Wema ni Akiba Part Two

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 268

  • @lydiabulinga9275
    @lydiabulinga9275 4 ปีที่แล้ว +44

    Eeeh Mungu nipe moyo safi niwe mwanamke bora! Dada Jennifer ubarikiwe kwa ujumbe mzuri nmejikuta natoa machozi

  • @alexkusaga1246
    @alexkusaga1246 3 ปีที่แล้ว +6

    Inafundisha sana na ina ujumbe mzuri zaidi,dada Jennifer mungu akubariki sana

  • @flourencedianah1410
    @flourencedianah1410 2 ปีที่แล้ว +11

    Am asking you God to give me the grace of raising my step daughter as soon as she'll be handed over in my hand,,I want to give her the best a mother can give

  • @rizikimwanyae9490
    @rizikimwanyae9490 4 ปีที่แล้ว +8

    Eee mungu asante kwa somo nililo jifunza leo nizidishie moyo safi niendelee kupenda watoto hata wasio wakwangu😭

  • @niyonzimasebirayi3923
    @niyonzimasebirayi3923 4 ปีที่แล้ว +12

    Mawazo pole sana, muke tatizo,mama mukwe shida, lakini asante kuwa kwa musimamo kumusaidia Eric.

  • @upendomswima615
    @upendomswima615 4 ปีที่แล้ว +12

    Inaliza sana mungu atusimamie ambao tumepotelewa nawazazi wote

  • @nasoroamisi2168
    @nasoroamisi2168 4 ปีที่แล้ว +11

    Nice movie i really like it big up JENNIFER MGENDI and its a good list to girls.

  • @shaynels2577
    @shaynels2577 4 ปีที่แล้ว +14

    My name Shayne I live in Los Angeles California . honestly I can't stop crying I have been passed same in the situation .god is great now I have everything in my life

  • @jesicahmusisi6303
    @jesicahmusisi6303 3 ปีที่แล้ว +10

    Very educative,we need to be sensitive on orphans,their hearts are close to God and their cry on how we handle them touches the heart of God,God help us

  • @mmnn3060
    @mmnn3060 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwl kbx usimuzalau mutu kila kitu kinamwazo namwisho asante sana mungu kwa kila jambo umefanya. Mama grolia jifuze kua naloho zr kuliko hapo pol sana kwl naloho yako

  • @joicyjackob6694
    @joicyjackob6694 3 ปีที่แล้ว +4

    emungu nisaidie niumbie moyo mpya wenye upoendo uvumilivu aman kwani ukuna anae jua kesho yake wema niakiba na ubaya niakiba mungu ana tupenda sanaa hii picha ina fundisha sana jaman tujifunze kupitia apa kwamba mwisho waubaya niahibu na na wema nimafanikio emungu tusaidie

  • @ev.raymondrichard7812
    @ev.raymondrichard7812 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki kwa movie nzuri kiukweli inamafundisho manzuri sana.

  • @redemtaayaa2452
    @redemtaayaa2452 4 ปีที่แล้ว +11

    Baba mawazo God bless you more may you live more years and see your grand children's from eliy and glory

  • @asimwewilison1899
    @asimwewilison1899 4 ปีที่แล้ว +3

    Akika wewe ni mungu. Unisaidie mungu niwezee kuwalea watoto wanguu. Machoz yamenitoka

  • @ibrahimali8267
    @ibrahimali8267 4 ปีที่แล้ว +3

    Dada wangu mimi mcomoros nchi jirani na tanzania na penda sana videos zako na songs zako nawona wimbo wa filamu hi iko sawa kama wana wa pacha

  • @helimeshemghei8447
    @helimeshemghei8447 4 ปีที่แล้ว +3

    Nice work.... Inafundisha. God bless you dada yangu. I love you so much. I admire you.

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni Baba wa yatima tumtegemee yeye tuuh...

  • @estermtambala370
    @estermtambala370 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajua hii mov kiukwel imenifundisha sana wanawake tuwe na mioyo ya huruma ee mungu nipe moyo wakuwajali wengne ,maan namim ni mzaz da inauma siku zote mtt wa mwenzio ni mtt wako jaman wanawake wenye roho hzo achen maan mungu hapend

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 11 หลายเดือนก่อน +1

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI

  • @irinemmasy8387
    @irinemmasy8387 ปีที่แล้ว +3

    Hii move imenitoa machozi 😭😭😭 ee MUNGU tulindie wazazi wetu pia walinde mayatima wote

  • @moise8515
    @moise8515 7 หลายเดือนก่อน

    Que Dieu bénisse ma sœur Jennifer pour cette leçon ❤🙏🤍🙏

  • @AlexPetro-n6s
    @AlexPetro-n6s 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bibi groly anaonngea kijita hatari 😂😂😂 hataki mchezo movie nzuri and good dedication from all women

    • @AncentMarcel
      @AncentMarcel 5 หลายเดือนก่อน

      Ana BAYA mjita wetu🤣🤣🤣

  • @humulizarichard4971
    @humulizarichard4971 4 ปีที่แล้ว +3

    Mko poa katika filam hiyo, wema ni akiba! Mungu awabaliki

  • @anavestasikujua315
    @anavestasikujua315 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki dada Jennifer ubarikiwe Sana dada 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jimmykavishe6877
    @jimmykavishe6877 4 ปีที่แล้ว +5

    Hii ninadiliki kusema ndiyo move nzuri kuliko zote hongereni somo zuri

  • @MariamKanze
    @MariamKanze 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu npe Moyo Safi Na Moyo Wa kupenda watoyo wote wenye wazazi Na wenye hawana wazazi Yani yatima nmejifunza somo hapa soma nashukuru Sana kwa kufanya hii video

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 ปีที่แล้ว +30

    Nilichojifunz sie wanawake tunatabia uakuntanyasa watoto wasio wetu kitu ambacho kimewafanya watoto wasio na wazazi kupitia maisha magumu ya mitaani. Mwanamke ukiwa na roho nzur ndio chanzo cha amani ndani ya nyumba

    • @ibrahimmartin1676
      @ibrahimmartin1676 4 ปีที่แล้ว

      Bigap san dada angu kaz zur unanyo ifany mungu azindi kukumbari na ukuongoz katika kaz zakounazozifanya mungu yupamoja nawe

    • @gaudenciamlay1916
      @gaudenciamlay1916 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameonyesha unyenyekevu na nidhamu nakunyenyekea mbele za mungu

    • @gaudenciamlay1916
      @gaudenciamlay1916 4 ปีที่แล้ว

      Usimdharau mtu maana hujui kesho yake Ameeen

    • @shamiila1288
      @shamiila1288 4 ปีที่แล้ว

      @@ibrahimmartin1676 mashaallah

    • @Hasnspop
      @Hasnspop 4 ปีที่แล้ว

      Safi binti

  • @hisiansarakikya9278
    @hisiansarakikya9278 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu atusahidie sis wanawake🙏

  • @charleswanjala7199
    @charleswanjala7199 2 ปีที่แล้ว +3

    Lipa uovu kwa wema siku zote, hallelujah 🙏

  • @jamesbonaventure4708
    @jamesbonaventure4708 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa kutetea elia na kuwa na msimamo dhabiti eeeh Mungu nitie nguvu nisjisahau kuwa nimewini apana mm ni mwanadamu tu tulinde tubaliki pia tusameheee kila kukichapo tuna kukosea baba yetu uliye juuuuu AMINA

  • @patrickwambua7605
    @patrickwambua7605 ปีที่แล้ว

    Usidharau usiye mjua hangera sana mawazo mungu akupe maisha marefu ya amani.

  • @beatriceminja2148
    @beatriceminja2148 3 ปีที่แล้ว +4

    Jaman wanawake wenzangu tujifunze kupitia huku, utu Ni kitu kizuri Sana.. jaman dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭MUNGU nakuomba nisaidie..

