JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 165

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 2 หลายเดือนก่อน +27

    Chuma cha mbeya mjini big up mungu wa mbingu na nchi akutuze akulinde akufanikishe ktk yote

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 2 หลายเดือนก่อน +13

    Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa rafiki yangu mh sugu ongera sana kwa hotuba nzuri mungu akutangulie

  • @RichardDaud-q4i
    @RichardDaud-q4i หลายเดือนก่อน

    Aliye pora uchaguzi mwaka2020 alaaniwe p1 na kizazi chake ameen

  • @jeanmarieirankunda-ww4bn
    @jeanmarieirankunda-ww4bn 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mheshimiwa SUGU hongera sana

  • @Euph59
    @Euph59 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi sana ku kusikiliza Sugu. Unaongea sera tu siyo Habari ya Nkurunziza, kudadeki. You are the right guy. Big up man💪

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 2 หลายเดือนก่อน +11

    Nyie si hamna mvuto ndo maana mnawasomba wasani ili watu waje hadi kusomba watu na magari duu jipimeni bila wasani muone wangapi wata kuja hao unaowaona wamekuja kwa mapenzi yao wenyew 🤝👏👏🤝👏✌️✌️✌️✌️✌️💐💐💐

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน +12

    Siasa ni vita ya maneno usiyejua utainua bunduki. Waacheni wanasiasa watoboane macho kwa vijembe wekeni bunduki na pingu chini.

  • @liljoh_002
    @liljoh_002 2 หลายเดือนก่อน +11

    president of Mbeya

  • @DicksonWilsoni
    @DicksonWilsoni 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ujumb mzuri barikiwa

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa anajua sana

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 2 หลายเดือนก่อน +11

    Chadema ni moto moto moto uwakao

  • @isayamwainga5745
    @isayamwainga5745 2 หลายเดือนก่อน

    Raisi wa mbeyaaa
    ❤❤❤❤❤❤

  • @Pascopeter-z8x
    @Pascopeter-z8x 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana❤❤❤❤ kamanda

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kamandaa wa mbeya 🎉

  • @KELVINHENRY-j1k
    @KELVINHENRY-j1k 2 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤❤piga kazi piga kazi

  • @VailethMwansyobe
    @VailethMwansyobe 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nakukubari sana kamanda

  • @SedekiaIsrael
    @SedekiaIsrael 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali kamanda

  • @BostonManase
    @BostonManase หลายเดือนก่อน

    Kula yangu nakupa kivyovyote nimekumiss sana bungen

  • @AmaniMwafyuma-jv1nl
    @AmaniMwafyuma-jv1nl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mbeya✌

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hapo kazi ipo

  • @FrankWilliam-l6b
    @FrankWilliam-l6b 2 หลายเดือนก่อน +4

    Thank mr Prezende Sugu tupo pamoja Kamanda Wangu.

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kumbe tulia aksoni alipola ushindi duu

  • @Flaviosafari
    @Flaviosafari 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jembe la mbeya..

  • @NurdeenMateka
    @NurdeenMateka 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa noma sana

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 2 หลายเดือนก่อน +5

    vzr mwamba

  • @mathewkasumba9485
    @mathewkasumba9485 หลายเดือนก่อน

    Duuuuuh ndugu yangu kwa tulia kama ameaminiwa na dunia ipu sembuse mbeya , tulia kwanza sugu mama amalize😂😂😂😂

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 หลายเดือนก่อน +2

    katika makosaaa chadema mnakoseaaa sana wasaniii huvutiaaa wanachama .

    • @FikiriniMwaluko
      @FikiriniMwaluko 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie si hamna mvuto ndo maana mnaita watu kwa kupitia wasan ndo maana, a kusomba watu na magari

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 2 หลายเดือนก่อน

      Muulize Zuchu ndo utajua, Wasanii wenyewe Hawa hataa hawana msaada wowote Kwa Wananchi Wala Taifa wamebaki kuwa Machawa tu.

