kwako 😂😂😂

    • @ashurakiswamba7085
      @ashurakiswamba7085 9 หลายเดือนก่อน

      @@fatmafatu1128 kwani mtu aambiwi ukweli sofa za milioni20 Sasa siuongo hayo maneno aseme bosi wake sio yeye kapuku km wewe na mimi.km ukweli mtu anaambiwa km unaona uchungu kajinyonge .huyo mtu wa misifa wewe humjui ndio mana umesema ivyo

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmafatu1128hahahaha mwambie atuoneshe kwake na sura yake

  • @matridasambali6432
    @matridasambali6432 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mh! Yani diva bana wengine wanawaita watangazaji kuongea nao mambo muhim lakin yeye anawaita watangazaji kuonyesha vitu vya ndani jamani mbona mabos hawawagi ivo kwani yeye ubosi wake Ni vipi jamani boss uchala kazi kweli

  • @rerisamba
    @rerisamba 9 หลายเดือนก่อน

    Wow 👌 nikuzuri sana jamani nakumekaa expensive

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 9 หลายเดือนก่อน +3

    Duh si bora angejenga nyumba yake jmn 😢😢Nimelia sana 😭😭😭

    • @user-qs7lj7kj1k
      @user-qs7lj7kj1k 9 หลายเดือนก่อน +1

      Amjengeye nani mbona hana mtoto 🤣🤣🤣🤣

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 9 หลายเดือนก่อน

      @@user-qs7lj7kj1k Atapata tu,hizo pesa za kodi hapo ni nyingi sn

    • @tunajaribu
      @tunajaribu 9 หลายเดือนก่อน

      Anaishi leo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 9 หลายเดือนก่อน

      Huenda anamiliki

    • @rerisamba
      @rerisamba 9 หลายเดือนก่อน

      Amesema anajenga na ametaja ana viwanja 3

  • @mustafaosman1838
    @mustafaosman1838 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna watu wanaumia😂😂pambana naww sio kutokwa namapovu😂😂piga kazi dida mungu azidi kukufungulia

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wine na msala wapi na wapi duh

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani jamani wabongo tupunguzage aisee huyu dada tayar alikua kajipanga kabisaaa na kilichomfanya ajulikane hiyo miwani ya jua ndani ya nyumba aiseee this is too much wabongo kwa fake life duuuh salout kwenu😅

  • @user-rh8bu7dq4q
    @user-rh8bu7dq4q 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndo mana abdul anajifanya anakupenda kaona kapata mwanamke anaejiweza kiuchumi, sema cha moto nao and anakipataga hamna cha rahisi sifa ya mwanaume uwe na uwezo kumzidi mwanamke wako na umhudumie apo ndo utaheshimika

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 9 หลายเดือนก่อน +2

    Diva madawa yamemkolea maskini kama ana ndugu wampeleke kwa mtaalam anatia hutuma sana hayupo Sawa 😢😢😢

    • @kissamwamunyange1018
      @kissamwamunyange1018 9 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika unachokiongea? Halafu wewe kumbuka ni mwanamke kumsemea mwanamke mwenzio ni dhambi kubwa

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 9 หลายเดือนก่อน

    Si ndiyo huyo alitaka achangiwe milioni 13 ili ände marekani akapandikizwe ili aweze kupata ujauzito yaani wasanii kwa kuigiza maisha hawajambo siku wakiumwa hawana hata hela ya matibabu

  • @jacqlinejames7568
    @jacqlinejames7568 9 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa hlo wigi ndo nn mwandishi humwambii mwenzako

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 9 หลายเดือนก่อน

    Parm village hiyo ukipanga kila kitu unakuta humohumo ukishindwa kodi unasepa na begi lako usijimwafai bure huna hata kitu kimoja humo ndani zaidi ya nguo zake mawigi na miwani akwende zake huko

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 9 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 voice si uliongea mwenyewe. Sasa dada etu wa taifa ana husika wapi .

  • @mariej6962
    @mariej6962 9 หลายเดือนก่อน +7

    Sijaona uspecial wowote wa hiyo nyumba. Nyumba ya kawaida sana!
    Pili, wanaishi maisha ya ajabu sana kama wanandoa, ila nobody should judge her. Ndoa zina mambo mengi sana ambayo waja hamuwezi kuyajua. Let her make her own decisions. Sure she is mentally not okay, but waachieni watu wake wa karibu wamsaidie inavyowezekana, nyie waja hamna namna.
    I support her idea kwenda kuishi nje ya nchi. Ana kiingereza kizuri, still anaweza kupata kazi yake ya utangazaji.
    Ila bwana ni kichefuchefu, atakuletea ukimwi na utaishi nao, ona hawezi hata kumtazama usoni. Mke naye na matatizo yake lukuki, lakini if wanaweza kuyamaliza basi wanajuana wenyewe, sisi wasikilizaji tu.
    Ila aache kumsingizia Mange, simu aliirekodi mwenyewe kutoka kwenye phone ya simu yake mwenyewe ndiyo maana iko clear.

