JOEL LWAGA Feat. CHRIS SHALOM - UMEJUA KUNIFURAHISHA (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2018
  • JOEL LWAGA is an East African, Tanzanian Gospel Minister and recording Artist under his own label HCE (Heaven Culture On Earth) who is now popular through his various hit songs that have conquered over the places one of it is SITABAKI NILIVYO now this time he has featured the trending and rocking West African Gospel Minister from Nigeria CHRIS SHALOM who is also popular through his various hits one of it being MY BEAUTIFIER...together they Come with this Testimonial song UMEJUA KUNIFURAHISHA (You have made me Joyful) Expecting it to reach to as many more lives as possible and giving glory to God.
    Audio by; FRESTERS RECORDS (TZ)
    Video by; STEVE HUNTER (KNY)
  • เพลง

ความคิดเห็น • 4.6K

  • @maureenjagona8138
    @maureenjagona8138 หลายเดือนก่อน +68

    Nani anaskiza wimbo huu tena in 2024!

    • @anucymafigi9419
      @anucymafigi9419 หลายเดือนก่อน +1

      Here iam, my favourite song

    • @jennyk1509
      @jennyk1509 หลายเดือนก่อน +1

      Right here

    • @peterkisambwe2140
      @peterkisambwe2140 22 วันที่ผ่านมา

      Mimi peter kisambwe

    • @alexomwenga6304
      @alexomwenga6304 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi naiskiza 2025 tayari

  • @kaverejuliet7335
    @kaverejuliet7335 2 ปีที่แล้ว +1392

    I just did my wedding last Saturday....this song speaks my heart. It was the first wedding of the family...generational chains have been broken...it was not a walk in the park to get to it. GOD HAS DONE IT FOR ME....FOR US

    • @beatricemuthoni6158
      @beatricemuthoni6158 2 ปีที่แล้ว +19

      Hallelujah..... He's beyond boundaries

    • @Pac847
      @Pac847 2 ปีที่แล้ว +15

      God is so good!AMEN!

    • @co-creator4338
      @co-creator4338 2 ปีที่แล้ว +16

      Amen,looking forward to the same

    • @rosemaryagesik7117
      @rosemaryagesik7117 2 ปีที่แล้ว +5

      Glory be to God

    • @Be_Loved11
      @Be_Loved11 2 ปีที่แล้ว +17

      Congratulations and May God continue to uplift you as the cycle breaker in your family.
      To many blessed and blissful years in marriage 🙏🏿

  • @RamadhanKhalid-qc7bo
    @RamadhanKhalid-qc7bo 2 วันที่ผ่านมา

    Wimbo huu unanitonesha kidonda juzi jumamosi nimeondokewa ghafla na mtoto wa marehemu kaka yangu Is-haka Khalid simai, Mungu amlaze pema peponi. Amina

  • @Khenrobertscreatives
    @Khenrobertscreatives 10 วันที่ผ่านมา +1

    Here again at this hour of a peaceful night thinking of how this God has been faithful to me and my family and i can't get enough of this song😢❤❤❤

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 5 ปีที่แล้ว +1661

    Mimi ni mwislam ila hii nyimbo inanigusa sana hasa nikiwa na stress 😢 nikisikiliza tu huu wimbo na pata furaha Ahsante Kaka #JoelLwaga kwa nyimbo mzurii Yesu Akutunze milelee 🙏🙏 like hapa kama unamkubali #JoelLwaga
    👇

  • @viridianshali6642
    @viridianshali6642 4 หลายเดือนก่อน +24

    I must play this song on my wedding next year,i don't even have a boyfriend but i trust and believe in God He will let my future husband locate me sooner. Amen

    • @JojoJoellekakoma
      @JojoJoellekakoma 22 วันที่ผ่านมา

      GOD will give you in the good time,just believe.

    • @judyjudith5085
      @judyjudith5085 19 วันที่ผ่านมา

      Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 ปีที่แล้ว

    Amen...Umenifany BARAKA,,,YESU Wangu....Endlea kunitolea mikosi.nakunifuta machozi...BABA. Yangu...Ubalikiwe Mtumish wa MUNGU JOEL LWAGA... .Nkupenda sana

  • @bentahongaya1388
    @bentahongaya1388 ปีที่แล้ว +1

    Indeed baba umejua kunifurahisha🙏😭ntakusifu milele 💯👌nitakusifu milele

  • @joeyjoe9803
    @joeyjoe9803 3 ปีที่แล้ว +78

    I have been jobless for a while,I have never gone hungry or lacked anything,God knows how to make make me happy , I know he will do it again better and bigger in his name