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 2 หลายเดือนก่อน +2

    dah big boss spika atafute tu jimbo lingine tukuyu huko ila zaid ya hapo uteuzi utamuhusu mwakani😂😂😂😂😂

  • @mbwanasendaro4707
    @mbwanasendaro4707 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana sugu moto chini

  • @nicolousmwakalengela2258
    @nicolousmwakalengela2258 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaaa Hip-hop Bw Mheshimiwa Jongwe Eti KUDADEKI

  • @tonygabriel3363
    @tonygabriel3363 24 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anamwaga nondo

  • @onesphoryo407
    @onesphoryo407 2 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wa hizi figure,nje ya kutetea majimbo yao wanazungumziaga masilai ya taifa yaani majimbo yote nchini..i will always remain with you my brother sugu since 2010 you deserve to be there by 2025..vijana tunahitaji kuongea kwa hoja na sio kwa mitutu...

  • @subo2667
    @subo2667 2 หลายเดือนก่อน +12

    Tunaweza kumchukulia Poa Sugu ila kazini kwa Tulia hakujatulia,Kuna kazi

  • @yozayaperudi9072
    @yozayaperudi9072 2 หลายเดือนก่อน

    Wanaomba hela ya mwenge 😂😂😂

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 2 หลายเดือนก่อน +5

    Alivyosema Kudadeki huyo mama alistuka alijua masela anaenda kutukana hivi, ameogopa😂 wamestuka

  • @davisbenny7259
    @davisbenny7259 2 หลายเดือนก่อน +1

    MBEYA UP again

  • @mathewkasumba9485
    @mathewkasumba9485 หลายเดือนก่อน

    Unajua watu hatujui tofauti ya maneno ya jukwaani uongozi siyo sound nyingi tulia amatulia ila kwenye action yuko viziri saana kumi mingine zaidi tulia au tufanye ishirini mingine😂😂😂😂

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa namkubali sana japo hayupo kwenye Jimbo langu.

  • @DAVDChalse-db6tz
    @DAVDChalse-db6tz 2 หลายเดือนก่อน +6

    Niko mikonon mwa Polisi Maisha Yangu bdo ni Mikosi Afandeee!! Hii Ilikuwa Ngoma kali Sana wewe Ndo Mwanzilishi wa Bongo Fleva. Sio hawa Machawa wa CCM. Mungu akuongoze kaka Mwakan Uludi Mjengoni tumemisi Bunge lenye Meno

  • @KabeahHaruna
    @KabeahHaruna 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwamba pamoja

  • @RemmisonSangatiti
    @RemmisonSangatiti 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sanaaaaa

  • @kharidkasango4282
    @kharidkasango4282 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana kamanda

  • @ramsohouse2838
    @ramsohouse2838 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muheshimiwa umeleta jenereta 😂😂 sio jenereta greda hilo limekuja kujenga barabara

  • @FrancisLibaba
    @FrancisLibaba หลายเดือนก่อน

    Great

  • @petertungulu650
    @petertungulu650 หลายเดือนก่อน

    Ni Greda limekuja kujenga Barabara ya umeme

  • @DavidSoka-b7h
    @DavidSoka-b7h หลายเดือนก่อน

    ✌️🥰🥰

  • @NETIQIncorporation
    @NETIQIncorporation 2 หลายเดือนก่อน +2

    safi

  • @AbrahamMohamed-o4q
    @AbrahamMohamed-o4q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mbea mpeni 5 tena

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 2 หลายเดือนก่อน +2

    Harakati mwanzo mwisho

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 2 หลายเดือนก่อน

    Ahaaaaah,
    Ubunge tafutieni kwingine,

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 27 วันที่ผ่านมา

    Turi yeye amejenga wapii

  • @PeterSaqware
    @PeterSaqware 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kutukana sasa mbn uko vizuri tyu mheshimiwa

  • @MchizTrend-o9j
    @MchizTrend-o9j 2 หลายเดือนก่อน

    Makasiliko

  • @BlandinaMchona
    @BlandinaMchona 2 หลายเดือนก่อน

    Tena hakupigwa vizuri

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Good

  • @stevensimbeya2212
    @stevensimbeya2212 2 หลายเดือนก่อน +1

    ✌️✌️✌️✌️

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 2 หลายเดือนก่อน +2

    🎉

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 2 หลายเดือนก่อน

    Kila raheli mwamba 2025

  • @HassanSaid-i3z
    @HassanSaid-i3z 19 วันที่ผ่านมา

    Sugu noma

  • @LucyVenant
    @LucyVenant 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera

  • @rabwarab574
    @rabwarab574 2 หลายเดือนก่อน

    Mikopo ya bajaji na mang'oma?🏃‍♂️🏃🏃‍♀️😅

  • @giztony2009
    @giztony2009 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sugu moto chiniiu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilimwona tulia amemshika zuchu mkono kumbe alimleta kwenye kampeni 😂😂😂

    • @peterfania1005
      @peterfania1005 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio wanatumia wasaini kuongeza kura😂

  • @kiswantatv3817
    @kiswantatv3817 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwambaaaaa....Sugu

  • @SalumuLyenda
    @SalumuLyenda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa

  • @PeterSaqware
    @PeterSaqware 2 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa chadema waige hapa kwa sugu sio Kila siku katiba mpya! Hiyo katiba mtasema mkipata nafasi

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 หลายเดือนก่อน

    JONGWE😂😂

  • @joshuahamis2738
    @joshuahamis2738 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watanzania ifike mahali tubadilike, hii nchi ni ya wote sio kwaajili ya CCM tu na ifike mahali CCM iondoke madarakani tunataka mabadiliko

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mabadiko ni muhimu sana (CHADEMA INATUFAA KWA MABADILIKO HAYO!!!)

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakikaa mabadiliko ndo muhimu sana ila sasa ccm wanatumia dora kuiba haki ya wananchi

    • @mathewkasumba9485
      @mathewkasumba9485 15 วันที่ผ่านมา

      Haahahahhah jamani tulia akisitafu aje sugu ila mama yule ni hatari saana tutampa miaka mpaka achoke mwenyewe tu tulia oyeeee

  • @DicksonWilsoni
    @DicksonWilsoni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hi

  • @giztony2009
    @giztony2009 2 หลายเดือนก่อน

    Kula chuma hichoooooo sugu motoo chiniii

  • @stevenandrea3683
    @stevenandrea3683 2 หลายเดือนก่อน +1

    kweli hamna kintu apo

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 2 หลายเดือนก่อน

    Brother Tulia sio saiz Yako ebu nikushauri ukalime

  • @josephmwangita7041
    @josephmwangita7041 26 วันที่ผ่านมา

    Unatosha kulwa rais

  • @petertungulu650
    @petertungulu650 หลายเดือนก่อน

    Yote hayo yameainishwa kwenye Ilani ya Chama gani Kwenye Ilani yenu?

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack 2 หลายเดือนก่อน +2

    Cha Kushukiru tulia ni system au mfumo hozi! Tofauti na hapo wahezi kusimama na kujitutumua mbele ya Mwamba huyu, kwanza hata Sera Itikadi zake ni very week ukiongezea na udhaifu wake wa kushindwa kufanya representatives na kukosa mvuto wa Kisiasa.

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali sana Sugu napenda sana kumsikiliza

  • @ManguMangu-n4r
    @ManguMangu-n4r 2 หลายเดือนก่อน

    Unatisha

  • @augustinonkundambale8107
    @augustinonkundambale8107 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie kamanda wa mbeya na na nyasa kwa ujumla

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 หลายเดือนก่อน +1

    Biti nyingi lakini utachemka turia atakushinda % kwa 65

    • @nicomuhaya2260
      @nicomuhaya2260 2 หลายเดือนก่อน

      unafilwa mkundu mpaka akili 😅😅😅😅

    • @veronicatweve8908
      @veronicatweve8908 2 หลายเดือนก่อน

      Huelewi dunia inavyokwenda mwanangu pole 😢

    • @ambokilemussa3518
      @ambokilemussa3518 2 หลายเดือนก่อน

      Magufuri akimsaidia kupora tena

    • @BostonManase
      @BostonManase หลายเดือนก่อน

      Sisi tunamjua huyu mwamba, labda waibe kula tena

    • @AmedeusShiyo
      @AmedeusShiyo หลายเดือนก่อน

      Ataaa mama yako atashinda😊

  • @MeddyKashakala-di9jw
    @MeddyKashakala-di9jw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chumaa

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 2 หลายเดือนก่อน +2

    Utawalipa Nini?

