GHOROFA JIPYA ALILOHAMIA CHINO/ LINA SEBULE MBILI NA VYUMBA SITA/ AWAOMBA MSAMAHA MASHABIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.พ. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 162

  • @musicheals1545
    @musicheals1545 3 หลายเดือนก่อน +26

    huweze changanya washikaji na familiaaaa... tafuta sehem nyingine ambayo washkaji a.k.a wahuni watakuwa wanakuja na kufikiaaa mixa mashisha... ila nyumbani pabaki kuwa na heshima yakeee.

    • @user-yc7cx8lw8h
      @user-yc7cx8lw8h 3 หลายเดือนก่อน

      Tafuta hela Binaaadam

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-yc7cx8lw8h mbona nilichoandika na ulichoandika havina mahusiano mzeee🤣🤣🤣

    • @afrodinova
      @afrodinova 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani maana ya familia ni nini Mzee???

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 3 หลายเดือนก่อน

      @@afrodinova familia inahusisha washkaji/marafiki sio... anyway tumwache na maisha yake hata akifungua bar nyumbani poa tuu🤣🤣

    • @user-ck7pw4fm8c
      @user-ck7pw4fm8c 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@musicheals1545😂😂😂

  • @ArnoldMarley-xz1vj
    @ArnoldMarley-xz1vj 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jersey Namba 13 ni bora ulivyotumwa kwa Shoe Shine Maan Too Much Kimbelembele Kimezidii..

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hao mabisboo wote humo ndani wanakula wapi 😢 uwiii usanii kazi sio kwa nyomi hilo

  • @SenetaKilaka
    @SenetaKilaka 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ongela sana

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 3 หลายเดือนก่อน +8

    haya ndio mambo marioo hataki😅😅😅

    • @TheBastarrrd
      @TheBastarrrd 3 หลายเดือนก่อน

      Jumba la dhambi,😂😂

  • @AgnesAgnes-fm8wp
    @AgnesAgnes-fm8wp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hilo jamaa lenye mtishet mwekundu linanichefua mim nafsiii yng😂😂

  • @kerryestomic8099
    @kerryestomic8099 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo mwenye tshirt ya baseball ana kimbelembele

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ooooh karibu Oman chino bro❤

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 16 วันที่ผ่านมา

    Nyumba ina watu weng sana kama wahindi yani

  • @saidibanda8347
    @saidibanda8347 3 หลายเดือนก่อน +5

    Maisha yana badilika mzee acha kutumia ela nyingi kupga ga fanya mpango jenga home boy

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuongoze

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nyie wapoli poli sana timberland haioxhwi na maji daa😂😂

    • @leecode6135
      @leecode6135 3 หลายเดือนก่อน

      Hkuna kiatu kinasafishwa kwa maji hayo ni mambo ya zamani saaana 😅

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe wa 79 bdio maana hujui

  • @jumanamwasa-iw2zn
    @jumanamwasa-iw2zn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ilo Kabat👀👀

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo3322 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂uyo mwenye 13 asee unaweza mpa banzi

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 3 หลายเดือนก่อน +2

    huyo wa tshrt nyeupe namba 13 ni mshamba wa kamera ee

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakuona umekua superstar faster illuminate wanapawa ya kumkuza mtu hongera sana

    • @syntaxsaintezzer5547
      @syntaxsaintezzer5547 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha usenge wew na kama vp na wew nenda ukakuzwe na illuminati

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

      @@syntaxsaintezzer5547 nyie si mnapakuliwa wenye shobo nani kakuuliza paka mweusi wewe

    • @user-gn7nk7mw8v
      @user-gn7nk7mw8v 3 หลายเดือนก่อน

      Vitmtkea puani

    • @donhussle948
      @donhussle948 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wape ukwelikakuzwa na illuminati juu ya kumuua mwenzake

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 3 หลายเดือนก่อน

      @@donhussle948 kuna huyo hapo sijui ndo chakula chake chino kuna watu wasanii wanapambana na hawatoki sasa huykatokea wap

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hakuna kitu kubaya duniani kma kuweka mafanikio yako adharani weka ila baadhi yaifadhi sio yote systems ndugu watu wanamuangalia unavyoyatema mafanikio yako sisi binadamu ndio hawa hawa mm nakupenda

    • @Mkombozi255
      @Mkombozi255 3 หลายเดือนก่อน

      Nyie ndo wachawi wenyewe ,kila kitu kutishana tu.ukiona hivyo ujue hata buku huna.muache dogo aishi anvyotaja yeye.akionyesha Mali ni maamuzi yake.

