Pastor Tonny MUNGU wetu ni mkuu sana....ipo sababu maalumu yawewe kuwepo Duniani.....ipo sababu ya wao kuzungumza juu yako kwa jinsi waonavyo......Umechaguliwa wewe ni wa kipekee sanaaa.....Acha waseme wamepewa vinywa na aliyekupa wewe kibali....MUNGU na akuwekeee mpaka kusudi lake litimieee ishi sana mtumishi ❤❤❤
We don't care pastor.. Unayonifundisha naelewa na yananisaidia that's enough maisha yako mengine ni wewe na Mungu wako.. Keep teaching us pastor wazidi kutushangaa.. From 🇬🇧
Mtumishi na ww unaweka concetration na wanadamu so just leave them ..continuous play to Jesus Christ only ..LordGod will pay them for their words .but You is the winner always .. neno linasema maneno ya yanadamu yaone kama upuuzi tu.. so keep bize on God work❤❤❤
Mungu akubariki Pastor kwa kutopoteza muda na hao wa dunia hii nimependa ulivyosolve ni hekima ya Mungu peke yake ndio iko hivyo na kupitia hii nimemwona Mungu kupitia huduma yako aliyokupa Mungu. God bless you Pastor
Pole sana Dady, najua jinsi unavyojisikia, najua maumivu hayo, neno langu kwako, Songa mbele ewe shujaa, Mungu yupo pamoja na wewe, achana na walioshindwa nenda na walioshinda.
Songa mbele Mtumishi wa Mungu, mwangalie huyo aliyekuita na alichokuitia, vita IPO Kwa nafasi Mungu aliyokupa, Si wote watakukubali piga kazi Roho Mtakatifu atawashuhudia ya Mungu Yuko pamoja na wewe. Nakupenda Pastor, nakuelewa...
hapo ndipo mi najivuniaga Yesu umeshinda zaid ya uwazavyo na ujuavyo umemwaibisha shetani na huo ndio msuli wa imani barikiwa, mama tony usivunjike moyo mungu amewapa hiyo huduma lakini kumbuka kuna watu hawaifurahii, kama ilivyokuwa kwa masanja alisimama kiume na simama kumuombea mume wako na MUNGU wa mbinguni asiwaache wala kuwapungukia
Sasa pastor we mwenyewe unaona kazi unayoifanya afu usiguswe amna itakuwa hujafanya kazi bado ukishakuwa juu lazima ujue unaangaliwa na wengi choxhote unachokifanya kitaonekana kwa ukubwa sana kwasababu uko juu so hayo yanayoendelea Mungu anajua ni saiz yako... songa mbele tu.
God is good, hautatahayarika Sababu Mungu yu pamoja nawe...na wakristo sijui kwanni hua wanapenda kuona anguko la mchungaji yaani,... Mwl Mwakasege amesemwa sana vibaya ila Mungu amekua akimtetea na huduma yake iko strong sana, so na wewe pia utafanikiwa na utakua salama so please ikibidi acha tu hata ukaribu na huyo dada
Pole sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akupe amani moyoni mwako na katika familia yako usimpe adui nafasi kwa sababu unafanya kazi kubwa sana kwahyo lazima adui ainue vita na siku zote mti unaopigwa mawe ni uwe wenye matunda Songa mbele achana na walimwengu
Kwani haufahamu nafasi ya maombi kwa binadamu. Maombi yanatumika ktk kila hali ,kutubu,kuomba uponyaji wa magonjwa, unapitia ktk huzuni au hali yoyote ya kukatisha tamaa ukiomba Mungu anakupa hekima, amani na kisha unavuka. Sasa unauliza maombi ya nini sasa? Unamaanisha nini
Usiwasikilize wanaotaka kukukatitisha tamaa, songa mbele na kazi ya Bwana wetu yesu christo. Atakushindia. Mimi nakushukuru kwa Maombi kutoka ktk madhabahu yako na ministry yako. Unawajibika kwa Mungu na familia yako, na watu unawahubilia . Ubarikiwe na bwana
MTUMISHI YEYOTE ALIYEWEKEWA MIKONO NA BAADHI YA WATUMISHI WA MATAIFA YA HUKO NJE AKAANGUKA UJUE KUNA ROHO IMEMUINGIA YA KUMPA UMAARUFU NA HIYO ROHO IMEAMBATANA NA ZINAA NDIO MAANA ATAPENDWA SANA NA VIJANA COZ VIJANA HAWAPENDI KUKEMEWA KWENYE TABIA ZAO WANAPENDA UHURU. UNEAMBIWA PIMENI HIZO ROHO PIMA KABLA NA SASA HIVI UTAONA KUNA UTOFAUTI. WATU WAKIONGEA HAO WALENGWA WANASEMA WANAHUKUMIWA ILA UKWELI NDIO HUO MNAAMBIWA UKWELI HAPO.
Mimi nadhani Kwa nchi yetu hii sidhani kama Kuna watu ambao hawafahamu kuzungumza kiswahili, ni wachache sana ambao unakuta hawakifahamu kiswahili sema yeye anakaulimbukeni Fulani hivi. Especially asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao hii wanafahamu zaidi kiswahili kuliko kingereza. Kusoma sio tija, wapo wasomi kabisa na degree lakini kuzungumza kingereza ni mtihani wanamung'unya maneno tu.
@@gotafostv7305SIo hata kanisani sio wote wanajua kiingereza aliyejibu hiv amekosea ni kama dharau hata yey SI Kila kitu anakijua Mungu atusamehe Kwa majivuno
Kila Jambo linaanziaga kiroho, prayer warriors na yeye alipaswa awe amelijua na angekuwa ana-prove ujumbe.. na hao Clouds Media akae nao kwa akili na kiroho mno na MUNGU amsaidie
Pastor ni Pastor tu hata uwe na Miaka miwili so Unatakiwa kuwa mtu mzima kiakili pia......Kaeni mbali na hao ma super star ukaribu uishie kwenye huduma za kiroho na sio urafiki, mnatuvuruga tunaowaamini na kuwaombea....Kueni acheni drama za mtandaoni😢😢😢
Jaman achen ajitetee kila mtuu ana namana yake ya kupunguza maumiv ndan ya moyo wake...... Mwingine atalia, mwingine atapiga kelel, mwinginè atatakaa kukaa peke yakeee...... Obviously PT kaumia ndoo maan unaona anaongea sna mwachen aongeèe aseee mm namuunga mkono
Elezea Yesu achana na masikini Wa akili kazi kuwaza ngono tuuu mi nakuelewaga sana unafundisha uchumi huyo dada anainspire wapambanaji wenye akili na wanaotaka kufanikiwa Mwanamke from zero to heroo
Kwanza had ye aamue hivi kwan wa kwanza peke yake?mange anamsema had Mwamposa mange anamsema hadi rahis tunakuomba ukae kimya tu maneno kwa maneno ni kelele lkn maneno na ukimya ndo jibu
Mungu aliposema kuishi na wanawake kwa akili sio tu mke hata hao wanawake waropokaji waongo waongo kama mange ... ishi nao hapa duniani kwa akili ... Achana naye YULE ALIYEKUCHAFUA ni kibaraka wa shetani . Mungu ata dili naye... maana vita ni ya BWANA WA MAJESHI.
Kwa jinsi ninavyokufahamu kwa undani kiuhalisia usingetumia nguvu yoyote kujieleza au kuwapanga philosophically eti umuelezee Yesu au malaya mbaya upo MADHAHABUNI hiki kitu sio kizuri na ushauri wangu CAG is a pillar kwako jiulize Archbishop huwa anapataga huo muda wa kutega watu philosophically??
Asee,,kama Hekima ni vazi..basi limekufit vizuri pastor,,hayo maneno tu uliyoyasema ni hekima ya Hali ya juu..Be blessed so much
Pastor Tonny MUNGU wetu ni mkuu sana....ipo sababu maalumu yawewe kuwepo Duniani.....ipo sababu ya wao kuzungumza juu yako kwa jinsi waonavyo......Umechaguliwa wewe ni wa kipekee sanaaa.....Acha waseme wamepewa vinywa na aliyekupa wewe kibali....MUNGU na akuwekeee mpaka kusudi lake litimieee ishi sana mtumishi ❤❤❤
The Best Pastor of this last dispensation especially kwa vijana ❤
I am Victor Osborn from Nakuru-Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪napenda pastor Tony sana, ni Baba wangu wa Kiroho na sipendi umbea Mwache Baba aenese upendo wa Mungu
Mungu akuinue zaidi pst tunakupenda, kupitia kwako nasikia sauti ya Mungu.
Mtumishi naomba ongea mara nyingi kiswahili,siyo wote tunajua English,nakupenda MUNGU aendelee kukusimamia, asante
Umesema kweli uzungu mwingi ata kama unata kusikia ujumbe wa neno la Mungu kupita Kwake unashindwa sio vzr kabisa anavyofanya kwa kweli.
Kabisa, tunampenda ila tunapata tabu sana 😂😂😂
Bora umuhubir Yesu....😊 me nampenda sana Mwl. Mwakasege mambo kama hayo huwa hana mda wa kuyajibu
Kabisa kabisa. Mwakasege anamjua Yesu
Vita sio vyake ni vya Bwana Efeso 6
Na sijawah ona kakutwa nayo. Nampenda sana Mwalim Meakasegr na mkewe Diana Mwakasege
Kabisa sema kabisa. Sema tena kabisa
Kabisa hata mm natamani pastor asijibu Kila kitu
We don't care pastor.. Unayonifundisha naelewa na yananisaidia that's enough maisha yako mengine ni wewe na Mungu wako.. Keep teaching us pastor wazidi kutushangaa.. From 🇬🇧
YESU AMESHINDA!!!
I LOVE JESUS####I LOVE PT
Mtumishi na ww unaweka concetration na wanadamu so just leave them ..continuous play to Jesus Christ only ..LordGod will pay them for their words .but You is the winner always .. neno linasema maneno ya yanadamu yaone kama upuuzi tu.. so keep bize on God work❤❤❤
Mungu akubariki Pastor kwa kutopoteza muda na hao wa dunia hii nimependa ulivyosolve ni hekima ya Mungu peke yake ndio iko hivyo na kupitia hii nimemwona Mungu kupitia huduma yako aliyokupa Mungu. God bless you Pastor
Pole sana Dady, najua jinsi unavyojisikia, najua maumivu hayo, neno langu kwako, Songa mbele ewe shujaa, Mungu yupo pamoja na wewe, achana na walioshindwa nenda na walioshinda.
Hivi vidada vimalaya vinawaita mapastor dady😂😂
@@lulanjamd3886vinakera😐
Mungu alivyo wa ajabu Mungu kainyamazisha kimya kimya kabisa na iwe ivyo milele wanapenda sana kuchafua watu wa MUNGU
Haupo Kwa app ndo maana
Washindwe katika jina la yesu. Wacha mungu Hawafunge midomo milele..mungu hawape show!!!
Hizi hekima zinapatikana kwa Yesu tu❤
Asanteni kwa likes I've been surprised surely
Barikiwa sana pastor......tunakupendaaa🥰🥰
Songa mbele Mtumishi wa Mungu, mwangalie huyo aliyekuita na alichokuitia, vita IPO Kwa nafasi Mungu aliyokupa, Si wote watakukubali piga kazi Roho Mtakatifu atawashuhudia ya Mungu Yuko pamoja na wewe. Nakupenda Pastor, nakuelewa...
Mungu akutie nguvu na ujasiri pastor wetu
GOD BLESS YOU MAN OF GOD HIZI NDIO HEKIMA ZA MBINGUNI...YAANAI NIMEFURAHI ILIVYOJIBU NAJISIKIA RAHA❤
hapo ndipo mi najivuniaga Yesu umeshinda zaid ya uwazavyo na ujuavyo umemwaibisha shetani na huo ndio msuli wa imani barikiwa, mama tony usivunjike moyo mungu amewapa hiyo huduma lakini kumbuka kuna watu hawaifurahii, kama ilivyokuwa kwa masanja alisimama kiume na simama kumuombea mume wako na MUNGU wa mbinguni asiwaache wala kuwapungukia
Amen amen amen God Bless you ❤❤❤
Sasa pastor we mwenyewe unaona kazi unayoifanya afu usiguswe amna itakuwa hujafanya kazi bado ukishakuwa juu lazima ujue unaangaliwa na wengi choxhote unachokifanya kitaonekana kwa ukubwa sana kwasababu uko juu so hayo yanayoendelea Mungu anajua ni saiz yako... songa mbele tu.
