Christina Shusho amwalika Martha Mwaipaja kwenye ibada ya Christmas, mashabiki wamshambulia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 284

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 18 วันที่ผ่านมา +25

    Christina shusho ni mwanamke mwenye kiburi

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 18 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂yezeber au???

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 18 วันที่ผ่านมา +17

    Ninachobarikiwa nacho ni HUDUMA YENU....
    Kuhusu maisha yao NAMUACHIA MUNGU AFANYE KAZI YAKE YA KUHUKUMU.
    Big UP SHUSHO NA MARTHA

    • @HERISEFANIA
      @HERISEFANIA 18 วันที่ผ่านมา +3

      Ujumbe wako nimeupenda sana ndugu endelea ivoivo MUNGU akubariki❤❤❤

    • @saxannjo6173
      @saxannjo6173 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@HERISEFANIA Amen

  • @Paul-u3k3w
    @Paul-u3k3w 18 วันที่ผ่านมา +27

    Christina ubarikiwe zaidi ....w
    engine ni kuhukumu tu mpaka mapastor wa Kenya..........biblia inasema tuwarudishe Kwa upendo.......endelea kumtia Martha wetu nguvu..from Kenya.

    • @RodahKanini-om7le
      @RodahKanini-om7le 18 วันที่ผ่านมา +1

      Wabarikiwe sana

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 18 วันที่ผ่านมา +3

      Umechizi au hujui bible inasemaje kuhusu wazazi😂😂😂😂

    • @Asha-s9u8p
      @Asha-s9u8p 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@alicejumaa89

    • @efatha20
      @efatha20 18 วันที่ผ่านมา

      Afadhali unaona upande chanya

    • @georgestephano421
      @georgestephano421 18 วันที่ผ่านมา +2

      Sidhani kama Christina anamrudisha mwenzake kwa upendo zaidi ya kusupport alichofanya

  • @michellekiilu621
    @michellekiilu621 18 วันที่ผ่านมา +10

    Nmependa sana kuona Christina shusho anapo muoyesha Martha upende mkubwa wakati huu anapitia mangumu ,.nawapenda sana .

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kaka Naipendaga Sana Sauti yako! Love you Bro!.

  • @danielwwahai8664
    @danielwwahai8664 18 วันที่ผ่านมา +22

    Wanajehuri sana hawa wa Maman

  • @GraceSaruvatory
    @GraceSaruvatory 18 วันที่ผ่านมา +2

    Bifisi nimefurahi kuona shusho unamfariji dadangu Martha, nakupenda Sana Martha. Mtetezi wako yuhai

  • @RodahKanini-om7le
    @RodahKanini-om7le 18 วันที่ผ่านมา +14

    Nawapenda sana Martha na Christina, napenda nyimbo zenyu pia mm si mungu nihukumu, Rhoda from Kenya

    • @gladysnyakenyanya8758
      @gladysnyakenyanya8758 18 วันที่ผ่านมา +1

      Pia mimi❤❤❤❤❤❤❤

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa, mimi pia siwezi kuhukumu

    • @AngelMatelu-s5w
      @AngelMatelu-s5w 18 วันที่ผ่านมา +1

      Utahukumu usichokijua kama hujui kuwaheshimu baba na mama

  • @alusiolafestus
    @alusiolafestus 18 วันที่ผ่านมา +4

    Dada Christina Shusho pongezi kwako, you are a true Christian. Ubarikiwe Sana mwana-dada. Wengine kazi yao ni kuwahukumu wenzao. Ungama na Martha Mwaipaja, mpe moyo, imbeni, imbeni Bola kugoma kwani Mungu ni muweza na atamaliza hizo siasa za wanadamu WA kawaida.

  • @GeorginaMkumbwa
    @GeorginaMkumbwa 18 วันที่ผ่านมา +8

    Christina shusho nampenda sana huyu dada .sio yeye kuna roho mbaya imemvaa

    • @politricks254
      @politricks254 18 วันที่ผ่านมา

      Hata yeye wanasuguana vinnembe pamoja baada ya ibada

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli huwezi mpenda Mungu ikiwa hupatani na ndugu yako.....!
    Ni sahihi kumtia moyo lkn upatanisho uweke kipaumbele.
    Mungu ni pendo...unatuhubiria vipi ilihali upendo haumo kwenu.
    Shusho tengeneza na Mungu kwa kuwaunganisha Beatrice, Martha na mama yao.

