MWINGINE ATEKWA CHADEMA, MNYIKA ATOA TAMKO "IGP ASEME UKWELI, POLISI WAMEMTEKA, NI UONEVU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 44

  • @FadhilMkulu
    @FadhilMkulu 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu amsaidie ndugu ally muhamed huko aliko pelekwa asizurike kwa chochote na aachiwe akiwa salama

  • @joshuaedward275
    @joshuaedward275 9 วันที่ผ่านมา +4

    Tulimsema saaaaana Magufuli. Sasa hayupo na yanatokea ...
    Huyu mama ..tumuangalie vizuri....haiwezekani ikulu haijui. Candid speaking.

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 8 วันที่ผ่านมา +2

    Dah kiboko mtatekwa sana kama watanzania mtaakimya mtakwisha

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 8 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania Sisi raia ndo wasenge sana yaani mtu anachukuliwa na nyie mnashangaa tu kweli sisi bado matahila sana

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona nyie ndyo wa kwanza kupata taarifa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 7 วันที่ผ่านมา

      Sasa uletewe wewe utasemea wap na ana kujua nani

    • @user-ey2iq8go7l
      @user-ey2iq8go7l 6 วันที่ผ่านมา

      Vi unajitambuwa kweli wewe

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 8 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaelekea wapi

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 8 วันที่ผ่านมา +2

    wewe usicheze na serikali

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 8 วันที่ผ่านมา +1

    Du hii ni hatari sana

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 9 วันที่ผ่านมา +1

    CCM ni ovyo Sana umepoteza mwelekeo Kila kitu kikomo wazima Arusha abari zimevuja Mtwara na yule chinjachinja

  • @EmmanuelMahingule
    @EmmanuelMahingule 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi huku kutekwa raia wa Tanzania kutaisha lini? Jamani mbona siioni Tanzania ya mwaka 90 mbona mnanitisha. 😭😭

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 7 วันที่ผ่านมา

      Watu awamtaki mamayenu wanmfanyia ivyo

  • @RajabuSeify
    @RajabuSeify 7 วันที่ผ่านมา +1

    Usitoe amri kwenye vyombo vya usalama wanajua kazi yao acha kupandikiza chuki acha polisi wafanye kazi yao huna ubavu toa tu ushirikiano kama unajua lolote kazi njema😅 10:53

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 8 วันที่ผ่านมา +2

    Me nashangaa watu wanauwa kila siku Rais yupo kimya tu na ss tuna rais kweli?

  • @TangaHome-q7v
    @TangaHome-q7v 7 วันที่ผ่านมา +1

    Manyumbu msizingue nyinyi ndio mnayafanya kwa kutaka kuisingizia serekali genge la wahuni

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Mhuni wewe nyumbu wewe dhalim mmoja au wewe ndio katika hao sasa unjikosha shenzi type Hasbunallah Waniimal Wakiil

    • @MawazoKitumbo
      @MawazoKitumbo 5 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe hujitambui yangekupata ww

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 5 วันที่ผ่านมา

    Swali langu kwani abiria awakuwaona sura

  • @geraldabel8784
    @geraldabel8784 7 วันที่ผ่านมา

    rip mzee wetu dah watu hawana huruma kabisa.

  • @richardmuyango9157
    @richardmuyango9157 9 วันที่ผ่านมา

    Watu kimnyaaaaaa

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 8 วันที่ผ่านมา

    Ingieni road acheni kelele

  • @AminAbubakar-ye8vw
    @AminAbubakar-ye8vw 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu hayani yanayoendelea Tanzania sioamani niuwoga Tanzania 😂😂😂

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 8 วันที่ผ่านมา

    Huhusika wa kwanza wa utekaj tusizunguke ni lais na wazili mkuu na wazili wa mambo ya ndan na igp ndo wakuwajibika ok kama bwana aishivyo wahusika wote wajambo hili wasishi nao bwana ahughulike nao tumechoka kusikia

  • @ShimoKasheto
    @ShimoKasheto 8 วันที่ผ่านมา

    Mimi sielewi

  • @AdamLameck-x5n
    @AdamLameck-x5n 8 วันที่ผ่านมา

    Atua mtaichukulia dola au rais au nani mbona hamko real

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 8 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani muwe wa kweli msiteke watu kwa masilah yenu

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Mbika na wewe pia uwe mkweli muadilif unauhakika gani kama wamemteka wao wenyewe ngoja uje utekwe na wewe au atekwe mtu wa familia yako

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Waliomteka anawajuwa MMungu walomuuwa anawajuwa MMungu na atawafedhehesha

  • @moperosamson6806
    @moperosamson6806 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi ww unaongea ninani
    Yaani mtu akiwa mwanachama wa chama chenu akifanya kosa hawezi kukamatwa?
    Yaani nyie mfanye kosa ukikamatwa nikosa

    • @MusaMkembela-ex6ev
      @MusaMkembela-ex6ev 8 วันที่ผ่านมา +1

      Anakosa Gani na kwann wamemua

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Subhanallah wewe moperosamson mshenzi dhalim mmoja hata kama anakosa ndio auwawa au akakanatwe namna hivyo mbona Watanzania wengine kama wewe mnakosa imani Hasbunallah Waniimal

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Police wanafiki wakubwa Allah awalaani loo

  • @w4058
    @w4058 7 วันที่ผ่านมา

    Na wewe usicheze na Allah mpumbavu mmoja usojijuwa Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @rahplenyengerahplenyenge722
    @rahplenyengerahplenyenge722 8 วันที่ผ่านมา

    Tuamuke tuwateke piya wanaccm nanikotayari kufanyaivo

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kwanini msiwe wakweli mnachukuana wenyewe ilimpatekiki nakuichafua nchi mnasema kutekwa muwe wakweli kwaiyo katekwa kwenye basi

    • @HanafiSaidi-v4g
      @HanafiSaidi-v4g 7 วันที่ผ่านมา +1

      acha usenge ww watuwanauliwa halafu ww wazingua wasema Wana tekana

    • @w4058
      @w4058 7 วันที่ผ่านมา

      Ndi hivyo mishenzi kama hiyo Allah awalaani kwa kukosa imani

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 5 วันที่ผ่านมา

      @@HanafiSaidi-v4gMAIGIZO YANAENDELEA 😢