  • @samuellimbu2693
    @samuellimbu2693 5 ปีที่แล้ว +116

    Joel Lwaga Tanzanian Gospel Music inajivunia wewe...Go goo brother

    • @joellwaga
      @joellwaga  5 ปีที่แล้ว +2

      Ameeen Ameen ahsante bro

    • @jonacmwalonde3016
      @jonacmwalonde3016 5 ปีที่แล้ว

      Nzuriiii

    • @godfreysangu8954
      @godfreysangu8954 5 ปีที่แล้ว

      Nilitamani siku nyingi kuona Gospel inavuka mipaka ya Tz na kwenda mbali zaidi, iwe mfano na kwa waimbaji wengine wa gospel

    • @BarakitoRodrigue
      @BarakitoRodrigue 5 ปีที่แล้ว

      Samuel Limbu subscribe kwenye channel yangu please

    • @BarakitoRodrigue
      @BarakitoRodrigue 5 ปีที่แล้ว

      jonac Mwalonde subscribe kwenye channel yangu please

  • @Jifunze_Kiswahili1
    @Jifunze_Kiswahili1 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu , unajua kufuta machozi. Utukuzwe , uinuliwe.
    Thanks Joel for this song, you are a blessing 🙌

  • @victoriaalfredaskitchen725
    @victoriaalfredaskitchen725 9 หลายเดือนก่อน

    He has Done it. All glory to the Most High God. Hee utukufu wako siguzi baba, Utukufu ukurudie Eeh Mungu wangu . Asante Elohim.

  • @charitywanjala3334
    @charitywanjala3334 3 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo mtaamu kweli, Ni wangapi Mungu amewafurahisha, ooh come on guys like 👇if God is the reason for your happiness 🙏

  • @husnamkwata2755
    @husnamkwata2755 5 ปีที่แล้ว +644

    Duuh mi mwislam but naiangalia sichoki ina ujumbe mzur, hongera mtumish wa mungu.... mungu akuinue zaid ya hapo....

    • @sinyorithmoha33
      @sinyorithmoha33 5 ปีที่แล้ว +8

      Husna Mkwata nice, hongera kujua kitu chenye ujumbe hata kama cyo cha dini yako.... penda kinachokufurahisha na kunachokufundisha!!

    • @joellwaga
      @joellwaga  5 ปีที่แล้ว +27

      Ameeen...ubarikiwe sana Husna

    • @abilaisaid6105
      @abilaisaid6105 5 ปีที่แล้ว +6

      Yesu ana mpango wa kukufuraisha dada husna

    • @winfridakyense6614
      @winfridakyense6614 5 ปีที่แล้ว

      Mungu aendelee kukuinua zaidi

    • @zinapzinap5665
      @zinapzinap5665 5 ปีที่แล้ว

      Mashallah 😋

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 ปีที่แล้ว

    😰😰😰😰😰"niliyeonekana sifai umeniheshimisha" hakika huu wimbo nakupenda Sana haijalishi Imani yangu napenda ujumbe wake 😘😘😘😘😘.

  • @carolinenganga2034
    @carolinenganga2034 2 ปีที่แล้ว +2

    For sure Baba umejua kunifurahisha 🤓🙏

  • @salmadonne6327
    @salmadonne6327 5 ปีที่แล้ว +636

    Mi mwislam lakin nashukuru kwa ujumbe mzuri sio dhambi kusifia kitu kizuri asante🎶🎶🎶🎶🎶🎶

    • @fredrickfresters3610
      @fredrickfresters3610 5 ปีที่แล้ว +4

      Ameen, Ubarikiwe sana Salma

    • @salmadonne6327
      @salmadonne6327 5 ปีที่แล้ว +9

      @@fredrickfresters3610 Ameen mpendwa sote ametufurahisha 🎶🎶🎶🎶🎶

    • @dottomashaka7285
      @dottomashaka7285 5 ปีที่แล้ว +4

      Salma Donne Ameeen Dada

    • @salmadonne6327
      @salmadonne6327 5 ปีที่แล้ว +3

      @@dottomashaka7285 Ameen mpendwa 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @gracegracegrace1827
      @gracegracegrace1827 5 ปีที่แล้ว +4

      Na kweli mama sio dhambi

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 5 ปีที่แล้ว +25

    Kwa hakika nina kila sababu ya kukujivunia eeh MUNGU wangu🙏🙏🙏#Umejua kunifurahisha BABA🔥🔥🇰🇪

  • @zainabcooky6539
    @zainabcooky6539 2 ปีที่แล้ว +1

    Soon lord I know am going to sing of you making me a blessing n kuniheshimisha....you never fail me daddy

  • @happinessmasimban
    @happinessmasimban ปีที่แล้ว

    Mungu alitenda zama za manabii.. anatenda hata Sasa! Mungu n Yule Yule Jana na Leo na hata milele🙏

  • @MW-ji2oq
    @MW-ji2oq 5 ปีที่แล้ว +1147

    This the song I'll walk down the aisle with in Jesus name!!

  • @Mercyree344
    @Mercyree344 3 ปีที่แล้ว +291

    This song will be in my wedding playlist when the right time comes in jesus name😊😊..as am writing this am single and hurting but God will restore every sadness with happiness.. #God's time 🙏

    • @fridahkiambati4770
      @fridahkiambati4770 3 ปีที่แล้ว +7

      I know one day God will fulfill the desire of my heart he will wipe my tears na kilichoonekana kama laana kitakuwa baraka,still waiting for my Faithful God.

    • @ocamelyne4812
      @ocamelyne4812 3 ปีที่แล้ว +4

      So be it in Jesus name.

    • @zipporahnduta
      @zipporahnduta 2 ปีที่แล้ว +6

      Amen Amen dear God will give you the desire of your heart.it is well

    • @Wakio231
      @Wakio231 2 ปีที่แล้ว +4

      Amen amen

    • @nyamwekomatoke9951
      @nyamwekomatoke9951 2 ปีที่แล้ว +2

      @@fridahkiambati4770 Mungu akupe hitaji la Moyo wako Frida

  • @liliankihara5103
    @liliankihara5103 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu baba kwa kunifuta machozi na kunifurahisha.thankyou lord i worship you in Jesus name Amen

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa kuniregeshea furaha na Amani,, napitia Hali ngumu lakini huu wimbo umenifariji moyo wangu saa Nina furaha,, Unajua kunifurahisha baba

  • @rachelnkembo3437
    @rachelnkembo3437 5 ปีที่แล้ว +353

    Kama umebarikiwa na hii collable na ujumbe wa nyimbo unakuhusu hebu gonga Like...

  • @khadijakhamis6600
    @khadijakhamis6600 4 ปีที่แล้ว +4

    Naipenda dini yangu ya kislamu lkn Joel lwaga napenda nyimbo zako zanipa moyo na ndugu hata nikiwa heartbroken nikiskiza nyimbo zako najawa na nguvu sijui hutoka wapi kweli mungu yupo nami thanks joel

  • @oscarmugala9251
    @oscarmugala9251 2 ปีที่แล้ว

    If the Lord was not on our side let Israel say,ni Mungu tu anayejua kutufurahisha

  • @margaretnganga4713
    @margaretnganga4713 2 ปีที่แล้ว

    My Daddy and my God amenifuta machozi . anajua kunifurahisha. This is the declaration of my heart

  • @mercyramsey6286
    @mercyramsey6286 5 ปีที่แล้ว +641

    Kenyans like here to appreciate this man of God

    • @princesaziza5197
      @princesaziza5197 5 ปีที่แล้ว +2

      May the almighty God bless you joel

    • @kayberacah7930
      @kayberacah7930 4 ปีที่แล้ว +1

      I didn't know this guy Boncena amefanya nkamjua and wow am in love with his songs

    • @josphinem673
      @josphinem673 4 ปีที่แล้ว +1

      My daily anthem.
      Baba umejua kunifurahisha

    • @sofiaharerimana9491
      @sofiaharerimana9491 4 ปีที่แล้ว +1

      Princes Aziza I’ll

    • @christinamtete9521
      @christinamtete9521 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakika wimbo huu ni faraja yangu,

  • @mwasitially2928
    @mwasitially2928 5 ปีที่แล้ว +1058

    I'm Muslim but I like gospel music
    🙏💞❤️

    • @adonisoden2054
      @adonisoden2054 5 ปีที่แล้ว +23

      Karibu Mwasit.. Kwa Yesu.. Yeye alitolewa sadaka msalabani kwa ajil ya kuwaokoa watu wote watakao mkubali na kumruhusu aingie moyon mwao.. #Yesu ni mtamu Saana#usichelewe kuja Kwake.

    • @kevinnjani164
      @kevinnjani164 5 ปีที่แล้ว +8

      GOD IS GOOOOOOOOOD

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว +3

      Mwasiti Ally very good God is for all of us

    • @mwasitially2928
      @mwasitially2928 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kevinnjani164
      🙏

    • @mwasitially2928
      @mwasitially2928 5 ปีที่แล้ว

      @@davidchesco52 very true

  • @user-nf3ub7ud1k
    @user-nf3ub7ud1k หลายเดือนก่อน

    This song has been a blessing to me,Especially after i lost my job.I have never lacked.

  • @iamnkirote
    @iamnkirote ปีที่แล้ว

    So inspiring, Mungu naomba unifute machozi nimelia siku nyingi Mungu wangu.😭😭

  • @levinahachieng65
    @levinahachieng65 5 ปีที่แล้ว +383

    Kweli Mungu umenifurahisha 2019,umenibariki na mwana kwa miaka mingi bila Mtoto.

    • @lykamlaki7120
      @lykamlaki7120 4 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @erickfrank6656
      @erickfrank6656 4 ปีที่แล้ว +2

      Daaaaaaah pole mungu atakupa bora ww unaetamani mtt mm nimeachiwa mtt wa miaka miwili yuko kijijin nikisikiliza hii nyimbo namkumbuka mwanangu mpaka nabaki nalia inaniuma sanaa😢😢😢😢😭😭😭

    • @lykamlaki7120
      @lykamlaki7120 4 ปีที่แล้ว +3

      @@erickfrank6656 ameshapata mtoto 2019 ndivyo alivyosema.

    • @erickfrank6656
      @erickfrank6656 4 ปีที่แล้ว +6

      @@lykamlaki7120
      Amina hakika mwenyezi mungu acha aitwe mungu maana anasikiliza vilio vya wengi mm namuomba mwenyezi mungu kila kukicha anipe mwanamke aliesahii kwangu aje kumlea pia kijana wangu😭😭😭

    • @lykamlaki7120
      @lykamlaki7120 4 ปีที่แล้ว +4

      @@erickfrank6656 utapata usijali, Mungu atakupa kwa wakati wake kama umemuomba, usiharakishe.

  • @ashaomary8881
    @ashaomary8881 5 ปีที่แล้ว +306

    Aisee uyu kaka amenifanya nipende nyimbo za kikristo ingawa mie muislam pia navyosikiliza napata amani ktk moyo wangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie kipaji chako

  • @dorcas831
    @dorcas831 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aendeleye kukubariki kwakuwa tunabarikiwa kupitiya wimbo huu🇳🇴🇨🇩🙏🙏🙏🥰🥰🥰❤️❤️❤️🔥🔥🎉

  • @catherineezekiel3292
    @catherineezekiel3292 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa Mwingira umejua kunifurahisha, Asante baba

  • @Gram-rt4zv
    @Gram-rt4zv 2 หลายเดือนก่อน +3

    My wedding song....ilishika sana ...the best testimonial song

  • @princessamekeh6493
    @princessamekeh6493 5 ปีที่แล้ว +30

    Aki Kama singekuwa najua uyu Chris Shalom ni m Nigeria si akili ngezidi kunchanganya kabisa, you look alike aki physically na sauti pia. Big up for this nice collabo brother,,, Mungu akupeleke mbali zaidi ya pale unapo tamani akuweke. BE BLESSED!

  • @faithashley1536
    @faithashley1536 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteh kwa huu wimbo maana mungu amenena kupitia huu wimbo amenifuta machozi

  • @kevingikonyo3394
    @kevingikonyo3394 4 ปีที่แล้ว

    Mola asifiwe na apewe cheo enzini alivyo mkuu. Yadunia huwa mazito na yenye majonzi wakati mwingi ila usalimishi na huruma zake zapita Kifani....atukuzwe Yesu kristo mpa amani kila kuchao

  • @zippynjenga4477
    @zippynjenga4477 3 ปีที่แล้ว +11

    Wangapi tumefurahishwa na Mungu tukaona mwaka mpya?
    Let's thank the Lord 🙏

  • @emeldashikanda7981
    @emeldashikanda7981 2 ปีที่แล้ว +12

    Praise be to God this song hits me hard😭😭😭because it happens to be my story,,,I was once rejected by my other siblings because we don’t share the same dad but who is God,,,If He want you to shine He will surely make you a star and even if you are going through hardship never forget to pray to God because He is the only one who can help you go through the hardship safely and rem hardships are there to strengthen us at some point I felt alone in this world my mom who loved me and whom I loved died at the time when I really needed her but God has been faithful He always sent good friends my way who made me forget the rejection I was facing from my family,,,a year would end without me hearing a word from them but WHO IS GOD😭such a Mighty Man who is always by our side all you have to do is believe in Him ,,,I am not perfect but I have always experienced His presence in my life ,,,those who never bothered to know how I was doing are the once who now text to ask me why I am silent,,,those who felt I am useless are the ones asking for my help,,,is that Not God🤔 He is A Living God🙏

  • @raidantheafricano4918
    @raidantheafricano4918 4 ปีที่แล้ว

    Oooh daddy ooooo umejuwa kunifrahisha babaaa nitakusifu milele.
    Awesome and thanks for the big issue bro

  • @ericmwandikigospelministry9696
    @ericmwandikigospelministry9696 ปีที่แล้ว

    Kweli Baba Mungu anajua kufurahisha watoto wake. Mungu akubariki mtumishi.

  • @purplesensationke1271
    @purplesensationke1271 ปีที่แล้ว +43

    I also speak Grace and everyone who is going through a hard time,May this song be a breakthrough for all of us...We shall revisit here again

  • @jamesnyorotha8961
    @jamesnyorotha8961 3 ปีที่แล้ว +103

    I just walked down the aisle with this song this past weekend. What a wonderful God who answers prayer.

  • @RosemaryNjuguna
    @RosemaryNjuguna 3 หลายเดือนก่อน +2

    I used to sing this song while in high school believing God will change our lives now in 2024 the word I proclaimed in our lives have come to pass hallelujah!😊praise the most high God

  • @beathaenos8521
    @beathaenos8521 3 ปีที่แล้ว

    Napenda napenda saana nyimbo zako zote,alooh una karama ya uimbaji kwel hujavamia, usije acha kuimba nikiwa na wakati mgum naskiliza nyimbo zako na zinanifariji na kunipa nguvu za kuendelea....Mungu aendlee kukuongoza Ktk safari yako ya kumtumikia yy

  • @millyjames3315
    @millyjames3315 3 ปีที่แล้ว +11

    Kama umekuja kumuona Joel baada ya kumuona Diamond kumsifia.,.plzz eka like twende saws mpendwa

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 5 ปีที่แล้ว +39

    Video&wimbo 🔥🔥..."umenipa sababu ya kujidai na kukutukuza🙌👏" "you've turned my life around" tuwape likes Kama zote hawa watumishi Joel & Chris

    • @ramadhanigamba933
      @ramadhanigamba933 5 ปีที่แล้ว +1

      lusungu mhenzi umeniwai kuitazama. Seriously ni nyimbo nzur sana

    • @ramadhanigamba933
      @ramadhanigamba933 5 ปีที่แล้ว +1

      lusungu mhenzi umeniwai kuitazama. Seriously ni nyimbo nzur sana

    • @mariakelly1046
      @mariakelly1046 5 ปีที่แล้ว +1

      It is a good song♥️

    • @rtlusungu
      @rtlusungu 5 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanigamba933 Hahaha ulilala tatizo 😂😂

    • @rtlusungu
      @rtlusungu 5 ปีที่แล้ว

      @@mariakelly1046 sanaa.. Wameutendea haki🙌

  • @jacklinenyandaya5749
    @jacklinenyandaya5749 3 หลายเดือนก่อน +2

    I believe very soon ill be walking down the Isle.....i will use this song
    God shall wipe away my tears
    I am hopeful 🙏🏻🙏🏻 because i know God restores what was lost🙏🏻
    #Faith

  • @chrispinechristian238
    @chrispinechristian238 3 ปีที่แล้ว

    huu wimbo unanikumbusha kwenye ndoa yangu, Joel alipafom live kanisani na huu wimbo ndo ulikuwa wa kwanza , naupenda sana huu wimbo sana

  • @faithmwende6547
    @faithmwende6547 5 ปีที่แล้ว +36

    Imanipaniel here feeling blessed from 974 nakupenda tu kakangu, Our God He never disappoints, He takes us through troubled waters to test our Faith.🇰🇪🇰🇪

    • @DiboboTv
      @DiboboTv 5 ปีที่แล้ว +1

      974 tumebarikiwa na wimbo huu kweli

    • @faithmwende6547
      @faithmwende6547 5 ปีที่แล้ว +2

      @@DiboboTv zaidi yaani upako juu ya upako

    • @DiboboTv
      @DiboboTv 5 ปีที่แล้ว +1

      @@faithmwende6547 kabisa, nice song indeed

  • @lindahoney360
    @lindahoney360 5 ปีที่แล้ว +51

    When Joel sings I'm always speechless now together with this callable I don't know wat to write..if your blessed given it a thumb

