KWA MARA YA KWANZA OMMY DIMPOZ AFUNGUKA YA BABA YAKE WA SUMBAWANGA “HAKUMZIKA MAMA,SINA MAPENZI NAE”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 955

  • @annwanjiru8897
    @annwanjiru8897 2 ปีที่แล้ว +114

    Umeogea ukeli kaa mimi baba mtoto wangu alikataa mtoto wangu nikiwa na miba.sasa hivi ajitokeze siwezi kubali na hiyo May God bless you

    • @elishajuma2615
      @elishajuma2615 2 ปีที่แล้ว +1

      Xaxa xikaja kukusaidia kulea au nawew mtoto kaixhakua star

    • @lalyilaoman5800
      @lalyilaoman5800 2 ปีที่แล้ว +2

      Tena huyo mzee chizi, haupati laana yoyote mm mtt wang hajawai hata kumuona baba yake mm ndio kila kitu anasubir kesho na kesho kutwa waje walalamike mm baba wafulan nawachukia mababa suruali

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 2 ปีที่แล้ว +2

      @@lalyilaoman5800 pole,Mimi naita madumeee misuruali haswaa

    • @umarwa6915
      @umarwa6915 2 ปีที่แล้ว

      Ata mm

    • @123kerim23
      @123kerim23 2 ปีที่แล้ว +1

      Mjifunz sasa dad zetu msipend kutegeshea wat mimba kila kitu ni makubalian ya wawil uko sik zako za hatr tumia soksi atak sepa mtakuw masing parent wa kutosh kam hamjitambui..

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh Mzee umeongeaa kiumeee🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥 asa Mwijaku nae wakuumiza kichwaa Akili hamnaa yulee

  • @dianamsangawale9925
    @dianamsangawale9925 2 ปีที่แล้ว +86

    Ommy muombee baba yako aishi maisha marefu ili azidi kuona mafanikio yako na iwe fundisho kwa wengine

  • @somji_tz5389
    @somji_tz5389 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Anizidishie Kipato..
    Kamwe Siji Kutelekeza Watoto Wangu..
    Watoto Ndiyo Ndugu Wa Ukweli...
    Ommy Amkazie Huyo Dingi Mpaka Mwisho..

  • @katetejoseph7290
    @katetejoseph7290 2 ปีที่แล้ว +13

    Safi sanaaaa Ommy, kila mtu apambane n hali yake...

    • @evajoseph2491
      @evajoseph2491 2 ปีที่แล้ว

      Mwijaku anatabia za hovyo sana

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว +1

    Ommy pole sana huyo mzee hana wema inauma sana

  • @HellenRanny
    @HellenRanny 2 ปีที่แล้ว +76

    Kwa yeyote anaeona kama OMMY anakosea, trust me hajavaa viatu vyake pindi alipokua
    anapitia ugumu wa maisha..cz am sure if u do sidhan km kuna mtu angekaa upande wa baba mtu!!!🥺🥺🥺
    🙏🏾Tusiwe wepesi kuJUDGE na kumkandamiza mtt kusamehe au kumuhudumia mzaz wake cz nobody knows a story behind maisha ya kutelekezwa!!
    🙇🏽‍♀️I can relate ndomana namuelewa Dimpoz..
    “THE STRUGGLE IS REAL!!!!🙌🏿”
    Acheni tu..🤦🏽‍♀️

    • @biggysantos4903
      @biggysantos4903 2 ปีที่แล้ว +1

      Especially siku alimppoteza mamake alafu hakupata hata pole kutoka kwa baba!!! you feel like dunia imeisha!

    • @restitutorcharles4253
      @restitutorcharles4253 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli kbx jmn unakuta baba anaombwa tu ht kumhudumia mtt anakujibu anavyojua

    • @lgdnce8309
      @lgdnce8309 2 ปีที่แล้ว +1

      upo saiii hata mm iyo imenitokea

    • @kallandoshija5121
      @kallandoshija5121 2 ปีที่แล้ว +1

      Msamaha ni kila kitu kwa maisha yake

    • @kelvinmasele9008
      @kelvinmasele9008 2 ปีที่แล้ว

      P

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Ommy Dimpoz wahenga walisema Fainali Uzeeni.....alidhani atakufa mapema Mungu kataka ayaone Matunda yako...Relax
    Happy birthday to U darling.

  • @Baby-ps3xk
    @Baby-ps3xk 2 ปีที่แล้ว +19

    Story yako ommy ni kama ya mwanangu mungu akusimamie kwa kila japo mkatae saba mara sabini

  • @nurukidakule9468
    @nurukidakule9468 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa kaka sana, Mungu akutunze tu, Mungu HUWA ni wa huruma, hatuchukulii kama wanadamu wanavyotuchukulia, ukionekana ni wa nini leo, kesho thamani YAKO itaonekana

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 2 ปีที่แล้ว +37

    Wa llahi 😭 dimpozy tupo pamoja 🤝 Sana kakangu,na nimekupenda buree 🥰wa nataka waume hii iwe dawa kwa waume wote

    • @makoledukani6425
      @makoledukani6425 2 ปีที่แล้ว

      Nikwel

    • @husnasamdia4176
      @husnasamdia4176 2 ปีที่แล้ว

      Alhamdulilla, Mimi nimelea mtoto wangu ,ikiwa na mimba aliambiwa ukinitaja nitakuwa,basi nimelea mtoto wangu, kwakweli nashukuru mwenyenzi Mungu,Leo hii mwanangu ananipenda

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 ปีที่แล้ว +2

    Duh...hiii ni fact tupu I say...wababa tunafeli wapi kushindwa kuwashughulikia watoto zetu na wakati tumekula raha na mama zao kitanda kimoja then tunawaachia wamama wanateseka maskini na kudhalilika mitaani....Ila pia kijana OMY umeongea point kwny uislamu mtoto wa nje ya ndoa sio wa baba na hawarithiani hawa..So hili la kukutupa na kuzaa nje ya ndoa inatosha kumuwacha na yeye akala nyota ya jiwe....Imeisha hiyo iwe funzo kwa mababa wengine...I swear ya kwamba ntakula, kuvaa, kuishi na kulala na wanangu mpaka roho yangu itapochukuliwa...Love u my children.

  • @eugeniaevarist1697
    @eugeniaevarist1697 2 ปีที่แล้ว +56

    Kuwa baba sio kuwa na watoto, kuwa baba ni kuwajibika kwa wototo. Ommy D big up brother. Hakuna laana yeyote itakayokupata kutoka kwa mtu ambaye hakuwajibika

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 2 ปีที่แล้ว +1

      Anatakiwa kusamehe

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwanza anayetoa laana ni mungu si binadamu

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 2 ปีที่แล้ว +3

      Yana watu banah wanaona rahisi sana kusamehe sijui wao wangeweza kusamehe gafra gafra tu

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว

      Sana,na baba ana zambi itakompata kumtenga omi,maana siwa alali yake,zambi itabakia kwenye uzinifutu

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ahz6907 nakwanza amusu kwasababu si baba yake,yani omi kapatikana nnje yandoa uslam,ndounavyo sema mtoto wannje yandoa ni wamama, siwa baba duniani mbaka fil akhera

  • @charlesmatesorehani5012
    @charlesmatesorehani5012 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi kaka Mungu akubariki kwa kauri nzuri umetowa

  • @bensonshukuru8181
    @bensonshukuru8181 2 ปีที่แล้ว +30

    BigUp brooo nimekubali ndo inavyotakiwa...Mimi nakuunga mkono 👊👊

  • @jamilalucas5274
    @jamilalucas5274 2 ปีที่แล้ว

    Yani umenitonesha ommy umenitonesha kidonda changu nakuombea kwa mw/mungu uwe baba Bora kwenye kizazi chako ♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bettymasitsa9504
    @bettymasitsa9504 2 ปีที่แล้ว +3

    Ommy uko sawa kabisa ❤️❤️❤️wanajitokeza wakati watoto wako sawa

  • @mtausi6995
    @mtausi6995 2 ปีที่แล้ว +1

    Kukosea kupo na kusamehe kupo,Achana na mitandao Omary msamehe baba yako alijikwaa na huna mzazi mwengine ebu rudisha upendo huyo ndio mzazi wako aliebaki mpendw maisha yaendelee .Hivi ndivyo pepo inavyotafutwa maneno ya watu yasikuvuruge.
    Nakushauri msamehe baba alafu utaona maisha yako yatavyonyooka zaidi

  • @itNeza
    @itNeza 2 ปีที่แล้ว +19

    Ommy Big Up Mafunzo Haya tena yanatufunza Sisi Vijana. ( Nipo na Wewe 100% ) ❤️✅☑️

  • @elizabethmwalukomo9949
    @elizabethmwalukomo9949 2 ปีที่แล้ว +6

    Wazazi upande wa wanaume mjifunze hapa jamani,,
    Wazazi kama hawa wapo wengi sana,, ukijua kuzaa jua na kulea watoto bila kubagua,FUNZO HILO. Pole sana Ommy
    I wish angekuwepo mama yako aenjoy maisha😪

  • @dinnahsamwel9607
    @dinnahsamwel9607 2 ปีที่แล้ว +51

    Well said jamani 🥺 Mungu anipe umri mrefu nimlee mwanangu Imani♥️🙏

  • @mkadammkadam
    @mkadammkadam 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Ommy Dimpose pia hongera kwa ufafanuzi wako mzuri.
    Ni mtihani mkubwa lakini Mwenyezi Mungu Muumba atakuongoza.

