Njia za kwenda ughaibuni 2024. Mahojiano na

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Mwaka mpya unaanzaje?
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 105

  • @user-cd2np5by6g
    @user-cd2np5by6g 8 หลายเดือนก่อน +7

    EBM huu mwaka wetuTunaisubili matokeo green card kiongoz mungu akibarik tunaweza kuwepo wote uko kiongozi ishaallah 🙏🙏🙏🙏

  • @najiaminikamajana4009
    @najiaminikamajana4009 14 วันที่ผ่านมา

    ja bless mmenifungua akili doooh?!! EBM you rock

  • @claudeniyondiko5460
    @claudeniyondiko5460 8 หลายเดือนก่อน +5

    More love Sir🇧🇮🇧🇮🇧🇮 napenda giski ukiwa unazungumza ukweli hau napenda sana Mungu akubariki sana

  • @robertraymond4085
    @robertraymond4085 8 หลายเดือนก่อน +10

    Tanzania umefika muda wa kibadilika acheni miakili ya kikoloni fungueni milango kwa DIASPORA....hatuoni nchi za wenzetu wanavyopata faida za wana Diaspora

    • @marrypius576
      @marrypius576 8 หลายเดือนก่อน

      Ccm hawawezi fanya hivyo wanaogopa kuondok madarakani maan hii nchi haina democrasia tunaongozwa na chama kimoja 😂😂😂

  • @OmaryKaniki-hs5mz
    @OmaryKaniki-hs5mz 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli brother nakuelewa vizuli sana

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huu ni mwaka wangu na mm kutoka nyumban tanzania🙏

  • @miriamkarumbo1500
    @miriamkarumbo1500 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania they don’t know the asset they have with you. Keep spreading the knowledge and information

    • @Thyme938
      @Thyme938 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli, hatuja mtumia kabisa!

  • @GodsonDaniel-oo3sz
    @GodsonDaniel-oo3sz 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka

  • @auni_tv
    @auni_tv 8 หลายเดือนก่อน +6

    Huu mwaka (2024) ama zangu ama za Ubalozi ntaandika vitabu na kuanzisha organization ya ku counceling wanafunzi mana asset ninazo thanks EBM ntalifanyia kazi natumahi sitakosa visa👍

    • @user-xq7ji7yb3i
      @user-xq7ji7yb3i 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nakuombea mungu akufanikishe

    • @SamwelJoseph-yk3cw
      @SamwelJoseph-yk3cw 7 หลายเดือนก่อน

      No retreat no surrender, keep going boy.

    • @WitnessShamba-wm4tq
      @WitnessShamba-wm4tq 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ningoje Niko njiani kipenzi, naomba namba zako tusaidiane,ni lazima tutuok❤❤

  • @kamole3
    @kamole3 7 หลายเดือนก่อน

    @EBM SWAHILI, I totaly agree with you. Thats why Somalis do invest in Kenya.

  • @elvinHart80
    @elvinHart80 7 หลายเดือนก่อน

    Twende mr EBM tupe Madini 👏

  • @danfordgabriel8304
    @danfordgabriel8304 8 หลายเดือนก่อน

    Heri na baraka tele za mwaka mpya mr EBM

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z หลายเดือนก่อน

    Kazi za kujitolea UN unazopataje. Vyuo vinapatikanaje kwa mtu aliyemaliza chuo

  • @obinakakuba2384
    @obinakakuba2384 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Mr EBM

  • @monicanyamanda4652
    @monicanyamanda4652 3 หลายเดือนก่อน

    Natamani nije kusomea mambo ya Bekary huko Matekani nifanyeje kaka EBM, Tafadhar naomba nisaidie ndg yangu

  • @mjumbemwanda9666
    @mjumbemwanda9666 8 หลายเดือนก่อน +2

    Very informative

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 8 หลายเดือนก่อน

    Mzazi upo vizuri kwakweli kwenye kutoa elimu Mungu akubari

  • @lucaspaul7208
    @lucaspaul7208 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuelewaga sana EBM na uko very straight ntahitaji appointment na wewe soon