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 3 หลายเดือนก่อน +2

      Halima upo Sahihi sema binadamu hata ukiongea Kwa vzuri kabisa unaonekana mchawi,,,Ila hayo maisha ya wasanii huta yaweza Bora tuyaache kama yalivyooo ukitoa wazo waambulia kejer na matus🤐🤐🤐

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo alovaa white anazunguka kama Nesi wa zamu 😂😂😂😂😂

  • @LinaUlaya-ze4en
    @LinaUlaya-ze4en 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa bro chino jaa bress

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kwanni usingempangishia mamako nyumba ingine tofwaut na hapo akae na ndugu zako maana hapo mpo vijana wengi haipendezi mi naona ushaur tuu lakin

    • @AfricanLady889
      @AfricanLady889 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amesema anamjengea mama yake nyumba, so hakuna haja ya kupanga nyumba ingine

    • @jamesgustav196
      @jamesgustav196 3 หลายเดือนก่อน

      😅

  • @salekhvidal8346
    @salekhvidal8346 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera bro more blessings

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sema kuna mwamba uyo mwenye base ball anaranda sana si atulie

  • @HanceBablo-ot8sz
    @HanceBablo-ot8sz 3 หลายเดือนก่อน

    Mnaekelekwa na 13 gonga like

  • @user-sg1du9dp1i
    @user-sg1du9dp1i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dah Nashkuru Taifa Zima Tumetambua Namna Muuni mwenye uzi namba 13 namna anaushamba mwingi😂😂😂

  • @mamrashdon3632
    @mamrashdon3632 3 หลายเดือนก่อน +3

    Salehe Umekosea Uyo Mwenye Nguo Nyeupe Ungemfukuza Bwana Anaboa

  • @Barakatabudul
    @Barakatabudul 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa Alovaa White" Anaushamba Anaboa sanaaa kuandama adama! watu kama hawa ni wachawii" jamaa atamani kama yy ndo Angekua Chino" dah! mshamba wa camera 😂😂😂😂😂😂

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yan hawa ndo wachawi😂wenyew hawa kaaah 🙌

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 3 หลายเดือนก่อน

    Lake?

  • @mrrajjy
    @mrrajjy 3 หลายเดือนก่อน

    Chinoo 🔥🔥🔥🔥

  • @Saumujames1234
    @Saumujames1234 3 หลายเดือนก่อน

    Uyo namba 13 mmempigilia 😂😂😂😂😂 kila comment watu wana mlalamikia 😂😂😂 mwane2 anapenda camera anachukua mafundisho ya ustar😅😅😅😅

  • @mwinyiado1129
    @mwinyiado1129 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namba 13 anataka aonekane mwanafamiliaa 😂😂😂

  • @saidtembele3070
    @saidtembele3070 3 หลายเดือนก่อน +3

    Namba 13 mgongoni is typing and deleting.............😂😂😂😂

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo kijana mwingine mbona anafata nyuma kama mkia 😅

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 3 หลายเดือนก่อน

      Jamaa kazingua sana hatulii, na mnguo wake namba 13

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 หลายเดือนก่อน

      Superstar lazima awe na mpambe😂😂

    • @MuviisTV
      @MuviisTV 3 หลายเดือนก่อน

      Mpambe

  • @mrrajjy
    @mrrajjy 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hingera sn punguza marafiki wengne sio wazuri kbs

  • @Pro_editings2024
    @Pro_editings2024 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kashapotea🚶huyo hamna kitu

  • @user-op5gz7vj6w
    @user-op5gz7vj6w 3 หลายเดือนก่อน

    guuudi man munguu akubaaariiikii San brother daa ur soo smart blood.... Utazidii itakuwa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 หลายเดือนก่อน

    myumba aina privacy kabisa

  • @user-zk7sc7fg1s
    @user-zk7sc7fg1s 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi uku DRC🇨🇩 sisi wenye maisha ya chini ndo tuna tembeleya ma BMW kama izo.lkn tz ni za wasanii

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mchizi mwenye jezi ya base ball kaleta ushamba wa kizamani sana, mbona wenzake wametulia tu

