LISSU AKINUKISHA WAKATI AKITOA GARI POLISI ALILOPIGWA NALO RISASI, PLATE NAMBA YAKE APEWA MWINGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2024
  • #TANZANIA: Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwasha wakati akitoa gari lake alilopigwa nalo risasi mwaka 2017, plate namba ya gari lake apewa mtu mwingine ambaye anadhaniwa kuwa Askari Polisi.
    Zaidi: • LISSU AKINUKISHA WAKAT...

ความคิดเห็น • 93

  • @user-ks9bz4nf2n
    @user-ks9bz4nf2n 21 วันที่ผ่านมา +15

    Tz hakujawahi tokea mwanasiasa bora Kama TUNDU LISSU

    • @user-et9vf2ro2k
      @user-et9vf2ro2k 17 วันที่ผ่านมา +2

      Nimekulaik illa t jua kuna bora wengine pia walio mtangulia na yeye kaka lissu ana jua hilo maana anamtangulizaa maaalim kuliko yeye na hili akitamka mara kazaa lissu

  • @mauamkamba4906
    @mauamkamba4906 21 วันที่ผ่านมา +11

    Ningeshauri ipelekwe makumbusho moja kwa moja, bora uchangiwe gari nyingine

  • @user-cz4pu9py5s
    @user-cz4pu9py5s 21 วันที่ผ่านมา +17

    Hiyo ipelekwe makumbusho ilivyo tuchangishane tununue nyingine ya kazi

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 วันที่ผ่านมา +1

      Akili huna hiyo aliyoitoa alinunua au mlimchangia au alipewa na serikali?

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@emmanuelmlowe-ew7gxAlinunua mwenyewe!

  • @paschalmagai751
    @paschalmagai751 21 วันที่ผ่านมา +5

    Pole sana mwamba na nguli wa siasa Mh. TL, tupo pamoja kwenye mapambano kiongozi

  • @karamarwamugema3700
    @karamarwamugema3700 21 วันที่ผ่านมา +11

    Mlemavu ni bora kuriko mfu. Huwezi jua wanaweza kufa wote waliohusika ukiwa hai na ukishuhudia. Ndiyo sara yangu kwako

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 21 วันที่ผ่านมา +11

    Pole kaka Lisu, inanikumbusha tena uchungu, nilivyohuzunika kipindi hicho

  • @lucasmatokeo
    @lucasmatokeo 3 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana kwakurudushiwa gari lako mungu aendelee kukutunz

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 21 วันที่ผ่านมา +8

    Inauma sana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 21 วันที่ผ่านมา +8

    Pole sana cmde lissu. Mimi sina namna ya kukuchangia hata kama 1000. Labda ungetangaza ni jinsi gani tunaouguswa tungechangia katika madhira haya yaliyokupata lissu ambayo kibinadamu wala si kisiasa au vinginevyo, yanauma/yanatia simanzi.

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 21 วันที่ผ่านมา

      Inamaana huku hanging tangu miaka yote?

  • @wilifredmollel9690
    @wilifredmollel9690 21 วันที่ผ่านมา +6

    Pole sana

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 21 วันที่ผ่านมา +5

    Vielelezo vingi hupotea huko polisi... Kupotea kwa plate number ni ushahudi wa kupotea kwa vitu huko polisi..!

  • @steventeophil7775
    @steventeophil7775 21 วันที่ผ่านมา +5

    Mbeba maono hafi ni lazima yatimie

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 17 วันที่ผ่านมา

    Mimi nashauri lingepelekwa moja kwa moja kwenye makubusho isitumike tena mungu akupatie nyingine tu yakufanyia kazi hizo zulizopo mbele yako

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 20 วันที่ผ่านมา +3

    Hakuna mwanasiasa nnaemwelewa Kama Lissu tokea 2015 nimchague Magu 2020 nilimchagua huyu baada ya kuona ujasiri wake kwenye siasa

  • @DatuDatu-rr4oj
    @DatuDatu-rr4oj 9 วันที่ผ่านมา

    Pole baba utashinda kwanguvuza mungu

  • @yassinkimolo2943
    @yassinkimolo2943 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu iposiku ataingamiza CCM nikisema CCM sio Jina tu Hao ni watu ambao wapo tiari kuutoa uhai wamtu kwakulindwa vyeo vyao

  • @user-fq2nu2fr2w
    @user-fq2nu2fr2w 21 วันที่ผ่านมา +4

    Usilitengeneze litawekwa tu kwenye JUMBA LA MAKUMBUSHO Mwakani baada ya KUAPISHWA

  • @NeemaChacha-ly2ug
    @NeemaChacha-ly2ug 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 18 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kamanda tutazidi kukuombea kama kuna madhaifu yoyote kwenye mwili wako mungu atakufanya upya uendelee kutupigania watanzania

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 21 วันที่ผ่านมา +3

    Weka makumbusho hiyo na utangaze mchango tukununulie nyingine new brand

  • @nkolemuya9283
    @nkolemuya9283 20 วันที่ผ่านมา

    Inatia uchungu sana
    Nchi ya mizaha kwenye maisha ya watu😪
    Mwenyezi Mungu azidi kumlinda na kumbariki Tundulisu

  • @wilifredmollel9690
    @wilifredmollel9690 21 วันที่ผ่านมา +8

    Tunaomba namna ya kuchangia matengenezo kamanda

    • @rogathesarwatt
      @rogathesarwatt 21 วันที่ผ่านมา

      Hili liende makumbusho ya CDM tumchanginengar jipya

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni mwizi unataka kutengeneza hela kukifanya unachangia hela kwaajili ya lisu

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 วันที่ผ่านมา

      @@rogathesarwatt mwizi wewe mbona mwenyekiti hamjamchangoa gari

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 วันที่ผ่านมา

      Jichangie wewe kwsnza

  • @user-jk3hu7nz3f
    @user-jk3hu7nz3f 10 วันที่ผ่านมา

    Good bless you Mr TUndulisu

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika Mungu ni mwema 🙏🙏

  • @antidiusalfred4686
    @antidiusalfred4686 21 วันที่ผ่านมา +3

    Acha mungu aitwe mungu

  • @emmanuelymganga5737
    @emmanuelymganga5737 21 วันที่ผ่านมา +1

    poleeh mkuu

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 21 วันที่ผ่านมา +5

    Hiyo namba ya gari,inatumiwa na nani,atajwe jina halaafu kesi akabidhiwe wakili Madeleka hadi ajulikane😢

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 21 วันที่ผ่านมา +3

    Nimeumia sana, machozi yamenitoka. Magufuli mmmmh

  • @kirariwilanya1850
    @kirariwilanya1850 21 วันที่ผ่านมา +2

    Hilo gari lisitengenezwa litakuwekwa makumbusho ya Taifa mara tu baada ya kushinda uchaguzi 2025 na kuapishwa kuwa Rais

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 21 วันที่ผ่านมา +1

    Survived to tell the talle.
    Kwa mara ya kwanza namuona Lissu ana " lengwa " na machozi. Inauma sana Wallah

  • @mariopeter140
    @mariopeter140 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ni mwema sana ,

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 21 วันที่ผ่านมา +2

    Akiamua Raisi nife Mimi na wanangu wote au wewe usomae hii sms anawapigia simu chawa wake ni within no time napotea....
    Hii nguvu ya kuwa Mungu mtu, Raisi aipata kwenye katiba yetu.
    Mabadiliko ya katiba tuyapiganie!!

  • @eduardomala150
    @eduardomala150 12 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ilikuwa kwenye nafisi ya juu sana kama nchi salama na inayodumisha amani. Lakini, kwa tukio hili na mengineo, inayowakabili baadhi ya raia ambao wanatumia uhuru wa kufikiri tofauti na wengine, basi nchi imeshuka daraja. Ni swala linalohitajika kubadilishwa na vizazi vipya. Itawawezekana tu, mungu ni mwema.

  • @masangaben7089
    @masangaben7089 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    This was an extremely sad situation...but at least uliponea.

  • @horizongroup-tanzania6363
    @horizongroup-tanzania6363 21 วันที่ผ่านมา +2

    Ukiangalia matundu ya risasi ndipo unajua Neno Moja tu tunapaswa kumwogopa Mungu kwani ndiye pekee anayeweza kuangamiza mwili na roho!

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 20 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli umenena vema, uhai na hatuna ya maisha yetu yamo mikononi mwa Muumba wetu!

  • @moseskyaman9323
    @moseskyaman9323 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sitakufa bali nitaish na nitayasimulia matendo ya bwana

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 20 วันที่ผ่านมา +1

    Hapana muheshimiwa hio gari iwe makumbusho isitumike tena sisi tuko tayari kuchanga na kununua nyingine