    • @BarakitoRodrigue
      @BarakitoRodrigue 5 ปีที่แล้ว

      Linda Honey subscribe kwenye channel yangu please

  • @lyserjorge70
    @lyserjorge70 3 ปีที่แล้ว

    Baba umejua kunifurahisha.Asante Yesu kwa kila ktu katika maisha yangu

  • @mitchellemuindi2708
    @mitchellemuindi2708 4 ปีที่แล้ว

    Umenifuta machozi... Daddy umejua kunifurahisha..amina wacha neema iwatoshe.. Cant wait to meet you ministers in person...

  • @naomilemi4717
    @naomilemi4717 5 ปีที่แล้ว +50

    Amina! Yehovah Shammah🎀 sasa hapo sawa. kama imebarikiwa na nyimbo hii ya wasanii hawa kimataifa gonga like injili isonge mbele🌹💕👍

  • @clarasilaa9817
    @clarasilaa9817 4 ปีที่แล้ว +261

    Kama mungu anajua kukufurahisha gonga like

  • @janetauma896
    @janetauma896 2 ปีที่แล้ว

    I lost my husband just 6 months ago,thaught that won't make it this far but my. Father above amenifurahisha tangu, am blessed

  • @sorinewekesa9066
    @sorinewekesa9066 7 หลายเดือนก่อน

    I always admired having a nice gadget ....ahhh...God did it...am a happy soul...gratitude to Him🙏

  • @pascalinebahati8190
    @pascalinebahati8190 4 ปีที่แล้ว +6

    Umerudisha tabasamu langu usoni💓 umerejesha na furaha yangu moyoni ✊umenijibu kwa wakati nisiozanii 👌baba ume juwa kuni furaisha 💗💗

  • @magrethlawrence1523
    @magrethlawrence1523 5 ปีที่แล้ว +127

    my first day getting a job,,,I prayed this for the full day

  • @lucywkinyanjui398
    @lucywkinyanjui398 หลายเดือนก่อน

    Lord thank you for wiping my tears and shame away. I know you are faithful and a promise keeper.❤❤❤

  • @esthermalikia4975
    @esthermalikia4975 4 ปีที่แล้ว

    Umenifurahisha ubarikie kaka,ninaishi marecani wimbo hu umenijenga moyoni ubarikiwe❤👌🙏

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 5 ปีที่แล้ว +18

    Mungu amekupa kipawa kikubwa Sana na anataka atumie kitu ameweka ndani yako Hakika this song is such an inspirational it's touches so many life's it's melody and message penetrates mpka kwenye systemic circulation I love you both nice collaboration

  • @martintiganyagaile1815
    @martintiganyagaile1815 5 ปีที่แล้ว +29

    JOEL ZIDI KUJISHUSHA UNA VIWANGO VIKUBWA MNO YAANI KWA NAMNA MLIVYO MATCH NA CHRIST THIS SONGO NI FIRE! FIRE! FIRE! FIRE!

    • @joellwaga
      @joellwaga  5 ปีที่แล้ว

      Ameeeen🙌

    • @sesymgunda5076
      @sesymgunda5076 5 ปีที่แล้ว

      Mungu awainue watumishi mungu kawachagua. Anen.

    • @georgedamas7097
      @georgedamas7097 5 ปีที่แล้ว

      Umenibariki sana Joel, Kiswahili lugha yetu adhimu kinaenda mbio sana....

  • @RealProffesiona
    @RealProffesiona วันที่ผ่านมา

    Baba umejua kunifurahisha, baada ya maumivu umenipa amani

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 20 วันที่ผ่านมา

    Baba unajua kunifurahisha. Baridkiwa Kaka Joel Lwaga kwa ujumbe mzuri 🎉

  • @jacintamisiko5815
    @jacintamisiko5815 ปีที่แล้ว +46

    Being alive and healthy is more than enough for me to praise him all my life

  • @mtumishiwamungumwl.emmanue6014
    @mtumishiwamungumwl.emmanue6014 5 ปีที่แล้ว +16

    Safi Sanaa kikubwa zidi kunyenyekea mbele za Mungu utafika mbali.
    Mimi pia Ni Muimbaji natamani kufika hapo ulipo na zaidi.
    Barikiwa Mtumishi.

