DK SURE ALIVYO ITA MAJINI LIVE, WANASEMA MIMI NI MCHAWI KISA MAJINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 725

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน +14

    Dr. Sulke, katika imani ndani ya uislamu muombwa na moaji nie Mwenyezi Mungu tu pekeyake, hivyo ukitumia majini wakuletee riziki hiyo ni fitina unamfitini Mwenyezi Mungu asijulikane. Tunaita USHIRIKINA HUO.

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 4 หลายเดือนก่อน +2

      Nenda kasome bado elim yako ni ndogo

    • @matatasenga5614
      @matatasenga5614 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi na it itwa matata nikiwa Burundi naomba namba ya Dr sule

    • @yusuphnassoro7767
      @yusuphnassoro7767 หลายเดือนก่อน

      Tusome sana dini tupate elimu

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 วันที่ผ่านมา +1

    Dr sulle acha kupoteza muda mrudie Mungu wa kweli jisalimishe kaka bado muda upo

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 4 หลายเดือนก่อน +21

    Shekh tunakusikiliz sana, kwa mgen ndo atakuw hakuelew, Allah anasema hakufanyen marafik wa kijin na mashaitwan ila kwa waliopotea

    • @SAULINDINADYO
      @SAULINDINADYO 4 หลายเดือนก่อน

      mwenyezi MUNGU ndiye anaye watibu na kuwaponya wanadamu! Walimwengu jahadharini na elimu zisizomtukuza MUNGU! ALLAH SUB HANAL WATAAL atujaalie Toba jamani

  • @irenengina4350
    @irenengina4350 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hamuamini allah wenu anawezai kuwapee maarifa ya kuunda jambo kubwa ispokua majin ...ndege ni Mungu alipee muznduzi wa ndege hio ujuz sio majin

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 4 หลายเดือนก่อน

      Hata mapasta hawaamini mungu aneza wapa ndio maana wanaishi maisha mazuri kwa Sadaka za waumini wao na waumini wakiishi maisha duni wakiamini kua mungu na wao atawapa kwa kumpa pasta hela kwa kigezo Cha Sadaka

    • @irenengina4350
      @irenengina4350 4 หลายเดือนก่อน

      @@YusufMwalimu-nu4no unalinganisha wachukuao sadaka na waamini wa majin ,,dah,,,tena kwa hii mjadala hatupo mashindano huyu sheikh kaleta ya majin

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 วันที่ผ่านมา

      Wewe unaulizwa habali za majini kwa mapasta imekujaje? brown nenda tu motoni na majini yako usiunganishe mabehewa

  • @MirajiTraves
    @MirajiTraves 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sema kama namuelewa hi kama roboti halitiwi jini mpaka likafanya kazi hembu jaribu kutengeneza lako tuone kama likafanya kazi 👐👐👐👐👐

  • @danielkamau2987
    @danielkamau2987 4 หลายเดือนก่อน +13

    Kwani majini wa Africa wako slow, ama ni wazuzu hawana teknolojia..really Dr!!

  • @Samsumah
    @Samsumah 2 หลายเดือนก่อน

    SubhanaAllah hii majambo ya sisi waislamu kuamini kuna jini mzuri wa kukusaidia jini mzuri ni yule anae muabudu mola wake na haingilii maisha ya wanadam wala kushirikiana nao kwanza jini mzuri haingii kamwe kwenye mwili wa mwanadamu na kumuendesha atakavo hii ni kumchanganyia Allah ibada unamchinjia jini wakat Allah kasema sali na uchinje kwaajili yake tu , Allah atuongoze maana imekuwa kawaida sana siku hizi

  • @khadijasudy9859
    @khadijasudy9859 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dk sule uko sawa kwaambae akufahamu atasem muongo lakn kwass tunaokufahamu duwa zako nadaw zako zinafany kaz kwa mdaa uouo mnguu akupe nguvuu uzid kutuelimisha tujue

  • @maisharajabu8876
    @maisharajabu8876 3 หลายเดือนก่อน +9

    Allah amesema Haikalifishi nafsi ya mtu yoyote hapa Duniani na Akhera. Hivyo binadamu na majini wameumbwa na Allah kwa ajili ya kufanya Ibada. Hivyo kuna majini wazuri na Wabaya. Anayepaswa kutegemewa ni Allah. Hivyo jini hawezi kuingilia maisha ya Binadamu na binadamu hawezi kuingilia maisha ya majini. Tuache ushirikina.

