ASHLEY NASSARY - SINA JINA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Booking:
    emgrecordstz@gmail.com
    +255789242055
    @emgrecords
    More Play
    MSALABA: • Ashley Nassary - Msala...
    SHAMMAH: • Ashley Nassary - Shama...
    YESU KILA KITU: • Ashley Nassary - Yesu ...
    PUMZI: • Ashley Nassary - Pumzi...
    SINA JINA: • Ashley Nassary - Sina ...
    MASHANGILIO: • Ashley Nassary - Masha...
    USIYESHINDWA: • Ashley Nassary - Usiye...
    HALLELUYAH: • Ashley Nassary - Halle...
    The official TH-cam channel of ASHLEY NASSARY. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
    For Bookings & More
    Email: emgrecordstz@gmail.com
    Call: +255789242055, +255788662333
    #AshleyNassary #Usieshindwa #EmgRecords
    #EmgRecords #AshleyNassary #Tanzania

ความคิดเห็น • 729

  • @lameckyohana4714
    @lameckyohana4714 2 ปีที่แล้ว +35

    Mungu awabariki wote wanaosikiliza huu wimbo ukawe baraka katika maisha yetu. Amen

  • @boazdanken
    @boazdanken 5 ปีที่แล้ว +414

    Naupenda Sana Wimbo Huu Mungu akuinue sana Mdogo wangu na Muona Yeso ndani yako

    • @AshleyNassaryOfficial
      @AshleyNassaryOfficial 5 ปีที่แล้ว +11

      amen baba

    • @chrissmichaelmashouda1726
      @chrissmichaelmashouda1726 4 ปีที่แล้ว +3

      Zidi kumuombea Sana afikie Mahali Kama YESU alivokuinua Sana Kaka boaz nakukubali Sana na wewe YESU ajitukuze kupitiaaa uimbaji wakoo.... Ukaona lugha yangu haitoshi hahahh jaman

    • @anelusiwemengo7162
      @anelusiwemengo7162 4 ปีที่แล้ว +3

      Barikiwa Sana mnanibariki

    • @anelusiwemengo7162
      @anelusiwemengo7162 4 ปีที่แล้ว +3

      @@AshleyNassaryOfficial habar wimbo wako umenibariki kk

    • @nyakatitv7763
      @nyakatitv7763 4 ปีที่แล้ว +1

      Wao broo sikiliza nahuu basib th-cam.com/video/LORcUwSD2Ug/w-d-xo.html

  • @cruiseasphotographer
    @cruiseasphotographer 4 ปีที่แล้ว +11

    Huu wimbo nilikuwa napita sehemu nipo kwa gar ukawa unapigwa nje nikashika maneno kama mawil nimetumia kama siku sita kuupata nimefurahi sana leo kuupata barikiwa wimbo mkubwa sana

  • @DadaFeyKikoti
    @DadaFeyKikoti 5 หลายเดือนก่อน +5

    Leo nimepita kwenye changamoto nimefarijiwa sana na huu wimbo 19/4/2024😢😢😢🙏🙏🙏

  • @rosemarki34
    @rosemarki34 11 หลายเดือนก่อน +6

    Yesterday I become very sick and could not eat anything, feeling nausea and dizzy all day. It went on till midnight at 1pm this song came in my spirit and I started singing while hugging my bible. Just saying sina jina lingine I went to a deep sleep and I woke up today feeling very much better and no more dizziness and no more nausea. Kweli sina jina jingine ila jina lako Yesu.

  • @andrewnyasuru2917
    @andrewnyasuru2917 5 ปีที่แล้ว +19

    Wazee wa dislike huwa siwaelew...wimbo una barik kabsa huu...mtumish, Mungu akutie nguvu uendelee kuifanya kazi Bwana

  • @effiekinyaiya3450
    @effiekinyaiya3450 2 ปีที่แล้ว +6

    Huzuni, hofu mashaka na kukata kwangu tamaa kumeyeyuka ghafla baada ya kusikiliza hii nyimbo!! Jina la Yesu linaishi na lina nguvu ya ajabu sana pia! KristoMfalme aendelee kujitukuza ndani yako mdogo wangu🙏

