Next time around we need a president who doe not have to read from a paper- Just like Magufuli or Nyerere. It does not sound strong,. or from the heart, if one reads. Especially when one makes mistakes or stumbles.
Waste of our monies, nchi zote have rising costs of living as a very big problem. There is no money kugawa hovyo hovyo. The cost of flying there and spending a week in a luxury hotel can build a health centre in every village. Haya maana ya Kariakoo ameacha anaenda kula bata Brazil. Samia oyeee
Zaid ya kuelezea umasikin ungeenda kuelezea utajir wa Afrika kwa kutoa mifano ktk nchi yetu na afrika kwa ujumla kama madini, ardhi yenye rutuba, mbuga za wanyama n.k then ukawaomba ushirikiano wa technolojia maana hapo wanajua wa Afrika kila siku njaa hivy tujidai na vya kwetu kwanza
Hah! Jambo tv unasema katika utangulizi wako kwamba hotuba ya rais ilikuwa dkika 4 na sekunde kadhaa! Hivi kuna hotuba ya muda mfupi kiasi hicho! Jambo tv jitathimini. Pili mbona clipp inaonyesha rais wetu anangea huku myuma yake watu wanapitapita hovyo tena wengine wamebeba masahani ya vyakula!Hapo ilikuwa mkutano au kipindi cha stafutahi! Naomba watu wa itifaki elimu katika hili ama la jambo tv mna njama za kumdhalilisha kiongozi wetu.
Hii ni united republic of Tanzania kwa maana ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania sasa wanaekaje Tanzania huu muungano iko siku utavunjika kwa usenge huu
Hongera sana sana Raisi wetu kipenzi. Unaiheshimisha nchi yetu. Very proud of you 👏👏👏
Vizuri sana Rais wetu Samia, hongera kwa kazi nzuri 👌🏽🥰🇹🇿
Mama anaweza❤❤❤
Nice mama etu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Big up mama ,,tupigane na vita ya njaa kilimo ndio kichwa cha amani
Our amazing President Suluhu.
We love you!
Safi mama,safi mkuu wa nchi,safi kipenzi changu/Chetu watanzania
Hongera mama❤
Mama tunaomba uongee na Putin na Ramaphosa tujiunge Bricks kabla ushindan haujawa mkubwa na vigezo na mashart kuwa vigumu
Hongera mama❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿
Hongera
Mwanadiplomasi no.1 duniani unastaili mauwa yako mh.rais
HongerA kwA kuwa nasisi G20
Go Madam Prezo...Go Tanzania
MUNGU akubaliki mama kwa upambanaji ama kweli ww ni mama
WE LOVE OUR PRESIDENT WE LOVE OUR COUNTRY
Chaguo la Mungu
Congratulations
Ahsante rais hijabu emeimpa heshima bali ametekeleza amri ya mola wake
Kwa sababu ya kukubali ushoga tu si kwa sababu ingine yyt
Choko weee
mama wee nenda lkn hatutaki kujinga na mshoga ss la sivo tukutane 2025
Ameufungia macho ufisadi na wizi Tanzania. Raisi muoga.! She has failed to tackle corruption fearing to be killed like Magufuli.! Shame.!!!!
Next time around we need a president who doe not have to read from a paper- Just like Magufuli or Nyerere.
It does not sound strong,. or from the heart, if one reads. Especially when one makes mistakes or stumbles.
Waste of our monies, nchi zote have rising costs of living as a very big problem. There is no money kugawa hovyo hovyo. The cost of flying there and spending a week in a luxury hotel can build a health centre in every village. Haya maana ya Kariakoo ameacha anaenda kula bata Brazil. Samia oyeee
Bahati nzuri ujinga hausomewi😂😂 kweli wewe mbumbumbu
Wenye akili kubwa tu ndio watakuelewa @AdamSaffi, shallow minded people achana nao.
Waambie walipe kodi. Makampuni yao yanainyonya Afrika.
Biden si kichaa mmoja aliyepoteza akili zake?
Wee Maandazi kweli c ungeacha tukamsikiliza????
Sawa kabisa rais lakin remember watu wanatimliwa kwenye maeneo yao mnawapa wazungu hao.. bila hata fidia
Mfano
Wame timuliwa wapi🇹🇿
👍Sanatu Rais wetu MAMA KAZI kwa miradi yaki mikakati unayo simamia Ubarikiwe sana sana chini yako 🇹🇿UTZ🇹🇿🔥ita pata full membership wa G21
Fisadi wa democrasia
Umasikini una tengenezwa tatizo
Hata hao tunao wa alika ni wavunaji tu
Wazungu wana akili sana watalipa sifaaa ili waje kutuchukulia kila kitu, ndo maana magufuri alikataa kwenda uko,
MH. RAIS SAMIA NI RAIS WATATU WA TANZANIA BAADA YA HAYATI RAIS MKAPA NA RAIS MSTAAFU KIKWETE KUALIKWA KATIKA HIYO MIKUTANO YA G20.
We mtangazaji ni mkalimali au? Kutafsiri maongezi ya mwingine bila kueleza si tafsiri iliyo rasmi ni upotoshaji.
Sasa imeongeza Nn?
ONGERA MAMA KWA KUWAKILISHA NCHI YETU VYEMA
Sasa ameenda kama nani kwani Tanzania ipo kwenye G20 ujinga mtupu
Zaid ya kuelezea umasikin ungeenda kuelezea utajir wa Afrika kwa kutoa mifano ktk nchi yetu na afrika kwa ujumla kama madini, ardhi yenye rutuba, mbuga za wanyama n.k then ukawaomba ushirikiano wa technolojia maana hapo wanajua wa Afrika kila siku njaa hivy tujidai na vya kwetu kwanza
Always you are right
@ZakayoJoseph-g5p thanks alot bro
Hah! Jambo tv unasema katika utangulizi wako kwamba hotuba ya rais ilikuwa dkika 4 na sekunde kadhaa! Hivi kuna hotuba ya muda mfupi kiasi hicho! Jambo tv jitathimini. Pili mbona clipp inaonyesha rais wetu anangea huku myuma yake watu wanapitapita hovyo tena wengine wamebeba masahani ya vyakula!Hapo ilikuwa mkutano au kipindi cha stafutahi! Naomba watu wa itifaki elimu katika hili ama la jambo tv mna njama za kumdhalilisha kiongozi wetu.
Em ongea kiswahili tukuelewe mbona wabwabwabwaja maneno
Kuna jinsi ange wa freeze hao wanaopitapita nyuma ya Rais wetu
😂😂😂😂
Muuko.ww
Hii ni united republic of Tanzania kwa maana ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania sasa wanaekaje Tanzania huu muungano iko siku utavunjika kwa usenge huu
Samia Suruhu Hassan niwakipekeee ingekuwa anamakuu hawa wasaccos angewanyoosha tit for tat.