THEMBA: MWAMBA ALIYEZAMIA na KUJIFICHA Kwenye MATAIRI ya NDEGE Kutoka AFRIKA KUSINI Mpaka UINGEREZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.พ. 2021
  • THEMBA: MWAMBA ALIYEZAMIA na KUJIFICHA Kwenye MATAIRI ya NDEGE Kutoka AFRIKA KUSINI Mpaka UINGEREZA
    KIJANA Raia wa Afrika Kusini, Themba Kabeka, amewahi kuwa gumzo duniani baada ya kuzamia kwenye ndege iliyokuwa ikitoka Afrika Kusini kwenda Uingereza huku wakiwa wamejificha kwenye boksi la matairi ya ndege hiyo.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 563

  • @neddchempu1466
    @neddchempu1466 3 ปีที่แล้ว +68

    Kuna movie inaitwa ADU dahh Kuna dogo na sister wake walizamia kwnye ndege Kama ivo Yann em fanya kuitafuta n same story ya uyo jamaa

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 ปีที่แล้ว +70

    Ukiwa ndani ya YESU, maisha yanakuwa marahisi sana!!! Karibuni kwa YESU, muweze kuenjoye maisha. Karibuni AMEN.

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 3 ปีที่แล้ว +34

    Dah! Life in earth.. maybe kunamaisha mengine mazuri za idi ya haya hapa duniani

    • @ericmtalemwa3573
      @ericmtalemwa3573 3 ปีที่แล้ว

      Kwa Yesu Kristo. Katika ulimwengu wa roho!

  • @captinadams284
    @captinadams284 3 ปีที่แล้ว +13

    This man is loved by God so much

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 3 ปีที่แล้ว +28

    Aisee alafu kuna mtu anaweza sema nimepambana na maisha sanaa😇😇😇😇🙌🙌🙌🙌🙌😭😭😭

  • @sammynganga1257
    @sammynganga1257 3 ปีที่แล้ว +49

    Sauti yako inatuacha vinywa wazi unaeleza kwa utaratibu na umakinifu mzuri mno utokako rohoni mwako .baraka ziwe nawe wakati wote🙏🙏

    • @rizikijaha3390
      @rizikijaha3390 3 ปีที่แล้ว

      Hamshindi ananias edgar

    • @nasrimohamed7556
      @nasrimohamed7556 3 ปีที่แล้ว +2

      Anamuiga Ananias na hampatii

    • @rosetembe3785
      @rosetembe3785 3 ปีที่แล้ว +2

      Chuki Ni mbaya na nisumu eti hampatii,aiseee ,husitake wote tufanane mtangazaji anaweza bwana take it or leave it,watu weusi tunashida kwakweli

  • @user-dg4zc2un1y
    @user-dg4zc2un1y 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtangazaji mashaallh uko vzr sana yaan unaeleza kwa utuo hongera

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 3 ปีที่แล้ว +36

    Huo ndio tutaita Ubaharia,,,big up Gee✌️✌️

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว +14

    Huyo katika wahun wa kuzamia anaongoza dunian

    • @magangakayola4175
      @magangakayola4175 3 ปีที่แล้ว

      Huyo jamaa hatari ana roho ngumu ka paka

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +32

    Huyu jamaa msoma historia mashallah kajaaliwa sauti ya usomaji wa historia

  • @jullipusoe7838
    @jullipusoe7838 3 ปีที่แล้ว +8

    He's the man Kwenye kutafuta usiogope kufa Kwa sababu ni razima utakufa tuu

  • @rajabubojoo9467
    @rajabubojoo9467 3 ปีที่แล้ว +24

    Acha nife bongo tuu c kwa shida za uyu jamaa nampa big up

    • @yahyasuleiman4897
      @yahyasuleiman4897 3 ปีที่แล้ว

      Jamaaa shujaaa sanaaa me sijaonaa kwa kwelii kama huyoo

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว +35

    Imenisikitisha😭😭😭 sana hii hadithi

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว +4

      Sana ndugu yangu.Safari ya masaa 10..Ukakae kwenye boksi nje ya ndege.Humo ndani tu kuna wengine maskio yanazibuka hadi akishuka ndo anakaa sawa.Walifanya hatari sana

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 ปีที่แล้ว

      Hivi temba huyo ndio yupi sio yule mtz

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว

      @@jenyyusuph4973 Hapana huyu ni wa Africa kusini

    • @user-ot2io4cy6w
      @user-ot2io4cy6w 3 ปีที่แล้ว

      @@jenyyusuph4973 😅😅😅
      Unayumba wewe ujue
      ...

