WOMEN MATTERS: NGUVU YA MAOMBI KWA MWANAMKE, MUOMBEE MUMEO MAANA MICHEPUKO INAROGA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น •

  • @nyasonyilugoe9554
    @nyasonyilugoe9554 4 ปีที่แล้ว +7

    Nashukuru wa mama kwa kuongelea hiyo mada, Mungu awabariki, maana sisi wasichana tunapotea, hakuna binadamu atakayeweza kukusaidi, Bali ukijifunza kuomba kwa Mungu siku site wewe utakuwa wa kufanikiwa, tujenge Imani zetu kwa Mungu pekekee, Mungu awabariki wa mama, pia kipindi ni kizuri sana,

  • @fawziaalmaamry1312
    @fawziaalmaamry1312 4 ปีที่แล้ว

    Da khadija masha Allah umeumbwa na sura nzuri na souti nzuri masha Allah

  • @nouraalaoui4996
    @nouraalaoui4996 4 ปีที่แล้ว +3

    Lilian hongera sana, nnafatilia sana vipindi vyako ni kwasababu napenda unavyoelimisha, kuna kitu kimoja naomba nikushauri kuhusu bi khadija ungempumzisha kidogo, maana hapo naona kama kasimama sehemu ya comedy, na pia tuletee mama mchungaji wetu wa zamani, mama Terry, max kina doctor mwaka nk. Wale ambao huongea kitu kwa point huwa wanakugusa kwanamna moja ama nyengine,na pia huongea kwa mpangilio, kiu kweli women matters uliokuwa ukiifanya mwanzoni ni nzuri zaidi simaanishi kuwa sasa unafanya vibaya ila unaowaweka sasahivi wengine sio.

    • @upendomkude5390
      @upendomkude5390 4 ปีที่แล้ว

      Nice show kikweli ata the way mna interact kwenye maongezi safi tu maana ndo fact wanawake tulivyo...Inanoga uku tunafundishika..Be blessed all na wote unaowaalika kila kipindi Lily

    • @bahathtemu2079
      @bahathtemu2079 4 ปีที่แล้ว

      Shoo ili watu wote wawe sawa lazima mama wachungaj wawawepo na bi khadija kuwakilisha wanawake wa kiislam

  • @marytemba883
    @marytemba883 4 ปีที่แล้ว +5

    Mama mchungaji is soo beautiful na ana hekima sana! Mungu akubariki mama

    • @kenedmdemu4604
      @kenedmdemu4604 3 ปีที่แล้ว

      Hujamjua vyema mwamini Mungu Tu, hamna kitu

  • @janetkifaru1647
    @janetkifaru1647 4 ปีที่แล้ว +1

    hakika kipindi kilikuwa kizuri kimefurahisha, kimetufundisha.ubarikiwe sana dada

  • @officialcarolyne2985
    @officialcarolyne2985 4 ปีที่แล้ว +5

    Yani nimewatamani sana kuwasikia hewani bibi khadija na baby sky mimi bila kuwaona lol love you 😘 alle women they niko hewani in Germany 🇩🇪 watch you women and feeling myself I'm growing up more and more & to know myself I'm a woman enough be blessed 🙌 all they beautiful women stay save

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 4 ปีที่แล้ว +5

    Lilian napenda sana unavyovaa kiafrika Mwaaa...!!! From Oman

  • @noelbrown9749
    @noelbrown9749 4 ปีที่แล้ว +16

    wa kwanza kucomment jmn..like zenu ata tano na mm

  • @daphrozakikoti848
    @daphrozakikoti848 4 ปีที่แล้ว +2

    Nmejifunza na nimebarikiwa Sana dada Lilian Mwasha

  • @selemanilouise4013
    @selemanilouise4013 4 ปีที่แล้ว +18

    Wapi like za mama mchungaji jmn??😘😘😘

    • @kenedmdemu4604
      @kenedmdemu4604 3 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu kiki za mitandaoni

  • @ElimikaTz
    @ElimikaTz 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmeongea vizuri sana na tumejifunza mengi.. kujibu swali la kwamba unapitia changamoto mpaka unashindwa kumwombea mume wako mema kwasababu ya hasira.. unapaswa kujiombea mwenyewe pia mungu akutie nguvu ya kukabiliana na changamoto zote na uzidi kumwombea mwenzako abadilike.

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana mama mchungaji

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂 bi khadija kopa hakika msg send kwa violet maana huwa mbishi kuelewa😉,halafu hapo uliposema sina stress na wanaume, unastress na mungu tu siku gani atakuchukua na wapi 😂😂😂😂 hakika 👍🤝❤❤

  • @medicalphysicsbiomedicalen1707
    @medicalphysicsbiomedicalen1707 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice show ila punguzeni kelele .... watching from Italy

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 ปีที่แล้ว

    Show amazing 😍😘👏👏 mama Mch. Asante God bless you We love💜 you 💋

  • @marytemba883
    @marytemba883 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah wallahi mama mchungaji story yake imenigusa sana! Mungu azidi kukuinua mama yangu

    • @rayaalraqady6400
      @rayaalraqady6400 4 ปีที่แล้ว

      Topic nzuri sana ila mgekula kabla au baada ya show .watching from DUBAI

  • @sharonatieno840
    @sharonatieno840 4 ปีที่แล้ว

    Thank you bi khadijah nakupenda ukiachwa si mwisho wa maisha jamani

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +4

    Nice interview, keep it up. Not all will compliment but you are doing an awesome job. Watu wanaongea hamuachiani muda kuongea but mimi napenda mnavyo interact, 😍😍😍

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri sana asante mama mchungaji Hellen,Lilian naomba na namba ya Hellen

  • @sharonatieno840
    @sharonatieno840 4 ปีที่แล้ว +2

    I love you pastor soo much ..you are soo encouraging

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 4 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii natamani kulia. 🙏🙏🙏😷 Lili MUNGU akupandishe

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 ปีที่แล้ว

    Women matters MUNGU awabarik mnatufundisha mengi ila nashauri mnapotoa elimu hizi nisawa na lbada basi ingefaa sana mle kabda yakutuelimisha itapendeza san MUNGU awatunze

  • @fawziaalmaamry1312
    @fawziaalmaamry1312 4 ปีที่แล้ว

    Mada ya leo nzuri sana wanawake wache kuamini waganga Allah ndio wakutegemeya

  • @deboralukawe3883
    @deboralukawe3883 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama Hellen I think story yake ilisimuliwa praise power eh, safi sana nimefurahi kukuona

  • @josephinechristian7298
    @josephinechristian7298 4 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda sana Mchungaji Hellen

  • @kdiana9483
    @kdiana9483 4 ปีที่แล้ว

    Tukumbuke mungu n muweza yote na maombi yawe sila zetu kila siku, mimi kama kijana naamini mume mwema atatoka kwa mungu na nikimpata nitamuombeya kwa lolote maana vita na shetani iko kila siku 🙏🏼

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama Helen Iam happy to see you here..

    • @twambianethjordan3179
      @twambianethjordan3179 4 ปีที่แล้ว +1

      Ma Lessa huyu mma nimempenda anaitwa hellen nani? Na kanisa lipi

    • @WinWilly4162
      @WinWilly4162 4 ปีที่แล้ว +1

      @@twambianethjordan3179 Anaitwa Hellen Abel Uronu anafanya huduma ya The Debora Generation.

    • @twambianethjordan3179
      @twambianethjordan3179 4 ปีที่แล้ว

      Ma Lessa asante sana, amenibariki mno

    • @hellenabeluronu2942
      @hellenabeluronu2942 4 ปีที่แล้ว

      @@WinWilly4162 Napatikana Kibaha dear 0767558799

  • @latifahjamal2999
    @latifahjamal2999 4 ปีที่แล้ว +8

    Haya na mm wapili nipeni like zangu pia.. maana kuwahi sio mchezo😂😂

  • @fawziaalmaamry1312
    @fawziaalmaamry1312 4 ปีที่แล้ว

    Leo wa dada Zangu umepedeza sana kila moja a shinda mwezake

  • @habibamlau8280
    @habibamlau8280 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda san Lillian mwasha mwaaa

  • @nadiakabamba7373
    @nadiakabamba7373 4 ปีที่แล้ว

    Bibi khadija nakupenda sana maman thank you so much 😊

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 ปีที่แล้ว

    This show make me happy na mamang khadija 🔥😅😘

  • @samirarashid8186
    @samirarashid8186 4 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda saaana 🥰🥰🥰

  • @naomicharles7426
    @naomicharles7426 4 ปีที่แล้ว

    Asante story ya mama mchungaji imenigusa sanaa

  • @vlogvlog8522
    @vlogvlog8522 4 ปีที่แล้ว +4

    Jaman nawapenda mpaka naumwa na hadija koppa wangu apo akaa Ila uyu mama ni mrembo Jaman

  • @hellenabeluronu2942
    @hellenabeluronu2942 4 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa nzuri sana

  • @lovenessdiva3370
    @lovenessdiva3370 4 ปีที่แล้ว +1

    Vaileth 😘💋
    GOD bless all of

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiafya sidhani kama ni sahihi kula na kuongea, viwanywaji sawa lkn chakula big No.

  • @kulolamasanyiwa3683
    @kulolamasanyiwa3683 4 ปีที่แล้ว +3

    Ki ukweli mambo yote ni maombi tu,tumtangulize Mungu kwa kila kitu

  • @rukiamusa5826
    @rukiamusa5826 4 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri sana tena sana ila mnaongea kwa pamoja bila kupeana nafasi mpaka inaonekana kama makelele Rilian mwasha rekebisha iyo mashabiki zako tunawapenda na kuwafatilia sana

  • @magreth7981
    @magreth7981 4 ปีที่แล้ว +3

    Vaileth Mtataa leo Adijah kakukomaliaa ! Asaa mbona unaniambia mm ?-Nakwambiaa wewee 😂😂😂😂 nimechekaa saana !

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow this was good

  • @rehemasalim513
    @rehemasalim513 4 ปีที่แล้ว +1

    Tukirudi twaenda kupika mibwabwa, acha tule piza na madude gani. Hahahhaha Kopa nakupenda buree tu

  • @consolatamaunde3545
    @consolatamaunde3545 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa Baby sky mganga ni mchawi

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mama mchungaji

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +2

    Mumenitia baridi Sana wallai, wanawake wanateseka Sana kwaajili ya mapenzi

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii topic ni hot hot 💥

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani bi khadija nikikuangalia mi kicheko tuu unavoongea sasa raha mm tuu

  • @fawziaalmaamry1312
    @fawziaalmaamry1312 4 ปีที่แล้ว

    Mama helan kasema maneno ya kili ya dini

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 4 ปีที่แล้ว

    Love you guys

  • @fawziaalmaamry1312
    @fawziaalmaamry1312 4 ปีที่แล้ว

    Dada zangu nataka kutowa ushauri wangu hakuna kitu kina mbadilimume kama duwa maombi nilazima

  • @vlogvlog8522
    @vlogvlog8522 4 ปีที่แล้ว +2

    Walaah lili na Sky na hadija Leo mme ongeya madini

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 4 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁 nani kasikia khadijaaa anasema aaa ubwabwa nyumbani tunakula kila siku😁😁

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +2

    Khadija mama mchungaji ila khadija nakuona kama comedy una vituko.....eti ahakikishe kuwa nimeona

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 4 ปีที่แล้ว

    SHOW NZURI SANAAAA JAMANI.

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama mchungaji mleteni tena pls

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 4 ปีที่แล้ว +1

    I love baby sky

  • @nakundwasengoka7087
    @nakundwasengoka7087 4 ปีที่แล้ว +1

    huyu mama nadhani nimeshasikia story yake kwenye nyota njema ya praise power kipindi cha veronica simulizi

  • @mariammlosi6984
    @mariammlosi6984 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo la kijamii

  • @BarakaKitale
    @BarakaKitale 4 ปีที่แล้ว +1

    Aisee sio kwa wivu huo aisee

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa kipindi chenu. Mumenichekesha sana ila munafundisha mengi.

  • @saraphinaabraham7266
    @saraphinaabraham7266 4 ปีที่แล้ว

    Naenjoy

  • @salathielmbengale1365
    @salathielmbengale1365 3 ปีที่แล้ว

    Dada liliani mwasha,nipe nafasi nije nitoe semina hapo

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 ปีที่แล้ว +5

    It’s like being in a fish market , give each other time to talk bloody hell

  • @mshekuu17
    @mshekuu17 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kilikua kizuri zaidi kilivokua chini ya Simulizi Na Sauti, panelists walikua wazuri, na Lilian ulikua unaweza kucontrol kipindi vizuri zaidi. Peaneni mda vizuri wa kuongea kila mtu aeleze wazo lake bila mtu mwingine kuingilia, makelele yanakua mengi sana kwasababu hampeani nafasi ya kutosha ya kuongea. Mchungaji alikua anataka kuongea mengi lakini interruptions zilikua nyingi.

  • @vevo3130
    @vevo3130 4 ปีที่แล้ว

    kuachwa maradhi! hahaaaaaaaa

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri sana, nimejifunza kitu.

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni ngumu lkn kwa hekima tuliojaaliwa wanawake tunaweza

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂Jm leo nawakana 🧚‍♂️🧚‍♂️Ngoja nibaki na G code in Bezz voice lol

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว

    khadija msisubutu kumtoa

  • @soamesphares
    @soamesphares 4 ปีที่แล้ว

    "Mwanamke ukiwa na hekima hugombanishi watu"

  • @okdj1006
    @okdj1006 4 ปีที่แล้ว

    Nmechlew sanaaaa

  • @elizajuma5616
    @elizajuma5616 4 ปีที่แล้ว

    Wap women matters ya week hii jaman??

  • @bettybetty3518
    @bettybetty3518 4 ปีที่แล้ว

    Heee njo ulale na mimi utulize mume! Makubwa 🤓😅🙃

    • @esthermwende4347
      @esthermwende4347 4 ปีที่แล้ว +1

      Ningeomba kuchangia kidogo. Mtumishi tumepewa uwezo na msmlaka ya kuvunja na kuchoma kila kazi ya shetani.kwaiyo mwanaume mweye kuchepuka mwanamke mwenye busara amka satisa usiku piga magoti haza kuvuja, kuchama, kusambaratisha kla mausiano ya mumeo na wanawake wore wa nje.kwa hakika Mungu hatakupigania.

  • @successjustinian1055
    @successjustinian1055 4 ปีที่แล้ว

    Iyo pizza nimesikia

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 ปีที่แล้ว +1

    Corona imeshakata uchimi tena wa dunia adi huko bongo

    • @teddygabriel5662
      @teddygabriel5662 4 ปีที่แล้ว

      Alafu Leo hawajavaa gloves sao za kizush

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 4 ปีที่แล้ว

    Hamna maombi yanayojibiwa kama hujamsamehe huyo mume

  • @adamkanyeka4479
    @adamkanyeka4479 4 ปีที่แล้ว

    Hekima ni njia moja wapo ya kunyamaza

  • @krauseboss3240
    @krauseboss3240 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana ila kipindi kifupi

  • @aishamrisho4248
    @aishamrisho4248 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 ปีที่แล้ว

    Asnte

  • @mariamsingano7376
    @mariamsingano7376 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว

    Unawezarogaunajireteyamikoshiweyepekehakunadawayakupamumeniuchawi

    • @ussuforamadan445
      @ussuforamadan445 4 ปีที่แล้ว

      Jifunzee kuandika john dieme unafeli hivo

    • @dickensimlwafu3106
      @dickensimlwafu3106 4 ปีที่แล้ว

      @@ussuforamadan445 😂🤣😂😂🤣😂😂
      sijajua jamaa amekwama wapi,au hajui kiswahili

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว

      dickensi mlwafu Anachekesha kila mara

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 4 ปีที่แล้ว

      @@ussuforamadan445 😂😂😂

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mwashikana shikana ivyo, ummy mwalimu kwani haangalii women's matter

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 4 ปีที่แล้ว

    Too much makeup

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 ปีที่แล้ว

    Wanarogaarakinihauweziaminiwagagajobwanaakupedeunadaganyikadadamamamuombemungujodawawamaurewakuedakuwagaganimuchewi skyunahakiri