KENYA HAWANA SIASA ZA KANGA NA KOFIA, ZIPO SANA TANZANIA| KURA NI MKATABA KATI YA CHAMA NA WANANCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 227

  • @mysticman86
    @mysticman86 3 หลายเดือนก่อน +36

    Power is back to the people. For too long that sense has been taken for granted. Tuta vuruga whenever necessary.. 🇰🇪

    • @martinowino1250
      @martinowino1250 2 หลายเดือนก่อน

      Kaende kasonge🎉

    • @vitalisomondi1821
      @vitalisomondi1821 2 หลายเดือนก่อน

      Kaende kaende😂 Ama Ruto aanguke nayo😅

    • @Mwanashaali-z6u
      @Mwanashaali-z6u 2 หลายเดือนก่อน

      Kaende kaende anguka nayo😂😂😂😂

    • @simateitim4700
      @simateitim4700 2 หลายเดือนก่อน

      Bado mnavuruga?

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 3 หลายเดือนก่อน +44

    Wa Kenya Wanajitambua Sana

  • @priscusemmanuel8403
    @priscusemmanuel8403 3 หลายเดือนก่อน +14

    And there goes our fellow brothers in Tanzania, very eloquent.

  • @yonarsalach5842
    @yonarsalach5842 3 หลายเดือนก่อน +21

    Tuliwaambia wabunge wasiipitishe, tuliwapigia simu, tukawaandikia sms, lakini wapi, hapa Kenya tunajielewa sana

  • @Jack_Leadismo
    @Jack_Leadismo 3 หลายเดือนก่อน +16

    Youths wengi huwa hawapigi kura kenya,lakini 2027 wazee wote nyumbani

  • @kentwalibora4994
    @kentwalibora4994 3 หลายเดือนก่อน +30

    Imagine tulijaribu kuwatumia sms mingi sana kuwabia wasipitishe lakini wakaona sisi hatuna lolote wakapitisha

    • @victorosong
      @victorosong 3 หลายเดือนก่อน

      Walituona mafala

  • @AmisiAtito
    @AmisiAtito 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ulizeni Dudu Baya Sasa za Kenya Bado hamjui

  • @presentertelence1679
    @presentertelence1679 3 หลายเดือนก่อน +25

    Kenya Tupewe Sifa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 3 หลายเดือนก่อน +4

      Hongeleni

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hongereni aisee, tizi uchawa mwingi sana, hawa wenyewe wanajitoa tu hapa lakin kuna machawa wapo wanasikiliza kwa makini wakizidi kuongea ukweli kiundani wataambiwa wachochezi

  • @nisilas7411
    @nisilas7411 3 หลายเดือนก่อน +33

    Siasa yetu huku Kenya imezaliwa upya ,furaha ilioje ,tulingoja sana siku na karnee ya sasa

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +7

      dah nyie KONKI kwa kweli. hongereni jirani

    • @Kakerluder
      @Kakerluder 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@jedidahbintidaudi8241Trust Me magovnor watakuwa 24 badili ya 47😂😂😂😅

    • @gulledahmed2954
      @gulledahmed2954 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jedidahbintidaudi8241 Asante mrembo

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

      @@Kakerluder ona sasa pesa itakavo jaa kwenye treasury yenu. mtalia madeni yenu and at the sametime Ruto ataweza boresha mambo. Huyu jamaa kaupiga mwingi sio mchezo

  • @maureenumuru8005
    @maureenumuru8005 3 หลายเดือนก่อน +9

    We are Kenyans and Kenya is our business 🇰🇪🇰🇪

  • @Alute-son2003
    @Alute-son2003 3 หลายเดือนก่อน +20

    Tanzania tunahitaji waandishi aina hii,mnaupiga mwingi sana kwa kutoa elimu kwa wananchi maana tumelala sana tunatakiwa kuamka ili kupata maendeleo zaidi👏👏

    • @nassernasser1457
      @nassernasser1457 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siasa tulivu zinaleta wawekezaji, musitamani democracy tuko nayo Kenya

    • @patriot_2022
      @patriot_2022 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@nassernasser1457 yetu hukuwa very disruptive. Lakini heri tupiganie haki zetu, badala ya kutulia eti ndio watu wa kutoka nchi zingine wasiende. Wakwende wakitaka kwenda.
      Muhimu ni vile sisi tunaishi.

    • @nassernasser1457
      @nassernasser1457 3 หลายเดือนก่อน

      @@patriot_2022 kweli pia ki upande mwengine

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hamna tajriba wala weledi wa haya mazungumzo Love from Kenya 🇰🇪

  • @AraphaHassan-u1g
    @AraphaHassan-u1g 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimewakubali Jirani zetu mungu awape wepesi

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 3 หลายเดือนก่อน +11

    Baba levo wakati mwingine ukiongea jua kwanza siasa ya Kenya sio Kama Tanzania mnapelekwa ki mbumbu tu bila mpango

  • @KinuthiaSimon
    @KinuthiaSimon 3 หลายเดือนก่อน +49

    Hamuelewi, Kenya ni mpya, huenda Ruto asifike 2027 Kama raisi. Wanasiasa wananyenyekea. Ajab

    • @alexkibe4179
      @alexkibe4179 3 หลายเดือนก่อน +5

      Alafu what follows??? He must be president until 2027

    • @johnmwangi9346
      @johnmwangi9346 3 หลายเดือนก่อน +4

      He has to be president until 2027 I don't think the country has any other option

    • @alexkibe4179
      @alexkibe4179 3 หลายเดือนก่อน +2

      @johnmwangi9346 exactly. We cannot ruin our country in pretence of building

    • @gulledahmed2954
      @gulledahmed2954 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@alexkibe4179 not written. By April 2025

    • @RoseObonyo-nn7hb
      @RoseObonyo-nn7hb 3 หลายเดือนก่อน +1

      Matiangi​@@johnmwangi9346

  • @tyris54
    @tyris54 3 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu ndugu wa kwanza anaelewa siasa za kenya sana

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 3 หลายเดือนก่อน +17

    Baba levo kenya uchaguzi ni baada ya miaka 5 sio 4 nadhn umeteleza kdgo.

    • @mzadomwongozo3671
      @mzadomwongozo3671 3 หลายเดือนก่อน +1

      Vice versa is true

    • @patriot_2022
      @patriot_2022 3 หลายเดือนก่อน

      Amedhani sisi ni Marekani?

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 หลายเดือนก่อน +2

    We said Baba Levo 🙌🏽 kwanza saho Ruto anajaribu kujitetea kila kona kwa sababu yuwa jua 2027 ni kumoto

  • @PeacefulSoccerGoal-ki7td
    @PeacefulSoccerGoal-ki7td 3 หลายเดือนก่อน +3

    We r partyless,tribeless and fear less na wengi walipitisha chini ya maji

  • @danielmiano6315
    @danielmiano6315 3 หลายเดือนก่อน +5

    Siasa zetu sisi wakenya ni ngumu sana mnaumiza vichwa zenu bure na bado hamjaelewa mnahitaji mkenya mmoja kwa hiyo studio 😂😂

    • @robertmosha6801
      @robertmosha6801 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ego shda ni zle zle

  • @hilarymayende
    @hilarymayende 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levo ako right
    Ruto is controlling the mps anawanunua wapitishe vile yeye anataka

  • @chelseaayesa3119
    @chelseaayesa3119 3 หลายเดือนก่อน +32

    You guys need a kenyan in that studio,

    • @fabianmallya1446
      @fabianmallya1446 3 หลายเดือนก่อน +10

      Sawa lkn kuna kitu pia wakenya hawajui kuhhusu wao wenyewe, ni vzr pia kujifunza kusikiliza other people’s view

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 3 หลายเดือนก่อน +5

      Kenyan person has nothing to do in that studio. Si mnaona wote wana idea tofauti but they still can laugh at it!!!!@ in different way. That is Tanzania. Upole, ustaarabu na kujua kumsikilza mwingine anasema nini! Watanzania tuitunze hii vizuri sana. Kama yai.

    • @cristalclear2499
      @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@joycelinelyimo-fenske8745Joyce...... umeongea visuri sana 🇰🇪

    • @norbertoduor9459
      @norbertoduor9459 3 หลายเดือนก่อน

      @@joycelinelyimo-fenske8745 ulizozitaja ni sifa nzuri za kuiga kwa hao walioko studioni. Swali langu latokana na jinsi ulivyolinganisha wanatanzania na Wakenya, yamaanisha hamna ustaarabu huu kwa Wakenya?

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 3 หลายเดือนก่อน

      @@fabianmallya1446 exactly

  • @urban_shorts6633
    @urban_shorts6633 3 หลายเดือนก่อน +2

    Proud to be kenyan❤️✌️

  • @Play_Streams
    @Play_Streams 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ogopa sana hasira ya Wakenya, wameteswa kwa miaka mingi na serikal

    • @Meaw687
      @Meaw687 3 หลายเดือนก่อน +1

      Not True
      Mbona tumekuwa na 4 presidents before na inchi ilikuwa sawa tu.
      Huyu Ruto nimnafki sana kwanza alikuwa HAGUE international crimes court ICC kwa mauji mengi..
      Tena muongo kweli kweli imagine hana dini kafiri must Go.
      Hatatuka kusambaziwa ukimwi sisi...

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya muhula mmoja ni miaka mitano, na l wish new constitution iweke 4 years

  • @evonrn2000
    @evonrn2000 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenyans L❤ve Kenya🇰🇪.... Upuzi hawaupendi.

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Lazima ruto atatuambia deni ya kenya walikopa ya nini na ilifanya miradi gani kwani hatuioni ndiyo tuwe tunatozwa kodi hadi na mapua. Bila hiyo audit ya deni ya nchi na nani wamekuwa wakiibia wakenya pesa,Ruto lazima ataenda. Mwizi

  • @JonathanLugna
    @JonathanLugna 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mnaongelea sana Kenya mbona ya kwetu Tanzania huwa hamna ujasiri wa kuyaongezea acheni unafiki ninyi watangazaji
    Ongeleeni ya hapa Tz muone kama watu wasiojulikana watawaacha salama
    Kenya na wakenya wanajitambua

    • @yusufujemson9020
      @yusufujemson9020 3 หลายเดือนก่อน +7

      Kenya wametuzidi mbali sana katika kujitambua sisi bado sana

    • @JonathanLugna
      @JonathanLugna 3 หลายเดือนก่อน

      @@yusufujemson9020 waambieni wachambuzi wetu waendelee kuchambua mpira tu
      Wasijiengeshe kwa siasa za Kenya
      Kama wanaweza wazungumzie za hapa kwetu wakione cha moto

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wabongo tuamke tuache unaz wa vyema tushikane tukomboe taifa letu

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 3 หลายเดือนก่อน +4

      Hapo ndipo wananishangazaga..wanaume wazima wanakaa kuongelea ya nchi jirani wakati hapo nyumbani kuna uchafu mwingi unaendelea ila wanakaa kimya..wanafiki wakubwa mbwa ninyi..mcheeww😡

    • @emanuelnisetas7510
      @emanuelnisetas7510 3 หลายเดือนก่อน +5

      Vijana wamesoma badala kutumia akili kulisaidia taifa wana kuwa machawa iliwateuliwe vijana wapuuz sana

  • @BillOnyamasi
    @BillOnyamasi 3 หลายเดือนก่อน +9

    Na nyinyi watanzania mko down mnaongea mambo kizamani 😂😂😂

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +1

      hahaa inabidi tuwaite Jirani mtusaidie😅😅

    • @our10picks18
      @our10picks18 3 หลายเดือนก่อน

      @@jedidahbintidaudi8241Hatuwezi wasaidia wakati Tz mnatuchukia sisi wakenya

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 3 หลายเดือนก่อน +3

    That lady is clueless😂😂

    • @naibei_Tv
      @naibei_Tv 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅haradi

  • @tonykarim6941
    @tonykarim6941 3 หลายเดือนก่อน +1

    The people SHALL(Mandatory)

  • @mulashanibrasio8151
    @mulashanibrasio8151 3 หลายเดือนก่อน +6

    Not only Ruto even you Baba Levo you must go

  • @Kiben-247
    @Kiben-247 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania Iko na shida zao lakini wanashinda kujadili za Kenya,,,,maajabu

  • @jamesodhiambo6401
    @jamesodhiambo6401 3 หลายเดือนก่อน +3

    uchanganuzi wenyu umekomaa..wengine watamkejeli levo eti hakielewi kizungu ila hoja zake zinamake sense..Mimi kama mkenya nawapongeza kwa kukutanisha fikra na kauli zenu...mwisho ni kufuta uozo kwenye jamii afrika mashariki

  • @shimronnetia
    @shimronnetia 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wasafi Media, mnafanya kazi nzuri kuangazia mjadala wa kisiasa wa Kenya, jinsi ulivyobadilika kwasababu ya ushirika za chama na ukabila.

    • @norbertoduor9459
      @norbertoduor9459 3 หลายเดือนก่อน

      wanafanya kazi nzuri. Nimeona kuna watu kadha wa kadha wamegusia wazo la kukaribisha Mkenya angalau aliyeneutral aweze akaongezea mtazamo mwingine. Huenda jambo hilo likafanya mantiki ya mjadala kuwa yenye kufaa zaidi.

  • @murachiakamau9810
    @murachiakamau9810 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu Watanzania mwanipendeza sana kwa Kiswahili chenye ufasaha. Nyinyi ni kielelezo chema kwetu sisi Wakenya. Kiswahili kitukuzwe!

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 3 หลายเดือนก่อน

    Muendelee kula zege na biryani. Kenya is the land of heroes🇰🇪.

  • @anthonymaina2215
    @anthonymaina2215 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ruto hafikishi 2027! Watch this space…

  • @vdjwabyad7297
    @vdjwabyad7297 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mmeanza kujielewa sasa nanyi waeleweshe wenzenu bro huku kwetu kenya kanaumana polepole tushatimua ministers

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +3

    Dah sie mbali2 na Kenya..wenzetu hawa mpaka tuje tuwafikie na hali hii huku kwetu, mmmh inaitaji watu kujitoa haswa kumtafuta Mungu Atuambie wapi shimo liko kisha atoe suluhu na ifuatwe..bila hivo..tutawasikia hawa ndugu zetu jirani kwenye mavyombo tuu nchi yao ikileta mapinduzi mmmh

  • @DorcasNerima
    @DorcasNerima 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa Kenya kitu tunaogopa ni uji moto na ndoa😂

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanini muogope ndoa

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussein-gx4quMuongo huyo watu wa Nairobi tuu ndio wanaogopa ndoa sio Kenya nzima tunapenda ndoa❤

  • @edo26ful
    @edo26ful 3 หลายเดือนก่อน +6

    Baba levo Kenya Rais anakaa madarakani miaka mitano sio minne, Pia hiki kinachotokea Kenya wanasiasa wa hapa TZ wajifunze kitu.

  • @barackmuteti2012
    @barackmuteti2012 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ni uko kwenu Tanzania.. kenya kama mbaya wananchi wanawayoa

  • @martinke6814
    @martinke6814 3 หลายเดือนก่อน +1

    Try host dudu mbaya has a good understanding of what kenya is

  • @HadijaFakhi-ss3bu
    @HadijaFakhi-ss3bu 3 หลายเดือนก่อน

    It's time for Tanzanian and Ugandan to wake up people's power

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 3 หลายเดือนก่อน +1

    I wish media zingekua na ufahamu hata kidogo wakutunlmia tafsida kuelezea na shabihisha yanayotokea kwa jirani VS home

    • @malikeyndotopopote
      @malikeyndotopopote 2 หลายเดือนก่อน

      Ukweli hautaki tafsida. Kila kitu hadharani

  • @MartinezzJT
    @MartinezzJT 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tumengojea Ruto sana 2027 😅😅😅😅

  • @VincentOndigo-n4f
    @VincentOndigo-n4f 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tuliwapiga wabunge

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 หลายเดือนก่อน

    Hiki chombo Cha habari kinajadiri mambo ya siasa ya Kenya namna wananchi wanavyoiwajibisha serikali lkn hiki chombo hakifanyi hivo hapa Tanzania

  • @victorosong
    @victorosong 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa za kanga na kofia zipo mpaka madera,lakini naona yataisha maana mwaka wa 2027 wabunge wengi watarudi nyumbani.

