Unajua umasikini n mbaya sana lakn ngozi nyeusi hasa ya kitanzania kutoka hapa tulipo itakuwa kazi kubwa sana, watu wa Simba mnatuchanganya na mnatuvuruga sana
Kwahiyo nyinyi mnazpangia udhamini vilabu vingine, wakati Zina uhuru wakuchangua mzamini, mwambieni mhindi wenu nae adhamini sinitajiri kijana Africani, mkija huku Zanzibar pia tuna dhamini kmkm na jku, na mrandege, chamoto mtakiona, mpaka maji muite mma, ubaya ubwegeeeee nyinyi😂😂😂😂
Sijawahi kuona wazee mazuzu kama hawa ambao hawana upeo wa kutafakari kwa kina mpira wetu! wanataka kututerejesha kwenye enzi za ujima za kuongozwa kiujanjajanja na kulishana chapati...
Mlipowafunga Azam hamjaja na kuitisha Press na Azam walinyamaza maana ndio mpira lakini lakini mmefungwa mnaanza kuchongoa midomo,...MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU UNAUMA....😂😂😂
Hawa Wanaojiita Wazee, Serikali itashangaza sana sana kama hawa wasipo chukuliwa na kuhojiwa na ikiwezekana hatua kali zichukuliwe na maneno wanayotoa ni ya kichochozi na uvunjifu wa Amani, Mpira ni Furaha,Upendo...Yanga na Simba ni watani wa Jadi msitake kutuletea Uvunjifu wa Amani....
Wazee wameongea kwel hawa sio wajinga kaka yanga mmezoea kubebwa tuu hakuna timu ndimana ata ranking ya caf simba anaongoza haiwezekani mtu adhamini timu nane hakuna hyo kitu
Nyoko zako unaongea nn ww matako iv unajua maaana ya kudhulumiwa huku unaona matokeo mmpewa bure inaumaaa wanasimba tuungane kweli tuwanyooshe wanahujum mpira wa tannzania
@YugoAlly Kaka yangu tuacheni USHABIKI MAANNDAZI NA USIINGIE KWENYE USHABIKI HUO, mkiwa mnashinda huwezi kusikia swala la GSM kudhamini timu laikini ukifungwa tu ndipo swala la udhamini linapoanza huo ni Utoto kaka...
Mbona jakaya alikuwa yanga na simba alipata ubingwa simba mpk wajipate itakuwa mda sana hawa wazee hawawezi hata kujenga hoja wewe shinda mechi zako then njoo
Mi nashauli wazee acheni kuongea wafange wanavyoyaka na timu ya taifa sio yetu ni yao acheni tuishi ivyo yote hayo hakuna litakalofanyiwa kazi hata Moja ispokuwa kutucheka haya yote yawekeni kwa aombi yatajibiwa
Mnao furahishwa na povu za wazee wa kibwela gonga like mpaka yafe mwaka huu😂😂😂
Acha ujinga
We anakuita pi didy
Katafte mwanamme akufire uko
Sawa kibwengo FC
Wazee wasikiliwe wanajambo lamsingi sana hao,vinginevyo mpira wa bongo ndo unaelekea kubaya Tff mjitadhimi
Hahaha Mecheka Sana Dah Nilichelewa kuona hii 😂😅😂 Uzee Jamani Uzee Jamani, Tusiwalaumu Wallahi 😅😂😅 KISUKARI 😅😂😅😂
Simba mmesahau kuwa mnauza Madawa ya kulevya na kocha wenu msaidizi yuko mahabusu hadi leo
Unajua umasikini n mbaya sana lakn ngozi nyeusi hasa ya kitanzania kutoka hapa tulipo itakuwa kazi kubwa sana, watu wa Simba mnatuchanganya na mnatuvuruga sana
Nyie wazee au shida tuu
HUU MPIRA HAUTAKI WAZEE TENA TOKENI APA ... KALEENI WAJUKUU
shida tanzania mpira hautakuwa labda tugeuke rangi. siasa hadi mpirani.
Mko sahihi baba zangu👏👏👏
Simba Oyeeeeeeeee,
MWISHO WA SIKU MTASEMA HATA CCM NI YANGA MAANA RANGI ZINAWACHANGANYA
Kweli mzee wangu kunawatu wanatuvulugia amani
Kwahiyo nyinyi mnazpangia udhamini vilabu vingine, wakati Zina uhuru wakuchangua mzamini, mwambieni mhindi wenu nae adhamini sinitajiri kijana Africani, mkija huku Zanzibar pia tuna dhamini kmkm na jku, na mrandege, chamoto mtakiona, mpaka maji muite mma, ubaya ubwegeeeee nyinyi😂😂😂😂
Mnakata kata maneno wekeni yote Ili wajue nn wanakosea wanereta maneno machafu kweny serikal yetu hawa kenge blue
Watu kama hawa Idd Amin alikuwa hawachelewesh,,mapemaaaa,,anawageuza msosi wa mamba mto kageraa huko
Povu la wazeeee hiloooo,😂😂😂😂😂😂😂
Pesa simba wanao hila uchawi awana😂😂😂😂😂
Tatizo munayaona ya wenzenu tu Ila yakwenu jamuyaoni
Amna
Akili
Nyote
Lakini haya maneno yanaumuhim sana ila ingekuwa wakati wamagu yangefatiliwa vizuli sana
We msenge unakata point
Nyie wazee mnaongea pumba kweli kama Edo alivyosema mandnducha mnaongea pumba Tena pumba zilizooza
Mtalalamika mpaka mwisho
Mutakufana na presss
Yan hawa wazee hawajui mpira rushwa hio wanajua wao baada ya kufungwa je wangeshinda haya wange ongea 🤣🤣🤣
simba jitoeni nbc pL
Mnataka kususa susa susa 😂😂😂yani maogozi yenu tu inaonyesha kweli hamjui mpira polen sana someni tafuteni elimu kwanza ya mpira
Mpira hauchezwi chumbani ubora unaonekana uwanjani na unaamua matokeo
ACHA Kulia Mzee,. Huu ni mpiraaa tu.
Mzee huna akili
🎉🎉🎉kweli
Wazee wapuuzi kweli sasa point yao nini? Rais anahusika nini na mpira.. Mnajisumbua tu chezeni mpira acheni ushamba..
Mm mpenzi wasimba lakinisinanguvusana lakini yenuilitupamoyo kwasababu mengimakubwa nimeyashuhudiya chanzokikuu kinachowapa ubingwa nanjiewakubwawetu mlitwambiya mwakahuu mntalishuhulikiya nammekujanakauli ubaya ubwela tulihisi mtapambana ndiommetufanyann ukowapi ubayaubwela
Sijawahi kuona wazee mazuzu kama hawa ambao hawana upeo wa kutafakari kwa kina mpira wetu! wanataka kututerejesha kwenye enzi za ujima za kuongozwa kiujanjajanja na kulishana chapati...
Mpaka msemeeeeee makolo
Carry mastory unafeli kuweka vitu randomly inafanya hata ufatiliaji wa account yako inakua chini weka vitu vyako kwa mpangilio
Tulisha gaqiwa zamani tuwaachie nchi
Wakati hapo kati mnapata matokeo mazuri mbona hamlalamiki?
Wanayanga wanashinda kwa mbwembwe sana ila hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
Kwel kabisa wanatakiwa kuwajibika😊
Hii video ume-upload vibaya mkuu
Mlipowafunga Azam hamjaja na kuitisha Press na Azam walinyamaza maana ndio mpira lakini lakini mmefungwa mnaanza kuchongoa midomo,...MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU UNAUMA....😂😂😂
Chakushangaza yanga ikifungwa huwa hailaumu mtu Ila inajilaumu wenyewe .samahani wazee mkubali matokeo GSM nimfabiashara achaneni naye
Asa lazima mjilaumu kulingana mambo meusi mnayofanya
Ngoja mbangula afanye lake leo😂
Muze huyu acukuliwe ki Sheria una unagumua wa2 wafanye vurugu🤦🤦🤦💥
Hawa wazee wametoka wapi mbna wamepauka 😂😂😂😂
Wamepauka hadi ubongo
Bora mkacheze bao
Yanga waachiwe kombe leo ili maisha mengine ya endelee
Hawa wazee wakipelekwa maakamani watajua hawajui
Hawa Wanaojiita Wazee, Serikali itashangaza sana sana kama hawa wasipo chukuliwa na kuhojiwa na ikiwezekana hatua kali zichukuliwe na maneno wanayotoa ni ya kichochozi na uvunjifu wa Amani, Mpira ni Furaha,Upendo...Yanga na Simba ni watani wa Jadi msitake kutuletea Uvunjifu wa Amani....
Sjawahi skia wazee wa Madrid wala Barcelona, tz ni nchi yakishamba sana
Wazee wameongea kwel hawa sio wajinga kaka yanga mmezoea kubebwa tuu hakuna timu ndimana ata ranking ya caf simba anaongoza haiwezekani mtu adhamini timu nane hakuna hyo kitu
We unadhani ni masihara eeh... Sasa endeleeni na ujinga wenu nyinyi vyura.. Ila kumbukeni Amani ikipotea kuirudisha ni shida
Nyoko zako unaongea nn ww matako iv unajua maaana ya kudhulumiwa huku unaona matokeo mmpewa bure inaumaaa wanasimba tuungane kweli tuwanyooshe wanahujum mpira wa tannzania
@YugoAlly Kaka yangu tuacheni USHABIKI MAANNDAZI NA USIINGIE KWENYE USHABIKI HUO, mkiwa mnashinda huwezi kusikia swala la GSM kudhamini timu laikini ukifungwa tu ndipo swala la udhamini linapoanza huo ni Utoto kaka...
BADO HAMJASEMA NG'OMBE NYIE.😮
Kaongea point
Eleza tatizo ni gsm au marefa kumbuku 1935 mpaka leo ukweli kipigo
Hawa wazee mwisho wake watasema pia ile hamasa ya goli la mama pia Yanga wanapendelewa.
Wamechafukwa wanaongea pumba gani hizi wapi mzee magoma😂😂😂😂
Mzee namkubali anaongea point
Umelewa ww
Baada mkae mtengeneze akhera yenu nyie mnalia na simba kama itawapeleka Peponi mpo kwenye extra time ya umri wenu Rudin kwa allah
Simba mlikuwa mnashinda yanga kwa kutumia pesa chafu ya madawa ya kulevya ilipodhibitiwa
.
Mbkna mnakatakata taarifa
Hawa wazee watuachie timu yetu badala ya kwenda kwa mo kumwambia ukweli kwamba kikosi cha simba hakina kwality yawachezaji waliopo yanga
Wazee achane kuongea ujinga jipangeni saidien tim yenu mbona mnuza madawa na takokuru hawapo mkiongea uongee na yenu hamna tim ti bovu
Madingi ya makolo bwana eti yameitisha kikao aalafu yanaleta na kujadili hoja za kimbumbumbu!¡!¡!!!!!!!!
Kweli wew hauna akili na bwabwa
Mngeeandika na namba za hao wazee Ili tiwapigie manake hakuna mweny hakili hata m1 hapo alafu utackia alifika kwake anajiita kichwa Cha familia
Mbona jakaya alikuwa yanga na simba alipata ubingwa simba mpk wajipate itakuwa mda sana hawa wazee hawawezi hata kujenga hoja wewe shinda mechi zako then njoo
Sema mpra uchezwe kwahak yule kibu sio mti wakimvunja mguu kinamuda watatunza familia yake narefa naeanachukuria poa wachezajaji wanaondolewa kwenye mchezo wanacheza ovyo ilawao wakiguswa wanawaka waache izo tunakuja tuonane wabaya wasituzoee sana uto sisi
Kwel kabisa wanatakiwa kuwajibika
Wazee mmeishiwa
Kabisa..
Mizukule.. hawajui kama Rais wa Nchi sio rais wa chama cha soka ?
