Mwanzoni mwa kuanza kufuatilia mafundisho yako pr .sikuwa nakuelewa ila hakika sasa kiiila siku lazma niangalie vipindi vyako humu.nimengi nimejifunza na naendelea kujifunza .namshukuru Mungu aliekupa karama hiyo ubarikiwe sana pr.
Pr..Mmbaga...sijui nikushukuru vipi lakini namuomba Mungu aendelee kukutumia ili uwafikie wengi...maisha yangu yamebadilika kabisa...sio Kama hapo zamani...barikiwa pastor hadi ushangae
Tuamini Mungu atupiganie hii vita. Atuelekeze cha kufanya hata kama wakati mwingine hatuelewi tunachopitia. Kunyamaza pia ni kweli maana watu wanakatiza tamaa ya kusonga mbele nimeona.
I have really been touched by your teachings, I wish I could see or talk to you or rather pray for the kind of challenges I am facing. But I believe now that you have tought me how to do it, be blessed
Hili la kusema kama kila mtu hata wa miezi ya kwanza ya kuzaliwa, anajua kuogelea. Tumeshuhudia mtoto wa miezi chini ya 6 ambaye ameokoka toka mafuriko katika vijiji vya Bushushu na Nyamukubi, tarafani Kalehe, Wilaya ya Kivu ya kusini, huko DRC. Wazazi wa mtoto huyo walifariki, lakini, mtoto huyu mchanga, amekutwa ni mzima katika tokea hilo, kwa muujiza wa Mungu, kwani maji yalifurika
I alway move to another step, when listening to yr preachings, pastor let God glant u long life
Mwanzoni mwa kuanza kufuatilia mafundisho yako pr .sikuwa nakuelewa ila hakika sasa kiiila siku lazma niangalie vipindi vyako humu.nimengi nimejifunza na naendelea kujifunza .namshukuru Mungu aliekupa karama hiyo ubarikiwe sana pr.
Amina!Mungu akubariki sana
Natamani kusapoti kazi hii unayoifanya ya kutuponya
Pr..Mmbaga...sijui nikushukuru vipi lakini namuomba Mungu aendelee kukutumia ili uwafikie wengi...maisha yangu yamebadilika kabisa...sio Kama hapo zamani...barikiwa pastor hadi ushangae
Kwa kweli vita hii niliyonayo ni ya Mungu kupigana mwenyewe,eeh Mungu nisaidie
Pastor wewe, cijui kama unajua vele mungu anakutumia(haa ) ungesangaaa sana . wewe kiwango chako binguni, HATA MUNGU mwenyewe, anakupeda sanaa
Ameeeeen pastor tumtumainie Mungu naomba aniimarishe Imani be blessed pastor from Nairobi Kenya
Nimebarikiwa Sana,Mungu wetu aliye hai akutunze daima
Amen. Somo hili ni la kwangu, nimejifunza na nimebarikiwa sana. God bless you Pastor abundantly.
Bigapu sana mtumish yaani unavyonibarik kama vile unajua changamoto ninazopitia amin sana maana ninaandaliw ili nitumike
Naningependa nipatenamba yako ya waspu
He is really a man of God!!!!
I thank God for you. How I stumbled upon you on TH-cam it's just a lead by the holy spirit. Be blessed man of God
Wow!! Amen
Kaka angu Mungu akubariki kwani kazi yake kwa upeo wa akili zangu unaifanya sawa sawa
Vita ni ya Bwana wa majeshi,ubarikiwe sana Pr
Amen Asante sana kwanenonzuri
Amina hata leo nime ona Mungu katika fundisho hili mchungaji barikiwa sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻👏👏
Amen and Be Blessed Man of GOD.
Amen,umekuwa baraka mchungaji Mungu aendelee kukuwezesha kwa utukufu wake
Mungu akubariki Sana, masomo yako yananibaliki Sana pastor.
I love the way you acknowledge the power of almighty creater ad our sustainer
Mchungaji huwa nakueewa sana mungu azidi kukutumia
Pasta nakupendaga baba yangu Mungu akubarik kwakuwa katika maubiri yako sikosaki neno lakunisaidi
Amen..
Amen Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa kwa neno
i am shocked to see dislikes what else do people want to listen to. God bless you . i am blessed
Agent of darkness
Asante sana mchungaji,neno LA faraja hili ,mungu ashukuliwe.Aendelee kukupaka mafuta
AMEN and thank you , Pr Mmbaga
Tuamini Mungu atupiganie hii vita. Atuelekeze cha kufanya hata kama wakati mwingine hatuelewi tunachopitia. Kunyamaza pia ni kweli maana watu wanakatiza tamaa ya kusonga mbele nimeona.
Amen Yatupasa kupigana vita bila kuogopa na kumwachia Mungu aingilie kati Thanks
Amina mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana levina venanci toka oman tuko pamoja.
