Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.Wafilipi 4:12
    Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene. Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa. Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote.
    Live recorded at: Shillo Studios
    Audio captured by: S&M Entertainment
    Mixed/Mastered by : Samuel
    Video captured by : Upendo Media
    Video Edited by: Fredrick Stephano
    Video Directed by : Huruma Charles
    Music Directed by; Samuel Yonah
    Musicians & Vocals:
    Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital
    #RehemaSimfukwe#Chanzo#GospelVideo

ความคิดเห็น • 4.6K

  • @susanngendo5824
    @susanngendo5824 15 วันที่ผ่านมา +14

    September 2024 still listening to this amazing song ...gonga like tukisonga

  • @mwlelishamathayo6528
    @mwlelishamathayo6528 3 ปีที่แล้ว +1496

    Nyimbo kama hizi sio za kuandika ni direct kutoka kwa Roho Mtakatifu mwenyewe.....MUNGU akupe kuliishi kusudi lake na kuufikia utimilifu wa wito wako ....

    • @sarahchaggu7073
      @sarahchaggu7073 3 ปีที่แล้ว +19

      Exactly.

    • @barakaephraim8367
      @barakaephraim8367 3 ปีที่แล้ว +7

      Wewe wasema stay connected!

    • @anordalex7571
      @anordalex7571 3 ปีที่แล้ว +13

      Yes nakubali, yani ni uhimbaji ulotukuka saana, unaoweza kumwinua Mungu kwenye kiti cha enzi akasema kweli duniani kuna watu.

    • @sylviakisanga7507
      @sylviakisanga7507 3 ปีที่แล้ว +1

      yes

    • @joynyassy972
      @joynyassy972 3 ปีที่แล้ว +5

      Amina, na apewe sifa Mungu mkuu

  • @Gikonyoea
    @Gikonyoea 2 ปีที่แล้ว +2102

    I've never admitted this to anyone but this is the only worship song that moves me to tears, and every morning at work because I'm always the first person to arrive...I put this song on full blast and I loose myself in God's presence...I end up crying my heart out singing this song and God did come through for me by surrendering myself completely to Him and from being a laughing stock for family members, to being unappreciated and underpaid at work God has opened the door for me to fly outside the country and work there during the world cup next year...truly Matthew 6:33 works, never loose hope, never go back to the world, God will come through for you!

    • @jmtvgospel2642
      @jmtvgospel2642 2 ปีที่แล้ว +8

      Wow i love this

    • @MoN_KaDO
      @MoN_KaDO 2 ปีที่แล้ว +9

      I'm get a power to keep gone even there cross wind ahead May God let me to be safe,not only me but with my family. Thanks My Lord Jesus Christ for the gift give to me 🙏🙏🙏

    • @pastorsallytv2024
      @pastorsallytv2024 2 ปีที่แล้ว +5

      Powerful testimony Alvin

    • @praxykiki2091
      @praxykiki2091 2 ปีที่แล้ว +2

      Congratulations bro,keep going Glory to God ,Glory to God.

    • @jerushanjiru3927
      @jerushanjiru3927 2 ปีที่แล้ว +2

      Woooow this is awesome God our source of life!!! Blessings to you!

  • @nancyjohnson6620
    @nancyjohnson6620 8 หลายเดือนก่อน +178

    2024 Bado ukiisiliziza unaskia uwepo wa MUNGU ndan yko😢 halleluyaa

  • @Epimack_s
    @Epimack_s 7 หลายเดือนก่อน +69

    Philippians 4:12-13 12 I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. 13 I can do all this through him who gives me strength. AMEN

  • @boazdanken
    @boazdanken 3 ปีที่แล้ว +139

    MUNGU Akubariki Sana Mtu wa MUNGU umenibaliki Sana Glory to Jesus

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +6

      Amen Amen my kaka

    • @furahaminde673
      @furahaminde673 3 ปีที่แล้ว +1

      UMENIBARIKI SANA GLORY To GOD

    • @sundaykasyupa2430
      @sundaykasyupa2430 3 ปีที่แล้ว +8

      Napenda unyenyekevu wako Boaz Danken. Mungu uwainua wanyenyekevu, Mungu uwapinga wenye kiburi.
      I love you my brother

    • @happychonde3451
      @happychonde3451 3 ปีที่แล้ว +1

      Boaz you are blessing to our generation

    • @nuruchandi4134
      @nuruchandi4134 3 ปีที่แล้ว +1

      Hallelujah

  • @joycewangeshi6202
    @joycewangeshi6202 3 ปีที่แล้ว +860

    May everyone listening to this song never lack favour before God's eyes.🙏

    • @mercymtitu3444
      @mercymtitu3444 3 ปีที่แล้ว +2

      AMINA MPENDWA..THIS SONG BLESSES AND HEALS THE SOUL.

    • @florahangel1718
      @florahangel1718 3 ปีที่แล้ว +4

      Amen and Amen. Same to you

    • @joynyassy972
      @joynyassy972 3 ปีที่แล้ว +4

      Amen. this song is pure unadulterated worship sweet melody to our heavenly father hallelujah!

    • @geofreybonyo9762
      @geofreybonyo9762 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen and Amen

    • @faithkirui8350
      @faithkirui8350 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen

  • @davineapondi
    @davineapondi หลายเดือนก่อน +3

    I'm here in 2024 August ❤ God just did it for me after I listened and sang it all 😂

  • @adeladavis1876
    @adeladavis1876 3 ปีที่แล้ว +210

    Yaani nilivyosikia huu mwimbo , nikaanza kulia maana nimepitia mambo mengi ila Bado Yesu ananipigania 😢😭😭😭 kuna muda nakataa tamaa kuendelea ila 🙏🏼

    • @upendosanga7044
      @upendosanga7044 3 ปีที่แล้ว +3

      Usikate tamaa Mungu yupo nawe hayo yote ametaka upitie kwa kusudi kabisa na kwa utukufu wake

    • @JBB875
      @JBB875 3 ปีที่แล้ว +1

      Usikate tamaa mpendwa, MUNGU yupo nawe, MUNGU Ni mkuu na ni mwaminifu sana

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 3 ปีที่แล้ว +1

      @@upendosanga7044 amina

    • @anthonyfahami5183
      @anthonyfahami5183 3 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa sana dada

    • @anthonyfahami5183
      @anthonyfahami5183 3 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana dada

  • @azizamuhali5531
    @azizamuhali5531 3 ปีที่แล้ว +146

    Nikikumbuka vile nililala na njaa, nikadharauliwa, nikakataliwa, nikasemwa namengine mengi huu wimbo unaniingia akilin mpk moyoni 😢 Mungu ni mwema sana hata sasa ameniheshimisha 😇😇

  • @dianandinda83
    @dianandinda83 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa 
Katika yote wewe bado Mungu 
Ninajua kushiba na kuona njaa 
Katika yote wewe bado Mungu
    Hata upepo nao uvume 
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa 
Katika yote wewe bado Mungu 
Ninajua kushiba na kuona njaa 
Katika yote wewe bado Mungu
    Ninajua udhaifu na kuwa na afya 
Katika yote wewe Bado Mungu
    Hata upepo nao uvume 
Mimi nitakuabudu wewe (Ooh Yesu Yesu)
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Hata giza nalo litande
Mimi nitakuabudu wewe 
Chanzo cha uhai wangu nakuabudu
    Nakuabudu Nakuabudu 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu 
Nakuabudu Nakuabudu 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu 
Nakuinua Nakuinua 
Wewe ni chanzo cha uhai wangu

  • @boazwambua387
    @boazwambua387 11 หลายเดือนก่อน +89

    I remember the first time heard this song I was arrested by the Holy Spirit and I cried like a child right in front of my wife and children..... The kids were like Daddy are you crying?... I couldn't control myself. Barikiwa sana Rehema Mungu azidi kukuinua... This is just a glimpse of how things will be in Heaven .... Just worshipping the KING OF KINGS, THE LORD OF LORDS, THE ONE WHO TELLS THE SEA THAT THIS IS THE FAR YOU CAN GO.

    • @rosena_-yw6tq
      @rosena_-yw6tq 5 หลายเดือนก่อน

      thanks I would love to also listen​@Follow_JesusDaily

  • @WorshipHubwithChama
    @WorshipHubwithChama 3 ปีที่แล้ว +316

    My neighbor just woke me up, with some loud music, instead of being angry, I had to search this song, What a song!.. what a song to wake me up.

    • @gwarawara887
      @gwarawara887 3 ปีที่แล้ว +5

      Mungu ana njia nyingi

    • @JBB875
      @JBB875 3 ปีที่แล้ว +1

      Glory to GOD

    • @emilyadhiambo7199
      @emilyadhiambo7199 3 ปีที่แล้ว +5

      Me too, i forgot to close the television,this song woke me up,

    • @penelopestanley7021
      @penelopestanley7021 3 ปีที่แล้ว +3

      Me too this song wake me up I heard it from my sister's phone.

    • @alphashila6957
      @alphashila6957 3 ปีที่แล้ว +1

      😆😆😆😆😆

  • @alexojeto5658
    @alexojeto5658 2 ปีที่แล้ว +338

    My son wasnt feeling okay last night and i and him hardly slept,today morning when i boarded a bus to work,this was the first song that was playing in the bus. I reached the office and quickly searched the song title and cried to God sababu yeye ndio chanzo cha uhai wake,some hours later i called the nanny to know how hes doing and was happy to hear that hes better and just playing around. Lord my heart is full,i will always praise you Jehovah even in the midst of darkness. Holy is your name

  • @DERICKMARTON
    @DERICKMARTON 3 ปีที่แล้ว +90

    Ila niwaambie ukweli jamani Mungu ametubariki saana AFRICA hongera saana dada yangu so proud of you🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥

  • @rachaelcarl9917
    @rachaelcarl9917 3 หลายเดือนก่อน +3

    17 -06-2024... God you are the source. I'm because you are God..glory

  • @brownangeldancers9563
    @brownangeldancers9563 2 ปีที่แล้ว +276

    I played this song again and again at a point when my fiance dropped me just like that ...I was on a travel..receiving this trebled heart break text and block..any minute I lost sleep at night.i would play it and cry like never before my mouth wild open full of pains.but I give glory to GOD.this song opened a new door for me.a greater proposal with two great wishes of a man with his own house and a wish to add a second kid.i found all these two.Glory be to God.God bless u siz for such a powerful song.am blessed. Mostly this part of..wacha upepo na uvume.with my wedding cloths in my cupboard..kuna Mungu...God bless u siz..thnks alot

    • @erenestawanjiru1935
      @erenestawanjiru1935 2 ปีที่แล้ว +2

      Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaawsome Testimony....What A Mighty God We Serve.

