Allah alipambe kaburi lako,,, na alinukishe uturi Na akujaalie kivuli siku ya hesabu,,, na akujaalie liwe ni miongoni mwa mabustani ya peponi inshaallah!!!
اللهم اغفر له وارحمه وعافه وأعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله اللهم بارك له فيما تركه لنا من جهد وعلم واجعله في ميزان حسناته اللهم احفظ أولاده وتلاميذه ثبتهم بالقول الثابت في الحياة الدنيا وفي الاخرة
Wapendwa Allah awape kheri nyingi Kwa kutuwekea mawaidha ya mzee wangu huyu ambae nilikua nikisikiliza sana tafsiri ya Quran nyuma nasikia jogoo akiwika ,naomba mtutafutie tafsiri ya Quran alizozifanya na ku recodiwa radio kheri walikua wakirusha tafsiri zake basi mfanye juhudi tuwekeeni na Allah atawalipa maana tafsiri yake ni Pana sana sana
Allah alipambe kaburi lako,,, na alinukishe uturi Na akujaalie kivuli siku ya hesabu,,, na akujaalie liwe ni miongoni mwa mabustani ya peponi inshaallah!!!
اللهم اغفر له وارحمه وعافه وأعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله
اللهم بارك له فيما تركه لنا من جهد وعلم واجعله في ميزان حسناته
اللهم احفظ أولاده وتلاميذه ثبتهم بالقول الثابت في الحياة الدنيا وفي الاخرة
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Mashaallah, Allah Akurehemu Sheikh Wetu!
Naaaaaaaam uyu ndo mwamba allah amraham
Allah amueke pema
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة النعيم ...
اللهم اغفرله و ارحمه و اسكنه في الجنة
Mola Amueke pema
رحمه الله تعالى
رضي الله عنه
Kweli unastahili kuitwa wanachuoni
Wapendwa Allah awape kheri nyingi Kwa kutuwekea mawaidha ya mzee wangu huyu ambae nilikua nikisikiliza sana tafsiri ya Quran nyuma nasikia jogoo akiwika ,naomba mtutafutie tafsiri ya Quran alizozifanya na ku recodiwa radio kheri walikua wakirusha tafsiri zake basi mfanye juhudi tuwekeeni na Allah atawalipa maana tafsiri yake ni Pana sana sana
shukran Tuta fanya hivyo
Eti sio masheikh maadam ni hai,,,,
Sasa ulitaka wawe shekhe zake hali ni wanafunzi wake?.
@@hilalkhalfan1452 hahahaha,,,, inawezekana ikawa Una tatizo la kuelewa
@@jumakapilima7295 wewe unatatizo la dhana mbaya ya kutafsiri maneno kwa chuki kwa kuwa sio dhehebu lako
Uyu ndy chemchem ya elim tanga tamta
Siyo tanga pekee ni tanzania nzima wana funzi wake wametapakaa kula sehem na nimashekhe wakubwatu