  • @carolinek1186
    @carolinek1186 3 ปีที่แล้ว +43

    I remember this !!! Very true story!!!! It made headlines kabisa

    • @omarbosiomar8608
      @omarbosiomar8608 3 ปีที่แล้ว +3

      If you remember then you know better the one who falls down was from where

    • @carolinek1186
      @carolinek1186 3 ปีที่แล้ว

      @@omarbosiomar8608 Lol...from unknown!!

    • @geequeen1116
      @geequeen1116 3 ปีที่แล้ว +1

      Ilikuwa mwaka gani

    • @konsolatatutu423
      @konsolatatutu423 3 ปีที่แล้ว +1

      @@geequeen1116 hii ni story ya kweli kabisa, kama sikosei ilikua 2014

    • @abraham92268
      @abraham92268 3 ปีที่แล้ว

      @@konsolatatutu423 it happened in 2015,,try to read also on my London magazine

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +8

    Shujaa Mkuuuu ni Yesu tu. Aliyekufa msalabani kwa ajili Yetu

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน

      Fuata dini pia tumia akili

  • @vybzfaruqh2712
    @vybzfaruqh2712 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa ni ndege walitamani kupanda sio maisha walitaka kubadilisha pale uingereza wangetoka aje kwa airport pia chakula wangekula nini hapo upendo toka +254 🇰🇪

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 3 ปีที่แล้ว +11

    Kuna jamaa alizamia kwenye fuso, akaja dar lakini akaishia msamvu

  • @samsonsesera6526
    @samsonsesera6526 3 ปีที่แล้ว +6

    Kazi nzuri... basi muwe munatupa na majina kamili ili tukitaka kujua zaidi tuweze mgoogle

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +55

    WAPENDWA YATUPASA KUOKOA NA KUMPA YESU MAISHA YETU . MAANA HATUJUI SIKU WALA SAAA YA SIKU ZETU ZA MWISHO WA KUISH HAPA DUNIANI. TUACHE DHAMBI TUOKOKE JAMAN.

  • @josephmahenge7693
    @josephmahenge7693 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyu ndo yule ole tembaa wa linah 🔥🔥🔥

  • @Royalcakespoint
    @Royalcakespoint 3 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭😭maskini stori imeniliza.....mungu azidi kumsimamia awe na maisha mazuri ya ndoto zake...

  • @anjelinaesau7109
    @anjelinaesau7109 2 ปีที่แล้ว +2

    Dah aisee, Mungu atuepushe shida kweli zipo lakini mwisho wasiku inabidi tukubaliane na hali halisi maana wahenga wanasema mkataa pema pabaya panamuita

  • @smartoscar909
    @smartoscar909 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana kwenye maisha bira kujitoa muhanga uwezi kufanikiwa

  • @nikowabantu6216
    @nikowabantu6216 3 ปีที่แล้ว +20

    Yeye ana kuja uku wakati sisi tuna pangiliya kurudi africa 😂😂😂 ulaya ni stress tu

    • @arafakiloli749
      @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂

    • @nigaaloys2711
      @nigaaloys2711 3 ปีที่แล้ว +1

      Kvp man

    • @sabrinasab2910
      @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว

      Umeeonaee kila mmja ulaya ata sijui kuna nn kikubwa

    • @nikowabantu6216
      @nikowabantu6216 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sabrinasab2910 akuna Chahajabu maisha ni yale yale asiye tumika asile 😂😂

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว +17

    I'm stowaway ship from African and marekani nduguzagu wa Tanzania 🤯🇺🇸

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀watatuua ndugu yang siku hz unafungwa kwa pipa na kupewa mikate huo ndio msamaha wako kama haijatokea Yatch ya kukuokoa basi ndio umeisha😀

    • @rubengaally8476
      @rubengaally8476 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hiyo mwanangu unaishi marekani baada ya kuchukua papuli

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rubengaally8476 😀

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว

      @@lirastanley390 nime chukua storwway Zanzibar to Kenya to.jibuti.to.usa.neworleans

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 3 ปีที่แล้ว

      @@rubengaally8476 never lose hope

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 ปีที่แล้ว +8

    Wale vijana Fode na Yaghuine walifia umoumo ndani ya landing Gear 1994.. Afrika haituvutii kabisa wenyeji. Life ngumu

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 3 ปีที่แล้ว

      Yenyewe ni ngumu na viongozi wenyewe kazi ni kuringia wanna hi na kujionesha vile wako na mali

  • @delishaluhyaqueen6950
    @delishaluhyaqueen6950 2 ปีที่แล้ว +3

    Is so painful 😭😭😭😭 may God protect both of them

  • @rosetembe3785
    @rosetembe3785 3 ปีที่แล้ว +10

    Ukiachana na themba,mtangazaji yupo hot hot big up

  • @kidobuban9740
    @kidobuban9740 3 ปีที่แล้ว +13

    Themba kavunja Record haijawah tokea

    • @utaani1
      @utaani1 3 ปีที่แล้ว +1

      Mromania alifanikiwa kufika London akiwa hai kwa njia hii

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 3 ปีที่แล้ว +1

      Wote wawili wamevunja recod asee

  • @africathemotherlandtv2277
    @africathemotherlandtv2277 3 ปีที่แล้ว +58

    Huyo temba ni mwanaume

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 3 ปีที่แล้ว

      Huo si uwanaume. Ni ukumbavu wa Hali ya juu sana

  • @hasanissantambarasamata3419
    @hasanissantambarasamata3419 3 ปีที่แล้ว +13

    Unajua jaman kunawatu wanamaisha magumu kuliko ww uliyeshika simu ya smart phone na kuangalia hii video, uyo jamaa kapitia magumu kuliko tunavyo simuliwa,

  • @mohamedaminah3448
    @mohamedaminah3448 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah!maisha magumu ndio yanamfanya MTU kuamua mamuzi ya Hatari .avuke au aishe. Ni kijana shupavu.congatulations .waliamua mamuzi Hatari sana.

  • @daveondiek9926
    @daveondiek9926 3 ปีที่แล้ว +2

    Wah! God Bless You Brother 🙏
    Africa Jameni 🤔

  • @raphaelmganga374
    @raphaelmganga374 3 ปีที่แล้ว +17

    Duuuuh hyo kweli hatariii.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 ปีที่แล้ว +10

    Daaah nawaza hapa waliwezaje kupata hewa huko juu,maana ndege ikiwa juu hakuna hewa tena

  • @utaani1
    @utaani1 3 ปีที่แล้ว +5

    Kuna kijana kutoka Romania alifanikiwa kutoka Romania mpaka London kwa njia hii na ni pekee alofanikiwa kufika UK salama ila haikuwa masafa marefu

  • @mohaz612
    @mohaz612 3 ปีที่แล้ว +12

    Me pia nataka nijaribu inshaallah😔life africa ni ngumu

    • @alimwakasidi7680
      @alimwakasidi7680 3 ปีที่แล้ว +3

      Tena usijaribu hata kidogo utajuta kuzaliwa...maisha wanayo pitia ndugu zetu wa Africa we acha tu...mbona nyumbani pazuri jamani

    • @felixmlelwa9048
      @felixmlelwa9048 3 ปีที่แล้ว +1

      Africa is right place for black people coz no segregation

    • @willeydavid2108
      @willeydavid2108 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu maisha ya Africa nimatamu toa hiyo fikra nakwambia sabb najua tunavyopitia huku kwahawawatu weupe acha tu

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว +1

      Ww Hutaki Kama Kweli Usingesema🤣🤣🤣

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 3 ปีที่แล้ว +1

      @@alimwakasidi7680 ten pazuri kuliko uko sehem nyingine kwenu ni kwenu

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 3 ปีที่แล้ว +17

    HIVI KWANN TUSIWE MAJASIRI WA KUIHUBIRI INJILI , HATA TUKIPATA MISUKO SUKO. TUNAKUWA NA THAWABU MBINGUNI.

    • @kidawarashidy1917
      @kidawarashidy1917 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂kweli kabisa

    • @jullipusoe7838
      @jullipusoe7838 3 ปีที่แล้ว +1

      Njaa ikikubana unageuka muhinjili fake..

    • @timotheojumal894
      @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว +1

      Umezungumza jambo kubwa sana lakini wachache watakuelewa,
      Mathayo 9:37
      [37]Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.
      Mathayo 6:19-21
      [19]Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wevi huvunja na kuiba;
      [20]bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi;
      [21]kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.

    • @jullipusoe7838
      @jullipusoe7838 3 ปีที่แล้ว

      @@timotheojumal894 Amini mungu nasio Maandishi.... Tufahamu kwamba kabla ya vitabu Mabibi na Mababu zetu walikuwa wakiabudu ...Hapa Kunakitu tumepoteza ..

    • @timotheojumal894
      @timotheojumal894 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jullipusoe7838 utamwaminije Mungu bila vitabu kuwepo?,isingekuwa vitabu ungejuaje kama kuna Mungu? Na ni kweli kuhusiana na Babu zetu kuabudu kwao kipindi hicho waliabudu hivyo pasipo kujua na wao kuwa yuko Mungu anaestahiri kuabudiwa kabla ya injili kuenea ulimwenguni kote ndio maana ukisoma,
      Warumi 10:14-17
      [14]Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?
      [15]Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
      [16]Lakini si wote walioitii ile habari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?
      [17]Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
      lakini hata hivyo Mungu aliziita hizo siku kuwa ni za ujinga kwa sababu watu hawakuwa na ufahamu na kile wanachokiabudu na Mungu hakuwahesabia makosa kwao kwasababu injili ilikuwa bado kuwafikia, ukisoma,
      Matendo ya Mitume 17:29-30
      [29]Basi, kwa kuwa sisi tu wazao wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wanadamu.
      [30]Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.
      Basi ni hivyo ndugu yangu kama hii neema leo Mungu ametuletea haijalishi kwa Mazingira yapi ilimradi tayar habari njema imeshahubiriwa na ni kweli basi tukubali kwa mioyo yetu na tutubu, maana hata siku ya mwisho haiwezi kuja ikiwa injili bado haijafika kwa watu wote ulimwenguni kama ilivyo hii leo lazima ihubiriwe ili watu wapate kujua Mungu wa kweli ni yupi,
      Mathayo 24:14
      [14]Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
      Hivyo tusije kuhukumiwa kwa ugumu wa mioyo yetu ikiwa tumehubiriwa na tukachunguza kuwa ni kweli basi tutubu pale tulipokosea,

  • @mozaummy327
    @mozaummy327 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu atamsimamia

  • @thelistener8357
    @thelistener8357 3 ปีที่แล้ว +14

    Yaani kukaa kwa kiti muda wa masaa 11 inachosha zaidi tena unapewa kula kunya unatizama tv chezea sim na vyenginevyo. Lakini huyu kiboko maana kapigea na joto la africa halfu la engine halafu baridi ya uk halafu fume za engine halafu usalama wame risk halafu mguu kavunja jela na kawa homeless yaani watu tuwe na fadhila kwa mungu

    • @solomonichisaye8767
      @solomonichisaye8767 3 ปีที่แล้ว

      Mbona nmesikia walipoteza fahamu masaa kwa mda mrefu

    • @thelistener8357
      @thelistener8357 3 ปีที่แล้ว

      @@solomonichisaye8767
      Yap. Wamebahatika kuishi. Haina haja kurisk maisha kwa popote pale ulipo. Nuhimu rizika na ulichokua nacho

    • @solomonichisaye8767
      @solomonichisaye8767 3 ปีที่แล้ว

      @@thelistener8357 kiukweli siungani nao mkono kwa aina ya usafiri na mbinu walioitumia kusafiri
      Lakin nachoweza kusema walithubutu kufanya kitu kikubwa ambacho ndoto zao iliwatuma...
      Technology na maisha kiujumla ya kipindi kile ilikua ni ndogo Sana akilini mwao wasijue Ni nini madhara yake, hakuna binadamu anayependa kufa Hata kidogo, hili lilikua Ni Kama fumbo kwao..naungana nao kwa uthubutu na jinsi walivyotamani kufikia ndoto zao, ilikua ni Kama ajali kwao katika safari yao ya mafanikio...imagine Kama wangebahatika kutoka salama ,then wakapambana wakawa Ni watu wenye mafanikio makubwa, sidhan Kama waafrika wangewachukulia Kama wazamiaji Bali wangewaona Kama vijana wapambanaji
      Life it's all about decision, taking a risk ...walijua tu Hata Kama wangebaki wasingeishi milele, one day they will die even what!!!!!!

