BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 971

  • @soniahassan6769
    @soniahassan6769 หลายเดือนก่อน +23

    Hakuna sheikh kama Othman maalim hanaga mda wa majibizano ya mtandaoni mpole mtaratibu anajua anachokihututubia Mimi binafsi mawaidha yake yamekua yenye ibra kwangu na amenijenga kiimani zaid ya nilivokua japo hajui ila Allah atamlipa ujira wake na Allah aendelee kumtunza Kwan ni kipenzi Cha kila mtu❤❤❤❤❤

    • @Al-farsy-l6p
      @Al-farsy-l6p หลายเดือนก่อน

      Nikupe like ngp ww?

    • @hamidumwanga4849
      @hamidumwanga4849 21 วันที่ผ่านมา

      Swadaqta...

    • @kolakolola9733
      @kolakolola9733 17 วันที่ผ่านมา

      NI SHEIKH MZURI SANA ILA UKAMILIFU WA SHEIKH SIO KUPIGWA NA UPEPO WA FENI AU AIR CANDITION, HIYO SIO MIZAJI YA MTUME SAW HAKUNA SIKU AMEWEKA DARSA BALI AMEWAANDAA MAS HABA RA MPAKA UISLAMU KUTUFIKIA MIMI, WEWE NA HUYO SHEIKH NA KILA MUISLAMU. ALICHAFUKA, AKAINGIA KWENYE MEIDANI YA VITA HADI AKANGOKA MENO YA MBELE NA KOFIA YA CHUMA ALIYOIVAA KUSHINDILIWA NA JIWE KICHWANI MWAKE HEBU YAONE AYO MAUMIVU, ALIISHI KWA KUKWEPA MAUDHI YA MAKAFIRI NA KUYAKIMBIA MAUTI KWA GHILA ZA MABEDUI DHIDI YA UISLAMU... OTHMAN MAALIM NI MSOMI LAKINI NI SHEIKH RAHA HACHAFUKI HAKUNA SIKU AMEBEBA VYOMBO AKAENDA KUNDINI FIISABILILLAH KUTIMIZA SUNNA YA MTUME SAW. UYO BACHO NI MSHENZI KAMA WASHENZI WENGINE SAWA, LAKINI OTHMAN MAALIM LAZIMA AJITOLEE KATIKA NJIA YA ALLAH ILI AKABEBE USHAHIDI SIKU YA HUKUMU KUA ALIPAMBANA KAMA WAPAMBANAVYO WENGINE AKINA SHEIKH MAZINGE NA WENGINEO, RIDHIKA NA HAYO

  • @clodeaboubakar5819
    @clodeaboubakar5819 23 วันที่ผ่านมา +4

    Usijigambe sheikh othman maalim nimsomi mpole na tunamuheshim na anafundisha mazur kuliko ww unayeponda wenzako unawasemeya mabaya. Allah akulinde nawatu wabaya shekhe wetu othman

  • @alimussahimidi8185
    @alimussahimidi8185 2 หลายเดือนก่อน +16

    Muhammad bachu nakuomb jifunze hekma ili upate elimu allah akufanyie wepesi uache kibri inshaallah

  • @Veronicahcharles61comAsia
    @Veronicahcharles61comAsia หลายเดือนก่อน +9

    Wapi mafans wa Sheikh wetu kipenzi Othman Maalim ,twampenda kwa ajili ya Allah ,anatufunza twaelewa pia wengi kusilm kupitia mawaidha yake❤❤❤❤

  • @AbdiBanda-p9z
    @AbdiBanda-p9z 2 หลายเดือนก่อน +19

    Mashaallah shekhe othuman maalim hakika mungu akikunge na fitina za dunia

  • @khamishussein7036
    @khamishussein7036 หลายเดือนก่อน +11

    Nampenda sheikh Othman maalim kwa ajili ya Allah.

  • @MijichoAmina
    @MijichoAmina หลายเดือนก่อน +14

    Allah akupe subra sheikh wetu othman maalim fanya kazi ya Allah

    • @Mkenya_255
      @Mkenya_255 19 วันที่ผ่านมา +1

      Thanks

  • @samiraismaily1421
    @samiraismaily1421 2 หลายเดือนก่อน +21

    Sheikh Othman Maalim Allah akuhfadh na kila shar yarrab😊

  • @allymakoa7875
    @allymakoa7875 หลายเดือนก่อน +8

    Allah atuhifadhi na Elim za ria. ALLAH atujaalie tuelewe makusudio ya Elim. Sheikh Othman Maalim Allah Akuhifadh na Akujaalie Moyo wa Subira Mlipaji ni Allah.

    • @Akramamkaku
      @Akramamkaku  หลายเดือนก่อน

      @@allymakoa7875 aamiin yaa rabbi

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 2 หลายเดือนก่อน +10

    Shekhe Othman maalimu Allah akuepushe na husuda za watu🙏🙏🙏

  • @muktazimbuyu6569
    @muktazimbuyu6569 27 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akulinde Shekh Muhammad Bachu wallahi tunakuoenda kwa ajili ya Allah Allah akuhifadh uendelee kutetea Haq

  • @umhanadi6828
    @umhanadi6828 หลายเดือนก่อน +3

    Mwezimungu amjalie sheikh wetu othman yarab mwezimungu atakuzidshia elmu zaid na ziidi inshaallah alhamdulillah

  • @CishahayoCishahayo
    @CishahayoCishahayo 20 วันที่ผ่านมา +2

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,
    Ahsante sana sheikh wetu Muhammad Bachu, kutubainishia tauhid, allahu akuhifadhi na akuridhie na akupandishe daraja kwa kuitetea dini yake, na kwa kumrithi mtume, Muhammad swalallahu alayhi wasalam!
    Aamiin!

  • @19ddr
    @19ddr 2 หลายเดือนก่อน +8

    Tunakupenda sheikh Othman maalim❤️♥️❣️, dogo bachu kasome tena

  • @RamadaniMshare
    @RamadaniMshare 23 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh endelea na daawa
    Hawa watu wabidaa wasikuyumbshe lzma wakupinge tuu
    Allah akujaze kila la kher na akupe nusrah

  • @abdullatiframadhani5059
    @abdullatiframadhani5059 2 หลายเดือนก่อน +20

    Wallahi angekuwepo Swahaba Omar bin alkhattab hawa masheikh wetu wa mitandao wangekuwa wanapigwa bakora, kuna masheikh wa leo kazi yao kutafuta makosa au kuteleza kwa wenzao na kuwatolea makosa yao ni msiba mkubwa kwa umma

    • @ramatwaha9690
      @ramatwaha9690 2 หลายเดือนก่อน +4

      Huu ni mpango wa mayahudi kututengenezea vikundi vikundi tubishane muda wote wakati wenzetu wanaendelea kututawala Kila nyanja.tutaamka lini kutoka usingizini???

    • @watichogutu4162
      @watichogutu4162 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza Bachu Anafaa Avunjwe Vunjwe Kabisa

    • @AbrahamaniAlly
      @AbrahamaniAlly 2 หลายเดือนก่อน

      AVUNJWE KIELIMU AU AVUNJWE VUNJWE KIVIPI YAANI

    • @LinconLopez
      @LinconLopez 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa mnapenda tuwe kama zamani imamu huku anaagua huku anaswalisha acheni hayo Mambo kwenye haki acheni izungumzwe dini cyo ya sheikh flani dini ni ya Allah na masheikh ni binaadamu wakati mwengine ubinaadamu unawazidi wanateleza hivyo ni vyema kukumbushwa ila tu iwe Kwa stahaa sio kuvunjiana heshima lakini usiseme Kwamba eti huu ni mpango wa mayahudi hamna hawahucki kabisaa na hili mczbe nakosea Kwa watu Kwa kuwacngizia mayahudi

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน +2

      sio kuwapiga bakora, angewaulia mbali,katka upuuzi ambao umeigawanya jamii ya kiislam basi ni hili.
      msiba nzito kwa waislam

  • @zuu__95
    @zuu__95 22 วันที่ผ่านมา +1

    Allah akuweke sheikh othman wetu popote ulipo😢❤

  • @MuhozaRahma
    @MuhozaRahma 2 หลายเดือนก่อน +14

    Sheikh othman maalim mungu azidi kukubaliki kuna mengi nimejifunza kutoka kwako

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 หลายเดือนก่อน +2

    WEWE BACHU NI MFITINISHAJI NA KUGONGANISHA WATU SUBIRI MALIPO YAKO HAPA HAPA DUNIANI ALLAH S.W ATAKUAIBISHA INSHA ALLAH

  • @NassorSaidi-i8i
    @NassorSaidi-i8i 2 หลายเดือนก่อน +12

    Maashallah kumbe unafaa kuwa mwanafunzi wa shekh Othman Maalim

    • @MsJhshsh
      @MsJhshsh หลายเดือนก่อน

      Majina yenu yanafanan ndo maan unasapoti ujinga

    • @MsJhshsh
      @MsJhshsh หลายเดือนก่อน

      I'm sorry sikuelewa vizur nikajikuta nimekurupuka samahan san

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k หลายเดือนก่อน +2

    Mm nakukubali Muhammad bachu na nakupenda kwa ajili ya Allah ,Allah amekujaalia elimu km Mzee nassor bachu Allah akuzidishie elimu akukinge na mabalaa naon una watu wengi wanaokuchukia

  • @HuzeifaMsomali17
    @HuzeifaMsomali17 2 หลายเดือนก่อน +3

    يُؤْتِى ٱلْحِكْمَةَ مَن يَشَآءُ ۚ وَمَن يُؤْتَ ٱلْحِكْمَةَ فَقَدْ أُوتِىَ خَيْرًا كَثِيرًا ۗ وَمَا يَذَّكَّرُ إِلَّآ أُو۟لُوا ٱلْأَلْبَٰبِ

  • @maryamabdulhamid3521
    @maryamabdulhamid3521 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mwambieni hawezi kushindana na sheikh Othman Maalim.apumzike kwa amani.

    • @Akramamkaku
      @Akramamkaku  24 วันที่ผ่านมา

      @@maryamabdulhamid3521 😂😂😂

  • @AbdulKarimAmeirmwita-m2m
    @AbdulKarimAmeirmwita-m2m หลายเดือนก่อน +4

    Ingelipendeza San mashekh mkaungana mkapinga masula ya zinaa , shirki na ushogo

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c หลายเดือนก่อน +1

    MAWAHABIIIIII HIYO AYA IMEFAFANUA TAUHID SIO KUGAWA TAUHIDIIIIIIIIIII.

  • @AbdallahMpemba
    @AbdallahMpemba 2 หลายเดือนก่อน +5

    SHKH MUHAMMAD ALLAH AKUHIFADHI NIKOPAMOJA NA WW KWAJILI YA ALLAH.

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali Sheikh Mselem akisema Mtu unakuta hana uhamika wa ibada zake kazi Ria tu na kututukania Masheikh zetu

  • @isaack100
    @isaack100 2 หลายเดือนก่อน +11

    Yah Rabb Angamiza kila sheikh anayegawanya waislam.

    • @abfullmajied6092
      @abfullmajied6092 2 หลายเดือนก่อน

      Aamin

    • @abassking8296
      @abassking8296 หลายเดือนก่อน +2

      Usiombee wenzio waangamuzwe mtume katuombea ww Nani sema Allah awajaalie wapatane au washikamane kwenye dini

    • @kassimsango2117
      @kassimsango2117 หลายเดือนก่อน

      wanaongamiz waislam n watu w bidaa n ndo watu wenu

    • @isaack100
      @isaack100 หลายเดือนก่อน

      @kassimsango2117 lakini bida mkipenda haiitwi bida tawhid tatu sheikh wenu asema wazi wanachuoni ndo wamegawanya.lakini tukisema Maulid ni wanachuoni wame fanya ijtihad yao haikubaliki

    • @AbdulmajiidAhmedHussein
      @AbdulmajiidAhmedHussein หลายเดือนก่อน

      ​@@isaack100mwanachuoni gani aliefanya maulid

  • @Mkenya_255
    @Mkenya_255 19 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi ujinga tu ndo maaana kumbe makafiri hawasilimu kwasababu ya masheikh kugombana2 wallah nyinyi muna dhima zote kwa Allah na mutajib

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tunakuombea Dua shehe othumani maalim na fitina za wanaviumbe ss waumini tupo pamoja na wewe wasikusimbue hao hata ukati wa mtume walikuepo assalamualaikum wabilahi tofqi

  • @RamadhaniSiri
    @RamadhaniSiri 26 วันที่ผ่านมา +1

    Innaa Lillah wainnaa ilaih rajiuun,nimsiba mkubwa,mtume hakufundisha hayo tunayoyaona Kwa hawa mashekh wetu,waislam tusishabikie haya huu ni mtihan haiwezekan mashekh wamesoma alaf waeke mdahalo wa dhahir,wallah thumma wallah cjamb la kufurahia hlo

  • @ingabireviviane6859
    @ingabireviviane6859 2 หลายเดือนก่อน +7

    Sheick Othman maalim Allah akuhifadhi akukinge na fitna za ao watu wabaya Allahuma Amiiin

  • @omaryiddi7454
    @omaryiddi7454 หลายเดือนก่อน +1

    Baba yako alikuwa mwanawazuoni mkubwa MWENYEZI MUNGU AMREHEMU kwa hakika amekula hasara mzee wetu kutokana nawe, ALLAH auzibe mdomo wako,Amina,

  • @sharifaals6427
    @sharifaals6427 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shekh othman maalim tunakupenda na tuko pamoja na wewe kwa ajilili ya Allah

  • @AhmedMohamed-so7db
    @AhmedMohamed-so7db 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akulinde shekh othumani na akupe subra na u 13:00 nayo subra allah akupe mwisho mwema

  • @kassimsango2117
    @kassimsango2117 หลายเดือนก่อน +4

    Bachu wallah uko n kazi ngumu maana unadili na mashabiki wa uislam wala si sio watu wanaohitaj kujua haki mana kila kitu kipo wazi peupe wallah ila hawaelew cjui shda zao n nn ila usichoke zidi na kuwafungua akili inshallah

  • @hanaalsiabi2821
    @hanaalsiabi2821 24 วันที่ผ่านมา +2

    Sijawahi ona shekhe mbishani kama huyu bachu kazi yke ria tu lkn cc tunampenda sana shekhe wetu othman maal

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 หลายเดือนก่อน +3

    Kwakweli mimi namkubali saana Sheikh Othman Maalim. Huyu Bachu mimi ht cmjui kwajweli.

  • @ZaZa-ck9sf
    @ZaZa-ck9sf หลายเดือนก่อน +2

    Tena aludi darasan na mungu akupe hekima na heshima maalim athumani allaah ampe moyo wa subra katika kipindi

  • @zainabmohamed-ce2rr
    @zainabmohamed-ce2rr 2 หลายเดือนก่อน +9

    Nampenda shekhe maalim kwa ajili ya AALLah

  • @MbwanaNjou
    @MbwanaNjou 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vizuri Shekhe Othmani Ame elimisha Nawe umeweka munakasha yaani umetusambazia ukweli na ndio hiyo Allaah Awajaalie note Nasi pia Aamin

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx หลายเดือนก่อน +3

    Aalah akuongoze shehe wetu shehe othmzn maalim kwa hekma .upole na elimu unayotupatia ss wananchi

  • @multirefrigerationali9608
    @multirefrigerationali9608 หลายเดือนก่อน +1

    Mohd bachu punguza maneno makali unatakiwa kutumia hekma kwa wakubwa zako, sheh othman sheh kidawa na wewe mpo katika aqda moja

  • @mojakatundu
    @mojakatundu 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mohammad Bachu Mimi nakukubali sana, unajitahidi katika dini, ila unaniudhi tabia ya kuradfi raddi mashekh,

    • @jamalijamali6820
      @jamalijamali6820 2 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa ndugu yangu kama watu wataachwa katika makosa kama haya wakapindisha jamii unadhani tofauti ya Uislam na Ukristo nini sasa kila mtu aachwe Kweli haiwezekani lazima kuwekwa sawa

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 2 หลายเดือนก่อน

      Mnao mshabikia bachu vichwa viko hovyo kama yeye

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan uwahabi nimzigo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AlhajiMswaki-de3kbusufi ni mzigo wa mabi tena ww umekaa kwenye itikadi ya waabudia makaburi

    • @SalmaMalikiMsikiti
      @SalmaMalikiMsikiti 2 หลายเดือนก่อน

      Huwa mwenye ilmu hajigambi Muhammad bachu mpumbavu amekosa hekima

  • @YahyaShabani-tl2sr
    @YahyaShabani-tl2sr หลายเดือนก่อน +1

    Semeni daawa ya Allaahu msiseme yeni

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ulivyopanga vitabu sasa hapo😀😀😀
    Wewe uwende kwa Othuman Maalimu usome yule si level yako Wallahi Naapa.....

    • @hamedmohamed5189
      @hamedmohamed5189 หลายเดือนก่อน

      Huyo bachu ni mpuuzi ssna anajiona hiyo dini kasoma peke ake anajiona km ndio kishakuwa nabii punda huyo kila mtu anataka amvae.

    • @AbdulmajiidAhmedHussein
      @AbdulmajiidAhmedHussein หลายเดือนก่อน

      Huwezi kumuhukumu mtu elimu yake, anayoyasema wewe umeyaelewa? Unayajua undani na ufasaha wake?

    • @sabahikhamisabdulla4361
      @sabahikhamisabdulla4361 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lenu mnakuja na jazba na wala hamjui nini kinaendelea.
      Sasa hii clip ina mzozo gani Kati ya Sheikh Bachu na Sheikh Othman?

    • @AbdulaziziYussuf
      @AbdulaziziYussuf หลายเดือนก่อน

      Muambie mpuuz uy

    • @AbdulaziziYussuf
      @AbdulaziziYussuf หลายเดือนก่อน

      Msenge uyu jmaaa kuma kweli ananitukania shee wng uy km nmpta uy msng uy

  • @sabahikhamisabdulla4361
    @sabahikhamisabdulla4361 หลายเดือนก่อน

    Allah (s w) akulinde kijana wetu ustadh Bachu kwa kuweka bayana haya mambo. Hii sio ria ni elimu tosha kwa anaetaka

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 2 วันที่ผ่านมา

      Mimi binafsi sipendi hata kukuona unadhalilisha wauslamu nakuonyesha wauslamu ni watu wakugombana TU .wasiokuwa waislamu unawafundisha Nini .au waelekee wapi? Kwenda huko.kwanini usimfate mwenyewe ukamkosoe je yeye ameridhia kumuanika kwenye mitandao?

    • @hamidashaban1203
      @hamidashaban1203 2 วันที่ผ่านมา

      Unapata madhambi mpaka ukifa madhambi Yako yanaendelea.huna vitabu vya kufundisha wewe ni mashekh TU?

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah atusalim salama, pametengenezwa ligi ndani ya UISLAMU

  • @AlffanKhallifa
    @AlffanKhallifa หลายเดือนก่อน +1

    انَّ اللّٰهُ يُحيبل ماالصابرن

  • @Fatma99-ve7ys
    @Fatma99-ve7ys 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mashekhe acheni mambo yasiyo na maadili shekhe Othman maalim ni shekhe wetu wa zamani Acha kutugombanisha

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kubali hakki ata ikitoka kwa adui yako mashekh, mtakwenda kuwalaumu hawo, siku ya kiama ww umebweteka ujishughulishi kutafuta hakki umerizika ndugu, moto wa Allah mkubwa angalia nafsi yako, dada waislamu wengi wataangamizwa kutojuwa dini yao

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      Kubali hakki ata ikitoka kwa adui yako mashekh, mtakwenda kuwalaumu hawo, siku ya kiama ww umebweteka ujishughulishi kutafuta hakki umerizika ndugu, moto wa Allah mkubwa angalia nafsi yako, dada waislamu wengi wataangamizwa kutojuwa dini yao

  • @Mkenya_255
    @Mkenya_255 19 วันที่ผ่านมา +1

    Yaaan hizi elimu kazi bure2 wallah

  • @samxx411
    @samxx411 2 หลายเดือนก่อน +6

    Sheikh Othman Maalim naamini hana muda wa kujibizana na watu, yeye ukitaka soma kwake hutaki yaache.

  • @EshaHajiloh
    @EshaHajiloh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Quran moja, uelewa tofauti. Naamini kuna mmoja kati ya mashekhe yupo sahihi, ketini chini muelimishane bila kujifakharisha, ili mkitoa fatwa iwe moja ... Quran ni pana wacha kujiona umeielewa saana kuliko mashekhe wengine.... Mungu atuwezeshe inshalla

  • @patimazaid1801
    @patimazaid1801 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mbishani tu, baba yake alikua Masha Allah Allha amrehem ,shekhe jifunze kuwa na hekma kwanza

    • @hassankalulu4677
      @hassankalulu4677 2 หลายเดือนก่อน

      Hekma mtu hajifunzi, Allah kasema anampa amtakaye..kwa hyo kuwa na hekma sio ujanja wa mtu Bali ni zawadi inayotoka kwa Mola wetu, maana atakayepewa hekma Allah kasema kampa kheri nyingi mnooo

  • @teammayuro7267
    @teammayuro7267 หลายเดือนก่อน +1

    Wengi wanadhani sheikh bachu anampinga ila sio ivo ..anamuunga mkono kwa kuuijuwa tawhid tofauti na hao wengine

  • @allyhemed6380
    @allyhemed6380 2 หลายเดือนก่อน +4

    Shakhe badilisha maneno magumu kwa walio kuzid umri na waisilamu wenzio vyachwa vya mashekh vinaukunhu imeniuma sana

    • @mlolikamonja6492
      @mlolikamonja6492 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu mtu hata kiarabu hajui anakuwaje Sheigh?

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mlolikamonja6492je unaweza kufanya nae nikash tujue kuwa ww wajua lugha zaid?😂

  • @NyawahamisiNyale
    @NyawahamisiNyale หลายเดือนก่อน

    Allah akurehemu akuongoze uwafahamishe wasiojua tawhid

  • @HemediAlly-i4z
    @HemediAlly-i4z 2 หลายเดือนก่อน +3

    huna elimu yakumzungumzia othumani maalim

  • @salimmohamed5559
    @salimmohamed5559 หลายเดือนก่อน +1

    AHLU SUNNA NA JAMAA MFUNDISHE MKEO WAZANZIBAR WANAKUJUA WEWE NI MNAFIQ

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 หลายเดือนก่อน +19

    Aiseee wallah Sheikh Nassor Bachu ametuachia balaa kubwa sana na fitna kweli kweli watoto kama hawa mungu atuepushe nao

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Maneno kama haya si mageni!hata Mtume na Maswahaba waliambiwa baada ya kuwaletea somo hili la Tauhidi ambalo lilikuwa ni geni kwao Kwa vile walikwisha Zama ktk shirki,bidaa na itikadi zao za kimila

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Na ufahamu kwamba Sheikh Nasour ajaleta jipya!Bali amenukuu ktk vitabu na hao walioandika wamewanukuu waliomsikia na kumuona Mtume(saw)nadhani tatizo letu ni uvivu wa kusoma tuu!

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mtume saw aliambiwa alileta fitina. Tatizo lenu masufi hamtaki kuelewa.

    • @SuleimanYakubu-im4jc
      @SuleimanYakubu-im4jc 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nahilo balaa lazima liwafikie watu wa bidaaa mpaka mnyooke ALLAH awaongoe

    • @samxx411
      @samxx411 2 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo mtume hakuwa jeuri kama huyu usimlinganishe

  • @swalehahmed5061
    @swalehahmed5061 หลายเดือนก่อน

    MWALIMU BORA NAMWENYE HEKIMA NABUSARA NI YULE ANAYEWAHESHIMU WAKUBWA ZAKE WEWE M.BACHU ALLAH S.W HAKUKUJAALIA HEKIMA BALII ULICHONACHO NI MDOMO MCHAFU NAKUWAKOSEA HESHIMA WAKUBWA ZAKO. KWA SHEIKH OTHMAN MAALIM BADO WEWE NI MCHANGA SANA HUJAMFIKIA KABISA NDUGU YANGU WACHA KUJIDANGANYA NAFSI YAKO

  • @BestZain-jc2wk
    @BestZain-jc2wk 2 หลายเดือนก่อน +5

    ان لله لا يحب من كان محتال فخورا
    Sheikh mohd bachuu hii ay inakugusa san jitasmin halfu utona matukio unayoyafnya

  • @japharyjuma5660
    @japharyjuma5660 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msiba mzito. Allah atunusuru. Hakuna elimu inatolewa kwa lugha na mhemko wa namna hii

  • @MohamediAwadhi
    @MohamediAwadhi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaaa ni mzushi yey

  • @Mafundiplus
    @Mafundiplus หลายเดือนก่อน

    As salaam alaikum.Mimi mtupu,naomba kujibiwa swali hili:Kusifiana hadharani na kukosona hadharani ipi Ina manufaa kwa jamii yetu kiujumla? Ila Mimi naomba niseme kwa niaba yangu na watupu wenzangu kama mimi: watupu weengu tuna tabia ya kuto Tenga muda wakusoma,kwa hiyo tuna jikuta tunaendeshwa na mihemko ya mazingira.Tukipata taarifa nyingi positive juu ya organization fulan tunajikuta tuna kua wafuasi humo. Na katika sisi watupu tulio bahatka kua na mapenzi ya dini yetu.Tuna penda kuona matokeo chanya yatokanayo na usomi wenu nyinyi wasomi wetu.Mimi mtupu Nina waomba mlio bahatka kusoma: mtuwekee hadharani strength ya dini yetu .Huwenda tukapata positive Ahsante sana.

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu 2 หลายเดือนก่อน +6

    🎉haingii peponi mfitinishaji

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k หลายเดือนก่อน

    Wengi wao hutumia comment bila ya kujua lengo ni nini

  • @Rehema-b6d
    @Rehema-b6d 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe mwache shekh wetu Othaman Maalimu

    • @SadickMussa-g6h
      @SadickMussa-g6h 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kama anakosea aachwe tu

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wenu na nani?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน

      Tusifanye ushabiki ktk dini!hakuna mkamilifu kila mwanadamu ni mkoseaji,mm nionavyo ni nanna Tu ya kukosoa tukosoe Kwa kuheshimiana na iwe ni Kwa ajili ya Allah

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน

      Sheikh Othman hajafanywa kitu!isipokuwa amerejea matamko yake KT somo alilofundisha na kuthibitisha alichokisema Sheikh Othmani na mara yake ni sahihi,na kafanya hivyo ili wale wanaompinga yy Kwa Hilo ndilo analolisema pia Sheikh Othman ili wale wanaomfuata wajuwe Hilo ni sahihi

    • @sassboy9360
      @sassboy9360 2 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo Kaonesha dharua juu yake licha kutumia maneno yake kuwaaminisha watu othman maalim ni sheikh mkubwa na amefanya makubwa anapendwa hadi na watu wa dini nyengne kwa hekma na namna ya uzungumzaji wake anajishusha ndo mana anainuliwa

  • @OthmanIbraheem-g4v
    @OthmanIbraheem-g4v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaaaahhh jamanii wakristoo hawana dini hawana mtume hawana nabii hawana pepo
    Ilaaa hawakosoanii kizembeee kama masheikh wetuuu
    Daaaaaahhh ni msibaaa tuuuu

    • @BjleonardBhianda
      @BjleonardBhianda 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wakristo hawana pepoo?!..kuna msomi mmoja mwanazuoni aliyekuwa muislamu kasoma chuo cha Mtume huko Arabuni..Adam Haji msomali anasema wakristo hawana dini inayoelewaka lakini wamekamata chanye nguvu yaani Yesu Kristo...ukristo ulikuwapo miaka mia 5 kabla ya Uislam...Leo vipi uje uirekebishe wewe wa juzi...mambo mengi mmekopi kwa Wayahudi na Wakristo.. Mmeyabadili maandiko mkaweka ya kwenu kama majini...mnashirikiana na majini mtakwenda mbingu ya nani,mmepotea ndugu ndani ya giza tororo YOHANA 14:6...Adam Haji Msomali na hafidhi Qur'an kamfuata Yesu kaokoka..na wapo wengine wengi wanazuoni wa kiislamu wameona ukweli wameokoka na wameona njia ya mbinguni yaani Yesu Kristo MATHAYO 7:13 .wameona Kiongozi wa uislamu Muhamad hajui njia wala yeye hajui atafanywaje..Yesu anasema "Mimi njia kweli na uzima" maneno mengine anasema Mimi ni nuru ya ulimwengu Yeye Aniaminiye mimi na kunifuata hatakwenda gizani kamwe...Giza ni kushirikiana na majini..huwezi kunywea kikombe cha Mungu hapo hapo unanywea kikombe cha majini..Ndugu njoo kwa Yesu kusudi akupeleke mbinguni SOMA SURA YOTE YOHANA 14...Yesu Kristo anajua anachokifanya yu hai..Muhammad mambo mengi kajichanganya hana tumaini..vipi wafuasi wake watakuwa na tumaini la kweli..habadan..Injili hii nimetumwa Yesu nikuambia wewe uko ulipo sipo umepotea na mbinguni hutafika..Narudia tena njoo kwa Yesu...ukikataa hipo siku atakutokea Msikitini..Neno la Mungu lenye nguvu linakutafuta wewe.

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 2 หลายเดือนก่อน +20

    Othman maalim ni shekh mkubwa usimseme kikawaida jitahdi kumpa heshima yake naamini hata ww umekuwa inspired na yeye kwa namna moja au nyengne

    • @omariczete448
      @omariczete448 2 หลายเดือนก่อน

      ukubwa wake ni nn ?

    • @ABDISHAKURMANDA-qv2sz
      @ABDISHAKURMANDA-qv2sz 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa Wewe ume ona kosa Gani katika maneno hayo, wote wako Sawa.

  • @AtibuHamisi
    @AtibuHamisi 25 วันที่ผ่านมา

    Shekhe bch Sema yooote Kwa kutetea hayooh ,, lakin shekhe endelea kufatilia na kujifunza Kwa Othman kwasababu hicho kichwa ni balaaa kimeja hekma na busara,,, ukifanya hivyo basi bustani letu lililoletwa na Allah litakua kubwa kwelikweli ,,,,Othman Mimi sikuit mwalim tu Bali utazidi kuwa mwalim wawatalam, ,Allah awabariki inshallah,,

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wallah watu wengi hawapendi kujua haki isipokuwa wanapenda ushabiki tu mimi nilikuwa mbakwata mzuri sana na nilikuwa nikiwapinga sana answari lakini nilkuwa nikimuomba allah anionyeshe haki lakini wallah allah alinipeleka ktk uanswari bila kutarajia na tulivofika tu ktk madrasa ya kianswari cha kwanza kufundishwaa tauhdi zote kwa sababu mwalimu alijua kabisa kule tulipotoka tulikuwa hatufundishi. Ndugu ,zangu h msiwe wavivu kusikiliza

    • @RICHMOSLOGISTICSLIMITED
      @RICHMOSLOGISTICSLIMITED 2 หลายเดือนก่อน +1

      wew jamaa akil zako sio timamu ansal ndy nn/ unajua maana yake au unaongea tu na bakwata unajua maana yake

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 2 หลายเดือนก่อน

      Ushakua answari na yule muislamu tu wakaida anajua kusali kusoma Qur an na mengine yote Kipi kimebadilka Ndugu yangu Zaidi ya kujibandikia dhehebu ambalo ata hujui umo tu

    • @khatibbakar9572
      @khatibbakar9572 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka shida sio kufundisha Tawhiid,tatizo hii mijadala.
      Mijadala inaleta farka n chuki baina y Waislamu.
      Hio Tawhiid mim nimefundishwa n kuchmbuliw zaid kuliko yey n Mwalimu wng ambae sio salafi wal answari sunna lkni anaijuw Tawhiid so yey afundishe n asiweke mijadala n kuwafuata Mashekhe n Vitabu n kufany mijada hii inaonesha yey bado ni mchanga sna ki Elimu.
      Watu weny Elimu kkumbushan kwao ni kupelekeaana Elimu (Vitabu) n sio kumsema Mwanazuoni kwny hazara z watu n kuleta mijadala haya ni maafa kwnye Dini kaka.
      Tuombeni kheri lkni hili jmbo sio zuri.
      Naomba unisamehe kka kw kuingia in box ila tatiz sio anacho kizungumz tatizo ni hizo njia anazopita sizo,ahsnte...,

  • @AllymohamedKwao
    @AllymohamedKwao หลายเดือนก่อน +1

    Assalaam allaykum warahmatullah wabarakatuh nashukuru kuwa miongoni ambao tumepata nafasi wakusikiliza mjadala huu wengi wetu tunamkosoa ostadh kwakuonekana kana kwamba anamdhihaki shekh othmaan maalim ila sioni kama kuna sehemu alomkosia shekh wetu ila kwa upande wangu naina ostadh ameenda mbali kwa kauli zake zinaonekana kwamba anadharau watu kwakuona hawananelimu kwamba yeye ni zaidi yahawo kiukweli ostadh hapo amekisea kwasababu dini haifundishi njia hiyo katika kufundishana kwamba unawasema watu kuwa hawana walijualo na kuwatukana kwakuwaita wajinga app ostadh bhana umeenda mbali sana kwenye hili ujirwkebishe

  • @mrazizi2890
    @mrazizi2890 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kuna watu hawana dini maporini huko , hizi nguvu zinazotumika kuonekana sheikh flani kakosea cjui tawhid zipo 3, hata zingekuwa 1000 haina shida , kuna watu hata hiyo maana ya tawhid hawajui#
    Tafuteni sifa, umaarufu, wafuasi, mashabiki lkn Allah anayaona yaliyo ktk vifua vyenu

  • @ChimzaBakari-xy4jr
    @ChimzaBakari-xy4jr 2 หลายเดือนก่อน

    Allah Azidi Kukuweka Nakukulinda Sheikh Othman Maalim Wangu

  • @AhmmedMasoud
    @AhmmedMasoud หลายเดือนก่อน

    Othemane malemu yukojuu juukabesa

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide 2 หลายเดือนก่อน +6

    Binafsi mimi bacho nakukubali na nimekuelewa vizur sana ❤zamani mashekhe wetu walikua kitu kimoja na guvu kazi yao ilikuwa moja,ila hao hao wazamani tuliokua tukiwaamin nakuwafuata,sasa hivi tupo ktk hali ngumu sana sabbu binadamu sio mungu wala malaika tunatabia yakubadilika badilika,sio dini kubadilika mashekhe ndio wamebadilika, wengine washirikina wamajin, wengine upako,wengine sifa kwa watu kujionesha,wengine kupinga kitu bila kuwa na elim sahihi,nawengine kukubali mambo wakat anajua hii sio haki,ewe Allah tufanyie wepesi ktk dunia yako na akhera yako,amin❤❤❤

    • @SaidChiddy-l6j
      @SaidChiddy-l6j 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani kuna ulazima gani wa kukejeli mawaidha ya ma sheikh anapata faida gani yeye anatakiwa atoe mawaidha bila ya kutaja mtu somesha bila ya kumkejeli mtu somesha tuuu usilinganishe wallah niabu sana somesha anaetaka kujua atajua asotaka huwezi kumlazimisha

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 2 หลายเดือนก่อน +1

      Soma dini yako vzuri asitokee mtu akakupelekesha

    • @RaimamomedSaide
      @RaimamomedSaide 2 หลายเดือนก่อน

      @@SaidChiddy-l6j hakutaja mtu,kamueka osman malim mawaidha yake kuyafafanua alivosema tauhid,baadae sasaiv amekuwa mwanachama wa maulid wakat yy alisomesha watu tauhid,km ilikuwa hamjamuelewa bacho,na kumtaja mtu sasaiv nilazima maana ni mambo yamitandaoni kwahio inakwenda vile vile kimitandao tandao,mbona huko nyuma hakuwah kumtaja mtu,spelekeshwi nafuatilia vizur,maana hakuna mmoja mwenye kujuwana hapo.

    • @amanifundi7505
      @amanifundi7505 2 หลายเดือนก่อน

      HUU NDO UTARATIBU WA KIELIMU

    • @mauwasaid3050
      @mauwasaid3050 2 หลายเดือนก่อน

      Hii tabia ya kuvunjiana heshima viongozi weru wa dini.
      Tangu zamani khitilafu zilikuwepo na walizitatua kwa busara na hekima bila kudharauliana!
      Tufunzeni kwa hekima na heshima ili na ss tunojifunza kutoka kwenu tufaidike na elimu zenu

  • @AbdulswamadHashim
    @AbdulswamadHashim หลายเดือนก่อน

    Sheikh Othmani maalim yuko sahihi bachu kamkubali Othmani maalim kwahili

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 2 หลายเดือนก่อน +5

    Shukran sheikh Moh'd BACHU

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bachu ana kibri dah

  • @malishainvestment-i2i
    @malishainvestment-i2i 2 หลายเดือนก่อน +11

    *DUA YA KUOMBA MUONGOZO*
    ALLAHUMMA RABBA JIBIRILA WA MI KAILA WA ISRAFILA
    ANTA TAHKUM BAINA IBADIKA FI MA KANNU FII YAKHITALIFUN
    IHHIDIN FI MA KHITALIFA FII BI IDHINIKA BIL HAQ
    FA INNAKA TAHDII MAN TA SHAU ILLA SIRATUL LMUSTAKIM
    Ewe Mola wetu
    Mola wa Jibril na Mikail na Israfil
    Wewe ndio una hukumu baina ya waja wako kwa wale wanayokhitlafiana
    Niongoze katika njia ukhitalifi hizi katika kweli
    Kwa hakina (wewe) unamuongoza umtakaye katika njia iliyonyooka

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi 2 หลายเดือนก่อน

      Shukrani san kwa dua hawa ma shekhe wa Sasa hiv wana tak kutupoteza mazimaaaaa

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi 2 หลายเดือนก่อน

      Shekhe bachu nilikua na kukubalisan lknsada hiv skiliyamg unanambia we mijadala yak ni kukosoa kila shekhe ata wajuuku wa bwana mtume hawalukosoa Pale yule mzee alikua hajui kitia udhu walitumia hrkma she mkubwa othman huwezi kumuweka mitandaoni mbona hana maneno na mtuu?

    • @AlhajiMswaki-de3kb
      @AlhajiMswaki-de3kb 2 หลายเดือนก่อน

      Bachu wanaokushabikia wapo hovyo kama we mwenyewe

    • @IsmailiMasule
      @IsmailiMasule 2 หลายเดือนก่อน

      Basu siuache mijadala au hakiliyako nimbovu mim nimtu wa Sunna lakn uo unaofanya ndo uzwazwa walakujanao mijitu ya daamaj ambayo nimakhawarij kwajina la salafiy acha uzwazwa

  • @LuqmanMaalim-m4w
    @LuqmanMaalim-m4w 8 วันที่ผ่านมา

    Ww kaa mbali kw sheikh Othman maalim

  • @abdallamohdhiyonineematush408
    @abdallamohdhiyonineematush408 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ndugu yangu unashindana kama mpira somesha. Usidonoe done sisihatukuelewi

    • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
      @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 2 หลายเดือนก่อน

      Mpuuuzi tu ndio elimu yke hiyo alosomeshwa

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 หลายเดือนก่อน

      Sio sisi sema wewe ndio umuelewi

    • @darajanida
      @darajanida 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmafatu1128 sio yeye peke yake tupo wengi muhammad bachu ana bwabwaja tu

    • @AbbasFadhiliAbdallah
      @AbbasFadhiliAbdallah หลายเดือนก่อน

      Ili uelewe vzr acha mapenzi ya kumpenda sheiikh fulani, sikiliza kwa faida ya nafsi yako km unaupenda ukweli wa Allah. Mapenzi acha pembeni, jua ukweli kwanza

  • @SimaiHaji-fn6oz
    @SimaiHaji-fn6oz หลายเดือนก่อน +1

    Waislam tuwema makini na zama hizi za mashehe pesa wata tuvuruga

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mim bachu namkubali sana na vile vile sheikh wangu kipenzi othman nampenda sana pia na wote nawaombea dua na mimi naamini kua sh bachu anampenda sh othman na sh othman anampenda bachu

    • @IddiAmeMcha
      @IddiAmeMcha หลายเดือนก่อน

      Sh. Bachu hajamkosea heshima Sh. Othman maalim tuskilize vyema video ila Sh. Bachu alitoa ufafanuzi wa aina za tawheed kama alivozielezea Sh. Othman maalin

  • @Bosezizunae
    @Bosezizunae 2 หลายเดือนก่อน +8

    wacha na shekh Athman maalim ..humfiki hata thuluth

    • @omarijawadu4047
      @omarijawadu4047 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kipimo gani wengine mnatumiaga?
      Ili tutumie n sisi

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 2 หลายเดือนก่อน +1

      Othman maalim Hana jipya Zaid ya visa vya uwongoo

  • @zuhurarashid9158
    @zuhurarashid9158 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nasaha zangu wako wanazuoni walioigawa tauheed sehemu 3 na wako walioacha kugawa wote wana dalili lakini tusidharauliane kutokana na misimamo yetu na kulazimisha misimamo yetu kwani misimamo yote ina dalili sh othman tunamkubali na sh Bacho pia anatoa kwenye vitabu kwa hiyo ni ni Jambo la Allah tusiitane majina ya dharau, tutumie hekina HESHIMA na BUSARA Allah atuongoze Amiin

    • @darajanida
      @darajanida 2 หลายเดือนก่อน

      hakuna dalili ya kugawa tauhid

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lkn hata Sheikh Othman ktk maelezo yake ameigawa sehemu tatu mbona!tafadhali isikilize hii clip Kwa makini ssna

  • @alliyharith3457
    @alliyharith3457 หลายเดือนก่อน

    Mbona Bachu hapa hakupingana na Otman Maalim? Yeye kamtumia km uthibitisho. Kampa hadhi. Lkn mnacomment vibaya.

  • @idrisahamadi2059
    @idrisahamadi2059 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sheikhe achana na kibrii ni kibaya Wacha kujiona mbora zaidi ni mbaya sana Ewe Allah tupe mwisho mwema

  • @Filleduvillage9999
    @Filleduvillage9999 2 หลายเดือนก่อน

    اللهم نستغفرك ونتوب اليك
    لا تأخذنا ان نسينا او أخطأنا

  • @ShaibuOmi
    @ShaibuOmi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe babu weye unapenda kubishana na kukosoa kosoa yaani lau kama hao maswahaba wengekua kama ww basi hii dini ya uislam yengekua ngumu kweli kweli

  • @nuramoboy
    @nuramoboy หลายเดือนก่อน +1

    Sjui nini umesema sijaskiliza lakini sikukubali namkubali sh na maalim wangu Almarhum Nassor Bachu Allah amsane makosa yake

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huna kauli nzuri za hekma na adabu za kielim wewe bachu

    • @JaylanAbdallah
      @JaylanAbdallah 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe hata mkileta ujinga

    • @darajanida
      @darajanida 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@JaylanAbdallah ujinga uko wapi apo au kusema ukwel ndo ujinga kiufupi muhammad bachu hana nidham

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh Muhammad punguza kibri Allah akupe elimu na azidi kukupa elimu ila unapenda sifa punguza

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 หลายเดือนก่อน +9

    Bachu bilashaka umetumwa kuharibu uislam. Unashindwa kuwaelimisha Wasiomjua Allah na Mtume wake Muhamad S.W ili wamjue na wawe waislam badala yake unahaika na anaesema Laaila haillallah Muhamad Rasulullah Kama wewe!! Innalillahi wainnailaihi rajiun. Kwahiyo wewe unataka watu wanaokuamini wewe wawe Nani na wasiomuamini na wasiomuamini huyo unayempinga wawe Nani? Usimchonganishe Sheikh Othman na Mashekhe wenzake. Wewe una ria ktk dini. Waingize watu ktk uislam sio kubishana na Masheikh

    • @samxx411
      @samxx411 2 หลายเดือนก่อน

      umesema kweli waislamu tunatakiwa kuwa makini na huyu

    • @ZubidaAlmasoudi
      @ZubidaAlmasoudi 2 หลายเดือนก่อน

      @@wazirisaid8326 Riya ya kizanzibari asili aachi aasiyake ndivo walivo hao shekhe othmsni Kaja hp Zanzibar miakamingi hawakuwepo mashehe wenye elim yeye ndo anajiona kasomasana anakeeraaa huyo bachu aasipo jirekebisha tutauona mwisho wake wakuuondoka dunia NaRi zaake hana adabu nawatu wakubwa nimtihan wa Allah

  • @yahyahilalali5299
    @yahyahilalali5299 24 วันที่ผ่านมา

    Saivi umeshindwa kuulingania uisilamu umekua kazi yko NI kutafuta masheikhe na kutovukwa adabu

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 2 หลายเดือนก่อน +6

    Sheikh Othuman Maalimu ana baya kwetu...stop kutugombanisha na Kipenzi chetu

    • @AishaSalum-hq8zq
      @AishaSalum-hq8zq 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe wakili haule hamna ugombanishi hapa kama ww ni muislamu nadhani umeelewa kama sio muislamu usitoe maneno ya ugombanishi kea waislam

  • @camronbadhru-dr2du
    @camronbadhru-dr2du หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kijana bachu ana kibri Sana Na ilimu yake ndugu yangu Dini tunaipeleka kimakosa ikiwa tutashindana namna iyo

  • @HamissFaki
    @HamissFaki 2 หลายเดือนก่อน +49

    Jigambe tu ww ila ujue Othman maalim sio levo yako amekuacha mbaaaaliiii sanaaaa ujue hivyo tu tafuta levo yako

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ana Levo gani huyo othman malimu? Wakati kasoma kisauni pale kenya, aliishia thanawi tyuu sasa unasemaje we khurafi, unamuhami khurafi mwenzio

    • @zainabmohamed-ce2rr
      @zainabmohamed-ce2rr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Levo yke amjua said

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      @zainabmohamed-ce2rr yule mpiga muziki na vinanda utamlinganisha na muhammadi bachu hamna kitu pale, bidaa zimejaa kichwani so ilmu mtupu yule, mwenzie anaenda na hoja ya vitabu na dalili za wanazuoni na swahaba yeye anatuletea mambo ya kutetea pilau na vitumbua vya maulidini watu wa bidaa hata wakisoma ni kama hamna kitu sabu ilmu yake haisaidii kitu, unajiita msomi huku unatetea bidaa unusuru sunnah za mtume tutakuona msomi, ww unafanya mambo yalozuliwa na mababu utuambie umesoma bado utakuwa jahli, ni sawa na mkristo hata akinadi amesoma ilmu yake ahimsaidii kitu kutukana na dini yake potovu ndo sawa na huku mtu wa bidaah hata akisoma bado tutaendelea kumuona jahli

    • @astambaby7719
      @astambaby7719 2 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@AbdulIssa-o7ealichosoma othman Maalim ukiambiwa ww usimame unaweza kusoma angalau mistari miwili ?

    • @IssaJuma-jj6jx
      @IssaJuma-jj6jx 2 หลายเดือนก่อน +5

      huyu bachu bado mdogo sana kwa sheikh othmn maaalimu huyu abishane na watoto

  • @zainabmohamed-ce2rr
    @zainabmohamed-ce2rr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bacho Wacha ubabe somesha tujue tusio jua

    • @BurahaKessi
      @BurahaKessi 2 หลายเดือนก่อน

      Daaah bacho Hana adabu ebu aje TANGA

    • @شيخنيف
      @شيخنيف 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@BurahaKessiaje mara ngapi?