Alhamdulillah kila baada ya swala namswalia mtume mara 100. Na nikikaa ndio uradi wangu hata km nnakazi gani hata nikilala nasoma dua ya kulala kisha namswalia mtume mpaka napata usingizi. Namshukur Allah kwa kunipa wepesi wa kuitamka namuomba Allah anidumishe iwe uradi wakudumu ktk ulimi wangu. Nawaombea pia wenzangu Allah awape wepesi wa kumswalia Mtume Muhammad (S. A. W).
MashaAllah sheikh mm mwenyewe nimefanya ila si kwa kutaka utajiri kwa kumuombea mgonjwa wng na wallah kapona na alikua hata hawezi kuinuka Alhamdulillah
Mwenyez mungu akupe maisha marefu shekhe nimejifunza jambo.eemwenyenzi.mungu.naomba.unipe.afya.na.uniondolee.maradhi.na.unifungulie.mirango.ya.ridhiki.Yaaarab✍️🙏
Assalam aleykum sheikh othman maiko , shukran kwa mawaitha yako na kutuelekeza kwa kumswalia mtume wetu mpendwa Muhammad SWA na kumuomba Allah atujaalie tupate yale yote tunayo muomba,tumuombe Allah atupe nguvu ya kufanya ibaada ya usiku ili tupate neema zake, Inn Shaa Allah, Allah akujaalie mema kwa kutupa siri ambayo wengi wetu hatukuwa tunajua, Allah akupe afya na nguvu kueneza neema za Allah kwa wasio jua na kuwa fungua macho kuweza kuona mbale na kufanya kazi yake Allah, shukran sana sheikh Othman
In shaa Allah mwenyezi mungu anijalie uzima na afya leo naanza allah atufanyie wepesi atujalie kila mwenye uzito atufanyie wepesi ameen 🤲 sheikh Allah akujalie imani uzime na afya atuongoze sote kwenye khery ameen
Shukran sheih mafunzo yako yamenipa faraja ya moyo kwa jinsi maisha yangu yalivyo kuwa magumu hadi nimeenza kufa moyo kila cku kulia, ila kuanzia sasa nitalitilia maanani na kumswalia mtume saw kila cku, jazzah yako iko kwa Allah
Waswalie wazazi wako acha upumbavu kwani muhamadi ndo kakuzaa ndo maana huna maisha ju unaacha kumswalia Mama yako alokubebea tumboni miezi 9 eti unamswalia muhamadi mtu ambae humjui pumbavu
Kila kitu changu kimefunguka kwa sbbu yakumsalia mtume.allahuma swalli ala Nuri Rahman wamaadhinil maarif rabania sayyid na maullana Muhammad wala ashabihi wasalim
مشاء الله تبارك الله الله يحفظك يا عثمان MIMI Niko saudia katika mazi yangu natokea Burundi nimefaidika kuskia darsa hili NA Assante kabisa mungu AKUPE mwisho mwema
Ulikula chakula gan ndugiangu isje ikawa ulivimbiwa 😂 nakutania lkn kma ww ni mtu wa ibada bs ni kweli umemuota mtume maaan kwenye ndoto hizi huwa mtume umemuota kweli yy
Mashallah shukran saaana sheikh' wetu allah akulinde akupe mwisho mwema mimi alhamndulillah huwa namswaliya rasuul llah nishawahi kulala namuota mtume nahisi nipo nae kwenye ndoto nahisi namuona mtume lakin simuoni nahisi kama nipo nae karibu 😢dah allah atupe yale tunayo yataka na mwisho mwema amiiiin 🤲
SHEKH nami niombe dua nikikaa nakosa amani mjomba wangu anaumwa mwanangu saleh abdullah anashida ya mkono ya kushoto nilishawah kuja ila nikakuta umesafiri dua yako tafadhali
Assalam alaikum: Mimi ninapenda Kufanya Adh-kari, nyiradi zangu imo Swala ya mtume, na ninaisoma mara mia tu, unaloliongea Shekhe wangu ni ukweli mtupu, pesa ni zinaingia tu bila kutegemea, hapo ni mara miamoja, acha niongeze bidii