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน

      Niandikie ebm@ebmscholars.com

    • @dorahbenard1837
      @dorahbenard1837 8 หลายเดือนก่อน

      Tunaomba no ya wantspp emb

    • @elizabethmusa1295
      @elizabethmusa1295 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@EBMSWAHILInaomba namba kaka ya WhatsApp

  • @user-rj4pm2pr1l
    @user-rj4pm2pr1l 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka nakuelewa sana 🙏

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim 8 หลายเดือนก่อน

    Asante saaana Mheshimiwa Ernest Makulilo

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 8 หลายเดือนก่อน +3

    Happy new year EBM asante sana brother mimi nipo nasoma kijerumani kwasasa ni mefikia level B1 NATAMANI KWENDA UJERUMANI

    • @felcRaphael
      @felcRaphael 8 หลายเดือนก่อน

      Unasomea waapiii mkuu

    • @MansourMwipi-st2rm
      @MansourMwipi-st2rm 8 หลายเดือนก่อน

      Ebna sorry umesoma pale Goethe institute na vp kwa mtu bigginer kabisa wanafundishwa pale au mpaka uwende kufanya tu mitihani

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana

  • @lexmondniyukuri8617
    @lexmondniyukuri8617 8 หลายเดือนก่อน +4

    Happy New year for everyone 🎉🎉❤ huyu mwaka ni wangu wakuwa selected kwa green card pls god🙏🙏😢🇧🇮🇧🇮

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน +2

      Amen!!!

    • @lexmondniyukuri8617
      @lexmondniyukuri8617 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka nirijaribu kuandikia kwenye email . Nilikuwa nataka kuongea na nyie pls kama itawezekana nifanye malipo mnisaidie kutengeneza paper ya werk experience nafanya kazi ya #uber #eat food pls

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 8 หลายเดือนก่อน

      Bmb naomba imisaidie mitapataje scholar ship ya kusoma Canada Mimi ni single mother of 3 Nina mtt amaliza colly na mwenye amemaliza form 4 wote wanataka kuendelea na masomo but Wana prifer kwenda Canada pls help me brother.. from Arusha Tanzania living Kenya

  • @user-uq9wg6um9u
    @user-uq9wg6um9u 8 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana kiongozi

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 8 หลายเดือนก่อน

    Salute bro🙋

  • @honestkiwia2264
    @honestkiwia2264 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli kaka umetisha sitochoka kuifatilia

  • @negwamwaipopo6467
    @negwamwaipopo6467 7 หลายเดือนก่อน

    Happy New year my Brother. Uko vizuri kaka

  • @marywairimu6804
    @marywairimu6804 7 หลายเดือนก่อน

    More energy

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 8 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo brother

  • @erickmwaipungu3488
    @erickmwaipungu3488 2 หลายเดือนก่อน

    Brother EBM kwema? Nimekufatilia sana ila Kwa Sasa nimeamua kufanya jambo ila naitaji msada wako mmoja tu... Kujaza form ya visa ya utalii canada

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z หลายเดือนก่อน

    Nna kijana amechukua Bank and Finance anapataje fursa

  • @simongaudence2685
    @simongaudence2685 8 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @gadafsalum8042
    @gadafsalum8042 8 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana

  • @faizaldaud7628
    @faizaldaud7628 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mtupu kaka

  • @Summerbtz
    @Summerbtz 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupata sana mkuu tupo pamoja mwaka mpya tumemic semina

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 8 หลายเดือนก่อน +1

    Fantastic, I'm very blessed with your information. Asante sana neighbour

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks. Happy New Year

    • @pendocasmiry9852
      @pendocasmiry9852 6 หลายเดือนก่อน

      Please help me,nami napenda kuja huko kutengeneza maisha

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 7 หลายเดือนก่อน

    Umeongea ukweli ❤❤❤❤❤❤❤

  • @masaifinancialagent5089
    @masaifinancialagent5089 8 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kupata elimu toka kwako

  • @godwillsamuel7487
    @godwillsamuel7487 8 หลายเดือนก่อน

    Happy New year Bro @EBM Swahili

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hogera mkuu Kwa taaluma

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 หลายเดือนก่อน

    Happy New year EBM

  • @user-uq5jx6yl2w
    @user-uq5jx6yl2w 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe nimwarimu kbx