  • @rosekuguru8627
    @rosekuguru8627 2 ปีที่แล้ว

    honger Sana Kaka angu nyimbo zako uwazinanibaliki zinatia moyo Sana mungu azidi kukupa maono mapya

  • @humphreyngallawa5630
    @humphreyngallawa5630 2 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU wa mbinguni akubariki sana kwa wimbo mzuri wa kumtukuza MUNGU,hakika hatuna jina lingine lenye nguvu zaidi ya YESU,,Wengine watataja waganga,wachawi na majina maalufu duniani but no One like JESUS

  • @shadrackkitavi
    @shadrackkitavi ปีที่แล้ว

    Napenda huu wimbo sana.. Wimbo wa Manjira yote.. Mungu hakubariki na Akuinue kiwango kipya...

  • @fetymikidady4122
    @fetymikidady4122 2 ปีที่แล้ว

    Naiona nguvu ya mungu ndani yakoo ...shetani akupitie mbali na vishawishi vyake uinuke zaid ya hap

  • @CharlesBahati-kd7yh
    @CharlesBahati-kd7yh 5 หลายเดือนก่อน

    Naupenda sana yan ata ninapo fika kazin kabla sijafanya kaz lazima niuimbe kwanza

  • @laurakisasa3162
    @laurakisasa3162 5 ปีที่แล้ว +69

    Unajua nachoogopa kukutazama after few years Hautakua hapaa sababu yn Ashley unajia Kua mnyenyekevu, na Lazima Mungu atakia anakufurahia mnooo, so he must Lift You Up, more than higher..I bless ya

  • @leakeymusic
    @leakeymusic ปีที่แล้ว

    YEEEEEEESU 🔥 🔥 🔥
    kaka nimekujua leo. Nyimbo zako zina upako nzito saaana. Mungu azidi kukutumia. Nimebarikiwa

  • @zuleashamte3128
    @zuleashamte3128 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Kaka yesu akuinue zaidi ya viwango hivi ulivyo namuona yesu ndani yako

  • @mosesngeni1354
    @mosesngeni1354 2 ปีที่แล้ว

    Nakupongeza sana wimbo wakumwinua Yesu umejaa nguvu huu wimbo

  • @GroryMichael
    @GroryMichael 2 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana kila nikiusikia huu mwimbo una ujumbe mkubwa mnoo..mungu azidi kukupigania kwa huduma yako

  • @sarahmwadala8484
    @sarahmwadala8484 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kwa kutumika vyema kutangaza ufalme wa mbinguni kupitia uimbaji MUNGU aendelee kukutumia sawasawa na mapenzi yake

  • @neemamhadisa4988
    @neemamhadisa4988 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiw San Kaka maan hata kanxan nyimbo. Zake znaalik uwepo mkubwa wa roho mtakatifu

  • @janethsamson1296
    @janethsamson1296 2 ปีที่แล้ว

    Naupenda San huuu wimbo unabarik maisha yangu San namungu akubarik sanaa

  • @ElizabethDiamu
    @ElizabethDiamu ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mno naupenda sana wimbo huu Mungu akuinue zaid na zaidi ni wimbo ambao unanibariki ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @chamblainreuben7431
    @chamblainreuben7431 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo hii inaningiza san uweponi mwamungu balkiwa sn kaka yangu

  • @samburuk
    @samburuk 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri San kaka

  • @KachangaaPalma
    @KachangaaPalma หลายเดือนก่อน

    Mungu aliyekupa hii mistari yakutubariki azidi kukupa maradufu barikiwa sana ktk huduma yako mungu akuinue ktk viwango vingine

  • @azizamuhali5531
    @azizamuhali5531 4 ปีที่แล้ว +11

    Watu tunajazwa roho mtakatifu, tunapona tunapata nguvu kupitia wimbo huu 😫 ubarikiwe mnooo 👏
    Lkn video inaupungufu wa shots na locations.

  • @farajajuddy4391
    @farajajuddy4391 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue utukufu hata utukufu mdogo wangu.barikiwa kila hatua.nabarikiwa na huduma yako kwa namna ya pekee sana.