Alhamdulillah! Shekhe nakupenda kwa ajili ya Allah has unavyotoa mawaidha kidogo kidogo mtu anaelewa, Allah atufanyie wepesi katika kuyafanyia kazi mawqidha haya mujarab
Shekh Shukrani nilijua nipo peke yangu kwenye hili ila nimefanya uzembe miezi kadhaa Mm sijitambulishi kwako tutakutana inshallah acha leo hii ni rudi kwenye hiyo kazi inshallah mwanza tena nitarudi hapa
Wallaih mm nmelelewa kikiristo lakini Baba yngu kizazi changu n Islam ata hizi mm n Muslim Kwa kweli nmepitia changa Moto nyingi tangu nlivyo slimu Alhamdulillaah 😍 naitaji mm pia n kizazi changu kiwe kimesimama ima n dini ya ALLAH AMIIN RABHI AMIN SHUKURU ALLAH
@@stoic_guild Npitia ila naami Allah Kareem najaribu ata ninapo mitiani mizito vp bsi nasumama n swala za ucku n zikr bsi Allah Akbar 😍 tusaidiane Kwa Kheri yke Allah n uslam tuzidi kuwa n ujasiri n kusamama n Kwa Kheri insha'Allah
Asalamwaleykum warahmatullah wabarakatu shukran tabaraka Allah shekh wewe sina lakisema Acha tu nikuombee duwaa Allah azidi kukuhifazh natunakupenda sana nimefayidika nadarsa lako
Wala sio uongo ni kua na imani na nia tu kila amal na nia ikiwa huna imani huwezi fanikuwa. Mtume mwenyewe S.A.W kasema ukimswalia swala zinamfikia aliko uongo wapi? Hata hio pepo huwezi ipata kama huna imani. Shaikh Othman Allah akuhifadhi umefikisha ilobakia kazi mtu kwake.
Mashallah allahmdullah Allah akuajalie miongoni mwa waja wake wema akuajalie na mwisho mwema inshallah nitaifanyia kazi iyo swala na naamin Allah na mm ataniajalia inshalla amin
Walahi sheikh Othman nashkur mafunzo yako yamenighuza na kujiona tajir ila Kwanzia Leo naanza kumswalia Mtume, Allah akujarie zaidi na zaidi nakuskiza tikea Nairobi
Alhamdulillah kila baada ya swala namswalia mtume mara 100. Na nikikaa ndio uradi wangu hata km nnakazi gani hata nikilala nasoma dua ya kulala kisha namswalia mtume mpaka napata usingizi. Namshukur Allah kwa kunipa wepesi wa kuitamka namuomba Allah anidumishe iwe uradi wakudumu ktk ulimi wangu. Nawaombea pia wenzangu Allah awape wepesi wa kumswalia Mtume Muhammad (S. A. W).
Mashaalwa she mm natakA quwa ya kuwa mwepes wajambo jambo lakes Ni swala
Allah akulipe kheri shekh kwani wengine tulikua hatujui haya
Mashaallah
Maa Shaa Allah
Mashallah
MashaAllah sheikh mm mwenyewe nimefanya ila si kwa kutaka utajiri kwa kumuombea mgonjwa wng na wallah kapona na alikua hata hawezi kuinuka Alhamdulillah
MASHALLAH
Niandikie nami niisome siijui swalaganihiyo?
Salatu Ibrahimiya
Mashaa Allah Tabarakallah
@@hanifatanzania7258 sikiliza video mwanzo mwisho utaelewa tu
Nampenda saana, kwa ajili ya ALLAH huyu sheikh. Ma sha allah. Namuomba ALLAH ampe afya, uzima na umri mrefu Yaarab. 🤲🇴🇲🇹🇿💕
Amiin ya Rabbi 🤲🇴🇲
Amin
MashaAllah MashaAllah jazzaka llahu hkeri
Ammin Allahuma Ammin 🤲 kwa sote inshallah
Ameen Yarab
Mimi pia nilijaribu siku moja nilipata pesa siku hiyo mashaallah
Maashaallah maashaallah yaa sheikh Oathman .Allaah akulipe kheri na akuepushe kilalashari uzidi kuitetea kalima ya Allaah .
MashaAllah kuanzia leo nitakuwa namswalia mtume Mohamed (SAW)
Kwa hiyo siku zote ulikuwagi humswalii mtume ?