  • @samwelizetii4479
    @samwelizetii4479 2 ปีที่แล้ว +13

    Nimekubali Sana broo tumetelekezwa wengi saivi maisha safi hata Mimi natamani Sana babayangu anitafute

  • @lailaasked3570
    @lailaasked3570 2 ปีที่แล้ว

    Da inauzunisha sana Pole sana huyu mwijaku ifike mahali ajiheshimu bwana kula raha zako kaja ommy achana nae

  • @deboraadolfu4011
    @deboraadolfu4011 2 ปีที่แล้ว +79

    Najiulizaga kila siku mzazi mwenzangu aliniambia hataki mtoto wa kike kwa mdomo wake na kwa vitendo hajawahi kumhudumia Toka mimba mpaka Leo hajui anaitwa nani hajui anaishi wapi miakq kumi na mitano sasa namwomba Mungu tu anikuzie asome amche Mwenyezi Mungu awe na maisha mazur na mwisho akifanikiwa kumwona baba yake amuulize kwa nini alisema hataki mtoto wa kike kwa nn hakumtunza kwa nn hakua anajua hata jina lake na kwa nn sasa amwite baba ?

    • @nurukiwia93
      @nurukiwia93 2 ปีที่แล้ว +2

      pole tupo wengi mama

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 ปีที่แล้ว +2

      Khaaaaa mawazo yake tasa kweli

    • @reganshao
      @reganshao 2 ปีที่แล้ว +3

      Dah ! Natamani nikufaham zaid lakin basi tu dada yangu ,pole sana , mtumaini Mungu kila wakati na usiongee chochote kuhusu huyo mwanaume nyamaza tu ,kuna siri kubwa katika kunyamaza ,hakika inaumiza ila we nyamaza tu

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว

      Utasikia na yeye analalamika mtoto kamkataa

    • @iBlaq
      @iBlaq 2 ปีที่แล้ว

      itakusaidia nini ?

  • @aishafahdi8355
    @aishafahdi8355 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sanaa nakuelewa Ommy na mim nakusii simama na msimamo wako huo huo!❤️❤️👍. Wengine watajifunza

  • @sherryeverest2522
    @sherryeverest2522 2 ปีที่แล้ว +8

    Ommy pole sana watoto wengi mnoo wanapitia hayo maisha wanaume wengi awapendi majukumu wanapenda ule muda wa kustaregeshana baada hapo wanasubiri wasikie mtoto wako ni mtu flan anaingiza mkwanja hapo ndipo anapotaka kuwa baba
    Wanaume tambuen ile mimba unayoikataa au yule mtoto unamtelekeza na kumkimbia ipo siku utatamani utambulike kupitia jina lake

  • @GöldènGordian
    @GöldènGordian 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sn Bro... ua not alone! Tupo wengi! Kubwa ni Kusamehe na Kumtanguliza Mungu.

  • @natashakindamba4351
    @natashakindamba4351 2 ปีที่แล้ว +18

    Watu wambezi tujuwane hapa omy kasema atakula nasisi ,💞💞

  • @RahmaAwami
    @RahmaAwami ปีที่แล้ว

    Pole sana mpenz allhah aendelee kukusapot inshallhah❤

  • @bigdad1816
    @bigdad1816 2 ปีที่แล้ว +30

    Well said Brother msamehe mzee wako sisi wote hapana duniani sisi wote ni wapita njia mimi mwenyewe Baba yangu Mungu hamrehemu alinitupa lakini nilipofanikiwa nikamsamehe na mpaka mauti yanamkuta nilimuuguza bila kuwa na chuki moyoni wala hasira wewe endelea kupigana lakini mzee msamehe wazee wetu wa zamani wengi uelewa wao ulikuwa mdogo na mazingila waliyokulia sio kama Leo our generation ni tofauti.
    Pls toa hasira chuki uchungu moyoni naona wewe ni mcha Mungu so forgive him and let it go na pia epuka kujibishana kwenye mitandao. Talk to him try to educated him.

    • @lalyilaoman5800
      @lalyilaoman5800 2 ปีที่แล้ว +4

      Hakuna kusamehewa ale raha yy kwa msaada upi alioutoa kwake

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

      Si babaake ndo mana kidini hawana uhusiano Wa baba na mtoto

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyo Mzee hautaji msamaha anachotaka ni msaada angekuwa anataka msamaha angekuja wakati hajafanikiwa

    • @bobjulieoneheartband
      @bobjulieoneheartband 2 ปีที่แล้ว

      Exactly hii dunia tunapitaaa amsamehe

    • @bobjulieoneheartband
      @bobjulieoneheartband 2 ปีที่แล้ว +2

      Ilaaa Mwijako has a very shallow Mind

  • @violethngalo6753
    @violethngalo6753 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha nitakula raha na wale walio kula shida na mm......ieleweke hvyo 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 2 ปีที่แล้ว +12

    Safi sana Ommy! Ungekuwa maskini acngekutafuta.

    • @FloraPowercomputers
      @FloraPowercomputers 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli ili na wengine waliotelekeza waanze kukusanya watt na kutunza ma anapewa mzigo asingekuw na maisha mazr mtt wa mama leo Mungu kamwinua wa Baba no nami ningemkataa baba wahivyo umechakaza mama wewe una starehe

  • @petersimba3663
    @petersimba3663 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana ommy dimpoz mungu alikunyanyua wewe kwasb baba yak alimsaliti vibay sana mama yak we usijl hakuna laana itakupat mungu yuko na ww ndo mana uko juu

  • @rehemabryson5101
    @rehemabryson5101 2 ปีที่แล้ว +4

    Uko vizuri ommy,wababa kama hawa wanastahiki na kupigwa na bastla kabisa,enzi anakula bataaa alijiona maisha yotee kayapitia fainali sasa ndio anaiona uzeeni shenzi kabisa.

