Ma sha Allah Ahmed wee qur aan unavijua lkn uko ktk kulipia dunia Badilika ndg yng achana na huo upuuzi WA mpira aandaa akhera yako huo ndiyo usia wangu
Una uwakika gani kama afanyi yanayompendeza mungu kule yeye yupo kazini kwake mwenyezi mungu anasema liziki ya mtu ipo mikononi mwa mtu wewe unavyomuona hamed ally kwenye kazi yake anaongea ongea hvyo au anatukana watu
Ahmed ally ama hakika uko vizuri katika nyanja zoote dini na michezo na mengineyo yote inshallah allah akujaalie kila la heri na akukinge na husda na roho mbaya za wanadamu na akujaali afya njema na mwisho mwema ameen.
Mpira nimichezo kama michezo mingine au mazoezi wisilamu haujakataza mazoezi na katika dunia kila kitu kina nafasi yake kuwa msemaji hakuzuii kusimama kwenye misingi ya dini yake nimuhimu kabisa kujua dini yako
Uongo wenu unaanzia hapo toka Mungu anaiumba Dunia hajawahi shusha kitabu ata ata amli kumi alizopewa Musa hazikuanzikwa kwenye kitabu acheni uongomtachomwa Moto wewe Ahmed wewe
Waislamu mnachanganya sana nyie mnasema mpira ni haramu na quran imekataza halafu mmewafata wasemaji wanaupamba mpira na kuukuza ndio wawe wasemaji wa mashindano ya quran hivi kwani mpo upande gani? Nijibuni kwa hoja na sio makasiriko.
Hata kama umshabiki wa Moira lakin si una Dini yako. Itakapo fika MDA wa kuongea Dini ongea kidini. Na wakati wa Mpira utaongea mpira. Kwa wewe hujui kitu nyamaza kimya
Safi ndugu zetu mmeungana kwa sababu ya mwenyezi mungu
MashALLAHu Ahmed Ali msemaji wetu ALLAH akuongoze ktk njia iliyonyooka n akujaalie mwisho mwema
Masha Allah Sharifu Ahmed Jazakallahu khair
Ma sha Allah
Ahmed wee qur aan unavijua lkn uko ktk kulipia dunia
Badilika ndg yng achana na huo upuuzi WA mpira aandaa akhera yako huo ndiyo usia wangu
Una uwakika gani kama afanyi yanayompendeza mungu kule yeye yupo kazini kwake mwenyezi mungu anasema liziki ya mtu ipo mikononi mwa mtu wewe unavyomuona hamed ally kwenye kazi yake anaongea ongea hvyo au anatukana watu
Allah atubarik. Na atufanyie wepesi amiin
Ahamed kaongea vizuri sana,hamna mambo ya mpira hapa,well done guyz
Mimi Ahmed Ally simkubali anapoongea mambo ya Simba,Lakini hapa namkubali vitu vya dini vimejaa.
Maashallah..
Hatamimi nimempenda kwaajiri ya Allaah🖕 ilakwenye simba simkubali😂
Takbiir...
Waaleykum salam warahmathullahi wabarakatuh
Mashallah
M mungu akujaalie Ahmed Ally kumbe darasa hapo lipo na vile umapewa kipaji cha kuongea mashaallah
Masha Allah
Aliy kamwe hayui Kiarab
Mashallah semaji let
Sis wanasimba tunkupend san kumbe upo vzr ht kweny Qur-an
❤❤❤❤❤🤍🤍🤍🤍🤍💙💙💙💙💙
Mashallah Semaji la cafu dini ipo pia Alhamndulillah
Mashallah Ahmed
Aya mwasemje yote kumbe yakiamua kua seriously yanaweza 😂😂
LEO AHMAD ALI NDIO SIKU K ALIO TULIZA AKILI KAONGEA HEKMA
Ahmed ally ama hakika uko vizuri katika nyanja zoote dini na michezo na mengineyo yote inshallah allah akujaalie kila la heri na akukinge na husda na roho mbaya za wanadamu na akujaali afya njema na mwisho mwema ameen.
Inshaallah tutakuwepo
Mashaallah semaji
Mbona haji manala hayupo hapo mnamtenga bwana😂
Siku zote leo ndio umeongea na kukuelewa
Mashaallah
Huko vizur Ahmed,Mashallah
Masha Allah semaj la caf
Nimekupenda kwa ajili ya Allah😁
Ww Ashamed unaujua sana sio km Kamwe yeye anjua kutamka shekhe,tu ila hakuna haya yoyote anayoijua😂😂😂
maa shaa allah
Mashaallah...Ahmed
Ninefurahi sana kuwaona pamoja mungu awaongoze
Yaani combination ya Ahmed Ally na Ally kamwe ni the best.😅Ahmed akitoa aya anamtazama Ali usoni
😂😂😂
Hivi hizi timu ni za kiislamu au!? Make zinaendeshwa sana kiuslamu! Shughuri zao zote ziko kiislamu,why! ( sina shida,nashangaa tu) 💚💛💚💛
Hujui kitu nyamaza kimya
Unateseka. Ukiwa. Wapi
ww umekerekwa na nn hapo mbona unaroho mbaya sana ww baki kushangaa hivyohivyo 😂😂😂
We zombi
@@maryamnofli2109 niko Cambridge mji wa wasomi UK,unapafahamu!? Wewe ungejibu hoja tu!
Hapa hapo kwenye mpira wapo kwa mwenyezi mungu jamani inapendeza sana kwa kweli
Maashallah umetisha mwamba
Maashaallah umetisha
Wewe kama siyo mwislamu usikomenti chochote unasema uwongo kama huna unachojuwa tulia kimya
saf sana nimependa hyo
Ahmed Aly 💓💓💓💓💓
Ahemed huy jama ana ucomedian ndani ake
Kumbe Ahmed akitulia anaongea point kabisa
Tupo pamoja
Masha'allah
Hili ndio semaji la wasema wote watu wamekubali wenyewe kufia kubwa anaitikisa tu😂😂
Maashallah mashallah
Saf Sana ndugu zangu Leo mko pamoja
Maanshaallah
Asante semaji letu
Waleykum Salam semaj
Wasemaji wote mashaallah
ahemedi ari nakuere sana
Basi mambo ya mpira mupunguze yasiwazoee moyoni kwenu
Mashaal
Mmashallah
M.MUNNGU akupe kheri ahmedi alli umelingania hakika.
Amin
Amina
Mungu atawalipa
Bismillah 😁
semaji rakafu
Hapa katika hizi timu ni uislam tuuu basi. Hutasikia Ukristo hata siku moja
Majanga 😂
Amini nakuambieni simba hawezi chukua ubingwa Ahmed AKIWA msemaji
Tupo kwenye maneno mazur mpira wako peleka viwanjani
We mwehu unawaita makafiri nani we nyuma Yako unauchafu mwingi ebu tafakari mauchafu unayofanya lofa we
Naona haina shida..hapo ni Ahmed ni muislam..ni Msemaji..yuko hapo si kuhusu mpira..
Mpira nimichezo kama michezo mingine au mazoezi wisilamu haujakataza mazoezi na katika dunia kila kitu kina nafasi yake kuwa msemaji hakuzuii kusimama kwenye misingi ya dini yake nimuhimu kabisa kujua dini yako
Quran imekuwa ya entertainment hv Sasa na kwajili ya miradi na upigaji,na Quran imekuwa ya mchezo
Mung mkubw
Hawa vijana wameanza kutumikia mambo ya uongo,, maana hakuna kitabu kilichoshuka kutoka mbinguni
Kama sio mbinguni ni wapi?
Kama hujuwi kitu uliza usibishe kitu usicho kijuwa
huku wewe hapakuhusu shetani ww..
Jifunze kuwa na adabu
Kama hjui uliza
Tukumbushane kwa yaliyo mema
Ndio
Nenda kwa mwaposa nyumbu nyie
Uongo wenu unaanzia hapo toka Mungu anaiumba Dunia hajawahi shusha kitabu ata ata amli kumi alizopewa Musa hazikuanzikwa kwenye kitabu acheni uongomtachomwa Moto wewe Ahmed wewe
kushusha kitabu hqinq maana iyoo😂😂
Mjinga ww
Wewe ni nani kwanza unaeongea huo utumbo
Kwani ndugu yangu ukisikia kitabu unafahamu nini?
Unajuwa km hujuwi kitu nyamaza acha kulopoka
Waislamu mnachanganya sana nyie mnasema mpira ni haramu na quran imekataza halafu mmewafata wasemaji wanaupamba mpira na kuukuza ndio wawe wasemaji wa mashindano ya quran hivi kwani mpo upande gani? Nijibuni kwa hoja na sio makasiriko.
Hata kama umshabiki wa Moira lakin si una Dini yako. Itakapo fika MDA wa kuongea Dini ongea kidini. Na wakati wa Mpira utaongea mpira. Kwa wewe hujui kitu nyamaza kimya
Kila mooja na anachokiamini wazee wetu walinena vizuri sana "imani yako itakuponya" kwahiyo imani za watu zisikuumize roho pambania imani yako
@@majengaomar636 mashaalwaa🙏🙏🙏
Mashallah
Masha Allah
Mashaallah
Masha allh
semaji rakafu
Mashaallah
Mashaallah
MashaAllah
Mashallah