YESU NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE ❤
Barikiwa sana mchungaji Hadi ushangae
pastor kweli kanye west ameokaaa banaa kakili mwenyewe kuwa only super star is JESUS
Alikili wap iyo sio! Anatafuta kitu
Mch asante sana umekua faraja kwangu, hii vita nilio nayo acha mungu apigane mimi mwenyewe siwezi
MUNGU AKUPE HAJA YA MOYO WAKO
AMEN
Amina sana Asante kwa hili mwaka 2022 vita ni vya Mungu pekee. Barikiwa sana mchungaji.
am victor kutoka Kenya... pastor una mafunzo ya kweli,nakuangaliga sana yutube Mungu akulinde uzidi kuieneza injili yake mbele
Pastor wewe ni mbaraka mkubwa kwetu Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sana. Hakika Yuko Mungu anayeishi
Amina! Vita ni vya Mungu namwachia apigane yeye
It is good lesson
Amina Amina, Mungu akubariki Pastor Mmbaga
Amen am blessed pastor Thank you
I have really been touched by your teachings, I wish I could see or talk to you or rather pray for the kind of challenges I am facing. But I believe now that you have tought me how to do it, be blessed
Q
Mahubiri yananibariki
Nabarikiwa sana mtumishi unapotulisha neno Mungu akutunze
Glory to God
I wish when you will pray for me directly, immediately almighty jehovah GOD will make me what he created me to be
Hallelujah! 🤲
Pasta naomba uniombee mungu akubariki
Mchungaji hongera sana mungu aendelee kukutumia nafwatilia mafundisho yako yamenifungia meng
Sijawahi kuchoka kusikiliza mahubiri yako Nabarikiwa saaana kwa Kweli! Mungu azidi kukutumia kwa ajili ya utukufu wa jina Lake!
Somo tamu sana ubalikiwe pande zote pastor
Amen
Mungu aendelee kukutumia Pr,nabarikiwa sanaa
Ubarikiwe mzee baba
Wewe ni nabii umetumwa na mungu kutoka mbingun mungu azid kukupa afya njema uzdi kutubadlisha kiroho
Amen
Be blessed pastor..
Amen chili somo limenipadilisha
Mungu wa Mbinguni, anisaidie sana! Mungu akubariki sana !
Amina Pastor
Aisee somo limenigusa pastor barikiwa sana
Amina
Kweli kabisa mtumishi
Alleluyah mungu nisaidie nisije kulalamika kwa mapito magumu, kwa sabau anaye nipigania yuko mbinguni
mungu akuba bariki mch naendeleya kuku tumikicha
Pastor you bless us may you live happily
Amina hakika unanibariki sana pastor
Amen. May the Lord above be with you always.
Please naomba Mungu anisaidie maana siitaji kuishi kwa fedheha
Aminaaa
Amen mchungaji ubarikiwe sana
God bless u so much
Somo hili limenijenga sana juu ya Imani na kumtegemea MUNGU. Ibarikiwe sana.
5:12 📌
7:14 watoto wengi wanaigiza wakicheza wanachezesha vitu kama familia na kumbe wanayaona
37:00 📌
Eeh mungu wangu, nioshe ili niwe dhabiu safi katika ufalme wako .
Asantee kwa mahubiri pst
Balikiwa sana napata kitu
Ubarikiwe jina la mungu litukuzwe
AMINA
Be blessed pastor
Pr.km vile umeniona mimi,ahsante sn.bt nina shida lkn cm hupokei
Namshukuru Mungu, nimekuona.
Barikiwa sana mtumishi
Ameeen
Hili la kusema kama kila mtu hata wa miezi ya kwanza ya kuzaliwa, anajua kuogelea. Tumeshuhudia mtoto wa miezi chini ya 6 ambaye ameokoka toka mafuriko katika vijiji vya Bushushu na Nyamukubi, tarafani Kalehe, Wilaya ya Kivu ya kusini, huko DRC. Wazazi wa mtoto huyo walifariki, lakini, mtoto huyu mchanga, amekutwa ni mzima katika tokea hilo, kwa muujiza wa Mungu, kwani maji yalifurika
Am so blessed
Ameeeeen
Amina amina
Amina!
,,,,,
Bali,nataka munisaidie nahilo somo ,mahali walemavu walipona wakati wa pasaka wakijiandaa kutoka misri.
Amen!
Ubarikiwe pasta nimeanzakukufatiriya katika maubiriyako naninaami nitabarikiwasana kwani nirikuwanimefikambari sana kufanya zambi
Ningependa maombiyako yanisaidiye nirudikataka mstari
pastor thanks for a good massage to u... it's has helped me alot... as u play rember me in u play.... am robinson from Nairobi
Kila nikitizama Mahubiri yako Napata kitu kipya
Amina
🙏🏻
Amina mtumishi wa Mungu, mafundisho yako yananibalisha kila siku, barikiwa sana.
Napata chakula cha kiroho pamoja na chakula cha akili
Niwapi lipo,nilitamani
Mungu akubariki kwa masomo mazur mchungaji
Your future iz coming
Naomba namba yako mtumishi
0627800175
Baba naomba namba yako ya simu 0759437236
45 :39 kuna muumini sijui kasinzia au ndo umakin
Vina ruhusiwa kupata namba ya huyu mtumishi wamungu?
Mtafute kwa whatspp +255 755 932 283
Unatumia jina gani inst
Damian Lugendo pr david mmbarga
Damian Lugendo MUNGU akubariki sana maana kupitia mahubili TV nimeuona mkono was BWANA
Amen
Wachungaji wachache sana kama wewe! Unatia moyo sana.hasa kwa mwenye changamoto kama hiyo
Ameen
Trusting in God in every situation of my life