    • @user-pi2zh8fg7g
      @user-pi2zh8fg7g 3 หลายเดือนก่อน

      baba levo uyo

    • @user-vu9ee7yg1j
      @user-vu9ee7yg1j 3 หลายเดือนก่อน

      Bro uwo sio ushamba but kaonesha upendo mkubwa appreciate broo chino uyo ndo mshikaji kweli ✌️

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-vu9ee7yg1j
      Acha utoto huoni alikuwa anazuia camera, halafu unajua dhima ya hicho kipindi? Bora alivyotumwa akapeleke viatu kwa fundi huyo mjinga

  • @user-so2yy8se7o
    @user-so2yy8se7o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nampendaga salehe Anaadabu sana yani kila sehemu anambia viatu mashallah

  • @mamrashdon3632
    @mamrashdon3632 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani Uyo Kama Bodgard Vp

  • @donhussle948
    @donhussle948 3 หลายเดือนก่อน

    Baada ya kumtoa mwenzake wa karibu sanaa kumtoa kafara ... ndo freemasonry ndo wanafanya hvyo either ,family or mtu wako wakaribu or rafiki yako wa karibu sanaa ama watu kwa live performance kisha unatajirika c pesa halali azipatazo hizo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 3 หลายเดือนก่อน +3

    MKIAMBIWA KUNA BAHATI MSIWE MNABISHA😊,,HUYO CHINO HAINGII KIVYOVYOTE,,,,KWA BADI.

  • @frowinmgimba8513
    @frowinmgimba8513 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenye no 13 anaziba kamera anaboa😂😂

  • @pozclever854
    @pozclever854 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo Jamaaa ana kaz gn anatembea tu

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 หลายเดือนก่อน

      Bodyguard wa mchongo😂😂

  • @Wigoz_puppy
    @Wigoz_puppy 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tunaomba NGOMA na Mavoko ❤❤❤❤ sio kila SIKU unamtaja alafu humsapiti boss wako wakitambo❤❤❤❤😂

  • @badifundi6089
    @badifundi6089 3 หลายเดือนก่อน

    Niozesheni uyo philomeno bwana

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 3 หลายเดือนก่อน +2

    ILA CHINO ANA MAMBO YA WASHKAJI SANA SANA BADO MTOTO MDOGO HUYU AKILI ZAKE, ZIMEKAA KISHKAJI KISHKAJI TU… ANASEMA AKIHAMA ANAWAGA VITU KWA WANA, HUYU ATAKUJA FULIA VIBAYA SANA MWISHO WAKE WAJA.. KAMA ANASHINDWA KUJIJENGA KWA UPEPO ALIOPATA SASA ATAFULIA SANA VIBAYA MNO

    • @user-vu9ee7yg1j
      @user-vu9ee7yg1j 3 หลายเดือนก่อน

      Iman yake inaamin watu hawo aliwo kuwa nawo ndo wamechangia mchango mkubwa kweny harakat zake.. appreciate my king chino you doing well bro waliyo kusaidia kutafut kuni ndo hawo hawo ota nawo moto...wewe ni Really mengine mungu ndo refa...

    • @leylamohamed9939
      @leylamohamed9939 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-vu9ee7yg1j UPUUZI HAKUNA MCHANGO WOWOTE, NGOJA AFIRISIKE NDIO UTAJUA HUO MCHANGO WA WANA ULIVYO

  • @Happy-ef9kf
    @Happy-ef9kf 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pambana sasa ujenge yako cyo kila siku kupanga punguza stare heee make pesa tengeneza maisha bro,,,

    • @Official83640
      @Official83640 3 หลายเดือนก่อน

      Kapanga kapangiwa na boss mpya mume wa Fety Kitasa

  • @pascalinajames9117
    @pascalinajames9117 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu nwenye mtshrt mweupe mbona anafwata kila mahal jmn ameboa

    • @kelvinkilale
      @kelvinkilale 3 หลายเดือนก่อน

      Si ndo maana kapewa kiatu apeleke kupiga dawa😂😂

    • @sabrinaraphael3474
      @sabrinaraphael3474 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @pascalinajames9117
      @pascalinajames9117 3 หลายเดือนก่อน

      @@kelvinkilale kwakwel maana asingewaaacha peke yao interview isinge pendeza

    • @kipukatz
      @kipukatz 3 หลายเดือนก่อน

      Mlinzi wa boss

  • @rockyjr6314
    @rockyjr6314 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ao masela tafta shm uwapeleke nyumba inakosa heshima

