Je, Unaweza kujiajiri na kufanya YouTube? Unaanzaje ili nawe uweze kulipwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2021
  • Watu wengi wamekuwa wanafanya TH-cam kama njia yao kubwa ya kupata kipato badala ya kazi tulizozoea kwenda ofisini na kuajiriwa hasa ukiwa msomi.

ความคิดเห็น • 17

  • @shedrackmeli5045
    @shedrackmeli5045 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pomoja sana

  • @safitvswahili1753
    @safitvswahili1753 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukran sanaa bro!!!! Naendelea kujifunza nakufanyia Kazi ubarikiwe sana muha mwenzangu nisiye jua kiha.....

  • @jumasharif3580
    @jumasharif3580 ปีที่แล้ว +2

    Jee unahita vifaaa gan ili uwe you tuber

  • @mimiummie
    @mimiummie ปีที่แล้ว +2

    Infomartive

  • @jkm5341
    @jkm5341 2 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri ila hujasema jinsi ya kufungua channel,requirements kwa kufungua channel.

  • @Maisha-Halisi
    @Maisha-Halisi 4 หลายเดือนก่อน

    Well said bro! Nice video.

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 5 หลายเดือนก่อน

    Ooh Asante sn kwa somo zunri🎉

  • @leticiakomba6695
    @leticiakomba6695 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa yaaani hapo umefanya vema Sana.

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana, na karibu

  • @StaniTiba
    @StaniTiba 3 ปีที่แล้ว +2

    Sorry mfano ndani ya miezi 12 sijafikisha inakuaje hapo?

  • @user-iq5xs7si5k
    @user-iq5xs7si5k 8 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu nisaidiee namimi

  • @kelsamtv5529
    @kelsamtv5529 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa kaka

  • @simbaexclusivetz
    @simbaexclusivetz 9 หลายเดือนก่อน

    asante kwa elimu hii kaka nilikuwa na ombi la kufundishwa jinsi ya kujaza form ya Google Adsense

  • @Silvestar-c1v
    @Silvestar-c1v 8 วันที่ผ่านมา

    Kwan hiyo ni simu unaoi2mia au ni kompiyt maan simu nahic haiwzi kuonesha vi2 Ivo?

  • @giant_701
    @giant_701 4 หลายเดือนก่อน

    Samahani uncle mfano nimefikisha subscribers 1000 na watch hours 4000 kabla ya Siku 365 je naweza kuwa monetized? Au mpaka hizo siku ziishe

  • @naftarinyakimwe4856
    @naftarinyakimwe4856 ปีที่แล้ว

    Hvi unalipwa kwa njia ya bank au Mpesa?