  • @deogratiaspmwolo1942
    @deogratiaspmwolo1942 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo leo inaonyesha uliahakuwa diwani the way unavyochangia.
    Ila msifananishe keki na andazi japo zote zinapikwa na unga wa ngano.

  • @egosangjeff202
    @egosangjeff202 2 หลายเดือนก่อน

    Our brother country

  • @omarchaijefwa729
    @omarchaijefwa729 3 หลายเดือนก่อน

    Baba levo hajui hata term Moja ya uongozi kenya ni miaka mingapi ni mitano basi sio minne

  • @aloisokongo
    @aloisokongo 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya wanahitaji kiongozi kama Magufuli!!!

  • @LotimanChukata
    @LotimanChukata 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui kama munajua chenye munazungumza na hata hivo sherea au huru wenu sinui kama munakiijua munaongea vitu amna habari nazo ,hila mtu hapo anakielewa

  • @MjMohammed-nt6fq
    @MjMohammed-nt6fq 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii bana na tanzania tuige tuingie bungeni tule ubwabwa , nivae vazi la spika na mm nione utamu wake ikifika kuharibu mali zao aisee hawatabaki na hata kitu nitaakikisha navunja kila kitu hadi house girl wake maana tuna hasira nao san

  • @alhabshyhautah408
    @alhabshyhautah408 2 หลายเดือนก่อน

    Mwananchi ndio mwenye nchi,Tribeles,party less, leaderless.

  • @judyjaoko3397
    @judyjaoko3397 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa za chama zina isha wakati wa kampeni ukisha ingia unatumikia wananchi

  • @Aminaamina-us5yj
    @Aminaamina-us5yj 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini raisi wetu wa kenya i mean ruto ako na sura mbaya hadi kushinda roho yake😅😅😂😂

  • @friarmbongemelodies5662
    @friarmbongemelodies5662 3 หลายเดือนก่อน

    Jadilini CCM lenu

  • @HansChuma
    @HansChuma 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huaga mm nachekaga sana😂😂😂😂 vyombo vya habar vyakibongo kuongealea vyakwao wanaogopa😂😂😂😂 fyetu sana tz

    • @vanemmy6043
      @vanemmy6043 3 หลายเดือนก่อน +1

      iyo ni kweli ,watanzania wanaburuzwa sana

    • @salmasaid7058
      @salmasaid7058 3 หลายเดือนก่อน

      Hawawezi samia awakujie

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 3 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa kwenye habari za Kimataifa ulitaka waongelee habari za Pluto planet?

    • @fredylucas2484
      @fredylucas2484 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmasaid7058kwenye habari zipo za nyumbani na kimataifa unless hufuatilii vipindi vyao ama hujui namna habari zinavyokua produced

  • @PetronillalhMalobah
    @PetronillalhMalobah 2 หลายเดือนก่อน

    Wabunge wanatishiwa na walio mbele zao hata wengine wananyamazishwa kupitia kuuawa

  • @abdallahyunus7538
    @abdallahyunus7538 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanzia lini baba levo akachambua siasa

  • @cristalclear2499
    @cristalclear2499 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi wakenya tunapenda Hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kupunguza ukabila Tanzania. Sasa mutindo ni huo huo hata kwetu Kenya. Ukabila chafu sana.

  • @davidpallangyo114
    @davidpallangyo114 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya ni miaka mitano ,5,pia.
    Jamani,Waandishi wa Habari wa Tz.mnapo chambuwa mada jitayarisheni vya kutosha kuwa" well informed ".

  • @unchainyourself1729
    @unchainyourself1729 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya! Imesonga! Ruto must go!

  • @omarisiliverio2965
    @omarisiliverio2965 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo mnayoyasema hapo ni kwelu ila Kenya tunapiga kura baada ya miaka mitano sio minne.

