TUNDU LISSU AONDOKA NA KIJIJI CHATO, WATU ZAIDI YA 60 WAUAWA NA ASKARI|GARI LA CHADEMA KUCHOMWA MOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • TUNDU LISSU AONDOKA NA KIJIJI CHATO, WATU ZAIDI YA 60 WAUAWA NA ASKARI|GARI LA CHADEMA KUCHOMWA MOTO
    Tundu Lissu amefika Chato kuzungumza na wananchi kuhusu Mkataba wa Bandari akiwa kijijini huko ameelezea jinsi wananchi wanavyouawa na askari chanzo kikiwa ni uvuvi wanaoufanya pembezoni mwa Kisiwa cha Rubondo (Hifadhi ya Taifa ya Rubondo).
    #mwanza #raissamia #trending #bandari_song #rip #ruthkadiri247 #daresalaam #simbasc #yangasc #wazirimkuu

ความคิดเห็น • 64

  • @BensonMpete
    @BensonMpete ปีที่แล้ว +5

    Lisu ipo siku utakua pale ikulu Mungu akulinde sana

    • @JumakimawaMinzanoni
      @JumakimawaMinzanoni ปีที่แล้ว

      Ipi hiyo ikulu?labda ya kwako!

    • @BensonMpete
      @BensonMpete ปีที่แล้ว

      @@JumakimawaMinzanoni unakimbilia kujibu kwani we ni lisu?

    • @Gracemima
      @Gracemima ปีที่แล้ว

      Mungu apishe mbali. Huyu ni puppet mkubwa wa wazungu. Hana adabu anatukana kila mutu.

    • @BensonMpete
      @BensonMpete ปีที่แล้ว

      @@Gracemima ashakum si matusi viva lisu viva

    • @LaizaErnest
      @LaizaErnest ปีที่แล้ว

      ​@@BensonMpeteviva kamanda wetu

  • @lucianoshija1292
    @lucianoshija1292 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atuokoe

  • @jacoblongo6814
    @jacoblongo6814 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂
    Serikali Mungu anawaona kila damu isiyo na hatia inawalilia
    Mtabuna

  • @antonymomba8185
    @antonymomba8185 ปีที่แล้ว +5

    Vumilieni mnao furahia ujinga huyo anakubalika poleni mnao umizwa na maneno yake

  • @juliusndossa201
    @juliusndossa201 ปีที่แล้ว +5

    Kama una uelewa wa kutosha hiyo ndo maana ya kumwamsha magufuli. Maana yake kufikisha ujumbe mahususi .

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz ปีที่แล้ว +2

    Walekeza wa Tanganyika hatujielewi Tatizo shule mungu atusaidie hasa la bandari samahani hawjasoma wa Tanganyika,

  • @francizzykasowizzy7991
    @francizzykasowizzy7991 ปีที่แล้ว

    Lissu 4 life Haki haidhurumiwi #People'sPower

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee lissu we ni balaaa

  • @GeraldMbega
    @GeraldMbega ปีที่แล้ว +5

    Kina wasira wezi, wanapandikiza chuki tu kwa wananchi.

    • @AllyMazinge-k6x
      @AllyMazinge-k6x ปีที่แล้ว

      Wanao pandikiza chuki sio wasira huyoalie mkimbia mgufuli halafu leo anaenda kuwakejeli watu wa chato mm namuona mnafiki wanalazimisha nchi uvunwe ubelgij njoka mwenye vichwa viwili

  • @tluwaysulle
    @tluwaysulle ปีที่แล้ว

    Mzee nakuunga mkono asilimia 1000000000000000

  • @gosbertfransis106
    @gosbertfransis106 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa washenzi kama wasira hawakosi ndio maana ata bunge lote la wasomi wamejilipua nakupenda KWA hoja nzuri zenye mashiko hao maccm hawajibu hawana jipya

  • @gosbertfransis106
    @gosbertfransis106 ปีที่แล้ว

    Lissu wewe ni Yesu wasila akafe au alee vitukuu

  • @AminaMinja
    @AminaMinja ปีที่แล้ว

    Tunaomba Mungu aingilie kati atuokoe kama wana Israel kwani unyama umezidi kwa binadamu wasiokuwa na hatia.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unavuta bangi umeingiaje kwenye uandishi wa habari ?

  • @Gracemima
    @Gracemima ปีที่แล้ว +1

    Watu zaidi ya siting wauwawa na police, jamani wako wapi watetezi wa haki za binadamu? Watu sitini wameuwawa sijamusikia Rais kusema chochote. Bila Shaka watu Hawa ni masikini.

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 ปีที่แล้ว

    Kuna Watu wanafaa kukaa Ikulu lkn si Watu wa Vurugu kama hawa

  • @deven.oauditx7547
    @deven.oauditx7547 ปีที่แล้ว +3

    Kichwa cha habari kinapotosha ukweli wa habari yenyewe.

    • @sindyvibe7149
      @sindyvibe7149 ปีที่แล้ว +2

      Umemsikia kweli anachoongea Tundu Lissu??

    • @SilvesterRaphael-xb6it
      @SilvesterRaphael-xb6it ปีที่แล้ว

      ​@@sindyvibe7149watu 60 waliokufa wako wap?

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi ปีที่แล้ว

      ​@@sindyvibe7149hajasikiliza😂😂😂

  • @IvoFransis
    @IvoFransis ปีที่แล้ว

    Kwann mnaandika vichwa potofu na kinachojiri? Watu 60 waliokufa wamezikwa lini?😮😮 Acheni upotoshaji waisira ni mwehu tu

  • @SabrinaMilanzi-sv2gm
    @SabrinaMilanzi-sv2gm ปีที่แล้ว +1

    Wananchi hawaelewi Kama Hawa niwaajiri wetu tuamke mtu mweusi wake up my

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 ปีที่แล้ว

    Hivi lissu Ana Sera gani ya chake anyowaeleza wananchi zaidi ya kusema na kukashifu watu wengine. Anatakiwa atambie Nini tutarajie kutoka kwake. Vinginevyo Hana jipya

  • @LazaroMagaho-fx3wp
    @LazaroMagaho-fx3wp ปีที่แล้ว

    Saf mkuu

  • @MichaelSolayi-wr1se
    @MichaelSolayi-wr1se ปีที่แล้ว

    Inchi ime uzwa

  • @AllyMazinge-k6x
    @AllyMazinge-k6x ปีที่แล้ว

    Ww ding umeathirika akili ww unajenga nchi au mnajenga nn unao uwezo wanao kuishi ubelgij kama ulivyo mkimbia mg leo unajifanya mwema kwake duu pesa hatari sana et mwanasheria wacheni kupotosha watu nadhani nyinyi wote ni vibararaka 2

  • @AmosiMwaji
    @AmosiMwaji ปีที่แล้ว

    Hotuba ya samia nanenane mbeya

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 ปีที่แล้ว

    Wananchi wa chato msiwe wajinga. Chadema wamekuwa wakiwabeza nyinyi kuwa hamstahili kuwa na uwanja wa ndege, hospitali ya rufaa na huduma nyingine. Hawa wakipata madaraka wataziondoa huduma zote za kiserikali zilizopo chato kwa Sasa wanazozilslamikia

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd ปีที่แล้ว

    Lisu kwa nn usife ww kwa yale marisasi. kazi yako ni ujinga tu.

    • @tluwaysulle
      @tluwaysulle ปีที่แล้ว +1

      We ndo mjinga ambaye hajielewi Bora kuwa shoga ambaye ameamua nn anakifanya kuliko unasema lissu mjinga

  • @RaymondAndrea-k3l
    @RaymondAndrea-k3l ปีที่แล้ว

    Mfya maji haishi kutatapa.Unatmbeaje na maneno ya mtu?Ina maana huna ya kwako,huo ni unafiki:Magufuli angekuwepo usingekanyaga Chato.

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 ปีที่แล้ว

    Sasa ww ni chizi

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 ปีที่แล้ว

    Nimekusikiliza kwa umakinii mwanzo mwisho wa hii clip sijasikia ukimwambia Magu amka kama ulivoahidi ukifika Chato...
    Kimsingi hayo ndio maneno ya kuongea kama Mpinzani... Mengine sijui Ushoga halalii,sijui Nchi inauzwaa ni maneno unayopaswa uwaaminishe Watu wasio na uelewa.

