MCHUNGAJI KIBOKO YA WACHAWI AJA NA MTINDO MPYA WA UPIGAJI FEDHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 126

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mwandishi hongeraaaa

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mganga wa kienyeji huyu..... hamna Mungu hapo..... hana tofauti na mpiga ramli chonganishi

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hiii Dunia hii watu wengi ni faras

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naipongeza selikali kwa kazi mliofanya watanzania wameibiwa sana kwa kiboko cha wachawi

  • @NicolausAsifu
    @NicolausAsifu หลายเดือนก่อน

    Baba nabii haijalishi watu wanaongea nn kukaa kimya nijibu ili ucfanane nao ukiwajibu utafanana nao maneno ya hekima in bora nasheshimu kitu mungu ameweka ndani yako piga kazi revo ya kujipizana na watu umepita

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ila huyu mwandishi nae kiboko😂😂😂🙌apelekwe Bongo movie, maana ni muigizaji mzuri.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 หลายเดือนก่อน

      Ametisha sana,apewe scene za kutia huruma bongo movie😂😂

    • @annagidion7817
      @annagidion7817 หลายเดือนก่อน

      Liongo sana hilo

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 2 หลายเดือนก่อน +6

    Waandishi mmecheza kama pele

  • @ruthsima8152
    @ruthsima8152 2 หลายเดือนก่อน +2

    hivi watu huwa hawaoni matapeli kabisa😅😅😅😅😅😊

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน +6

    WAANDISHI MMEFANYA KAZI NZURI SANA. MAANA MMEFICHUA HILI JANGILI LILILOKUWA LIKIJIPA HESHIMA YA UTUMISHI.
    NA HALINA HATA AI BU KIDOGO

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 2 หลายเดือนก่อน +3

    huuu ndo ushahidi, ambao serikal ifanye kwa wachungaji wote

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nyie watu endeleeni kujitoa ufahamu mtauza hadi nyumba zenu mkampe huyo tapeli

  • @khamis9187
    @khamis9187 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wachungaji kama hawa serikali inatakiwa iwakamate na kuwapiga sindano za kuwahanisi..ili wapate funzo!!.

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mkristo au muislamu

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 หลายเดือนก่อน

    Haaa haaa hatari 😂😂😂. Huyu asije tena Tz

  • @bahatilyimo659
    @bahatilyimo659 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awashughulikie watu kama hawa wasilione jua.

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nilijua wanamsingizia kumbee ndo zakee hahahaha hongera sana mwandishi kwa habari nzurii hahahhahahaha

    • @Alexismadimo
      @Alexismadimo 2 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi

    • @annagidion7817
      @annagidion7817 หลายเดือนก่อน

      Waongo hao acheni kuwasikiliza

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk หลายเดือนก่อน

      @@annagidion7817 Wadanganye ili wapate nini? Itakuwa umeshatapeliwa wewe na hutaki kukubali ukweli.

    • @jeremiapeter683
      @jeremiapeter683 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 ame wekewa mtego kajaa jamaa maana wabongo wasinge kubali bila ushahidi..

  • @modestapeter2997
    @modestapeter2997 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂 MGONJWA (Muandishi) AJENGEWE SANAMU yaani hapo ana igiza?

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa 2 หลายเดือนก่อน

      Sanamu yake tutaijenga pale posta na kumpa zawadi ya kuwaumbua machawa wa injili

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 หลายเดือนก่อน

    Mtu akiendaKw

  • @ISSACKPETERKAGINE
    @ISSACKPETERKAGINE หลายเดือนก่อน

    Hio ndo kosa lake kafungiwa huduma anaanza kupost ujinga

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 2 หลายเดือนก่อน +3

    hv police wanashindwa kwenda pale na buldoza, wakakiwashe pale watu wasambaratike

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 2 หลายเดือนก่อน

      Kafanye wewe😅😅

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@shammhagama2527😂😂😂😂

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 หลายเดือนก่อน

    Vichwa vipo wazi hakuna kitu wamepumbazwa

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tapeli mkubwa huyu,anatakiwa afatiliwe kwakina.Hyu Alikuja kwnia ovu kbisa .Aipaswa afuguwe nakupelekwa mhkmn nakufunguliwa mashtaka.