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mhh hadi mtangazaji kauliza 20 milion halafu kila miezi 3 wanabadilisha uongo mtupu 😊

  • @user-su4fm8fb7b
    @user-su4fm8fb7b 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mmh mkiumwa mnaomba kuchangiwa jaman😢

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 9 หลายเดือนก่อน +12

    Housewife wa maisha ya chini tuko wapi tuonane 😅😅😅 Mashauzi tu fyuuuuu 😂

    • @jacquelineshija2984
      @jacquelineshija2984 9 หลายเดือนก่อน

      Jamani we acha sie wenye maisha chini mbona

  • @ibumajaamillah3195
    @ibumajaamillah3195 9 หลายเดือนก่อน

    Mim navyojua Apartment zote unakuta kila kitu wew unakuja na nguo zako tu au sio hivyo guys

  • @Sam_me01
    @Sam_me01 8 หลายเดือนก่อน

    Anajaribu kuiga voice ya zari the boss lady au nimimi ndo namsikia vibaya? Plus wakishua huwa hawajitangaziagi like that yani unampigia simu mtu wa kuku trendisha mitandaoni unaita watangazaji mwenyewe ili mradi tu kupata kujitangazisha seriously yote ni kutaka kujionyesha. Hii ni ushamba kwakweli.

  • @user-td3ss6nk2d
    @user-td3ss6nk2d 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ila katika hii interview mtangazaji katisha sana😂😂😂😂 yaan jamaa anajua anadeal na mtu mgonjwa wa akili 😂😂😂😂😂😂 kila kitu yes yes😂😂😂😂😂😂 anamsifia tu interview iishe😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @user-jn1qz7sh3q
      @user-jn1qz7sh3q 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @maryammo-gd3me
      @maryammo-gd3me 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @ngotikongotiko2711
    @ngotikongotiko2711 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mshamba huyo ndo uamini kwamba kwa mwanamke ndoa inathamani kubwa sana inampa ukamilifu duniani na hata mbele za mungu

  • @sophiasaid391
    @sophiasaid391 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kila mtu na plan zake acheni kuwaambia nini wafanye ww kajenge ila yeye anataka appartment. Punguzeni ujuaji jamani kila mtu na maisha yake

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 9 หลายเดือนก่อน +7

    Unapenda sifa mpk una boa

  • @rehemamwandemani5182
    @rehemamwandemani5182 9 หลายเดือนก่อน +1

    Diva usisahau kujenga my det

  • @lucasernest6012
    @lucasernest6012 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kwenye kuomba michango unatuonyesha maisha ya sanaa tu

  • @mamabyela18
    @mamabyela18 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kabati la mawigi hatujaonyeshwa , interview irudiwe. Diva alituambia ana mawigi zaidi ya mia moja, ni muhimu tukaonyeshwa😆😆😆

    • @hazimamohammed1340
      @hazimamohammed1340 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mishishabani1475
      @mishishabani1475 9 หลายเดือนก่อน

      Viko masaki na wewe😂😂😂

    • @fatmamdihiri4164
      @fatmamdihiri4164 9 หลายเดือนก่อน

      Alooooo kwakweli 🤣

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani pazuri mimi binafsi nimependa jinsi ilivyo hasa milango kuelejea balcon

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hufunquwi dhamana kitu huyo Dada WA kazi napika nini huyo mume km humpikii yuwapikiwa kwenqine tusidanqanyane

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 9 หลายเดือนก่อน

    Mm ety kila bda ya miez mitatu una badilsha fanicha kweli hmna kitu kichwani

  • @ElizabethWamcha
    @ElizabethWamcha 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hiyo nyumba umepanga 😅ingekua vzr ingekua ni yko

  • @nurumasha
    @nurumasha 9 หลายเดือนก่อน +2

    Subiri kwanza! Hii ni baada ya Diva kuongea na mwajuma zile voice note zikavuja na ndio hawa hapa wamerudiana??? Au hii ni ya kitambo??¿

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ya sasa😂😂 ,

    • @nurumasha
      @nurumasha 9 หลายเดือนก่อน

      Aiseee😂😂😂😂

  • @khadijaramadhani5562
    @khadijaramadhani5562 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mapovu yanawatoka! Maisha ni kuchagua! Hayo maisha ndo kaona yanampa furaha! Msimpangie!

    • @sabihasalim942
      @sabihasalim942 9 หลายเดือนก่อน

      Absolutely!!! ❤🇬🇧