WATANZANIA Waishio SOUTH Wasimulia XENOPHOBIA ILIVYOWATESA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 87

  • @Villagekidtz
    @Villagekidtz 5 ปีที่แล้ว +16

    Ukisema maisha Tanzania ni mepesi nakataa. Na ukisema maisha south ni mepesi pia nakataa. Maisha ni ridhki mungu aliyokupangia na vile unavyojituma.
    Nimeishi nchi nyingi na hata south nimeishi, ukiniambia maisha Tanzania ni mepesi nakataa ila inategemea unafanya nini.
    Hata kwenye Kazi yangu pesa nyingi inatoka nje ya nchi.
    Shida hiyohiyo moja mtanzania ukimuambia 30000 hana na ataitafuta hata ndani ya mwezi. Lkn mzungu akinitafuta Yeye mwenyewe bill kumwambia anakuambia nitakupa 50usd na akiganikiwa anakutumia Zawadi bila kumuomba zaidi hata ya 200usd. Wakati mtanzania atakuambia tu ahsante sina pesa ila nikipata nitakupa soda.
    Hakuna sehemu kwa africa maisha nimepesi kama south africa,botswana na namibia .
    Usipokuwa wanaonda south africa wengi kwanza hawana elimu, Pili busara hawana tatu ni wale hata tanzania walikuwa Wezi na wahuni mbwa kupindukia .
    Lkn nakuambia kama una kipaji hata cha kushona nguo. Nenda namibia tena lipia kabisa work permit yao hata ya miezi 3 tu. Halafu utaona na utakuja kunipa ahsante.

    • @elizabethmabula101
      @elizabethmabula101 5 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa. Yote nayosema

    • @britneymbogua86
      @britneymbogua86 4 ปีที่แล้ว

      Duuh nakataa nyumbani maisha magumu ww ehe maswala ya kula kuku hadi chrismas au nyama ila South nyama maharagwe kawaida tuu hospital unatibiwa Za Hali ya juu malipoa yake kidogo tuu tofauti na nyumbani

    • @grandneo5264
      @grandneo5264 4 ปีที่แล้ว

      Kweli namibia biashara inalipa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa wala uwongopi wengi kabulu wababaishaji tu

  • @Villagekidtz
    @Villagekidtz 5 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna nchi imekaa vizuri kipesa kama namibia lkn usiende kwa njia za panya na wala usifanye biashara bila kibali na pia usifanye Kazi za halaam.
    Nakuambia namibia hata mchungaji ukisema vipofu wataona.
    Kama kipofu amekuja na hajaona unakamatwa kwa kudanganya watu.
    Namibia nzima hutaakuta mchungaji anahubiri vipofu wataona, viziwi watasikia ,wasio na Kazi watapata,wasiopata ujauzito watapata ,wasio na waume watapata kwa jina la yesu.
    Hukuti huo ujinga na utaperi . utaishia tu tanzania na kenya na naigeria ulipoanzia huu ujinga na utaperi.
    Kule unakamatwa hata wiki haifiki .
    Ukinibishia nenda kajionee na namibia hakuna rushwa jomba. Ukikamatwa ujue ni jela tu hata kama una milioni

    • @frabomdemwa8880
      @frabomdemwa8880 5 ปีที่แล้ว

      lugha sasa wanatumia kiingereza au

    • @Villagekidtz
      @Villagekidtz 5 ปีที่แล้ว

      @@frabomdemwa8880 kingereza ndio

    • @yohanabaraka8192
      @yohanabaraka8192 5 ปีที่แล้ว

      Inaonekana una idea sana....tuchekiane bro 0753659016

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Namibia wakaksi sana na jela zao hatari sana

  • @salomemphela878
    @salomemphela878 5 ปีที่แล้ว +4

    Daaaaaah Mwenyezi Mungu atunusuru

    • @lucky9285
      @lucky9285 5 ปีที่แล้ว

      Awanusuru na nini? ?

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +1

    South Africa Mtu Anaweza Akawa Anauza sigara , sweet (kibongobongo pipi) biskuti Akawa Anaishi ghorofani haya kibongobongo huwezi kuishi ghorofani kama unauza sigara na biskuti

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 5 ปีที่แล้ว +1

    Maisha popote , kila mtu anasehem ambapo anaona anaweza kuingiza kipato chake so kama upo TZ na unaingiza mkwanja wa kutosha mshukuru mungu , na kama haupo tz ila unaingiza mkwanja poa mshukuru mungu , wala sio kwasababu unaakili sana bali mungu ndo alivyokupangia

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 4 ปีที่แล้ว +1

    Maahllah tena wazur duh

  • @dreamhighmotivation121
    @dreamhighmotivation121 5 ปีที่แล้ว

    @FENITV
    FANYA KAMA UNABONYEZA LINK HII HAPO
    SUBSCRIBE NA SHARE TAFADHALI

  • @erickmapunda4231
    @erickmapunda4231 5 ปีที่แล้ว +10

    Mimi NP tz bush ila ninauwezo wa kuingiaza elfu 30 kwa ck sasa sioni sababu ya kwenda south.

    • @OmarHussein-mi1pw
      @OmarHussein-mi1pw 7 หลายเดือนก่อน

      Brother tulia Zak usifany mistake ya kuja S.A

  • @philemonkaduma9213
    @philemonkaduma9213 5 ปีที่แล้ว +1

    Fighters

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 5 ปีที่แล้ว +2

    ushauli Tanzania kuna waendesha boda boda na waendesha bajaji wana piga hela sana

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 5 ปีที่แล้ว +2

    Poleni kaka zangu Bora europe euro mia laki mbili na hamsini tafuteni michongo mkiwa huko kupata visa rahisi

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 5 ปีที่แล้ว

      Wewe uko Europe unapata ngapi? uro 100

    • @aminakawawa1935
      @aminakawawa1935 5 ปีที่แล้ว

      @@eddimalon6051 mie naishi huku kusafisha tu pesa ndefu usiweke kejeli nimeolewa huku Austria

    • @eddimalon6051
      @eddimalon6051 5 ปีที่แล้ว +1

      @@aminakawawa1935 Ndio maana unapesa ndefu, kwa sababu hulipi nyumba.

    • @rukiyahussan4190
      @rukiyahussan4190 5 ปีที่แล้ว

      Viza inapatikana kwa ela ya kitanzania bei gani na iyo kazi yakusafisha kwamwezi bei gani nataka nijipange

    • @mariamdimosso621
      @mariamdimosso621 5 ปีที่แล้ว

      Europe kutamu Ila usije kichwa kichwa uwe na mwenye na huwe na visa ya kufanyia kazi tulio olewa haka hakuna longolongo

  • @veronikamkuwele9072
    @veronikamkuwele9072 5 ปีที่แล้ว +5

    Mie naona wamechoka kweli rudini tu nyumban

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 ปีที่แล้ว

    Kwa ufupi watu ambao Awana maisha tz ndio wanao enda south

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Wanakwenda kutafuta na kujifunza mambo mengine zaidi

  • @ismailmbogo3408
    @ismailmbogo3408 5 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli south Africa wananchi baala
    Na wakimbizi balaa
    Iyi inchi ni vurugu tupu

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 7 หลายเดือนก่อน

    Uyo kaka namfahamu jamaniii

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +1

    South Africa kama Tupo Shule Mimi Mwenyewe nilikuja south Africa sijui English lakini sasahivi Najua kuongea English, kizulu Bongo Niliishia Darasa la 7 tuu

  • @britneymbogua86
    @britneymbogua86 4 ปีที่แล้ว

    Mfike na capetown basi Global TV sio mnaishia tuu johbag

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 5 ปีที่แล้ว +4

    Mngejua TZ ilivyo na rasilimali za maana, nyinyi msinge hacha TZ kwenda nchi za wengine kusumbuka hivyo na kunyanyaswa kana kwamba huku mmefukuzwa, hivi mnajua wazungu wanatoka ughaibuni kuja hapa TZ na wanawekeza mitaji kidogo na kupata utajiri mkubwa, nyie vijana wa TZ mnakwama wapi, je mnajua mnatia aibu huko nje?, eti unatoka TZ unaenda kuwekeza biashara za saloon na kazi ndogondogo huko south Afrika ambazo kipato chake ni kidogo kuliko ungewekeza hapa Tz wakati TZ tuna ardhi ya kutosha ambayo inarutuba ya kutosha kiasi kwamba ukikomaa msimu mmoja tu wakilimo kwa kulima angalau EKARI mbili kwa mazao ya mbogamboga na matunda na kujinyima unatoka kimaisha, hapo ujahamua kulima zao la mpunga na mazao mengine nk, ebu watz vijana wenzangu hacheni utumwa wa fikra eti muonekano mko ughaibuni wakati hakuna mnachofanya cha maana, rudini TZ kumenoga mjenge taifa na maisha yenu kwa ujumla hacheni uvivu wa fikra, huku TZ mazingira ya kibiashara na shughuli mbalimbali za kuwapatia vipato yameboreshwa, sasa hivi hapa TZ, MTZ anafanya biashata popote atakapo ndani ya TZ la msingi uwe na kitambulisho cha machinga ambacho ni elf 20 tu kwa mwaka, yale mambo ya zamani ya Mgambo kukamata machinga hayapo tena TZ, vijana huku TZ wanatusua kimaisha, Rudini home hacheni swaga za kizamani za kitumwa za wakoloni walizotufanyia ambapo wazee wetu walipelekwa huko ughaibuni kwa lazima wakiwa na minyororo shingoni na miguuni huku wakichapwa mijeredi wkt nyinyi mnajipeleka wenyewe kwa nauli zenu, halafu mnaanza kulalamika, kwanza hiyo nauli na pesa mnayotumia kuomba viza ni mtaji tosha kwa hapa TZ kufanya biashara na shughuri yoyote ya kimaendeleo la msingi fuata sheria za nchi. HUKU TZ Swaga ni HAPA KAZI TU, UVIVU HAUNA NAFASI.

    • @Villagekidtz
      @Villagekidtz 5 ปีที่แล้ว +5

      Maisha ndivyo yalivyo ndg. Kuna wajerumani wanakwenda america na kuna wa america wanaenda ujerumani. Na Wewe ukipata pesa tanzania kuna mwingine hata hajui atakula nini.usione kwa kuwa umepata Wewe Ndio useme tanzaniaaaishaazuri. Nimeishi nchi nyingi lkn ukiniuliza nitakuambia Tanzaania maisha ni magumu kuliko unavyofikilia Wewe.

    • @Munyama675
      @Munyama675 2 ปีที่แล้ว

      We ni mpumbavu

    • @MarygorethShirima
      @MarygorethShirima ปีที่แล้ว

      Nabii hakubariki nyumbani kaka alaf maisha popote mtaftaji achoki

    • @MarieHeleneEtienne-bf9ub
      @MarieHeleneEtienne-bf9ub 6 หลายเดือนก่อน

      Mzee. umegonga msumali WA moto

  • @meena-ol6fo
    @meena-ol6fo 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto wa mwaka mmoja anasoma darasa la kwanza?😳😳😳chekechea kaanza ana miezi miwili😂 acha uwongo we mtangazaji

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 4 ปีที่แล้ว

      Muongo huyooo

    • @mohamedndaro1431
      @mohamedndaro1431 8 หลายเดือนก่อน

      na mimi pia nipo hapo hapo ulipo simama wewe kuhusu hili la mwaka mmoja kuuliza habari za dunia...!!

  • @shukuruelijoseph7076
    @shukuruelijoseph7076 ปีที่แล้ว

    Waache watafute maisha

  • @georgemwidima3851
    @georgemwidima3851 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni. Huku hata kilimo, bodaboda, ujasiriamali unalipa zaidi kuliko hizo mia mia randi.