  • @YyuuUugfg
    @YyuuUugfg 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa gen z wengi walikuwa wajafikisha umri wa kupiga kura

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน

    Oska unachoongea hauleweki...baba levo namuamin sana nanamkubali sana akiwa akichambua

  • @michaeljuma007
    @michaeljuma007 3 หลายเดือนก่อน

    Somo la sheria Kenya kinaanza kuzungumziwa kuanzia masomo ya msingi ilihali pale Tz, somo hilo linapatikana chuo kikuu pekee, na ni kwa wale ambao waliochagua somo hilo

  • @mohamedali7544
    @mohamedali7544 3 หลายเดือนก่อน

    Power are from the people not politicians. Wabongo amkeni wacheni mafuta mafuta

  • @allytv1714
    @allytv1714 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo lilianza zama sana waandishi wasema kweli walikuwa zamani sana wakauliwa waliobaki wengine at awajasomea uandishi kama baba levo wanapewa ajira yy watu wamejazana kindugu kwanzia serikalini akuna kitu kichwani empty head wasomi wanateseka kitaa watu hadi wanazeeka wanakufa kwenye kazi wasomi hawana ajira wanateseka kitaa hilo amlioni kulijadili

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 หลายเดือนก่อน

    Hata kwetu ukale uishe

  • @GeorgeLeopold
    @GeorgeLeopold 2 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi wa Kenya ni Kila baada ya miaka 5 na siyo 4

  • @LiqourLand-n8n
    @LiqourLand-n8n 3 หลายเดือนก่อน

    We mafi nini ....si wakenya hatutambui shiett

  • @ibrahimjohnndege4160
    @ibrahimjohnndege4160 3 หลายเดือนก่อน

    tz tunahitaji katiba mpya

  • @johnkebati634
    @johnkebati634 3 หลายเดือนก่อน

    Ni miaka Mitano pia hapa Kenya sio Minne.

  • @douglasmomanyi3045
    @douglasmomanyi3045 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya Kenya hamyaelewi.mdomo tu

  • @ngurekim6278
    @ngurekim6278 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Mkenya. Hebu niwasaidie kuwaelewa wakenya. Mwanzo, Kenya hakuna vyama vyovyote vya kisiasa. Yaliyoko ni magenge ya kikabila, kila moja likiwa na kigogo mwenye kulimiliki. Hao wamiliki wa magenge ya kikabila ndio wanaopangana wenyewe namna ya kupatana au kutengana.
    Mtu akitaka kuwa mbunge, seneta au diwani lazima kwanza alipe kiingilio cha millioni kadhaa kwa huyo mumiliki mkuu (party leader) Wa chama au genge. Hivyo sasa naye mbunge, atadai malipo ya kupitisha kila mswaada kwenye mbunge au seneti. Wambunge wa Kenya ndio walio na marupurupu na mishahara mikubwa sana kuliko nchi nyingi duniani.
    Kwa mambo ya maandamano, kuna wahusika wengi wa kulipwa na wachache wa ukweli. Kunavyo vikundi vingi vya wanaharakati vinavyo fadhiliwa na wazungu. Wakati mwingine hizi vikundi huwa na ushirika na magenge ya kisiasa.
    Tatizo kubwa sana Kenya ni kwamba hatukupata ideology ya kitaifa. Wazungu walipoenda, tulibaki kuwa cocktail of different tribes sharing national facilities. Nī kama sokoni. Unipishe, nikupishe - unayo ya kwako, na mimi ya kwangu.
    Shida ingine ni kwamba, kama ilivyo kote Africa, uchumi wa Kenya unawavutia sana wazungu wenye ukora wa kupora rasilimali. Sekta za fedha na uwekezaji wa hisa inawavutia foreign speculators.
    Tena, kunayo shida ya IMF na Benki ya Dunia. Hao nao na magenge ya ukadarasi wa mikopo wako. Kuwaelewa hao inabidi uione video ya Al Jazeera iliyo na kichwa cha "What is an Economic Hitman?"
    Hata katika hayo yote, Kenya ni nchi iliyo na mazuri mengi. Kunaweza kuwa moto wa maandamano leo halafu kesho shughuli zinaendelea kama hakukuwa na shida. Hata kunaweza kuwa na maandamano upande mmoja wa mji hali maisha ya kawaida inaendelea upande mwengine.