    • @ABBASIKANDULU-kl8zc
      @ABBASIKANDULU-kl8zc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Achaa uafaraa wewe watalipwa kodii ya serikali Ambayo ni kodi yakoo pimbi wewe

  • @danielmwanguku2898
    @danielmwanguku2898 2 หลายเดือนก่อน

    Virungu vya Ugoko

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂🤚🤚🤚🤚🇹🇿❤

  • @BensonDickson-xf1ge
    @BensonDickson-xf1ge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alipewa ubunge hakuna alichofanya anataka nini sasa hatumtaki atafute Kazi zingine afanye sera hana Ila majungu tu kusema wengine tulia ni jembe anachofanya tunakiona

  • @josephadson6006
    @josephadson6006 2 หลายเดือนก่อน

    Mitano 5😂😂😂 sugu

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 2 หลายเดือนก่อน

    Sugu ongea vyote usimuongelee vby magufuli

  • @ModricMlungwana-u7y
    @ModricMlungwana-u7y 2 หลายเดือนก่อน +1

    2025 tuna simama na wewe Taita

  • @elishayohana-eb8bq
    @elishayohana-eb8bq 2 หลายเดือนก่อน

    Unaongea point sana Ina ukiingiza lugha za kiuni utawaacha wanyaqusa njiapanda kwaiyo acha hizo lugaha za kudadeki

  • @GodfreyNyoni-w1p
    @GodfreyNyoni-w1p 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sugu chuma chamber naamewachana ukwel

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu hapo, anaongea kihuni,

  • @thomassenga2526
    @thomassenga2526 หลายเดือนก่อน

    Hizi ndoo hoja za kuongea mikutanoni siyo matusi

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 2 หลายเดือนก่อน

    Chuma chikori moto

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂💪🏿💪🏿💪🏿

  • @SamsonJohn-mo7en
    @SamsonJohn-mo7en 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @BreezyMnyama
    @BreezyMnyama 2 หลายเดือนก่อน

    Wasafi media 😂😂😂😂

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @hamidumpiga6283
    @hamidumpiga6283 2 หลายเดือนก่อน

    Ulijenga ww hela ilitoka serekali ipi

    • @jaydon3361
      @jaydon3361 2 หลายเดือนก่อน

      Samia mbona anasema amejenga au huna akil

    • @musamwakalibule3383
      @musamwakalibule3383 2 หลายเดือนก่อน

      Serikali ya Tanzania!

    • @franciskasanga3491
      @franciskasanga3491 หลายเดือนก่อน

      Kodi zetu kiaz wewe

  • @rodrickkasilati183
    @rodrickkasilati183 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anawadanganya wasio wenyeji Hana lolote😂😂😂

    • @FikiriniMwaluko
      @FikiriniMwaluko 2 หลายเดือนก่อน

      Wee tuambiwe sasa mwenye lolote !!!????kazi ya shetani ni kupotosha ukweli

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 2 หลายเดือนก่อน

      Tulia ni ccm ndio muongo

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 2 หลายเดือนก่อน

    Joto la kisiasa hili. Kula kwa kamba yako.

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 หลายเดือนก่อน

    Mbeya ninawaamini sana kwamba ni mkoa wa watu werevu.
    Nitastaajabu mno mno msipomchagua Dr. Tulia Ackson. Hata dunia itawashangaa bila shaka. Yaani kumlinganisha PhD na mswahili huyu? Nyinyi Mbeya vipi?
    Huyu mwanamuziki anawadanganya kwa porojo hizo. Waungwana wa Westminster wanaasa, ... If you cannot fight them, Join them.
    Nawashauri tu.

    • @mcharomcharo8203
      @mcharomcharo8203 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uongozi ni kipaji sio elimu

    • @masagaemmanuel1629
      @masagaemmanuel1629 หลายเดือนก่อน

      Njaa inakunyanyasa, mjue kiongozi mwadilifu sio mapieichidii

    • @Zenampande
      @Zenampande 24 วันที่ผ่านมา

      Sasa elimu yake sisi inatuhusu nn