AMENIVUSHA (Video) By Jennifer Mgendi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Featuring Bahati Bukuku and Bibi Kigaloni

ความคิดเห็น • 338

  • @goodluckmakundi1685
    @goodluckmakundi1685 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu akubariki sana dada na kukutia nguvu,yeye hatakupungukia wala hatakuacha,NA HUU NDIO UJASIRI TULIO NAO KWAKE,SONGA MBELE

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 ปีที่แล้ว +4

    Amen AMEN,MUNGU WA MBINGU NA NCHI AENDEREE KUKUTUMIA SANA KUKUTUKUZA KWA JINA LAKE YESU

  • @omuyaalphonce4387
    @omuyaalphonce4387 2 ปีที่แล้ว +7

    Amen kweli Mungu anatenda... alafu mama amenenepa si kama vile akitaka pombe yake wakati wa maombi....

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 2 ปีที่แล้ว +8

    Vizuri Jenifer,bibi Esther na bukuku na wengine wamefanya pia vizuri.
    From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 2 ปีที่แล้ว +3

    Nawe penda buree 😄😄 this is lesson.
    Asante kwa massage kubwa hii

  • @milkamugomo218
    @milkamugomo218 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwanza Pole sana dada Jennifer kwa kumpoteza mwenzi wako na asante kwa wimbo mzuri Bahati mama Esther mko vizuri

    • @sophiabanana2309
      @sophiabanana2309 2 ปีที่แล้ว

      Amefiwa lini mwaka gani sijasikia janani😭😭😭

  • @davidnyirabakunzi8805
    @davidnyirabakunzi8805 2 ปีที่แล้ว +7

    Amen. Hongeleni Mzakazi wa Mwenyezi Mungu. Wimbo zako zna mafundisho sana tena sana.

  • @erickmutungi8792
    @erickmutungi8792 2 ปีที่แล้ว +7

    Mama wimbo una ujumbe mahususi kabisa...kwa nyakati tulizonazo.....nimebarikiwa

  • @naomimark5346
    @naomimark5346 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Kwa kuirudia kazi Yako ya uimbaji🙏🙏

  • @upendo1020
    @upendo1020 2 ปีที่แล้ว +8

    Napenda Sana mnavopendana na Bahati Bukuku, nawapenda Sana

  • @joycetweve6618
    @joycetweve6618 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akiruhusu jaribu.Ibilisi naye hujihuzurisha.cha msingi ni kumpuuza kwa haraka,na kutokufungua mlango kwa wakala wake. Amen

  • @reubenlucumay1929
    @reubenlucumay1929 2 ปีที่แล้ว +6

    Wimbo mzuri Sana imebeba maneno mazuri mmejipa sawasawa Mungu awaongeze ujuzi wa kueneza injili ya Mungu Ahsante Sana Jennifer kurudi katika ubora wako

  • @alphamasinjisa8140
    @alphamasinjisa8140 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa Sana madame Jennifer in short umeimba!!Nakupenda sana

  • @elizabaya-u6y
    @elizabaya-u6y ปีที่แล้ว +5

    Amen dada Jeniffer barikiwa sana wewe u wa baraka kwangu

  • @EuphrasieBahatiBurundi
    @EuphrasieBahatiBurundi 11 หลายเดือนก่อน +4

    Amen amen God bless you my mother 👩🙏❤🙌❤❤❤

  • @yesuyarishuye3380
    @yesuyarishuye3380 2 ปีที่แล้ว +4

    Tunakupenda sana kuanzia kwa mavazi .from Australia unapendwa😍😍😍

  • @officialjemimahowiti
    @officialjemimahowiti 2 ปีที่แล้ว +3

    You are agift to the kingdom 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mkingasana400
    @mkingasana400 ปีที่แล้ว +3

    Daah namwona apo malkia wa dunia wa gospel aka Dada bahati bukuku mm hip hop sana lakini nyimbo zake zote nko nazo.

  • @danielmwenga3480
    @danielmwenga3480 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen fanya kazi my dada Mungu akuinuwe zaidi 💥💥💥🙏

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +9

    Wimbo mzuri mungu akubariki pia hongera kuvaa vizuri dada

  • @janetmtenzi9239
    @janetmtenzi9239 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Bwana amenivusha Nga,mbo mshukuru Mungu pamoja nami

  • @nabi925
    @nabi925 2 ปีที่แล้ว +3

    Bahati bukuku una maneno mzito🤣🤣

  • @doriszephania3503
    @doriszephania3503 2 ปีที่แล้ว +3

    Ujembe konkiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
    Unafiki ndio unaoendelea makanisani MUNGU atusaidie

