LIVE CARRYMASTORY TIK TOK NIFFER AJIBU USIANO WAKE NA PASTOR TONNY ULIVYO KWA SASA/OG/AMECHOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 หลายเดือนก่อน +5

    Carry mbona husikiki? 😂😂😂😂😂Niffer bora usinge jibu umezidi toa majibu yakuonekana something fishing hakuna cha kuwa upo na mama mchungaji hapo or wala nini 😊

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  3 หลายเดือนก่อน

      Nimeandika kwa maelezo coz nilikuwa narekodi na simu kumbe sauti ya njee haiingii

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 2 หลายเดือนก่อน

    Niffer which God? Mungu hazihakiwi, apandacho mtu ndicho avunacho. Watu wengi wapo karibu na wachungaji mbona hawaandikwi. Mange yuko very smart chunga pengine ni rafiki zako, mtu anaesali anajulikana, mara Ally K, mara umeolewa umetoka huyo ndio mwombaji mwogope Mungu wewe

  • @genesisrayson
    @genesisrayson 3 หลายเดือนก่อน +2

    Carry haijatendeka kwetu juu ya sauti😢😢😢😢nmelia😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Niffer kaona bora atoke tuu hiyoo live basi na wewe niffer uzae sasa halafu mganga anakwambia ukizaa pesa uzioni tena duuh 😢😢

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyo Tony ni nani haswa!? Mbona ni mtu wakawaida sana😢. Alafu mbona sauti yake Carry hakuiachia!😅

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa mtaan kwetu kuna jamaa ameoa leo watu wamekula had sio poa

    • @allykwaya
      @allykwaya 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo ndo manemo ya maana, haya mengine upuuzi tu.

  • @MichaelParingo
    @MichaelParingo 2 หลายเดือนก่อน

    Sijamuelewa hata

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nifa kunavitu usipende kuongelea

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mke wa Pastor Tony asije kulia tu.............

  • @EDITHAALPHONCE-hr9vj
    @EDITHAALPHONCE-hr9vj 2 หลายเดือนก่อน

    Eeeh na mkewe kmb hy pastor kaowa aibuu jmn😂😂😂😂

  • @ibtyhans1163
    @ibtyhans1163 3 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kua na dini mbili kwa wakati mmoja. Amua ww ni Jennifer jovial au niffer yule muislam

  • @ibtyhans1163
    @ibtyhans1163 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hiyo Sala ya zanzibar ni Sala gani za kiislam au kikristo

  • @somoeomar4861
    @somoeomar4861 3 หลายเดือนก่อน +4

    Niffer ni muongo huyuuajua kupanga watu

  • @lightnessrichard-uk8tr
    @lightnessrichard-uk8tr 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh michezoo hiyooo😂😂

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 2 หลายเดือนก่อน

    Anajielezs sana 😅😅😅hii ni questionable

  • @radhiaibrahim2951
    @radhiaibrahim2951 3 หลายเดือนก่อน +6

    Uyu dada hajielewi mala ooh namka usiku naswali tahajud namuomba Allah mala ooh mi naitwa Jenifa jovin sasa tukueleweje😮 Aliachwa na shilla akaachwa na patrik kanumba akaachwa na Alikiba kaachwa na mumewe yaan kunakitu hakikosawa kwake anakasoro kubwa tu anayo mmxxiuu kichwa kikubwa kama tikitik kichwan hamna kitu

    • @LuluRodgers
      @LuluRodgers 3 หลายเดือนก่อน

      Heee jmn mumewe kamuacha na hamsemi

    • @stellalolubo6325
      @stellalolubo6325 2 หลายเดือนก่อน

      Unayeonekana kichwa kubwa kama tikiti ni wewe kila wewe ushaachwa na wangapi na haujaongelewa??? Usiukumu dada usije ukahukumiwa na kusali ni self freedom yaani is non of ur business

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu niffer kapotelea wap

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh hovyoo

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 2 หลายเดือนก่อน

    Huna nyimbo dada

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaiyo anamaanisha karitadi? 😅😅 Haya mambo bwana

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mim nashangaa mama ake masikin anamuombea dua kila siku lkn anaamini hao matapeli 😢😢

    • @Humanity21216
      @Humanity21216 3 หลายเดือนก่อน

      @@maryamm7765 mume wake nae tia maji nini kwenye maswala ya imani

  • @KulwaMbeko
    @KulwaMbeko 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu niffer huwa ni dini gani
    Anyone can answer me

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 3 หลายเดือนก่อน

    Anasemaga wangine mbona yeye kaza alafu anajificha, na kusema zuchu kila siku yeye kaoleo samezalishwa tu 😏

  • @silviasaleh4667
    @silviasaleh4667 3 หลายเดือนก่อน

    Nilithani Niffa ni muslin??

  • @ibtyhans1163
    @ibtyhans1163 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyo niffer ni muislam Sasa kwa nn anajihusisha na pastor Tony na mke wake. Ama amekua mkristo

  • @VenantJohakim-dr2mn
    @VenantJohakim-dr2mn 3 หลายเดือนก่อน

    Carry mbn atukuskii

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  3 หลายเดือนก่อน

      Nilikuwa na rekodi na simu ikawa inachukua saut ya ndani tu

  • @IreneIsaya-ek5pc
    @IreneIsaya-ek5pc 3 หลายเดือนก่อน

    Mh😂