    • @tanzcanmediatv4473
      @tanzcanmediatv4473 3 หลายเดือนก่อน

      Aoe mara ngapi

    • @EmmanuelKawawa
      @EmmanuelKawawa 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@tanzcanmediatv4473kamaanisha sehemu sio shemu

  • @user-ie6hs3ul2q
    @user-ie6hs3ul2q 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu namba 13 mtafutie bwana

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bongo bana mchiz kafua timberland yani 😂😂😂😂

    • @mattmax773
      @mattmax773 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuwa anajua angejua adingefanya Hvo ki ubinadamu tu Viatu sio kitu cha thaman kuzid binadam

  • @khadijamemba785
    @khadijamemba785 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi "kama kawa" ndio salam

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 3 หลายเดือนก่อน

    Tafuta nafasi ujenge Ili familia ikae sehem moja maana naona group kubwa ,

  • @Official_JohnVicker
    @Official_JohnVicker 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha chinno

  • @naumikabila5880
    @naumikabila5880 3 หลายเดือนก่อน

    No 13 bwanaake nani😅 jmn

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 หลายเดือนก่อน

    Currently viatu havioshwi, tumia foam

  • @simulizi2632
    @simulizi2632 3 หลายเดือนก่อน

    Washkaji ndio wamejaa. Kuna privacy kweli humu duh

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefulai sna kwakuelewana unajua wewe chino na Mario mnabond nzur Sana na mkiwa pamoja ndo mtapiga pesa Kwa pamoja kwamana mnaendana sana

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 3 หลายเดือนก่อน

    Jenga utenganishe washkaji nabfamilia

  • @EsterMpete
    @EsterMpete 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uyu mwenye nyeupe yaan ni kama mwanajeshi wa zamani

  • @happy56timothy58
    @happy56timothy58 3 หลายเดือนก่อน

    Bora umempa kazi yakupeleka viatu kwa fundi😂😂😂😂

  • @user-jj9xf7nt9k
    @user-jj9xf7nt9k 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu nae anataka kuoneka maan sio kwa kufata uko kama mkia

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 3 หลายเดือนก่อน

    Halafu Namba 13 Falaaaaaa Anaboa Yeye utasema ndio Camera Man, NI NANI HUYU???😂😂😂😂😂 Jinga Kweliiii 😂😂😂😂😂 Kila eneo yupo anafuata fuata tuu… Yeye ndio nani kwa Chino😂😂😂😂

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waka miradi ndugu yangu

  • @beatricemshiu2816
    @beatricemshiu2816 3 หลายเดือนก่อน

    Khaaa hii nyumba au ghetto 🙄

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Salehe nampenda anaheshima na nyumba za watu saana haingii tuu kama chooni

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 หลายเดือนก่อน +1

    Zawadi ya damu ilishapita mambo yanafunguka

    • @arianjrstanslaus4991
      @arianjrstanslaus4991 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂..but we not sure....speculations mzee....

    • @jesterfredrick9497
      @jesterfredrick9497 3 หลายเดือนก่อน

      @@arianjrstanslaus4991Alooooooh😂😂😂😂

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd 3 หลายเดือนก่อน

    Ulimwosha nani miguu Chino,mbona usenge huo????

  • @user-lw7wd8nz9g
    @user-lw7wd8nz9g 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana chino wan man

  • @AgnesAgnes-fm8wp
    @AgnesAgnes-fm8wp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chinoo punguza marafiki watakuponza

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน +3

    Apo chino umekosea kusema utaki mama ako kufunga ni Kwasababu atakonda? Kwer? Apo umekosea piga astakafirural kama nimuislam

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kabla umeki ujenge unaanza kupanga majumba ya gharama shaulizako

    • @agreymbwilo5874
      @agreymbwilo5874 3 หลายเดือนก่อน

      Msanii huyo mkuu, acha aishi maisha yanayofanana na sanaa yake. Na kujenga anamjengea kwanza mama ake

    • @stanslausmathias1878
      @stanslausmathias1878 3 หลายเดือนก่อน +1

      Msanii ni tofauti na ww, vilevile maisha ni plan....mawazo ya kuwaza kuwai kujeng ni ya kimaskini saana watu wengi waliofanikiwa huanza na investment haijalishi kapanga maana kwa mji wa dar es salaam kimsingi huwezi jenga nyumba ya mil.3

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kitu mtu anatafuta pesa mwenyewe na anaamua mwenyewe atumie vipi, anaweza tumia zote hata ndani ya siku moja. Tatizo tunapenda kujadili maisha ya watu wakati wao hawana habari na maisha yetu. Hatujui mipango yao na hawajui yetu

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 3 หลายเดือนก่อน

      @@agreymbwilo5874 Duuuh saw ndio fikla zako ziliko ishia

    • @abbassalum6824
      @abbassalum6824 3 หลายเดือนก่อน

      @@stanslausmathias1878 Daaah blaza kwa Muonekano wako unaonekana ni mtu mmoja mwenye akilizake lakin si hivyo nilivyo tegemea Kwan kumshauli mtu kunatatz kwan nnachomwambia mim kinaubaya kwan wasanii wote lazima waishi maisha anaishi yeye au hujaona wasanii walikua wakubwa kama wakina chidi mst naisi wakowap sasaiv

  • @fredanthony740
    @fredanthony740 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mpe kolabo mavoko sasa

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 3 หลายเดือนก่อน

    Bora mwamba katumwa apeleke viatu kwa shoe shiner

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 3 หลายเดือนก่อน +1

    Camera man umezingua

  • @benahdesigner
    @benahdesigner 3 หลายเดือนก่อน

    Bola katumwa 😂

  • @halima_nasseb
    @halima_nasseb 3 หลายเดือนก่อน

    hili li namba 13 jaman kila sehemu

    • @user-vu9ee7yg1j
      @user-vu9ee7yg1j 3 หลายเดือนก่อน

      Uwo ndo upendo wa kweli kwa chino🎉

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 3 หลายเดือนก่อน

    Maisha ya kufeki haya mtakuja muumbuke

    • @user-vu9ee7yg1j
      @user-vu9ee7yg1j 3 หลายเดือนก่อน

      Watu wanaishi broo awafek tafuta nawew upate ili tuone kama utafek au utaishi....

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda unavyo ishi na mzazi wako

  • @yasiniramadhani4871
    @yasiniramadhani4871 3 หลายเดือนก่อน

    Bonge show

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

    Saleh hivo viatu kama ni mimi ningevua kisha nikashika mkononi nikapanda navo maana ulipo mbali😂😂

    • @user-cq5dx1vr2p
      @user-cq5dx1vr2p 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅kwamba ataibiwa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-cq5dx1vr2p
      Ehee

  • @dr_godfrey
    @dr_godfrey 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama ni kwako hongera sana ila kama umepanga da! POLE SANA usije laumu watu baadae

    • @naifathassan2607
      @naifathassan2607 3 หลายเดือนก่อน

      Anajenga kwake hapo kapanga

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 3 หลายเดือนก่อน +1

      Maisha ni yake aachwe aishi

    • @musicheals1545
      @musicheals1545 3 หลายเดือนก่อน

      ushauri muhimu mwisho wa siku asije kwenye media akaomba msaada, umri unaendaaaaaaa@@narrissajackson3869

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 3 หลายเดือนก่อน

      Anamalizia nyumba 2.ziko pamoja

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 3 หลายเดือนก่อน

      Usimpangie MTU maisha na matumizi ya pesa zake kwani anasaidiwa na MTU apo?

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 หลายเดือนก่อน

    mbona mafanikio ya chino yanaanza kujitokeza baada ya ile ajali na kifo cha yule kijana ama nina mawazo potovu

  • @Saumujames1234
    @Saumujames1234 3 หลายเดือนก่อน

    Aahh kwer ili jumba la zambi 😂😂 watu kibao😅😅

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 3 หลายเดือนก่อน

    alimtoa mwenzake kafara chura huyu

    • @user-vu9ee7yg1j
      @user-vu9ee7yg1j 3 หลายเดือนก่อน

      Usikufur mungu Allah ndo refa wa mchezo 🖤

  • @BAGAMOYOMEDIATZ
    @BAGAMOYOMEDIATZ 3 หลายเดือนก่อน +1

    th-cam.com/video/Ks3yvfIK0Eg/w-d-xo.htmlsi=go--XEKTOW151aga
    AMEN
    MANKOLOMATZ FT MC KIBILITI X KHAZAV ( MASNICHI )