Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ย. 2023
- Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.com/store/apps/de...
Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com/paypalme/EBMSC...
2. CASH APP cash.app/$EBMSCHOLARS
Nakubali Kaka ebm... Tangu 2016,wewe n mentor wangu mpk kufungua akaunti ya TH-cam.... One day yes!! nitawin green card lottery.... Hakuna kukata tamaa...👊
Mr. Makulilo unatoa taarifa muhimu, zinazo saidia Watu wanaopenda kwenda ughaibuni. KAZI NZURI ✌🏾
Kaka EBM, ahsante sana Kwa elimu unayoitoa Kwa moyo,,,, naomba siku Moja utusadie kupata ufafanuzi wa currency za mareken, coins and notes kuanzia ndogo adi kubwa
Nimecheka sana kaka
Jamaa kanivunja mbavu zangu sana leo...et toka huko konde boy wewe😂😂😂😂
Nakuvulia kofia Mr EBM,wewe ni msema kweli 👍
Kaka hongera pia kwa kufungua ofisi yako DSM barikiwa sana na bwana mungu.
Kaka nakukubali. Nimecheka kweli ATI kuongea English ukiwa unakula karanga😂
Unatupa vitu vizuri na educative
Ndugu EBM binafsi nakushukuru kwa taarifa ili kama mimi mwenye ndoto ya kuja USA nijiandae kisaikolojia
wnegine wanataka uwishi kama wao waliyopitia sio roho nzuri ya kuelewesha kama ulivyo(kamati ya roho mbaya) wanakupoteza na kelele nyingi bila muelekeo,asante kwa ujumbe huu
Haya madini sio ya nchi hii 😂😂🤝🤝Kaka ebm sijawahi juta kukufahamu , all the best kaka .
Kaka twafurahia mafundisho Yako kongole kwa kazi swafi kabisa.
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
Ubarikiwe kaaabisaaa
Nakufata vizuuuri Mheshimiwa Ernest Makulilo
Kaka ebm nakubali sana elimu unayotupatia juu ya maisha ya state.
Asante sana kwa elim yako
Uko vizuri sana kaka
Kaka EBM mungu akubariki sana kwa kutoa elimu ya huko USA na Canada
Welcome kk leo naitiji uniambie vienye naweza ogea na ww kuhusu werk experience pls nitaongea na wew kupitia jia gani kk❤❤
Wallahi ayo unayosema nikweli Mheshimiwa Ernest Makulilo
Asante Kwa story
Respect full madini
Niko tayaliiiiiii🎉
Asante kaka
Naona napata elimu pasipo lipa ada kaka EBM
❤
Hahhahahahha kaka Ebm kwahyo wabakie na bongo kisa matako😂😂😂😂😂
Ninakupata mkuu wa kazi
Chef Stans @royal Caribbean cruise
Kwa nini marekani 🇱🇷🇱🇷🇱🇷 wengi wameweka bedera kwenye nyumbani zao kaka
Na mm nshapigwa iyo sitosahau 😂2014
UKWELI.mtupu jmn ni shida
Steaz umenikumbusha mbali sana kudadeki😂😂😂😂 tumeluka sana
Poa pro
Leo haujamtaja mzee MPILI 😂
Hi❤❤👌👌🇧🇮🇧🇮👌👋
Wajina banaaaa😅😅😅
😂😂😂 inachekesha ila ni very informative
😂😂😂😂
Mr.content
😅 unatutoa ushamba kweli kweli.
Hi bro am Phares Jackson from Mwandiga Kigoma so how can I gel LMAI
Nijibu Kk ebm naomba unijibu😢 nimekuandikia sana lakini haunijibu pls nataka uniasaidie kutengeneza werk experience nipatie maongezi 😢 i need it #werkexperience
Samahani mkuu off course niliandika vibaya mkuuu
Nimeandika sasahivi naheshima kk ebm so nimekuandikia gmail kama unaweza nitengenezea #werk #experience pls🙏
Mimi wife alikataa hata kupigwa picha tu nikajaza separate je itakuwaje nikishinda dv lottery kaka
😂😂😂😂😂😂😂😂 yani hapo hadi unazima taa ili umuelewe mtu 😂😂😂😂😂😂 Wallah
Je visa ya student unaipataje..? Bro naomba unisaidie
Eti unachambua vinavyo kuhusu na visivyo kuhusu unaacha😆😆😆sijui wengine tutakutwa na lipi😅
😂😂😂😂😂😂
Also I am in need to be join in ur group WhatsApp
😂😂😂😂
.
🇹🇿
🤣🤣🤣🤣
Kwani ushamba umekuisha?😂😂😂😂😂😂 Mbona bado BONGE LA MSHAMBA TU!!!!!.....
Swali Hawa wanakuwa homeless ni lipi walifanyalo kuwafikisha papo?
Tujue kabisa waliyatimbia wapi tuamue😂😂
@@MalJr01 😁😁😁kweli kaka.
@@nathanontegi3222asilimia 95% ni waathirika wa ulevi na madawa za kulevya, wengi wao walisha pelekwa rehab mara kibao wanatoroka, wakisha toroka kila mara kulingana na haki za binadamu hauwezi wachukuwa na nguvu kama waalifu changa moto ni nyingi
26:34 39:30 39:38
Bro naomba Email yako
Mimi wife alikataa hata kupigwa picha tu nikajaza separate je itakuwaje nikishinda dv lottery kaka
😂😂😂😂😂😂