Huyu mtoto bana anaongea huyoooooo mmmmhhh HIVI akilogwa atasema hivo kama anavyosema NYOTA itazima Sasa HIVI atakuwa haskiki HEBU Wacha tumpe mda tumuone Yani kanyota kamewaka kidogo tu anaongea huyooooooo Haaaaaaaah.....haaaaaaaah
Sehkh kishki endelea kuwaumbua na kuwapa dawa wapone vzr endelea kusema ukweli shekh letu la nguvu mungu akupe umri mrefu uzidi kuwapa vitu shekh wetu😘😘
Kijana kusema Mungu amekutuma unakosea.Uislam unaamini mtu wa mwisho kutumwa dunian ni Mtume Muhammad saw baada ya hapo hakuna tena mtume wala nabii baada yake.ukisema unatumwa tayari unatuondoa ktk kukuamini.we sema tu unauza dawa unafanya na dua sijui uganga lkn ilo la kutumwa na Mungu achana nalo na usiliseme tena.mzee wangu shekh Mazinge kweli umekaa na hayo unayaskia unayanyamazia.please please kweli tuna shida na pesa ila tupiganie nafsi zetu
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine tu na Kuna siku niliwakuta hao maeneo ya vikindu wanauza Hadi vidawa vya ngende anatamka kwa ulimi wake kua hicho kidawa Cha usimpe mtu yeyote hicho kidawa Cha ngende. Kisha akagawa na bahasha akawa anawapiga mikwara kua waliochukua bahasha wasipoweka pesa basi watamjua yeye nani
Qur'an ishamaliza kua kuna watu watatumia maneno ya Mungu kwa lengo la kujipatia kipato chao kwa thamani ndogo kabisa, sio kwa lengo la kunusuru uislamu, kwaiyo Mungu ana wangojea tubadilika waislamu tusije tukamalizia mwisho mbaya
Allah atuongoze kwenye haki tuifate na atuonyeshe batwili tuiache mwenyezi mungu akulinde na atulinde sote umejibu vizuri hilo swali hakuna awezae kukuroga hatajin palinipa mshangao maana mtume mohammad S.A.W alirogwa ndio mana mwanzo nikasema kila kubwa halikosi kubwa mwenzie.kama umekiri mpaka mungu atake hapo sinashaka tena nakauli yako
Jamani waislamu,,mtu akikosea hatujafunzwa kuombeana mabaya,,muombeni huyo kijana tu Mwenyezi Mungu amuongoze,,msiwe wachache wa kuombeana mema,,hata mtu Muhammad S.A.W hakuwambea watu dua mbaya,,waislamu badilikeni
Ninachopendea waislamu hawana mambo "kuombeana onbeana ili mtu apone ,ama maji ya upako" wao ni kutenda mema ,kukataza maovu na kuswali mara tano kwa siku, huu ndio Uislamu tunonea wivu wengine.
Wallahi km hujui km qurani inatibu na mimea yote ni tiba tatizo imani zetu ni ndogo hatutaki kuomba kikweli na kuachana na haramu yeyote atakae Acha maovu akajikaribish Na Allah ataonekana anafanya maajabu na watu sio usharifu ni kipenzi cha mwenyezi mungu
Mume wa wachawi na kiboko wa wachawi si ni sawa..... Zipo ma hospital kibao watu wanapata shida hko mbna msiende hko mkawapa maji nao wakapata afueni angalau... Mnazidi kunipa hasira mnavyojonadi mbele ya macamera wakati mnajua kabisa mpo kwenye biashara😢😢😢nendeni hospitalini kuna watu wanasugua miaka bila kupata nafuu
Naam hakika , alhamdulillah ila hao wapotovu Allah azid kuapotoa ili aje awape adhab kubwa sana wao na wanaowafata, sheikh Kishk Allah azid kukubaarik kwa kutetea haqq
Alhamdulillah waislam wamezinduka hawakubali uhuni tena.watu wanakaa kupotosha dini ya Allah hamtaweza na Mmungu atawadhalilisha mchana kweupe..Sheikh kishki Mmungu akulipe kwa kutokuwa mnafiq na kuepuka uchawa.
Twende pale, kapewa idhini na mwenyezi Mungu y kuponya watu. Watu washagundua hakuna pepo ya mito ya pombe wala kuozeshwa wanawake warembo. Wameona bora wapige ela. Twende kaka, wanyooshe. Niko nyuma yako kuona unamvyorithi Mwamposa
acheni kuichezea dini ya Allah kwa kupiga pesa mtalaniwa hakuna mwanzo ukakosa mwisho waumbue kishki wapo wengi hao Allah awadhalilishe katika hii dunia mpaka mwisho wa maisha yenu
Huna power wew ni mwizi tuuh, unawaibia hao wasiojielew, huna chochote nend Kwa kishki akupe mtaji ukoohh uanze maisha wew na familia yako....huna maajabu yyte
Sasa ukiwa una uwezo wa kusema pona na mtu anapona si uende muhimbili ukasaidie wagonjwa kibao ukifika useme tu PONA PONA PONA utakua umetusaidia watanzania
@@AdamMuki-n5dminashangaa Hao wanaomwagiwa hayo mafuta yaa alizet sjui ya zaituni aendee wagonjwa mahosiptal kuliko kudili nawaliowazimaa hawa niwatu hawataki kufanyaa kazi wanataka miteremko
Tafadhali kaka wewe dini inasema mwenye ameinuliwa kwa uwezo wa Allah hana ulimi mkali na ukakasi kama huo wako samahani wewe usichezee dini ya Allah itkughalimu,Mwenyezi Mungu akuongoze kwa rehema zake InshaAllah
Inasikitisha sana mtu muislam unaachana na misingi ya dini yako kwa ajili ya njaa, nimeishi temeke miaka mingi Sanaa nimeshaona uhuni wa hawa wakina sharifu wa kutosha, hawa vijana wanabeti, wanacheza kamali, anakunywa pombe, wallah baada ya kuyagundua haya nilisikitika Sanaa, wanamipango ya kupiga pesa tu, wanahangaika na ndoo za mafuta ya kula kujaza ktk chupa ndogo ndogo, nadhani umefika wakati hata picha za maisha yao mitaani tuziwekwe wazi kwa sababu waislam wanazidi kutapeliwa wallah, hawa vijana Asilimia 80 hata swala hawa swali na wallah naongea kwa ushahidi kabisaa wa haya, nawafaham zaidi ya masharifu Watano ambao ni wahuni tu, huwa nasikitika Sanaa watu wanavyoenda kuibiwa huko Mikoani, madai yao utapona kwa Imani yao ktk huu utapeli wao, mashekhe waloligundua hili waendelee kupigilia misumali ya kutosha, watu wawe wa kweli kunusuru dini ya Allah, hawa wahuni tunafaham mpaka vijiwe vyao ni wakati sasa wa kumalizana nao hawa kusafisha dini yetu, mtu maneno yenyewe shida, Quran hajui, shiriki humo humo huo usharifu au uhuni??
Kuna jambo sisi waislamu tunaferi sana,,hawa masharifu uwende wakawa ni masharifu wenye majini ndani yake,,lakini inawezekana wewe unayetoa shutma ukawa hauna elimu ya hivi vitu,,, hata hao uliowasikia mitume na manabii walikuwa na vitu ndani yao ...kwenye vitabu tunasema roho mtakatifu walikuwa ndani yao....ukiulizwa huyo roho mtakatifu ni kiumbe gani ? hauwezi kujibu ilo swali wewe wala sheikh wako wewe hana ayo majibu... Lakini nakupa faida kidogo kasome quran sulat nahl aya ya 2 Kisha kasome tena quran sula ya 97..4 sulat Qadir Alafu rudi ukatafakari,🙏
We Firdausi mungu ndio atakuhukumu kama unadhambi asohili analile wao wanafanya mangapi hakuna anae wahukumu mashehe acheni kuradiana ila aallah akulinde we Firdausi maana wanao kuradi na msaada unawapia tunawajua wa kwanza baba rama alimaalufu shehe mtoto umewafadhili sana hao 😮😮😮😮😮😮😮
Mm hata Simshangai huyu dogo Namshangaa Mazinge kua nae karibu,mm nadhani Kapewa Donge nene Awe nae karibu ili Dogo aonekane Mkweli,Muogopeni Allah itafika siku Ambayo Mali yako haitokufaa wala watoto.Allah Awafedheheshe ya Rabbi
Shehe mazinge baba yangu toka haraka nyuma yauyo dogo mshirikina mtume wa allah alirogwa yeye kama nani hawezi kurogwa kwanza tizama izo pete kavaaa nyingi za kicawi uyo ni mtu wakuzim 😢😢😢allah amuongoze kwanza niuyouyo anawaroga watu badaye eti anawatibu inalilah waina ilaihi rajiuni 😢😢😢😢😢😢😢
@@prochesernest5439 Inatakiwa uelewe ktk Uislamu kuna madhehebu mengi kama vile kwa wakiristo. Huwezi chukua kitu cha dhehebu moja ukifanye kiwe ndio imani ya waislamu wote. Wanaothibitisha kwamba Mtume Muhammad saww alikogwa ni masuni peke yao, na hiyo siyo sahh kwa Mujibu wa Qur'an na sisi Shia tunapinga upuuzi huo. Mtume hawezi kulogwa hata siku moja na hicho walichosema Masuni ni uongo tu wa kutungwa na maadui wa waislamu mayahudi.
Sasa kama Mazinge ni mwalimu wako , basi huyo mazinge ndio angekuwa Sharif mkubwa ..... mm naona kinauwezekano kuwa ni njaa tu ndio inakupa maarifa yote hayo .
Umejipambanua kwa wale wenye akili kuwa wewe ni mpigaji ila kwa wajinga utaendelea kuwapiga. Hongera kwa Ubunifu wa kupata hela ili mradi hujamuibia mtu bali unatumia ujanja ujanja na shida za watu kupata noti😅
WEWE NI SHARIFU FEKI TUUUUUU, NA WALA HUJATUMWA NA ALLAH TENA ACHA KABBISA KUMSINGIZIA, NA WW MAZINGE NLIKUA NAKUHESHIM SANA MASIKIN KUMBE NA WW USHAPOTEA , ZOTE NI TAMAA HIZO, ALLAH AWAPE PIGO MOJA BAYA KABBISA IWE FUNDISH KWENU NA WANAO WAFUATA NA KUWATETEA, KWA KUTETEA BATIL , AMIIN 🤲
Na Allah aliruhusu uchawi umpate mtume(s a w)ili ampe namna ya kupona huo uchawi,na amfundishe jinsi ya kujikinga na uchawi na mashetani,,na ndo sasa na sisi twafundishwa jinsi ya kujikinga na uchawi,na jinsi ya kujitibu maradhi ya kichawi,,sasa mnaopinga mtume hakurogwa,,sijui mmeamkia wapi na mmeshindia wapi kutwa nzima
Mimi navyoelewa masharifu ni watu maalum teina wanatokana na kizazi cha Mtume Muhammad (s.a.w)hawajitangazi kuwa wao ni masharifu. Kupewa Qarama labda au kujua dini ndio moja kwa moja ni sharifu Laaaa!. Masharifu ni watu maalum.