    • @AkilimojaHalisi-db3ji
      @AkilimojaHalisi-db3ji 2 หลายเดือนก่อน

      Unajua tatizo siyo majini/watu tatizo liko hapa mtu wa kwanza kuumbwa ni Adamu kilekitendo cha kukosana na muumba akafukuzwa bustanini ndicho kilicholeta gepu kati ya mtu na muumba na hawajawahi kuungana tena nahili gepu ndilolililosababisha mtu akatengeneza mfumo utakao msaidia ikiwemo majini,vibwengo,ulozi,ushirikina,unajimu,wanga,uganga,mapepo n.k katika kujilinda na ktk kufanikiwa ila kabla ya hapo huo mfumo haukuwepo kwa tunaosoma biblia tunaona ktk kitabu cha mwanzo 3:8 kila jioni mungu alikuwa anakuja bustanini kuongea na Adamu na Hawa yeye mwenyewe siyo kutumia kiumbe chochote,hivyo majini siyo mpango wa muumba.

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 หลายเดือนก่อน

      Majini ni malaika wa shetani.....iblisi.. ALIASI MBONGUNI.....UFUNUO WA YOHANA 12:7-12

    • @MaishaAli-zu9lf
      @MaishaAli-zu9lf หลายเดือนก่อน

      Sahihi

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w หลายเดือนก่อน

      @@ernestbensonmwamengo1642 kuna tofauti kati ya jina na shetani...jini ana mfano wa binadam yani kuna jini mwema na mbaya, ila shetan ni kiumbe muovu.

    • @ernestbensonmwamengo1642
      @ernestbensonmwamengo1642 หลายเดือนก่อน

      @@KhamisAli-r1w majini yote ni mabaya, hakuna jini mazuri . Yote ni masaidizinya ibilsi....UFUNUO WA YOHANA 12 7-12. Ikiwa unayo majini yo yote ukikutana na Mimi yananifahamu yatakimbia...kukumbatia mapepo ni kushirikia na shetani Moja Kwa Moja....Marko 16:15-16

  • @allyfwady123
    @allyfwady123 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dk.sule Mungu akuweke uelimishe watu tunaohitaji kujua ili tusiishi kwa uoga ,na wengine wanajua ukweli ila wanakupinga ili wapate umaarufu ,we uko juu kwa elimu ktk sekta nyingi kuliko wengi wa mashekh wanaokupiga vijembe

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa wewe una akili kweli anaelimisha Nini vitu ambavyo havimo kwenye Aya Wala hadithi

    • @ShukuruSemwenda
      @ShukuruSemwenda 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussein-gx4quwew ndo hakili huna

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 4 หลายเดือนก่อน

      @@ShukuruSemwenda na wewe unaemtetea njoo na ushahidi wa Aya na hadithi sio lop lop

  • @MwasitiMatari
    @MwasitiMatari 19 วันที่ผ่านมา

    Allah atanisaidia kwa kunikinga kwa kuilinda riziki yang yeye pekee anatoshs

  • @papawillieseismicentertain3119
    @papawillieseismicentertain3119 4 หลายเดือนก่อน +15

    Ndiyo kuna majini ma wazuri, na kunao wabaya. Lakini sio lazima kushirikiana nao ata kama ni wazuri. Wapo na dunia yao, na sisi tuna dunia yetu ijapokuwa sote tunaishi pamoja ulimwenguni. Na Allah S.W.T alituuambia tusihirikiane nao ata kama ni wazuri. Quran ndo tiba na shifaa ya kila kitu. Mwenyezi Mungu atuepushe katika hizi mitihani zote

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 4 หลายเดือนก่อน +1

      Msikilizen huku Mzee kwa makini jamani sioni kama anapotosha wallah Imani imetujaa kiasi ya kua wajinga na tunateseka tukisema inshallah kesho ntapata den leo tunalala njaa

    • @RojaKhaan
      @RojaKhaan 4 หลายเดือนก่อน +1

      Site tuna akili zetu piya tumesom tulicho Soma niuliz hivi hakuna sehem mtume kaongea nao ? Pig uwa jibu nikwamb nimara kibao amezungumza nao Sasa swali hapo mtume hajashirikian nao? Tumludie mungu tusimkandamize mtu ety kisa ww sjui ni answari mhabi sjui ni Nani site tufuate haQi

    • @AllyImrani
      @AllyImrani 4 หลายเดือนก่อน +4

      sura ya 6 mstali wa 128 annam. Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua

    • @MaishaAli-zu9lf
      @MaishaAli-zu9lf หลายเดือนก่อน

      Sahihi

    • @omarahmad2672
      @omarahmad2672 หลายเดือนก่อน

      Hiyo. Yote. Nj. Njaaa ndo. Inamsumbuwa

  • @faridseilan4400
    @faridseilan4400 4 หลายเดือนก่อน +24

    Assalamu aleikum warahmatullahi wabarakatu mandugu na madada Mtume Saallallahu Aleihi Wasallam alituhimizia tusi waamini wasomaji wa ma nyota hata kama maneno yao ni kweli tafadhalini tuji chunge sana na mitandao na tusome saana dini yetu ya kiskamu kwa ma sheikh walio julikana na wana ma dalili kutoka kwa vitabu vya swahih ,wanadamu wengi sana wana utajiri bila ma jini wala ma pete tusi danganyeni khwasa madada zetu na ma mama zetu wengi huigia kwa hizi mitego Allah atuongoze na atuhifadhi soote

    • @faridseilan4400
      @faridseilan4400 4 หลายเดือนก่อน +2

      Naomba awa fasirie surrat Bagara 101 to 102

    • @Abdallahmohamed72
      @Abdallahmohamed72 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu c sheikh ni mrongo sana sio waislamu wote wanaoshiriki mambo ya majini huyu ni mtu wa maslahi

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 4 หลายเดือนก่อน

      mimi baba yangu pia alikuwa anafundisha majini

    • @patricianyakunga5000
      @patricianyakunga5000 2 หลายเดือนก่อน

      Aamiin

    • @patricianyakunga5000
      @patricianyakunga5000 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@azizihfarijala5307baba yako alikuwa Sheikh?

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 4 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera sana mr, Docta Sure,chukua :5:umeongea ukweli kabisa juu ya Imani ya Kiislaam ktk kushilikiana na majini,wengi wanapinga ukweli huu,uislam na majini ni mtu na ndugu yake tokeni huko mmeingia cha kike,mmepotea njooni kwa Yesu hakuna uganga wala cha jini, Roho Mta katifu ndo Rafiki wa Wakristo,

    • @uwimanadady6563
      @uwimanadady6563 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio kabisa umenena biblia inasema kila kilicho ficha kitafunguliwa njo ayo sasa

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@uwimanadady6563 muelewe shekh vizuri na ukitaka kujua, soma, mungu ameumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana na hiyo ni imani pia ya Nikea.

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 4 หลายเดือนก่อน

      Roho mtakatifu ndio anawaamrisha mended uchi muwe wazinzi na walevi kwa sababu ameshakufa kwa ajili ya dhambi acheni kujidanganya😂😂

    • @StellaStella-z4e
      @StellaStella-z4e 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 4 หลายเดือนก่อน +13

    Majini wote ni wabaya hakuna jini mzuri Kwa wanadamu wote ni waasi mbele za Mungu,kazi Yao ni Moja,kuchinja,kuua,na kuharibu,YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi njoo Kwa YESU KRISTO upate okolewa kabla haujachelewa

    • @HassanSeif-k6p
      @HassanSeif-k6p 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni mwislamu lakini Hawa mashekhe wa siku hizi hapana kwakweli. Majini wote ni wazuri kwa wao kwa wao si wazuri kwa binadamu

    • @kudraabdul7257
      @kudraabdul7257 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ww ndio mtu hafai kuongea mbele zawatu ukisema hakuna jini mzuri akuna kafiri mwenye alimu nyamanza kabisa

    • @kudraabdul7257
      @kudraabdul7257 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@HassanSeif-k6pkitu kama hauna elimu nacho nyamanza usiongeyi chochote sule yuko sahihi wengi masheikh wanapinga haya sule anayo yaongea zababu wameanza kutafuta mashabiki

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 4 หลายเดือนก่อน

      Jini nijini tu

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 4 หลายเดือนก่อน

      Maria mie napinga majini Ila pia yesu hawawezi alishindwa na mwanadan Hadi akasulubiwa kwa majini sindio atakufa kabisaaa wala hatofufuka tena

  • @GwodwiniPaulo
    @GwodwiniPaulo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Professor dr sule M/Mungu akupe umri mrefu sana

  • @MohamedKambarera
    @MohamedKambarera 4 หลายเดือนก่อน +3

    Allah amesema wamakafa sulaymana walakina shayatwina kafaraa

  • @SaleheLisu
    @SaleheLisu หลายเดือนก่อน

    Xhekhe nmekuelwa sema tu walimwenguu hawatakii memaa❤

  • @MrRavini
    @MrRavini 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi sna majibu siwez kumuhukumu maana ALLAH ndie mjuzi anajua moyoni kwa kila mtu

  • @AhmedShkeli
    @AhmedShkeli 4 หลายเดือนก่อน +11

    Kipato kina hadaa sana watu wallah, Allah amuongoe huyu Shekh.

