Jogoo Akiwika Omba Shida Zako Allah Anajibu /Sema Maneno Haya Ukitaka Kula /Sheikh Hashimu Rusaganya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @alingedzo3359
    @alingedzo3359 8 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah, Sheikh Rusaganya Allah akujalie maisha marefu uzidi kutupa ilmu ya Islam

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah jazakallahu khair

  • @abdinassir3233
    @abdinassir3233 8 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallahu Kyran 💯❤❤❤❤

  • @suleymanpongwa4588
    @suleymanpongwa4588 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sheikh kwa mawaidha yako mazuri Allah azidi kukupa maisha marefu uzidi kutupa darsa ss waislami wenzako

  • @MwahanjeNdegwaNdegwa
    @MwahanjeNdegwaNdegwa 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tumekuelewa shekh wangu

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 8 หลายเดือนก่อน

    Na wanao wika kugombana je. Ninyi karibu kwa Yesu

    • @MwinyiJuma-n4i
      @MwinyiJuma-n4i หลายเดือนก่อน

      Hakuna jogoo anaewika kugombana mbwa wewe kwayesu mpeleke mamako

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah sheikh shukraan kwa mafundisho mazuuri ambayo nimeyasikia na kuelewa jazakah llah kheer 🤲

  • @HawaHawa-f7u
    @HawaHawa-f7u 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabaraka rahmanii ❤❤❤

  • @alingedzo3359
    @alingedzo3359 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar, paka kuvua nguo Masha Allah congratulations 🎊

  • @CiiIrakoze
    @CiiIrakoze 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran❤

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 8 หลายเดือนก่อน

    Oooh allah tujaalue tuwe ni wenye kukumbuka kuomba dua

  • @abdinassir3233
    @abdinassir3233 8 หลายเดือนก่อน

    Salallahu Aleyhi Wassalam

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Asante chehee kwaufundisho yamana

  • @laylasuleiman10
    @laylasuleiman10 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubark shehe wetu , mungu akulipe kila la kheir duniani na akheira

  • @JafariNgunguti
    @JafariNgunguti 8 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKUHIFADHI SHEYKH

  • @abdulmashine3105
    @abdulmashine3105 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sheikh una baya

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana shekhe wangu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

    Jazakallah.khaillah shehe

  • @AishaMeshack
    @AishaMeshack 8 หลายเดือนก่อน

    Amina shehe wng wamaidha yamepita ayo

  • @mariamomran6144
    @mariamomran6144 8 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @thuweiybab3338
    @thuweiybab3338 8 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallah sheikh

  • @fitinabwashi8487
    @fitinabwashi8487 8 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallah kheir

  • @ashurahassan1351
    @ashurahassan1351 4 หลายเดือนก่อน

    Amiin

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 8 หลายเดือนก่อน

    Inshallah

  • @fitinabwashi8487
    @fitinabwashi8487 8 หลายเดือนก่อน

    Jazakalah

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran

  • @HamadiJecha
    @HamadiJecha 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @djumaassumani5169
    @djumaassumani5169 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ naku fata toka Congo DRC

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 8 หลายเดือนก่อน

    MashaﹰAllah sheikh jazzakallaahu kheir ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Allah akupe afya Aamin hakika unatuelimisha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @musitafanchombe4960
    @musitafanchombe4960 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @PiliMpuma-m4t
    @PiliMpuma-m4t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah

    • @Halima-du1jv
      @Halima-du1jv 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mola mwingine wakuabudiwa isipo kuwa ni Allah

  • @richardmshiu5118
    @richardmshiu5118 8 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂Daah ushirikina hautakaa uishee hii dunia..

    • @AllyGibu-cz2vo
      @AllyGibu-cz2vo 8 หลายเดือนก่อน

      Unamaanisha nini

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ushirikina ni we unaesema yeso ni mungu huo ndio ushirikina..

    • @safarsafari68
      @safarsafari68 8 หลายเดือนก่อน

      We kasome dini Acha kuropoka2

    • @richardmshiu5118
      @richardmshiu5118 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@safarsafari68 Kuna dini hapo au Ni ushirikina.

    • @YehudabanYerushailēm
      @YehudabanYerushailēm 8 หลายเดือนก่อน +2

      Dini nyingine hizi za kiganga ganga tu, majini yote ambayo sisi tunayakemea wao wanaswali nao 😂😂

  • @saidmaulid2686
    @saidmaulid2686 8 หลายเดือนก่อน

    Wee huna unachokijua kasome upya, unasema mtu mfupi haingii peponi umepata wapi

    • @MukulasiKapela
      @MukulasiKapela 8 หลายเดือนก่อน

      Sio mfupi ata vilema awaingii

  • @gigiman5465
    @gigiman5465 8 หลายเดือนก่อน

    😂
    Ndio maana Mtume a.s kabla ya kufariki alikataza maswahaba wake wasiandike Hadith na vivyo hivyo Abubakar r.a alichoma zaidi ya Hadith 500 zilizoandikwa vivyo hivyo Kwa Umar r.a
    Hadith ni msiba Kwa hii dini na tunarudi kama alivyofanya waliotangulia miongoni mwa mayahudi kuandika vitabu na ndio maana hizi ziitwazo Sahih Hadith nyingi ni uzushi.🚮

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ndio dini. Allah hatoshi. Hadi jogoo akuongoze kuswali? Ina maana hakuna Roho Mtakatifu huko.

    • @FarajiiAlly
      @FarajiiAlly 8 หลายเดือนก่อน +2

      Ukiweka akili yako kwenye kuji funza uta elewa

    • @YehudabanYerushailēm
      @YehudabanYerushailēm 8 หลายเดือนก่อน +1

      Uganga na dini tofauti😂

    • @flyhigher5393
      @flyhigher5393 8 หลายเดือนก่อน

      @jumahili8121 akili yako iko matakoni wewe

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 8 หลายเดือนก่อน

      Roho mtakativu ni ushetani nikupe andiko katka bibilia au unalijua

    • @abdinassir3233
      @abdinassir3233 8 หลายเดือนก่อน

      Elewa kwanza maelezo,don't justify.dont show insults if not interested don't listen please.let us who love to know more listen.Asalam Aleikum

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @Ommyjr-en9fc
    @Ommyjr-en9fc 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @zuhramwavyoni8400
    @zuhramwavyoni8400 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