  • @joelthomas-mx6gm
    @joelthomas-mx6gm ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio tabu ya kilamtu kuwa mmiliki wa CHOMBO cha habari.
    Usengesana mnapandikiza chuki et watu 60 wameuliwa KWAIYO nyie ni jeshi la police SHAME

    • @sindyvibe7149
      @sindyvibe7149 ปีที่แล้ว +1

      Siyo ungesikiliza kwanza Stori nzima ndiyo utoe ya Moyoni?? Hujamsikia Lissu akisema watu 60 wameuawa Rubondo na Askari wa TANAPA?

    • @TanzaniaFisheriesGroup
      @TanzaniaFisheriesGroup ปีที่แล้ว

      Ulikufuru ulisema utamuamsha umemuamsha ulikua haupo leo unatamba na kejeli na kufuru haya

    • @thepresidenttobe5481
      @thepresidenttobe5481 ปีที่แล้ว

      Bwege wewe, SHAME mwenyewe mpuuzi mkubwa. Unafurahia wenzako kupigwa risasi

    • @faustinejemsi1488
      @faustinejemsi1488 ปีที่แล้ว

      ​@@thepresidenttobe5481Umeona

    • @iddymkeamkea4034
      @iddymkeamkea4034 ปีที่แล้ว

      Nikweli lake manyara ndugu zetu walipigwa risasa, r.I.p ndug zetu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 8 หลายเดือนก่อน

    Politician with the capacity drive saycology of people on his maindset without fear address first what wasira thinking on his brain forget lisu is more than wasira capacity thinking badluck Forest belong to Tanzania national but Tanzania people deeth on on our own forest killings by forenor who own our Tanzania Forest it is the time Tanzania people to wekerup rengforce resist this few politician who enjoys our resources with the forenor

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 ปีที่แล้ว

    Watu wa chato Ni waajabu kweli wanawezaje kumsikiliza mpumbavu Kama huyu lissu, ambaye hafurahi kuona hospitali ya rufaa imejengwa chato? Kama kwamba wananchi wa chato si watanzania?

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 ปีที่แล้ว

    Vipi amemuamsha?

  • @vrk7602
    @vrk7602 ปีที่แล้ว

    Propaganda. Zenu

  • @hassaniulende-sp6io
    @hassaniulende-sp6io ปีที่แล้ว +1

    KWELI BAADHI YA WATANZANIA AKILI ZAO KAMA PUMBU HIVI UNADIRIKI KUSEMA KUA LISU AWE RAIS NCHI HII MNAFIKI MKUBWA , IBLISI LAAATU LLAAH ,

    • @SubiraShuma
      @SubiraShuma ปีที่แล้ว

      Kka huyu mhuni tuu Kama wahuni wengine

  • @AwadhOmary-x7z
    @AwadhOmary-x7z ปีที่แล้ว

    Eti raisi alete waarabu wenzake alafu mkiambiwa chadema ni wadini mnakataa mbona husemi wazungu

    • @repsphrs5051
      @repsphrs5051 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio unaleta Udini!
      Na akili yako imekaa kidini

  • @karimkassam571
    @karimkassam571 ปีที่แล้ว +2

    Huyu azomewe maana mchochezi

    • @sesicasi1364
      @sesicasi1364 ปีที่แล้ว +1

      Amechochea bandari zetu zote zigawanywe kwa waarabu eti? Amechochea maliasili zetu kuuzwa kwa waarabu eti! Wewe ni mhonjwa wa akili.

    • @heartchangara628
      @heartchangara628 ปีที่แล้ว

      Mchochez wawa mini acha ushamba

    • @MariamWilliam-z3v
      @MariamWilliam-z3v ปีที่แล้ว

      Nyie mnaosema mchochez ni mikundu tu hamna ht akili kosa lake nn mnamtukana kumamae zenu mbwa nyie subirien muolewe mpka baba zenu waolewe

  • @zachariamalley7076
    @zachariamalley7076 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani. Mzomee porojo hizo. Hayo hayo ndo alizusha wakati wa serikali ya awamu ya tano.

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +1

      Kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako angekufa ndugu yako usingeongea hayo