MZEE HASHIM KAMBI ATAPIKA NYONGO MIKALLA WA THE LOST QUEEN YA KANUMBA HAJAFARIKI ,MNAMZUSHIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 126

  • @FabriceFabriceAllyhandrew
    @FabriceFabriceAllyhandrew 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee wetu apewe mauwa yake tunagupenda sanaaa from burundi 🇧🇮

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mzee hanaga baya kbs nilimpenda tangu zamani nilivyo muona kwa filamu ya twenty percent ❤❤❤❤❤

  • @MaryamAbbas-o1c
    @MaryamAbbas-o1c 4 หลายเดือนก่อน +44

    Huyu mzee nampenda nikimuona namfananisha na baba yangu walivo fanana na upole wake wauwa yako ayo❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @sadicksamuel2005
      @sadicksamuel2005 2 หลายเดือนก่อน

      Hata mzee wangu kafanana kama huyu 😢😢

    • @ZubeidaHamidu
      @ZubeidaHamidu 2 หลายเดือนก่อน

      Hata me jmnii

    • @AbisinaIsmail-p6g
      @AbisinaIsmail-p6g หลายเดือนก่อน

      ​bas baba zenu mapacha A K A team mikala

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 4 หลายเดือนก่อน +19

    Uyu baba nampenda san anaigiza vizuri san

  • @AseleRamazani
    @AseleRamazani 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu baba yake kelvin baba yetu sote anajielewa na pia anajuwa nafasi yake yau baba apewe mauwa yake ❤❤❤

  • @crdbBank-z1t
    @crdbBank-z1t 3 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo mikala ajitokeze tu maan kuna watu wanapata shida sana mikala popote ulipo jitokeze watu wanateseka

  • @DegalgalSarah
    @DegalgalSarah 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu baba nampenda sana kwa donta tv❤❤ # penzi la dada wa kazi # babake kelvin

  • @ElizaLikolika
    @ElizaLikolika 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana baba yangu kipenzi ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @anna_sanga
      @anna_sanga 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn huyu ni baba wa Kelvin 😂😂😂❤❤❤❤

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 4 หลายเดือนก่อน +17

    Mange kimambi juma lokole tutafutien mikala mwee

    • @VeronicaMarko-i9o
      @VeronicaMarko-i9o 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂 wachekesha weeeeh

  • @veerdhaheer8623
    @veerdhaheer8623 4 หลายเดือนก่อน +10

    Angekuepo kanumba nadhan tungejua ukweli

  • @RosetteKahuga
    @RosetteKahuga 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu baba nampenda sana

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 4 หลายเดือนก่อน +3

    Waandishi wa siku hizi ni machoko kweli kweli badala ya kwenda kuwahoji watu sahihi ambao ni familia yake huyo Mikala wao wanakomaa kuwahoji watu wengine ili kuendelea kutengeneza tension za kipumbavu.

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 4 หลายเดือนก่อน +10

    Heshima ya jibu asante. Baada ya kumwambia shikamoo jamani

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hio salamu ya kutumia yaani niko chini ya miguu yako ndio nn! Ya mtangazaji iko poa

    • @NamiriNamiri-oz4xs
      @NamiriNamiri-oz4xs 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio vijana wa leo waniuwa uwamkizi.wa.zamqni na kutunga wa.kwao sijui hata wazee wao.wanawaamkia hivi hapo sijajuwa.

  • @assateke7199
    @assateke7199 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tusisahau nchi yetu ina watu wasiojulikana... Hakuna anaejua na hakuna atakaejua... 😂😂😂

  • @chikeleplus
    @chikeleplus 2 หลายเดือนก่อน

    huyo mikala mwenyewe hazeeki jmn😂😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 4 หลายเดือนก่อน +9

    Halafu huyu Mikala alikua mzuri saana jamani.

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa watangazaji si mwende kwa wazaxi wake sheeda nini kutafutana ubaya na watu wengine

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 4 หลายเดือนก่อน +21

    Mikara inawezekana asiwe mutu wakawaida maana haiwezekani habari zake zikosekane bongo nzima na nchi za nje mpaka reo

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂Jin sio

    • @-kagerayetubw9jx
      @-kagerayetubw9jx 4 หลายเดือนก่อน +2

      😂sema family yake sio watu wa mitandao

    • @pastor-Chrisfeston1
      @pastor-Chrisfeston1 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ulikua ndani ya ubongo wangu vile dah😂😂😂😂😂

    • @StevJimmy
      @StevJimmy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli

  • @IsaacMikizi-ms1nz
    @IsaacMikizi-ms1nz 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu akubariki

  • @FiftinoTyga025
    @FiftinoTyga025 2 หลายเดือนก่อน

    Mikala hafa. Kabla hajaanza kuingiza tulikua tunakaa nae flat za shekilango block c. Na baada ya kua maarufu aliondoka lkn ndugu zake tuliendelea kukaa nao. Sijawahi kusikia wakisema bahati amefariki. Tulikua tunamwita bahati au lucky.

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa wewe muandishi kamtafute Mtitu umuhoji xaxa ushapewa direction 🙌🏻

    • @MinnahPetra
      @MinnahPetra 4 หลายเดือนก่อน

      Eeeeh ushaema

  • @saumulukuwa7973
    @saumulukuwa7973 3 หลายเดือนก่อน +1

    sasa huyo mtitu ambao ni baba mtoto wake aje atueleze 😂😂😂

  • @BeatriceHilya
    @BeatriceHilya 4 หลายเดือนก่อน +3

    Alikuwa msanii nimeona movie zake mbili lost twins na movie ya mkataba mikala ndio yy kabsaaa na kama angekufa wasanii wangejua hata kdg hajafa haki yupo ndio yeye aaaah nipo pamoja na yy mpaka aseme ukweli 😢😢😢

    • @estherobed8693
      @estherobed8693 3 หลายเดือนก่อน

      Ni huyu huyu wasasa anajificha tu hatak wamjue

  • @ZulekhaAmar-fy4pm
    @ZulekhaAmar-fy4pm 2 หลายเดือนก่อน

    We dada huyo sinisawa nababako heshimayako ndosalamu yawapi hii mna mtu anashindwa aitikie vipi

  • @AnnaHussein-d8s
    @AnnaHussein-d8s 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi huyu mikala Hana hata majiran jmn watuambie ukweli

  • @ZautuniKilongola
    @ZautuniKilongola 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wataften ndugu zake kwani hamna ata ndugu zake waelezee zaid

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 4 หลายเดือนก่อน +17

    Hivi kwanini nyie waandishi hamna adabu eti heshima yako pumbavu zenu waweza mwambia baba yako mzazi heshima yako

    • @zuberimohamed43
      @zuberimohamed43 3 หลายเดือนก่อน

      Usichokijua ni kwamba kabla ya kuwasha camera walisha salimiana na kupangana juu ya content waliyopnga kuizungumzia

    • @DavalsonMarlony
      @DavalsonMarlony 2 หลายเดือนก่อน

      ningemwambia akaichukuwe nyumbani

  • @SEGOLTAMONLINETV
    @SEGOLTAMONLINETV 2 หลายเดือนก่อน

    MIKALLA amekufaga kitambo MAREKANI..........

  • @veronicabruno6071
    @veronicabruno6071 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna kitu tujifunze kuwa kama mhusika taarifa zake zinasemekana kafa basi tuheshimu hilo maana huwezi jua kwanini taarifa zake zinafichwa

  • @FiftinoTyga025
    @FiftinoTyga025 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zake walikua wanakaa block c no 6 ila kwa sasa wamehama. Ni ukoo wa kina maruchu

  • @StellaStella-kk4mp
    @StellaStella-kk4mp 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu mikala hana ndugu wa karibu si muwaulize jamani

  • @matildamoris3641
    @matildamoris3641 4 หลายเดือนก่อน

    Achaneni naye kifupi hatak shobo mbona munahangaika Sana jmn😅😂😂😂

  • @GreenMurono
    @GreenMurono 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani familia si iweke wazi mkala alienda wapi kama alikufa watuambie

  • @FiftinoTyga025
    @FiftinoTyga025 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi niliyebahqtika kuishi nae flat ni yeye huyu anaeonekana. Ni wachaga wa marangu moshi anaitwa bahati

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huko sahihi baba kanumba kipaji chake alikiibua William mtitu miaka ya nyuma alipanga nyumba ya mama wakiarabu upanga

    • @BinHakim
      @BinHakim 4 หลายเดือนก่อน

      Anaezungumziwa siyo Wiliam Mtitu huyu wa sasa bali ni yule Mtitu Game 1st quality

  • @crdbBank-z1t
    @crdbBank-z1t 3 หลายเดือนก่อน

    uyo aliye fanya interview akasema kwamb yey sio bas akaonyeshe kabur la huyo mikala

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani walipo cheza nae wali mtoa Wapi,ili wasidjui hata nyumbani kwao kuenda kuuliziya 🤷ao hakuwa mtu kamili

    • @StevJimmy
      @StevJimmy 3 หลายเดือนก่อน

      Labda alikuwa jini

  • @NechLove
    @NechLove 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huenda alivyomaliza kucheza ameendelea na maisha yake nje ya move

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anawazingua ni yule wa Insta ndy mikala kubalini hilo mshenzi yule bint

    • @wisemelodytz589
      @wisemelodytz589 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialA83640hapana, yule ni mdogo mno, kumbukeni kipindi kile lulu alikua mdogo kuliko mikalla, now kwamba lulu aonekane mkubwa kuliko mikalla, alafu uyo binti alishasema dadaake alifariki kwa ajali

    • @nahyahya7349
      @nahyahya7349 4 หลายเดือนก่อน

      Miaka yote hiyo Mimi mwenyewe nilikua mdogo mpaka Leo Nina miaka 30 Bado yeye alingane vile siyo yeye​@@OfficialA83640

    • @shedy_marie
      @shedy_marie 4 หลายเดือนก่อน

      Alijiona kafanya vzr pia hakulipwq vzr alikasirika

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน

      @@shedy_marie Alipwe vizuri vp na mwenye movei ndy mwanaume wake aliyezaa nae🤣🤣🤣

  • @TunuJuma-dj2kq
    @TunuJuma-dj2kq 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo anayesema ni ndugu na mikala shida anaekana yeye kama mdogo alafu mikala wakati yupo kwenye ile muvi alikuw mkubwa alafu huyu wa sasa mbona umri unataka kulingana Ina maan now mikala angekuwa umri kidogo ushaenda lakin huyo wasasa aliyezuka kidogo umri wake ni mdogo

  • @BintoOmar
    @BintoOmar 4 หลายเดือนก่อน

    Bas hao walikuwa mapacha mikala amefariki huyo n ndugu yake ndio maana anashindwaa kuiga kama dada yake

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 4 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu mzee ndio Aliekuwa baba wa.Lulu na ndie.Aliekufa.kwa.kutiliwa Sumu kwenye mswaki.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 หลายเดือนก่อน +2

    Lost twice really she is lost 😢😢😢

  • @NoreenStraton
    @NoreenStraton 4 หลายเดือนก่อน

    At this point I don't know which is which

  • @LilhanWile-ho4sc
    @LilhanWile-ho4sc 4 หลายเดือนก่อน

    ndugu zake wanasema mikala amefariki kwa ajari

  • @jmastertz161
    @jmastertz161 4 หลายเดือนก่อน

    Alifariki kwa ajali jaman akiwa marekan yupo mdogo wake tu wanafanana anaitwa bahati

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa uyo mikala hakuwa na familia si ni mtanzania familia ijitokeze iseme ukweli kwake

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mikala jaman 😂😂😂ni binaadam au ni jini kwa kwel..kila mtu hajui chchte khs mikala 🙄🙄

  • @fatimamkambo
    @fatimamkambo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mtitu amezaa na Mikala na alimpangia au kumjengea Mbezi beach Mikala hajakufa yupo hai

    • @olicej7837
      @olicej7837 4 หลายเดือนก่อน

      Weee jmn😂😂😂😂😂ko ndo huyo wa TikTok kweli au siyo yeye

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@olicej7837Ndy yule yule kazaa nae watoto wawili

    • @OmanOman-hj7tv
      @OmanOman-hj7tv 4 หลายเดือนก่อน

      Ooooh kumbe alizaa nae mikalla basi akaulizwe mtitu ndo anamajibu yote

  • @RosetteKahuga
    @RosetteKahuga 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa ao alikuwa jini huyo mikala wenu

  • @FatmaMohammed-dt5uy
    @FatmaMohammed-dt5uy 3 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @DorcasKyalo-p1q
    @DorcasKyalo-p1q 4 หลายเดือนก่อน

    huyo si mikala maana mikala lazima awe mzee kwa sababu mm niliiona iyo movie nikiwa na miaka saba na nina miaka 21

  • @socolamussa
    @socolamussa 4 หลายเดือนก่อน +5

    tusemetu mikara alikua jini😅😅

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 3 หลายเดือนก่อน

    Wairani sio warabu hao ni waajemi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 4 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli huyu mikala kitambo cmuoni

  • @BarkisLambert
    @BarkisLambert 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amezaa na mtitu watoto 2 Anajidai mtoto wa2000😅😅😅😅😅

  • @LevyKipkorri
    @LevyKipkorri 3 หลายเดือนก่อน

    iyo movie nili ipenda muno muno

  • @Switielie
    @Switielie 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo we umekula rambirambi yako 🤣🤣🤣

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 4 หลายเดือนก่อน

    Kinacho wafanya mwaangaika na hyo Dem ni nni..? Mushaambiwa alikufa Khalas

  • @AishaAishasalum
    @AishaAishasalum 4 หลายเดือนก่อน

    MTUPEKEE ANGEJIBU JIBU HILI KWA USSHIHI NI MAREHEMU KANUMBA

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 4 หลายเดือนก่อน

    Naa kumbe na ww mtangazaji eeh napenda vitimbwi vyako

  • @besttrendingcovers1838
    @besttrendingcovers1838 4 หลายเดือนก่อน

    jaman si mmtafute mtitu ambaye ndiye alikuwa mme wake nadhani kuna kitu atatupatia na kutuondolea utata kabsa. isitoshe mikala ana watoto so kupitia watoto wake pia tutaondoa utata

  • @NIELIDAUSWAHILI
    @NIELIDAUSWAHILI 4 หลายเดือนก่อน

    Una movie huyu Baba alichezan na jamaa aitwae peter na wolper yumo ndani inaitwa DADDY'S WIFE hivi naweza kuipatawapji?

  • @KhadijaSadiki-n3t
    @KhadijaSadiki-n3t 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wao wenyewe ndo wanazushiana kwakua huyo alofanana ndo alisema mikala kapata ajali mwili uliharibika. Kazikwa huko nje a nchi.
    Basi kama yuko hai hataki media upumzike I tena

  • @yuivankey
    @yuivankey 4 หลายเดือนก่อน

    Yani kila channel swali hilo hilo kwamba ubunifu hakuna au nn? Yule ni mikala mwenyewe nyinyi mmekazana kuuliza yeye sio yeye mtu kashahamua kujikataa na nyie kausheni fanyeni maisha yenu km kakataa mwenyewe sasa ya nini kuuliza kila msanii mwacheni mtu afanye maisha yake uwezi kujua kwnn anajikataa siri ya mtu uwezi jua

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 4 หลายเดือนก่อน

    Basi wamtafute mtitu.mbona.laisi

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee huyu anakipaji kikubwa cha husika

  • @KudratyRamadhan-cm3xh
    @KudratyRamadhan-cm3xh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo atafutwe mtitu ndie atakuwa anaujua ukwel

  • @rashidwaziri8825
    @rashidwaziri8825 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtafuteni mtitu jmn

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 4 หลายเดือนก่อน

    Nae yumoooo

  • @ShazmaRamadhan-w4o
    @ShazmaRamadhan-w4o 4 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo kwel wale ni mapacha au?

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 4 หลายเดือนก่อน

      Sio na wee ni stor tu

  • @DeusMagere
    @DeusMagere 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mikala alishafariki tangu 2009
    Alifariki kwa ajali huko malekani

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 4 หลายเดือนก่อน

      Acha uwongo

  • @FaustaKessa
    @FaustaKessa 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa siajitokeze aseme yupo hai kamakweli yupo aunisifa kusema amekufa washamba nyie

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 4 หลายเดือนก่อน

    Tafuta wazazi wake

  • @abdullaabdulla8485
    @abdullaabdulla8485 4 หลายเดือนก่อน

    mtitu atafutwe

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mikala kama kweli yupo tangu waanze kumzungumzia ad leo yaani asionekane?? Sio kweli inawezekana alishafariki

  • @raymondbahati7626
    @raymondbahati7626 4 หลายเดือนก่อน

    Ao huyu hakukuwa mwanadamu,usione alipewa tu kanumba alipo chukuwa mukataba.
    Niache niende zangu

  • @deborajacob3598
    @deborajacob3598 4 หลายเดือนก่อน

    Kwan hana wazaz c mfatilie kwa wazaz wake

  • @rashidwaziri8825
    @rashidwaziri8825 4 หลายเดือนก่อน

    Jmn mgemtafuta mtitu g !!! Ndo anajuwa kila kitu maan yake ndo anafahamu

    • @laddymghana
      @laddymghana 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mtitu alisha hijiwa kasem hajui yan mpka walisha enda mahali alipokiwa anaishi na wakamkosa na bado rafiki yake wetii walio cheza nae jumba la thahabu alisema mikala sijui yuko wap ila alisema hajafa na akasema ya wezekana huyo wa tiktok ndio mikala mwenyewe ila picha zake ana zi edit

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน

    SASA KAMA HAJAFA YUKO WAPI??MSITULETEE UMBWIGA;;;ANA PESA GANI YA KUJIFICHA ASIONEKANE MAHALI?? NASHANGAA KUNA MTU ANAAMINI KILE KIDEM KINACHOTREND NDO MIKALA,,,ALIYEKWAMBIA MUNGU ANAUMBA IVYO NANI,,,NI LAZIMA UCHAKAE KADRI MIAKA INAVYOSOGEA

    • @Petitegift
      @Petitegift 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @Hajer-be2kh
      @Hajer-be2kh 4 หลายเดือนก่อน

      We kweli bwege 😂😂

    • @SHABANIMALIMA
      @SHABANIMALIMA 4 หลายเดือนก่อน

      Kile Kitoto mambo Super

    • @KautharMartin-sc9cm
      @KautharMartin-sc9cm 4 หลายเดือนก่อน

      Wana pesa sio hela anakulisha mwaka mzima

    • @HASSANBAKARI-q9c
      @HASSANBAKARI-q9c 4 หลายเดือนก่อน

      @@KautharMartin-sc9cm 😅😅

  • @BeatriceHilya
    @BeatriceHilya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa msanii nimeona movie zake mbili lost twins na movie ya mkataba mikala ndio yy kabsaaa na kama angekufa wasanii wangejua hata kdg hajafa haki yupo ndio yeye aaaah nipo pamoja na yy mpaka aseme ukweli 😢😢😢

    • @AishaAishasalum
      @AishaAishasalum 4 หลายเดือนก่อน

      Na jumba la dhahabu pia kaigiza

  • @FatmaMohammed-dt5uy
    @FatmaMohammed-dt5uy 3 หลายเดือนก่อน

    🎉