  • @eunicehamis6933
    @eunicehamis6933 3 ปีที่แล้ว +7

    Kila mda, Kila Mara nauskiliza sana huu wimbo , mngu akuinue zaid upande katka viwango vya juu

  • @angelmsuya7423
    @angelmsuya7423 2 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kuuzoea huu wimbo,Mungu akutunze Sana

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 หลายเดือนก่อน

    Huu mchungaji wangu Six Bert anaupenda sana ukipigwa Gitaa Bass daah!

  • @samwelipascal315
    @samwelipascal315 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi hongeraa kwa wimbo mzur wenye nguvu za roho mtktfu

  • @bahatihakimu8613
    @bahatihakimu8613 5 ปีที่แล้ว +14

    Ubarikiwe kwa wimbo mzuri! ningepewa nafasi ya kushauri wimbo huu ulipaswa kuwa recorded kwenye ibada ya kusifu na kuabudu iwe kama live vile, ni wimbo uliobeba uwepo mkubwa sana, bado nashauri wimbo huu uwe re-recorded kwenye ibada ya kusifu na kuabudu ninahakika utagusa maisha ya watu wengi sana, utawapeleka watu vilindini kabisa kwenye uwepo wa Mungu

  • @maishokadori-ve2qz
    @maishokadori-ve2qz 10 หลายเดือนก่อน +3

    BABA NISAIDIE YESUUUUUUUU🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😭😭😭😭😭😭

  • @sophiamwakalenge513
    @sophiamwakalenge513 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni YESU ni YESU🙌🙏❤

  • @bettyfrancis4438
    @bettyfrancis4438 ปีที่แล้ว

    Kweli hakuna jina jingine!! Endelea kumsifu anastahili!

  • @eidmakero4193
    @eidmakero4193 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninaposikia nyimbo hii nahis kusisimka sana na ninamuona roh mtakatifu ndan yangu

  • @giftmlange3327
    @giftmlange3327 4 ปีที่แล้ว +24

    Naupenda mnoo wimbo huu 😘😘👏👏👏umeimba mwanangu na Mungu azidi kukuinua akuepushe na kila kusudi la muovu ukawe mboni la Yesu

  • @alphamarymakere1525
    @alphamarymakere1525 3 ปีที่แล้ว

    Naupenda sana huu wimbo,unanifariji ninapokuwa na majaribu

  • @ShukuruSamwel-po1wh
    @ShukuruSamwel-po1wh 5 หลายเดือนก่อน

    Nime farijika sana na huu wimbo nilkua Niki utafuta sana❤❤

  • @DerickNdonge
    @DerickNdonge 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwe sana kaka..kazi kubwa mno..nakubali unachokifanya

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na wimbo huu, GOD BLESS YOU

  • @christerrodgers6519
    @christerrodgers6519 4 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo bro fanya live utakuwa poa sana

  • @Cadensa1
    @Cadensa1 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo 'daki ni mzuri sana,; Maudhui, music arrangement na melody ni supa ispokuwa mtindo wa nywele tu.

  • @barakaezekiel5610
    @barakaezekiel5610 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo bora kupita maelezo barikiwa sana

  • @elizaberthsanga3619
    @elizaberthsanga3619 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana

  • @oliviammary8861
    @oliviammary8861 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi songa mbele na Mugu akuinue zaidi

  • @neemamwasigwa741
    @neemamwasigwa741 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli huu wimbo nikiusikiliza najawa na roho mtakatifu gafra jamaniii🖐️🖐️🖐️Mungu azidi kukuinuwa kwakweli

  • @ruthie_nakhungu1007
    @ruthie_nakhungu1007 ปีที่แล้ว

    Powerful song!
    Kweli hamna Jina lingine zaidi ya Jina Yesu

  • @danielmbaga3654
    @danielmbaga3654 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli sina jina lingine lenye nguvu ni yesu tu. Big up bro

  • @hellenmkenda4543
    @hellenmkenda4543 ปีที่แล้ว

    Naupenda sasa huu wimbo...Mwenyezi Mungu azidikkubariki

  • @salaphinasilvester9252
    @salaphinasilvester9252 4 ปีที่แล้ว +1

    Unanibariki sana

  • @isayangaillah5758
    @isayangaillah5758 ปีที่แล้ว +1

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @kutendawemanakushirikianas1903
    @kutendawemanakushirikianas1903 2 ปีที่แล้ว

    Moja Kati ya nyimbo yenye Nguvu Sana!