    • @thelistener8357
      @thelistener8357 3 ปีที่แล้ว

      @@solomonichisaye8767
      Sawa sawa

    • @sabrinasab2910
      @sabrinasab2910 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeee

  • @wendesimime3950
    @wendesimime3950 3 ปีที่แล้ว +14

    Dahaaa bonge la storry

  • @willfredmwaniki3268
    @willfredmwaniki3268 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa kaka pongezi sana

  • @petermushi7645
    @petermushi7645 3 ปีที่แล้ว +15

    Hawaii ndio ,legends

  • @mohammedallysingano5771
    @mohammedallysingano5771 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh hii noma kabsaa🙌🏻🙌🏻

  • @djkbyofficial
    @djkbyofficial 3 ปีที่แล้ว +10

    Niatari kabisa 🇨🇩👁️🥺

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 3 ปีที่แล้ว +10

    Jamaaa ana roho ngumu kuliko paka

  • @nashiruhassani5158
    @nashiruhassani5158 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana ndugu kila la hery jijini uk

  • @mwanashazingas6684
    @mwanashazingas6684 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhana Allah

  • @MercyMazmida
    @MercyMazmida 3 ปีที่แล้ว +7

    Umeyaeleza vizuri...heard about it wen it happened n saw it on news I thought it was just one man kumbe they were 2 men . Sm glad he survived but such risk for wat though. I live in uk n it's not better than Africa infact I am hopping to damp my citizenship n move to africa

    • @nasrykhamid4373
      @nasrykhamid4373 3 ปีที่แล้ว

      Let's change citizenships

    • @MercyMazmida
      @MercyMazmida 3 ปีที่แล้ว

      @@nasrykhamid4373 huh is that even possible

    • @kaizamulinda633
      @kaizamulinda633 3 ปีที่แล้ว

      I had a year in New York. I understand You

    • @norahnorah5342
      @norahnorah5342 3 ปีที่แล้ว

      Really?

  • @erickmislakuba4136
    @erickmislakuba4136 3 ปีที่แล้ว +7

    Bwana wee Gabriel ubarikiwe

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 ปีที่แล้ว +7

    Daah! Mbona nihatari saana aisee.!

  • @abdillahiabdallah9534
    @abdillahiabdallah9534 3 ปีที่แล้ว +17

    salute ma hommie

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il 3 ปีที่แล้ว +44

    Huyu ndiyo jamaa aliye imbwa hadi kwenye wimbo wa Lucky Dube unaitwa Other side

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 ปีที่แล้ว +17

    We should thing twice before action.
    Temba & his friend they risk they life for batter life but they dream turn to nightmare. Any way this id lesson for young youth not to stoleaway like that.
    Thanks for the Gabriel his kindness.

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      AHSAN BI LUGHAT ARABIYA🤣🤣🤣🤣

    • @salimharrasy7047
      @salimharrasy7047 3 ปีที่แล้ว

      @@salimsaid7200
      تمام يا أخي سعيد👍

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@salimharrasy7047 👍👍👍

    • @likimaro6
      @likimaro6 3 ปีที่แล้ว +1

      Boss tumia lugha unayomudu tafadhali 😀

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@likimaro6 Anaimudu Ndio Maana Kaitumia.

  • @swabiaa1489
    @swabiaa1489 หลายเดือนก่อน

    Duh hao kwer ndo ma fighter 🙌

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah nomaa sanaa

  • @doreenfrancis9413
    @doreenfrancis9413 3 ปีที่แล้ว +5

    Duhhh🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @granitemkushi1888
    @granitemkushi1888 3 ปีที่แล้ว +13

    Ukisikiliza ngoma ya Lucky Dube " THE OTHER SIDE" utasikia Dube akimsema huyu jamaa...

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka

    • @raphaelngao6778
      @raphaelngao6778 3 ปีที่แล้ว

      asante sana ndg yangu,mungu akubariki

  • @yusuframadhani444
    @yusuframadhani444 3 ปีที่แล้ว +5

    huo uanja wa ndege upoje jamani, sisi tunadandia gari wao wadandie ndege.

  • @hassanhamudy6639
    @hassanhamudy6639 3 ปีที่แล้ว +5

    Umeharibu story sanaaaa kwa sauti yako ya kulazimisha haupo free kabisa adi kerooo!!!!!!!

    • @deusdeditswebe8930
      @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii sauti haivutiii...ingawa taarifa hii imavutia

    • @user-bf3hc6we7j
      @user-bf3hc6we7j 3 ปีที่แล้ว +2

      wiv tu unawasubua

    • @hassanhamudy6639
      @hassanhamudy6639 3 ปีที่แล้ว

      @@user-bf3hc6we7j wivu wa nn xx zaidi asome comments zoote apo chini akikuta zaidi ya tano tatizo ni moja basi ajirekebishe coz on line TV ni nyingi na mpo kwenye ushindani...ndio maana kizuri tesema that story ni nzuri vinginevyo tungeiponda pia iyo Stori xx Ila jamaa ndio awe yeye asiige mtu mwingine

    • @AdamKhalfani-uj4hf
      @AdamKhalfani-uj4hf หลายเดือนก่อน

      ​@@user-bf3hc6we7jyaap wanawivu wakijinga

  • @msakaramohamed1244
    @msakaramohamed1244 3 ปีที่แล้ว +14

    Hii ilishatokea kabla ya huyu jamaa pia ni mtanzania history yake ipo katika wimbo wa jhonny legend show me na video imefanyika zanzibar

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 3 ปีที่แล้ว +6

    Naikumbuka hii story
    Sio mda mrefu tuliona kwenye news
    Baada ya tukio hili

  • @user-wr6lc3jz6g
    @user-wr6lc3jz6g 3 ปีที่แล้ว +3

    Hatar sana

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 ปีที่แล้ว +12

    All in all nimevutiwa na utangazaji wako!

  • @victormsambai3672
    @victormsambai3672 3 ปีที่แล้ว +1

    Very touching

  • @ruuh5149
    @ruuh5149 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna kukata tamaa hp mm mwenyea nina ndoto za kwenda nchi za ulaya nitaenda kwa njia yyt ile ht ya kubembea kwenye matair nitabembea tu yn

    • @crazygaston8066
      @crazygaston8066 3 ปีที่แล้ว

      Unatfa balaa??

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 ปีที่แล้ว

      Hata ucjaribu kabisaaa

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 ปีที่แล้ว

      @@tatuhongeranurushaus485 xx mm nitafanyaje jmn na ulaya natamni kufika

    • @ruuh5149
      @ruuh5149 3 ปีที่แล้ว

      @@crazygaston8066 😂😂😂😂😂

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว

      Hahahah

  • @mohamedyeslam5194
    @mohamedyeslam5194 หลายเดือนก่อน

    Ata angekuja kwangu Europe akae bila shida yoyote,sote from Africa na lazima tusaidiane

  • @shabaniself1240
    @shabaniself1240 3 ปีที่แล้ว +1

    Good boy Thema you is a soldier

  • @benjamindanielduday1246
    @benjamindanielduday1246 3 ปีที่แล้ว +9

    😂😂 wew jamaa unajua kueleza hiv wew ndiyo yule uliyeleta the story book meli ya taitanic

  • @ZayyunSaleh
    @ZayyunSaleh ปีที่แล้ว

    Amini likembe unatoa stor inapendeza mno Masha Allah

  • @Daffa_ogy
    @Daffa_ogy 3 ปีที่แล้ว +10

    Sauti yako inapendeza sana kaka same ya mtiga abdalla utuletee story kama hizi

  • @shamsahussein7265
    @shamsahussein7265 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah 😢😢

  • @petma5551
    @petma5551 2 ปีที่แล้ว +1

    What a life, man👌

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 3 ปีที่แล้ว +7

    Ukisikia mabaharia ndo hawa sas,sio kujiita baharia t wakati kuzamia kwenyew huwez hahahah.

    • @lizzydiy4590
      @lizzydiy4590 2 ปีที่แล้ว

      Kweel kabisa hata kudandia daladala huwez wajiita baharia

  • @brianokwemba7708
    @brianokwemba7708 2 ปีที่แล้ว +3

    Sometimes problems push us to half dead deals

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen

  • @kennedykahulo8593
    @kennedykahulo8593 3 ปีที่แล้ว +6

    Aah awa jamaa hatari awa ndo mabaharia sasa

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 3 ปีที่แล้ว

      sio mabaharia ni maAngania

  • @maggiek5002
    @maggiek5002 3 ปีที่แล้ว +1

    Gabriel na ubarikiwe

  • @lovehawa4758
    @lovehawa4758 3 ปีที่แล้ว +4

    Yarabiii

  • @aboubakar4793
    @aboubakar4793 3 ปีที่แล้ว +28

    Daaaa hii to much kuna watu wana moyo jamn😀😀😀😂😂

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 3 ปีที่แล้ว +1

      Hii yote ni sababu ya maisha ndugu yang...

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza makelele tu ya ndege majanga na mtu ndo uko ndani ya ndege je wao walokuwa nje.Wana roho za kikatili sana Kwa kweli hadi naogopa.

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +2

      Duh..... Acha niangalie ulaya kwenye tv tu inatosha😂

    • @aboubakar4793
      @aboubakar4793 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sitiabubakar2892 hahahaaaa zamia boy🤣🤣

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aboubakar4793 weee...am a lady 😭

  • @stephanoantony1795
    @stephanoantony1795 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanapitia maisha magumu sana nyie acheni nakumbuka mwaka 2017 nilienda South Africa watu naona wanaishi maisha ya atali sana mno wengine ndo ata passport awana tena wameshakaa miaka kibao kurudi Tz aiwezekani tena

  • @fridajosephyusif4364
    @fridajosephyusif4364 3 ปีที่แล้ว +2

    Hizi ndio taarifa za maisha sio kiki za akina harmo na kajala

  • @coax2020
    @coax2020 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @elvismuendo7719
    @elvismuendo7719 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 3 ปีที่แล้ว

    Ulaya kuna shida sana afadhali ya Africa msijiongopee

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakumbuka hawa jamaa walizamia Kenya airways siyo British airways..

  • @deusygolayyanga2304
    @deusygolayyanga2304 ปีที่แล้ว

    Mi Hangaiko Ni Ki2 Kibaya Sana Umasikin Nd Unamfanya M2 Kumwachia Mwenyezi Mungu Maisha Yote

  • @JOLOPLUS.160k.viwes.3hoursago
    @JOLOPLUS.160k.viwes.3hoursago 3 ปีที่แล้ว

    noma

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 2 ปีที่แล้ว

    Uyu ndo Lucky dube alimwiimba kwenye wimbo wa Grass is greener

  • @eliudmaster2175
    @eliudmaster2175 3 ปีที่แล้ว +5

    Huhuhu nafia africa

  • @user-vb2nc5vn7q
    @user-vb2nc5vn7q 5 หลายเดือนก่อน

    Acheni kutafuta kiki kwa matukio ya watu na kupotosha jamii inayotafuta njia sahihi huyo yesu mnamtia doa sana hajui tu

  • @samweljoab5109
    @samweljoab5109 3 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations

  • @josephmalema3411
    @josephmalema3411 3 ปีที่แล้ว +1

    mmmm aise

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah maisha bwana tulio nje tuna tamani kuludi na walioko nyumbani wanatamani kuja 😢

    • @LindaLinda-lj6gt
      @LindaLinda-lj6gt 2 ปีที่แล้ว

      im in macau china natamani kbs kurudi nyumbani ila nipo nashindwa

    • @Kimochatv
      @Kimochatv 4 หลายเดือนก่อน

      Uko nchi gani nami nije

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 ปีที่แล้ว +2

    Acha nam nitafute hivyo vitabo nizamie kweny ndege kila mtu na bahati yangu wenda nikafika zangu kama temba maisha ni magum Sana tz

  • @user-lf9xb8jw8r
    @user-lf9xb8jw8r 3 หลายเดือนก่อน

    Maisha yanaweza kukufanya uchukue maamuzi magumi sana bila kujua😢

  • @nosidaimsuya1869
    @nosidaimsuya1869 3 ปีที่แล้ว +3

    Duh kweli huyu ni mwamba

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 ปีที่แล้ว +2

    Hii nikutaka kufanikisha maisha kimkato😳😳😳😳

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaah, uyu mwamba Ni balaa

    • @albinemilly5382
      @albinemilly5382 3 ปีที่แล้ว

      Huyu sasa ndie baharia kamili😂🤔🤔🤔

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@albinemilly5382 Hapana Huyo Mwana Anga Kamili 🤣🤣🤣🤣