@@suleymanjuma4309 Bora qmekiri kwa maandishi yake ndio wengineo hawamswalii mtu s.a.w
😂😂😂😂mtume anaswaliwa we una utukufu gani wa kumswalia mtume, mtume ndo akuswalie wewe, sasa ukimswalia ndo haendi motoni au😂
Allahuma swaali wasalim wabaarik ala seyidna Muhammad walaa alihi wa swahbihi wasallam.
Inshaalah
Mwenyez mungu akupe maisha marefu shekhe nimejifunza jambo.eemwenyenzi.mungu.naomba.unipe.afya.na.uniondolee.maradhi.na.unifungulie.mirango.ya.ridhiki.Yaaarab✍️🙏
Allahumma Aamiin
Alhamdulilah Rabilaalamin tunamshukuru Allaah anaetupa uwezo wa kumsalia Mtume SAW Alhamdulilah Rabilaalamin tunapata faraja nafsini mwetu
Mshallah shekhe othumani maiko
Assalam aleykum sheikh othman maiko , shukran kwa mawaitha yako na kutuelekeza kwa kumswalia mtume wetu mpendwa Muhammad SWA na kumuomba Allah atujaalie tupate yale yote tunayo muomba,tumuombe Allah atupe nguvu ya kufanya ibaada ya usiku ili tupate neema zake, Inn Shaa Allah, Allah akujaalie mema kwa kutupa siri ambayo wengi wetu hatukuwa tunajua, Allah akupe afya na nguvu kueneza neema za Allah kwa wasio jua na kuwa fungua macho kuweza kuona mbale na kufanya kazi yake Allah, shukran sana sheikh Othman
ämën
Allahumma swali alaa Sayyidna Muhammad wa alaaa aaaly Sayyidna Muhammad S.A.W
Allahumma Swali Alaa Sayyidna Muhammad Wa Alaa aaaly Sayyidna Muhammad 🙏S. A. W
Shukran sheikh
In shaa Allah mwenyezi mungu anijalie uzima na afya leo naanza allah atufanyie wepesi atujalie kila mwenye uzito atufanyie wepesi ameen 🤲 sheikh Allah akujalie imani uzime na afya atuongoze sote kwenye khery ameen
Àmmin Kwa sote inshaalah
Como se reza irmão por favor preciso aprender 😢
Shukran sheih mafunzo yako yamenipa faraja ya moyo kwa jinsi maisha yangu yalivyo kuwa magumu hadi nimeenza kufa moyo kila cku kulia, ila kuanzia sasa nitalitilia maanani na kumswalia mtume saw kila cku, jazzah yako iko kwa Allah
Waswalie wazazi wako acha upumbavu kwani muhamadi ndo kakuzaa ndo maana huna maisha ju unaacha kumswalia Mama yako alokubebea tumboni miezi 9 eti unamswalia muhamadi mtu ambae humjui pumbavu
Mashaaa Allah..Nakupenda kwa ajili ya Allah shekh Allah Akijaalie umri mrefu shekh tuzidi kufaidika na faida unazotupa inshaa Allah.