It is well with you Pastor songa mbele
God is good, hautatahayarika Sababu Mungu yu pamoja nawe...na wakristo sijui kwanni hua wanapenda kuona anguko la mchungaji yaani,... Mwl Mwakasege amesemwa sana vibaya ila Mungu amekua akimtetea na huduma yake iko strong sana, so na wewe pia utafanikiwa na utakua salama so please ikibidi acha tu hata ukaribu na huyo dada
Pole sana Mtumishi wa Mungu, Mungu akupe amani moyoni mwako na katika familia yako usimpe adui nafasi kwa sababu unafanya kazi kubwa sana kwahyo lazima adui ainue vita na siku zote mti unaopigwa mawe ni uwe wenye matunda Songa mbele achana na walimwengu
Jesus... Tupe neno Mtumishi w Mungu
Mtumishi achana na mange.ingia kwenye maombi Mungu atakutetea.mambo ya kusingiziwa huwa yapo tu kuwa mtulivu achana nayo songa mbele .
Pastor wangu acha kabsa kumuongelea au kuongelea hilo suala maana unampa muda na ushindi... sisi tukaendelee na maombi acha MUNGU ndo atakutetea
Aingie kuomba nn saa
Kwani haufahamu nafasi ya maombi kwa binadamu. Maombi yanatumika ktk kila hali ,kutubu,kuomba uponyaji wa magonjwa, unapitia ktk huzuni au hali yoyote ya kukatisha tamaa ukiomba Mungu anakupa hekima, amani na kisha unavuka. Sasa unauliza maombi ya nini sasa? Unamaanisha nini
Amen, Mungu akutangulie mtumishi wa Jehova aliyehai
Mmmmmh mungu atuhurumie.🙏
I'm so proud of pastor Tony a true man of God
Ur a Really mtoto wa MAJOR ONE💪
kumbe ni mtoto wa major one
Major 1 tena 😮😮😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳 I don’t want to believe this one!
Mungu akutetee❤❤
Tony tony tony pasta achana na mitandao fanya kazi y mungu
Some thing,to advice Mr. Pastor you are a really man of God , wachana na haya mambo , keep pushing ahead. Hasantakabradeshiyata.
Let's go sir🤝
Pastor tony barikiwa zaid
A true man of GOD..........PT
Mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe...Yesu alitukanwa alipigwa mpka kuuwawa kwasababu ya kazi yake njema....the OSBORN's we moveeeeeee❤🎉
You are the hero man of God keep going, hata Yesu mwenyewe walimtupia mawe
Aisee Noma Sana😂
Kabisa lina wadhungu tu nasikia wite nooo, yeeea
Usiwasikilize wanaotaka kukukatitisha tamaa, songa mbele na kazi ya Bwana wetu yesu christo. Atakushindia. Mimi nakushukuru kwa Maombi kutoka ktk madhabahu yako na ministry yako. Unawajibika kwa Mungu na familia yako, na watu unawahubilia . Ubarikiwe na bwana
Short but clear
I pray for you man of God haya ni mawimbi ya muovu
Pastor, kuna mambo ukijiambatanisha nayo tu, lazima uchafuke. Soma 1 Yohana 2:15 "usiipende dunia na mambo yaliyomo ndani yake". Pole sana
Kuweni na maarifa watu wa Mungu, sio mnashangilia Tu Kila kitu mwambie I Roho mtakafifu awaongoze
MTUMISHI YEYOTE ALIYEWEKEWA MIKONO NA BAADHI YA WATUMISHI WA MATAIFA YA HUKO NJE AKAANGUKA UJUE KUNA ROHO IMEMUINGIA YA KUMPA UMAARUFU NA HIYO ROHO IMEAMBATANA NA ZINAA NDIO MAANA ATAPENDWA SANA NA VIJANA COZ VIJANA HAWAPENDI KUKEMEWA KWENYE TABIA ZAO WANAPENDA UHURU. UNEAMBIWA PIMENI HIZO ROHO PIMA KABLA NA SASA HIVI UTAONA KUNA UTOFAUTI. WATU WAKIONGEA HAO WALENGWA WANASEMA WANAHUKUMIWA ILA UKWELI NDIO HUO MNAAMBIWA UKWELI HAPO.