  • @annwahito9264
    @annwahito9264 3 ปีที่แล้ว +2

    Baba umejua kunifurahisha.
    Father to the fatherless. You wipe my tears. Asante. Nitakusifu milele.

  • @milly2006
    @milly2006 9 หลายเดือนก่อน +2

    Baba umejua kunifurahisha,. BABA umenifuta machozi. 🙌🙌

  • @Bakedbyrita
    @Bakedbyrita 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimebarikiwa sana nkiimba hii nyimbo mpaka nasisimkwa mwili mzima ,hakika Mungu anafuta machoz wapendwa wake

  • @mariamprotace7759
    @mariamprotace7759 5 ปีที่แล้ว +17

    Uwiiiiiiiii Kweli Joel you deserve a reward aiseeeeeee
    Wimbo mzuri una ujumbe wa kutia Moyo na kufariji
    Mungu aendelee kukuinua

  • @rahabmbiyu5196
    @rahabmbiyu5196 2 ปีที่แล้ว

    Baba umenifuta machozi.Beautiful life you've given me.

  • @shadyahmadshebwanashebwana5651
    @shadyahmadshebwanashebwana5651 2 ปีที่แล้ว

    Daah huu wimbo sichoki kuusikiliza kila itwayo siku ,umenifuta machozi

  • @minajones7699
    @minajones7699 3 ปีที่แล้ว +16

    Tulikuja hapa baada Ya Diamond🦁 kuukubali huu wimbo tujuane

  • @sue_beauty6053
    @sue_beauty6053 3 ปีที่แล้ว +179

    Anybody here in 2021.. The song is still a blessing..

    • @Wakio231
      @Wakio231 3 ปีที่แล้ว

      Niko hapa my sister

    • @barikijohn3068
      @barikijohn3068 3 ปีที่แล้ว +1

      I'm listenin right now

    • @najmaharoun5103
      @najmaharoun5103 3 ปีที่แล้ว +3

      Am a Muslim but I really enjoy it

    • @kosejordinegracie4239
      @kosejordinegracie4239 2 ปีที่แล้ว +1

      I am lady...This song is part of my routine... Awwwwweee...indeed He has turned my life around!!

    • @lavizvalez9089
      @lavizvalez9089 2 ปีที่แล้ว +1

      True

  • @annwangari4735
    @annwangari4735 ปีที่แล้ว

    God when my words fail please read my heart.Thanks lord for I know unaenda kunifurahisha hata zaidi,Glory and honour back to you my GOD.

  • @janiffernduku2183
    @janiffernduku2183 ปีที่แล้ว +1

    KWELI MUNGU NIMWEMA KWETU🙏🏼 🎉....AMENIJIBU KWA WAKATI NISIODHANIA😢😮😊🎉🎉WAKATI MAAADUI WAMENIDHOOOFISHA NIKAWA SIWEZI KUAMKA NIOMBE 😭😭😭...HE HAS REVIVED AND RESTORED ME GLORY BE TO HIM🙏🏼🙏🏼🙌🏾🙌🏾✨️

  • @halimamshami3279
    @halimamshami3279 5 ปีที่แล้ว +284

    Am a Muslim but this song really inspires me at time feel like he wrote by seeing me#God is awesome stay blessed

    • @loisenjeri5456
      @loisenjeri5456 3 ปีที่แล้ว +3

      Amen
      😇😊

    • @beatricekerubo1287
      @beatricekerubo1287 3 ปีที่แล้ว +10

      Amen dear. True happiness is in Jesus Christ son of The living God. Hata ukiwa na shida ndani ya Yesu ni salama. Jesus loves you and longs for you dear. Come to Him before it's too late. These are End days.

    • @zippynjenga4477
      @zippynjenga4477 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @lucyotuoma4394
      @lucyotuoma4394 2 ปีที่แล้ว +5

      Always know God loves you so much irrespective of your religion

    • @JMBM8822
      @JMBM8822 2 ปีที่แล้ว +1

      Yes He loves you. You are the apple of Jesus' eye . He loves you so much. And everything you here He did. Rise and ressurect... He did it for you and the world. Not only for Christians. Love you sister Halima. ❤

  • @brendacana6258
    @brendacana6258 5 ปีที่แล้ว +12

    Uwiiiiii this song🔥🔥
    I'm over blessed
    Hamjawai niangushaga yaan🌟🌟

  • @dativamachary
    @dativamachary 3 ปีที่แล้ว

    Umetutia faraja si wadogo zaki,kaka yeti tunakupenda Sana💝💝💝💝💝💝💝💝

  • @isacknko5199
    @isacknko5199 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama una ona neema za mungu Na baraka za mungu juu yako Kenya na Tanzania naomba like hapa

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 5 ปีที่แล้ว +616

    Kama unaamini Mungu ndiye furaha yako pekee hapa duniani gonga like

  • @dianawangui3698
    @dianawangui3698 6 หลายเดือนก่อน

    Najua Baba utanipa nafasi nyingine,wewe wajua kunifurahisha,najua utanifuta machozi Yesu.