Leo usiku Nitanzisha dua iyo, incha Allah Allah aikubalie🙏🙏🙏
Mashallah shee mwenyewe nimefanya nilikuw sin kaz ndani ya wiki nilipata wallah
Shekhe othamani nakupenda kwaajili ya Allah Allah akudizishie akujaalie kauli thabiti muachie Allah anaekudharau
Allahumma swali alaa sayyidna mohammad waali alaa sayyid aaly Muhammad
Jazakaallah I'm starting to day tu do what you teach
Danke sehr Shech. Ich liebe Muhammadin Swalla Llahu Alayhi Wasallam
Tunashukur sheh wetu kq kutupa darasa zuri na kutujaza imani mioyo yetu...allah akufanyie wepec kila hitaji lako na akupe maish marefu
Allahuma swali alaa sayidina muhamadi waali sayid na Muhammad
Allahu maswali alaa sayyidina muhhammad
Alla Akupe Afya shekhe kutu ilimisha fayda na sifa zake mtumi wetu اللهم صل وسليم عليه
Kila kitu changu kimefunguka kwa sbbu yakumsalia mtume.allahuma swalli ala Nuri Rahman wamaadhinil maarif rabania sayyid na maullana Muhammad wala ashabihi wasalim
Mashaallah
Unaeza kutuandikia izo dua zingine alozitaja tatu
@@user-xt3zz7uj4gNaomba iwe ivo pia mm ndio iwe rahisi kwetu
Asalamu alaykum sheghe wangu othmani maiko umenipa elmu ambayo sijawahi kuipata kwa sheghe yyte alhamdulillah Allah akupe umri mrefuu wenye manufaaa
Shekhe mbn unaongea harak harak Jmn Asante kwa darsa zuli Allah akubariki dunian na akhera
مشاء الله تبارك الله
الله يحفظك يا عثمان
MIMI Niko saudia katika mazi yangu natokea Burundi nimefaidika kuskia darsa hili
NA Assante kabisa mungu AKUPE mwisho mwema
Naitaji elimu uwa dua zngu n soma Kiswahili wallaih n pia ALLAH AKBAR 💯 uwa ananifanikisha Alhamdulillaah
Salam aleykhum sheekh naitwa Abdulkarim juma usiku wa alhamisi tareh 20/04/2023 nilimuota mtume mohamad s.a.w kaja nafarasi mwenyew mabawa Kisha nikatoa shahada nikashtuka kutoka usingizini ilikuwa alfajir
Ulikula chakula gan ndugiangu isje ikawa ulivimbiwa 😂 nakutania lkn kma ww ni mtu wa ibada bs ni kweli umemuota mtume maaan kwenye ndoto hizi huwa mtume umemuota kweli yy
MashaAllah, Sheikh it's very true, I'm a living proof of swala za mtume, mashaAllah ziko na manufaa makubwa. Shukran sana
Mashaallah in sha Allah mungu anipe nguvu na umri niwe miongoni wa ku msalia mtume yarabh...
Ameen
Ameen in sha Allah soteni kwa uwezo wa Allah
Mashallah shukran saaana sheikh' wetu allah akulinde akupe mwisho mwema mimi alhamndulillah huwa namswaliya rasuul llah nishawahi kulala namuota mtume nahisi nipo nae kwenye ndoto nahisi namuona mtume lakin simuoni nahisi kama nipo nae karibu 😢dah allah atupe yale tunayo yataka na mwisho mwema amiiiin 🤲
Allah hadhu lillah shukurura sheikh kwa ukumbusho wakijitahidi kumsalia mthumee inshallah inshallah
Mashallah maalim mwenyezi mungu akupe Afya njema na umri mrefu wenye manufaa duniani mpaka Akhera.kwa faida hiyo
SHEKH nami niombe dua nikikaa nakosa amani mjomba wangu anaumwa mwanangu saleh abdullah anashida ya mkono ya kushoto nilishawah kuja ila nikakuta umesafiri dua yako tafadhali
Shekhe mwenyezi Mungu akupe afya njema namimi natia Nia yakumswalia mtume muhammadi swala llahu alayh wasalama,
Assalam alaikum: Mimi ninapenda Kufanya Adh-kari, nyiradi zangu imo Swala ya mtume, na ninaisoma mara mia tu, unaloliongea Shekhe wangu ni ukweli mtupu, pesa ni zinaingia tu bila kutegemea, hapo ni mara miamoja, acha niongeze bidii
ALLAHU AKBAR SHEKHE OTHMAN MICHAEL ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA WA HAPA DUNIANI KABURINI NA KESHO AKHERA
Hata mimi nimeshuhudia uzuri wa swala ya mtume swa
Sheikh JAZAKALLAHU KHAIRY
Ila ndefu , inachukuwa mda kama 25 minutes.
