Asante sheikh wetu akupe umri mrefu Allah subhana wataala unayo tupa ni sure reality of life kweli tunaishi na majini mwilini riski zetu zimekuwa ngumu tumepigwa hasad Hadi twajiuliza maswali mengi . Asante sana atujalie Dua zetu Allah atusamehe
Aslm alkm vipi hali mimi pia ni mfuatiliaji mkubwa wa mada za SHEKHE kwa msaada wako tu shekhe anapatikana wapi au kama unweza Kuni saidia namba zake utakuwa umeokoa jahazi asante
Assalaam aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh Othman. Mungu akuzidishie elmu na umri ulojaa afya njema na amani. Naomba namba yako ya simu ili niwasiliane nawe. Nna matatizo nataka nikuelezee unisaidie. Ntashukuru sana
Wafundishe watu dua za kuomba rizki pana na iliyo halali,rizkun halalan wasia twayiba wacha kuwadanganya eti watakuwa matajiri na magari.msikitini ni sehem ya kumuabudu allah kuomba toba na pepo siyo sehem ya kuaga umaskini muongo tu wewe
Huyu sheikh toka nianze kumfatiã mashallah 🥰 amenibadilisha sana Alhhamdulillah 🤲.... Allah amzidishie umri na ilmu
Na mie ngoja nianze kufatilia🤲🤲
AMEEN YA RABB ALAMEEN
AMEEN YA RABB ALAMEEN
shukran sheikh ushuhuda tumepata, Allah akuridhie na akulipe kheri Daima
Mashaallah shekhe dua zako makubuli Allah akulipe heri inshallah
Masha Allah, Allah akulipe umenibadilisha sana
SUBHANALLAH 😭HASSAD MBAYA SANA HASANTE SHEKHE KW KUTUPA ELIMU ,
Na mimi nimebadilika saana kupitia huyu sheikh Allah amuhifadhi.
Shukran sana Sheikh wangu, una roho tajiri sana. Allah Subhana Wataala akuzidishie baraka
Allah aķuhifadhi
Allah akuzdshie kheri na barka ww na waislamu wengine wenye moyo wa kutuvutia na kutusaidia sisi tusojua tujuwe alhamdulillah
Shekhe niombee mungu mm na familia yangu insha Allah
Sheikh Osman Micheal, May Allah SWA bless you abundantly na story yako mwisho ime niliza Alihamdulillah
Shukran sheh kwa ulivo vitaj mm vyot nip nav mung akubarik kwa kutuokoa sheh mung atakulip ujir wak
Allah akbar❤❤❤❤❤asanteeee mwalim mngu azidi kukubariki
Masha Allah 🎉🎉 jazaakallahu khaira
Me nimekufuatilia juzi tu Alhamdullah Allah ananijibu pasipo na ufahamu Allah atakulipa
Mashaallah
Kisha unaomba wakati gani
Au wakati wowote
Plz nijibu manake nimejatibu
Sina Cha kukulipa kwa majibu Yako ila mungu atakulipa sawa
Inshallah mengi anayo sema ni kweli kabisa
Allah akulinde nilivyonufaika na wewe sipati kukwambia..kwa idhini ya Allah akufanye uendelee kuwa muda mwingi duniani
Ameeen
Subuhanallah hakika yote ulosema yapo
Je wakristu wanawezaje kujia hiyo hasadi shekhe
Allah atakulipa ujira wako inshaallah
Shehke alhamdulillah ukija kiwalani utoe darasa kama hii hasa msikiti wa mama chuchu
Asante Sana Sheikh huna rohobaya ulichonacho kizuri unawapa wenzio.
Allah kulipe ujira mkubwa san siku ya kiama inshaallah na akupekila hitajio la moyo wako
Sheikh nipo kwenye mtihani mkubwa na familia yangu mwaka wa nne sasa.
Leo usiku ndio nimeanza kutekeleza mafundisho yako.
Inshallah uniombee nifaulu.
Shukran sana
😢😢😢😢 Shukraan sheikh .... Allah akupe kila hitaji la moyo wako
Ameeen
Mashaallah tabarakaah
Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri
Mungu akupe afya njema Naumri mrefu ilituzidi kufurahi
Shukran shekh tutalifanyia kazi mana hali yangu ni ngumu
Allihamdulliah shekh kw kutugea mafunzo mema
Mashaa Allah tabaraka arrahmaan.. ❤
Jazakallah khery shekh allah atakulipa
Asante sheikh wetu akupe umri mrefu Allah subhana wataala unayo tupa ni sure reality of life kweli tunaishi na majini mwilini riski zetu zimekuwa ngumu tumepigwa hasad Hadi twajiuliza maswali mengi . Asante sana atujalie Dua zetu Allah atusamehe
Sheikh Shukran kwa mawaidha mazuri🙏🙏🤝!!
