@@kahamagloryofgod5852 usimcheke maana huenda hajui nini maana ya hilo neno nililo tumia (therapy) 🤣🤣🤣🤣 unajua kule kwao wenye akili ni wawili tu na hata sijui nani amemwambia ajibu comments za watu wa simba sc
@@salymkitumbika8644 achana naye maana unajua hajui nn maana ya hilo neno nililo tumia (therapy) halafu si unajua kule kwao wenye akili ni wawili tu na nashangaa anashobokea comments za watu wa simba sc na hasimhusu 🤣🤣🤣🤣
@@nicksonruwaichi3426 WE NDIO PIMBII SUBIRI WABABE WAINGIE KAZINI NO 3 INAKUHUSU KENGE WW UNASHANGILIA KUONGOZA LIGI CHIZI KABISA.SHANGILIA KUISHA KWA LIGI NDIO UTAJUA ULICHOPANDA.KENGE WW
ni mmoja tu hapa nchini , we love you semaji la dunia
Yanga safiiiiiiiiiiiiiii hehehehehehe matufurahisha huku nje😅😅😅😅😅😅❤❤❤
Ubaya Ubwela 💥💥💥 SEMAJI LA CAF
Ahmed Ally is the therapy kwa wasemaji wasio jielewa msemaji ni mmoja tu Ahmed Ally
Angalia isijekuwa ww ndo hujielewi😂
Kwel wew kolo
Kweli kabisa atakuwa yeye ndo hajielewi Ahmed mbona anajua vzr anachokifanya
@@kahamagloryofgod5852 usimcheke maana huenda hajui nini maana ya hilo neno nililo tumia (therapy) 🤣🤣🤣🤣 unajua kule kwao wenye akili ni wawili tu na hata sijui nani amemwambia ajibu comments za watu wa simba sc
@@salymkitumbika8644 achana naye maana unajua hajui nn maana ya hilo neno nililo tumia (therapy) halafu si unajua kule kwao wenye akili ni wawili tu na nashangaa anashobokea comments za watu wa simba sc na hasimhusu 🤣🤣🤣🤣
❤nguvu moja
Unapendw na me❤
Ally kamwe 🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿
We unaesema ahmed ally hajui kuisemea simba huna akili
Hapo tayar deni la milioni mia limelipwa tayar na serikali kulen nchi wasanii ni wakati wenu
Eti wanainchi😂😂😂
Tabia za kishetani kufumba jicho moja ndio maana hatuwashindishi.
Toa imani zako za kijinga hapa
❤❤❤
Mwanaume mmoja wasemaji wengi chek hata cheza yake yakiume sio singeri alipigiwa na makabila😃
Semaji la caf
Hii band inaitwaje??
Ubaya ubwela
Tumekujua kwenye mpira ila huko unakotaka kutupeleka kuddeki
Msemaji simba😂😂😂
Nauliza kuna nn mbona hamsemi tunaona tuu matukio
Hiii nchi hiiii😂😂😂😂
Ili kiumbe daah kuna kaz
Kuna jituu la utopolo hapoo
Wananchiiiii
Hivi dhamira ya huu upuuzi ni Nini?
MMECHEZA NACHEKECHEKEA MNAFURAHI HIVI ACHENI MAMBO YENU TIMU BADO CHANGA HIYO MSIJISHUSHE HADHI UBWELA UBAYA NASIO UBAYA UBWELA.
Wewe inakuhusu nini unateseka ukiwa wap pimbiii wewe
@@nicksonruwaichi3426 WE NDIO PIMBII SUBIRI WABABE WAINGIE KAZINI NO 3 INAKUHUSU KENGE WW UNASHANGILIA KUONGOZA LIGI CHIZI KABISA.SHANGILIA KUISHA KWA LIGI NDIO UTAJUA ULICHOPANDA.KENGE WW
Jamaa kaanza wananchiiii😂😂😂😂
Ndo nilikuwa natafta hii😂😂
Mc ni yanga Nini mbona anawafukuza jukwaani kanunaa😂😂
Semeji lA kafu
Semaji la caf😂
Si unngeliangusha😅😅😅😅😅
th-cam.com/video/fwGrJ3A9KMc/w-d-xo.htmlsi=1HTcL5-dMefV3WqK
Balaa la zuchu kizimkazi Zanzibar
Eti mlete mzungu😂😂 is
Ubaya ubwela
Hahahaha
😂😂😂😂😂😂
Kuna shuhuri Gani hap mbna sielew
Kuna msiba
Ata mimi sijaelewa
😂😂
Wee angalia
Ubaya ubwela
😂😂😂😂😂😂