    • @daisyeunice8772
      @daisyeunice8772 2 ปีที่แล้ว +1

      Might have taken you through hell

    • @daisyeunice8772
      @daisyeunice8772 2 ปีที่แล้ว +6

      We serve a living God, He wanted to separate you from the previous relationship which

    • @linnmoraanash
      @linnmoraanash 2 ปีที่แล้ว +3

      God was preparing a way for you after all cries now you can smile

    • @loraynwyali9746
      @loraynwyali9746 2 ปีที่แล้ว +5

      How did u manage to get over I'm going through the same thing n it hurts so much

  • @kambua
    @kambua 3 ปีที่แล้ว +208

    What a powerful song woman of God 🙌🏾

  • @eyvezale7357
    @eyvezale7357 3 ปีที่แล้ว +104

    Tears😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I just heard this song from our church worship team Karura Community Chapel, Nairobi🇰🇪🇰🇪 and since then I can't stop thinking about it

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika bila mungu!!sisi wengine sijuwi ingekuwaje!! Umetutoa mbali mungu wetu!! Katika yote tuliyopitia!! Ulikua pamoja nasi!! Asante yesu!!

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 3 ปีที่แล้ว +542

    Beautiful and powerful 🙌

    • @merie8265
      @merie8265 3 ปีที่แล้ว +29

      Eeh nimekulike wa Kwanza mercy nipee like hahaha

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +46

      Ooh my dear Thank you so much... God bless you so so much ..keep the fire burning in you too sis

    • @kelvinkijo7500
      @kelvinkijo7500 3 ปีที่แล้ว +7

      Baraka sana watumishi wa BWANA

    • @stevebiko2289
      @stevebiko2289 3 ปีที่แล้ว +19

      The two of you can do a piece together that could light up the world with worship

    • @brendamshai5394
      @brendamshai5394 3 ปีที่แล้ว +10

      Glory to Jesus. Kweli wewe Yesu ndio chanzo cha uhai wangu. Kama sio wewe ningekuwa nimezikwa nikasahaulika. Asante Yesu kwa kunishika mkono wakati wa majaribu na kunipa ushindi.

  • @eveotiato2210
    @eveotiato2210 2 ปีที่แล้ว +156

    In the month of may, God saw me through all I was going through as a house help in Thome estate. He elevated me
    From a house help to a credit officer
    This was the song
    God bless you Rehema

    • @sheizzybaby6923
      @sheizzybaby6923 2 ปีที่แล้ว

      Wow!! Congratulations & God Bless You!!

    • @tomyumguzz
      @tomyumguzz 2 ปีที่แล้ว

      9:00 - 10:30

    • @tomyumguzz
      @tomyumguzz 2 ปีที่แล้ว

      God is faithful, Amen Amen. Never forget the experience you encountered in this deep soaking worship, welkam to Citam Thika Rd, on every Wednesday for prayers and on Sundays for our services start

    • @BrianPaul-y7c
      @BrianPaul-y7c 5 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @ndindamuthini9865
    @ndindamuthini9865 3 ปีที่แล้ว +72

    She's the Tasha cobbs of Africa💯💯

    • @karistachusi4874
      @karistachusi4874 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes dear and jekalyn karr their voices resembles

    • @lucymukiri2134
      @lucymukiri2134 3 ปีที่แล้ว +1

    • @ed4Jesus
      @ed4Jesus 3 ปีที่แล้ว +1

      in every single way n form,

    • @fencilatemesi3341
      @fencilatemesi3341 3 ปีที่แล้ว

      Wow may God bless you this is so touching my sister,, kwa kweli yeye n chanzo

    • @86liljo
      @86liljo 28 วันที่ผ่านมา

      No! She is Rehema with her own identity from God.

  • @patriciaapai5045
    @patriciaapai5045 หลายเดือนก่อน +3

    Through it Lord, I will worship You even when it doesn't make sense🙌

  • @prettysunshine7537
    @prettysunshine7537 3 ปีที่แล้ว +166

    I Listened to this song when I was at the verge of giving up due to lack of school fees...and it reminded me that he's the source of my life😭😭😭😭😭dear lord am greatful🙏🙏....keep on touching souls minister of God

    • @BrianPaul-y7c
      @BrianPaul-y7c 5 หลายเดือนก่อน

      Amen He is a faithful God, he'll do it in time

  • @aliceo9529
    @aliceo9529 2 ปีที่แล้ว +413

    After facing rejection and hatred from the, family from the church, this is where I got my solace..for someone who has experienced pure hatred, I found love in this song 🎵 ❤thank you

    • @mbarikiwaamina5885
      @mbarikiwaamina5885 2 ปีที่แล้ว +7

      Jesus is there for you...he realy love you and his love is sufficient

    • @anyubangu4148
      @anyubangu4148 2 ปีที่แล้ว +7

      I read your message, it builds up my spiritual muscles. Thank you.

    • @angieblessed
      @angieblessed 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @karentabitha12
      @karentabitha12 2 ปีที่แล้ว +8

      This message is one of the quoted verses Paul wrote , kindly read you will see this message.
      I think it's the book of Luke tht says woe to those tht are loved by the world but you who is not loved by the world is loved by God.
      Jiwe waliokataa waashi Sasa n jiwe la pembeni...
      When people reject you know tht God will never reject you n you are highly favoured . I have faced through tht but i learnt to keep God first in everything and i have gained favour infront of him and he brought the right connections so don't mind who is not for you focus on God only if you focus on man you will loose focus on God those tht reject you now are not true people they are fake. B blessed

    • @vivianjasphet113
      @vivianjasphet113 2 ปีที่แล้ว +2

      You are blessed dear❤️

  • @henrickmruma
    @henrickmruma 3 ปีที่แล้ว +323

    I am addicted to this song. God has revealed great things to me through this song. I pray that it touch a lot of lives and generations. You are always blessed rehema.

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +12

      Thank you so much my brother im humbled

    • @abiyamashaka5716
      @abiyamashaka5716 3 ปีที่แล้ว +4

      it will do so brother,its a song with too much anointing

    • @isaacmutai1677
      @isaacmutai1677 3 ปีที่แล้ว +1

      AM TOO ADDICTED TOO,WHAT A BLESSING..

    • @nickodemsimchimba594
      @nickodemsimchimba594 3 ปีที่แล้ว +4

      @@rehemasimfukwe dada wew ni kabila gani? I'm so sorry where is your originality?.... I'm so blessed with your anointed and powerful song

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +5

      @@nickodemsimchimba594Mbeya,Mbozi, Kamsamba

  • @dorcasbenard6774
    @dorcasbenard6774 ปีที่แล้ว

    Naupenda sana wimbo huu unanifanya niingie kwenye maombi nikiwa ktk bubujiko zuri

  • @EmmanuelZenda-ji5gc
    @EmmanuelZenda-ji5gc 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kila nikipitia Magumu basi hii nyimbo unifariji mana Mungu ndio chanzo cha uhai wangu na anajua kwanini alinileta duniani,Being into hard times and trauma lately as I quit my university studies due to insufficient money to pay for my fee,But I believe in God I'll soon get back.

  • @loisewambui4086
    @loisewambui4086 2 ปีที่แล้ว +76

    This song was sung in Nairobi Kenya 🇰🇪 during Rhemafeast 2022..I cried a river as I reflected on how God is the source of my life..He is everything that I have
    God is faithful as a Father

    • @michellewangila5163
      @michellewangila5163 2 ปีที่แล้ว +2

      Rhema feast is an unexplainable experience.

    • @jamesthiongo312
      @jamesthiongo312 2 ปีที่แล้ว

      I was there and now I'm here..

    • @violetbukusi929
      @violetbukusi929 2 ปีที่แล้ว +1

      Me too Loise... the song has been an anthem for my spirit since RHEMA FEAST 🙌🙌🙌

    • @sialema8500
      @sialema8500 ปีที่แล้ว

      God is faithful as a father indeed. His promises and love are true and everlasting❤❤

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 3 ปีที่แล้ว +51

    This is time Tanzania will rise and Worship God who is the source of everything 😭😭😭😭😭

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah ‼️ ninakupendaaa Yesuuu Kristo wa Nazareth's,
    Hallelujah Hallelujahs hallelujah ‼️ hongera Sana 🤝

  • @barbiemuzira6051
    @barbiemuzira6051 3 ปีที่แล้ว +236

    The first day I listened to this song I cried more than I have ever cried in my life remaindering me where God got me from ,my childhood was not easy I grew up like a grown up woman struggled in everything and i realized that God was the source of my life,be blessed more than you think

  • @IscaAtieno
    @IscaAtieno ปีที่แล้ว +14

    Right now am not in my right state of mind but i really don't want to complain coz i know God is helping someone else who needs Him more than me i know it's going to be fine 🙏🙏

  • @paulandwiga6373
    @paulandwiga6373 2 ปีที่แล้ว +7

    Am here thinking of giving up and then I go to TH-cam and find this song as a suggestion I can't help but breakdown ,may God remember me and others that may facing a hard time ,He will see us through😭😭😭😭

  • @josemusicofficial
    @josemusicofficial 11 วันที่ผ่านมา +1

    Who is still here 2024 listening to this song once again

  • @lameckvlad5672
    @lameckvlad5672 3 ปีที่แล้ว +72

    Nikisikiliza huu wimbo kuna namna naona vile Mungu akishughulika na mambo yangu.
    Glory to God 🙏

    • @magrethstanl5891
      @magrethstanl5891 3 ปีที่แล้ว

      kumbe tuko weng hata mim Ni hvyo kbsa

    • @meriothm2856
      @meriothm2856 3 ปีที่แล้ว

      A loudest amen

    • @esthernjogu9683
      @esthernjogu9683 3 ปีที่แล้ว

      Alishughulikia???