  • @sele2507
    @sele2507 3 ปีที่แล้ว

    Nafurah kukuona kwenye ibada ya leo BMC Shabach praise

  • @irenejames19
    @irenejames19 3 ปีที่แล้ว

    Kwakwel akuna jina lingine zaidi ya Yesu wet

  • @willygidion3404
    @willygidion3404 10 หลายเดือนก่อน

    Ni jina lenye nguvu
    Ni Yesu Ni Yesu Kristo mwana wa Mungu aliye hai hata sasa❤

  • @BarakajacsonBaraka
    @BarakajacsonBaraka 2 หลายเดือนก่อน

    Hata Mimi umenigusa sana mungu nimwema

  • @musanjagamba1857
    @musanjagamba1857 ปีที่แล้ว

    Nimeona Wimbo huu mzuri sana naufahamu sana kumbe umeimba wewe

  • @gradnessrojas8343
    @gradnessrojas8343 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda YESU japo sifat yak yote lakini bado uliniwezesha na ninaimani utaniinua🙏😓

  • @laurasempeho3432
    @laurasempeho3432 2 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kukubali kutumika kwa viwango hivi. Nabarikiwa sana na huu wimbo. Mungu apewe sifa!!

  • @immaculateakala9674
    @immaculateakala9674 3 ปีที่แล้ว

    Am desperate for you Lord.... Jina la Yesu lina nguvu

  • @successmaker7630
    @successmaker7630 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Ashley My lord God shower more annointing and blessings upon you

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU Akubariki uzidi nakuongezeka viwango

  • @westonkawina1929
    @westonkawina1929 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unanibariki Sanaa big up br

  • @ephrahimmasiko9873
    @ephrahimmasiko9873 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo uirudie video iwe live worship ukipenda mshirikishe Boaz, rehema au Gwamaka

  • @fadhilaally1212
    @fadhilaally1212 ปีที่แล้ว

    Yesu Anaimba ndani yako Na Anaonekana kabisaaaa🙏

  • @LydiaMollel
    @LydiaMollel ปีที่แล้ว

    Jina lapita majina yote ni jina la yesu pekee

  • @giftgnnko5125
    @giftgnnko5125 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubariki sana Ashley kazi yako ni njema uwe mnyenyekevu hv hv

  • @zawadi9112
    @zawadi9112 4 ปีที่แล้ว

    Amid corona...naliita jina la yesu.

  • @RevinaNtabaza
    @RevinaNtabaza 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wng ni wewe baba uwiii hakina hakuna ni Yesu

  • @sharksboom5772
    @sharksboom5772 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukupignia ktk uimbaji

  • @ernestermroso8327
    @ernestermroso8327 4 ปีที่แล้ว

    Hakika hakuna jina jingine zaidi ya jina LA YESU jina lipitalo majina yote.

    • @ernestermroso8327
      @ernestermroso8327 4 ปีที่แล้ว

      Mtumishi hakika wakati unaufikiria huu wimbo bila Shaka roho mtakatufu alitumika sana. Naupenda sana na unanibariki mno. Mwenyezi Mungu azidi kuionekania kipaji chako Ameni

  • @LilianMwamwaja
    @LilianMwamwaja 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana Mdogo wangu Mungu Azidi kukutumia kwa viwango vya utukufu wake na wewe uzidi kushuka

  • @bethchalamila1543
    @bethchalamila1543 6 หลายเดือนก่อน

    Munngu awainue katika viwango vya juu

  • @ezekiamwambepo3374
    @ezekiamwambepo3374 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki wenye vipaj vyenu

  • @TAVETADEO
    @TAVETADEO 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue Mtumishi...Ila video haijatendewa haki aisee

  • @niahmosha4146
    @niahmosha4146 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze Sana ur such a blessing in this new generation go son mungu akutunze,Holly spirit in in u , hallelujah hallelujah....