  • @YasintaKisholi-fl3iy
    @YasintaKisholi-fl3iy 18 วันที่ผ่านมา +5

    mungu awalinde Martha na shusho

  • @evamwakifulefule9073
    @evamwakifulefule9073 18 วันที่ผ่านมา +9

    Mchungaji mmoja kasema,wakishajiunga kuzimu wananyweshwa damu na mioyo yao inakuwa mgumu hata wakosee vipi hawajali.

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu awatetee shusho na martha sina nafasi ya kuwahukumu ata mara moja kwa kuwa nanyi ni binadamu kama sisi wengine mnakosea pia, kama kweli mmeyafanya hayo basi mungu atengeneze njia iliyo sahihi kwaajili yenu

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mi nawapenda tu dada zangu mungu awasamehe kwa hayo makosa kama kweli mmeyafanya na pia naendelea kusikiliza nyimbo zenu sababu mimi pia sio malaika kwamba sikosei

  • @paulinethadeus7912
    @paulinethadeus7912 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hii ni amri ya Mungu siyo ombi WAHESHIMU BABA YAKO NA MAMA YAKO UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI. KWA HILO UNALOKAIDI NALO JUA HILO NI ANGUKO LAKO TENA LA AIBU

  • @henrykarisayaa9013
    @henrykarisayaa9013 18 วันที่ผ่านมา +8

    Hawa ni wakora wawili tabia zao mbaya sana zinafanana

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 18 วันที่ผ่านมา +20

    Hakuna mtumishi wa mungu hapo mxieeee

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 18 วันที่ผ่านมา +4

    Birds with the same feathers flock together.Mnajibalaguza tu baada kunangwa kwa muda sasa. Nikiwa angalia hata hamna nuru kabisa, mnatia aibu sana.rudini kwa yesu wa kweli

  • @vincej9275
    @vincej9275 18 วันที่ผ่านมา

    Christina Shusho ni afathali apatanishe familia hili. Sio vizuri ku support Martha lakini mama na Beatrice wanatengwa.
    Love your parents and God will add you many more years on this earth.

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 18 วันที่ผ่านมา +7

    Shusho ameshaliasi kanisa la Kristo!roho wa giza anamtumikisha ameweka pamba masikioni Mungu wa nuruni atamuaibisha kwa wakati hao wapendwa wanaowazunguka kanisani nao wapepigwa upofu,Ee mwenyezi Mungu wa Kristo Yesu uturehemu maisha yameanzia rohoni mwilini ni uthibitisho😢

    • @NtuliSuzan
      @NtuliSuzan 18 วันที่ผ่านมา

      Wapo ktk mikataba hao

  • @elizabethobai63
    @elizabethobai63 18 วันที่ผ่านมา +11

    SHUSHU usije Kenya kaa kwenu Tz maana wewe sio mcha mungu

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa waanze kukataliwa sasa

    • @hannahmutasia1550
      @hannahmutasia1550 18 วันที่ผ่านมา +3

      Ahsante sanaa Kwa huu ujumbe, asije Kenya hatumtaki

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 18 วันที่ผ่านมา

      Fukuza kbx 😂

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 วันที่ผ่านมา

      @ ohh yeah out 😆😂😂🤣🤣😅

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 18 วันที่ผ่านมา

      mtawajua kwa matendo yao someni maandiko wenye kuifuata kweli na waongo watajulikana siku za mwisho huyu shusho anajifanya sana kumtetea martha naona kama lao ni 1 badala ya kumshauri aifuate njia sahihi na dada yake keshashuudia kwamba hayupo kwenye njia sahihi shusho yeye kazi kujifanya kaonewa sijui nini basi wote njia yao moja wamrudie mungu wa kweli wa upendo na wazaz maana amri ya mungu inasema waeshimu baba na mama yako ili siku zako zipate kua nyingi katika nchi upewayo na bwana MUNGU wako sasa yey shusho ina maana yeye mama yake nae hyuponae sawa achunguzwe na yeye