Huyu sheikh Mazinge nimeanza kumshangaa toka kwenye maziko ya Dida anasema Dida alikua Mfano kwa jamii Ameacha funzo kubwa funzo gani??lakutangaza Mziki??wakat Tumekatazwa katika uislam😢Yaan unataka kutwambia Kwa aliyokuwa akiyafanya nisomo kwetu lakujifunza mhh nilishangaa sana na moaka leo hii najiukiza maswal sipat jawabu😭leo namuona hapa Innalillah wainnailaih Allah atuongoze Sheikh wangu umejitahidi miaka yote Hio sasaiv unazeeka unajiharibia sheikh masinge😍
Na hii leo nimeenda kumwaga nyumbani kwangu nimejenga nyumba nlikuwa naichukia hata kupita sipiti ilikuwa lkn alhamdulillah saizi naipenda kuliko maelezo hasadi zipo mtuu unapambana na kazi lkn mahasidi wanakufanyia hasadi Allah waangamize mahasidi wote🤲
ANAYE MPINGA HUYU SHARIFU HAJAWAHI KUPATA MATATIZO NA HAJAPATA KUYAONA KWENYE FAMILIA YAKE, IMEFIKA HATUA WAISLAMU WANAENDA MPAKA KWA WACHUNGAJI KUTAFUTA NAFUU YA MATATIZO YAO , NYIE MA SHEIKH ACHENI KUMSEMA HUYU SHARIFU KUWA NI MUONGO KAMA NIMUONGO BASI UONGO WAKE ALLAH AME UWEKEA KHERI NDANI YAKE KWASABABU WATU WANAPONYA NA HAYO MAJI YA DUA, MIMI NI MMOJA KATI YA WASHUHUDA NDU YANGU AMEKUWA AKISUMBULIWA NA SHIRKI YA MAJINI TAKRIBANI MIAKA KUMI NA ZAIDI, HAYO MAJI KWA UWEZO WA MUNGU YAME MNUSURU NA SASA YUKO SALAMA
Hata bwana alipoketi Mlima wa mzetuni, wanafunzi walimwendea wakamuuliza, nazo ni dalili gani za kuja kwako ee bwana?, Bwana Yesu akajabu na kuwambia angalia mtu asiwadamganye kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu. Kwa sababu hiyo maasi yataongozeka na upendo wa walio wengi nao utapoa. Naogopa mimi naogopa sana atakapo Rudi bwana. Atakapo ita Yale majina tutakuwa wapi? Atakapogawa Kondoo na Mbuzi tutakuwa wapi?
@@Khalid-mf3iu Haya We unaabudu mungu feki...Mmepingana na mitume na manabii ujumbe wao mtu mmoja tu from no where amewaandikia kitabu...Feki siku zote huwa kinajaribu kutaka kufanana na original...
@@GodfreyOswardkama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana kama maandiko yanavyosema)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu.... Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu. Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Maneno ya maremu Iman petrol Allah amrehemu Masheikh wametoa njaa tumboni wamepeleka kichwani hawajui wata haki na batwil mazenge upo na heshima kubwa Rudi Kwa Allah achana na hawa watoto Allah akuongoze roho zinatuumu Kwa wewe kuelekea huku siko
Uislam una dhalilishwa sana kweli, kuliko tutangaze kuwa tunauza dawa tunajipa matukufu eti tuko masharif wakati salam hatujuwe kuitowa. Sema tu tunauza dawa
MAZINGE UNAFELI SANA KWA KUENDEKEZA TISA!! Toka mlipoanza kupata Sadaka za waislam bado hamjatosheka tu. MUOGOPENI ALLAH , ACHENI KUUZA DINI KWA THAMANI NDOGO YA PESA
Hii dunia sasa sio wakiristo wala waislam nimwendo wa kuibiwa tu ona hv mungu watu wangu waangamia kwa kukosa maalifa lakin mbn nyie mlie sema mungu amewajia mnatibu kwa pesa wakti mungu anasema mmepewa bure nanyi toen bure ww huna tofauti na mwamposa na wengine
Yangu ya mwisho ni hii angalia kwa makini watu wa Bida watazuiwa kawtar siku ya kiama tufundishe watu suna baana kwani mtume aliweka kila kitu bayana akafariki
Sheikh Mazinge Allah akujaalie mwisho mwema. Huku unakoelekea sheikh wetu ni kujiabisha. Huyu kijana amekuroga au nini? Vipi ukae karibu naye. Sheikh ebu jitafakari. Umefanya kazi kubwa sana katika dini. Why now ujinasibishe na matapeli haya. Mbona haihitaji akili nyingi kujua hilo.
Bado haujatushawishi aliyepewa karama kapewa tu hata rais si alisoma na watu ambao sasa wengine ni choka mbaya? Wewe nawe ni sawa na mtu anayemwona rais kwenye tv akasema nimesoma nae yule haitakusaidia kitu mwenzako yupo level nyingine kabisa tofauti na wewe
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI WABILAHI TAWFIQ
Innalillah wainnaillahi raj'un...... Msiba mzito huu hakika mza zimefka mwsho kiama kinakaribia kwa hakika Mazinge umefny juhudi kwa mda mrefu za dawa nn kimekukuta 😢😢😢 huzuni kubwa hii
Yaani huyu mzee mazinge anataka kuishia mwisho mbaya ,, matendo ya shirki yanafuta amali njema zote ulizofanya kabla . Ushahidi wa Hilo Allah anasema kumwambia Mtume (s.a.w) ungenishirikisha yangefutika matendo yako (Amal) yote, na ungekua kuwa katika watu walio khasirika.
MAZINGE UNAFERI WAPI.... NJIA HY SIO SAHIHI NAKUPENDA SANA SHEKH WANGU NURDIN KISHIIIII❤❤❤❤
Yaani ww kwa akili yko pana Mashekh hpo
Mmmh hatari
Mazinge ni mpinga kristo ndo nachujua hua ana mafundisho kuhisu dini yake lakini za wengine@@MunahyaMubaraka
Naam hakika
Acheni chuki jiandaeni mkale nyama
MAZINGE MAZINGE MAZINGE nimekuita mara 3, uzee unakukabili epukana na hao watu, Allah akuhifadhi
Aamiin
Kabisa yani 😢ni huzuni
Ameen Yarrab. Dini tunaipeleka katika kuamini waganga na washirikina Allah atuhifadhi
Kweli shekhe wetu tunakupenda sana kwaajili ya allah lakini hao vijana watakutoa kwenye leli
Huyu mtoto bana anaongea huyoooooo mmmmhhh HIVI akilogwa atasema hivo kama anavyosema
NYOTA itazima Sasa HIVI atakuwa haskiki
HEBU Wacha tumpe mda tumuone Yani kanyota kamewaka kidogo tu anaongea huyooooooo
Haaaaaaaah.....haaaaaaaah
Hawatakuwa radhi nanyi makafiri hadi nanyi mzifuate mila zao...Allah Subhana Wataala tujaalie mwisho mwema na utusamehe madhambi yetu...Amiin
Sasa wajua hizo mila ni gani
@@saba-gv3mjachana nao hao ndio wanasababisha mka sasa tunaitwa magaidi
Naskitishwa kumuona Sheikh Mazinge front....Allah anajua zaidi
Hakika inasikitisha
ww sharifu umepatawapi. Ukooo wenunimasharifu
Sehkh kishki endelea kuwaumbua na kuwapa dawa wapone vzr endelea kusema ukweli shekh letu la nguvu mungu akupe umri mrefu uzidi kuwapa vitu shekh wetu😘😘
Aameen yaa Rabb
Watu kama awa sawa namakafili wanaualibu uislamu wetu daaaa
Kabbisa
Qqqs55e5e5ee5e5e55e55e5e5⁵55w5w555e55w555w5rw555555e5❤❤@@hasnakid
Kijana kusema Mungu amekutuma unakosea.Uislam unaamini mtu wa mwisho kutumwa dunian ni Mtume Muhammad saw baada ya hapo hakuna tena mtume wala nabii baada yake.ukisema unatumwa tayari unatuondoa ktk kukuamini.we sema tu unauza dawa unafanya na dua sijui uganga lkn ilo la kutumwa na Mungu achana nalo na usiliseme tena.mzee wangu shekh Mazinge kweli umekaa na hayo unayaskia unayanyamazia.please please kweli tuna shida na pesa ila tupiganie nafsi zetu
@@mohamedfarijallah5975 huyo dogo haujawai kumsikia tokea awe mtoto miujiza yake?
Sasa kama katumwa ulitaka aseme uwongo jamani 😂😂😂😂😂
@@monirangerera7155umeambiwa hakuna mtume mwingine zaidi ya mtume Muhammad kama siyo muislamu huwez kuelew
Huyu ni tapeli kama matapeli wengine tu na Kuna siku niliwakuta hao maeneo ya vikindu wanauza Hadi vidawa vya ngende anatamka kwa ulimi wake kua hicho kidawa Cha usimpe mtu yeyote hicho kidawa Cha ngende. Kisha akagawa na bahasha akawa anawapiga mikwara kua waliochukua bahasha wasipoweka pesa basi watamjua yeye nani
Kaletwa sio kutumwa
Tafadhali shekh Mazinge Toka kaambali na uyo dogo tunakupnda sana tunakueshim
Innalillah wainnailayhi raj'uuni msiba uhuu allah amekataza shirki acha ushirikina kijana
Wanafanya dini kuwa biashara😢 kuombea mtu dua ni pesa .
Tunakumbushana tusije tukakufuru kwa neema na nafasi anazo tujalia mwenyez mungu.Nikwamba HAKUNA KUBWA LIKAKOSA KUBWA MWENZIE.isipokua AlLAH PEKEE
NA SHEIKH WETU SHEIKH NURDIN KISHK ALLAH AKULINDE NA AZIDI KUMPA NGUVU KTK KUITETEA HAQQ , TUPO PAMOJA NA SHEIKH WETU KISHK, HAQQ LAZIMA ISEMWE
Qur'an ishamaliza kua kuna watu watatumia maneno ya Mungu kwa lengo la kujipatia kipato chao kwa thamani ndogo kabisa, sio kwa lengo la kunusuru uislamu, kwaiyo Mungu ana wangojea tubadilika waislamu tusije tukamalizia mwisho mbaya
" WALA MSIZITUKUZE NAFSI ZENU, BALI MWENYEZI MUNGU HUMTUKUZA AMTAKAE...."
Allah atuongoze kwenye haki tuifate na atuonyeshe batwili tuiache mwenyezi mungu akulinde na atulinde sote umejibu vizuri hilo swali hakuna awezae kukuroga hatajin palinipa mshangao maana mtume mohammad S.A.W alirogwa ndio mana mwanzo nikasema kila kubwa halikosi kubwa mwenzie.kama umekiri mpaka mungu atake hapo sinashaka tena nakauli yako
Jamani waislamu,,mtu akikosea hatujafunzwa kuombeana mabaya,,muombeni huyo kijana tu Mwenyezi Mungu amuongoze,,msiwe wachache wa kuombeana mema,,hata mtu Muhammad S.A.W hakuwambea watu dua mbaya,,waislamu badilikeni
Mwenyezi Mungu akudhalilishe kwa namna atakavyotaka kwa huu upotofu unaowafanyia waja wake, akupoteze kama unavyowapoteza waja wake kea njaa yako
Amdhalilishe kabisa
Kabisa mara 100
Ninachopendea waislamu hawana mambo "kuombeana onbeana ili mtu apone ,ama maji ya upako" wao ni kutenda mema ,kukataza maovu na kuswali mara tano kwa siku, huu ndio Uislamu tunonea wivu wengine.
Ndo uufate Sasa UISLAM TUNAJIVUNIA KUWA NDO DINI YETU ALHAMDULILLAH
@@Winford-f4lUnayo akili nzuri sana ya kupambanua,wewe sio wa kufuata mkumbo.
Nakuombea dual Allah akuongoze usilimu
Allah tuepushe na mitihani ya hii Dunia na tujaalie mwisho mwema,
Sheikh Ustaadh Mazinge Allah, akuongoze na akupe mwisho mwema.
AMINA.
Ushauri wangu sheikh.
Huko uliko sasa sio kuzuri epuka hiyo fitna.
Amina
}
Namkubali na kumheshim sana sheikh Mazinge ila anataka kujiharibia kumsaport huyu tapeli
Hili ninaliona Kwa asilimia 100
Naitwa RAMADHANI Rajabu NASUMBULIWA maisha shee MARADHI madeni nisaidie shee wangu
Kabisa yan anaelekea kubaya
Jinga kwelii kwelii kishki aendelee kusema ukweli mpka uache huo ujinga
Mnazingua ndugu zangu
Ukweli usemwa 😍 Shekh nurdin Kishki Kiboko Amuhifadhi Mola
Allahuakbar muna feli kwa kweli pesa muna iweka mbele daawa inaachwa Yaarab wafedheheshe kwa kila mnafiki
Wallahi km hujui km qurani inatibu na mimea yote ni tiba tatizo imani zetu ni ndogo hatutaki kuomba kikweli na kuachana na haramu yeyote atakae Acha maovu akajikaribish Na Allah ataonekana anafanya maajabu na watu sio usharifu ni kipenzi cha mwenyezi mungu
Mume wa wachawi na kiboko wa wachawi si ni sawa..... Zipo ma hospital kibao watu wanapata shida hko mbna msiende hko mkawapa maji nao wakapata afueni angalau... Mnazidi kunipa hasira mnavyojonadi mbele ya macamera wakati mnajua kabisa mpo kwenye biashara😢😢😢nendeni hospitalini kuna watu wanasugua miaka bila kupata nafuu
Kweli
sheikh mi hasani mustafa ninashida juu ya utufutaji wangu umekua wa shida sana
AUDHUBILLAHI MINASHAITWAANI RAJIM SHARIF USHUZI WE UTIWE BAKORA
Hafai kabisa
WEWE SIO SHEIKH TAPELI MKUBWA NA MAZINGE NAE MSHENZI ALLAH AWAALANI
Mshenzi mmjo hivi visheikh hovyo vinachafua dini uongo uongo we mupuuzi😢😢😢
Alhamdulillah nasoma comment mpaka nafurahi kuona waislamu wameamka sana hawataki shirki kabisa
Nikisoma comments nafurahi kuona waislamu wengi wamezinduka, Alhamdulillah. Allah awaongoze ndugu zetu hawa waache huu utapeli waifuate haki.
Naam hakika , alhamdulillah ila hao wapotovu Allah azid kuapotoa ili aje awape adhab kubwa sana wao na wanaowafata, sheikh Kishk Allah azid kukubaarik kwa kutetea haqq
Alhamdulillah waislam wamezinduka hawakubali uhuni tena.watu wanakaa kupotosha dini ya Allah hamtaweza na Mmungu atawadhalilisha mchana kweupe..Sheikh kishki Mmungu akulipe kwa kutokuwa mnafiq na kuepuka uchawa.
@@latifahkhalid7261 naam swadaktaa 👌
Najuwa Sheikh Mazinge ukiwa pekee yako unajiita kamkutano tena unajuwa unakosea na Allah atuongoze wote atupe mwisho mwema inshaallah 🙏
Dalili za siku za kiama😢, Allah tupe mwisho mwema🤲.
Itoshe kusema aisee njaa mbaya sana,Allah tuokoe na mitihani hii.
ALIYESOMA QUR-AN HAWEZI KUSEMA TAREHE AKASEMA TALEHE, SULUHU AKASEMA SURUHU, MAJIRA AKASEMA MAJILA .MIMI NINA WASIWASI NA TIBA HIZO
Dada muzine, unawaza mbali sana.
Umesahau na mapete aliyovaa
Umefikiria nilichokua nawaza huyo nitapeli
Si muende muchukuwe za sheikh kishki .zenye hamuna waswasi
Eti jamani hata kiswahili hajui na ndio lugha mama
Innallillah wainnailah rajiun, mazinge kauchuna kashaingia kwenye mfumo ,Allah tuepushie haya mauzauza
Mazinge Tunakuheshimu sana na kukupenda ila ukiwa nyuma ya huyu Tapeli tutaanza kukushusha vyeo
Naunga hoja ni kweli kabisa
Kashaungana nae wanapga ela ivyoivyo, ww ukimshusha vyeo unafikiri hatajali
Mama Samia haitaji dua yyte, ww pga ela kaka muda wako huu. Aya wa dini ya haki mpo? Mwamposa uyu apa laivuuu
Twende pale, kapewa idhini na mwenyezi Mungu y kuponya watu. Watu washagundua hakuna pepo ya mito ya pombe wala kuozeshwa wanawake warembo. Wameona bora wapige ela. Twende kaka, wanyooshe. Niko nyuma yako kuona unamvyorithi Mwamposa
@@Num3er38atakayemshusha ni Allah kwa kushirikiana na washirikina Matapeli waongo ataishia vibaya mwisho mbaya km hatajitenga nao
acheni kuichezea dini ya Allah kwa kupiga pesa mtalaniwa hakuna mwanzo ukakosa mwisho waumbue kishki wapo wengi hao Allah awadhalilishe katika hii dunia mpaka mwisho wa maisha yenu
Mazinge muogope ALLAH, acheni kupotosha watu, juweni kua mnapotosha wengi sana kwa mambo mnayofanya.
Huna power wew ni mwizi tuuh, unawaibia hao wasiojielew, huna chochote nend Kwa kishki akupe mtaji ukoohh uanze maisha wew na familia yako....huna maajabu yyte
Kweli bro
Gonga like wale wanaokumbuka mtoto wa maajabu aliyezaliwa Temeke ilee ya 199...
We mrongo bwana toka hapo mwenyezi mungu twaomba akufedheheshe
Sasa ukiwa una uwezo wa kusema pona na mtu anapona si uende muhimbili ukasaidie wagonjwa kibao ukifika useme tu PONA PONA PONA utakua umetusaidia watanzania
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kabisa aend muhimbili na garama zitapungua
Mm ndio nashangaaa uyu mtoto ukimskiliza mjanja mjanja tamaq mbele anacheza na akili zawatu
@@AdamMuki-n5dminashangaa Hao wanaomwagiwa hayo mafuta yaa alizet sjui ya zaituni aendee wagonjwa mahosiptal kuliko kudili nawaliowazimaa hawa niwatu hawataki kufanyaa kazi wanataka miteremko
Hapo sasa
Tunadanganywa sana
Mungu akutangulieee
Subhaanallah huu ni msiba
Hawa wote mashekh ubwabwa. Mashekh wa dufu.....wanganga wa jadi. Watu ramli. Allah awaondoshe ktk giza....awaweke ktk nuru.
Mazinge unamfundisha huyu dogo janja.
Umejua kutengeneza mradi wa kupiga hela.
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun😢
Anajua kuna pesa hapo ndio walivo hao
Dogo amepiga na mapete kama yote😂
@@D.P.Oili watu wababaike na mapete yake wadhani anatibu 😂😂😂
Mazinge amekua na huyu dogo tangu mdogo,na amekua akizunguka nae tangu enzi hizo...dogo alizaliwa akiwactayari quraanbyuaijua ndani nje
@ hajui hata bismilahi
Tafadhali kaka wewe dini inasema mwenye ameinuliwa kwa uwezo wa Allah hana ulimi mkali na ukakasi kama huo wako samahani wewe usichezee dini ya Allah itkughalimu,Mwenyezi Mungu akuongoze kwa rehema zake InshaAllah
Jamani jamani hela hizi zitaingiza watu wengi motoni wallah.
Slm wlykm warahmatu llah wabarakatuh
Mzee wetu mazinge heshma yakokubwa mno ktk jamii yakiislam tanzania
Umepambana mno ktk maishayako ktk haki ninkimekupelekea huko mzee wetu dah....😭😭😭😭
Inasikitisha sana mtu muislam unaachana na misingi ya dini yako kwa ajili ya njaa, nimeishi temeke miaka mingi Sanaa nimeshaona uhuni wa hawa wakina sharifu wa kutosha, hawa vijana wanabeti, wanacheza kamali, anakunywa pombe, wallah baada ya kuyagundua haya nilisikitika Sanaa, wanamipango ya kupiga pesa tu, wanahangaika na ndoo za mafuta ya kula kujaza ktk chupa ndogo ndogo, nadhani umefika wakati hata picha za maisha yao mitaani tuziwekwe wazi kwa sababu waislam wanazidi kutapeliwa wallah, hawa vijana Asilimia 80 hata swala hawa swali na wallah naongea kwa ushahidi kabisaa wa haya, nawafaham zaidi ya masharifu Watano ambao ni wahuni tu, huwa nasikitika Sanaa watu wanavyoenda kuibiwa huko Mikoani, madai yao utapona kwa Imani yao ktk huu utapeli wao, mashekhe waloligundua hili waendelee kupigilia misumali ya kutosha, watu wawe wa kweli kunusuru dini ya Allah, hawa wahuni tunafaham mpaka vijiwe vyao ni wakati sasa wa kumalizana nao hawa kusafisha dini yetu, mtu maneno yenyewe shida, Quran hajui, shiriki humo humo huo usharifu au uhuni??
Mbona umeongea mengi wakati Allah anatuona na anatujuwa sote
Ww mjinga sana@@mohdmohd8428
Umesema kweli
Huo ni msigi wadini maji ukiyasomea ni dawa tena maji ya mvua ila ilimu hamna ndio mwamuona huyu tapeli ila sio tapeli
Kuna jambo sisi waislamu tunaferi sana,,hawa masharifu uwende wakawa ni masharifu wenye majini ndani yake,,lakini inawezekana wewe unayetoa shutma ukawa hauna elimu ya hivi vitu,,,
hata hao uliowasikia mitume na manabii walikuwa na vitu ndani yao ...kwenye vitabu tunasema roho mtakatifu walikuwa ndani yao....ukiulizwa huyo roho mtakatifu ni kiumbe gani ? hauwezi kujibu ilo swali wewe wala sheikh wako wewe hana ayo majibu...
Lakini nakupa faida kidogo kasome quran sulat nahl aya ya 2
Kisha kasome tena quran sula ya 97..4 sulat Qadir
Alafu rudi ukatafakari,🙏
We Firdausi mungu ndio atakuhukumu kama unadhambi asohili analile wao wanafanya mangapi hakuna anae wahukumu mashehe acheni kuradiana ila aallah akulinde we Firdausi maana wanao kuradi na msaada unawapia tunawajua wa kwanza baba rama alimaalufu shehe mtoto umewafadhili sana hao 😮😮😮😮😮😮😮
Mm hata Simshangai huyu dogo Namshangaa Mazinge kua nae karibu,mm nadhani Kapewa Donge nene Awe nae karibu ili Dogo aonekane Mkweli,Muogopeni Allah itafika siku Ambayo Mali yako haitokufaa wala watoto.Allah Awafedheheshe ya Rabbi
Mazinge mpiga dili tu ilijue hao ni matapeli hawatoi aya wala hadithi yaani ni wajinga
Subhaallah Allah tusamehe yarabii hizi zote ni dalili qiama
Eti mungu kanichagua. Subxaanallah. Usiaribu Uislamu. Wewe ni mwongo
Kijana inshaallah mungu tu akusamehe maana hujui ulitendalo na hutaki kueleweshwa😢😢😢😢 subhan Allah
Mazinge pesa zitakuponza unaanza kupenda Dunia sasa achana na uyo dogo ashaifanya dini kuwa biashara
Dini imekiwa BIASHARA.
NAMSHUKURU ALLAH KWA NEEMA YA UISLAMU NA SUNNAH
Nyinyi walimu wa biblia nyinyi waganga mnaojificha kwenye dini ya Allah siku zenu zahisabika
Kwa mbali huyu jamaa hana tofauti na chifo god love mwenye macho ataona
Shehe mazinge baba yangu toka haraka nyuma yauyo dogo mshirikina mtume wa allah alirogwa yeye kama nani hawezi kurogwa kwanza tizama izo pete kavaaa nyingi za kicawi uyo ni mtu wakuzim 😢😢😢allah amuongoze kwanza niuyouyo anawaroga watu badaye eti anawatibu inalilah waina ilaihi rajiuni 😢😢😢😢😢😢😢
Siyo sahh kwamba Mtume Muhammad saww alilogwa bali ni hadithi za mayahudi zilizopitishwa ktk vitabu vya Bukhar na Muslim lakin Mtume hajawahi kulogwa.
hakuna wa kumroga mtume wa Allah toka huko kwenye hadith za kizayuni
@@TaqqyTakila0:23 Muhammad alirogwa, nendeni mkasome wajinga nyie😂
@@Abdulkasimua wewe Muhammad alirogwa wewe sio mfasi wake mashekh wengi wameidhibitisha
@@prochesernest5439
Inatakiwa uelewe ktk Uislamu kuna madhehebu mengi kama vile kwa wakiristo.
Huwezi chukua kitu cha dhehebu moja ukifanye kiwe ndio imani ya waislamu wote.
Wanaothibitisha kwamba Mtume Muhammad saww alikogwa ni masuni peke yao, na hiyo siyo sahh kwa Mujibu wa Qur'an na sisi Shia tunapinga upuuzi huo.
Mtume hawezi kulogwa hata siku moja na hicho walichosema Masuni ni uongo tu wa kutungwa na maadui wa waislamu mayahudi.
Katika shekh ambae sikutegemea hata kusikia kwenye hili ni shekh mazinge nimejisikia vibaya sanaa kumuona hapo😢ya Allah tuongoze katika heri waja wako
Sasa kama Mazinge ni mwalimu wako , basi huyo mazinge ndio angekuwa Sharif mkubwa ..... mm naona kinauwezekano kuwa ni njaa tu ndio inakupa maarifa yote hayo .
😂😂😂😂😂😂
Mazinge anaujua moto !! Anaogop atalutan na Mola wetu mlezi @@saloomidd1084
Umejipambanua kwa wale wenye akili kuwa wewe ni mpigaji ila kwa wajinga utaendelea kuwapiga.
Hongera kwa Ubunifu wa kupata hela ili mradi hujamuibia mtu bali unatumia ujanja ujanja na shida za watu kupata noti😅
@@walidmgonja3644kwa watu atakua amewatapeli na kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehma...!?
Nimtihani walah
Ustadh Niko Kenya nauliza hivi,hio chupa ni surah ipi ama ni dui ipi unaisomea ?21:38 s
Abuu ddunyaa Allah akuongoze najua umeshangaa kukuita kwajina lako la zamaani maanake nakujua vizuri ACHA kupotosha watu
Tapeli mpuuzi uyu
😂😂😂
Kaka umemuhita jina lake la kweli na anamtoto kamwita firidaus kule chatembo wanamwita mwendo kasi 12:29
WEWE NI SHARIFU FEKI TUUUUUU, NA WALA HUJATUMWA NA ALLAH TENA ACHA KABBISA KUMSINGIZIA, NA WW MAZINGE NLIKUA NAKUHESHIM SANA MASIKIN KUMBE NA WW USHAPOTEA , ZOTE NI TAMAA HIZO, ALLAH AWAPE PIGO MOJA BAYA KABBISA IWE FUNDISH KWENU NA WANAO WAFUATA NA KUWATETEA, KWA KUTETEA BATIL , AMIIN 🤲
Mwizi tu kama majizi mengine... na haya huezi yakuta kwa watu wa SUNNAH..... chezeaneni huko huko kwenye Ukhurafi wenu huko
Na Allah aliruhusu uchawi umpate mtume(s a w)ili ampe namna ya kupona huo uchawi,na amfundishe jinsi ya kujikinga na uchawi na mashetani,,na ndo sasa na sisi twafundishwa jinsi ya kujikinga na uchawi,na jinsi ya kujitibu maradhi ya kichawi,,sasa mnaopinga mtume hakurogwa,,sijui mmeamkia wapi na mmeshindia wapi kutwa nzima
Mimi navyoelewa masharifu ni watu maalum teina wanatokana na kizazi cha Mtume Muhammad (s.a.w)hawajitangazi kuwa wao ni masharifu. Kupewa Qarama labda au kujua dini ndio moja kwa moja ni sharifu Laaaa!. Masharifu ni watu maalum.
Nakupend sana kishiki unajua kujibu ukweli sana ww nimtu sahihi unaelimu tosha uko sahihi kadini
Mazinge toka huko Baba yangu
huyu kwani weww unamuamini
Katika Shekh ninaemuamini ni Huyu Mazinge na alikua karibu sana na Shekh Kishki sa sijui imekuaje tena wanahitilafiana kimtazamo wallah nimeumia. Sana
Mazinge amenidisappoint
Sana
Kafara kwaajil ya mwenyezimung Mhhh mtihan Allah akuzinduee
Huyu mazinge ndio alikuwa kinara was kumtetea Mtume na kumponda Yesu Leo kaumbuka nahisi mwamposa anafurahi sana
Dini biashara
Huyu sheikh Mazinge nimeanza kumshangaa toka kwenye maziko ya Dida anasema Dida alikua Mfano kwa jamii Ameacha funzo kubwa funzo gani??lakutangaza Mziki??wakat Tumekatazwa katika uislam😢Yaan unataka kutwambia Kwa aliyokuwa akiyafanya nisomo kwetu lakujifunza mhh nilishangaa sana na moaka leo hii najiukiza maswal sipat jawabu😭leo namuona hapa Innalillah wainnailaih Allah atuongoze Sheikh wangu umejitahidi miaka yote Hio sasaiv unazeeka unajiharibia sheikh masinge😍
Na hii leo nimeenda kumwaga nyumbani kwangu nimejenga nyumba nlikuwa naichukia hata kupita sipiti ilikuwa lkn alhamdulillah saizi naipenda kuliko maelezo hasadi zipo mtuu unapambana na kazi lkn mahasidi wanakufanyia hasadi Allah waangamize mahasidi wote🤲
SHIRKI
Wewe nimshirkina kama yeye
Kweli kabisA uyo mshilikunaa
MAZINGE MAZINGE MAZINGE tunakupenda sana ostaz wetu MAZINGE uyo jamaha ni tapeli njaa inampeleka pabaya uyo jamaha anaushalifu gani uyo MAZINGE sisi tupo Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 tunakupenda achana na uyo shalifu feki uyo
Mambo ya mwamposa hayo kaka unakaa wapi hebu nyamaza muogope mungu
ANAYE MPINGA HUYU SHARIFU HAJAWAHI KUPATA MATATIZO NA HAJAPATA KUYAONA KWENYE FAMILIA YAKE, IMEFIKA HATUA WAISLAMU WANAENDA MPAKA KWA WACHUNGAJI KUTAFUTA NAFUU YA MATATIZO YAO , NYIE MA SHEIKH ACHENI KUMSEMA HUYU SHARIFU KUWA NI MUONGO KAMA NIMUONGO BASI UONGO WAKE ALLAH AME UWEKEA KHERI NDANI YAKE KWASABABU WATU WANAPONYA NA HAYO MAJI YA DUA, MIMI NI MMOJA KATI YA WASHUHUDA NDU YANGU AMEKUWA AKISUMBULIWA NA SHIRKI YA MAJINI TAKRIBANI MIAKA KUMI NA ZAIDI, HAYO MAJI KWA UWEZO WA MUNGU YAME MNUSURU NA SASA YUKO SALAMA
Yesu Kristo alikufa kwa ajili yenu...
Kamdanganye babako.....alikufa kwa ajili hao waizraeli munaowaabudu na kuwaombea
Hata bwana alipoketi Mlima wa mzetuni, wanafunzi walimwendea wakamuuliza, nazo ni dalili gani za kuja kwako ee bwana?, Bwana Yesu akajabu na kuwambia angalia mtu asiwadamganye kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu. Kwa sababu hiyo maasi yataongozeka na upendo wa walio wengi nao utapoa. Naogopa mimi naogopa sana atakapo Rudi bwana. Atakapo ita Yale majina tutakuwa wapi? Atakapogawa Kondoo na Mbuzi tutakuwa wapi?
@@Khalid-mf3iu Haya We unaabudu mungu feki...Mmepingana na mitume na manabii ujumbe wao mtu mmoja tu from no where amewaandikia kitabu...Feki siku zote huwa kinajaribu kutaka kufanana na original...
@@Khalid-mf3iuNjoo nikuandikie kitabu na mimi...Alafu jua kupingana na neno la Mungu...Ni sawa na umekabwa na laana ya dhambi zote...
@@GodfreyOswardkama huiamini kazi ya Yesu Kristo tayari wewe ni umepoteza kutoka hapa duniani... Ina maana umehukumiwa tokea hapa duniani kabisa(Haina haja ya kusema Bwana Bwana kama maandiko yanavyosema)... Tazama jinsi utakavyokufa na dhambi zako usipomwamini Yesu Kristo fanya kazi ya wokovu.. msingi wa jina Yesu.... Luka 24:47 na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemu.
Yohana 3:18 Amwaminiye yeye hahukumiwi; asiyeamini amekwisha kuhukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Maneno ya maremu Iman petrol Allah amrehemu Masheikh wametoa njaa tumboni wamepeleka kichwani hawajui wata haki na batwil mazenge upo na heshima kubwa Rudi Kwa Allah achana na hawa watoto Allah akuongoze roho zinatuumu Kwa wewe kuelekea huku siko
Uislam una dhalilishwa sana kweli, kuliko tutangaze kuwa tunauza dawa tunajipa matukufu eti tuko masharif wakati salam hatujuwe kuitowa. Sema tu tunauza dawa
Vipi mkojo wa wanyama kama ngamia unaponya kuliko maji?
MAZINGE UNAFELI SANA KWA KUENDEKEZA TISA!! Toka mlipoanza kupata Sadaka za waislam bado hamjatosheka tu.
MUOGOPENI ALLAH , ACHENI KUUZA DINI KWA THAMANI NDOGO YA PESA
We sharifu au mganga wa kienyenyi toka apa
😂😂
Mazinge ana cheki kimpango
Mshirikina mkubwa Allah awaongoze
Hii dunia sasa sio wakiristo wala waislam nimwendo wa kuibiwa tu ona hv mungu watu wangu waangamia kwa kukosa maalifa lakin mbn nyie mlie sema mungu amewajia mnatibu kwa pesa wakti mungu anasema mmepewa bure nanyi toen bure ww huna tofauti na mwamposa na wengine
Mazinge mpiga kelele juu yamanabii feki leo mwanafunzi wako anatoa upako huo aibu😢
😢anasema ni zaidi ya upako 😅😮
@@KubwaKuliko-dk4bm wezi wote hao matapeli
Anaona aibu sana mtazame tu sura yake 😅
Allah atupe mwisho mwema
Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa Kumekuchaaa
😂😂😂😂😂😂 tumehamia walai
😂😂😂😂😂😂@@SalmaSaid-v3d
Allah atuhifadhi dunia imechafuka atubainishie haki tuifuate
Kumekucha
Allah atuongoze
Asalamun aleykum shekhe jee mtume amesherekea hiyo sherehe ama swahaba gani amefanya
Mazinge wewe ni tochi wa uma dunia nzima inakuangalia utoke kwenye huo msiba baba yetu tunakupenda
Na neno jina sii dini Wala watu wasijitakase kwani yeye Allah ndiye ajuaye mcha mungu
Angalia suratu najmi bro hata sisi tumesoma
Yangu ya mwisho ni hii angalia kwa makini watu wa Bida watazuiwa kawtar siku ya kiama tufundishe watu suna baana kwani mtume aliweka kila kitu bayana akafariki
Hakuna kitu inaitwa maulidi ni uongo tupu
Mtume Muhammad (saw) alirogwa je wew
Mimi nipo na wew dogo shafii
Peperusha bendela
Hila mshikaji umefanana
Na mkono mkonole muigizaji
Films
These characters are wizards..👿 atheist.. but they will see God .. hes awesome.. hee will crush them completely
Sheikh Mazinge Allah akujaalie mwisho mwema. Huku unakoelekea sheikh wetu ni kujiabisha. Huyu kijana amekuroga au nini? Vipi ukae karibu naye. Sheikh ebu jitafakari. Umefanya kazi kubwa sana katika dini. Why now ujinasibishe na matapeli haya. Mbona haihitaji akili nyingi kujua hilo.
Wallah nikweli yeye ndo hodari kuwasema manabii feki leo mwanafunzi wake anagawa upako fedheha kweli tuombe mwisho mwema😢
Mpaka huyu sheikh mazinge namuonea huruma , anasema Mambo asiyoyafuata yanachukiza Sana mbele ya Allah mtukufu no hatarii Sana😢😢
Shida waislamu wengi mnaangalia watu hamjiangalii wenyewe muislamu niwewe na nafs yako walio nje huwez jua wanawaza nn wanajifunika kwa vivuli vya din
Assalamu aleykum warahamaturah.niko Uganda nataka kutumiya maji nayipata namunagani.
Subhannallah na hayo MAPETE VIDOLENI VEPE?
Usanii mwingi mwanzo hicho kilemba kajifunga utasema ataka jinyonga
Allah atukinge na ushirikina na matapeli hawa!
Huyu nimesomanae madrasa namjua vzr hana usharifuu wowot
😂😂😂😂😂😂
😂😂
Bado haujatushawishi aliyepewa karama kapewa tu hata rais si alisoma na watu ambao sasa wengine ni choka mbaya? Wewe nawe ni sawa na mtu anayemwona rais kwenye tv akasema nimesoma nae yule haitakusaidia kitu mwenzako yupo level nyingine kabisa tofauti na wewe
@@kimjey0012 shekhe aliaanza kutoa tiba anamwak mmj has wey umesoma nae masha Allah umechkua mengi
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
WABILAHI TAWFIQ
Mazinge ameamua amalize umri wake kwa njia hii😢😢😢😢
Ya shirk. Allah amjaalie atoke maana anaelekea kubaya Sana
Majini, uganga na uislamu vinaenda sambamba !