  • @ephatcharles9084
    @ephatcharles9084 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki. Sana inuka na utangaze makuu ya bwana

  • @thehead9947
    @thehead9947 ปีที่แล้ว +1

    Ni Moto sana

  • @dorcahogeto1544
    @dorcahogeto1544 3 ปีที่แล้ว

    sina jina lingine mimi, ila Jina Lako Yesu

  • @davidmwaisakila2605
    @davidmwaisakila2605 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe sana Mungu akuinue zaidi na zaidi

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 3 ปีที่แล้ว +2

    Sina sina sina😭😭😭😭😭😭😭zaidi yako wewe YESU sina mwingine😭😭😭🙌🧎🏻‍♀️🙏

  • @sarabedah4136
    @sarabedah4136 3 ปีที่แล้ว

    Jina lenye mamlaka na nguvu zote🙏

  • @janethmathew8205
    @janethmathew8205 9 หลายเดือนก่อน

    Nikiusikiliza huu wimbo yani nauona ukuu wa Mungu wa ajabu jamani, naziona nguvu za Mungu za ajabu . kuna mahali nilikataliwa kabisa ila nilipolililia ilo Jina nilipata kibali. Mungu azidi kukuongeza Ashley maana huu wimbo unanitafakarisha sana ukuu wa Mungu

  • @zipporahwanjiku7558
    @zipporahwanjiku7558 ปีที่แล้ว +3

    Kuna nguvu katika hii wimbo am blessed,glory to God🙏Jina la Yesu Lina nguvu nyingi 🙏🙏🙏🙏

  • @sebastiansilas8792
    @sebastiansilas8792 5 ปีที่แล้ว +21

    Shalom shalom, wimbo umebeba ukuu wa Mungu.. God bles u Ashley nassari.
    Nina ushauri kidogo kwa upande wa video. kama itawezekana kuirudia video but iwe kwenye location moja na kuandaa kamaa mfumo wa live ivii, ifungwe na taa (lights). Amen

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +1

    Dogo Mungu akutunze na atunze maono yako ufike ambapo Dunia haikutegemea

  • @japhetnnko7398
    @japhetnnko7398 4 ปีที่แล้ว

    Huuu wmbo huwa schok kuurudiarudia barikiwa kak

  • @marianapeter861
    @marianapeter861 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo unanibariki Sana MUNGU akuinue zaidi

  • @philberthpatrick4987
    @philberthpatrick4987 4 ปีที่แล้ว +7

    2020 tunaishi naye kweli? Like watoto wa Kristo

  • @pharesmitarya4892
    @pharesmitarya4892 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni Yesu Kristo pekee Mwokozi wetu wanadamu.Bwana Yesu akubariki sana Muimbaji was huu wimbo

  • @VivianMkumbo
    @VivianMkumbo 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sanaa,upo bzri sanaa mtumishi wa Mungu

  • @nebartnsemwa2626
    @nebartnsemwa2626 3 ปีที่แล้ว

    mzuri sana rudua kwa live perfomace au new video

  • @rosejohn2605
    @rosejohn2605 2 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️naupenda sana huu wimbo barikiwe sana kaka angu

  • @loiceleonardsolomon1843
    @loiceleonardsolomon1843 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo huu umenibariki sana nimeusikia leo kanisan nimekujita naimba muda wote mungu akubariki sana

  • @kizittohescary1213
    @kizittohescary1213 3 ปีที่แล้ว

    Bro nassary umebarikiwa sana ni Yesu tu

  • @fredymteule2092
    @fredymteule2092 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeisikia hii nyimbo uck SAA Tisa ktk radio nikaona niende u tube mpaka nikuone live... Am blessed much ..

  • @happyshemweta6449
    @happyshemweta6449 3 ปีที่แล้ว +1

    Sina jina lingine ni Yesuu jina lenye nguvu wow 🥰🥰🥰🥰

  • @annaramadhan9740
    @annaramadhan9740 3 ปีที่แล้ว +1

    nyimbo ina upako

  • @eliadeus236
    @eliadeus236 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni Yesu ni Yesu.Ubarikiwe Tena na Tena Kwa vipimo vya kujaa na kufurika

  • @mr.bernarddaniel9359
    @mr.bernarddaniel9359 7 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo ni mzuri Sana my God bless singer's