NGOMA NZITO KITI CHA URAIS CCM, KINANA NAPE NA JANUARY WANAKWENDA WAPI ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 81

  • @BugomolaSitta
    @BugomolaSitta หลายเดือนก่อน +1

    Kipimo kikubwa cha ushindi kiko kwa mungu mengine tutadanganyana

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kwa maoni yangu mama ungejiuzuru ili upate heshima ya maisha na utaheshimika milele daima

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂nakuunga mkono kauli yako👏🏾👏🏾

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 21 วันที่ผ่านมา +1

      Me naona mama ajiudhuru tuh apunzike maana asilimia kubwa mama hatakiwi

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mliharibu kabisa
    Rais mwanamke ni shida tu
    Sijaona aliyefanikiwa n
    Watu wanateseka tu humu

    • @huyu1993
      @huyu1993 24 วันที่ผ่านมา

      Rais gani unaemjua wewe ambae ametawala nchi hii na raiya walistarehe nakumpongeza rais alie madarakani? Acheni chuki nyinyi wenzetu wa mrengo mwengine

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 2 วันที่ผ่านมา

    Mpaka Mungu aruhusu kuwa rais ni nani Mungu anajuwa nani atachukuwa nchi mwenyezi mungu tusaidiye narudia tena mapaka mungu aruhu mwenyezi mungu asipo ruhusu akuna kitu apo mungu atusaidiye

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 หลายเดือนก่อน

    Tundu lisu anatosha kututoa hapa tulipokwama

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbukumbu hizi zinatugawa CCM inapolejea Ku trend mitandaoni.
    Mavi ya zamani hayanuki.Tusahau yaliopita tugange yajayo.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 หลายเดือนก่อน

    Hata mimi nakupa hongera sana January Makamba. Ni afadhali wewe kuliko Samia. This time wewe pia uombe ili ukatatuwe matatizo tuliye naye.

  • @BugomolaSitta
    @BugomolaSitta หลายเดือนก่อน

    Sema neno simba jike wa tanzania wasikutishe raisi wetu mpaka mwisho wa katiba yetu

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mama hajali wanyonge hata kidogo. Siyo kiongozi sahihi kwenye taifa kama hili.

    • @huyu1993
      @huyu1993 24 วันที่ผ่านมา

      Wewe rais gani aliekuwa anajali wanyonge? Acheni chuki na fitna nyinyi wenzetu wa mrengo mwengine

  • @Emanuelnginai
    @Emanuelnginai หลายเดือนก่อน

    Wazo la mwanamke Sasa roho ya ubagzi inaanza angeomba kura TU kwa watanzania je wanaume nao wakisema hivyo nchi haitakua saws

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kama yupo anaehisi anauwezo zaidi wakupamba na kero za wananchi basi aruhusiwe kama katiba ya ccm inavyosema kila mwanachama apewe uhuru tuone sera zake

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika , wanasimama na hoja dhaifu , watoe uhuru Kwa wenzao humo humo wapo wanaweza zaidi ,

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msiwazuie wana CCM wanaotaka kugombea. Mkifanya hivyo hakuna democrasia CCM.

  • @ABDALLAHMSOLOMI
    @ABDALLAHMSOLOMI 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 2 หลายเดือนก่อน

    Wapeni nafasi Wana CCM nafasi ya kugombea uraisi

  • @BugomolaSitta
    @BugomolaSitta หลายเดือนก่อน

    Ccm itashida kwa vishindo

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmmmmmm NOOOOOO , JIONGEZENI

  • @baranubakenneth9029
    @baranubakenneth9029 2 หลายเดือนก่อน +2

    Halafu leo hii mtu anapewa ukatibu mkuu.

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 หลายเดือนก่อน

      Ajabu na kweli

  • @SmithJacob-f2r
    @SmithJacob-f2r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu January ni kibaka hapaswi kupewa nchi

  • @jumamohammed2748
    @jumamohammed2748 2 หลายเดือนก่อน

    Kabisa, mama

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 หลายเดือนก่อน

    Na umeonyesha udhaifu mkubwa sana. Kwahiyo hatukutaki kabisa kwa sababu umeinyesha udhaifu mkubwa. Tutakuwaje na raisi chura? Nani anataka Chura tena mzanzibari? Na Zanzibar imejitenga?

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe. Mama hufai

  • @babukije268
    @babukije268 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ccm ifanye uchaguzi samia hajachaguliwa na ccm kapita kwa katiba tunaomba uchaguzi ccm

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna wakat habar mpya huwa hakuna nn? Mbona habar mpya hazipo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani si democracy kwahiyo democracy ni inje ya CCM tu. Wanainchi hatumtaki Samia kabisa

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 2 หลายเดือนก่อน

    Makamba umesema kweri

  • @msongojumbe486
    @msongojumbe486 หลายเดือนก่อน

    Mzee wasira ni aibu unayoya6tafuta

  • @AnnaGreyson-zi8ww
    @AnnaGreyson-zi8ww 2 หลายเดือนก่อน

    Viuno jamani daaaaaaaaaaaaaàa

  • @HAMADIKULANGWA
    @HAMADIKULANGWA 2 หลายเดือนก่อน +1

    CCM tumeyataka wenyewe viongozi wanaiba pesa wanajilimbikizia mnawaangalia pesa zina wazuzua tusiwalalamikie

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo hayooooooo tuyasubiriiiiiiiii.

  • @JamesMhenga
    @JamesMhenga 2 หลายเดือนก่อน

    Mama ana tosha 2025

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 2 หลายเดือนก่อน

    Baraka gani?

  • @MarcoShagembe-c1y
    @MarcoShagembe-c1y 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kikwete nakukubali sanaaa Rais wangu mstaafu

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 2 หลายเดือนก่อน

      Kwenda kuleeeee, hovyo kabisa

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi ikulu huwa kuna nini?