  • @audreyirakoze7807
    @audreyirakoze7807 2 ปีที่แล้ว

    🤝🤝 pole sana Ommy Allah akupe umri mrefu 😘🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @erickjmgema3923
    @erickjmgema3923 2 ปีที่แล้ว +17

    Mwijaku siku zote uwa ni mnafiki..sasa kama alikuwa ana jua hayo yote ali yaonyesha ya nini..ni kweli ata mimi baba yangu alini chukia ivyo ivyo ommy kama wewe..we piga kazi mungu ata kusimamia..

    • @sadamramadhan9887
      @sadamramadhan9887 2 ปีที่แล้ว

      Mujaku katusaidia hadi tukajuwa stori hiyo

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 2 ปีที่แล้ว

      Mwijaku mjinga..mnafiki mnafiki mnafiki tena

  • @fatmachambo1188
    @fatmachambo1188 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sn kua n msimamu huo huo mungu azidi kukupigania inshallah kakangu

  • @allysimon2800
    @allysimon2800 2 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna aliyesahihi katika haya maisha msamehe baba yako amejifunza.

    • @kadilamore802
      @kadilamore802 2 ปีที่แล้ว

      Nyamaza wewe hayajakufika

    • @kilengagasper3924
      @kilengagasper3924 2 ปีที่แล้ว

      Kweli pengine angelelewa na baba now angekuwa mtu wa kawaida tu

  • @queenmollel6739
    @queenmollel6739 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila Ommy samehe mtendee wema japo kidogo, Mungu mwenyewe atakubariki

  • @hidayyahharoonsulhi8911
    @hidayyahharoonsulhi8911 2 ปีที่แล้ว +19

    Thnx bro for narrating such an inspirational story luv udea

  • @najmathiney65
    @najmathiney65 2 ปีที่แล้ว

    on point kaka uko sawa nakupenda sana bro

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +7

    Naomba mungu watoto wangu wajekuwa na maisha mazuri baba yao ajeaumbuke kama huyu Mzee ninavyoteseka hivi mungu Ndo anajua

    • @dotnatajoseph2620
      @dotnatajoseph2620 2 ปีที่แล้ว

      Inshallah mungu yu pamoja nawe

    • @salumally926
      @salumally926 2 ปีที่แล้ว +1

      Ommy hakuna kitu kinauma kama kuishi na mzee mmoja alafu mtu anakukimbia anakuja kujileta piga chini kula Bata tu dogo.

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว

      @@dotnatajoseph2620 Ameen🤲🤲

    • @fridamusa8152
      @fridamusa8152 2 ปีที่แล้ว

      Inshallah mungu atamuumbua zaidi ya huyu

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 ปีที่แล้ว

      Ameen Ameen atakufanyia wepesi mmungu

  • @rehemakasebele4232
    @rehemakasebele4232 2 ปีที่แล้ว +1

    Naikumbuka nyimbo yako ya mama ulivyolia kwa uchungu kumbe ilikuwa kweli huna mama duu pole mzee

  • @stevenmwakisimba8282
    @stevenmwakisimba8282 2 ปีที่แล้ว +5

    Umejitambua kijana dimpoz huyu mshikaji kakwama Kwann asikuite?

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว

    Watu msikimbie majukumu yenu watoto wakifanikiwa mnaanza lawama ommmy uko sawaaaaaaaaa

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 2 ปีที่แล้ว +18

    Mwijaku Ana Mambo Ya Kitoto Sana .. Anyways Utoto Ni Wa Kwake.... But ommy Yuko Sawa ,Mm Binafsi Nampenda Baba Yangu Coz Amenilea Na Kunipenda Na Mama Yangu The Same ... But Wasingefanya Hvyo Nisingekuwa Na Mapenz Nao .. Fullstop

    • @saraphinasahani5104
      @saraphinasahani5104 2 ปีที่แล้ว +1

      Kama mie

    • @sergiopauloagostinho7322
      @sergiopauloagostinho7322 2 ปีที่แล้ว

      Ommy a djakoseia amioguea visury alikua na mama bila o pendo WA Baba Sasa leu mungu ka mbariki a me pata rizik ,Sasa uyo baba anataka kudjisogueza kwa Ommy sio visury aendelee na maicha yake,Samany mimi ni Moçambicano sidjui kwandica viry lugayeno.

  • @zaitungosbert9495
    @zaitungosbert9495 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah inauma.sanaaa MUNGU nisaidie nimlee mwanangu awe na moyo kama wako nakupendaaa

  • @sanurahaji5194
    @sanurahaji5194 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwijaku mnafiki sana na mchonganishi baba mtu mzima Hana hekma

  • @gracemrope6198
    @gracemrope6198 2 ปีที่แล้ว +1

    Ommy umenikumbusha mbaaali sana..umenipa mawazo sàana.ila pia umenitoa machozi🤲🤲🤲 🙏🙏🙏🙏

  • @mussangali1694
    @mussangali1694 2 ปีที่แล้ว +5

    Namuunga mkono ommy dimpoz maana yaliyonikuta yanafanana na situation ya maisha niliyopitia kabisa yani wazee wetu mfumo wa hovyo sana bila kujua anayepanga maisha ni mungu na sio mwanadamu maana nakumbuka hata me toka nimezaliwa sikuwahi kupata malezi wala huduma yoyote kutoka upande wa mzazi wangu wa kiume sasa je nitakuwaje na upendo zaidi kwao

  • @fatmashija5637
    @fatmashija5637 2 ปีที่แล้ว

    Nakupa big up bravo Asante sana hakuna raana yoyote utaipata wapi? Aende zako

  • @djkayumba
    @djkayumba 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwijaku hanaga akili timamu huyo jamaa ni chizi mi nawambia

  • @onetoanotherglory2024
    @onetoanotherglory2024 2 ปีที่แล้ว +1

    Ommy Baba ni Baba analo la kukupa ,hata kama sio tajiri Amin nakuambia

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 2 ปีที่แล้ว +11

    SAFI SANA, WABABA NDIO WALIVYO KUKIMBIA WATOTO. IVYOIVYO

    • @harmonymattondo4042
      @harmonymattondo4042 2 ปีที่แล้ว

      Mm Mama alinikibia na hajawahi kufanya chochote ktk maisha yangu.Hata aliposikia baba angu amefariki hakuja msibani wala hajawahi kuja kunijulia hali....

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 2 ปีที่แล้ว

      @@harmonymattondo4042 pole sana lakini wababa ndio wanaongoza. Pole ulipata mama mbaya

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole ommy wazaz wa hvii weng sanaa ,hata mm nkiwa na jina baba angu aitokeza anadaim mm mwanae ,duuu ntachukua mdaa kumsameheee,ila msamehee tuu kaka

  • @fredrickallan5437
    @fredrickallan5437 2 ปีที่แล้ว +11

    Umeongea ukweli kaka na mwijaku anakosea sana hasitumie njia ya kutafuta ugali wake kwa kuwatumia wazazi wa aina hiyo.

  • @anastaziajoseph7682
    @anastaziajoseph7682 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwijaku ni kichaa.hajuagi hata kuwa kuna mapito katika maisha ya watu wengine

  • @tifahhamiar8739
    @tifahhamiar8739 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea point Sana ommy..na hio iwafikie wababa kama Hao wenye roho za ubinafsi....na adhabu kwa juu Sana...yaani siwapendi na sio Sawa hata Kwa mwenyezi Mungu....sisi wote ni binadamu tunaitaji faraja na upendo niwe wa nje au wa ndani kwani mi mtoto kosa langu...hana aibu huyo mzee na wazee wote wenye tabia kama hizo

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 2 ปีที่แล้ว +2

    Achana nae asikuumize kichwa kula maisha alijua utakuja kuwa mwiz au alijua utkua mtu ambae haelewek Mungu anajua kuwaumbuwa watu km hao kajua utateseka ndo Kwanza Mungu anazid kukunyooshea
    Mm hap mjmzt mwanaume kanikataa akinambia nitoe au nitafute mwanaume mwingine sina mama Sina baba nailea mimb yang kwa tabu Sana
    Nina iman ipo siku CZ Allah hulipa hapahapa dunian shd ninazopitia kesh uje useme Nina mtt Wang ooh MTT Wang Aiseee 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 Allah anipe nguvu nielee MTT Wang vyema InshaAllah 🙏🏼

  • @dancun217
    @dancun217 2 ปีที่แล้ว +4

    Clouds maboya,,,,mwijaku mnafki

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ommy unetumia hekima Sana MUNGU akusimamie tu upo sahihi kabisa

  • @sanaayetu4615
    @sanaayetu4615 2 ปีที่แล้ว +3

    Omyy dimpoz brother,!! Nakubali ulichokiongea nifact na ni point sana !! Wew pekeeako ndiye unayejua maisha uliyo yapitia kaka lakini ikumbukwe tuuh!! Hata kwenye kitabu cha Allah inajulikana kuwa ndie baba alie kutaa kiunoni mwake, haina budi kumweshu nakusamehe yote fadhila zitatoka kwa Mungu kakaangu mfanyie kheri baba ako kwakumshukuru kwanamna ya kukuleta duniani broo Nakuomba mpe fadhila ata kidogo coz ni baba mzazi uyo kula nae meza moja mwonyeshe upendo nayeye ndiye alie mpa furaha marehem mamaako kabula ya yote ayo huwez jua season behind ila muone ni mzazi roho ya kisasi kwenye damu yako usithubutu kurehemu Ndo ibaada kuu utamwambia nin Allah ikiwa kwa baba umesema Nooh!! 🙏🙏🙏 Naomba huu ujumbe umfikie ommy kwanamna yeyote please@mirady Ayotv

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 2 ปีที่แล้ว

      Mh! Mungu anisamehe

    • @abdallahathman8306
      @abdallahathman8306 2 ปีที่แล้ว

      Sio rahis kam unavodhan alaf ksheria mtoto wa nje ya ndoa hatambulk kidin yaan:baba hawez kumrth mtoto wala mtoto hawez kumrth baba kwahyo ksheria ya din hatambulk mtoto ni wamama kam ni wa nje yand0a

  • @ramlaisaac665
    @ramlaisaac665 2 ปีที่แล้ว +1

    Well done

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwinjaku kayataka yote haya...SALUTE kwa dimpozi...