  • @ManeMethode
    @ManeMethode 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi wanadamu muwachiye mungu mwenye ataukumu kwanini kuwasema watumishi wa mungu vibaya Christine chucho ubarikiwe saaaaana na Martha mwaipaija nawapeda saaaaana wa dada zangu ao wanao waseme mujue yakwambamunawaeidi lev

    • @shibukhmarie7080
      @shibukhmarie7080 18 วันที่ผ่านมา

      Siku zote huwa wanasifiwa na wanapokea vizuri. Kosa limepatikana na wale wanaowasifu ndio wanawakosoa.

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 18 วันที่ผ่านมา +3

    Nakupenda sana cristina shusho wasimuukumu wasije wakaukumiwa

  • @ronnymusalia8098
    @ronnymusalia8098 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna aliye msafi na hakuna ajuaye ukweli wa mzozo ulioko.Martha twampenda Kenya sana.

    • @Neema-qm9kk
      @Neema-qm9kk 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kila mtu hukosea kweli. Changamoto ukiwa ktk utumishi wewe umebeba bendera ya Yesu ukitenda kosa watu wengi hupokea kwa mshangao kama vile wewe ni malaika.tatizo matha mwenyewe ndio ameshindwa kukabiliana na hili mwanzoni lingekuwa limeshaisha. Unapokutwa na tatizo ukiwa wewe ni mtumishi mkubwa jitahidi kunyenyekea na kutafuta suruhisho mapema .

    • @Neema-qm9kk
      @Neema-qm9kk 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi binafsi. Lakini pia aliyezidi kumchafua ni yule binti Joan. Kwa nafasi ya matha anatakiwa awe makini sana

  • @GraceLuvanda-g5r
    @GraceLuvanda-g5r 18 วันที่ผ่านมา +16

    Ndege wa aina moja wanaruka pamoja.

  • @GawaherH
    @GawaherH 18 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana❤❤❤❤❤

  • @evaamos1591
    @evaamos1591 18 วันที่ผ่านมา +9

    Jaman muachenii Martha bsiii. Mungu yupoo Martha. Na Iman maumivu yakiishaa utarud Kwa mama

    • @maria_mutondioriginal5
      @maria_mutondioriginal5 18 วันที่ผ่านมา +1

      Yaishe kwani aligombana nae

    • @sisterblessed-my9jd
      @sisterblessed-my9jd 18 วันที่ผ่านมา

      Maumivu gani yakiisha??
      Unaweza pata amani ikiwa haupo sawa na ndugu yako?
      Isitoshe, hawajagombana

    • @evaamos1591
      @evaamos1591 18 วันที่ผ่านมา +1

      @sisterblessed-my9jd tumuombee. Tyu amani irudi na itawalee kweny familia Yaoo. Mengnee. Tusikalibshe dhambi za buree.

    • @sisterblessed-my9jd
      @sisterblessed-my9jd 17 วันที่ผ่านมา

      @@evaamos1591 kikubwa tumwombee apatane na nduguze ndipo anaweza kupata hiyo amani

  • @mamy8220
    @mamy8220 18 วันที่ผ่านมา +8

    Mamezidi Hawa wamama😢😢 amuna wamungu hapa 😅

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 18 วันที่ผ่านมา +11

    Huyu ndio kocha wa Martha hata ex wa Martha alisema.Mungu ni pendo

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 18 วันที่ผ่านมา

      Yako mwenyewe yanakushinda utayaweza ya Martha?