  • @CherubetSyli-ml7fy
    @CherubetSyli-ml7fy 3 หลายเดือนก่อน

    Shukururani ni Kwa mwenyezi mungu nimejifunza kitu apo Asante sana 🙏🏽

  • @domnicotopi
    @domnicotopi 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana filamu hii ninzuri sana na ina mafunzo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @queenmaggy8869
    @queenmaggy8869 2 ปีที่แล้ว

    Asante kabisa,machonzi yamedondoka nafilma,ubarikiwe dada Jenifer

  • @sarahmkandawile1940
    @sarahmkandawile1940 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kumtegemea mungu Luna faida. Kubwa hiibimeniliza imenigusa sana be blessed mama jenny nimefunza kitu mungu akunze mom umekuwa baraka

  • @SifaeliElinaz-jl9zd
    @SifaeliElinaz-jl9zd ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa na jumbe zako nzuri dada angu jenifa

  • @gracealexander5309
    @gracealexander5309 4 ปีที่แล้ว +16

    KILA HATUA NITAKUITA YESU KRISTO WEWE NDIE BABA WA YATIMA AMEEEN

  • @davidlaizer7911
    @davidlaizer7911 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada Jenifer Mungu akubariki sana nimefrah sana na nimejifunza
    Kitu

  • @Roth111
    @Roth111 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwanzo ata pia mwisho ata tunayopitia magumu mungu ainuriwe juu❤

  • @mwlsizamwampamba3441
    @mwlsizamwampamba3441 4 ปีที่แล้ว +2

    Tangu nilipokufahamu dada yangu jenipha Kila cku naendelea kujifunza kutoka kwako,barikiwa sana

  • @NyabendaJacqueline
    @NyabendaJacqueline 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Baba tup nyoyo saf na uvumilivu wa milele nakuw Karib nawew kwa kuw bila ww hatuwez fany chechote i need you Jesus kaa nasi "Amen"

  • @SILVESTERONKWARENYAMONGO
    @SILVESTERONKWARENYAMONGO 4 ปีที่แล้ว +6

    dear siz this is a big lesson to be taken into account

  • @elizabethjames2693
    @elizabethjames2693 3 ปีที่แล้ว

    Amen mwenyezi mungu nipe roho nzur Kama ya Kaka mawazo nimeipenda sana

  • @neemaayubu1786
    @neemaayubu1786 2 ปีที่แล้ว

    Jamani asanteni sana kwa kazi nzuri inafundisha 🙏🙏🙏

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukurani mama angu kwa kutuletea part 2. Kazi nzur mama Barikiwa sana Mtumishi

    • @mosesmussa9965
      @mosesmussa9965 3 ปีที่แล้ว

      Love u mumy be blessed

    • @queenmaggy8869
      @queenmaggy8869 2 ปีที่แล้ว

      Munguwangu machonzi yamenidodoka kweli

    • @queenmaggy8869
      @queenmaggy8869 2 ปีที่แล้ว

      Asante mungu kwakunipa muzazi muzuri,machonzi yametoka kweli,mamayangu asante Jenifer

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole Kaka mawazo kwa unayopitia kwa ajili ya kumsaidia Eric

  • @heriethndalu1460
    @heriethndalu1460 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante dada Jennifer kwa movie nzuri yenye mafunzo

    • @bulozeregine8185
      @bulozeregine8185 4 ปีที่แล้ว

      Mama tuwe nautu kumbuk macungu uliyo pata kwamwanao nadivyo na aliapat sasa kwanin utese wamwezio

  • @lucylenard9449
    @lucylenard9449 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii muvi inafundisha Sana hongera mama Jenny

  • @jullywakhungu7454
    @jullywakhungu7454 ปีที่แล้ว

    Lesson learnt deeply dear lord niumbie moyo mpya 🙏🙏

  • @rizikimollelmollel1163
    @rizikimollelmollel1163 4 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri Mungu azidi kuwainua juu bibi glory ananibariki saaaana jamani

  • @joycemarandu5223
    @joycemarandu5223 4 ปีที่แล้ว +1

    Nzury sana na inatia uchungu jmn pole Sebia Edward jifunze kuishi na mahouse gerl vizury