    • @lameckvlad5672
      @lameckvlad5672 3 ปีที่แล้ว

      Acha upepo nao uvumu
      Mimi nitakwabudu wewe
      Blessed blessed 🙏🙏🧎‍♂️🧎‍♂️

    • @elimastevo3466
      @elimastevo3466 3 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @muhohothegreat
    @muhohothegreat 3 ปีที่แล้ว +68

    Listening to this song past midnight amidst thoughts, depression and hopelessness may God provide to anyone struggling and doubtful. Bwana wewe ni chanzo chetu please restore happiness to our faces.

  • @asiatumaulana6853
    @asiatumaulana6853 3 ปีที่แล้ว +190

    Well im from zimbabwe and im teaching myself swahili .this is going to be on my everyday worship playlist

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +18

      Glory to God jamaniii we love you Zimbabwe

    • @TheJakamburi
      @TheJakamburi 3 ปีที่แล้ว +3

      It's a beautiful song

  • @Emmanuelikimota
    @Emmanuelikimota 18 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana dada natamani siku moja nani niwe kama wewe Mungu akutunze

  • @marynyakunga9575
    @marynyakunga9575 3 ปีที่แล้ว +78

    Nasikiliza kila siku hii nyimbo nikiwa nalia na kumwambia Mungu yeye ni CHANZO CHA UHAI WANGU

  • @estherthea8180
    @estherthea8180 3 ปีที่แล้ว +31

    Phillipians 4:12
    I rejoiced greatly in the Lord that at last you renewed your concern for me. Indeed, you were concerned, but you had no opportunity to show it. I am not saying this because I am in need, for I have learned to be content whatever the circumstances. I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want. I can do all this through Him who gives me strength.

  • @Emilianamfoi
    @Emilianamfoi 4 หลายเดือนก่อน +10

    Wimbo huu umenifanya nitoe macho zi sababu ya kipindi kigumu ninachopitia, ahsante MUNGU kwa kuwa ww ni chanzo cha uhai wangu.

  • @pastorprudent
    @pastorprudent 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu ni uwepo wa roho mtakatifu n'a ukuu wa Mungu wetu yeye ambae ni canzo ça uweoo wetu.sifa heshima n'a utukufu viwe vyako milele Mungu muumba wa mbingu n'a ardhi

  • @dorisngenomusic5214
    @dorisngenomusic5214 3 ปีที่แล้ว +271

    I'll be ministering with this song in my church this coming Sunday and I'm really praying it'll be a blessing😊🤗

    • @lewismukoya5853
      @lewismukoya5853 3 ปีที่แล้ว +1

      May God bless you Rehema

    • @mirriamwambui446
      @mirriamwambui446 2 ปีที่แล้ว +1

      Where my sister we join you

    • @josatinooking388
      @josatinooking388 2 ปีที่แล้ว

      i have been planning to minister with the song for a month now, the day i get a chance i will do it with my whole heart and i do pray it shall be a blessing to the ppl of God

    • @hiltrudekihiyo3323
      @hiltrudekihiyo3323 2 ปีที่แล้ว

      I can't say more God has shown Mercy in me during delivery oh! was last year I keep singing the song when I have no other option

    • @carolngile6086
      @carolngile6086 2 ปีที่แล้ว +1

      AMEN 🙏

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 ปีที่แล้ว +364

    Na huu ndio wakati wako uliokubalika machoni pa bwana keep up we are together,nice song

  • @isiongongaira7920
    @isiongongaira7920 ปีที่แล้ว +15

    Tangu siku ile niliskiza huu wimbo,kipindi kile nilikua nayapitia magumu sana ila nilipata utulivu,muumba wetu hawezi akatuacha tukateseke,mwenyezi mungu akuzidishie mengi Rehema (wengi wanapata kupona kupitia huu wimbo pata kubarikiwa nawe)

  • @ZakayoBiswalo-wh2dp
    @ZakayoBiswalo-wh2dp ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri
    I'll back voice hamkuwapa spot light yakutosha
    But Mungu katenda kama ilivyo ujumbe ulivyo.This is beyond extraordinary.

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว +23

    Zipo wapi like za #WaTanzania
    Nakwabudu nakwabudu.WEWE ni chanzo cha Uhai wangu

  • @joanatieno1414
    @joanatieno1414 3 ปีที่แล้ว +5

    This is fresh fire 🔥🔥 over my Soul 😭😭😭😭😭 chanzo Cha uhai wangu nakuabudu 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 3 ปีที่แล้ว +141

    Here in 2021 listening for the first time and tears just flowing freely, deep words, thank you lord😢😢😢

    • @ezeenconceptzguc6532
      @ezeenconceptzguc6532 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2349155255546) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you.....

    • @lilianmushi6240
      @lilianmushi6240 3 ปีที่แล้ว

      @@ezeenconceptzguc6532 SCAM dont you fear God you people.

    • @alexodanga9702
      @alexodanga9702 3 ปีที่แล้ว +1

      It's a touching song

    • @christinasillo792
      @christinasillo792 3 ปีที่แล้ว +1

      True Amen

  • @eunicedan
    @eunicedan ปีที่แล้ว

    For sure Rehema is ablessing... Umebarikiwa dada yangu .... Twakupenda hapa Kenya

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 ปีที่แล้ว +7

    Good Morning, Father Lord, today's a new day, a chance for a new start! Yesterday is gone & with it any mistakes, regrets, or failures I may have experience!It's a good day to be glad & give thanks & I do Lord!Thank YOU for today a new opportunity to love, give & be all YOU want me to be! HALLELUJAH!

  • @millytete7223
    @millytete7223 2 ปีที่แล้ว +10

    Whenever am going through crisis in my life I listen to these song,I lost daddy son years ago,I was very young and starting from scratch wasn't easy,as a single mother I have undergone alot of ups and down bt I appreciate God yeye ni chanzo Cha uhai wetu,

  • @sheilamabera2578
    @sheilamabera2578 ปีที่แล้ว +54

    Spiritual revelation to all those who have faced rejection and experience hardships in life

  • @SarahMtawa
    @SarahMtawa 20 วันที่ผ่านมา

    Kila nikisikiliza napata matumaini mapya mungu nisaidie pia nijalie kushinda hitaji la moyo wangu🙏🙏🙏🥰 nakuomba mungu wangu 🙏🙏

  • @irenemrua1350
    @irenemrua1350 ปีที่แล้ว +11

    Miaka miwili sichoki kuusikiliza huu wimbo. Mungu wa mbinguni kupitia wimbo huu naomba Usinipite Mungu wangu, naomba ukanitendee makubwa ndani ya mwaka huu 2023 angalau nifanye hata kidgo ya matarajio😭😭😭🙏🙏🙏🙏NAKUINUA MUNGU WANGU

  • @benedictoryona4811
    @benedictoryona4811 3 ปีที่แล้ว +53

    The first day I heard this song,horry spirit spoken to me about my struggling, he said to me he always with me,in the darkness he is my chanzoo

    • @salomejackson7812
      @salomejackson7812 3 ปีที่แล้ว +1

      God be with u my ccter good news groly to jesus

    • @upendosanga7044
      @upendosanga7044 3 ปีที่แล้ว +4

      Kujua hilo tu mtukuze Mungu endelea kumwomba Mungu atafanya jambo kubwa utashangaa ,mi am testimony Mungu yupo anaishi

    • @queenamani5302
      @queenamani5302 3 ปีที่แล้ว

      Nashukuru mungu hicho ndiyo nacho weza kusema ila dada mungu aku bariki maana nahisi leo ndugu zangu wange pata msiba lakini kupitia this song najikuta nina sababu yaku ishi god bless you dear

  • @mediustibamwenda4454
    @mediustibamwenda4454 3 ปีที่แล้ว +22

    The song describes my whole life I have shaded 😭 I have gone thru pain but nothing will ever separate me from the word of God. With God's time, I blv everything will turn out right

  • @BensonyKasyupa
    @BensonyKasyupa 5 หลายเดือนก่อน

    Nauona utukufu wa Mungu.
    Utukufu kwa Mungu.
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai

  • @mamabyela18
    @mamabyela18 3 ปีที่แล้ว +167

    I heard this song for the first time during my cousin sister's funeral, right there I realised that nothing realy matters in this world except worshiping the author and finisher of my life, Jehova Jireh

    • @lucimueni9746
      @lucimueni9746 2 ปีที่แล้ว

      What a nice vibe Mama....imagine this is not our home we are just passing by But we need to thank God that He gave us an opportunity to live on this world.Glory be to God our Father.

    • @larinaawino2542
      @larinaawino2542 2 ปีที่แล้ว

      God have mercy on me🙏🏽 I can't stop crying because of this song.🙏🏽🙏🏽

    • @gildachris9953
      @gildachris9953 2 ปีที่แล้ว

      @@lucimueni9746 dbnmczx ex

    • @costasmsumba4525
      @costasmsumba4525 2 ปีที่แล้ว

      Thank you Jesus

    • @esthermwangi1559
      @esthermwangi1559 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameeeeeen

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimeusikia huu wimbo mara moja tu kwenye radio ya mtu mwingine roho yangu ikanihakikishia kuwa ndani ya huu wimbo yupo Mungu barikiwa sana dada😔

  • @onesmusmutie7764
    @onesmusmutie7764 2 ปีที่แล้ว +8

    I have just lost my loving mum.She is now in heaven but i will still worship Him.The LORD is forever good.I pray for your strength oh God!

    • @peacemelodies5339
      @peacemelodies5339 2 ปีที่แล้ว +1

      May the Lord heal you

    • @jmtvgospel2642
      @jmtvgospel2642 2 ปีที่แล้ว

      May the Lord comfort you in a way that only He can

  • @apostlekepha3328
    @apostlekepha3328 ปีที่แล้ว

    Ameniiii.ni baraka sana kumwimbia MUNGU KATIKA ROHO SANA

  • @mutheumumu
    @mutheumumu 3 ปีที่แล้ว +108

    Couldn't stop crying when I first listened to this song, my sister was playing it! God is truly faithful! God bless you Rehema for allowing God to use you.