  • @herogodbmaker9443
    @herogodbmaker9443 8 หลายเดือนก่อน +4

    Much respect bro

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks. Happy New Year

    • @omarjuma2937
      @omarjuma2937 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@EBMSWAHILIkaka naomba namba yako nashida na ww whattsapp

  • @alexMsangi
    @alexMsangi 8 หลายเดือนก่อน

    Hellow mr ebm

  • @monicanyamanda4652
    @monicanyamanda4652 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka Makulile mimi ni mama mwenye umri wa miaka 53 natamani kuja Marekani lakini sifahamu kiingereza nitafanyaje?

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 8 หลายเดือนก่อน

    Happy new year EBM

  • @advinofficial6570
    @advinofficial6570 5 หลายเดือนก่อน

    Hellow Mr EBM MIMI NINA ISSUE PRIVATE NIMEJARIBU KUKUTUMIA EMAIL ILA HAUJIBU

  • @DaulatDady
    @DaulatDady 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka nahitaji namba yako

  • @francismboma6839
    @francismboma6839 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi pia naona sheria inabana sana kwa watafutaji wanaotafutia nje ya nchi

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee anamaanisha

  • @hapymesack7034
    @hapymesack7034 8 หลายเดือนก่อน

    Mi najiuliza unapataje host ukienda Kwa njia ya conference Canada au US

  • @ELIEZERNDARO
    @ELIEZERNDARO 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka nakutakia kheri ya Mwaka Mpyaaaaa !

  • @jacksonmathias796
    @jacksonmathias796 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka EBM. Hata sisi dalasa la saba tutafanyeje Ilituje huko

  • @babyshinetv8107
    @babyshinetv8107 8 หลายเดือนก่อน

    Nimepata kitu

  • @restyrose1574
    @restyrose1574 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka, nakuelewa sanaa
    Ukija kwa njia ya conference ukabahatika kupata kazi au college kwa muda huo haina madhara?

  • @MrMijicho
    @MrMijicho 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye kiwanja singida,kwenye mawe sio poa

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 8 หลายเดือนก่อน

    sautu ya sky ilikua chini sana by the way tuefaidika saama kwa taarifa 💯

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 8 หลายเดือนก่อน

    Wao eti wanahisi tu uhalifu kwa kila jambo eti kukiwa na uraia wa nchi mbili mtu atafanya uhalifu na kukimbilia nchi nyingine, mim naona sio sahihi kuwa na mitazamo negative tu. Tanzania tunahitaji kubadilika. Kuna umuhimu wa kuruhusu raia wa nchi mbili.

  • @user-masanja
    @user-masanja 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unaweza kupata degree ya uandishi ughaibuni?

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน

      Ndio unaweza

    • @user-masanja
      @user-masanja 7 หลายเดือนก่อน

      @@EBMSWAHILI mtoto wangu alitamani sana kuja marekani kusoma anapenda sana uandishi wa vitabu.

  • @alexMsangi
    @alexMsangi 8 หลายเดือนก่อน

    Mr ebm me ni derever wa kawaida tuuh na kielimu nina diploma katika Course za afya ila nahitaji kusoma truck driving marekan au canada utaratbu ukoje na ada zake zikoje yaani kifupi naanzia wapi

  • @Salumchiwili2023
    @Salumchiwili2023 7 หลายเดือนก่อน

    Vijana wanajazana kupeleka cv clouds wakati kuna mafursa kibao ni wew kujishuhulisha tu

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu vipi?Kwanza nakutakia kheri ya mwaka mpya...vipi kuhusu email..unaongea kutoka Bahrain

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  8 หลายเดือนก่อน +1

      Mambo mkuu. Ndio nimepona nimeanza kusoma na kujibu

    • @alijumamohamed
      @alijumamohamed 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@EBMSWAHILIsawa mkuu kila la kheri

  • @Solace577
    @Solace577 8 หลายเดือนก่อน

    😂Tanzania kuna chuki sana za maisha, watu wanateseka na mifumo ya ajabu ajabu na watu wa serikali ili wabaki wao tu wana chuki sana