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk 18 วันที่ผ่านมา

    Martha nimwanadamu siyo yesu Mtoto wa Mungu

  • @ZawadiNiyokwizera
    @ZawadiNiyokwizera 18 วันที่ผ่านมา +3

    Wanaosema kuwa wa maman hawa hawana mungu ni mapepo neno lamungu linasema mutie nguvu wanao ishiwa nguvu watanzanie musamehew munapenda kuhukumu sanaaa

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 18 วันที่ผ่านมา

      Una mapepo ya ngono wee

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 18 วันที่ผ่านมา

      Yani wewe ndiye shetani konkodilo

  • @VinnyVinny-e2v
    @VinnyVinny-e2v 18 วันที่ผ่านมา +9

    Shusho mnauchafua ukristo mme kuwa kama watu wamipasho

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 18 วันที่ผ่านมา

      ukweli haukai pamoja na uongo waongo watajulikana siku ya mwisho ole wao waigeuzao kweli kua uongo MUNGU keshasema

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 18 วันที่ผ่านมา

      wewe umeupendezesha ukristo Kwa lipi? huna lolote

  • @RechoMzava-gt7so
    @RechoMzava-gt7so 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nenda kwa mama yako martha analia sanaaaa

  • @MPOYOLAFILMS
    @MPOYOLAFILMS 18 วันที่ผ่านมา +6

    Mkimaliza hapo mnaenda kusodomoana wenyewe mnagomorana wenyewe..... Mnakojoa mnajisikia rahaaaaaa duniani.... Wew uliyefumwa unasagana acha hiyo laana pumbavu wew

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 18 วันที่ผ่านมา +7

    Staking tena nyimbo zao. Ntasikiliza hip hop

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @lodvee1717
      @lodvee1717 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 18 วันที่ผ่านมา +49

    Mshauri mwenzio arudi kwa mama yake

    • @tajiertaj5956
      @tajiertaj5956 18 วันที่ผ่านมา +2

      Safi❤

    • @TryphonRabson
      @TryphonRabson 18 วันที่ผ่านมา

      Akafanye nn mama mwanga yule

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 18 วันที่ผ่านมา +1

      Uyo njo anamu supporti mwenzie atamushauri nini wote wamoja hao

    • @davidyongolo8102
      @davidyongolo8102 18 วันที่ผ่านมา

      Akafanye nn wakati mama ana mume mwingine we vo

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 18 วันที่ผ่านมา +1

      Na amuondoe huyo nanii wake. Shush ndiyo huyo huyo kwani yeye pepo hilo

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 18 วันที่ผ่านมา +8

    Mashangingi wa kanisani

    • @nestorysanga3938
      @nestorysanga3938 18 วันที่ผ่านมา

      Ukipata Mda kasome sifa za mungu mke Ashtoreth kwenye bibilia ndo utajua nyakati tuliyomo

  • @HopeChriss
    @HopeChriss 18 วันที่ผ่านมา +6

    Yan Christina shusho ndiyo chanzo ata cha matha kuwa ivyo

  • @SilvanaKananda-t9c
    @SilvanaKananda-t9c 18 วันที่ผ่านมา

    Awa nyimbo zao ulikua ukisikiliza unazipenda kumbe lao moja

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 18 วันที่ผ่านมา +1

    Na ipo siku ya kwako yatatoka pia Shusho. Bado Mungu hataniwi

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 18 วันที่ผ่านมา +1

    Marry Christmas 🎄 martha

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 18 วันที่ผ่านมา +2

    Martha safiiiiiii,anaekujua ni Mungu😊

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 18 วันที่ผ่านมา

      Na sisi tunamjua ni msagaji

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@johnmwasilu7087😂😂😂

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@johnmwasilu7087uliwahi kumshuhudia kwa macho yako anasagana?

  • @NeemaSamweli-t4c
    @NeemaSamweli-t4c 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna madhabahu hapo

  • @JeanToyi-u6r
    @JeanToyi-u6r 18 วันที่ผ่านมา

    I' M From CONGO DRC.

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 18 วันที่ผ่านมา +8

    Wote wameachika, mashangingi🤣☺️☺️

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 18 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU AKUBARIKI CHRISTINA. NI VIBAYA SANA KUWATENGA WATU WANAOPITIA MATATIZO, KWANZA KABISA HATUWEZI KUHUKUMU HATUJUI YOTE ZAIDI YA KUYASIKIA MITANDAONI,PILI WOTE TUNA DHAMBI, MBELE ZA MUNGU DHAMBI ZOTE NI SAWA. KAMA MNAWAONA WACHAFU WAOMBEENI WAWEZE KUBADILIKA.

    • @samuelmlapwa7858
      @samuelmlapwa7858 18 วันที่ผ่านมา +1

      Huo usawa wa dhambi za kuwakana wazazi ni kwa Imani ipi?

  • @ernestgumha3186
    @ernestgumha3186 18 วันที่ผ่านมา +1

    Moto unakuja

  • @yonathanbanyikwa1813
    @yonathanbanyikwa1813 17 วันที่ผ่านมา

    Coments ukizifuatilia utakuwa mtu wa kucheka tu. Kuna watu wameshachukua nafasi ya Mungu kuhukumu wengine, duh! Sisi hatujali wasemayo watu bali tutazidi kuwapenda na kuwakubali watumishi wa Mungu martha&shusho.

  • @elizabethtimothy3947
    @elizabethtimothy3947 18 วันที่ผ่านมา +1

    Dada Asante kwa kumfariji matha

    • @Chazmusic_official
      @Chazmusic_official 18 วันที่ผ่านมา +4

      😂😂Wenda ndo wote wachawi mnasapotiana

    • @ManHussein.
      @ManHussein. 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe nawe ni walewale. Ushindwa kwa jina Yesu

  • @jacklinekavishe4995
    @jacklinekavishe4995 18 วันที่ผ่านมา

    Familiar ya martha ikimchukia martha haimanishi sisi sote tumchukie kila mwanadamu atahukumiwa kulingana na makosa yake ugomvi wa ndugu hauingiliwi Hakuna mwanadamu mkamilifu martha sio wa kwnza kukosea wapo wengi ambao hawalei familiar zao mkiachana na kumtukana Mkae chini kumuombea Mwenyezi Mungu hajatufundisha kuhukumu

  • @joshuaomari3556
    @joshuaomari3556 18 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢😢jamani wakristo

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 18 วันที่ผ่านมา

    Mzazi kwanza !!!!

  • @TulifoniaLutego
    @TulifoniaLutego 18 วันที่ผ่านมา

    Ninjema Sana

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 18 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu anaesema apatane na ndugu,kwani Martha kagombana na MTU,waswahili bhana

  • @marthampalanzi887
    @marthampalanzi887 18 วันที่ผ่านมา

    We Christina shusho acha kutembelea kiki za watu khaaaa

  • @happinesstesha7061
    @happinesstesha7061 18 วันที่ผ่านมา

    Ibada njema huanzia nyumbani

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 18 วันที่ผ่านมา +1

    Christina shusho ni mtengeneza content kama watengeneza content wengine tu

  • @MiriamuJingu
    @MiriamuJingu 18 วันที่ผ่านมา +3

    Hiv mama km Yule anaeza sema uongo kweli maana mi nimefuatilia mahojiano ya huyo mama na hata hivo mdogo ake hakusema hicho kitu Kwa ubaya kulingana na maongezi yake pale kanisan akitoa ushuhuda

    • @DanazonTv1
      @DanazonTv1 18 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona akitoa ushuhuda a kuongea aliwekea dadake sumu? Martha n binadamu mtu awezi kuwekea sumu n ucheke naye futilia story kiundani

  • @GraceSaruvatory
    @GraceSaruvatory 18 วันที่ผ่านมา

    Dadangu Martha, wanaokujadri, acha wakujari kadili ya uwezo wao. Wewe songa mbele. Mti wenyematunda lazima urushiwe mawe.

  • @pedrousparidos3690
    @pedrousparidos3690 18 วันที่ผ่านมา +1

    IF YOU DECIDE TO SHOW DISRESPECT TO GOD,THEN GOD WILL LEAVE YOU. SHUSHO ATA WEWE USIMJARIBU MUNGU

  • @agathahasote9894
    @agathahasote9894 18 วันที่ผ่านมา

    NILIMPENDA UPENDO NKONE... ANA AKILI YA LMK IUTUUZIMA NA HEKIMA NYINGI.

  • @givenmgaya8889
    @givenmgaya8889 18 วันที่ผ่านมา

    Naona masingle wasiopenda ndoa wamekutana

  • @PendoMakundi-xv6nh
    @PendoMakundi-xv6nh 18 วันที่ผ่านมา +5

    Yan Sasa shetan mnaemwabudu anawaaibisha

  • @Stella-1995
    @Stella-1995 18 วันที่ผ่านมา

    Yesu alisema "mwenye hajafanya dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe". What they need to do is repent and sin no more.. that's is if the allegations are true. God Loves us all.

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 18 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Sana shusho

  • @Anza_tz
    @Anza_tz 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna jambo ambalo mm naliona hapo ,,Christina shusho anaweza akawa anafanya jambo la maana nyuma ya pazia huku mbele ya pazia akawa anatuonyesha jambo la tofauti kwa mfano
    Inawezekana Christina anamuita Martha wakiwa faragha anamwambia Martha kua ndugu yangu umezingua hebu tengeneza na familia Yako lakini kwa kutunza heshima yake sidhani kama shusho anaweza akasema private kile anacho ongea na Martha hivyo bhaasi waungwana hebu tutulie tukae kimya tuone nini kita kacho tokea because muda unaongea.

  • @barackshow6899
    @barackshow6899 18 วันที่ผ่านมา

    Wakenya mko wapi tusalimie huyu shusho😂😂😂 sisi ni wale wale

  • @carolinemwende676
    @carolinemwende676 18 วันที่ผ่านมา

    Wote wawili ni wanafiki

  • @paulinethadeus7912
    @paulinethadeus7912 18 วันที่ผ่านมา

    KANISA LIWAFUNGIE SHUSHO NA NA MARTHA WANACHAFUA KANISA.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 18 วันที่ผ่านมา

    Ma singl Maza wameungan

  • @DianaYohana-t9t
    @DianaYohana-t9t 18 วันที่ผ่านมา

    unajua watu hawaelewi lakini hakuna binadamu yeyote anaye ruhusiwa kumuhukumu binadamu mwenzie kama mtu anakosea basi piga goti umuombe mungu amsaidie ili aludi kwenye njia sahihi ila wewe usimhukumu coz wewe sio mungu

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 18 วันที่ผ่านมา

      Kabisa mi mwenyewe nawashangaa

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 18 วันที่ผ่านมา

    Martha ata kafifia anaonekana hayuko sawa basi tu ngoja tuendelee kuona sema hawa wanaojifanya watu wa Mungu mhmm ni wadhambi balaaa

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 18 วันที่ผ่านมา +2

    Aisee ukristo sasa utakuwa wa kishoga

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 18 วันที่ผ่านมา

      acha matusi ukristo sio tatizo tatizo liko kwa hao watu vp aise ushindwe kwa jina la yesu

    • @ShedrackFaustin
      @ShedrackFaustin 18 วันที่ผ่านมา

      @kilimanjarotv255 kwann viongozi hawajawafukuza we huoni kama ilo kanisa ndo linawafadhili

  • @RehemaMgoba-v4z
    @RehemaMgoba-v4z 18 วันที่ผ่านมา

    Unawafurahisha watu wengine unawaacha ndugu zako

    • @Mari89wx
      @Mari89wx 18 วันที่ผ่านมา

      @@RehemaMgoba-v4z she is so crezy. Mama kwanza ministry Inafuata.

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 18 วันที่ผ่านมา

    Yaani wapumbavu hao shame 😢😢😢😢😢😢😢

  • @obedshadrack896
    @obedshadrack896 18 วันที่ผ่านมา

    Hicho ni kikundi cha wahuni tu, kma wengine mtaani, hayupo mwenye Mungu ndani yao, wote wawili ni masingle mother, wameachika ili wawe huru kusagana,

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 18 วันที่ผ่านมา

    Joan yupo?

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 18 วันที่ผ่านมา +1

    Usipo sachiwa na askari utasachiwa na mwizi wote wezi..

  • @ildephonsentahomvukiye5410
    @ildephonsentahomvukiye5410 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wote wanachangiya tabia ya kuwaruka waliyowakuza.Poromoko lawo linakaribiya.

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 18 วันที่ผ่านมา

    Mhukum mkuu ni Mungu pekee, lakini Martha aende kwa mama yake

  • @ujuzilumiere7883
    @ujuzilumiere7883 18 วันที่ผ่านมา

    Martha tafazali rudi kwa mama tuna Lia sana juu ya mama ana uchungu sana juu yako

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ndo maana aliyekuwa mume wa Martha alisema, Christina shusho ndo kocha wa Martha, Sasa namuelewa

  • @paulokuze9307
    @paulokuze9307 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli ni kwamba hawa wote Wana agenda moja ya usagaji,Sasa húyu christina anachofanya ni kumsapoti mwenzake na wote hawa wamewaacha waume zao.

  • @linetberry3782
    @linetberry3782 18 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mmeingia kwa aluminati mnatushanga Christine shush na Martha
    Mwaipaja 2025 mungu hawanike mjulikane mnajanganya mungu na miungu

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 18 วันที่ผ่านมา

    Utanitambuaje kama nimeokoka, utanitambuaje kama na Muheshimu Mungu. Bwana Asifiwe isiwe sababu. Maana mdomo ni mali yako waweza kutamka.
    Matendo ndiyo yatakufanya ujulikane kwamba umeokoka
    Kuimba na kushangiliwa na watu hizo ni sifa za duniani kwa Mungu ni zero brain
    Mayendo yenu sio mfano mbele za Mungu, Shusho, Martha mmekengeuka sana. Hamtaki kuwa mfano kwa watu

  • @elizabethmfinanga8504
    @elizabethmfinanga8504 18 วันที่ผ่านมา

    Ndo wale wale

  • @LomamiJean
    @LomamiJean 18 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa ibilisi wakutana ila mtakuja kujutia nyinyi tangu lini Mungu katenganisha Family??

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 18 วันที่ผ่านมา

    Shusho anakiburi nowdays...

  • @Firdaus-w5j
    @Firdaus-w5j 18 วันที่ผ่านมา

    Hata Mama yako awe namakosa kiyasi gani haijalishi hata awe kicha amekuzaa tu lazima umupende nakumuleya na muna Tufunz nini jamn inaskitisha san😢

  • @HopeChriss
    @HopeChriss 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ilo ndiyo chanzo cha matha kuwa ivyo ilo ni pepo

  • @MumbuaMuindi
    @MumbuaMuindi 18 วันที่ผ่านมา

    Birds of the same feather huyu shusho tangu ni muone wcb fyuuuuuu

  • @ernestgumha3186
    @ernestgumha3186 18 วันที่ผ่านมา

    Mim najua ukisaidiwa watu si razima upost matha amejuika kwenye kugawa vitu ingar mama yake yupo vile mungu anawaona

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 18 วันที่ผ่านมา

    Hi neno usihukumu hutumika vibaya Sana, biblia pia imesema neno linahukumu na neno ni mungu, John 1:1, ukionyeshwa neno ukatae kutii, umekataa mungu unae fikiria unamwamini, presuming belief

  • @Asha-s9u8p
    @Asha-s9u8p 18 วันที่ผ่านมา

    Kwa yanayoendelea sasa hivi ni aibu kubwa kwa wakristo, itafikia hatua tutakosa hata ujasiri wa kushuhudia wengine habar za kristo

    • @frankchipasura1814
      @frankchipasura1814 18 วันที่ผ่านมา

      Hakuna aibu Wala nn, mbona ww umwaibisha ndugu zako na umalaya wako

  • @florencerose859
    @florencerose859 17 วันที่ผ่านมา

    Waparenge wote

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 18 วันที่ผ่านมา

    Issue sio kutokupendan ,Christina amsaidii Bali anatetea uovu wa Martha badala ya kumwambia Atubu na kumsaidia mama yake mzazi na kuachana na yule Binti ..hakuna upendo kweny kumtetea muovu ,wanatumia Jina la Yesu kwa Neno kumtetea shetani inauma sana sana ,hawa wote ni wakuwaombea tu wameshapotea

  • @FidelBatende
    @FidelBatende 18 วันที่ผ่านมา

    Izo ni kiki tuuu. Chritine anapenda kamuseleleko😂😂😂

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 18 วันที่ผ่านมา

    WASAGAJI “ MALAYA “ WA KIROHO

  • @Realhope-x5p
    @Realhope-x5p 18 วันที่ผ่านมา

    Shusho nae wale wale tu