    • @GeniusThimoc
      @GeniusThimoc 2 หลายเดือนก่อน

      @@dignakanje4508 alikutapeli nini Acha uchawi wewe, maisha yenyewe huna ukatapeliwe nini njaa inakuuma mshenzi mkubwa

  • @JescaMalisa-v1w
    @JescaMalisa-v1w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh😢

  • @BLUBEENICE
    @BLUBEENICE หลายเดือนก่อน

    Mimi hushangazwa sana na serikalo ya Tz hua wanangojea hadi raia kuhujumiwa ili wapate tarifa za kutrend nazo😂

  • @HawaOman
    @HawaOman 2 หลายเดือนก่อน

    Sitapil

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 2 หลายเดือนก่อน

    Tapeli

  • @fredmpondachuma8230
    @fredmpondachuma8230 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi anakipaji cha Kuigiza. Directors mtafuteni na mtanishukuru

  • @HawaOman
    @HawaOman 2 หลายเดือนก่อน

    Sitapili tumepona mbona

  • @bilid4128
    @bilid4128 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 kiboko ya wachawi kajaa kwenye Mfumo

  • @LevinaNyembe
    @LevinaNyembe หลายเดือนก่อน

    Epuka matapel dunian

  • @benmushi6335
    @benmushi6335 2 หลายเดือนก่อน

    Jina la yesu linatukanwa tu kwa sababu vitu vya hovyo kama hivi asee mwisho wa siku watumishi wote wataonekana matapeli

  • @JescaMalisa-v1w
    @JescaMalisa-v1w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn😢😢😢😢😢

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ulongo

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 2 หลายเดือนก่อน

    Hili ni tapeli

  • @CastoFighter
    @CastoFighter 2 หลายเดือนก่อน

    Mkund nn alikuw anawalazimisha kutoa hela wivu tyu kuomba aaaaah

  • @BennyKalinga
    @BennyKalinga 2 หลายเดือนก่อน

    Sikweli

  • @flm1530
    @flm1530 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utapeli

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 2 หลายเดือนก่อน

    Tapeli hilo

  • @InnocentNdano
    @InnocentNdano 2 หลายเดือนก่อน

    Aiseh😂

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nlshapigwa TSH 200,000 pale mwenge na kuhani M.... kumuona tu asee nljiraum mnooo wakanipa maji ya vifuniko vya rangi tofauti nmerudi kanisani kwetu tu kkt usiombe ndugu yangu

    • @sigfridchristian1890
      @sigfridchristian1890 2 หลายเดือนก่อน

      😉😁😁😁😁

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      @@personalitiesan9806 Huyo Musa ni hatari sana

    • @GeniusThimoc
      @GeniusThimoc 2 หลายเดือนก่อน

      @@personalitiesan9806 ulipigwa ila kanisa linaendelea unajisikiaje mkuu

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      Nilipanga foleni ya kumuona huyo ajiitaye kuhani Musa, kwa usajili wa 50,000/= nilipofika dirisha la kulipia, wakasema wa elfu hamsini wamejaa, na sasa ni 100,000/=; nikasema sawa. Wakati nahesabu Fedha za nyongeza ili kutimiza kiwango cha laki moja inayotakiwa; ilikuja Nguvu kutoka juu, na kunitoa nje ya jengo hilo la ubatili, nikaenda kutubu.

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@DeusdeditMichael😂😂😂😂 mmh ilikuja nguvu wapi bwana...sema tu hela ilikua haitoshi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi ni kweli na kama ni kweli mbona mbona mnamfanyia hivyo.

    • @4karimu_
      @4karimu_ 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mamaako ajawai kutapeliwa ,au wewe nitapeli pia ndomana haikuuimi

    • @Alexismadimo
      @Alexismadimo 2 หลายเดือนก่อน

      We unataka iweje ili ujue n kweli

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน

      kwahyo wewe hata iyo simu alopigiwa bado auamini tu? wacha kukaza gegedu hilo

  • @rabsonchisumo6640
    @rabsonchisumo6640 2 หลายเดือนก่อน

    Binadamu hatusomi maandiko kweli

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmnmhh waaandishi wapigweeee hawanatofauti na wachawi ucmnukuu asimame aseme na huyo mgonjwa kapata wapi no za mtu ambae hayipo tz nchi aliopo hakuna anaejua muogopeni mungu lait mngejua dominick ni zawadi kutoka kwa Mungu mnge kaa kimyaaa mpokee uponyaji mm ninajuta cn kununua chumvi kidogo ningefahamu anafungiwa ningenunua contena zoma mungu akulinde kiboko kuwa na subira

    • @jumas.sendekwa2788
      @jumas.sendekwa2788 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hii nyumbu inayoamini chumvi kuliko Mungu.... Hivyo sana

    • @EmmanuelCharse
      @EmmanuelCharse หลายเดือนก่อน

      Pore

    • @annagidion7817
      @annagidion7817 หลายเดือนก่อน

      @@zabibusaidi1404 umeona mapepo wameungana kudhihirisha uovu wao. Hakuna aliyelazimishwa Hata ibadani watu waliombewa bure na Kuna watumishi wanatoza hela zaidi ya ile na wanaonekana Bora wivu chuki ndo vilitawa na alikuwa tishio Tz

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 2 หลายเดือนก่อน +1

    hahahahahaha nmecheka sana sana

  • @AminahassanSaidi
    @AminahassanSaidi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni tapeli tangia siku ya kwanza namuona nikajua hapa hakuna mtu

    • @RachelNathan-yv5zc
      @RachelNathan-yv5zc 2 หลายเดือนก่อน

      Uganga mtupuu alijifisha kwenye kivuli cha kanisa...

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ungodly na unafiki

  • @evelynjames9398
    @evelynjames9398 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kiboko ya wachawi ana roho ya utambuzi kwa hiyo alikwisha mgundua kuwa huyo mwandishi aliye mpigia simu na kujifanya mgonjwa, ni muongo na ndio maana alimtishia kuwa atafariki dunia ndani ya masaa 24 iwapo hatalipa shilingi million 10!!

  • @GeniusThimoc
    @GeniusThimoc 2 หลายเดือนก่อน

    Nyiynyi wandishi wa habari hapa nchini niwachochezi sana kwanini stoke hazaràni tukaewaona? Mnaroho mbaya sana mungu anawaona

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน +3

      TUMEMSIKIA KIBOKO YA WACHAWI AKIOMBA MAPESA, SASA KURIPOTI UKWELI NDIYO KOSA.
      WAANDISHI MMEFANYA KAZI NZURI.

    • @sigfridchristian1890
      @sigfridchristian1890 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mungu anakuona pia akushughulikie mana unapenda watu waendelee kupigwa pesa 😂😂😂😂😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 2 หลายเดือนก่อน

    Ukiwaambia wanatusema hatujampokea yesu hatujaokoka hatujui kitu aya sasa

  • @User92.invisible
    @User92.invisible 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa tapeli kabisa.

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti 2 หลายเดือนก่อน

    Hapana nakataa hiyo si sauti ya mchungaji Kiboko ya wachawi kuna mtu kaigiza sauti ili aonekane anatoza hela no no no.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 2 หลายเดือนก่อน

      Pole yako😂

    • @EmmanuelCharse
      @EmmanuelCharse หลายเดือนก่อน +1

      Pore sana

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk หลายเดือนก่อน

      @@EmmanuelCharse Kuna clips nyingi zinasambaa kuhusu huyo tapeli anayemtetea,labda amebadili mawazo na kukubali 'mchungaji' wake ni mpigaji tu. Hakuna mchungaji pale,watu wamekuwa wajinga sana.

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani hao waotozwa ni machizi au wanaakili zao timamu ila amin kila mjinga na mjanja wake piga kazi mzee ila siku za mwisho utajuta😂😂

  • @TheresiaSteven-bq6ze
    @TheresiaSteven-bq6ze 2 หลายเดือนก่อน

    Mnataka kumualibia tu awana lolote

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona muuza maji na mchanga na mafuta hafungiwi????

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 หลายเดือนก่อน

      kumbuka hayo maji na mafuta yanauzwa bei rahisi ef moja na kuendelea, tofautisha Kati ya lak5 na ef 1

  • @HawaOman
    @HawaOman 2 หลายเดือนก่อน

    Wanga wamekula kuku mbuzi mayai hatujapona ibadani tumepona

  • @web2.095
    @web2.095 2 หลายเดือนก่อน

    MWARABU FIGHTER BODYGUARD WA DIAMOND PLATNUMZ NDIO ALIKUA BODYGUARD WAKE😁

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      @@web2.095 Watenda kazi wa shetani

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      @@web2.095 DAMU YA YESU KRISTO

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 2 หลายเดือนก่อน

    Uyuu jamaa ngoja aje bongo

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 dunia ina vijimambo,,
    Ninajamaa zangu bado hawaamini kuwa huyu ni nabii wa uongo,,
    Wanaichukia serikali kwa kufunga kanisa.

    • @sigfridchristian1890
      @sigfridchristian1890 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wamepewa dawa washakuwa mazombiii 😂😂😂😂😂😂😂

    • @sigfridchristian1890
      @sigfridchristian1890 2 หลายเดือนก่อน

      Hawataelewa hao hata Waone nn 😁😁😁😁😁

  • @ziggertv3185
    @ziggertv3185 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani anaetoa hela kapazimishwa wajinga ndo waliwao

  • @charlesomollo-ui1np
    @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe wacha uongo

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

      kumanyoko sasa unakata nn

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      @@jizzotheking9238 🤣🤣🤣🤣waumwa????

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

      @@charlesomollo-ui1np unamtetea kiboko ya wachawi?

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      Who the hell r u to question me???shut the fuck up dude,shame on you

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      @@jizzotheking9238 who r u to question me?????can you shut the fuck up!!!!!!!Shame on you....clown

  • @TeddyPonera
    @TeddyPonera 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani mtu analazimishwa kulipa hizo pesa si viherehere vyenu nabii fanya kazi yako Mungu aliyokuitia . Maneno hayasaidii

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      @@TeddyPonera Utapeli ni kosa kisheria.

  • @TheresiaSteven-bq6ze
    @TheresiaSteven-bq6ze 2 หลายเดือนก่อน

    😂kiboko kamjua kama mwandishi kiboko hayuko hivyo kama walitaka kumchezea bas na yeye kawachezea😂,nakupenda sana kiboko rudi baba ❤❤❤

    • @EdsonMseven
      @EdsonMseven 2 หลายเดือนก่อน

      Wajinga ndio waliwao

    • @EmmanuelCharse
      @EmmanuelCharse หลายเดือนก่อน

      Poreni Sana

  • @BuhetySharia
    @BuhetySharia 2 หลายเดือนก่อน

    Anawapiga pesa ahahaha

    • @BuhetySharia
      @BuhetySharia 2 หลายเดือนก่อน

      Uyu jamaa ni tapeli ahaha ....ila tuacheni utani uyu jamaa ni tapeli

  • @charlesomollo-ui1np
    @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

    Nabii hajatapeli mtu

    • @4karimu_
      @4karimu_ 2 หลายเดือนก่อน +1

      Chizi wewe tapeli mwenzake 😅😂

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      @@4karimu_ 🤣🤣🤣🤣mwaumwa sio???🤣🤣🤣

  • @mediking8611
    @mediking8611 2 หลายเดือนก่อน

    Hahaha

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 2 หลายเดือนก่อน

    Kama steve nyerere anaweza kuiga sauti ya kiongozi hata huyu kaigizwa wanapiga nondo asirudi mungu yupo mtapata aibu

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 หลายเดือนก่อน

    Khaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
    Wajinga ndo waliwao.

  • @charlesomollo-ui1np
    @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mwafikiri huduma ni mchezo,huduma ni gharama saaana,nabii hana makosa

    • @GeniusThimoc
      @GeniusThimoc 2 หลายเดือนก่อน

      @@charlesomollo-ui1np kwa yeyote anayetamka nabii ni tupeli huyo nimchawi tena anaroga na mama yake maana swala la kuua wachawi limewauma sana. Kama alikutapeli kwanini ustoke hazarani vyombo vipo ongea tukuone. Mbona unatuma sms online? Wachawi wakubwa kwa taarifa yenu mtakufa mmeweka kidole mkunduni

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@charlesomollo-ui1np Hiyo yake haikuwa huduma, bali kazi ya uganga.

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      @@DeusdeditMichael sasa sisi huku tunaona ni huduma kwa sababu tumesaidika bila kutoa hela na hatuwezi kumchukia kwa maneno ya watu periooooood.

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      @@charlesomollo-ui1np Hatuna huduma kama hiyo Duniani.
      Haikai kwenye maandiko.

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np 2 หลายเดือนก่อน

      @@DeusdeditMichael poleni 🤣🤣🤣🤣sisi twampenda🤣🤣🤣🤣poleni sana kwa machungu🤣🤣🤣

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 หลายเดือนก่อน

    Mtu akiendaKw

  • @GeraldSwai-ty1hr
    @GeraldSwai-ty1hr 2 หลายเดือนก่อน

    Tapeli