  • @edwardazinga4369
    @edwardazinga4369 2 ปีที่แล้ว +3

    Waaaaooo nivizuri kushukuru,maana bwana amenivusha,gd song

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +6

    Bibi esta kanenepa ivi?🤔🤣 nimefurahi sana kuwaona tena nyinyi wote mpaka leo mungali hayi my favorites love you from congo 🇨🇩🇨🇩

  • @jenishungu9079
    @jenishungu9079 ปีที่แล้ว +3

    Ubalikiwe sana nyimbo nzuri sana inafaliji mungu akubaliki sana

  • @ladyfarajadanda8575
    @ladyfarajadanda8575 2 ปีที่แล้ว +4

    Ameni dada yangu uwa unanibania Sana nyimbo zako zinaniponya Sana Mungu akutunze

  • @paschlpius2985
    @paschlpius2985 2 ปีที่แล้ว +5

    Ameen mungu azidi kukupa pumzi dada yangu

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahuja wai kosea kwa nyimbo zako maman 🙏🙏🙏

  • @solangerecho
    @solangerecho 2 ปีที่แล้ว +3

    Emen and emen mama uzidi kuinuliwa

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 ปีที่แล้ว +1

    Mmhh kweli Mungu anawabadilisha watu huyo mama aliyevaa gauni la madoa meusi alikuwa amechoka ila saizi amenawili sana

  • @a.j.m9740
    @a.j.m9740 2 ปีที่แล้ว +3

    Mabest kama best mnapendana sana Bahati Bukuku na Jenipher

  • @jacksonjohn5686
    @jacksonjohn5686 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu pekee ndiye anayefanya maishani mwetu barikiwa samtumishi

  • @estershilla9576
    @estershilla9576 2 ปีที่แล้ว +3

    Ujumbe mzuri kweli kabisa haka katabia kameshik kas

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 5 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ndy mambo yangu god bless u llove u jenifa

  • @ujumbekwawaulimwengu
    @ujumbekwawaulimwengu 2 ปีที่แล้ว +10

    Amen 🙏 amen 🙏 ubalikiwe sana Jennifer , malikia wa waimbaji nakupenda sana nyimbo zako zina faliji sana yani mimi sito kusahau wewe ndie mwimbaji wa kwanza tanzania kila mwimbaje ana fuata wewe usi simamishe kalama yako endelea kumtumikia mungu yani na kupenda sana yani sana 🙏💕💯 I love you so much Jennifer You are my sister watching from America 🇺🇸

  • @Happydaisy1
    @Happydaisy1 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂ila mama angu bahati amejua kunichekesha 😂😂😂
    Ila wimbo umejaa ujumbe kweli kabsa
    Yesu atusaidie zama hizi

  • @veronicawichoka2421
    @veronicawichoka2421 ปีที่แล้ว +1

    Watu Kama hao no wengi mama songa mbele Kama mungu Alisha toa kibali hakuna wa kuzuia

  • @ShedieMalc-ij1hp
    @ShedieMalc-ij1hp ปีที่แล้ว

    Yan huyo Bibi anaesema pole ni jiran yangu anakaa kibaha mailimoj Yuko peace Hatar Ila anafurahisha😅😅😅

  • @rebeccamukonyi3489
    @rebeccamukonyi3489 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen 🙏🙏🙏 nyimbo zako ni za mafunzo mungu asidi kuinua huduma yako.

  • @neemamtangi368
    @neemamtangi368 2 ปีที่แล้ว +3

    Kabisa ameen nakupenda sana daa wangu

  • @GRACENyanda-cn3pg
    @GRACENyanda-cn3pg 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri sana Mungu akubariki ❤🎉

  • @bemsinvestment3781
    @bemsinvestment3781 4 วันที่ผ่านมา

    Imenikunbusha miaka 6 bila mtoto walikuwa nakuombea twakuombe kumbe wanafiki nilipojifungua walishindwa kunijulia a daughter mwenye afya mzuri mno nilijifungua wakasema jitoto libonge hatulipendi heri asingekuwa mwa jina wangu 😂😂😂😂 wacheni Mungu aitwe Mungu

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 2 ปีที่แล้ว +54

    Amen ubarikiwe sana Mama 🙏 ila mimi natamani tu Mama mngeachana na hayo mapambo siku ya mwisho kazi yenu isiwe bure kwa sababu tu ya mapambo ,nimesikiliz ushuhuda nyingi za watumishi wa Mungu wanasema wamewakuta wanawake wengi waliomtumikia Mungu vizuri kabisa wapo kuzimu wanateseka kwa sababu tu ya mapambo,natamani umuulize Mungu kuhusu hili siku ya mwisho usiende motoni kwa sababu tu ya mapambo. wanasema lisemwalo lipo na pia kitu kikisemwa na watu zaidi ya watatu kitu hicho ni kweli 🙏🙏