  • @chachalameck3451
    @chachalameck3451 4 หลายเดือนก่อน +7

    kama kweli wewe unaimani na mungu ni kwa Nini unaamini majini yanaweza kulko mungu

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 4 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu hutokea na sababu ndio maana husema mtoto huletwa na mungu lakini lazma ushiriki tendo
      Jamaa mueleweni huyu Mzee anakitu flani ajab sana

  • @AllyImrani
    @AllyImrani 4 หลายเดือนก่อน +6

    Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua

  • @ReganThobiasi-o9m
    @ReganThobiasi-o9m หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri mrefu uweze kutujuza zaidi kunako hiyo elimu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน

    Yan dokta sure umenifahamisha vizur sana.. mashalah...na umenipa majibu ya maswali amabayo nilikuwa najiuliza ...yani nimekuelewa sana ..yan dokta sure wewe ni mwanasayansi wakiislam na wakitanzania...yani wewe nitunu yetu yakiislam nayakitanzania ila watanzania hawaamuamini muafrika akisema nakumuamini mpaka aseme mzungu...kiufupi dokta sure wewe ni mjuzi sana mashalah mungu amekubaliki sana

    • @JamilahJumanne-ke3gf
      @JamilahJumanne-ke3gf 4 หลายเดือนก่อน

      Nakama hawat weza kumuamin bc haita tokea kumuamin bal ni kumuhukum n kusem ni mshirikin ila Don't Sule yupo vzr san❤

    • @saidaamourali8590
      @saidaamourali8590 4 หลายเดือนก่อน

      Mjuzii kwelu maana kampita mtume wake kwa elimu😂😂😂😂

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน

      @@saidaamourali8590 hapana hajawahi kumpita mtume wetu Wala hakuna mtu wakumpita mtume wetu s.w....mtu wetu yupo juu ya waja wote ...kwanza mungu alafu mtume wake Muhammad sw au mtu wetu s.w...dokta anajua mashalah lakin sio Zaid ya mtume wetu Muhammad s.w

  • @muslihmohd3685
    @muslihmohd3685 2 หลายเดือนก่อน

    Dr Sule ulikuwa mhubiri mzuri tu ma nlikuwa nakukubali sana ila kwa hapa sipo na wewe....
    Ingawaje kila mtu na elimu yake ila tunajuwa fika kuwa majini wapo waovu na wema lakini haipaswi wanadamu na majini kushirikiana kwa chochote katika maisha,iwe kwa wema au mabaya maisha yetu na wao ni vitu mbali.

  • @AbubakarShwaibu
    @AbubakarShwaibu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dr sule Ni mmoja tu hapa Tanzania Allah akuhifadhi inshallah

  • @fadhilimagembe6413
    @fadhilimagembe6413 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh wewe unajua kwa undani , shida ya wanapopinga ni uelewaji. Allah akuhifadhi tuzidi kupata elimu zaidi.

  • @MariamAbdalla-d3z
    @MariamAbdalla-d3z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Binadamu kama hukupa mtihani wa kuuguwa majini au mashetani basi ni vigumu kuelewa binadamu wengine.washukuru mungu sana tena sana

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 4 หลายเดือนก่อน +30

    Huyu amejitangaza tu kua yeye ni mshirikina , atajuaaje hayo yote kama atendi, vipindi zake mingi yeye husema yeyote anayetaka kufanikiwa amtafute Kando, mkenya aliempa gari alisema alimsaidia sana kwa kazi yake ndio akamzawadi, hapo amejitamblisha 100%, kwa raha zake , anaedelea kujitangaza tu hapate wateja wale wanamuelewa😅😅

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 4 หลายเดือนก่อน +3

      Mganga kama mganga Kwa maneno ya ujanja atakuzunguushaa,lakini hatimae atajitoa kwenye wajibu wa Hilo jukumu na kukuwacha wewe mteja wake ukibakia na matumaini hewa Kwa jini hewa .lakini ' Jini ' wake atakuwa kesha mpelekea mzigo wake kutoka kwako. Yaani kabla hujapewa hiyo Pete lazima upigwe kirungu

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani anamaanisha Nini anaposema ,majini wake wanakuondolea vizuizi Isipokuwa iwe Qadari ya mungu . Anapigaje hapo ? au ndio Ile nenda Rudi Kwa aliyepigwa kirungu na hakufanikiwa ?

    • @moxasaidi3398
      @moxasaidi3398 4 หลายเดือนก่อน

      Sule anaeteswa na jini anasaidia kwasababu anafasaidiwa na majini kuna maradhi ambayo sule na majini hawawezi ila wale wabaochezewa kishirikina sule anaweza kusaidia

    • @ImaniNanguka
      @ImaniNanguka 4 หลายเดือนก่อน

      Mm naona ameongea point sehemu nyingi ikiwemo katika technology na mambo ya white magic na black magic, Lakini nilishindwa kuelewa katika uvaaji wa hizo Pete za bahati kuhusiana na kinga kwamba inaweza kuzuia, fitna na kukwamishwa kunakotokana na ushirikina, ama majini wabaya isipokuwa chochote kitachoamuriwa na Mwenyezi Mungu...Basi tunarudi pale pale kuwa Mungu ndio nguvu pekee na kimbilio pekee hakuna wa kumzuia ama kumshinda yeye....basi Tumrejee Mungu pekee, tumuombe yeye na kumtumainia yeye...hakuna haja ya pete wala msaada wa majini....Ni hayo tu kwa mtizamo wangu...vinginevyo ameeleza vizuri sana na ufafanuzi mzuri wa mada nyingi. ASANTENI.

    • @patricianyakunga5000
      @patricianyakunga5000 2 หลายเดือนก่อน

      Elimu ni kitu cha ajabu sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu hawamuelewi proffesa Au doctor sure lakini watakuja kumuelewa....tatizo nikwamba dokta sure mungu amemjalia sana upeo mkubwa nawatu wengi hawana akili iyo ndomana hamuelewi....tatizo ni ufahamu wa mambo hawana ndo mana ivyo ...ila dokta sure wewe unajuwa sana mashalah..mungu akuwekw

    • @PessaMuhindi
      @PessaMuhindi 4 หลายเดือนก่อน

      Watu awajui vitabu awajasoma wanahukumu tu

    • @usrahismail3196
      @usrahismail3196 4 หลายเดือนก่อน

      Hata Mtume hakumuelewa Sulle ndipo hakuwatumia majini kumletea mali kuwatumikisha

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      mnatumia lugha ya kificho ndiyo maana hamjui

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน +8

    Acha kuaminisha, watu ushetani wako, ewe mwana wa ibilisi, umekaa apo kumtukuza shetani, ushindwe kwa jina la YESU KRISTO. Bibilia inasema siku za mwisho marifa yataongezeka, mwamini YESU UWOKOKE

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 4 หลายเดือนก่อน

      Hata nyie yesu alisema mtapotea kwa kukosa maarifa

    • @MrRavini
      @MrRavini 4 หลายเดือนก่อน

      Mhu omba usife Hali yakuwa ni mkristo utaingia motoni

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

      Poleni sana ndugu zangu kwa kupotea, laiti mngejua kweli ya Mungu, mngetubu na kugeuka, lakni ata sasa bado amjachelewa, msifanye tu mioyo yenu kuwa migumu, mkubali I Yesu msamehewe dhambi, nyie wenyewe mnajua kuwa Yesu ni alama ya kiama

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 4 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@stephanosospeter1709Huyo jamaa ndio amepotea peke yake sio sisi - nyinyi wakristo ndio mmepotea Tena upotevu wa mbali maana mmeacha kuabudu Aliyewaumba mnaabudu mwanadamu mwenzenu.... Tafakarini mmepewa akili

    • @stephanosospeter1709
      @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

      @@sharfumbarouk6168 Sawa, ila kama mnamwamini, Isa bini mariam kuwa ni mtume wa Mungu mbona amumuamini alivyo sema,

  • @hakizimanashabani8776
    @hakizimanashabani8776 4 หลายเดือนก่อน +11

    Kama kuna watu wanao potosha wa islam katika imani ya ki islam viyongozi wadini tanzania mnatisha

    • @josephmusagasa
      @josephmusagasa 4 หลายเดือนก่อน +2

      Uislamu na ushirikina ni kama samaki na maji

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 4 หลายเดือนก่อน

      Hamna elimu na mkiletewa mnakaaa kusoma

    • @YusufMwalimu-nu4no
      @YusufMwalimu-nu4no 4 หลายเดือนก่อน

      Mnaopishana na huyu Mzee nawaomba tu mjarinu kuangalia movie za kijini za kiafrika. Utaona wanakita katika kuumiza maskini na kuwafanya wagonjwa Hadi kufa..ila za wazungu zinawapa mafanikio na mamlaka ya juu na kuishi vizuri katika Dunia hii... NA UTAMBUE MOVIE NI UHALISIA WA MAISHA YA MWANADAMU HUSIKA KATIKA MAENEO YAKE...

  • @nizigiyimanabaruani4590
    @nizigiyimanabaruani4590 4 หลายเดือนก่อน +7

    Dokta Sule umefunguka akili pia umeingia undani wa elimu na kuizungumzia haujawa na makosa yoyote endelea hivyo na utaelimisha wengine wengi na wafunguwe akili zao, ndo maana Leo hii unakuta wengi wao wanjidai kuwa Wana elimu ila hawana hata ujuzi wa kutengeneza hata kiberiti. Endelea hivyo hivyo na mengi utagunduwa. Hongera sana kwa elimu hiyo. Nakuunga mkono kwa Hilo.

    • @saidaamourali8590
      @saidaamourali8590 4 หลายเดือนก่อน

      Huyu haja kufungua akili ndio kakuziba akili haswa maana science hajui hata kidogo.duuuh anamini zile chips za semiconductor ni za kijini siku akija kupa Tesla car za auto driving atasema jini ndio anaendesha na lile gari ni la kijini maana mule muna automation za kufa mtu

    • @kassamalishabani
      @kassamalishabani 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli dokta sule amefungua akili ya watu

    • @kassamalishabani
      @kassamalishabani 4 หลายเดือนก่อน

      Hapo kuna elimu kubwa sana

  • @HarubSalum
    @HarubSalum 4 หลายเดือนก่อน +14

    Unajua mpk unakera sheikh

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official1 4 หลายเดือนก่อน +5

    Sisi wakristo tunaelezwa na mungu pekee ❤❤wakristo simameni imara tukombele😅😅😅

  • @AlbertNiyonkuru-l1t
    @AlbertNiyonkuru-l1t 3 หลายเดือนก่อน

    Kunakujaribiwa.na Allaah..ili ujuwe kama yeye ndiye yrye.rizqi si mapete..wametafuta wa qabla yetu na walifanikiwa ..na pengine wakafeli..walirudi kwa Allaahu kwa duwa na vitendo vizuri

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w หลายเดือนก่อน

    Mtume ana ngaz kubwa mbele ya mungu, ila we na mm ni wa tofauti sana tusijilinganishe nae. Yy karuhusiwa kufanya baadhi ya mambo ila ss haturuhusiw, alikua na wake zaid ya 4 ila sisi no!..

  • @ZainabumohammediallyMohammedia
    @ZainabumohammediallyMohammedia 22 วันที่ผ่านมา

    Watu wa pwani na visiwani ndy tunaelewa juu ya majini kuacha na uislam unavo sema juu ya mtume muhammad s,a,w

  • @yasirfaisal9723
    @yasirfaisal9723 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dr sule you were one of my favourite teacher i used to love but now i see you as a lost teacher what u are saying unaenda kinyime na ayaa za Allah kwa kusema majin mazuri unayatumiya na kwa kusema pete uleta bahati that's shirik may Allah give you back your sense

  • @blackbond5143
    @blackbond5143 19 วันที่ผ่านมา

    Sijuei kiswahill zaidi 🇲🇿
    🧠Hakuna sha ushirikina hapo, Wasome history ya Sulaiman lafu uta juwa kwamba Sulaiman a me fanha kasi najini 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿.

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 4 หลายเดือนก่อน +2

    NI AIBU SANA. Achana na mambo ya ajabu na ya aibu kama hayo. Mnafedhehesha uislamu

    • @bakarimwakabebe9649
      @bakarimwakabebe9649 4 หลายเดือนก่อน

      Exactly ni aibu kujiita muhadhiri ilhal unapotosha waislam. Akuna anaepaswa kuabudiwa kwa haki pasipo Allah na Qur'an ndio muongozo Wetu waislam na maisha au Sunnah za mtukufu wa daraja Mtume Wetu Muhammad S.A.W.. ukikosa kufuata ii upo nje au kwenye wanafik

    • @neemariziki4731
      @neemariziki4731 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Nafa kucheka

  • @HatibuWage-dh9nj
    @HatibuWage-dh9nj 4 หลายเดือนก่อน +12

    shekh kwa kweli uma wa ki isilamu unakutegemea sana lkn hii njia unayofuata sasa huku ni kupotea yaan umekua boga

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 4 หลายเดือนก่อน

      hahahaha ndo ukweli huo Anafichua

    • @deathrow8004
      @deathrow8004 4 หลายเดือนก่อน

      Hatuwezi kumtegema huyu jamaa kashakufuru

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@deathrow8004amekufuru kweli kweli live kabisaaa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@deathrow8004Ameongea usichokipenda

  • @SaddamAbdallah-f9p
    @SaddamAbdallah-f9p หลายเดือนก่อน

    Lakn mashaallah wadicrebe kwa uzur

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 kaka umenichekesha sana ( tengeneza sanamu lako la udongo halafu tuone !!! ) swali lilikuwa gumu sana kwa mtangazaji wako

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 หลายเดือนก่อน +3

    AKUNA JINI MZURI SHEIKH JINI KAMA NYOKA WOTE NYOKA WABAYA KWASABABU UNAWATUMA KULETA CHUMA ULETE NDIO WAZURI KWAKO

  • @abuumaryam1922
    @abuumaryam1922 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dr Sule Ufahamu wako upo chin sanaaa

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 4 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio uwelewa wako mdog niambie tunaipataje sindano kwenye vitabu.

    • @hassanjuma3703
      @hassanjuma3703 3 หลายเดือนก่อน

      Abu tueleze ufahamu wako tujue ukweli

  • @عليعلي-خ2م9د
    @عليعلي-خ2م9د 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wee shekhe waamini majini kuliko mungu

  • @YassinYassinkassim
    @YassinYassinkassim 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa allah kwa menye akili ame kuelewa ila kwa asie kua na akili hata uzungunze mpka mwaka ujao hato kuelewa hiyo ni elim ya ndani sana allah akuzidishie kututoa taka ama kweli wewe n suleimani

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 วันที่ผ่านมา

    Wanaopotea ni wengi sana m

  • @ZainabSalum-sf6di
    @ZainabSalum-sf6di 3 หลายเดือนก่อน

    Shekhe ALLAH akupe umri mrefu

  • @PiliSobo
    @PiliSobo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ni ushirikina wa wazi, Mungu anapokataza ushirikina anajua kuwa jini kampa uwezo tofauti na mwanadam, hivyo unachopaswa ni kumuabudu Mungu ILI tuupinge uwezo wa majini ILI ujue HUYU jini na huyu Mungu

  • @AlbertNiyonkuru-l1t
    @AlbertNiyonkuru-l1t 3 หลายเดือนก่อน

    Allaah kasema anawataqabaliya wachamungu..hayo yko yapetehayamnufayishi mtu ..isipokuwa kwa mazingaombo..kutoka kwama jini

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sule lenye najua mungu ndio upanga maisha ya mtu ,tuweke Imani yetu Kwa mungu ,ndio mwenye kupeana riziki,sio majini na Pete,

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwahakika ameathirika na dunia na ladha ya maishayake yenyekumalizika kuliko pepo na ridhwaan (ilmulkalam imewapoteza wengi kablayako mche alwah )wacha hawaa

    • @AllyAlly99-o5d
      @AllyAlly99-o5d 3 หลายเดือนก่อน

      mungu ndo mjuzi wa yote ndugu zangu hapo mkija na hoja za DR. anafanya kufuruuu sasa hapo mtakuwa na maneno yenuu tuu kikubwa kama kweli sio au ndio itajulikana huko huko mbele ya hakii na maamuzi ya Allah (S.W)

  • @AbdulkarimNissa
    @AbdulkarimNissa 4 หลายเดือนก่อน

    Muogope Allah ndug yangu utaja juta katka haya na andaa majibu kwa Allah

  • @lizmwangi6583
    @lizmwangi6583 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna jini mzuri na jini mbaya....wote ni majini...kujeni kwa Yesu muokolewe.

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 4 หลายเดือนก่อน

      Sisi Waislamu tunaokolewa na Mungu sio Yesu

    • @selemanitunda1821
      @selemanitunda1821 2 หลายเดือนก่อน

      Ujui kitu tulia

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 2 หลายเดือนก่อน

      @@lizmwangi6583
      Yesu yeye mwenyewe hajawahi kujiita Mungu na wala hajawahi kuwaambia watu wamuabudu, bali yeye mwenyewe alikuwa akimuabudu Mwenyezi Mungu na akiwafundisha watu kumuabudu Mwenyezi Mungu.

    • @KhamisAli-r1w
      @KhamisAli-r1w หลายเดือนก่อน

      Yesu ni banadm kama wewe tu.

  • @rehemaomar4924
    @rehemaomar4924 4 หลายเดือนก่อน +6

    Uko sawa Shekh umenifungua masikio .Acha wabishi wabishe 😂😂😂

  • @isackeliya-hi9td
    @isackeliya-hi9td หลายเดือนก่อน +1

    Hapa ni kumpokea yesu tuu hakuna jini mzuri hataa kidgo ni wauaji tuu , mungu malaika wake ndio wazuri tuu mpokeeni yesu awe bwana na mwokozi wa kila mmoja

    • @omarahmad2672
      @omarahmad2672 หลายเดือนก่อน

      Ona huyo umeingiaaje hapo. Kwenyee maongez y waislam. Nenda kanisan wey

    • @omarahmad2672
      @omarahmad2672 หลายเดือนก่อน

      Majin. Wazuri na wabaya wapooo
      Kam vilekuna. Binaadamu. , wazuri. Na wabay. Vile. Vilee

    • @omarahmad2672
      @omarahmad2672 หลายเดือนก่อน

      Majin. Wazuri na wabaya wapooo
      Kam vilekuna. Binaadamu. , wazuri. Na wabay. Vile. Vilee

    • @isackeliya-hi9td
      @isackeliya-hi9td หลายเดือนก่อน

      @@omarahmad2672Jini ni nanii ?