Mungu atadili tuu na hawo wanao mchafua mtumishi wa mungu
Good pastor
Keep Provoking their reaction pastor mpaka waseme huyu ameshindikana 😂
Ongea kiswahili
Akili kubwa uwezo mkubwa hausumbuliwi na akili ndogo za wapenda Kiki. Safi sana Mtumishi.
mti wenye matunda hupigwa mawe,,ukifanya mazur usitegemee wattakusema mazur
Malibu mazuri sana pastor
Naomba uzidi sana mtumishi.
Anajitetea sana pastor Angekausha tu kama hiyo ishu haina ukweli wowote
Kabisa Ilibidi ache kabisa
@@gabililta anatumia nguvu nyingi kwakingereza
Sasa amejitetea wapi jamani,si ametoa option ajielezee au amuelezee Yesu watu wamechagua Yesu na ameendelea na mahubiri
Kuna watu angewaacha njiani na kuwavunja imani
Mbona kama umekereka mzee, amefika hapo kwa jitihada alizofanya na neema aliyopewa na anachagua yeye nini aseme ...na Wala hajajitetea hapo
Piga kazi ya Mungu pst achana na watu wa ulimwenguni hao
Mtumishi tumia kiswahili zaidi may be kuna baadhi ya kondoo unawaacha njiani kwa kutoelewa neno.
Mpaka akatumia kingereza anawajua kondoo wake 😂😂😂 Akuna mchungaji asiyejua kondoo wake labda jisemee wew neo huelewi tukusaidie usitumie mwamvuli wa wengine😂😂
@@cletusbaraka2045sijajua kama umetumia nini kufikiri,kwani anaporusha hapa mtandaoni ,wote wanaelewa kiingereza?? ,ingekuwa anafanya ibada kanisani kwake na harushi mtandaoni huenda ungekuwa sahihi,lakini je na hapa mtandaoni wote wanaelewa kiiingereza??
Hapa anafanya hvyo kwa faida pia ya wasiojua kiswahil dear❤hopeful umeelewa
Mimi nadhani Kwa nchi yetu hii sidhani kama Kuna watu ambao hawafahamu kuzungumza kiswahili, ni wachache sana ambao unakuta hawakifahamu kiswahili sema yeye anakaulimbukeni Fulani hivi.
Especially asilimia kubwa ya watu wanaotumia mitandao hii wanafahamu zaidi kiswahili kuliko kingereza.
Kusoma sio tija, wapo wasomi kabisa na degree lakini kuzungumza kingereza ni mtihani wanamung'unya maneno tu.
@@gotafostv7305SIo hata kanisani sio wote wanajua kiingereza aliyejibu hiv amekosea ni kama dharau hata yey SI Kila kitu anakijua Mungu atusamehe Kwa majivuno
daaah napenda san mahubir yk jamsn
Napenda sana ukiongea kingereza pasta😅
Wachungaji hawa mhhhhhh
piga kaz mtumish wa Mungu
Ingefaa Aweke siku ya ibada kingereza na Ibada kiswahili
Sio kiswanglish ibada zote
Mungu atakupigania
songa mbele kumtumikia bwana achana na mambo ya mitandaoni Pastor!
Mnhuh naogopa kutamka neno juu ya watumishi wa Mungu but Mungu aturehemu sana
😂😂😂
Ww angalia hao wasaidizi eheee
😂😂😂😂😂amelowaa amelowaaaaa amenyeshewa na mvuaaaaa
Hekima ya Kimungu kabisaaa nimependaaaa pastor Tony ni mmoja tu😂😂😂😂😂
True identity of JESUS deciple. Yesu akisha mkubali Mtumishi wake hakuna wa kumtikisa.