@@ashaabeid4520 è4
Allahumma swalli alaa sayyidina mohammadi wa aalihii waswahbihii wasallam
Shukran
Shukran
Shukran
Shukran Shehk mola akujalie maisha marefu sina likubwa na weza kukupa ila mola akupe maisha marefu
Shukrani sheikh Allah akulipe kila la kheri kwa kutujuza mengi mazuri
Allahumma swaliiAlaa Sayyidnn Muhammad Wa alaa Aaaaly Sayyidna Muhammad S.A.W
❤❤ mashaa Allah Sheikh Osman Maiko Allah atufanyie wepesi Inshallah
Allah atie baraka katika maisha yako sheikh, Amiin
Mashallaah Allah akuifaizi
Allahumma amiin
W
A
Alhamdulillah! Shekhe nakupenda kwa ajili ya Allah has unavyotoa mawaidha kidogo kidogo mtu anaelewa, Allah atufanyie wepesi katika kuyafanyia kazi mawqidha haya mujarab
Shekh Shukrani nilijua nipo peke yangu kwenye hili ila nimefanya uzembe miezi kadhaa
Mm sijitambulishi kwako tutakutana inshallah acha leo hii ni rudi kwenye hiyo kazi inshallah mwanza tena nitarudi hapa
Mwenyewe ninamswalia sana mtume,mengi nimeyaona wallah!
MaaShaAllah sheikh
Jazakallahu Khair
From Kenya
Sheikhe alhamdu linlah nimefurahi sana kuhusu hayo maji aliooshwa mtume.
MashaAllah ustadh mawaidha mazuri kwel mwenyez mung akukinde na nakupendaaa Kwa ajili ya Allah
Shukrani sheikh ntaanza leo uradi huu na inshaallah nisiusahau na kuuacha kabisa.
In sha Allah Allah anijaalie na mm nipate haja zangu Asante shekhe kwa elimu
Mashaallah,Alihamundulillah nashukuru kwa mafunzo mazuri,endelea vyema kutupa darsa nasi tupate fursa zaidi kujua zaidi mambo mbalimbali kuhusu dini
Inshallah mungu akujalie neemah na pia unifanyie Dua nami niweze kufuata mtume Muhammad
Alhamdulillah 🙏 kwa mafunzo, ila nami nitajitahidi kumswalia mtume inshallah 🙏
Masha allah mungu akulipe sheikh kwa swadaka hii inayoendelea
Wallaih mm nmelelewa kikiristo lakini Baba yngu kizazi changu n Islam ata hizi mm n Muslim Kwa kweli nmepitia changa Moto nyingi tangu nlivyo slimu Alhamdulillaah 😍 naitaji mm pia n kizazi changu kiwe kimesimama ima n dini ya ALLAH AMIIN RABHI AMIN SHUKURU ALLAH
Pole sana. Hata mimi nilisilimu ila kwa sasa nipo vizuri Alhamdulillah.
@@stoic_guild Npitia ila naami Allah Kareem najaribu ata ninapo mitiani mizito vp bsi nasumama n swala za ucku n zikr bsi Allah Akbar 😍 tusaidiane Kwa Kheri yke Allah n uslam tuzidi kuwa n ujasiri n kusamama n Kwa Kheri insha'Allah
مبروووك الف مبروك allah awajaalie nuru ya dunia na akhera allahumma amiin.
اميين يا اختي وانتي الله يجزاك خير
MAASHALAAH
Allahumma swalli a'laa sayyidina Mohammadin waa'lihy waas'habihy wasallim
Asalamwaleykum warahmatullah wabarakatu shukran tabaraka Allah shekh wewe sina lakisema Acha tu nikuombee duwaa Allah azidi kukuhifazh natunakupenda sana nimefayidika nadarsa lako
Mashaallah sheikh letu,twakupenda kwa Ajili ya Allah
Allahu maswalli Alaa sayyidina Muhammad waalihi waas haahabihi wasallim
Mashallah Shukran sanaaa kwa Mawidha yako mzuuur
اللهم صلي وسلم وبارك على حبيبنا محمد صلى الله عليه وسلم عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته
Abdul
Amiin
Ni hakika siri kubwa ya kumswaliya mtumi wetu nimei iyona اللهم صل وسليم عليه
Wala sio uongo ni kua na imani na nia tu kila amal na nia ikiwa huna imani huwezi fanikuwa.
Mtume mwenyewe S.A.W kasema ukimswalia swala zinamfikia aliko uongo wapi?
Hata hio pepo huwezi ipata kama huna imani.
Shaikh Othman Allah akuhifadhi umefikisha ilobakia kazi mtu kwake.