  • @aberemanwer2939
    @aberemanwer2939 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie wanafki, maisha ya kenya na tz sawa au mnalopoka tu.

    • @Walkmwalkm
      @Walkmwalkm 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanzaa kasome huwezi linganisha Tanzania na kenya.wakenya wanajielewa hata katika uchum kwa Sasa Kenya imesonga.katka currency Kenya yaongoza Africa nzima sio east Africa.jitu.lenyewe hujui hata haki yko km mtanzania.hujui hata katiba yako yasemaje.upo tuu.jua haki zako ndio urudi upinge

    • @robertmosha6801
      @robertmosha6801 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Walkmwalkmapart from currency kingne nini..labda njaa

    • @Walkmwalkm
      @Walkmwalkm 2 หลายเดือนก่อน

      @@robertmosha6801 ....uliwaona kwenu wakija kuomba chakula.biashara nyingi Tanzania ni za wakenya mmeajiriwa na wakenya.hamna lolote zaidi ya kuvaa maderaa mpaka wanaume na kukata mauno.walio erevuka walileta watoto wao Kenya kusoma.wajinga wamebaki barabaran kuomba omba.omba omba wote walioko Kenya watanzani.hamna lolote ujinga mwing ndio mko nao

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 3 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo chama kuwa juu ya serikali ni kuwa na matabaka nchini ndo mana CCM wanawabagua wengine

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 3 หลายเดือนก่อน +1

      Chama kuwa juu ya Serikali hapo ni Tanzania siasa ya Kenya ni Tafauti na Tanzania

  • @DLMEDIA-e6k
    @DLMEDIA-e6k 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo kenya presidential term ni 5 years sio nne,na Ruto ako mwaka wa pili.

  • @emmanuelmungono1108
    @emmanuelmungono1108 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya ni miaka mitano si minne

  • @kadinhasan5042
    @kadinhasan5042 3 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa kwa agenda ya chama ni kwamba, kuna mambo mengine ambayo si ya chama lakini rais na wanachama wao wanapitisha kwa sababu wanapewa na "sponsors" wao ili wajifaidishe wao badala ya wananchi.

  • @PeacefulSoccerGoal-ki7td
    @PeacefulSoccerGoal-ki7td 3 หลายเดือนก่อน

    Hta ss ni miaka 5 BB levo na ruto ana mwaka na miezi 8

  • @Mageto...
    @Mageto... 3 หลายเดือนก่อน

    😢Mlilazimisha watu wa soka waongelee siasa? Kenya muhula wa rais ni miaka tano, pia sio wabunge wote huchaguliwa wakiwa na chama wengine ni independent candidate. Nyie baki tu kwa Yanga na simba hii siasa ni ngumu

  • @bama9271
    @bama9271 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania siasa hakuna tanzania ubabaishaji ni mwingi sana. Na ndio maana wananchi wa tanzania huwa wanadanganywa kwa mambo madogo madogo tu alafu wanakaa wanasifia makubwa ambayo hawana maana watanzania wangekuwa na moyo kama wa wakenya nafikiri mpaka sasa hivi nchi yao ingekuwa ishafika hatua fulani maana mambo mengi sana yanapatikana tanzania ambayo ni machafu sana na ni rais magufuli alijitahidi kuyasafisha kwa hatua kubwa sana na akafanikiwa na nafikiri labda angemaliza miaka yake mikumi angefanya mambo mengi sana tanzania. Lakini huyu mama waliyenaye kwa sasa hivi katika maraisi wa bovu afrika huyu mama ni wa kwanza maana hamna chochote kile anachokifanya zaidi ya kuzidi kuwaangamiza wananchi na kwa vile ashaona katika nchi yake gaidi hamna wanakubali tu ya aina fulani hivyo alafu maisha yanaenda hivyo. Angalia kama kazi anayoifanya makonda makonda ya kazi anayoyafanya kwa sasa hivi ni kuwapumbaza watanzania tu maana hakuna hata cha ajabu sana anachokifanya kwa watanzania zaidi ya kuwapumbaza na kuzidi kuonyesha sifa za mama ambazo hazina hata msingi wowote kwa wananchi sasa kweli hapo kuna namna ya kujilinganisha na kenya jibu ni hapana ndio maana siasa ya kenya na ya tanzania ni mambo mawili tofauti na kule kenya ndio chama kina nguvu lakini wananchi ndio wamekuwa waamuzi ila tanzania chama ndio kinaamua kila kitu kitakachofanyika katika nchi kitu ambacho muda mwingine ki madaraka sio sahihi. Kwa hiyo mnapokuwa mnajadili mambo ya ya kenya kwa sasa hivi angalieni nchi yenu kwanza jinsi gani ilivyo alafu msi linganishe siasa ya kenya ni ya tanzania nchi yenu inaishi tu kwa maneno lakini ukiangalia kiundani hamna lolote linaloendelea ndio maana magufuli alivyoingia alisema wazi kwamba serikalini hamna pesa anatakiwa kukusanya pesa na kweli alifanikiwa kuzikusanya na ndio kinachoendelea mpaka sasa hivi tena tanzania ingekuwa ni wakenya ule mkataba wa bandari wasingewakubali lakini watanzania walikubali na mambo ya kaenda sasa hivi wazungu wanaenjoy wanakuja kuchota wanaondoka

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 3 หลายเดือนก่อน

    Vyombo vya habari Tanzania vinaprnda mijadara ya nchi nyingine. Lakini topic za nchi yao za maana wanaufyataaa. 😊

  • @howardsakwa6744
    @howardsakwa6744 3 หลายเดือนก่อน

    Raisi alilazimisha wabunge wa chama chake (in particular) kupitisha mswada wa finance bila kufikiria!!!

  • @jameskimani1169
    @jameskimani1169 3 หลายเดือนก่อน

    Niwakosoe kidogo, term limit ya raisi nchini Kenya hi Mia Kitano sio minne?

  • @ClementJacob-sd8lf
    @ClementJacob-sd8lf 3 หลายเดือนก่อน

    Na vitu vichuke bei siyo kukopa kwa I.M.F na kufata sheria pia mabosi wengi hawafati Sheria

  • @urban_shorts6633
    @urban_shorts6633 3 หลายเดือนก่อน

    Tz hamieni Kenya bana😅

  • @OgollaJr
    @OgollaJr 3 หลายเดือนก่อน

    According to statistics Tz wanavuta Bangi kushinda kenya 😅

  • @shedrackmutalemwa7310
    @shedrackmutalemwa7310 3 หลายเดือนก่อน

    Ya Kenya mnaongelea ya TZ mnasifia hata mabaya . Media ina tu let down sana TZ ni machawa tu na uchawa umekuwa sifa.. so selfish ase

  • @KibzBeccer
    @KibzBeccer 3 หลายเดือนก่อน

    Ebu niiteni niwaelezee what is going on exactly

  • @AlmachNestory
    @AlmachNestory 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la Afrika ni viongozi alisema CHINUA ACHEBE, Afrika itakombolewa na viongozi vijana kama Ibrahim Traore wa Burkina Faso hawa Marais wazee hawana maono tena zaidi ya unafiki na ufisadi kujipendekeza kwa wazungu kuogopa kuuliwa.

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiki ni kizazi kipya ukabila umewekwa kando

  • @njerimunge2108
    @njerimunge2108 2 หลายเดือนก่อน

    It's not the party which have the power, its the constitution.
    Party manifesto it's for campaigning not ruling. Ruling is constitution based!!!.

  • @allykwaya
    @allykwaya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Oscar nimekuelewa na upo sahihi.
    RAIS kutoka madarakani ni jambo lisilowekana, kitakachowasaidia wekenye ni Raisi kutengeneza mifumo sahihi na ndio mahitaji ya wakenya. Viongozi wengi wanatakiwa kupata funzo kupitia hili.

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 3 หลายเดือนก่อน

      Unaongea kwa kurefer nchi yetu ya tz ambayo kila kijana anajiunga CCM kujipendekeza ili apewe keki ya nchi

  • @Citystarwater
    @Citystarwater 3 หลายเดือนก่อน

    We are our own deal