  • @frankchaula3974
    @frankchaula3974 5 ปีที่แล้ว +1

    noma na nusu

  • @bizzosela6186
    @bizzosela6186 5 ปีที่แล้ว +2

    Bhn xenophonia ilikua kwa wageni wote sio kwa wageni wa mji flani kwangu me nasema NO achuzy, RAIA SIS WATU WEUSI WOTE WAGENI SEMA MABULA NDO WENYEJI

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁 kodi shikamoo

  • @adamumuki1242
    @adamumuki1242 3 ปีที่แล้ว

    Uyo sio mbongo kwanza

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 5 ปีที่แล้ว +3

    Wew,hao wote unaongea nao ni new come ....uwezo wa kukufahamisha mdogo ...hujakutana na wakongwe wabongo wenyew wa kitambo sura zote hizo ni mpya kutana na wakurungu wakupe mawe ...

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 3 ปีที่แล้ว

    Pambana maisha ni popote

  • @mejakimaro2773
    @mejakimaro2773 5 ปีที่แล้ว +1

    Namuona mwanangu omary hapo

  • @MarieHeleneEtienne-bf9ub
    @MarieHeleneEtienne-bf9ub 6 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa mweye fulana ya. hallo afrika ameelezea vizuri from a to z

  • @dollyandthedoliganeloi3025
    @dollyandthedoliganeloi3025 5 ปีที่แล้ว +2

    Ivi south Africa shule sio bure

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 ปีที่แล้ว

    Mh!na vipi watu kupigwa risasi?

  • @hamisishempoo186
    @hamisishempoo186 3 ปีที่แล้ว

    Oyawee

  • @nemesdavid7346
    @nemesdavid7346 5 ปีที่แล้ว +1

    Banda kakimbia alikua ananyoa hapo

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 7 หลายเดือนก่อน

    Kigoma ujiji

  • @shabannkondo5726
    @shabannkondo5726 5 ปีที่แล้ว +1

    Hamjajipanga tu bongo kila kitu unapata

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 ปีที่แล้ว

    Wanashugulika na nn hko hao

  • @ismailmbogo3408
    @ismailmbogo3408 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mwisho kaongea ukweli

    • @emmanuelmakongoro8228
      @emmanuelmakongoro8228 5 ปีที่แล้ว

      I'm well upi?hajui chochote muulize yeye anafanya kazi gani?

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 ปีที่แล้ว

    Nyumbani nyumbani tu kama hamuna kazi nyie tu si tunaishi fresh 20000 kwa siku mtu hukosi uko roho mkononi south africa hakufai

  • @azizalivingston1954
    @azizalivingston1954 3 ปีที่แล้ว

    Kwrr

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 ปีที่แล้ว +4

    Ahhh si mchezo mtangazaji kaniumiza mbavu😂😂 'mtoto wa mwaka 1 anajua xenophobia 😂😂 hy mtoto anaongea mwaka 1 kwel ? 😂😂😂 Utaniumiza kaka

    • @matthewjohn5108
      @matthewjohn5108 5 ปีที่แล้ว

      Anazingua boya huyo. hahahaha, si ajabu alizaliwa na meno yote 32. hahahahaha

  • @annaflorencebulondo2614
    @annaflorencebulondo2614 5 ปีที่แล้ว +3

    Wana pambaneni msikate tamaa Ile kuweni makin Hao wajinga wa huko wasiwachome moto... Msiwe kama wabongo wengine kutoka Mazingira waliozaliwa ni issue... Mimi nawaita mashujaa.. Mmetoka kuthubutu.

    • @amourkhamis8259
      @amourkhamis8259 5 ปีที่แล้ว

      Nakaza macho kwa hao vijana labda nitamuona kaka yangu.aliondoka tokea nina miaka 13 mpaka sasa nina miaka 32.wanateseka lakini bado wameganda..cheefuu.. RUDINI NYUMBANI KUMENOGA.

