Sheikh Mohamad Ayoub Tamta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 56

  • @ASoora-s6u
    @ASoora-s6u ปีที่แล้ว

    Sheikh bado yupo na atakuwepo ilaa yaumul qiamaa❤❤❤❤

  • @kasimnchakwi2568
    @kasimnchakwi2568 3 ปีที่แล้ว +2

    Alhadulilah namshukuru sana ALLAH, na pia namshukuru aliemuweka shekhe wetu humu,namimi nimepata kumfaham japo hatunae,, elim yake nimeipata nainanisaidia sana kupitia kwa ustadhi au shekhe Ashiru Hamisi ,ila babu yangu ndo nimemfaham leo,, Mungu amrehem,naamlipe yaliyo mema inshaa ALLAH,

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 4 ปีที่แล้ว +8

    I remember sheikh Mohammed bin ayub while I was in Kenya my friend took me to Tanzania tanga where we met the sheikh he was very humble and educated muzee

    • @salimabdallah7252
      @salimabdallah7252 4 ปีที่แล้ว +1

      Allah amrehem sheikh wetu despite being educated at Maawatul Islamiya I still remember him as a humble and pious man, used to pass by the madrasa on my way to Usagara Primary school kiss his hand, he used to give me 10 shillings, I mourned his death when I heard the news while in Nairobi... Allah amrehem mzee wetu...

    • @dullatawakal1492
      @dullatawakal1492 4 ปีที่แล้ว

      naam sure He was Best Scholar At This Zama,,Tanga Had A Great Educated man

  • @aidarousshaban9580
    @aidarousshaban9580 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah amrehemu sheikh wangu hakika allah kariiim alo yafanya juu ya uislamu hayana mfano

  • @cholongokwe9219
    @cholongokwe9219 3 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana sheikh bin Ayoub, Allah amrehem.

  • @JuchonlineTV
    @JuchonlineTV 9 หลายเดือนก่อน

    Allah atunufaishe kwa uluumi yake

  • @nasrabdallah3873
    @nasrabdallah3873 4 ปีที่แล้ว +4

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك مع النبيين والصديقين والشهداء والصالحين وحسن أولئك رفيقا

  • @husseinkilua1343
    @husseinkilua1343 3 ปีที่แล้ว

    Hakika kwa elimu ulio ieneza Shekhe wetu jinalako lita tajwa kwa wema hadi mwisho wa dunia, yaaa Allah, ya Mannani mola wetu mlezi twaji nyenye keza kwako umrehemu Shekhe wetu ibn Ayub, mpe janna ilonjema kwamema alotenda kwaku tuenezea elimu ya dini hapa duniani

  • @AbdallahHamdan-jg5ew
    @AbdallahHamdan-jg5ew ปีที่แล้ว

    Allah akurehem

  • @kanjibayog6839
    @kanjibayog6839 3 ปีที่แล้ว

    Allah akurehemu shekh Muhammad ayoub

  • @daudishegila48
    @daudishegila48 2 ปีที่แล้ว

    Allah amsamehe makosa yake Sheikh Mohammedi Ayubu

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 3 ปีที่แล้ว

    جعل الله له الفردوس مأوى ومسكنا
    ورضي الله عنه وأرضاه

  • @kassimugulumu5460
    @kassimugulumu5460 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu shekhe wetu

  • @omarinasoro9712
    @omarinasoro9712 4 ปีที่แล้ว +3

    Alla ampejanatu fridaus

  • @aishaabdallh1065
    @aishaabdallh1065 3 ปีที่แล้ว +1

    Ooh jmn Mng amrehem ☝️

  • @hamisihussein1978
    @hamisihussein1978 2 ปีที่แล้ว

    Kigogo cha elimu mung akurehemu

  • @alfanawakagomba9231
    @alfanawakagomba9231 2 ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu

  • @yusuphmussa1393
    @yusuphmussa1393 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehem

  • @zahrahabib397
    @zahrahabib397 3 ปีที่แล้ว

    Allah ampandishe darja ya Rab

  • @musakasimu7400
    @musakasimu7400 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe unajieleza ukisikiliza vzr.

  • @amiryakida3744
    @amiryakida3744 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba katika Iman😍😍

  • @Mtaasisishine
    @Mtaasisishine 4 ปีที่แล้ว

    Allah amjarie maala pazur

  • @omarinassoro5514
    @omarinassoro5514 4 ปีที่แล้ว +2

    Alla alifanyekaburilakeliwekatka mashimoyapepobora

  • @mutasimjeweller7361
    @mutasimjeweller7361 3 ปีที่แล้ว

    Hii mpya kwangu sijawahi ona hee!!!
    Kifo kikasindikizwa na ngoma

    • @mutasimjeweller7361
      @mutasimjeweller7361 3 ปีที่แล้ว

      Innalillahi wainna ilaihi rajiun

    • @laylaramadhan6908
      @laylaramadhan6908 2 ปีที่แล้ว

      Ukiwa unasema ufikiri kwanza maana umeandika bila kufikiri

  • @aishashauri942
    @aishashauri942 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe mohamed ayubu

  • @musaamdan8253
    @musaamdan8253 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaah

  • @alyaminiisangyo819
    @alyaminiisangyo819 2 ปีที่แล้ว

    Allah amurahamu

  • @allymohammed6704
    @allymohammed6704 4 ปีที่แล้ว +1

    Ammin

  • @theking6320
    @theking6320 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @fatmakaphuni4331
    @fatmakaphuni4331 4 ปีที่แล้ว

    Aamin Thumma Aamin

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 ปีที่แล้ว

    Wengi_wana_msifu_wachache_wa_mkashifu_umeipata_pepo_babuu

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio alama za utu wema hizo
      Maana ingekuwa kuna mtu wa kukubaliwa na watu wote basi angekuwa Mtume wetu s.a.w

  • @SalimSalim-ci2hu
    @SalimSalim-ci2hu 3 ปีที่แล้ว

    Bahari ya elimu hiyo

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 11 หลายเดือนก่อน

    ENZI HIZO HAPAKUWA NA MAWAHABI ILA ANGEKUWEPO SASA ANGEONEKANA HAFAI HANA ELIMU WALA HAJUI KITU MAWAHABI AKILI ZAO SIJUI ZIKOHE YAANI WAMEAMINISHWA KUWA WAO PEKEYAO NDO WENYE ELIMU HAWAKOSEI NA WANAJUA KILAKITU

  • @fettymussa5932
    @fettymussa5932 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @hajjisebeko992
    @hajjisebeko992 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @musakasimu7400
    @musakasimu7400 4 ปีที่แล้ว +1

    Naaaaaaaaam

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 ปีที่แล้ว

    yaallaah

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu shehe bado yupo ?

    • @allymohammed6704
      @allymohammed6704 4 ปีที่แล้ว

      Allah ameaham kashafariki

    • @muhdinkijongo5118
      @muhdinkijongo5118 4 ปีที่แล้ว

      Raha sana sura ya shekhe muhamadu yangara sana elim zao kila pembe zimo tele

    • @shamsiyyahtamtatv2992
      @shamsiyyahtamtatv2992 4 ปีที่แล้ว

      Alishafariki tangu 1997

    • @abdulmamboya4561
      @abdulmamboya4561 4 ปีที่แล้ว

      hawafi wanaonja tuu faradhwi ya umauti wapo haii

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulmamboya4561 itikad hii umeitoa wap?

  • @aishashauri942
    @aishashauri942 3 ปีที่แล้ว

    Audio

  • @shamsiyyahtvonline6318
    @shamsiyyahtvonline6318 4 ปีที่แล้ว +5

    Ilmu yake imepamba ulimwengu

  • @yusuphmussa1393
    @yusuphmussa1393 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehem

  • @yusuphmussa1393
    @yusuphmussa1393 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehem