Na hakuna mahala popote palipoandikwa kuwa,kwakuwa Galagtico ya Real Madreed ilifeli,basi kila timu itakayo sajili nyota wengi itafeli kama Madreed --- " Opponent akipata goli,wakati Score bord inasoma YNG 5 -- MADUNDU 1 halafu ni dakika ya 88:45 kuna shida gani "
Baba Levo nilikumiss san kwenye jana na leo
Amerudi kwa kishindo 🎉🎉🎉
Uyu ni mtu na nusu
Baba Levo katua kwenye jana na leo pamechangamka sana leo.
Sawa
Ila baba levo nimuongoo kinoma we jamaaaa😂😂😂
Daaaaaaah. Baba levo balaaa
Jaman baba levo anafurahishA sana nataman niwe na msikiliza kila siku na kiswahili chake
Baba Le vo nakukubali sana
Iki kipindi kilikiwa hakina mvuko baba levo akikosekana
Safi sana .baba ,muda yeye atapishana na max inategemea na metch yenyewe
Baba levo unajua kupanga, mashine
Baba level low football proffesional lakini kwenye kipindi lakini ana mchango sana hapoo hamjui tuu🎉
Yani hwa jamaa akili zao ni kuchekesha tu
Hakuelewi has baba levo Acha wananchi tutambe
Yaaaani mzinze huwa anatukosesha sana furaha
🎉🎉🎉
Baba levo umepotelea wapi unatoboaga wewe bora unerudi
😂😂😂❤❤baba levo
Baba levo we ni mpuuzi huwezi kumuacha muda uka muweka chama Taira toka hapo studio
ILA baba level 🎉🎉🎉
Baba levo aiseee nakualika zanzibar kwenye dinner aisee one day unavutia mnoooo
baba nakukubali sana kwenye jana na leo
sema oscar kw kujifany anaon mbali😂😂
Hoisi
Baba leo is an other level
Mechi za kimataifa lazima prince Max muda pacome Aziz waanze....
Baba levo una kipaji sana cha kuchekesha
safi sana edo waambie hao
Baba levo micc you❤
babalevo🔥🔥🔥🔥
Gamond ameungana na Edo Kumwembe. Kaulizwa atawapanga star wote kwa wakati mmoja?
Akajibu: Tutegemee kufungwa kila mechi tutakayo fanya hivyo.
Babalevo noma
tutawagaragaza sio kuwafunga 2
Wew ni Xavi mtupu
QwiShaa 😂
😂😂😂😂😂
Hhhhhhhhhhhhh😅
Na hakuna mahala popote palipoandikwa kuwa,kwakuwa Galagtico ya Real Madreed ilifeli,basi kila timu itakayo sajili nyota wengi itafeli kama Madreed --- " Opponent akipata goli,wakati Score bord inasoma YNG 5 -- MADUNDU 1 halafu ni dakika ya 88:45 kuna shida gani "
haha acha muda uongee .....nyie mastaa kaka😂
UMEWAHI KUFIKIRIA YANGA WAMESHINDWA KUINGIA MAKUNDI CAFCL?
THINK ABOUT THAT!
Makundi mbali kote huko, kuna timu bovu TZ limeshindwa kabisa kushiriki CAFCL msimu ujao limebahatika kwenda shirikisho😅
Baba levo mpira haujui kbs hapasw kuwa kwenye hich kipind labda kwasababu analeta uchangamfu kwenye kipindi
Kaongea points apo ww sikilza