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 2 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini kuna kosa utulivu dhahiri ndani ya CCM ?

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 2 หลายเดือนก่อน +1

    mambo ya uongo ufisadi tu

  • @martinemaganga5253
    @martinemaganga5253 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani mhura wa raisi Magufuli ambao umekaimiwa na Raisi samia si unaishia 2025? Wasira anazingua sisi mh.raisi Samia hatujamchagua hivyo 2025 wanaruhusiwa kugombea wengi

  • @gerphasntaziha4475
    @gerphasntaziha4475 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kura hukomesha mashindano! Natamani nione mchujo ukifanyika ndani ya ccm kila mtu ashinde mechi zake.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 หลายเดือนก่อน

      Sàhihi kuliko kumwachia mmoja tu.

  • @StewartKileva175
    @StewartKileva175 2 หลายเดือนก่อน

    Mama mama kumbe jau

  • @juliethpetro8763
    @juliethpetro8763 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamekustukia mapema

  • @SwalehAidarus
    @SwalehAidarus 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo nindo

  • @JammalMuhammad
    @JammalMuhammad 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmezowea kudhulumu, wallaahi na nyinyi mtadhulumiana. Mzowea kula nyama ya mtuu............

  • @Landisy
    @Landisy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mama kweli mm Ni chadema lakini usiachie kiti tunaimani na ww kuliko wanaume wa CCM wenzako.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ya makamba mbona ya zamani sana

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona unampigia kampeni Makamba wewe mtoa post?

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 2 หลายเดือนก่อน

    Mama ndo anatosha peleka huko ujinga wenu.mama piga kazi waun wapo kila kona

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh sio kweli , binadam huw wana ham ya Uongozi lakini hivi mtu anawezaje kuchukua form wakati Mwenyekiti wa sasa anaendelea na Uongozi? sidhani kama kuna mtu au kikundi kitachukua form

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 หลายเดือนก่อน

      Lkn ni haki ya mtu so kosa

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 2 หลายเดือนก่อน +1

    WATANZANIA MAKAMBA NI MTANGA MWEZAGU LAKINI MSIZANI NIMTU MWEMA KATIKA UWONGOZI NIHATARI NAKWANINI ANAULILIA URAIS NAKUTUMIA PESA NYIGI ANATAFUTANINI WATANZANIA MKIMCHAGUWA MAKAMBA MEKWISHA

    • @AlawiKahema
      @AlawiKahema 2 หลายเดือนก่อน

      Acha unafiki hakuna mwenye kitambulisho Cha utanga kama pembeni

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndiyo kwaheri

  • @babukije268
    @babukije268 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muda wako umefika toka hatujakuchagua

  • @EmanuelBayo-i8b
    @EmanuelBayo-i8b 2 หลายเดือนก่อน

    Samia yupo sahihi maana yake 25 naye aombe kura

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu nusuru Tanzania bara yetu,wageni wanaimilikiswa ardhi ya mababu zetu,ikiwemo ngorongoro na sehemu nyigine mengi.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 หลายเดือนก่อน

      Babu yako Ana ekari ngapi ngorongoro tukupiganie zirudi bro

  • @VeriMnyakiwele
    @VeriMnyakiwele 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mama tupo nyuma Yako na Wala usijione upo pekeako hao wataka shibe watatusumbua sana

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 2 หลายเดือนก่อน +3

      Sema mama nipo nyuma Yako sio tupo nyuma yako

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน

      Salute

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

    Wasiza kashazeeka na siasa zake za zamani ccm inamvuka sasa

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kutaka uraic ni dhambi?

  • @EmanuelBayo-i8b
    @EmanuelBayo-i8b 2 หลายเดือนก่อน

    Suala kuomba kugombea ni ni la kanuni si hisani kanuni zifuatwe kama 25 wote tuchukue fumu kama tutavunja kanuni ni hatari kwa siku zijazo

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

    Kama nfani ya chama cha ccm wenyewe mnabana demokrasia je njeya chama itakuwepo?

  • @AbdallaJuma-tx5ck
    @AbdallaJuma-tx5ck 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mama hao sio watu wazuri.watanganyika ni wajinga.katiba ndio tatizo

  • @SwalehAidarus
    @SwalehAidarus 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo zitakua ndoto kutaka urais sijui nani sijui nape sijui ñani hakuna hivi Rais kwani hamumjui na ataendelea 2025- ataendelea 2030 ni SAMIA S HASSAN MJUE HIVYO

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimafikiri demokorasia ianze na c c m wawe buru kugombea kama mnavyo hubiria wenzenu tunue mmekomaa kisiasa

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio democracy ilovyo waache tuu wagombee

  • @AhmeidMohamed
    @AhmeidMohamed หลายเดือนก่อน

    Hao ndio wenye uchu wa madaraka na chuki binafsi na M . Mungu halo nao pamoja nao na ndio maana wanaadhirika , hawajui watokako wala waendako pia hawajui walifanyalo . Wakafie Mbeki na kwa dalili hizi watausikia redioni .
    Ninavyoelewa CCM wana utaratibu kama si Sheria ni Kanuni kwa miaka kumi wanachokifanya wanajua wenyewe , jee yanageuka kwa kua yupo huyu Mama ? Mkifanya mtakavyo nahisi tutagawana mbao

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi iko mikono mibaya tutauzwa bora kila kiti kiuzwe kuokoa nchi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      Nafkiri kuna time mpaka wanyama wengi tuu wameuzwa hapo Tanzania Bara.

  • @ABDALLAHMSOLOMI
    @ABDALLAHMSOLOMI 2 หลายเดือนก่อน

    Mpina