Allah akulipe pepo ameen. Nimeipata clip hii wakati muafaka. Alhamdulillah ala kulli haal
Ma asha Allah shukran kwa dawwa sheikh Allah akuhifadh tutazidisha kumswalia mtume in Sha Allah 🙏
Mashaalla Alhamdhulillah kwa neema za Allah mungu atuzidishie kheri
Shukran jazzaka Allah kheri inshallah Mwenyezi Mungu atujalie wepesi kwa hilo yarabialamin
MASHA ALLAH JAZAKA ALLAH KHEER SHEKHE ATHMAN KWA MASOMO ULIOTUPATIA YA KUMSWALIA MTUME S,A,W
Shekh nakushukulu kwa uradi Mzuri ulio tufundisha inshallah nita dumu nao
Shekh Allah akuzidishiye elimu
نعم ،، مشاءالله تبارك الله،،شكرن لك يا شيخ ،،و جزاك الله خير ،،،👍👍💚💚💚💚
A/alykm warrahmatullah wa barakatuh mm naomba uiandike hiyo dhikri ya kuponyesha maradhi mn wengine kuhifadhi ngumu
Shekhe niombee dua tafadhal nakupenda sana sana❤❤❤
اميين يا اختي وانتي الله يجزاك خير
Shukraan sheikh Aĺlah akujaze kheir naanza na hili in shaa Allah
Mashallah allahmdullah Allah akuajalie miongoni mwa waja wake wema akuajalie na mwisho mwema inshallah nitaifanyia kazi iyo swala na naamin Allah na mm ataniajalia inshalla amin
Masha Allah shekh nakupenda Sana Kwa ajili ya Allah
Inshallah nitafanya nitie Nia niwe msomaji mzur wa qoran
Allahumma swali alaa sayyidina Muhammad walii waswahbii wasalim
Allahu Akbar takbiri nakuombeya Allah akuzidishiye kheira akupe mwisho mwema 🤲 😭😭😭 Wallahi 🤲🤲🤲
Alhamdulilah elimu imenifikia wakati muafaka.
Mashaallah shukran saana shekhe.🤲
Asante sana Allah akubarki na aendelee kukueka uwe unatupatia mafunzo matam.
Mashaallah Alhamdulillah Alhamdulillah Allah akuhifadhi shekh
Walahi sheikh Othman nashkur mafunzo yako yamenighuza na kujiona tajir ila Kwanzia Leo naanza kumswalia Mtume, Allah akujarie zaidi na zaidi nakuskiza tikea Nairobi
Mashaaalah
Wallahi sheikh na kushukuru kwa mafunzo yako na kwa zia Leo nitaanza kumswalia mtume
Masha Allah sheh mm ndiy Natal nianze mungu anifanyie wepes
Shukran Djazakallah khay'iran Sheikh
Mashallah jazakallah kheri Shekhe othmaan
Hata mimi naipenda hii kumswalia mtume nakushukuru allah akupe wepesi
Mashaallah sheikh Allah atujaze Iman na elimu sisi pia na akuzidishie umri uzidi kutuelimisha
Masha Allah tabarakallah ❤❤
Mimi ni mkristo lakin nimekuelewa , Duniani mara mia Kisha Uzima wa milele
Asalamualeikum warahamatulwahi mashaalwa kwa jina naitwa Abdalla Ahmed kutoka Mombasa umenizidishia moyo wa kumswalia mtume tuko pamoja inshaalwa
Aww je Shekh Hii Swala ya Twibilkulubi unasoma Mara Ngapi
Mashalll mawaidha mazuri kabisa Asante sana kwa maidha mazuri
Mashaallah Allah akuweke
ALLAH AKUHAALIE JANNAH,AAMIIN KWA KUTUPA ILMU HIYO BILA CHOYO.
Alhamdhulilah. ALLAH Amenijaalia kupata ujumbe wa kheri
Asante sana shehe nimeelewa mungu akupe maisha marefu amina
Allah ooooh Allah na muombea shekhe uyu mola ampe darja kwa kuelimisha watu yarabi hakika ana tufanta tuna kuamini pia
Shukran sana shekhe ntafanya ivyo kuanzia leo ntakupa mrejesho
Allah akuhifadhi sheikh wetu hakika unatuamsha katka dini