    • @mdta8161
      @mdta8161 2 ปีที่แล้ว

      Mwijaku mie naona yupo sawa Sasa tungepata wapi ubuyu

  • @annababuya233
    @annababuya233 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi kabisa omy, maana wanaume wanachukulia pow sana kuwatelekeza watoto, haya ndo yanayotokea baadae, mungu akupe maisha zaidi ya hapo! Mungu pekee ndo anaratiba ya maisha ya Kila mtu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 ปีที่แล้ว +4

    Itambilike hiyi Mtoto wa nje ya ndoa sio wa Haramu Haram nikile kitendo walicho fanya wazazi Hamna Mtoto Anae tambua twaja kujuwa ukubwani Mungu Atusameh pole sana kweli Inaumaa wazazi wanao telekeza watoto sio poa hakki teseka na mwanao hujuwi ya kesho 🙏😥

  • @almendhiryable
    @almendhiryable 2 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi ndugu bigup angalia maisha yako baada ya mafanikio achana nae ..apambane na hali yake

  • @marckione5100
    @marckione5100 2 ปีที่แล้ว +15

    Uko sahihi ila msamehe maana hata Mungu atajitukuza juu wema wako

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 2 ปีที่แล้ว

      UMEONGEA POINT

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 ปีที่แล้ว

      Kabsa

    • @angelraphael8754
      @angelraphael8754 2 ปีที่แล้ว +1

      Hamna kumsamehe,ili wengine wajifunze siku hizi wengi wanakimbia majukum ilighali wanajua watasamehewa.

    • @realscholarships-bolde.2344
      @realscholarships-bolde.2344 2 ปีที่แล้ว +1

      Kusamehe kasemehe...kunatofauti kubwa ya kusamehe na kujifunza. Kusamehe ni kuponya jeraha ila kujifunza hakuna hisia za mapenzi yeyote.

    • @saralema4589
      @saralema4589 2 ปีที่แล้ว +1

      Naona hujamuelewa keshakwambia kua dini yke inasema mtt wa nje ya ndoa ni mtt wa mama Sasa wewe unasema amsamehe amsamehe hyo vpi lbda?

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 2 ปีที่แล้ว

    kazi ya kumuadhibu baba ako ,,sio yako ommy,,niya Mungu mwenyewe,,kumbuka pepo yako ipo chini yake,,, sisi watoto tunapaswa kuwa samehe wazazi wetu,,hatakama walitukosea sana,,lakini wao ndio chanzo cha uhai wetu,,wana daraja kubwa sana kwenye maisha yetu,,msamehe ,na muishi mazuri,,Mungu anapendezwa na maisha ya mapatano sio ugomvi,,mna mpa shetani nguvu na kuwa vuruga familia nzima ,,nakusihi sana ommy,,msamehe baba ako

  • @mariamone2406
    @mariamone2406 2 ปีที่แล้ว +5

    Msiterekeze watoto hata Kama humpendi mama wa toto mtumie hata matumizi kidogo

  • @lovek6593
    @lovek6593 2 ปีที่แล้ว

    Nice sana kaka dempoz.acha ale jeuri yake.ale na machoo

  • @salmaadil7122
    @salmaadil7122 2 ปีที่แล้ว +10

    Kwa dini yetu yakiislam huyo sio baba yako nawala humrithi wala hakurithi chochote kama ww umezaliwa nje ya ndoa...so upo sahihi tu wala huna dhambi broo ishi maisha yako...na jitahid umfanyie sadaka mamaako zitamfikia huko aliko nakumueka pahala pazuri.ammin

    • @bintik2311
      @bintik2311 2 ปีที่แล้ว +1

      Salma nimependa ushauri wk.Safi.Allah akulipe

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

      Bila shaka yupo sahihi. Si babake.

  • @rukkyshabani9500
    @rukkyshabani9500 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko right ommy tena nakupa 👊

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 2 ปีที่แล้ว +9

    STORY Yako na Yangu hazitofautiani sana.

  • @تةامممن
    @تةامممن 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe kaka angu unasema ukwer 💯💯💯💯💯💯💯💣🤝🤝🤝🤝🤝🙏👍

  • @zainabujuma7870
    @zainabujuma7870 2 ปีที่แล้ว +4

    Nakuelewa sana dimpozi anaekulaumu hajajuauchungu wakulelewa namam pekeyake wakati baba yupo hataki kujua majukumiyake halafu leo anajitokeza baba fulani inauma Sana napole Sana nimeumia Sana wababa wanatakiwa wajifunze kutekeleza majukumu yawatoto hata kamaunamaisha magumu kiasigani hataupendo tu wamtoto muonyeshe lakini wapi mtu unakuta tangu azaliwe hamjui baba nababa yupo kweli hivi kweli mtoto akikua wataka akutambue Kama baba

  • @restitutorcharles4253
    @restitutorcharles4253 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimejikuta natoa machozi😭 bro nisiongee sana Mungu awatunze wamama wote

  • @zubeirkhamisabdallah8090
    @zubeirkhamisabdallah8090 2 ปีที่แล้ว +17

    Ila dini inakuruhusu kama ulkuwa mtoto wa nnje ya ndoa sio babako huyo mama ndio kila kitu achana nae.

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 2 ปีที่แล้ว +1

      Zabeir Khamis Abdallah...Ni Dini Gani hiyo inayo elemea upande mmoja?? kuwa ukiwa mtoto wa nje ya ndoa kuwa huna baba?? na kwanini usiseme mama yake pia sio mama yake??

    • @mwajumayassir2251
      @mwajumayassir2251 2 ปีที่แล้ว +1

      Dini inakataza mtoto ila zinaa inaruhusu

    • @abdallahally1309
      @abdallahally1309 2 ปีที่แล้ว

      Umesha ommy una baya sio ww wazee Kam hao wapo wengi tu usjar

    • @isackmichael1571
      @isackmichael1571 2 ปีที่แล้ว

      mwijaku unamamboo ya kishoga mbog

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@mwajumayassir2251 unakufuru,,,

  • @tahiyasaeed
    @tahiyasaeed 2 ปีที่แล้ว +1

    NAKU-SUPPORT 100% OMMY DIMPOZ HUYO MZEE ACHANA NAE KABISA KM ULIVOSEMA KIDINI KWANZA SIO HATA BABA YAKO. HUMRITHI WALA YY HAKURITHI ACHANA NAE…….

  • @zipporahogembo142
    @zipporahogembo142 2 ปีที่แล้ว +1

    Is a touching story but.. you have to forgive him manaake mahali ulipo ni kwa neema yake mwenyezi Mungu

  • @zainasalum1110
    @zainasalum1110 2 ปีที่แล้ว +36

    Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wa mama kwahyo usiwe na wasiwasi upo sahihi

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 2 ปีที่แล้ว

      Wasitokee mashehe waje wamuambie Dimpoz anakosea Kama Dini yenu tu inaagiza hivyo.

    • @stellakagemlo8095
      @stellakagemlo8095 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe hata alipokuwa anaumwa ommy baba hakuonekana .inasikitisha sn

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews 2 ปีที่แล้ว

      Yeah

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana that’s way,mwambie apeleke shida zake huko..

  • @aishaaisha4082
    @aishaaisha4082 2 ปีที่แล้ว +21

    Ommy, i must commend you for having the courage to tell off that man how life goes. What makes you a man is not the ability to make a child, it is the courage to raise it. Ommy this man could be your biological father but he was not in your journey. Dont let him trap you na sarakasi zake

    • @kallandoshija5121
      @kallandoshija5121 2 ปีที่แล้ว

      Acha wenge wewe bila baba yake angekuwepo?? Msipende kuropokaropoka!! Heshima kwa baba lazima iwepo haijalishi ni baba wa dhambi gani!! Au unaongea kwa sababu ushabiki kuwa halisi

    • @gracekabuje4183
      @gracekabuje4183 2 ปีที่แล้ว

      Ommy uko sahihi kibisa nakuunga mkono bat wengi tumebitia hayo maisha mungu yuko pamoja nawewe sawa na ndomana Kuna maisha mengine baada ya maisha mengine

    • @truthmediatz861
      @truthmediatz861 2 ปีที่แล้ว

      @@kallandoshija5121 huyo sio baba yake na dimpoz ni mzee aliyesaidia kurutubisha yai la mama dimpoz mataCall wewe

    • @kallandoshija5121
      @kallandoshija5121 2 ปีที่แล้ว

      @@truthmediatz861 kitanda hakizai haramu upo tena awe na heshima na adabu kwa legend wake!!

    • @truthmediatz861
      @truthmediatz861 2 ปีที่แล้ว

      @@kallandoshija5121 kitanda cha nyoko !! ndo alishindwa ata kumzika mzaz mwenzie ! Oky hakua mkewe hamhusu , ata kumpa pole mwanae hakueza !! akala bati mazima ! uyo mzee ni kuma tu hakuna cha Legend ni kuma !!

  • @mtukwao5775
    @mtukwao5775 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations omy safi sana

  • @African511
    @African511 2 ปีที่แล้ว +35

    Wazee wa sasa wanafer sana,hii situation inatokea sana kwenye hii life ikiwagonga hawa wazee,ndio wanaanza kufuatilia vijana wao,wakiwa wako safi kwa uchumi,wababa badilikeni acheni mambo hizi ninyi wazee.

  • @asiaidd8813
    @asiaidd8813 2 ปีที่แล้ว

    Wewe endelea na maisha yako Kaka,Ila mwijaku achana nae yeye anatafuta pesa.pia alitaka tu asikie Hilo baba litasemaje.pambana na Hali yako.

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 2 ปีที่แล้ว +5

    Baba yako amekosea Sana.Lkn jukumu lako kumsamehe tyu bure na kushea nae baraka alizokupa Mungu. Usihesabu makosa maana Mungu angetuhesabia makosa
    Yetu, kweli tusingelikuwepo Leo.Shetani alimpotosha Baba yako akakukimbia,chunga shetani huyo huyo asikupotoshe na wewe umkimbue baba yako, ,maana mbele za Mungu mtakuwa na makosa yaliyo fanana wewe na baba pia

    • @ibrahimmakasi4690
      @ibrahimmakasi4690 2 ปีที่แล้ว

      Usirahisishe hakuna shetani hapo.... Acha mzee nae asote kama alivyosota jamaa na hata laana haipo hapo

  • @angelinaomare9015
    @angelinaomare9015 2 ปีที่แล้ว

    You are right…Mzazi kamili ni ule aliekulea…haijalishi Ni Baba wa Kambo au jamii…Wazazi wengi sana wamezoea kutekeleza watoto wao wanasahau Mungu Ndio anampa Mwanadamu uhai

  • @winny973
    @winny973 2 ปีที่แล้ว +14

    Ni kweli namjua huyo mzee tena huwa anajitangaza kabisa yeye ni baba wa ommy dimpoz, anajisifu balaa na bajaji yake pale sumbawanga mjini

  • @oftennyato1021
    @oftennyato1021 2 ปีที่แล้ว

    Afu hata ungemsomesha ungekuwa umepoteza hela zako tu bora ulivyoziacha ukaja kununulia bajaji tu👏👏👏 mzee we unaakili sana 😂😂😂

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว +18

    Vizuri omary achana nae mtt wa nnje ya ndoa ni mtt wa mama

    • @yfhff5268
      @yfhff5268 2 ปีที่แล้ว +2

      Safi sana ommy dimpoz endelea na maisha yako mazuri hakuna laana yoyote itakayo kupata kwa kumkataa baba alie kutelekezw ukiwa mdogo.kwanini mwinjanku asimchukue km baba wa ziada amsaidie.

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว

      Ujakosea nikweli

  • @zainabumsafir1182
    @zainabumsafir1182 2 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta maneno mzuri kbs heshima kwa mama wote duniani

  • @isunga1964
    @isunga1964 2 ปีที่แล้ว +26

    OMMY UMEONGEA KWELI KABISA NAKUMBUKA MAMA YANGU ALIVYOFARIKI BABA ALITOKA DAR MPAKA KYELA KUJA KWENYE MSIBA INGAWA ALIKUTA TUMEZIKA ALIENDA MPAKA KULIONA KABURI YA MAMA YANGU INGAWA SASA HIVI WOTE NI MAREHEM R.I.P WAZAZI WANGU 😭😭😭😭😭

    • @carinamatt1031
      @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana mwenyezi mungu azidi kukusimamia 🙏

    • @fralex_1276
      @fralex_1276 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole kipenz 😭

    • @asumaathuman6094
      @asumaathuman6094 2 ปีที่แล้ว +1

      Polee mwaya pole sana

    • @sheckycobb5240
      @sheckycobb5240 2 ปีที่แล้ว +1

      Safi, ndio alitakiwa akamzike hata kumfariji mtoto, kumuonyesga wako psmoja

    • @lovenessmjaka9754
      @lovenessmjaka9754 2 ปีที่แล้ว +1

      Bora huyo Ali onyesha upend na kusameh

  • @ayubuomondi4911
    @ayubuomondi4911 2 ปีที่แล้ว

    Sijui nikupe soda ya baridi sijui nikupe hongera kiasi gani big up ommy I trust u

  • @fatimamv2723
    @fatimamv2723 2 ปีที่แล้ว +4

    We are the same mm pia simjui babayng alinikataaa inauma sn 🥲

    • @hamed_nassoro
      @hamed_nassoro 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana fatima

    • @fatimamv2723
      @fatimamv2723 2 ปีที่แล้ว

      @@hamed_nassoro Asante ndo hivyo nmeshakuwa unajua watoto w kukataliwa ndo wengi wao ufanikiwa mm sai hata babangu atokee nitamwambia cjui

  • @victorbugobola2276
    @victorbugobola2276 2 ปีที่แล้ว +1

    Sahau kuhusu hayo, kijana samehe na maisha yaendelee

  • @suleymanally1465
    @suleymanally1465 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaku uchale umezidi mpaka unakuwa bwege, hicho unachokifanya sio sfa Bali unamtia unyonge dimpoz kwa kutaka kwako misifa, na wote wenye akili timamu tumekudharau mnoo

  • @japhedoctor5040
    @japhedoctor5040 2 ปีที่แล้ว +1

    Ommy nimekuelewa sana piga kazi weweee

  • @user-ob4ud6qh3j
    @user-ob4ud6qh3j 2 ปีที่แล้ว +5

    Simpendi mwijaku mnafki Sana huyu Kaka 😠