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +2

      Glory be to God dear

    • @bonphaceemmanuel9072
      @bonphaceemmanuel9072 3 ปีที่แล้ว

      Nkwel mungu n chanzo cha uhai wetu na jina la bwana limidiwe,,,,mwimbaj hongera yan nimesikiliza iii gospel ad natokwa choz

    • @oficialybadclever2377
      @oficialybadclever2377 2 ปีที่แล้ว

      @@rehemasimfukwe 🙏🙏

  • @elegoodness6267
    @elegoodness6267 9 หลายเดือนก่อน +17

    I'm from Nigeria.
    And i heard this song to the glory of God. I don't even know the country singing,but i just want to worship with you and say that, Jesus Christ is the source of my life too.
    I love this God that created so many languages in the world. This one is too super.
    God bless you my sister Rehema

    • @elegoodness6267
      @elegoodness6267 9 หลายเดือนก่อน +1

      Which language are they singing with please

    • @fravianmwizarubi4426
      @fravianmwizarubi4426 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kiswahili from East Africa

    • @magrethlyimo24
      @magrethlyimo24 7 หลายเดือนก่อน +1

      This song from Tanzania, Kiswahili language

    • @casmiraugust6853
      @casmiraugust6853 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@elegoodness6267Swahili..Tanzania

    • @kaimbakaunda7934
      @kaimbakaunda7934 27 วันที่ผ่านมา

      Swahili

  • @patrickkubuya
    @patrickkubuya 3 ปีที่แล้ว +51

    Ubarikiwe sana Dada Rehema

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว +5

      ooh my brother God bless you so much

    • @ed4Jesus
      @ed4Jesus 3 ปีที่แล้ว +2

      Amen @Patrick Kubuya, hata nawe una kibali kikubwa. Baraka tele pia

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ed4Jesus amen and glory be to the Lord Jesus Christ

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya 3 ปีที่แล้ว +2

      @@rehemasimfukwe kweli huu wimbo ume kuwa faraja kwangu

    • @patrickkubuya
      @patrickkubuya 3 ปีที่แล้ว +3

      @@rehemasimfukwe hakika huu wimbo ume kuwa faraja kwangu

  • @nsengiyumvasamuel7139
    @nsengiyumvasamuel7139 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe Sana na Mungu azidi kukusimamiya kwa kila wakati tunabalikiwa kupitiya wewe

  • @zoravoofficial607
    @zoravoofficial607 3 ปีที่แล้ว +57

    ...too much anointing in your ministry my sister,goooooo

  • @didindayiragije927
    @didindayiragije927 11 หลายเดือนก่อน +5

    is there anyone who's still listenning to this food soul untill now like me? I can't be tired to listen this amazing song. Thank you psalmist Rehema for your sweet songs!

  • @langsondavid8123
    @langsondavid8123 ปีที่แล้ว +11

    Naitwa langson David nkwamu wa Sumbawanga Rukwa Tanzania.Napenda uimbaji huu.nikisikiliza wimbo nabubujikwa na machozi.Mungu awabariki Dana.real touched

    • @amonidafa9665
      @amonidafa9665 5 หลายเดือนก่อน

      Endelea kuufurahia uzuri wa Yesu

  • @jacquelinephestus4926
    @jacquelinephestus4926 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana,,, Mungu azidi kukuinua katika uimbaji wako uzidi kumtukuza mwakozi ,,

  • @fredrickmakori8037
    @fredrickmakori8037 ปีที่แล้ว +10

    Wewe ni chanzo cha uhai wangu kweli

  • @mtoto_wa_Mfalme12
    @mtoto_wa_Mfalme12 ปีที่แล้ว +21

    10 Million Viewers 06/06/2023
    Hawa watu wote Million 10 umewabariki kwa Wimbo huu. Mungu AKUBARIKI Mtumishi 🙌

  • @gracenyae001
    @gracenyae001 ปีที่แล้ว +6

    Nitamsifu mungu mpaka kufa kwangu 🙏🙏🤞bila yeye ningekuwa nimekufa

    • @graceriziki-bk8sc
      @graceriziki-bk8sc 9 หลายเดือนก่อน

      Na mimi nita musifu munga hadi siku ya pumuzi zangu za mwisho apa chini ya jua ame ni rudishia uwai wakati nili kua nime jua nime pata magonjwa ya moyo

  • @CHRISTINEKHAMALA-p3i
    @CHRISTINEKHAMALA-p3i 8 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed woman of God you are a blessing to many I being one of them ......yeye anabaki chanzo cha chai wetu🙏

  • @moreenkamadi7474
    @moreenkamadi7474 ปีที่แล้ว +10

    Am going through alot silently, l always pray to God to see me through,,, today l dreamt l was singing this song. Woke to search for it. I have really cried. I feel God in my way. Jesus is real

    • @monicakiwia5649
      @monicakiwia5649 3 หลายเดือนก่อน

      Hope everything went well with you dear one ❤❤

    • @SamwelShao
      @SamwelShao 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว +18

    There's something in this lady's voice, i can feel this in my heart.. 😭😭

  • @talentplug7794
    @talentplug7794 ปีที่แล้ว +107

    After being abandoned and rejected at birth, God was not done with me. Every day I am reminded that He had a plan and a purpose for me despite my hurtful past. Kweli yeye ndiye chanzo cha uhai na maisha yangu. Wonderful song, makes me remember all the good God has done in my life. All glory to Jesus!