Angekaa kimya n kumuomba Mungu wake siyo kila jambo linaloibuka mtandao ulitolee ufafanuzi ajifunze kupitia Mwamposa mbona hajibu chochote
Mungu mwema
Mtangazaji nmekuelewa sana
Tumia kiswahili tunajua umesoma punguza swaga za kuzungumza tumia kiswahili acha ushamba
Ifike mahala hawa wanaojiita watumishi wa Mungu waachane na mitandao bhana
Wao wenyewe ndo wanajisababishia maskendo yasomaana
Ingia rohoni this is not ordinary
Kila Jambo linaanziaga kiroho, prayer warriors na yeye alipaswa awe amelijua na angekuwa ana-prove ujumbe.. na hao Clouds Media akae nao kwa akili na kiroho mno na MUNGU amsaidie
Jaman uislam uko wazz
Pastor ni Pastor tu hata uwe na Miaka miwili so Unatakiwa kuwa mtu mzima kiakili pia......Kaeni mbali na hao ma super star ukaribu uishie kwenye huduma za kiroho na sio urafiki, mnatuvuruga tunaowaamini na kuwaombea....Kueni acheni drama za mtandaoni😢😢😢
Sawa sawa
Wew unauhakika umekua zaid yake dear
Tupo nje ya muda mtumishi lete neno😂😂
Haleluya
Hekims kubwa sana
Mungu azidi kukutunza.
Jaman achen ajitetee kila mtuu ana namana yake ya kupunguza maumiv ndan ya moyo wake......
Mwingine atalia, mwingine atapiga kelel, mwinginè atatakaa kukaa peke yakeee......
Obviously PT kaumia ndoo maan unaona anaongea sna mwachen aongeèe aseee mm namuunga mkono
Songa mbele mtumishi wa Mungu....
piga KAZI tony watanzania tunakuelewa bado Sana
Bora umhubiri yesu vita vyetu si vya dam na nyama hata yesu ilizushiwa maneno lakini hakujibu kutoka 14:14 bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya
Minajivunia wew hakii
Tony jifunze kiswahili sWa sawa unatuvuruga
Mchungaji anaongea ngeli waumini hata wasioelewa wanashangilia 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
mm kwenye hilo namshangaa sana huyu bishoo kwakweli.
Surely
Hapo watumishi kiukweli ndani ya moyo wanawish awaelezee kinachojiri...ila unafki tuu😂😂
Aiseee
Anajiabisha sana
Elezea Yesu achana na masikini Wa akili kazi kuwaza ngono tuuu mi nakuelewaga sana unafundisha uchumi huyo dada anainspire wapambanaji wenye akili na wanaotaka kufanikiwa Mwanamke from zero to heroo
Achana na Visichana hivyo vihubirie wokovu tu basi
Kwanza had ye aamue hivi kwan wa kwanza peke yake?mange anamsema had Mwamposa mange anamsema hadi rahis tunakuomba ukae kimya tu maneno kwa maneno ni kelele lkn maneno na ukimya ndo jibu
Sijawahi kucoment ila mchungaji nimekuelewa sana Mungu akuongeze zaidi
Hukielekea kuwa nabii wa mataifa utapatiwa mengi kama ya Johannes Laurian Rwebugisa mchungajiwa bukoba kahororo
😂😂😂😂😂😂😂😂 tumepigwa hapa
Kama sio kweli ungekausha mtumishi
Shida ni kuchafuliwa
Mtumishi achana na hawa watu wameona unainuka wanataka kukuangusha. Bali hawapambani na wewe wanapamba na Mungu.
Mungu aliposema kuishi na wanawake kwa akili sio tu mke hata hao wanawake waropokaji waongo waongo kama mange ... ishi nao hapa duniani kwa akili ... Achana naye YULE ALIYEKUCHAFUA ni kibaraka wa shetani . Mungu ata dili naye... maana vita ni ya BWANA WA MAJESHI.
Mtumishi wa Mungu kumbuka wewe ni jalala kumbuka hilo, upaswi kuji chochote acha Mungu atawajibu mbona ni vema zaidi