    • @festobazilio8894
      @festobazilio8894 5 ปีที่แล้ว

      @@amourkhamis8259 Aheri kuwa mtumwa kwenu kuliko kuwa mtumwa kwa mtu mcheza kwao hutuzwa.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini interview mmefanyia ndani? au wamejificha?

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 ปีที่แล้ว

    Hakufai uko bwana roho mkononi

  • @happymwakaluka5286
    @happymwakaluka5286 5 ปีที่แล้ว

    Ludi nyumbani

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 5 ปีที่แล้ว +2

    Maisha popote , kila mtu anasehem ambapo anaona anaweza kuingiza kipato chake so kama upo TZ na unaingiza mkwanja wa kutosha mshukuru mungu , na kama haupo tz ila unaingiza mkwanja poa mshukuru mungu , wala sio kwasababu unaakili sana bali mungu ndo alivyokupangia

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 5 ปีที่แล้ว +7

    Mngejua TZ ilivyo na rasilimali za maana, nyinyi msinge hacha TZ kwenda nchi za wengine kusumbuka hivyo na kunyanyaswa kana kwamba huku mmefukuzwa, hivi mnajua wazungu wanatoka ughaibuni kuja hapa TZ na wanawekeza mitaji kidogo na kupata utajiri mkubwa, nyie vijana wa TZ mnakwama wapi, je mnajua mnatia aibu huko nje?, eti unatoka TZ unaenda kuwekeza biashara za saloon na kazi ndogondogo huko south Afrika ambazo kipato chake ni kidogo kuliko ungewekeza hapa Tz wakati TZ tuna ardhi ya kutosha ambayo inarutuba ya kutosha kiasi kwamba ukikomaa msimu mmoja tu wakilimo kwa kulima angalau EKARI mbili kwa mazao ya mbogamboga na matunda na kujinyima unatoka kimaisha, hapo ujahamua kulima zao la mpunga na mazao mengine nk, ebu watz vijana wenzangu hacheni utumwa wa fikra eti muonekano mko ughaibuni wakati hakuna mnachofanya cha maana, rudini TZ kumenoga mjenge taifa na maisha yenu kwa ujumla hacheni uvivu wa fikra, huku TZ mazingira ya kibiashara na shughuli mbalimbali za kuwapatia vipato yameboreshwa, sasa hivi hapa TZ, MTZ anafanya biashata popote atakapo ndani ya TZ la msingi uwe na kitambulisho cha machinga ambacho ni elf 20 tu kwa mwaka, yale mambo ya zamani ya Mgambo kukamata machinga hayapo tena TZ, vijana huku TZ wanatusua kimaisha, Rudini home hacheni swaga za kizamani za kitumwa za wakoloni walizotufanyia ambapo wazee wetu walipelekwa huko ughaibuni kwa lazima wakiwa na minyororo shingoni na miguuni huku wakichapwa mijeredi wkt nyinyi mnajipeleka wenyewe kwa nauli zenu, halafu mnaanza kulalamika, kwanza hiyo nauli na pesa mnayotumia kuomba viza ni mtaji tosha kwa hapa TZ kufanya biashara na shughuri yoyote ya kimaendeleo la msingi fuata sheria za nchi. HUKU TZ Swaga ni HAPA KAZI TU, UVIVU HAUNA NAFASI.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 ปีที่แล้ว

      😅😅😅 hivi uliisha wahi kwenda nje ya Tanzania?

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 5 ปีที่แล้ว

      We una hekari ngapi za mchicha mpaka sasa? Acha kuwabeza watu . unaongea habari ya visa nani kakudanganya south Africa unaitaji. Nyie ndio wale miaka 5 inapita bila safari yoyote hata morogoro uijui

    • @tumainirkyando8128
      @tumainirkyando8128 2 ปีที่แล้ว

      Acha watu watafute maisha wanapoona kuna unafuu ! Mradi hawavunji sheria, wewe kukaa Tz,