  • @FalloneKitimbwa-l9r
    @FalloneKitimbwa-l9r 4 วันที่ผ่านมา

    Sita kosa kukuabudu una nifanya gisi nilivio ijapokuwa shida na juwa ina mwisho tu mungu wangu 🙏🙏🙏🙏

  • @serahnjeri5654
    @serahnjeri5654 3 ปีที่แล้ว +43

    Much Love 😍❤️💕from ±254🇰🇪
    Praise JESUS for this blessed and anointed song🙏🏾God Bless You my sister and take you to greater heights. You are a blessing 😘😘😘

  • @kellymuli4156
    @kellymuli4156 2 ปีที่แล้ว +11

    Hallelujah indeed Jehovah Elshadai ni Chanzo cha uhai wangu... Im listening to this song while in the Hospital and The Presence of God is here Gloooooooory

  • @ireneokobwa7081
    @ireneokobwa7081 2 ปีที่แล้ว +127

    I have been going through financial strain and trusting God for a breakthrough but when I heard this song for the first time I started thanking God cause He is still Faithfull no matter what He is STILL GOD!!!!!

  • @user-qo2yz9pk8h
    @user-qo2yz9pk8h ปีที่แล้ว

    Nakupenda Dada mzur unaimba kwa hisia za rohoni

  • @EmilianKatubayemo
    @EmilianKatubayemo 3 ปีที่แล้ว +41

    Mungu akubariki Sana dada yangu wimbo huu ni wambinguni hakika

  • @gracemfangavo4824
    @gracemfangavo4824 3 ปีที่แล้ว +31

    Wimbo wa nyakati zangu zote...... Ur such a blessed ssy, an u make me fll blessd too nakupenda, na nampenda Yesu wangu kwaajili yako

    • @rehemasimfukwe
      @rehemasimfukwe  3 ปีที่แล้ว

      Amen my love... Blessings

    • @evansbish9387
      @evansbish9387 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akishuka anaonekana kweli ni baraka na uponyaji

  • @petermuisraeli254
    @petermuisraeli254 ปีที่แล้ว +16

    Who is here tonight? January, 2023
    What a wow ...
    Huu wimbo umenibariki sanaaa

  • @Stwairimu
    @Stwairimu 2 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah, powerful and anointed🙌🙌🙌 worship...this is true worship🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️. God bless you Rehema 🙏🙏

  • @noahgondwe4779
    @noahgondwe4779 3 ปีที่แล้ว +6

    Daaaaa aiseeee, so touching. Why hivi uwa hakuna matamasha ya worship jamani, vifua vyetu vina maumivu mengi ambayo naamini praise n worship Inaweza fungua kabisa

  • @LeahHaule-m6b
    @LeahHaule-m6b 4 หลายเดือนก่อน +5

    🙏katika yote wewe bado ni Mungu.

  • @magrethJckson-fr1nc
    @magrethJckson-fr1nc 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtumishi unanibaliki sana!! Nakupenda Sana'a amunaaa sana uishi maisha malef

  • @joanwambui3797
    @joanwambui3797 2 ปีที่แล้ว +16

    For some reason...when I listen to this song I find my self deep in the spirit... crying... ... I love this song ... God is the beginner of my life ...may you be blessed the best song 💯

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 3 ปีที่แล้ว +7

    Paul Clement and Gwamaka brought me here ..
    This is the song😭😭😭

  • @kuinduhiu5659
    @kuinduhiu5659 2 ปีที่แล้ว +73

    Hallelujah! Philippians 4:12
    I know what it is to be in need, and I know what it is to have plenty. I have learned the secret of being content in any and every situation, whether well fed or hungry, whether living in plenty or in want.

  • @user-gp7ph4ji7n
    @user-gp7ph4ji7n 4 หลายเดือนก่อน

    Nakpenda ❤ sna my Sstar Mungu akubariki azidi kuinunua zaidi Amen

  • @annalyamuya3160
    @annalyamuya3160 3 ปีที่แล้ว +6

    Ninajua kushiba na kuona njaa, katika yote wewe bado ni Mungu, ninajua kupendwa na kukataliwa.... naujua udhaifu na kuwa na afya katika yote wewe bado ni Mungu
    Acha upepo uvume nitakuabudu wewe.... chanzo cha uhai wangu Yesu ( nakuabudu)
    Wimbo huu umenibariki sana nilikuwa nausubiri kwa hamu sana 🙏🏿

  • @melanieshalua7882
    @melanieshalua7882 ปีที่แล้ว +8

    The first time I found this song accidentally on TH-cam it has about 200+K views I new it is going to be the big song...and It is !!

    • @wambos_youtube
      @wambos_youtube 2 หลายเดือนก่อน

      Now 13 million views😂😂😂😂

  • @marthakyando3152
    @marthakyando3152 3 ปีที่แล้ว +5

    Huu n wimbo wangu wa mwaka thanks rehema for the nice song...naujua udhaifu na kuwa na afya katika yoyote wewe bado ni mungu 🙏 this line speaks a lot to me

  • @martinemukuba2473
    @martinemukuba2473 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishiye vraiment unani bariki sana yeye ni chazo chauhai yanguu kbs

  • @HappinessAugustine-o1g
    @HappinessAugustine-o1g 5 หลายเดือนก่อน +4

    wewe ni chanzo Cha uhai wangu Mungu yupo atakuwepo Wimbo unainua sana kiimaniii😢❤