  • @mychrissboy6014
    @mychrissboy6014 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba umejua kunifurahisha💓💓
    Ume nipa motto Wa kiume👏👏balikiwe

  • @catherinenkiza8550
    @catherinenkiza8550 5 ปีที่แล้ว +30

    Baba umejuakunifurahisha nilifanya assessment tests mara mbili ya tatu baba (Mungu wangu)ukanifurahisha na points asante sana baba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌nitakusifu milele🤗🤗🤲🤲🤲

  • @shukurunipanga6017
    @shukurunipanga6017 5 ปีที่แล้ว +48

    kwel kwa magumu yote niliyopitia mpaka hapa nilipo sijabaki Kama nilivyo Bwana umejua kunifurahisha .... Be blessed servants of God

  • @djamilaniyinkunda2846
    @djamilaniyinkunda2846 ปีที่แล้ว

    Kweli baba umejuwa kuni furahisha kabisa 🙏🙏🙏♥️♥️♥️😍😍

  • @vennahdimilo365
    @vennahdimilo365 2 ปีที่แล้ว +1

    Father to the fatherless for me now and even motherless bt above all wiped my tears away I appreciate

  • @grycngugi278
    @grycngugi278 2 ปีที่แล้ว +86

    My 3/3 days of fasting and I've already started to sing songs of Thanksgiving.... Aaaaww❤️❤️what a mighty God we have!!!

  • @elderphilbert6711
    @elderphilbert6711 5 ปีที่แล้ว +48

    Joel has the cutest eyes ever!!❤❤ ..who else agrees with me?? ...(smiles)Joel,.. miss u bro!! meet u at the Top!! #ForHisGlory #TeamJesus

  • @musyimipurity9444
    @musyimipurity9444 9 หลายเดือนก่อน +1

    Am gonna sing this song of testimony in the near future...am looking forward to a job opportunity after a long ailing in the streets with good papers and experience...😢😢😢

  • @chepkorirmercy7576
    @chepkorirmercy7576 2 ปีที่แล้ว

    This is the song I will walk down the aisle with,Tho iam single now I know one days God will give me my right man,,till that days comes let me continue waiting on God

  • @concesafl
    @concesafl 5 ปีที่แล้ว +131

    Kama umeepnda chris alivyoimba kiswahili..like❤🔥🙏

    • @hamadyneymary655
      @hamadyneymary655 5 ปีที่แล้ว

      God's Child silali bila kuskializ huu wimbo, hakika umejua kutufurahisha

    • @otilialawrence8872
      @otilialawrence8872 5 ปีที่แล้ว

      🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I'm so proud for them.

    • @hsjwjjshwhsjsjsjh7689
      @hsjwjjshwhsjsjsjh7689 5 ปีที่แล้ว

      nimependa sanaaa

    • @linoshirima304
      @linoshirima304 5 ปีที่แล้ว

      mambo unaendelea je nitumie hela 70000000 usiku mwema kwaeli

    • @jeanmiruho4770
      @jeanmiruho4770 5 ปีที่แล้ว

      AMINA KUBWA

  • @gloriamwanjala1455
    @gloriamwanjala1455 5 ปีที่แล้ว +16

    Another morning devotion anthem..
    Unanifurahisha baba for this beautiful life you've given me..nitakusifu milele..

  • @jescaakyoo2989
    @jescaakyoo2989 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mungu akubarki mtumishi nikiskilza uwa nafurai sana kwa Yale mungu aliyo nitendea.barkiwa sana na mlpendeza mnooooo.

  • @Maria-ic5kp
    @Maria-ic5kp 9 หลายเดือนก่อน

    Listening from Tacoma WA US this has become my National Anthem!!!

  • @susanwachira3606
    @susanwachira3606 9 หลายเดือนก่อน +3

    This is my testimony today and it will be my testimony forever!! God thank you,your girl is happy. Always remind me you're greater than EVERYTHING ❤🎉