  • @salama1113
    @salama1113 21 วันที่ผ่านมา +1

    acha mungu aitwe mungu

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 21 วันที่ผ่านมา +1

    Natumaini waliokufanyia hivyo wengine walishaondoka wewe Mungu akakulinda

  • @thediplomat6165
    @thediplomat6165 10 วันที่ผ่านมา

    Kama ni Kenya ungepata mabati bila miguu, engine na taa

  • @johnvenus7507
    @johnvenus7507 10 วันที่ผ่านมา

    Gari ina tundu Kama jina lake

  • @SaidMaanjumati
    @SaidMaanjumati 18 วันที่ผ่านมา

    Wew Emmanuel kuma ya mamaako unaongea ujinga huna uninadam yaani mtu ajipige risasi kichwani kwa dhumuni gani angekua babaako ungecoment ujinga

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 15 วันที่ผ่านมา

    Da! Kashapata ilemavi tundulisu

  • @hassanswaleh8720
    @hassanswaleh8720 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sioni media kubwa kubwa tz bwana hakuna democracy

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l 20 วันที่ผ่านมา

    Kiboko ya ma ccm
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Lissu chukua maua yako wewe ndiyo dume la mjini

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ila tundu lissu

  • @SamwelNyamanga-dd9xn
    @SamwelNyamanga-dd9xn 20 วันที่ผ่านมา

    Pole sana lisu

  • @gressbanda7094
    @gressbanda7094 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe Kama nani?

  • @Laizer3
    @Laizer3 16 วันที่ผ่านมา

    Siasa ni mchezo mchafuuu

  • @emmanuelmakorere4835
    @emmanuelmakorere4835 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wejamaaunaeongea hivyojiangarie iposikunaweweutatoborewa arafutusemeumejitobowa mwenyewe

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 20 วันที่ผ่านมา

    Kesi imekwisha waliofyatua risasi wamefungwa?

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 20 วันที่ผ่านมา

    Plate namba kapewa mwingine kivipi

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 15 วันที่ผ่านมา

    😏😏😏😏😏

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 21 วันที่ผ่านมา +1

    Makonda

  • @gressbanda7094
    @gressbanda7094 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 makumbusho 😅

  • @janeshija6638
    @janeshija6638 20 วันที่ผ่านมา

    Iweke MAKUMBUSHO kila mtu awe wanakuja kuitizama na kusema hii gari imekula RISASI 32 RISASI 16 zikaingia mwilini. NANI KAMA MUNGU. Iko siku Mungu atawaangamiza wote na vizazi vyao.

  • @valencegustav1378
    @valencegustav1378 21 วันที่ผ่านมา

    Uchunguzi umekamilika?

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 20 วันที่ผ่านมา

    Kuna comments nyingine huwezi amini kama watu waajabu bado wanaishi duniani. Kajipiga mwenyewe!!!!!???? Wewe mzima ndugu, usiombe yakukute

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 21 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu ametoa kizibiti kilikuwa kikimuumbua maana gari limetobolewa kushoto yeye ametobolewa kulia kuonyesha alijitoboa mwenyewe na dereva wake ndio maana dereva amefichwa

    • @stanleyalfredy1938
      @stanleyalfredy1938 21 วันที่ผ่านมา

      Wewe unamatatozo kidogo ,angekuwa ndugu yako ungesema hayo?

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu 21 วันที่ผ่านมา +2

      mungu akupe Kansa na kisukali hili upitie maumivu

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 21 วันที่ผ่านมา

      @@YassinRajabu wakiishi kwamatukio hadi kujitoboa ili waseme wamepigwa

    • @user-sy2mp7mm8u
      @user-sy2mp7mm8u 21 วันที่ผ่านมา

      Mbwa WEWE hauna ubinadamu

    • @user-fq2nu2fr2w
      @user-fq2nu2fr2w 21 วันที่ผ่านมา +2

      MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI NA KEJERI ZAKO ILA JUA MUNGU NI MWENYE HAKI

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 21 วันที่ผ่านมา

    Alijipiga huyo mhuni

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 21 วันที่ผ่านมา

      Wewe unaweza ukajipiga mwenyewe tujaribu kwako au ni we ni Magu group

    • @hisanieljosephmasaki8040
      @hisanieljosephmasaki8040 20 วันที่ผ่านมา

      Una ufahamu mdogo sana ujipige risasi ili ufe HALAFU kusudi lako liwe nini huu ujinga wa elimu una gharama sana

    • @hisanieljosephmasaki8040
      @hisanieljosephmasaki8040 20 วันที่ผ่านมา +1

      Halafu nani kakupa jina hili lenye maana nzito ulitakiwa uitwe shetani pamoja nawe siyo hilo la Mungu pamoja nanyi kabadilishe jina lifanane nawe

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 20 วันที่ผ่านมา

      @@hisanieljosephmasaki8040 hujui kama hujui

  • @SadickMbalawata
    @SadickMbalawata 5 วันที่ผ่านมา

    Pole sana