  • @user-rq6tn5md2k
    @user-rq6tn5md2k 7 หลายเดือนก่อน

    Hv najiulizaga scholarship ful funded zipo au n uongo tu na kama zipo division gani sahihi za kupta mtu anaenda kusoma nje kusoma

    • @WitnessShamba-wm4tq
      @WitnessShamba-wm4tq 7 หลายเดือนก่อน +1

      Zipo sana Wala hawaangalii sana matoke yako,ni issue to ujue kutengeneza good profile,unapata sana tu

    • @user-rq6tn5md2k
      @user-rq6tn5md2k 7 หลายเดือนก่อน

      Inakuwaje Sasa unaweza nielekeza labda vizuri mm namalza form 6 mwaka huu nataman kusoma nje ya nchi

    • @user-rq6tn5md2k
      @user-rq6tn5md2k 7 หลายเดือนก่อน

      @@WitnessShamba-wm4tq ntawezaje kkupata kwa njia labd ya WhatsApp au Instagram tuweze kuongea Zaid na Zaid ili nami nipate hio fursa

    • @WitnessShamba-wm4tq
      @WitnessShamba-wm4tq 7 หลายเดือนก่อน

      @@user-rq6tn5md2k kipenzi profile nzuri haichukui muda mfupi kama unavofikiri,kwanza unatakiwa uoneshe ni kivipi mwingiliano wako na jamii inayokuzunguka,Yani una manufaa Gani kwenye jamii yako,kwann upewe wewe scholarship,una impact Gani kwenye jamii yako,Sasa kiufupi unatakiwa uwe na evidence ambako ikiwezekana fungua either kama ni Instagram ama TikTok ama Twitter ama link ambayo itaonesha vile unavyofanya kwenye jamii yako,mfano kuelimisha jamii kuhusu kitu Fulani unatakiwa uoneshe Kwa video,picha na maandishi,na itakuwa vizur zaidi kama utaandika na walau nakala ya kitabu ukiweke mtandao inayohusiana na kitu husika katika jamii hiyo,hivyo ni vichache jinsi ya kutengeneza profile nzuri itakayokupatia scholarship

  • @user-ih9xy5vd5d
    @user-ih9xy5vd5d 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini huwezi kuzungumza taratibu akaeleweka? Unarusha mikono sauti ya juu, dahh 😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huwa inanishangaza sana uongeaji wake. Hata waNigeria hawaoni ndani. Hujui vita au raha basi tabu tupu.

    • @HappyMngale-tj8hv
      @HappyMngale-tj8hv 8 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ana namna zake za kuzungumza. Usihukumu

    • @devidjav3583
      @devidjav3583 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona tunamupata sisi? Tatizo ni wewe

    • @edwardkasubi5135
      @edwardkasubi5135 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe tu humuelewi pia hiyo ndio ongea yake wapo wengine kama yeye ktk uzungumzaji Hon.Agrey Mwanry aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora

    • @user-sx1xi4yb2z
      @user-sx1xi4yb2z หลายเดือนก่อน

      Huyu ana kigugumizi,kwahiyo achen makasiriko yenu,kama hamumuelewi tafuten mtakae muelewa

  • @myself4128
    @myself4128 8 หลายเดือนก่อน +1

    Msimuamini sasa Huyu kiazi,atawapiga! Hana hata muda mrefu kivile msikilize Kiingereza cha Kuunga unga bado!

    • @madownloadionlinetv759
      @madownloadionlinetv759 7 หลายเดือนก่อน

      ww hujielewi

    • @WitnessShamba-wm4tq
      @WitnessShamba-wm4tq 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mbwa,sidhani kqma unamfahamu vizur huyu,anapenda sana kuongea kiswahili sana na kingereza anajua sana,kwahyo kabla haujacoment unafaa umfhamu kwanza,mbwa wewe😒

    • @user-sx1xi4yb2z
      @user-sx1xi4yb2z หลายเดือนก่อน

      Huyu ni mbwa kweli,maana limekurupuka tu kuja kucoment utopolo

    • @ayubujosiah
      @ayubujosiah 28 วันที่ผ่านมา

      Lete ushahidi achana na EBM anavyojitolea kutoa madini bure