Mara waingilie mlango wa nyuma tff kimyaaa
Ulivyokua unachukua ubingwa mara Nne hamkuandamana mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu uchungu
Ongeen siasa msifanye wananchi wanaishi kwa mpira siasa hamuongei wote ni ccm mnalalmika nini
Mimi binafsi kama mshabiki wasimba kiukweli yanga hawachezi mpira wa Riley hapana uganga umezidi kwao
Irrelevant
Huyo GSM MNAKUMBUKA ALITAKA KUDHAMINI LIGI KUU KWA BIL 2? ACHEN WIVU SIMBA HAMNA TIMU JENGENI TEAM
Anayeshindwa kudhamini bilioni mbili nani nyie chezeni Mpira acheni mambo ya kiCCM maboya nyie
@@FlorianCharles-x9u bill 2 nayo hela ya kudhamini ligi kweli? Hela ya Kununua mchezaji mmoja tu Tena daraja la Kati
We Carry nawewe Acha uchawa mbona umeikata hii interview Kwa sehemu Kubwa mpaka hakieleweki kinachoongelewa acheni umbea kwenye vitu ambavyo si umbea
Bado amjasema mpaka msemeeeeeeee
Wataongea na kulowesha mic ...pumba tupu !!
Hamjawa na kikosi cxha kuahindana na Yanga kwa kikosi hiki cha Simba dhidi ya Yanga zaidi ya kupunguza magoli.
Mawaziri wametumwa na boss wao
Anayeharibu ni Samia nyie hamjui tu,Samia anawabeba waz utopolo Kuna siku mtanielewa
Maskini Ali Kamwe nae yumo! Mmmmmmh! Kweli kufungwa na mtani kuchungu.
Mnakataje kataje habari kama darasa la kwanza banah wekeni habari kama ilivyo mtu kama hana bando la kuingalia yote aiache.
Vicha hawa wametoloka milembe kamateni wakatibiwe huyu kichaa mkubwa juzi tu kala mavi kigogo dampo
Niko nawazee mnaongea madini na mnachosema nikweli huwezi kua bingwa ndani njee ziro na selekali inachangia kuua mpila wabongo sema nimecheka kusikia kanyoko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga itaendelea kuwanyanyasa mtasema na bado hamjasema!!!!! mpaka mseme!! 😂😂😂
Kolo zee 😂😂😂😂
Mi nashauli wazee acheni kuongea wafange wanavyoyaka na timu ya taifa sio yetu ni yao acheni tuishi ivyo yote hayo hakuna litakalofanyiwa kazi hata Moja ispokuwa kutucheka haya yote yawekeni kwa aombi yatajibiwa
Mmekata kata kwanini tunaoumia niwanasimba Mpira uchezwe adhalani asibebwe MTU yyte
Apo amna wazee, kuna wasenge tu
Gsm kawakosea Nini
Hatukuwa ona mkibwabwaja mulipo kua mki hujumu azam na Dodoma jiji hapa mpka mseme bado hamja sema
Yanga ina nguvu zaidi ya nyuklia
lakini mbona mlijifunga wenyewe😂😢😢
Aliyejifunga alipewa hela na GSM wewe husikilizi vizuri.
mzee yupo makini tena watambue huyu sio mzee magoma huyu mzee wa simba ili chama lengine
Nyie wazee mmefilisika hamna ishu, huu ni UPUMBAVU MTUPU! Hamna haya?
Hata kanyoko sawa tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila kanyoko katuweza kabisa😂😂😂
leo kafungwa simba yameuma hee kumbukeni 2020 wazee
Akuna kitu kama hicho GSM kudhamini timu nane haipo
48 JUMLISHA NA 6 KUTOKA KWENU MBN HILI HAMLISEMI
Tafuteni marefa wenu sasa
Acheni mambo ya ajabu wazee azamu akijitoa kwenye ligi kisa mambo yenu ya hovyo mtafanya ligi hii ishuke
Nakula hatupigi wakapige yanga
Utopolo wanaalibu Amani ya nchi yetu kama viongozi mnaona nikawaida izoo kula mtapiga utooo pekee yenuu