Asante saana
Shukurani shekhe Allah akuzidishie inshaallah
Shukrani sana kwa elim nzur sana kama iyo
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi
Mafundisho yako mazuri sana sana
MashAllah shucraan Sheikh kwa Ilmu hii
Sistr wng
JazaakkALLAHU khairaaan yaaa sheikhh
Shukrani sana kwahiyo tiba tutayifanyiyakazi ishaallah
Mungu akuhifadhi shekh nami ngoja nifanye inshaallah
Ww unae kashifu jichunguze shkh anaongea unakashifu
Shukran sheikh Allah akuzidishia
Shukran Allha akulipe kher
Dah mm ndio nimeharibiwa na vyote viwili mpaka nataka kuchanganyikiwa,ngoja niamke ninawe hayo maji
Subhanna alla mambo ya watoto hayaendi kabisa shekh
Me wangu asha ondoka malaika wanguu😭😭😭😭
Shukrani shekhe
Amina
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh, Shiekh, Ahsante, Allah akupe khaira Ameen
Aslm alkm vipi hali mimi pia ni mfuatiliaji mkubwa wa mada za SHEKHE kwa msaada wako tu shekhe anapatikana wapi au kama unweza Kuni saidia namba zake utakuwa umeokoa jahazi asante
Aslm alkm vipi hali naomba msaada nimekwama shekhe nampataje au namba yake ya simu
Aamiyn kwa sote
Amena
Jazakallah kheir
Asalam ALEYKUM ndug Zang waislam Na swali inaruhusiwa kuoga usiku
Shukrani
Jadhakalau khaira nitaifanya hiyo
Mashaalah
Shekhe mm nikohivyo tu mambo yangu hayaendi kabisa
Amiin amiin inshallah
Ass alam
Alykum
Shekhe
Umenibadilisha
Kiimani
Ninaomba
Uje
Korogwe
Hairul
Isilamia
Masjid
Kambi
Ya
Maziwa
Kilole
Utoe
Dawa
Inshalaa
Shukraan sana
Mashallah
Asante sheghe
Assalaam aleykum warahmatullah wabarakatu sheikh Othman. Mungu akuzidishie elmu na umri ulojaa afya njema na amani. Naomba namba yako ya simu ili niwasiliane nawe. Nna matatizo nataka nikuelezee unisaidie. Ntashukuru sana
8:50 8:58 9:00 9:00
Subhanallah pol san
Subhanallah nahis had kutetemeka... Tupe no za simu au app Yako you download tuwe tunakufatilia huko
Shukran sana sheikh
Ni mimi huyo😢dalili kama zote ninazo
Asw naomba namba yashehe
Hizi dalili hatoki mtu hasa wanawake
Assalam alaykum shekh mm umenipta huu mtihani wa hasad nnifanye vp ili iondoke
22:00
Hiyo hadithi inapatikana kitabu gani na ameipokea nani?
Asalam aleykum naomba kuuliza iyo dawa ya maji unaweza jifanyia mwenyewe bila kufanyiwa na mtu?
Unatakiwa Ufanye Mwenyewe ndo Maana Akaelekeza jinsi ya kufanya
Kama hauna bafu
Eti sehem ya kuuaga umaskini ni misikitini kwahiyo allah alituambia twende msikitini tukatajirike we kweli tapeli
Sasa mm mkristo nitajuaje dual na sijui kuswali wala kuomba nifanye nini
Itabidi usilimu {uifate haq}
Subhanallllah
Wafundishe watu dua za kuomba rizki pana na iliyo halali,rizkun halalan wasia twayiba wacha kuwadanganya eti watakuwa matajiri na magari.msikitini ni sehem ya kumuabudu allah kuomba toba na pepo siyo sehem ya kuaga umaskini muongo tu wewe
Unajua unachosema? Nini maana ya rizk pana?
Yaan wewe kila Darsa la huyu sheikh lazima useme negative 🤣
@@bahatimbande2207 darsa la kishenzi lazma liitwe ushenzi swali jingine
@@bahatimbande2207 shehe kwako miye kwangu shehena mshirikina tu huyo
@@nasirmohamed1589utaumwa bure kwa hasad