Vita ya Mpina na Mwigulu I Nilipingwa na Mawaziri I Kuna Njama Zinasukwa Kuibia Mapato Serikali 🔥🔥

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
  • Waziri tulimshauri muda mrefu malimbukizo ya kodi kwa jailli ya TRAB na TRAT na hadi sasa yamefikia trilioni 10.48, huwezi kukusanya kodi katika mazingira ya namna hiyo, hivyo tusipolinda viand vyetu via ndani hatuwezi kukusanya kodi.” Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina, leo wakati achangia bajeti ya Wizara ya Fedha ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/2025.
    Endelea kuperuzi kwenye mitandao yetu ya kijamii @cloudstv @cloudsfmtz na akaunti ya TH-cam “Clouds Media” kwa updates zote.
    #KutokaBungeni
    #CloudsDigitalUpdates

ความคิดเห็น • 36

  • @AmaniMwankili
    @AmaniMwankili 3 หลายเดือนก่อน

    Mpina ni mtu na nusu❤❤❤

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mpina🙌

  • @AniciaNyaga
    @AniciaNyaga 4 หลายเดือนก่อน +2

    The man himself. The living legend

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mpina yupo kwa maslahi ya taifa

  • @peterilimwa5754
    @peterilimwa5754 4 หลายเดือนก่อน +4

    mpina wewe ni true mbunge

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 4 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mwigulu ni mwiba kwa Taifa letu, na ni kansa inayowamliza watanzania.

  • @judithsarahmasanja550
    @judithsarahmasanja550 4 หลายเดือนก่อน

    Mh. Mpina tunakuombea Sana Sana na Mungu U pamoja nawe.

  • @Mpendahaki
    @Mpendahaki 4 หลายเดือนก่อน

    Mpina ni mzalendo wa kweli.sema tu bunge la Sasa ni la vibogoyo

  • @DivNg27
    @DivNg27 4 หลายเดือนก่อน

    Mh mpina hapo kwenye sukari,tuache kidogo,hivyo viwanda hua vinaficha sukari ili bei ipande,Serikali iendelee kutoa vibali kwa wanaowagiza sukari nje,hivyo viwanda wanaagiza sukari wanavyojisikia wao...hatujasahau sukari ilivyofika 5000 kwa kg,kutokana na hiyo sheria yenu mliyoitunga 2020

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe nijembe ila mungu akuli de uzidi kuwachambua wezi hao

  • @HumphreykirutuKirutu
    @HumphreykirutuKirutu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina ndo mbunge pekee anafaa kupita bila kupingwa

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 4 หลายเดือนก่อน

    Mifumo yetu ya uwajibikaji ni dhaifu mno...ukwapuaji hauwezi kukoma Kwa staili hii...jitihada za kudhibiti wakwepaji wa Kodi ziende sambamba na kudhibiti wafujaji wa Kodi za wananchi....nadhani pale kwenye Sheria mama kuna kitu kinatoa mianya hii....

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwigulu ni hatari kwa Taifa. Mpina ni chuma

  • @athumankaswaga605
    @athumankaswaga605 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nahofia usalama wako sizani kama wana ccm watakukuacha salama.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina ndio mbunge bora kabisa kwa sasa yan anajielewa kuliko mijitu mingi humo ndani

  • @augustinomlewa9662
    @augustinomlewa9662 4 หลายเดือนก่อน +1

    uyoo jamaa ni mwamba sana

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi uyu mwigulu amekuwa kama nani apa nchini au munaiba nae ndio maana hamtaki kumtoa

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu muigulu 😰

  • @kenjoseph3337
    @kenjoseph3337 4 หลายเดือนก่อน

    Ila nchi hii

  • @hassanmwalle5628
    @hassanmwalle5628 4 หลายเดือนก่อน

    Yani ao wafanyabiashara walipe madeni kwa pesa zetu?
    Waziri agiza Acha na wachumia tumbo hawa

  • @FransisLaurenti
    @FransisLaurenti 4 หลายเดือนก่อน

    Mpina ww ninoma wengine wanasifiya tu

  • @HamisLeo
    @HamisLeo 4 หลายเดือนก่อน

    Mbuge peke ake anaefanya kaz ili mlipakodi aone pesa inayolipa inafanya kaz

  • @FransisLaurenti
    @FransisLaurenti 4 หลายเดือนก่อน

    Mpina mwagama yakutosha

  • @emmanueliman7408
    @emmanueliman7408 4 หลายเดือนก่อน

    Mh,watakuelewa tu

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y 4 หลายเดือนก่อน

    Wa tz wenye timamu wanakuelewa sana ila wana ccm wanao penda kusifia uozo wanakuchukia Mia mia mpina jembe sana mwamba

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 4 หลายเดือนก่อน

    CCM KUNA WATU WAZURI LAKINI KUNA BAADHI NI MACHAWA WA WEZI NA WARUDISHA MAENDELEO YA TAIFA LETU LA TANZANIA

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbunge mbele kaachia titi nje au hio nibrauzi mbna udenda wantoka😂

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 4 หลายเดือนก่อน

    Ivi mpina alisoma nn, anaakl sn

  • @kenjoseph3337
    @kenjoseph3337 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mpina kwa style hii hautaona Uwaziri

    • @majidimussa8678
      @majidimussa8678 4 หลายเดือนก่อน +2

      bora kawa uwaziri nikutosimamia haki bas sawa hatauona

    • @damiankilyenyi5367
      @damiankilyenyi5367 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kuwa Waziri ukawa mpumbavu ni Bora kuwa Mbunge ambaye unatetea maslahi ya nchi.

  • @justuswaziri3093
    @justuswaziri3093 4 หลายเดือนก่อน +1

    You don't deserve to be in CCM. Wewe ni MTU hashwa

    • @chuchumeta8374
      @chuchumeta8374 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mpina ni mtu na nusu

    • @josephmwita6012
      @josephmwita6012 4 หลายเดือนก่อน +1

      mpina on fire

  • @nasdaq1999
    @nasdaq1999 4 หลายเดือนก่อน +1

    1usd = 2609 Tsh😢 f*k

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 4 หลายเดือนก่อน

      Asubui tu ilikua 2600 aaaf mama anapiga picha na msanii korea kusini uko dah