ELEWA VITU VINAVYO ZIPA MADHABAHU NGUVU ZA KUKUTESA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 91

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio ปีที่แล้ว +11

    Ninakuelewa Sana Pr. David; Mungu akufiche mbawani mwake, uzidi kumuanika ibilisi!

  • @jeremiahlugembe4939
    @jeremiahlugembe4939 ปีที่แล้ว +1

    Pastor, nilijikuta nimeoa kwa njia ambayo sikuwa nimetarajia kabsa yaani tulichukuwana tu bila kufata utaratibu, nimekuwa na hangaika na hatia moyoni Japo tunaishi vizuri tu, nimetambua tabia hii ni ya ukoo maana ktk familia hakuna aliefata utaratibu, Je! Niendelee kuishi katika ndoa hii? Pia nawezaje kuvunja roho hii isije tokea kwa watoto wangu? Tayar Nina mtoto mmoja.

  • @KendiLydia-tf2ii
    @KendiLydia-tf2ii 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jameni haya mahuburi ya huyu Mchungaji Yani bariki sana 🙏🙏, na ninaamini yatanifungua kutokana na kila vifungo🇰🇪🙌

  • @NkamuhabwaFrolian
    @NkamuhabwaFrolian 14 วันที่ผ่านมา

    Pastor ninayaelewa mafundisho, Mungu atupe neema ya kulishika neno la Mungu.

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 ปีที่แล้ว +3

    Hili somo ni la kulirudia tena maana tulianguka sana bila hulifahamu hili, Mungu atusaidie sana

  • @pasteursimonnizigiye4642
    @pasteursimonnizigiye4642 ปีที่แล้ว +1

    Nimeshukuru kwa mahubiri haya ufunguo wa kufungua Mambo magumu, ushuda wangu ni uyu walinipiga vita kanisani Ila mimi kwa Imani na Nia nilikuwa nayo yakumutumikia Mungu Niko imara hapo hapo Asante Muchungaji Mungu aongeze upako wa mahubiri

  • @loicesalano931
    @loicesalano931 21 วันที่ผ่านมา

    Amen nimebarikiwa na mafundisho barikiwa pia🙏

  • @Pendomabula
    @Pendomabula ปีที่แล้ว +2

    Mahuburi Tv Mungu wa mbinguni awaangazie nuru yake ili mtuangazie,nabarikiwa mpaka natetemeka ndani ya moyo wangu.

  • @HuldaMadulu

    Nakuelewa sana kila ulichozungumzia n kweli maana mim nayapitia maishani mwangu naona Mungu amekutumia ili mm nijielewe na kuvunja hiz madhabahu asante sana

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 ปีที่แล้ว +2

    Hili somo vijana wetu wanatakiwa walielewe,wasikie sauti ya Mungu ikiita

  • @JC-lk3me
    @JC-lk3me ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mchungaji, umejibu maswali yangu karibu yote. Mungu akubariki wewe na familia yako🙏🙏🙏

  • @JosephMpangala-wd5mp

    Asante sana kwa ukweli wa sasa, Mungu akubariki sana.

  • @Joycependopendo-dv2tb

    Amen bwana akubariki pastor Na akupe afay njema Na ulinzi siku zote uingiiapo Na utokapo nimbarikwa Na somo hii

  • @AgnessMrutu

    Pr Mungu akubariki sana sana, hakika masomo haya yananibariki mno na kunikuza kiroho mno, yaana kuna jambo umesema mh, nilipitia kipindi kigumu ki uchumi, basi nikakutana na jaribu la kubembelezewa ajira, tena kwa kusifiwa sana, tunakupenda, wewe ni mchapa kazi mzuri, hapo ni kwenye simu napigiwa na watu nisiowajua, mimi nikaingia kwenye mfungo siku tatu kusemezana na Mungu, kuwa elimu yangu ni ya kawaida sana, wasomi wanazunguka na vyeti wanarudi hola, mimi kwa nini nibembelezewe ajira ya kuwa bilionea kwa muda mfupi? Siku moja nimejisahau nikiwa usingizini nikaota ndoto kuwa tuko ibadani, ibada yenyewe tumekaa shaghala baghala tu, ila mbe ya kibambaza cha hapo tunakofanyia ibada kwa juu kuna kichwa cha mbuzi ndicho tunachokiabu, asb yake ndoto ikawa inanisumbua sana kuwa nn maana yake? Ghafla napigiwa simu kuambiwa Agness njoo sinza mori tunakupenda sana tunataka tufanye kazi na wewe chukua usafiri tutalipia, basi nikasema naenda, nilivyofika wakalipia bajaji vizuri nakapokelewa kwa shangwe sana, lakina hapo na mimi nasali kimoyoyo, ila ule mkao nilioonyeshwa kwenye ndoto ulikua vile vile, , ni makampuni haya yanayofanya biashara za mtandano watu, nilipotoka hakika sikurudi nyuma tena.

  • @marthadaniel4904
    @marthadaniel4904 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe san Mchungaji David mbaga MUNGU endelea kukupa Afya njema uzid ukuhubir Mataifa yote🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇹🇿👈

  • @bellimarwa5454
    @bellimarwa5454 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki Sana unaniinua niangukapo umekuwa mrezi wangu wa kiroho ahsante kwa huduma hii jina la yesu litukunzwe sana

  • @sarahndagile997
    @sarahndagile997 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Sana na mafundisho yako Mchungaji ubarkiwe Sana.

  • @agnesseunice5632
    @agnesseunice5632 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabarikini Sana tuko pamoja, katika ibada kila ninaposikiliza, amin

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 ปีที่แล้ว

    Mungu atukuzwe , Kwa kutujulisha mengi na makuu, ubarikiwe pastor

  • @crispuskasanga8487
    @crispuskasanga8487 ปีที่แล้ว +1

    SANTA YESU NIMEBARIKIWA NIKIWA HAPA KAUNTI YA MAKUENI NCHINI KENYA