SoShoFitness SE01 EP10: CHEKI WADADA HAWA WANAVYOTENGENEZA HIPS, MAKALIO MAKUBWA NA SHAPE NZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #SoShoTV#Hipsnamakalio#shapenzuri#kwakinadada#SoShoFitnessEP10
    Habari ndugu wanamazoezi, leo tunakuletea sehemu nyingine nzuri katika kipindi chako cha mazoezi (SoShoFitness) ikiwa ni sehemu ya kumi (Episode X) msimu wa kwanza (Season I).
    Katika sehemu hii tutaelimishana namna ya kutengeneza Hips, makalio na shape nzuri kwa kina dada kwa njia salama kabisa ya mazoezi.
    Kupata undani wa kipindi hiki na kujua namna zuri ya utengenezaji wa Hips, Shape na Makalio, tafadhali ungana nasi tangu mwanzo mpaka mwisho wa video hii.
    Ahsante.
    Mawasiliano:
    Business Lines: Call: +255764165500, +255787003600
    WhatsApp: +255764165500, +255787003600
    #SoShoTV#Hipsnamakalio#shapenzuri#kwakinadada#SoShoFitnessEP10

ความคิดเห็น • 12

  • @vannesamajaliwa9684
    @vannesamajaliwa9684 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana kazi yenu mimi Nina mikono minene alafu makaliyo yangu ayaja kaha vizuri

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz 2 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante kwa comment. Endelea kutazama na kufuatilia vipindi vyetu hapa hapa SoShoTV ili ujifunze zaidi namna ya kutengeneza afya yako kwa njia ya mazoezi.

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz 2 ปีที่แล้ว +1

      @vannesa maliwa

    • @CarinKisanga
      @CarinKisanga 4 หลายเดือนก่อน

      Je nikihitaji na mm kufanya mazoez

    • @CarinKisanga
      @CarinKisanga 4 หลายเดือนก่อน

      Je nikihitaji na mm kufanya mazoez

  • @AminaSapar
    @AminaSapar 28 วันที่ผ่านมา

    Kwa mda gani

  • @amanaoman9690
    @amanaoman9690 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante my nakufuatilia sana❤

  • @BintiBaalii
    @BintiBaalii 29 วันที่ผ่านมา

    matokeo kwa mda gani mkuu

  • @StephanoWaindi
    @StephanoWaindi 4 หลายเดือนก่อน

    Nzr

  • @HurumaPetero-y3s
    @HurumaPetero-y3s 2 หลายเดือนก่อน

    Aya mazoezi yakuongeza makalio matokeo yanaanza kuonekana ndani ya muda gani

  • @WinnieLily-t8k
    @WinnieLily-t8k หลายเดือนก่อน

  • @user-ly6qc3nh7c
    @user-ly6qc3nh7c 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmm