Allah atunufaisha kwaye.na atuwafiqishe kufuata mwenendo wake. na kuyahui yote mazuri aliyotufundisha. nakuendeleza umoja na mshikamana aluotuachia. natuifuate haki tuache ukabila
Sheikh huyu mbona mpotoshaji,Anasema mziki wa Halali.Ila uharamu wake mpaka Uimbe Matusi au uimbe mwanamke!Duh aisee Masheikh wa zamani walikuwa wakitafuta Dunia na sio Dini.Halafu anapenda kusema uongo eti kuwa Makka Adhuhur wanasali saa 5 asubuh!Duh aisee Elimu yahitajika kabisa
@@zakialustan722 Kwa hiyo tusiweke wazi Hii ni Dini ya Allah na Sio siasa.Allah amewafanyia Radi Washirikina,Wanafiki,Makufaari Na Kila atakayepotea Khusuusani Akiwa mlinganiaji katika Baatil ama Bidaati Basi lazima Abainishwe.Huo ndio Uislam Na Hekima maanake ni Kila jambo liwekwe mahala pake.Na hekima sio kufumbia maovu
Mwenye enzi mungu amlaze mahali pema Sheikh Mohamed ayoub!amiin!
Ameen Yarab @Mohamed Sasma
Allahuu Akbar allahuuma ghufirlahu Allah ampe Pepo ya firdaus
Allah mjaalie sheikh wetu mohammed ayoub jannataul firdaws nuzula
Mwenyezi Mungu Amrehemu Almaruhumu Shekh Mohammad Bin Ayoub AL-Kamadhy.
Masha Allah mungu Amlipe Sheykh Muhammad Ayyoub kwa kazi kubwa aliyoifanya
Allah amrehem shekh bin ayubu ampe kilichobora
Mwenyezi Mungu akulipe na akuhifadhi daraja la juu kabisa almaruhumu Shekh Mwaimu wa walimu tutaendelea kukukumbuka kwa dua mpaka mwishowa uhai wetu.
Allah akurehemu shekhe ama kwahakika umefanya kazi kubwa ya kuifundisha dini ya Allah umeacha adhari kubwa tutakukumbuka navizazivyutu inshallah
Allahuma ighfirllahu warahmahau waaskanahu fiy janna
Abdallah Msumai amiin
Naam Al habib
Mwalimu wetu waelim mungu amuhifadh
Allah amghurufie dhunuubi zake na amkinge na adhabu za kabri na za siku ya kusimama hesaab.
اللهم انفعنا بعلومه ونفحاته آمين
Amiin
Allahummaghufiril llah warhamuh
Allah mfanyie wepesi Mohammed bin ayoub amin
Allahumma ighfirlahu warhamhu waskanhu fil jannatil firdausil a'alaa,,,Allahumma aaamiin
MWENYEZI MUNGU AKURAHAMU
لو رايته في حياتي لفرحت جدا😥
jazaaka llaahu khairaa
naomba unitumie zote ulizokuwa nazo na mohmed bakari all bruhan 0679581458
Allah amrehemu shkh wetu Muhammad ayubu kwa kazi kubwa aliyo ifanya
اللهم الغفر له والرحمه ونفعنا بعلومه
Maashaallah
Allah atunufaisha kwaye.na atuwafiqishe kufuata mwenendo wake. na kuyahui yote mazuri aliyotufundisha.
nakuendeleza umoja na mshikamana aluotuachia.
natuifuate haki tuache ukabila
hawa ndio warithi sahihi wa mtume.
Alla awaremu masheghe wetuwotewaliotangulia mbeleyahaki
ماشاءالله يا قدوة
اتق الله يا أنت
القدوة هو رسول الله صلى الله عليه وسلم
هذا ليس بقدوة
Allah Akuzidishie wema
shekhe amezungumzia kuimba mashairi halali na ya harmu ktk sheria mfano swahaba hasan bin thaabit alikuwa akiimba mashairi someni msiropoke
Lakin si kwa kuchangany madufu magita na kadhalika
Mungu akilipe kilalakheli inshaala
we mjinga kweli hawa ndio mashekhe waliokuwa na ilmu kama hujamuelewa shekhe uliza
رحمه الله شيخنا
AllahuManfaanabibaraaqaatih
Amiin
Gogo la Ilm.
Nuru haipo tena ngudu yangu @embe dodo
Allahuma firlahu warahamuhum fill jann
Yaa Alla .mzidishie nuru ktk qabri lake
Maajab ya hii vedio mb zilikata lkn bdo Ina endelea ku play... bi karaa mihi
Muongo😂
Sheikh langu
Masha Allah
Maneno mazito yatabaki hai milele na milele
Shamsia umeenda nayo shekh
Wajuakamaumesoma kwamayahudihuwezijua lolote usichezee masheghe hatamaana baihihujui halafuunakosoa watu kasome mtaambulia kuwanarohombaya tu ndiofalsafa zakiyahudi huyosheghe wako unaemsifu anamjuavizuri kasome usidharau wanadhoni wakubwa majuni ww
kwa hiyo mashairi ya harmu ndio kam kumsifu mwanamke halali n kama alivyoimba hiyo swahaba
Kuna mashair na mziki mzik hat usimtaj mwanamk ila midundo yake2 haifai
Kipnd hy sidhan kam kulikuwa na record za mzik
Aameen
Ally Shaweji allah atunafaishe nae dunia na akhera inshllh
Allah amrehem shekhe
Hawa ndio wenye tanga yao
Mungu akulupe kilakheraheri
Mungu atupe mwenendo wa mzee huyu
Sheikh huyu mbona mpotoshaji,Anasema mziki wa Halali.Ila uharamu wake mpaka Uimbe Matusi au uimbe mwanamke!Duh aisee Masheikh wa zamani walikuwa wakitafuta Dunia na sio Dini.Halafu anapenda kusema uongo eti kuwa Makka Adhuhur wanasali saa 5 asubuh!Duh aisee Elimu yahitajika kabisa
Uwe na heshima unapo adress kitu especially kwa masheik ,eti masheikh wazamani waliweka mbele dunia ,angalia kauli zako
@@zakialustan722 Kwa hiyo tusiweke wazi Hii ni Dini ya Allah na Sio siasa.Allah amewafanyia Radi Washirikina,Wanafiki,Makufaari Na Kila atakayepotea Khusuusani Akiwa mlinganiaji katika Baatil ama Bidaati Basi lazima Abainishwe.Huo ndio Uislam Na Hekima maanake ni Kila jambo liwekwe mahala pake.Na hekima sio kufumbia maovu
@@zakialustan722 Ikiwa yeye Hakumheshimu Allah na Mtume ALiyekataza Mziki.
Nenda ukasome ndugu yangu usikrupuke tu
Huenda wewe hujaelewa