KARAMA NILIZOZIONA KWA SHEKH MHD AYUOB NA KISA CHA WALII ALIEKUWA MFALME. SHEKH SHABANI WA ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @hawasafiki522
    @hawasafiki522 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe subira katika mapito unayoyapitia shekhe 🙏🙏

  • @aishannacho8081
    @aishannacho8081 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah sheikh shaabani,m/mungu akupe umri mrefu sheikh wetu wa mkoa wa Arusha....

    • @hawasafiki522
      @hawasafiki522 3 ปีที่แล้ว

      Mashallah mungu akupe subira katika mapito unayoyapitia 🙏🙏🙏

  • @khalidomar5364
    @khalidomar5364 3 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah, kikao chema kwa wana twarika kukumbuka mawalii watwarika,Allah awalipe kheri

  • @hawasafiki522
    @hawasafiki522 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani shehe wetu Allah akulipe pepo 🙏🙏🙏🙏

  • @SharifuKipoto
    @SharifuKipoto 8 หลายเดือนก่อน

    ماشاء الله بارك الله فيك

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sheikh kwa hikaya njema

  • @abdillahimohammed3544
    @abdillahimohammed3544 ปีที่แล้ว +2

    Wapo Tena sana 💯

  • @nasrabdallah3873
    @nasrabdallah3873 3 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nilimsikia kwa sikio langu. Pia shkh رحمه الله عليه. Alikua akituzunguzia mara nyingi. Pia ilikua jioni akitusomesha kafrawii. Akituzungumzia siku nyengine. Kwa sababu tuithamini elemu na tuwe na subra.. nakuombeni dua zenu nirudi Tanzania kuiyeneza mirathi ya shekhe wetu Mohamed ibni Ayoubu.

    • @abbysule2390
      @abbysule2390 3 ปีที่แล้ว

      Amina innshallah UTARUDI

    • @dullatawakal1492
      @dullatawakal1492 5 หลายเดือนก่อน

      Vipi usharud Tanzania ama Bado?

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 3 ปีที่แล้ว +2

    Upo_vizuri_babaa_yangu

  • @sayeedsaleem6395
    @sayeedsaleem6395 3 ปีที่แล้ว +2

    ماشاء الله

  • @darenymsham2467
    @darenymsham2467 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallaah alhamdulillaahi...

  • @alisaidi7477
    @alisaidi7477 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @swahibually8349
    @swahibually8349 ปีที่แล้ว +1

    Mawahabi kufeni kwa uchungu wenu,Kwa upande wenu MAWAHABI hawezi kupatikana WALII Maana kwa mujibu wa maneno ya ALLAH pale alipoombwa na nabii Ibrahim awafanye watoto/uzao wa Ibrahim kua mitume,; ALLAH akasema;لا ينال عهد الظالمين: ؛ Yaani hawezi akaupata Utukufu wangu, Uwalii wangu, Ukaribu wangu, mtu ambae ni dhwaalimu, kwahiyo nyinyi Mawahabi kwa udhaalimu mlio nao, hamuwezi kupata UWALII ng'oo. Kwahiyo wakitajwa mawalii hua mnaumia sana sawa na akisifiwa mtume.

  • @tigerroar3545
    @tigerroar3545 ปีที่แล้ว +1

    Jama wanapenda stori hawa,stori za ndoto,hazina uhakika,

  • @shairangalu9491
    @shairangalu9491 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmemkubali sana

  • @nabiljumbe
    @nabiljumbe 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Mashaallah

  • @SeifAlliy
    @SeifAlliy ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilaah nathibitisha mi mwenyewe kanijia sheikh Muhammad bin Ayuub akanipa maelekezo ndotoni asubhi sikuzingatia jioni nikamkumbuka kuna mwana chuoni aliniambia niwasiliane nae naikampigia simu yule alonielekeza nikamwambia yake niloambiwa nimwambie yule bwana nilimpata kwa WhatsApp call kumuelezea akaniambia fanya ulivyoelekezwa alhamdulilaah nikafanya basi niliyaona yote nlokusudia nanikaenda kumdhuru Mtume swalallaahu alayhi waalih waswahabihi nanilipofika Madina nikayaona yake nilioelekezwa alhamdulilaah karama zipo.

  • @muhammadiabdallah9118
    @muhammadiabdallah9118 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah sheikh

  • @amzadauda1352
    @amzadauda1352 3 ปีที่แล้ว +3

    nipo Uganda ila namuelewa Sana shehe shabani jitajidi urushe hutuba tuzipate mtandaoni

  • @sudeysisana5324
    @sudeysisana5324 3 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Shabani

  • @omarinassoro5514
    @omarinassoro5514 3 ปีที่แล้ว +1

    Alla awajalie masheghe umrimrefu tunufaika na nasaha za wemauliotangulia

  • @abuuaiman9575
    @abuuaiman9575 3 ปีที่แล้ว +1

    haya maneno yakiingizwa kwenye mzan sijui itakuwaje ukimtumikia mungu sana anabadilika anaanza kukutumikia wewe na pale alipoomba dua kwa baraka ya sharifu hii inaonyesha ukweli wa maneno ya imam shafii ما رايت صوفيا عاقل قط

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani nyinyi mkirndelea kukutukania mashekhe zetu hvi mwisho winu mtauona kw mboni za macho yenu wenyewe ebu kuweni na adabu jamani

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni uelewa au hvi unaskia kbs kw baraka ya fulani unaanza kuwatoa watu akili

    • @abuuaiman9575
      @abuuaiman9575 2 ปีที่แล้ว

      @@abubakarymaulidy5681 maneno ya imamu shafii hayo sema uambiwe kwenye kitabu ukaone ishaalah

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 2 ปีที่แล้ว +1

      @@abuuaiman9575 ata kama yapo kitabuni ndo matumizi yake ayo kwn huwezi kuangalia unae mwambia we kuw n uslluub ldaghwaa nzury abuu vipi jamni mbn mnajisahau sana nyinyi

  • @sajumahege4903
    @sajumahege4903 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwalii mnapeana kama karanga tu zinavyogaiwa kwa watoto wa shule

  • @famhas_moonrider9558
    @famhas_moonrider9558 ปีที่แล้ว

    Nauliza mawalii na hizo karama na masharifu wako Kenya na Tanzania tu mbona sijaskia Uganda hizo stories?

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 3 ปีที่แล้ว

    Madufu sijui tunayaacha lini haya jamani.

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 3 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta dunia yako isiyopigwa madufu ukae peke yako hukooo

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 3 ปีที่แล้ว +1

      Tafuta dunia yako isiyopigwa madufu ukae peke yako hukooo

    • @sajumahege4903
      @sajumahege4903 3 ปีที่แล้ว

      Shehe anapiga dufu alaf anaimba anashid bado ana makarama, hawa wazee Allah awaongoze na atuongoze sote

    • @allyally5156
      @allyally5156 2 ปีที่แล้ว

      Jinga

    • @fatmahyassinally5013
      @fatmahyassinally5013 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuayoubayoub9260 k

  • @abdulswamdenyambuka1902
    @abdulswamdenyambuka1902 2 ปีที่แล้ว

    Uchawi tu hakuna lolote

  • @sudeysisana5324
    @sudeysisana5324 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaalah