DIAMOND ALIVYOMTAMBULISHA ANJELLA WA KONDE GANG KUWA MSANII WA WASAFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • #Richplus+
    #diamondplatnumz
    #Anjella
    #Harmonize
    #Wasafi
    #Wasafifm
    #Wasafitv

ความคิดเห็น • 209

  • @brownkidfg-in8yb
    @brownkidfg-in8yb 12 วันที่ผ่านมา +70

    kubalikwamba diamond nimtu mwenyeroo nzuri saana tugobge lik hapa

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 11 วันที่ผ่านมา +47

    Licha na kuwa na kipaji kikubwa cha muziki, Diamond platnumz ni mtu mwenye hekima na busara tele😊❤

    • @SheilaSaidi-b7l
      @SheilaSaidi-b7l 11 วันที่ผ่านมา +2

      😂❤Kabisaaa🎉🎉

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา +2

      Kabisa yn❤🎉

    • @swaiboe6646
      @swaiboe6646 9 วันที่ผ่านมา +2

      Mondi ni noma na kwa bongo tumuache tu mana kawaacha mbali san wasanii wenzie. Ila kwa hekima na busara nampa40% alf kwa ubadi uhuni, unyama na vyengine vyote nampa60%

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 8 วันที่ผ่านมา

      Hahaha unaongeq hivo kwqsbb hujui undani wake,hata kama ungeakua wew kweny tafrija ya watu huwezi kuonesha uwarisia wako lazima utafeki ila ukiwa nje ya tafrija au muwazara wa watu tabia yako inajulikana,ss ww unaongea hivo kwasbb humjui tabia yake vzr,ila tuliokaribu tunaijua

    • @luckyluchano1
      @luckyluchano1 8 วันที่ผ่านมา

      @@IdarousPossy kajifunze kiswahili kwanza ndio ukuje kupiga kelele humu

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e 12 วันที่ผ่านมา +23

    Hapa ndio diamond hanapo wanyamazishaga wasio mpenda. bravo bravo bravo👋diamond.

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 11 วันที่ผ่านมา +13

    This guy is full of wisdom alaf humble ❤

  • @SalomeMalimi
    @SalomeMalimi 5 วันที่ผ่านมา +2

    Braaaavooooooo👍👍👍👍👍❤uuu platnumz

  • @evalineisaya8217
    @evalineisaya8217 11 วันที่ผ่านมา +8

    Mm ni shabiki yake Hadi mwisho. Nampenda sana huyu kaka , Ukubali ukatae Diamond ni mpiganaji.,mpambanaji na anjua namna ya kuvuna baraka za Mungu.!. Kwan ni mtoaji sana, anasidia bila kinyongo.. Mungu akutunze kaka. Ur my idiol!.

  • @BrianMwante-q6d
    @BrianMwante-q6d 11 วันที่ผ่านมา +12

    Jamaa kumbe anajua kuongea vizur sanatu, I like it

  • @Msindo.Famiry.Korogwe
    @Msindo.Famiry.Korogwe 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kwa wema anao huonyesha Platnumz.. kwann mungu asimbaliki na kutimiza ndoto zake za kuwa Number 1 tajiri duniani maana kila anae msaidia anamshukuru..Mashabiki wa Diamond tujuane kwa like 👇

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 7 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu kaka msitaarabu sana yupo vizuri kwakweli ndio maana anajuwa ata jinsi yakuishi na mama watoto wake zali mond hana baya kwakweli mie nampenda mpaka nampenda tena❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @erickyrojaz9148
    @erickyrojaz9148 4 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera Sana daimond mungu akutunze

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 11 วันที่ผ่านมา +5

    chibu chibudeeee aiseeee comasava🤝🤝 kunankitu ndani yenu mtafika mbali ALL the best,,,,,kwa hili mmeupiga mwingi,,,,, Anjela yuko sehemu sahihi

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 11 วันที่ผ่านมา +13

    Big up
    Mtoto wa tandaleee

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 12 วันที่ผ่านมา +13

    hii ni maalumu sana kwa waliolelewa na Mama tu au wale Baba washinda kwenye kahawa lakini wale Baba zenu walibeba ndwika au walipamba kama Baba kufanikisha msome au kufika mlipo hii ni tunaita Baba tenda wema sifa ziende kwa Mama R.I.P Baba

  • @OdetteNDAYISENGA-gh1vo
    @OdetteNDAYISENGA-gh1vo 9 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi muatu nakubali sana uyujama namukubali sanasijawai kumuona ila namukubali sana tena sana ninaomba sikumoja mungu anijalie nimuone nimupe hongera zake

  • @chinsalarachideadamo2098
    @chinsalarachideadamo2098 11 วันที่ผ่านมา +6

    Nakubali sana mwamba, unanipa give up

  • @GraceKweka
    @GraceKweka 7 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri Sana D hongera Kaka mungu akuongoze pia endelea na moyo huo utazidi kuongezewa kaka

  • @JohndevoJohndevonjusi
    @JohndevoJohndevonjusi 12 วันที่ผ่านมา +82

    ifike mda huyu jamaa tumueshinu kama unapinga we pinga tuh ❤

    • @khalifasaidi7001
      @khalifasaidi7001 12 วันที่ผ่านมา +5

      Upo sahihi huyu ndo chibu tunayemjuwa

    • @ISSASHABANI-sw7lx
      @ISSASHABANI-sw7lx 12 วันที่ผ่านมา +4

      Kwaiyo kama kitu unakiheshim wewe unataka na sisi sote tukiheshim ama vipi

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@ISSASHABANI-sw7lxkwa hiyo unataka Kila unachokataa wewe nasi tukatae Kama wewe hutaki kaa kimya Wacha MAKASILIkO

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@ISSASHABANI-sw7lxwey museng saaana

    • @belitomanuel6240
      @belitomanuel6240 11 วันที่ผ่านมา

      We kenge tu kama wengine 😅😅😅😅​@@ISSASHABANI-sw7lx

  • @SamuelMarwa-z3h
    @SamuelMarwa-z3h 11 วันที่ผ่านมา +5

    Thenk you bro mi namini kila kitu kina wezekana

  • @loizbanaWazawa
    @loizbanaWazawa 12 วันที่ผ่านมา +21

    Nakubali unyama sana simba

  • @Magubikatv
    @Magubikatv 11 วันที่ผ่านมา +16

    WASAFI ndiyo mpango mzima,
    team simba wote tufahamiane

    • @Magubikatv
      @Magubikatv 11 วันที่ผ่านมา

      Magubika from tz

  • @Ndobiwe
    @Ndobiwe 9 วันที่ผ่านมา +4

    Aisee kaka una moyo sana umevumilia matusi mengi,

  • @LaikaMapunda
    @LaikaMapunda 3 วันที่ผ่านมา +1

    Namkubali sana mond💞❤🙏ongeraaaa

  • @norahkathoni
    @norahkathoni 11 วันที่ผ่านมา +5

    More love simba.❤

  • @SaidBuliba
    @SaidBuliba 12 วันที่ผ่านมา +38

    KAMA TUNAMKUBALI SAANA DIOMONDI PLATNUM DONDOSHA COMMENT

  • @halimaallyazizi4443
    @halimaallyazizi4443 12 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akubariki daimond

  • @user-pm9gs1xb1j
    @user-pm9gs1xb1j 12 วันที่ผ่านมา +8

    Mansh Allah 😊

  • @MarianaChiboss
    @MarianaChiboss 11 วันที่ผ่านมา +5

    Heshum kwake yeye simba ❤

  • @davidnguta-cz4ey
    @davidnguta-cz4ey 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu ukuongezee bro kw kua na moyo mzuri mm npo kenya ila nazkubali kazi zko big up

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 7 วันที่ผ่านมา +2

    Diamond endelea kubalikiwa zaid na zaidi kwa kuendelea kuwashika mkono wasanii wenzio ulichokifanya kwa Angela

  • @CrementPascar
    @CrementPascar 4 วันที่ผ่านมา +1

    Asante nakubari sana simba la masimba dangote

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา +8

    Simba la masimba dangote nakukubali sana❤❤❤

  • @OmarBege-rp1bj
    @OmarBege-rp1bj 10 วันที่ผ่านมา

    More love from 🇰🇪 🇰🇪 big up simba

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 12 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤simba🔥🔥🔥🔥🔥💐💐

  • @LevoBadiboyBernard
    @LevoBadiboyBernard 12 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu ni msanii bora wa mda wote

    • @LuluDizo
      @LuluDizo 11 วันที่ผ่านมา +1

      🤭 🤭🤔 bado

    • @DevatkTk
      @DevatkTk 11 วันที่ผ่านมา

      Dah kk anajitahid xan

  • @user-mj5ds7il9u
    @user-mj5ds7il9u 9 วันที่ผ่านมา +1

    Diamond ❤❤❤❤

  • @collinsnyoro1450
    @collinsnyoro1450 12 วันที่ผ่านมา +22

    Yani nikimuona Simba,natamani angelikua tu mkenya dah🤔🤔 more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254

    • @JoshuwaAbraham
      @JoshuwaAbraham 12 วันที่ผ่านมา +5

      Nyie c mnae Eric omondi

    • @collinsnyoro1450
      @collinsnyoro1450 12 วันที่ผ่านมา +5

      @@JoshuwaAbraham Erick omondi ni comedian tu. Tunataka simba la masimba dangote 🦁🦁. Ameipeperusha bendela ya tz, east Africa na Africa kwa ujumla to the world.much love from Kenya.

    • @AntonSamwel
      @AntonSamwel 12 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂​@@JoshuwaAbraham

    • @ndayizeyewilly1664
      @ndayizeyewilly1664 12 วันที่ผ่านมา +1

      @@AntonSamwel😂😂😂😂

    • @hendricswitbert6980
      @hendricswitbert6980 11 วันที่ผ่านมา +1

      Tafuteni simba wenu😂😂

  • @StevenEzekiel-uq8bi
    @StevenEzekiel-uq8bi 11 วันที่ผ่านมา +1

    good brother nakuku bali sana

  • @user-fp4hx9tw9o
    @user-fp4hx9tw9o 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana simba

  • @RevocatusJulian
    @RevocatusJulian 7 วันที่ผ่านมา

    my favorite artist

  • @mariamJeffe
    @mariamJeffe 5 วันที่ผ่านมา

    Nampenda sana diamond anahangalia hali zote

  • @LaikaMapunda
    @LaikaMapunda 3 วันที่ผ่านมา +1

    Umeisha Babaaa koma sava❤😅😅

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 7 วันที่ผ่านมา +2

    Unaposema umererewa namama wakati pichazako zinatuonyesha ukiwa namzee abduri mpaka ukiwa mkubwa sekondari wejamaa unamkosea Mzee abduri😢

    • @AzhadSaid-j1t
      @AzhadSaid-j1t 7 วันที่ผ่านมา

      Daimond msenge anachuki za kike yule.mzee alikua amuheshimu amsaidie

    • @ruuspicyasmr1694
      @ruuspicyasmr1694 6 วันที่ผ่านมา

      Kwani ukipiga picha na MTU inamaanisha amekulea

    • @user-oc5en5ye4m
      @user-oc5en5ye4m 5 วันที่ผ่านมา

      Kwaiyo ulitaka asemeje

    • @user-oc5en5ye4m
      @user-oc5en5ye4m 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@AzhadSaid-j1tsio kama msenge ni wewe usiojielewa

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 6 วันที่ผ่านมา +1

    Simba 🎉

  • @Breezydown
    @Breezydown 9 วันที่ผ่านมา +1

    Very nice ❤ simba turkish tekeşekurler Aslan

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 12 วันที่ผ่านมา +5

    Kitenge na zembela ni Oscar ni wasema ukweli nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi kwahiyo wacha waseme ukweli ili serikali itambuwe wajibu wake

  • @AlfredAyub
    @AlfredAyub 7 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kaka nakukubali kaka

  • @user-fp4hx9tw9o
    @user-fp4hx9tw9o 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mm nilikutabiria utakua mwenye nafasi ya juu kabisa ya uongozi ktk serkali

  • @LaikaMapunda
    @LaikaMapunda 3 วันที่ผ่านมา

    Wa pi Simba ❤❤

  • @benjaminimwaki4374
    @benjaminimwaki4374 3 วันที่ผ่านมา

    Ata matusii naona wapinzani mmepunguza now days😂 NA SIMBA LA MASIMBA DANGOTE❤

  • @NdayishimiyeLookman-g3w
    @NdayishimiyeLookman-g3w 12 วันที่ผ่านมา +3

    Nc🎉

  • @NelbatKasekwa
    @NelbatKasekwa 12 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubaliki saana🎉🎉

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 12 วันที่ผ่านมา +3

    Sawa

  • @LaikaMapunda
    @LaikaMapunda 3 วันที่ผ่านมา +1

    😊😊😊Nakubaliii platnum

    • @LaikaMapunda
      @LaikaMapunda 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mondy nim2 wa wa2 apewe🎉🎉🎉yake

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 12 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤❤😊😊

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 7 วันที่ผ่านมา +1

    Sifa zimezidi mnoo,binafsi kwangu baba anayo heshima kubwa kuliko mama sababu aliniacha, pia level sahihi ya uongozi wa mwanamke ni kwenye familia tu, kusaidia ulezi wa watoto na kumsaidia mwanamme katika shughuli zake za kila siku. Nyazifa za juu za kiutawala mwanamke hafai kabisa kutoa last say, ni vile tu wanandamu tunaforce nyeusi kuwa nyeupe, kamwe haujawahi kuwa Mpango wa MUNGU.

    • @LihogosaMicrocredit-n7y
      @LihogosaMicrocredit-n7y 6 วันที่ผ่านมา +1

      upo sahihi, Halafu ukiongea hv Kuna wajinga watapinga wakisema ni mfumo dume ila ukweli ndo huo

    • @milazoomilazoo4494
      @milazoomilazoo4494 5 วันที่ผ่านมา

      Acha kuongea unafkiiii daimondiii ni mtuuuu WA maana na kweliii kalelewa na mamaa

    • @LihogosaMicrocredit-n7y
      @LihogosaMicrocredit-n7y 5 วันที่ผ่านมา

      @@milazoomilazoo4494 Ni vema kuelewa point yangu nasi kuponda tu
      Wala hajapondwa Mond hapo

    • @MATIKO9640
      @MATIKO9640 2 วันที่ผ่านมา

      @@milazoomilazoo4494 Na wewe acha up..z kwenye comment yangu, diamond kulalia upande wa Mama yake yuko sahihi kwasababu ndiye kamlea, hata mimi nalalia upande wa Baba maana ndiye kanilea, siyajui malezi ya mama usiniforce niwe na mapenzi na Mama, otherwise that is stupidity, kaa kando na yasiyo kuhusu. Nyie mnasema hakuna kama mama mimi nasema hakuna kama Baba reasonlessuring.

  • @HarietsidiJali
    @HarietsidiJali 9 วันที่ผ่านมา

    God bless you diamond

  • @HamzaChitanda
    @HamzaChitanda 12 วันที่ผ่านมา +3

    Sanamu ya mond inachelewa nini kuwekwa?🎉🎉🎉🎉yake mengi.

    • @LuluDizo
      @LuluDizo 11 วันที่ผ่านมา +2

      😏 awekew sanamu kafanya kitu gani cha maan chakulikosha taifa kila mtu na mtazamo wake

    • @svt3
      @svt3 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@LuluDizoni raisi saana kutambuwa maskini wenye wivu ya mafanikio na kutambuwa mema ya wengine

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@LuluDizoAcha wivu ww umefanya nn kikubwa

  • @Dealson-w5l
    @Dealson-w5l 10 วันที่ผ่านมา

    Kwa hili diamond umetisha milele

  • @JuaKali-x9t
    @JuaKali-x9t 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera kwa HEADLINE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @munirmuhamed5908
      @munirmuhamed5908 12 วันที่ผ่านมา +2

      KAONA KAWIN LAKIN KIUHALISIA KAFEL! Kueka Headline Kama Iyo Ya Uongo Utapata Views Kwa Iyo Video Lakin Ngum Kupata Subscribes Yani Anafanya Kujitekenya Na Kucheka Mwenyew 🤣🚮

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 11 วันที่ผ่านมา

      Ndo media zilivyo😂😂😂lzm mu View ata km hamta watch

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@munirmuhamed5908😂😂😂

  • @MohammedMemba
    @MohammedMemba 3 วันที่ผ่านมา

    Diamond nakubali San uyo jamaa Hana baya na mtu

  • @user-ql6vg2uv6w
    @user-ql6vg2uv6w 7 วันที่ผ่านมา

    Yan mi nakupenda buree uko very

  • @victorodinga7722
    @victorodinga7722 6 วันที่ผ่านมา

    Umeniguza kaka mondy mama apewe heshima zake

  • @JacklineMongare
    @JacklineMongare 7 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OdongoJohn-u7v
    @OdongoJohn-u7v 6 วันที่ผ่านมา

    Namkubali

  • @CamweziKarashnekov
    @CamweziKarashnekov 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ww ndiye msani wangu pendwa ulimwenguni.hakuna cha chris ao brown yani diamond forever labda wafufuke Jackson na 2PAC

  • @HALIHAMISI
    @HALIHAMISI 11 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana simba la ma simba

  • @NaimaSaid-r6c
    @NaimaSaid-r6c 2 วันที่ผ่านมา

    Ni bora niwape heshima Wazazi wangu au Boss anaenipa jeuri xaxa naanzaje kumweshimu mtu ambae afungamani na mimi kwa chochote?
    Kama anae taka kuheshimiwa bhas apambane sana ktk utafutaji pesa

  • @ZakruChikota
    @ZakruChikota 9 วันที่ผ่านมา

    Diamond ni mmakonde mtwara kuna vipaji sana

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 วันที่ผ่านมา

    Simba❤❤❤❤❤

  • @mondekidd
    @mondekidd 9 วันที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 11 วันที่ผ่านมา +3

    🤔🤔🤔Ndio maana mwijaku Anachuki kwa kukosa huu muokoto wa hii siku !!!🤣😂🤣🤔Kweli mwijaku ni Muosha Viatu vya matajiri😂🤣😂🫣🤣😂

    • @iamnas95
      @iamnas95 11 วันที่ผ่านมา

      Yuko marekani

    • @DevatkTk
      @DevatkTk 11 วันที่ผ่านมา

      Kak anazurura

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@iamnas95 😂🤣kaenda kuomba mchango wa deni la Kipanya kwa mangeee😂🤣🤣🫣😂🤣

    • @iamnas95
      @iamnas95 11 วันที่ผ่านมา +1

      Hahahaha daah!!🙌🏽🙌🏽​@@AfricaQueen

  • @salomemanfred1809
    @salomemanfred1809 5 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤

  • @bdreams2793
    @bdreams2793 8 วันที่ผ่านมา

    Uyo camera man ana d ngapi mbona abakata kicwa ca boss

  • @UsiulizeUsiulize-y5h
    @UsiulizeUsiulize-y5h 12 วันที่ผ่านมา

    Safi sana wewe jamaa mtu sana

  • @Aisha-f2r
    @Aisha-f2r 2 วันที่ผ่านมา

    Simba aeshimiwee

  • @carlosn_tz
    @carlosn_tz 5 วันที่ผ่านมา

    Angela ni dk ya ngapi?

  • @UsiulizeUsiulize-y5h
    @UsiulizeUsiulize-y5h 12 วันที่ผ่านมา +1

  • @DevatkTk
    @DevatkTk 11 วันที่ผ่านมา

    Me naon afanye anavy jua au xio
    Sem 2an🤑🤑🤑🤑🤑🤑

  • @salumchina3258
    @salumchina3258 8 วันที่ผ่านมา

    Saf sana

  • @user-qx4pc3rx8g
    @user-qx4pc3rx8g 10 วันที่ผ่านมา

    Mama samia hakuna aliefanya

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 11 วันที่ผ่านมา

    Hatr

  • @AugustinoGuna
    @AugustinoGuna 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kwann kafanya nn daimond

  • @RauwrencMbwana
    @RauwrencMbwana 9 วันที่ผ่านมา

    Mimi Toka anaanza mziki namkubali sana hakuna zaidiyake msanii yeyote mambo akifànya anaiga Kwa daimondi

  • @comm611
    @comm611 11 วันที่ผ่านมา +1

    simba. ni. mottoooooo

  • @godfreymbembela329
    @godfreymbembela329 8 วันที่ผ่านมา

    Lakini haitoi maana ya baba hana nafasi ya matunzo kwako.

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 11 วันที่ผ่านมา

    Doh! Diamond kashaupiga mwingi kwa shuhuli hii..So Diamond hata kama kuna mapunfufu kwa srrekali ya mama Samia ,pliz mulika ndio mama Raisi Samia aweze kufanya juhudi Zaidi ili kuendeleza Tanzania.#Maghufuli hoyeee

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri 8 วันที่ผ่านมา

    Wapi alimpomtambusha mtoa post mbona unatuburuza

  • @LeonardThadeo-u8s
    @LeonardThadeo-u8s 7 วันที่ผ่านมา

    Waha kigoma hatuna roho mbaya sisi kupamban mafanikio yetu ni kusaidia wengne hatunaga baya

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 11 วันที่ผ่านมา

    Safi sana zombie ila katika wamama mtowe Samia awe pembeni hana mana shenzi sana

  • @user-eu4pk3eh5d
    @user-eu4pk3eh5d 8 วันที่ผ่านมา

    Kimeumanaa mmakonde atafute pakujificha

  • @GiftMsafiri
    @GiftMsafiri 11 วันที่ผ่านมา

    Anafanya nn huyooooo mbn misogamie ni Mingi kuliko kaz?

  • @DenisKisaka-w5j
    @DenisKisaka-w5j 7 วันที่ผ่านมา

    Simba

  • @nyauclassictv805
    @nyauclassictv805 9 วันที่ผ่านมา

    Diamond anafata njia za BOSS RUGE

  • @SelemanTweve-sv3kx
    @SelemanTweve-sv3kx 11 วันที่ผ่านมา

    Babaa levooo sasa nikuchekaa tuuuu

  • @RobertJoseph-h8j
    @RobertJoseph-h8j 6 วันที่ผ่านมา

    Simkubali kabsa mondi

  • @jacobanania2741
    @jacobanania2741 11 วันที่ผ่านมา

    Tum heshima kwa lipi

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 วันที่ผ่านมา

    Simba lamasimba haujui

  • @SYMOO_NINJA
    @SYMOO_NINJA 9 วันที่ผ่านมา

    lakini jaman mtoto wanyoka ninyoka tu kama yeye alivo mkataa mtoto wa hamisa mobeto hivo bas yeye na baba yake kamba nimoja

  • @EastOneDiamante
    @EastOneDiamante 8 วันที่ผ่านมา

    Maneno mazuri sna ❤@diamondi platinumz

  • @CyrilPeter-y1m
    @CyrilPeter-y1m 8 วันที่ผ่านมา

    Alhaj-aliko dangote