    • @happyalbert5089
      @happyalbert5089 2 ปีที่แล้ว +3

      Barikiwa sana, injili lazima ihubiriwe kwa namna yeyote

    • @sanchezrose1560
      @sanchezrose1560 2 ปีที่แล้ว +5

      Amen kubwa natumai wangesoma hii comments waneelewa zaidi 😢

    • @amanisaa1426
      @amanisaa1426 2 ปีที่แล้ว +4

      Mary mwapiya@ mi pia nilitaka kuwaambia hivi nikaona umesema tyr kwa kweli wanawake tuwache mapambo yatatupeleka jehanamu kazi yetu itakuwa ni bure juu hukumu itakuwa sawa na Ile ya makahaba itakuwa ni hasara kwa kweli😭😭😭😭 moyo unaniuma Sana nkifikiria juu ya hili.

    • @amanisaa1426
      @amanisaa1426 2 ปีที่แล้ว +2

      Sikilizeni shuhuda za kweli za makatazo ya mapambo kwa (PROMOVER TV)

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +2

      Iwe kwa hila iwe kwa hujuma injili lazima ihubiriwe ndo maana Paul akasema anayaona yote km mavi, Sasa waspojoamba Nani atanunua cd na flash kiufupi NI biashara hakuna mwenda mbngun

  • @bahatimbilinyi7871
    @bahatimbilinyi7871 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki Kwa nyimbo zuri🙏🙏

  • @Jadeen1
    @Jadeen1 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen🙏 Bwana amenivusha.🤲 Zidi kubarikiwa . Tujifunze kufurahia mafanikio ya wengine

  • @uwizeyimanasara
    @uwizeyimanasara 2 ปีที่แล้ว

    Hsanteni. Dadayangu. Ubarikie. Sanatunakupenda🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🇹🇿🇹🇿💋💋💋💋💋

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali saana kazi za Jeniffe na wenzako wote

  • @JOËLKAPINGA-g7x
    @JOËLKAPINGA-g7x 2 หลายเดือนก่อน

    Bonjour Madame cemoi Dédé kasongo bonne journée merci beaucoup pour votre Shanson

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 ปีที่แล้ว

    Nzur sana hii ila huyo mama ile teke la mama video 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 3 หลายเดือนก่อน

    Bahati bukuku ana miezi hii 👌🏾hajaoga😅😅😅😅

  • @terrietrizah5175
    @terrietrizah5175 2 ปีที่แล้ว +5

    I just love this woman,,her voice 🥰🥰🥰🥰👌 barikiwa sana mama,nakupenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @tumainitumanini8276
    @tumainitumanini8276 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen,,nami naamini kupitia huu wimbo ata nivusha kiwango kigne amen

  • @ibizmediatechnology
    @ibizmediatechnology 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zako zinanifariji sana

  • @Deborah-m6r
    @Deborah-m6r 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu dada naitwa debora

  • @rizikilaunda961
    @rizikilaunda961 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🏾 amen! Nikweli binadamu tu wanafiki Mungu atuhurumiye anatulinda badolishe Mungu wa mbinguni akuinuwe zaidi Mutu mishi naakutiye nguvu tele Amen 🙏🏾!!!

  • @kayombo4730
    @kayombo4730 2 ปีที่แล้ว +1

    #BibiKigaloni

  • @GODisable7573
    @GODisable7573 2 ปีที่แล้ว +1

    Mume wangu amefariki ghafla mwezi wa nne mwaka huu nilimtegemea kiuchumi. Video hii imenikumbusha nimeyopitia. MUNGU azidi kukuinua Mtumishi wa MUNGU 🙏🏾

  • @annastaziakalula1475
    @annastaziakalula1475 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuinue zaidi dada Jenifer Mgendi

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 ปีที่แล้ว

    Rip mume wa jenipher mgend mume wa ujana wake

  • @jylishura7665
    @jylishura7665 2 ปีที่แล้ว +2

    bi Esther kanenepa

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 2 ปีที่แล้ว +2

    My lovely sister God bless you, nice song Bwana amenivusha ng'ambo Amina 🤲🙏❤

  • @agnessomba
    @agnessomba 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana .nimepata messeg pia.ubarikiwe mtumish

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

    Paka wa muimbili bibi wewe😂😂😂😂😂🤣🤣

  • @amidjaja5695
    @amidjaja5695 2 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔🤔🤔esta amenenepa

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 หลายเดือนก่อน

    Nice message natural beauty ka baby face ❤ tangu utoto be blessed

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 หลายเดือนก่อน

    Nice message natural beauty ka baby face ❤ tangu utoto be blessed

  • @elladushimimana1551
    @elladushimimana1551 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante sana mama yangu, nyimbo zako ni baraka kwangu, mungu aendeleye ku kubariki sana.

