SHEIKH MUHAMMAD AYYUB RAHIMAHULLAHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @hajirajabu
    @hajirajabu ปีที่แล้ว +6

    Wallahi wengi hatujakushuhudia lkn athari ya elimu uliyo iacha wallah nakupenda sana Allah akupe kheri nyingi huko ulipo

  • @kudraayoub9855
    @kudraayoub9855 4 ปีที่แล้ว +6

    Ashekh Muhammad ayubu abuu ayyub mungu atu nufaishe na barakaze insha allah taalaa minal aamin aamin

  • @mohammedmrisho4299
    @mohammedmrisho4299 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimesoma kwa shekh shaghabani .jina mashuhuri Nondi Bereko kondoa naye alisoma kwahuyu shekh Mohammad Bin Ayuub

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 ปีที่แล้ว +10

    Wallah'hi sikupata kumuona ila napata faida sana ,hii athari nzuri Allah amuhifadhi

  • @nasibuabasi4701
    @nasibuabasi4701 4 ปีที่แล้ว +14

    Mashaallah natamani ningemshuhudia kwa macho yangu mzee huyu allah amrehemu

    • @Rabbihdini
      @Rabbihdini  4 ปีที่แล้ว +2

      namimi piya natamani saana hilo allah atukutanishe pamoja peponi amiiin yaarabbal3aaalamiiina

  • @RashidHassan-g6z
    @RashidHassan-g6z 23 วันที่ผ่านมา

    Sheikh letu 🎉 Allah akuraham...

  • @mohammedmrisho4299
    @mohammedmrisho4299 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amrehem shekh Mohammad bin Ayuub.huanikimsikiliza hua napata huzni sana .nachozi huwa linaniyoka.

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 ปีที่แล้ว +1

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

  • @YahyaShabani-tl2sr
    @YahyaShabani-tl2sr ปีที่แล้ว +1

    بارك الله له وغفر له ورحمه وسكنه في الجنة

  • @universitylink
    @universitylink 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh ana fasaha sana Allah amlipe pepo firdaus

  • @shairangalu9491
    @shairangalu9491 3 ปีที่แล้ว +2

    Raha sana kumsikiliza sheikh Mohammad bin sheikh ayoub

  • @nasrabdallah3873
    @nasrabdallah3873 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaaa Allaah mrehemu shekhe wangu. Nilimpenda saaanaaa tangu yuko hai mpaka leo pia. Mpe pepo ya firdausi. Pia shkh ABDALLAH Ayoub mama yetu حرمة شيخنا الجليل .

  • @ahmedmohamed-wm5ec
    @ahmedmohamed-wm5ec 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwanafunz wa shekh sleman bin Alawiy huyu mashaa Allah Allah yarham

    • @ayubujuma8346
      @ayubujuma8346 28 วันที่ผ่านมา

      Nakupenda Sheikh wangu, ALLAH(SW) akuhifadh na adhabu za kabr, akupe Hannah firdaus

    • @ayubujuma8346
      @ayubujuma8346 28 วันที่ผ่านมา

      Hannah firdaus

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 3 ปีที่แล้ว +2

    رضي الله عنه واسكنه فسيح جناته

  • @rashidabuu9406
    @rashidabuu9406 4 ปีที่แล้ว +7

    mashaallah huo ni mti uloenea matawi yake kila mahali

  • @KhalidIdrisa-x4z
    @KhalidIdrisa-x4z 6 หลายเดือนก่อน

    Chuma hicho Allah akurehem akukutanishe na mtume s

  • @nashrikidori5660
    @nashrikidori5660 4 ปีที่แล้ว +2

    masha allah ..

  • @harounabdallah9036
    @harounabdallah9036 2 ปีที่แล้ว

    Rahimahullah

  • @abouado1119
    @abouado1119 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakika waliopita katik mikon y huy shekh hakik wamemustafid kwa eelimuu

  • @kondorajab643
    @kondorajab643 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @shamsanfaud6117
    @shamsanfaud6117 3 ปีที่แล้ว

    Santa sheikh mkuu

  • @allyganzel817
    @allyganzel817 3 ปีที่แล้ว +1

    Natamani ningekua miongoni mwa walokuwapo kwa hiyo Hadhara.. Allah ampe kauli thaabit

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu

  • @jailaninkya8978
    @jailaninkya8978 3 ปีที่แล้ว +5

    Shekhe msomi ametawasali kwa baraka Za mashekhe wake waliokufa so kutawasal Hakuna shida kama wanavyosema mawahab

    • @sittacharlesmaendeleo778
      @sittacharlesmaendeleo778 ปีที่แล้ว

      Kwan shekh ndo nan...kutawassal ni kupitia majina ya Allah au kupitia amal zako za kher

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Wewe unamfuata sheikh au unamfuata Mungu?

  • @abdulmuhhamed2674
    @abdulmuhhamed2674 4 ปีที่แล้ว +3

    allah alipe nuru kabri yake

    • @Rabbihdini
      @Rabbihdini  4 ปีที่แล้ว +1

      AMIIIN YAARABBAL3AAALAMIIINA

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 3 ปีที่แล้ว

    Yupo hai
    Mwili wake ndo haupo

  • @jumamwarabu9307
    @jumamwarabu9307 2 ปีที่แล้ว

    natamani binge kuepo WAKATI huo kwenye hadhara hiyo

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 4 ปีที่แล้ว

    Kuna mtu mjinga sana hapa,kwani Sufi ni nani? Acha ubwege basiii

    • @idrisamohamed900
      @idrisamohamed900 4 ปีที่แล้ว

      Ww ndio bwege

    • @mohameddhahabu8788
      @mohameddhahabu8788 4 ปีที่แล้ว

      kwani aliyekulazimisha umsikilize ni nani? sikilizeni hao mashekh ambao tayari wamebashiriwa pepo

    • @ramadhanikioza9913
      @ramadhanikioza9913 3 ปีที่แล้ว

      Usisumbuke nae huyo sheikh kasema.hapo kisa cha Nabii Mussa kwahiyo ndio nae hampendi

  • @abouimraana1282
    @abouimraana1282 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu ni sufi hafai kusikilizwa

    • @iddydunia9576
      @iddydunia9576 4 ปีที่แล้ว +3

      Mpumbavu wewe
      Unamjua vzr huyu sheikh

    • @zuberiramadhani4066
      @zuberiramadhani4066 4 ปีที่แล้ว

      Sufi maana yake ni nin?

    • @zuberiramadhani4066
      @zuberiramadhani4066 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha usenge shewangu nitakutafuta fala wew

    • @mohameddhahabu8788
      @mohameddhahabu8788 4 ปีที่แล้ว +2

      wew ambaye sio sufi umbaye unafaa kusikilizwa umefanya nn ktk dini kuipeleka mbele? mungu hataki porojo za kijinga

    • @mohameddhahabu8788
      @mohameddhahabu8788 4 ปีที่แล้ว +1

      nadhani wew ni mmoja ktk majeshi ya ibilisi ila wew mwenyewe hujui wajiona watetea dini.. dini haitaki porojo kama siasa kaka

  • @SaidMohamed-j2v
    @SaidMohamed-j2v 2 หลายเดือนก่อน

    wengi hatujakushuhudia lkn athari ya elimu uliyo iacha wallah nakupenda sana Allah akupe kheri nyingi huko ulipo

  • @ZydnhoMkunga
    @ZydnhoMkunga ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu

  • @abbakarihmsagati6805
    @abbakarihmsagati6805 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah