Shukran imamu Mponda umezungumza kwa hekima . Nasikitika kuona mashekhe wengine wanamuunga mkono shekhe firdaus ,yeye aseme ni mganga itapendeza zaidi usharifu na ushekhe awaachie wenye ilmu ya sharia
Sasa Wewe ndiye Muislam mwenye kufaa Kwa kuwa umetoa nasaha badala ya kejeli. Ni bora kukosoana Kwa njia hii tofauti na Mashekhe wengine wamefikia hadi hatua ya kumuita Mshirikina.
Tulikua tunaomba kama waislamu kutumia njia ambayo mtume SAW.katika kuwafikishia watu dini wakiwa kwenye makosa sio kudhalilishana kwa mitandao ni kufanya dini ionekane kua waislamu sio watu wa upendo.jinsi mtume SAW kamafata abujahal na wengine walio kua wakosefu .huyo bwana ni binadamu Kisha ni kijana mdogo sana mchukulieni kama mtoto wenu kijana wenu huo ndio muonekano wangu masheikh...
Subhuanallah kumbe yule kijana Sharifu hajaowa ? Hahaha sasa azini au ajipiga nyeto au sio rijali yule kijana ? Kwa uhakika yule mtoto ni mgonjwa anatakiwa tiba. Allah amuongoze.
Msiba Mkubwa. Kuna Maswali mengi ya Kumuuliza/Kujiuliza haswa Kwa Zama tulizonazo baadhi ya Wanaume wengine hawpo ktk Mhusiano ya Ndoa (hawataki Kuoa) Sababu nao ni Wake za Watu japo ni Wanaume laakin wameharibiwa/wameharibika Kwa Kuwatii Mashaiytwan wa Kijini na wa KibinAdam na Utashi wa Nafsi/Dunia (Mali/Utajiri na Umaarufu) huwahadaa.
Na kama mpaka Sasa (Kwa Umri wake wa Kuzaliwa na KAZI zake anazozifanya) hajaoa/hana Mke au Wake na kama kweli amejinani hataoa Hadi afikishe Umri wa Miaaka 70 ya Kuzaliwa basi hapo Kunatihami/Kuna Maswali mengi ya Kumuuliza/Kujiuliza, naungana na Mtowa Mada huenda naye nigonjwa/Mashaiytwan ya Kijini yanamsumbuwa itabidi atibiwe. WaAllahu Aalamu
MASHEKHE NAULIZA NANI ALIPEWA HUKMU NA ALLAH YAKUSEMA HUYU HAFAI AMA ANAFAA KATIKA DINI? TUMEKOSA HEKMA NA BUSARA HATUWEZI KUSTIRIYANA AIBU ZETU TUNADHALILISHA DINI SIO MTU MUMESAHAU DINI NI YA ALLAH NA MTUME WAKE KIPENZI UKWELI UMEFIKA KUDHIHIRI WATAFEDHEHEKA WENGI KUMBE MUNATUMIYA DINI KAMA NGAO HATA MJINGA ATAONA UKWELI UKO WAZI PEUPE MCHANA ❤
@@mzeemzee7503 Tumehusiwa kuondoa munkari kwa mikono yetu, kwa ndimi zetu na ukishindwa kabisa kwa kuchukia tu kutoka moyoni. Sasa ukinambia hujui munkari ni nini takujibu nenda madrasa maana uko empty headed
Watz ??tizameni sura ya huu firdausi na macho yake haoneshi sura ya muislamu ambae ana swali sala tanu Hana nuru yoyote katika uso wake Ila rangi ya mkaa na macho makundi yakishetani
Shukran imamu Mponda umezungumza kwa hekima . Nasikitika kuona mashekhe wengine wanamuunga mkono shekhe firdaus ,yeye aseme ni mganga itapendeza zaidi usharifu na ushekhe awaachie wenye ilmu ya sharia
@@shersaid7988 Sheikh wa Bakwata
@@visitDar2011😂😂😂😂😂😂
Mungu atupe mwisho mwema . Awadhalilishe wanaodhalilisha dini
Allah amjaalie kila la kheri Firdausi airejee njia iliyo sahihi
Pia mtume muhammad s.a.w, ametuambia tusijifananishe na makafiri
Shekh mungu akuhifadhi
Allah amuongoze firdaws pamoja na sisi pia
amiiin
Ange ulizwa je una makubaliano na Allah kwamba atafika myaka 75? Huyo hajitambui kwamba ana mashetani
Sasa Wewe ndiye Muislam mwenye kufaa Kwa kuwa umetoa nasaha badala ya kejeli. Ni bora kukosoana Kwa njia hii tofauti na Mashekhe wengine wamefikia hadi hatua ya kumuita Mshirikina.
Tulikua tunaomba kama waislamu kutumia njia ambayo mtume SAW.katika kuwafikishia watu dini wakiwa kwenye makosa sio kudhalilishana kwa mitandao ni kufanya dini ionekane kua waislamu sio watu wa upendo.jinsi mtume SAW kamafata abujahal na wengine walio kua wakosefu .huyo bwana ni binadamu Kisha ni kijana mdogo sana mchukulieni kama mtoto wenu kijana wenu huo ndio muonekano wangu masheikh...
Wallah kuna masheikh wanamtetea huyo sharifu feki Tena uganga anafanya live live na ushirikina huo ni ujanja ujanja tu huo
Kwenye makundi yake ambao wanamtetea anawapa pesa !! hio ndomana masikini yamungu wanasahau dini yausilamu
Msimuite Shekh siyo shekh huyo anaushekh gani wakati ni mganga wa jadi
kabisa
Mashekhe watanzania mutakosarahdi zamtume badilikeni mtandao imekia chombo chakuzalilisjana kueninamoyo wamtume nafateni mwenendowake munawachanganya waisilami
Subhuanallah kumbe yule kijana Sharifu hajaowa ? Hahaha sasa azini au ajipiga nyeto au sio rijali yule kijana ? Kwa uhakika yule mtoto ni mgonjwa anatakiwa tiba. Allah amuongoze.
Msiba Mkubwa. Kuna Maswali mengi ya Kumuuliza/Kujiuliza haswa Kwa Zama tulizonazo baadhi ya Wanaume wengine hawpo ktk Mhusiano ya Ndoa (hawataki Kuoa) Sababu nao ni Wake za Watu japo ni Wanaume laakin wameharibiwa/wameharibika Kwa Kuwatii Mashaiytwan wa Kijini na wa KibinAdam na Utashi wa Nafsi/Dunia (Mali/Utajiri na Umaarufu) huwahadaa.
Sheh Mimi Ni muislam naumia sana nikiona mtandao Huu wa matapeli washilikina wezi
@@ChampioniMjelumani had hasira jaman
Shekhe asalaam Aleykum warahmatullah wabarakatuh naomba namba zako
Nimshirikini nimzinifu anayazuiya vipi matamanio ya shahwazake na yupo karibu na wanawake na uwezo anao anashindwaje kuowa au hana uwezo?
Kuna moja anasema lete lete pesa la ilaha ilallah kiyama ? ina mambo mengi
Ndio kabisa sasa anatofauti gani na mwampsa kwakweli
Na kama mpaka Sasa (Kwa Umri wake wa Kuzaliwa na KAZI zake anazozifanya) hajaoa/hana Mke au Wake na kama kweli amejinani hataoa Hadi afikishe Umri wa Miaaka 70 ya Kuzaliwa basi hapo Kunatihami/Kuna Maswali mengi ya Kumuuliza/Kujiuliza, naungana na Mtowa Mada huenda naye nigonjwa/Mashaiytwan ya Kijini yanamsumbuwa itabidi atibiwe.
WaAllahu Aalamu
MASHEKHE NAULIZA NANI ALIPEWA HUKMU NA ALLAH YAKUSEMA HUYU HAFAI AMA ANAFAA KATIKA DINI? TUMEKOSA HEKMA NA BUSARA HATUWEZI KUSTIRIYANA AIBU ZETU TUNADHALILISHA DINI SIO MTU MUMESAHAU DINI NI YA ALLAH NA MTUME WAKE KIPENZI UKWELI UMEFIKA KUDHIHIRI WATAFEDHEHEKA WENGI KUMBE MUNATUMIYA DINI KAMA NGAO HATA MJINGA ATAONA UKWELI UKO WAZI PEUPE MCHANA ❤
@@mzeemzee7503
Tumehusiwa kuondoa munkari kwa mikono yetu, kwa ndimi zetu na ukishindwa kabisa kwa kuchukia tu kutoka moyoni.
Sasa ukinambia hujui munkari ni nini takujibu nenda madrasa maana uko empty headed
Uisilam upo waz lazima akoseae aambiwe mashekhe wpo sahih sababu makosa yamashalifu yapo wazi
Mtangajinna wewe utambulishaji wako uangalie. Ostadh wa dini ya kiislamu kwani kuna ostadh wa Dini gani tena
Watz ??tizameni sura ya huu firdausi na macho yake haoneshi sura ya muislamu ambae ana swali sala tanu Hana nuru yoyote katika uso wake Ila rangi ya mkaa na macho makundi yakishetani
@@MoinaminaAmina-qh1jb Haya sawa wewe mwenye nuru mbona huwezi kusomea watu duwa,,na unarangi nzuri,,acheni husda.
ACHA HUSDA WEWE.
Husd gan kaungane namwamposa huko