  • @davidbitsiri6566
    @davidbitsiri6566 ปีที่แล้ว

    mungu awabariki kwamafundisho

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 4 หลายเดือนก่อน

    Mama yangu wee huzeeki kwakuwa uko ndani ya yesu

  • @barakabarkey9374
    @barakabarkey9374 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 2 ปีที่แล้ว

    walaka wa kwanza wa Petro 3:3,,,nayo inasema...kujipamba kwenu kusiwe kujipamba kwa nje,,yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi...Roho mtakatifu awatie nguvu na kuwaongoza

  • @adelinamalema6766
    @adelinamalema6766 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen my sister be blessed mumy

  • @EmmyExaud
    @EmmyExaud ปีที่แล้ว

    Ameen mungu mkubwa very nice

  • @marynakhone
    @marynakhone ปีที่แล้ว

    Ni wapi biblia inakemeya mapambo

  • @nailaty
    @nailaty 2 ปีที่แล้ว +2

    Napendaga mishono yako🥰🥰

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 ปีที่แล้ว

    Mh Jennifer hongera sn kwa kuinuka sijui sn ktk hili la kupendeza mnaotuambia mnafanya vzr kutuambia but Adam na hawa wapokosea bustanini turudi huko ndiyo uasilia hawakupewa nguo walipewa ngozi ya mnyama niwaulize kwann mnavaa nguo vueni ht hizo hatukupewa na Mungu tulipewa ngozi .mnavaa viatu kwann msiangalie tu Heleni za Jennifer nywele nguo huo ni unafiki.acheni kutuvuruga km mnaenda mbinguni mnarudia nn?kila mtu Ana roho wake anayeshuhudia pamoja na roho zetu ndani yako unajiremba ili nini Nia zao huwezi kuzileta iwe Nia ya kila muamini songa mbele Jennifer .siku roho akishuhudia utaacha km ulivyoacha dhambi hawakuwepo ah msitusumbue namungu wenu wa kuangalia mwili siyo roho tena

  • @maureenmuhenje916
    @maureenmuhenje916 2 ปีที่แล้ว +8

    Ameeeen hakika mungu ametenda very nice song big up from kenya i love the song be blessed

  • @millieholmst6628
    @millieholmst6628 2 ปีที่แล้ว

    Beautiful Asante wadada

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

    Bibi,esta☹️☹️😹😹😹😹😹😹😹nimeskia kucheka hongera dada ukojuu haswa

  • @mosesdalmasamenmaygodyou5335
    @mosesdalmasamenmaygodyou5335 2 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri. Ubarikiwe dada

  • @maliabonifasi2466
    @maliabonifasi2466 ปีที่แล้ว

    Mngu akupe maishamalefu

  • @TeresiaNyangalima-gf5yo
    @TeresiaNyangalima-gf5yo ปีที่แล้ว

    Waoooo jenifaa mungu akutunze mtumishi wa mungu

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 4 หลายเดือนก่อน

    Hayo ndio mambo ya wapendwa wanafiki kweli YESU KRISTO atusaidie

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd ปีที่แล้ว

    Bibi estar nskupenda

  • @EvaSengoda-o3h
    @EvaSengoda-o3h 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mama umenibariki sana

  • @shomariking389
    @shomariking389 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen kweli mungu ndiye mvushaji wetu kwa kila jambo

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu bahati sauti yako kavu

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba movie ya huu wimbo please 🤣🤣🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 2 ปีที่แล้ว

    Ameren utukufu kwa Yesu

  • @marthasolomon1359
    @marthasolomon1359 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen! Safi sana. Na wataabishaji washindwe!

  • @devothapoyongo4440
    @devothapoyongo4440 ปีที่แล้ว

    Ubalikiw kwa wimb mzuri

  • @AgnesNyivaTV
    @AgnesNyivaTV ปีที่แล้ว

    Iko sawa,nice Tena smart

  • @haniphahanipha4814
    @haniphahanipha4814 2 ปีที่แล้ว

    jamn huyo mama kanenepa

  • @monicamelita8011
    @monicamelita8011 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada hongera xn . Mungu akupandishe viwango vya juu

  • @pendobaharia5598
    @pendobaharia5598 ปีที่แล้ว

    Mama mkwe kanenepa 😍😃

  • @NahimanaAlbinally
    @NahimanaAlbinally 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu aluminum ju jenifaa

  • @bwanazola1369
    @bwanazola1369 ปีที่แล้ว +1

    Dieu vous bénisse richement napenda musique Yako saana

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sanaaaaa my lovely mama
    Bwana amenivusha nghambo

  • @GervasRevocatus
    @GervasRevocatus 11 หลายเดือนก่อน

    Wema niakiba pate tuu