SoShoFitness SE03 EP02: KATA TUMBO UKIWA UMELALA - Part 1 |TUMBO LA CHINI, JUU NA PEMBENI |SoShoTV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Thank you for watching this episode, please remember to subscribe the channel, share the video to others and let us know your fitness experience in the comment section below.
    #jengaMsuli#usijengeTumbo
    #SoShoFitness#punguzatumbo#katatumboukiwaumelala#jengaMsuli#workoutathome#SoShoTV
    --------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    WhatsApp Group Link: --- chat.whatsapp.....
    SoShoFitness SE03 EP01 (EPISODE 28): KATA TUMBO UKIWA UMESIMAMA --- • SoShoFitness SE03 EP01...
    SoShoFitness SE02 EP14 (EPISODE 27): MAZOEZI YA KURUKA KAMBA --- • SoShoFitness SE02 EP14...
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Habari wana mazoezi na watazamaji wa channel ya ShoShoTV, leo tunawaletea sehemu ya pili (Episode 02) ya msimu wa tatu (Season 3) ambayo ni sawa na sehemu ya 29 (Episode 29) kiujumla ya kipindi chako kizuri cha mazoezi (SoShoFitness) tangu kianze kurushwa hewani.
    Katika kipindi cha leo tutakuonesha jinsi ambavyo unaweza kukata/kupunguza tumbo lako ukiwa umelala chini ikiwa ni Part 1.
    Tutafanya zoezi hili kwa pamoja kwa njia nyepesi kabisa tukiwa katika mazingira ya kawaida (Nyumbani) bila hata kwenda Gym au kutumia kifaa chochote.
    Kwa umahiri wa hali ya juu sana, mkufunzi wetu Mkubwa Hamidu atatuonesha jinsi ya kufanya zoezi hili kwa ufasaha, fuatana naye.
    Karibu sana.
    *Madhumuni ya kipindi cha ''SoShoFitness'' ni kujenga uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa mazoezi ya mwili katika maisha ya kila siku.
    *Ungana nasi ili uendelee kufaidika na mfululizo wa vipindi bora vya mazoezi kwa ajili ya kujenga afya ya mwili wako.
    *JOIN US FOR A SERIES OF BEST EPISODES ON BODY EXERCISES FOR YOUR GOOD HEALTH CARE.
    Please, Subscribe, Like, Share and keep Commenting.
    "SoShoFitness - Mazoezi kwa afya".
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    Producer: Khalis 2K
    Instructor/Trainer: Mkubwa Hamidu
    Contacts:
    facebook: Khalis Komba, Mkubwa Hamidu
    whatsaap: +255764165500, +255787003600
    instagram: soshotv1
    What'sApp Group Link: chat.whatsapp.....
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    #SoShoFitness#mazoeziyatumbo#kukatatumboukiwaumelala#jengaMsuli#usijengeTumbo#workoutathome#SoShoTV

ความคิดเห็น • 11

  • @ismailnoor6729
    @ismailnoor6729 หลายเดือนก่อน +1

    Mazoez

  • @happympangala5815
    @happympangala5815 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saf sana

  • @SoShoTV1
    @SoShoTV1  ปีที่แล้ว +1

    Stay close, stick around with ABS workout...!
    Keep Fitness, keep Good HEALTH.
    #jengaMsuli💪 #kataTumbo

  • @user-pv6tz5nd3w
    @user-pv6tz5nd3w 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana namimi nimeweza

  • @DickisonyBaraka
    @DickisonyBaraka 18 วันที่ผ่านมา

    Kaka uko vizur me tumbo la Chin linanisumbia sana ingekua poa sana ungenipa ushauli kwanzia fyakula ama nifanyeje

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s 2 หลายเดือนก่อน

    Asante San kaka

  • @ElimuClinic
    @ElimuClinic 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani kaka mtu mwenye operation anaweza fany hizi kweli

  • @nuruemmymkayula861
    @nuruemmymkayula861 3 หลายเดือนก่อน

    Nakula kwanza ndo naingia mazoezin au?? Naomba nijibu please

  • @pendocharles3402
    @pendocharles3402 2 หลายเดือนก่อน

    Je tuliozaa kwa opreshen yanafaa haya mazoezi?tafadhari nijibu nianze

  • @chikuhamadi1340
    @chikuhamadi1340 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona ana kanuna pole ana😂😂😂

  • @chikuhamadi1340
    @chikuhamadi1340 10 หลายเดือนก่อน

    Naendelea ila ayo yanauma😂😂😂