Ukiwaumepitia maisha flani ya shida na kukuwa ukiwa unapambana na maisha magumu Hali kama hizi huwa zinaumiza sanaa,kiukweli Mungu akubariki brother na akuzidishie pia. Naamini sio wote wanaweza kuelewa hili
Shigongo Barikiwa sana , usidhani umetoa kwa huyo mzee ni Mungu tu umemkopesha ,HAKIKA NAKUAMBIA ,🙏💕 Heri yako wewe umeona kat ya wenye magari wengi mliokuwa foleni moja ... MUNGU AKUBARIKI KAKA😥😭😭
Mwenyezi Mungu ameruhusu kutoa kwa kuonesha na kwa siri. QUR'AN: (2: 271) "Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo: ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda."
Ni jambo zuri, lakini Kumsaidia laki 1 peke yake haitoshi, itakua ni vyema zaidi kama mtaweka sera kuboresha maisha ya watu wa mitaani. Fungueni milango ya ajira kwa vijana, vijana wengi wanabeti tuu
Amefanya vizur,ila kwa siku ingne sadaka haioneshwi hata mkono wa kushoto usijue.inshallah Allah atufanyie wepesi tusiwe ni wenye kujionesha tunaposaidia wasojiweza.akijua Mungu na malaika wake inatosha.hongera kwa kumsaidia lakin umempigisha hatua japo mbili tatu.
Mwenyezi Mungu ameruhusu kutoa kwa kuonesha na kwa siri. QUR'AN: (2: 271) "Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo: ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda."
Nimejikuta nakiya kwa shukurani ya mbunge wetu shingongo pia naria kwa uchungu baba yangu huyu anavyojieleza Mungu qkuoiganiye na famiriya yako inshaallah wanao watakuja kukusaifiya baadae pambana tu kuwasomesha hivyo hivyo
Nimejikuta nalia machozi kwa hili alilolifanya Mh.shigongo je viongozi wangapi wanamoyo kama huu Njia ya kumfikia ndio ngumu lakini Mungu ambariki sana na iwe darasa kwa wengine
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Safi sana wa jina wangu. Njia nzuri sana ya kutoa sadaka. Barikiwa
HAKIKA Ni moyo wa Kipekee wenye upendo ndani Yake Hivyo mbunge Mungu Ambariki Sana kwa kumsaidia Mtanzania mwenzake
Unatoa sadaka huku umeandaa camera ya kujirekodi?
😂😂😂
Ubarikiwe mbunge wetu mungu akuinue juu sana zahidi
Ukiwaumepitia maisha flani ya shida na kukuwa ukiwa unapambana na maisha magumu Hali kama hizi huwa zinaumiza sanaa,kiukweli Mungu akubariki brother na akuzidishie pia.
Naamini sio wote wanaweza kuelewa hili
Watz bhana,,kama huna D mbili huwez elewa,,,,,miaka yote hukuwah kumsikia leo kulikoni,kwan siku zote huwa hawaonekan hawa wenzetu?????
Hali ya Umaskini haipunguzwi kwa kufanya hivi,,,,
Allah akujaalie kheri nyingi Amiiin
Mashaallah Allah akujalie kheri kuwa na moyo uwo
Hongera sana mh.mbunge,Mungu wa Mbinguni akubariki zaidi na zaidi kakangu
Very emotional, great thanks to shigongo
Safi sana mungu akuzidishie muheshimiwa.nimependa sana mlipomziba sura 🙏🙏🙏🙏🙏
Shigongo Barikiwa sana , usidhani umetoa kwa huyo mzee ni Mungu tu umemkopesha ,HAKIKA NAKUAMBIA ,🙏💕 Heri yako wewe umeona kat ya wenye magari wengi mliokuwa foleni moja ...
MUNGU AKUBARIKI KAKA😥😭😭
Allah akujaalie Shigongo❤
MUNGU akubariki sana mbunge Shigongo
Mungu akulipe baba yangu ulipo towa upate zaidi na nimefurahi ulivyo mficha uso
shigongo we ndio Funga Mwaka naomba Mungu akujalie upate Ubunge Tena ongera sana kaka
Hii ni nzuri sana shigongo ila hukupaswa kurekodi wala kutangaza maana hii mungu hawezi kukupa thawabu bali utapata tu sifa kwa binadamu
Mwenyezi Mungu ameruhusu kutoa kwa kuonesha na kwa siri. QUR'AN: (2: 271) "Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo: ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda."
Ungejua kasaidia asinge record ? Anasaidia wengi sn bl record
Ashaallah Hakika Nijambo Lakumpendeza Mungu
Mungu akuinde ukisikia mtu kalelewa na wazazi safi kwahiyo huyu mheshimiwa anawazaz Bora katengenezwa
Mungu akuongezeee palipo pungua😢😢❤🎉
God bless you bro una moyo wa malaika.
Mungu akubariki shigongo
Dah!! Hadi Raha jmn, Mungu akuzidishie ulipotoa,
Ubarikiwe Sana shigongo
Upo vzr sana ndugu yangu nimekukubali sana
😏
😭😭😭machozinyamini.dondoka. subuhanallah. Ayanaisha mtuhani
Huyo mzee hatokusahau katika maisha yake
Ni jambo zuri, lakini Kumsaidia laki 1 peke yake haitoshi, itakua ni vyema zaidi kama mtaweka sera kuboresha maisha ya watu wa mitaani.
Fungueni milango ya ajira kwa vijana, vijana wengi wanabeti tuu
Uchaguzi unakaribia
Elfu kumi tu itanitosha hii kauli imenigusa sana😢
Barikiwa sana na bwanaa mbunge umefanya kitu kizuri mno
Imenigusa sana
Hakuna kitu kina umiza kama umasikini
Amefanya vizur,ila kwa siku ingne sadaka haioneshwi hata mkono wa kushoto usijue.inshallah Allah atufanyie wepesi tusiwe ni wenye kujionesha tunaposaidia wasojiweza.akijua Mungu na malaika wake inatosha.hongera kwa kumsaidia lakin umempigisha hatua japo mbili tatu.
Daah wachache Kwa tz yetu mungu akubaliki
Sh gongo kwa kusaidia hajaanza Leo nimekula Sana elfu 20 zake kipindi nipo breco
Kuna watu hawana tamaaa eti elf 10❤❤😢😢
Mungu ambariki
Hongera sana 🙏
Mungu akubarki
Safi sana
Safi lakini amezingua kutoa msaada Kila mtu ajue kua ametoa laki Moja siyo sawa ange mpa tuu bila kufanya maonyesho kama hivyo
Mwenyezi Mungu ameruhusu kutoa kwa kuonesha na kwa siri. QUR'AN: (2: 271) "Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo: ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda."
Naunga mkono hoja. Halafu uhesabu sio.
Nimeumia sana.
Kutoa ni moyo sio utajir Allah akuongezee ulipotoa akuongezee inshaallah
Huwenda ndo siku yake ya kwanza kushika hiyo pesa na akifika nyumbani mke wake atapata wasiwasi na kushangaa kama ni watu wa iman 😢😢
Sijui Kwa nini nalia sasa😢
Nimejikuta nakiya kwa shukurani ya mbunge wetu shingongo pia naria kwa uchungu baba yangu huyu anavyojieleza Mungu qkuoiganiye na famiriya yako inshaallah wanao watakuja kukusaifiya baadae pambana tu kuwasomesha hivyo hivyo
Mashaallah
Pesa haisaidi nikujionyesha mbele zawatu tu ukitaka kumsaidia mtu mpe mbinu yamafanikio
Kitendo Cha kumrekodi TU tayari ushaharibi sadaka😮😮😮
Nimejikuta nalia machozi kwa hili alilolifanya Mh.shigongo je viongozi wangapi wanamoyo kama huu
Njia ya kumfikia ndio ngumu lakini Mungu ambariki sana na iwe darasa kwa wengine
Ungemsaidia na mtoto mmoja kumsomesha, hata hivyo ubarikiwe Sana
Amiin
Wapo weng Sana kumsaidia Tu haitodh wewe kama muwakilishi wetu pelekeni mswada bungeni
We mwehu kweli wewe
Hadi nimelia jamani dah
kwa hakika Kila penye uzito Kuna wepesi
Bora ulivyoficha sura yake ubarikiwe
Hapo umempa ya mtaji atajiongeza huyo
Ufike na kwa watoto ya tima
Wameanza kujileta Uchaguzi unakaribia
😢
Siku zote alikuwa kimya ,duh ,,,,,,,msemo wagu ni ule ule hakunaTajiri fala,,,,huyu mzee alipoteaga saiz kaanza kuonekana😁😁😁😁😁
Ukikaribia uchaguzi ndo mnawaona eti...😂
Na wewe nenda ukatoe Kisha chukua fomu ugombee kama ni rahisi kwani umekatazwa?
Siunampa tu mpaka makamera yanini
Kwanini alirecod ili tuone anasaidia au iweje huo si msaaaadaaa
Futuhi hii ni futuhi
Duh
Kipindi chao hichi cha kuigiza
Kaige kwa lugumi anavyofanya kwawaale watoto alio wajengea gorofa
Jambo zuliii ila inatakiwa watende akiii kwa wana inchii otee viwanda na kazalika co mutenge nezee ajilaaaa kwa laiyaa
Cameraman alikuwa wap kama sio maagizo
Walikua garini na shigogo
Mungu akubariki kaka shigongo