  • @nuliahkhamis6152
    @nuliahkhamis6152 3 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyez nijalie adi nimlee mwanangu, da jenipha ongela sana kwa kuleta ujumbe mzuri, yani najikuta natoa machozi , ansante mungu

  • @elizabethjames3301
    @elizabethjames3301 3 ปีที่แล้ว +2

    Balikiwa Sana dad jenifa kwa kutoa ujumbe ulio bola na kutuasa wanawake wote

  • @lightnessseifu5983
    @lightnessseifu5983 2 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu Sina lakusema 😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ni mwema sana🙏🙏🙏

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu bibi napenda alivokisirani😂😂😂😂😂bless up madam jenny

  • @blessingkimani6078
    @blessingkimani6078 ปีที่แล้ว

    Couldn't hold my tears back.very Educative

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue hatua Moja zaidi mama

  • @khadijanungu3302
    @khadijanungu3302 2 ปีที่แล้ว

    Hongera dada jenny nakutakia kila la kheri nimepata fundisho kubwa kweli imani itakuponya

  • @spinicmbusuro8504
    @spinicmbusuro8504 2 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Jennifer 🙏🏻🙏🏻

  • @stevenmasero6626
    @stevenmasero6626 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mawazo umefiti kiume kweli

  • @millicentmuia5652
    @millicentmuia5652 ปีที่แล้ว

    Kweli MUNGU Yuko kwa wamwanio fuzo kubwa kwa wanawake wa Haina hio,,,,,,,napenda roho ya mawazo mungu akubariki.

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 4 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu wakumbuke mayatima wote pale walipo🎉🎉❤

  • @aminatasongoro9592
    @aminatasongoro9592 2 ปีที่แล้ว

    Mijanaume mingi ni mi boya sana haina msimamo maishani n'a ndomana mnatawaliwa na wanawake

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 2 ปีที่แล้ว

    Wema ni akiba hii filamu imenifundisha kitu asante mungu

  • @lindaziti7545
    @lindaziti7545 4 ปีที่แล้ว +5

    Movie nzuri inaliza sijuwi kwanini sisi mayatima tunateswa

    • @lydiayusuph1925
      @lydiayusuph1925 4 ปีที่แล้ว

      Linda Ziti mmmh usiseme hivyo bn

    • @danielmarunda153
      @danielmarunda153 4 ปีที่แล้ว

      Pole Sana Linda, uko kwenye mikono salama ya Mungu

  • @JustinShadrack
    @JustinShadrack 5 หลายเดือนก่อน

    Jenifa mwenyezi Mungu akubariki kwaujumbe wako mzuri

  • @Bintluckas3918
    @Bintluckas3918 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏Mungu akubarik Jenifer kwa ujumbe mzuri

  • @florencesanita1413
    @florencesanita1413 3 ปีที่แล้ว

    Hii movie naipenda Sana inanifundisha sana yaliza kwa kweli

  • @gaudensiayohana409
    @gaudensiayohana409 3 ปีที่แล้ว

    Maisha ni mzunguko usimdharau usiye mfahamu nashukuru sana dada J kwa ujumbe inaofundisha

  • @NeemaWilson-go1nw
    @NeemaWilson-go1nw 5 หลายเดือนก่อน

    Jenifer mungu akibarik sana jmn wamama tujifunze kupitia Ili somo

  • @japhetmasai9954
    @japhetmasai9954 4 หลายเดือนก่อน

    E mungu wangu nipe moyo wa kutenda mama amen 🙏

  • @juster5478
    @juster5478 ปีที่แล้ว

    Emungu nisaidie nilee wangu mwenyewe wasije kukutana na mwanamke kama mama grory inauma Sana na inafundisha pia mungu badiri roho za wanawake walio wengi wenye roho mbaya kama huyu mama

  • @ramadhaniiddy70
    @ramadhaniiddy70 4 ปีที่แล้ว +4

    Wamama jamani mungu atupe roho ya huruma

  • @lucysunly3626
    @lucysunly3626 4 ปีที่แล้ว +6

    wanawake jamn sijuw niwatu wa namna gan

  • @deuspastory5121
    @deuspastory5121 3 ปีที่แล้ว

    Hakika nimeipenda sana,,,, kuna funzo kubwa sana

  • @karakachacharles9625
    @karakachacharles9625 2 ปีที่แล้ว +1

    Good presentation with great message

  • @vitreenandeth3457
    @vitreenandeth3457 3 ปีที่แล้ว

    Amen mara ya nne nikioch hii move daah

  • @fardahally8511
    @fardahally8511 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri Dada Jeni penda sana.

  • @janetnjobvu3707
    @janetnjobvu3707 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dada yangu kipenzi Jenny nimejifunza mengi Sana jamani tuache roho mbaya

  • @uwimanamagnifique6983
    @uwimanamagnifique6983 4 ปีที่แล้ว +1

    Ii movie ime niliza Sana ila mtu una roho mbaa juu ya yatima kama huja kuwa yatima siku mojya utajuwa matatizo yatima anayo ya pitia Wana wake muige kuwa na roho nzuli

  • @fatmakungu2160
    @fatmakungu2160 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimejikuta nalia tu ni move ila nimambo yapo kwenye jamii mungu tupe moyo wa iman na ruhuma...

  • @marymsunga
    @marymsunga 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu tujalie moyo safi

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 ปีที่แล้ว

    Mungu ni jaliye niwa leye wanangu 🙏🏽🙏🏽hakuna jaribu duniani kama kuitwa yatima 😢😢

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +7

    MUNGU ATUSAIDIE WA MAMA TUWE NA HOFU YAKE WENGI TUKO NA ROHO CHAFU KWELI..

  • @emanuelchegeni8216
    @emanuelchegeni8216 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vitu vingi kupitiq hii move jen mungu azidi kukubari momo 😢

  • @eliudifelesian9632
    @eliudifelesian9632 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuh ni bonge la muvei tujifunze kuteendea wama

  • @SILVESTERONKWARENYAMONGO
    @SILVESTERONKWARENYAMONGO 4 ปีที่แล้ว +6

    God bless you Jennifer for this short editorial

  • @veevava9083
    @veevava9083 4 ปีที่แล้ว +11

    Kuna wa mama huwa wanatesa watoto wa wwnzio wakidhani wao wataishi myaka yote wakiwalea watoto zao 2

  • @bbrsssaad1282
    @bbrsssaad1282 4 ปีที่แล้ว +1

    Iko vzuri sana barikiweni mlohusika

  • @princesssally3276
    @princesssally3276 4 ปีที่แล้ว +4

    Hili limama glory Lina roho mbaya cjui likoje

  • @jenifamtunguja484
    @jenifamtunguja484 ปีที่แล้ว

    Tenda wema nenda zako❤ kweli wema ni akiba

  • @euniceshirima5639
    @euniceshirima5639 3 ปีที่แล้ว +1

    Waoo hongeren sana jamn

  • @SILVESTERONKWARENYAMONGO
    @SILVESTERONKWARENYAMONGO 4 ปีที่แล้ว +10

    its a deep lesson to be taken into account

    • @habibasalummbevi2683
      @habibasalummbevi2683 ปีที่แล้ว +1

      Asantee dada Jenifer nimejikuta NAToa machoz akija inafundisha

  • @asiasaidsulle6329
    @asiasaidsulle6329 2 ปีที่แล้ว +1

    E MUNGU niepushe na roho ya mama glory

  • @stevenmasero6626
    @stevenmasero6626 4 ปีที่แล้ว +3

    Thanks for good lessons of life

    • @linetmet3568
      @linetmet3568 3 ปีที่แล้ว

      Wwww kweli hii. Dunia aina uruma lakini mungu irumia watoto wote yatima uwape ngufu ya kuishi hapa duniani

  • @yvonewere4012
    @yvonewere4012 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza mengi sana

  • @stephaniembombo7532
    @stephaniembombo7532 2 ปีที่แล้ว

    Filamu nzuri kbs

  • @victoriamillanzi5277
    @victoriamillanzi5277 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda Sana move zako

  • @challemartin
    @challemartin 5 หลายเดือนก่อน

    Jennifer ubarikiwe sana