  • @KhamisRajab-kf5ve
    @KhamisRajab-kf5ve 4 หลายเดือนก่อน +2

    Khamis Rajab: Hata hivyo Allah swt amesema: Laa taabudu Sheitwan, Usimuabudu Sheitwan,, wala kumfanya Rafiki..
    kwanza hana wema hata umfanyie wema ipo siku atakuuwa tu ! Sheikh enedelea kufahamisha watu! lakini msifuge majini mfugaji akija kufa mnawapa taabu watoto wenu.,..

  • @Zaituni-us8ke
    @Zaituni-us8ke 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaani tumutegemee muumba wetu umodjatu
    Tuachane nakutegemea viumbe vyake😢

  • @다미김-u8g
    @다미김-u8g 4 หลายเดือนก่อน +8

    Aya ipi inasema kwa uwazi inasema ambayo Allaah amehalalisha tutumie majin. Wakati Allah anasema kwa waja wake tukimwomba chochote anatujibu kwa mujibu wa qurani

    • @kassamalishabani
      @kassamalishabani 4 หลายเดือนก่อน

      Ww kwakutaka aya ndio mnyewe

    • @kassamalishabani
      @kassamalishabani 4 หลายเดือนก่อน

      Soma suratul jini paka mwisho utajua aya ipi unataka aya tu usomi Quran

    • @AsiaCharle-e9i
      @AsiaCharle-e9i หลายเดือนก่อน

      Kunaukweli mkubwa sana

  • @HassanSeif-k6p
    @HassanSeif-k6p 4 หลายเดือนก่อน

    Unapotosha umma. Tumeagizwa Kumtaka Mungu msaada na si kiumbe awaye yeyote yule. Wewe unapotosha watu kwa manufaa yako

  • @inspirationquote005
    @inspirationquote005 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh,,🦾ur on point!! Not technology is not using majini.

  • @fatmaabdallah-sg1rk
    @fatmaabdallah-sg1rk 4 หลายเดือนก่อน

    Yes sio mungu siku moja mtakuja fahamu ilo

    • @qerysir4410
      @qerysir4410 4 หลายเดือนก่อน

      Ni means wa Mungu!
      Mwana wa Mungu ni Mungu!

  • @allykiba3626
    @allykiba3626 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mpeyane sapoti ila siku ya maesabu ndo mujuwe kujiteteya vizuri kuusu ayo munayo pongeza na hamjuwi munalo lipongeza

    • @aminakweji5469
      @aminakweji5469 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe usiye elewa usichangie mada mungu aliumba binadamu namajini isipokuwa wamuabudu allah kwahiyo jini nikiumbe kama wewe

    • @aminakweji5469
      @aminakweji5469 3 หลายเดือนก่อน

      Yesu unayemsema wewe nimwanadamu kama wewe muabudu mungu

  • @karimmveyange2558
    @karimmveyange2558 4 หลายเดือนก่อน

    KAZA UZI DR.USITISHIKE. HAO WAPO NA WATAENDELEA KUWEPO HADI KIAMA

  • @FatnaStanley-jv3ut
    @FatnaStanley-jv3ut หลายเดือนก่อน

    Njia pekee ya kumudu majini ni kupitia Yesu Kristo pekee Kwa Maana kwa Mungu ndio Kuna Malaika wengi wa kutulinda. Shetani anawapotosha siku zote ili muone kuwa majini ni mazuri,,,, ni shetani tu hamna lolote.

  • @AlbertNiyonkuru-l1t
    @AlbertNiyonkuru-l1t 3 หลายเดือนก่อน

    Siyo beyi yoyote..subhaana llaah..

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nyiee mnaoo kataaaa kataenii tuuuu ila huwooo ndiooo ukweliii tuulizenii sisiiii Dr sulee yukoo sahihiii

  • @Solohseleh
    @Solohseleh 24 วันที่ผ่านมา

    tatizo watu wakisikia majini basi wanajua wooooootee majin ni mashetani ndio maana watu wakiona mtu anatibu kwa kusaidiana na majini wanajua ni ushetani lkn hawajui majini binadam wanyama wapo wazuri na wa wabaya na anae tibu ni Mwenyezi MUNGU.

  • @LukmanMohd-kn3iq
    @LukmanMohd-kn3iq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kitambo nikimsikiza da'awa zake. Lakini kumbe ni mshirikina. Wallahi hata simsikizi tena jishirkina hili

  • @AbuuOmary-b1t
    @AbuuOmary-b1t 3 หลายเดือนก่อน

    Dr sule mche Allah jambo hilo halipo kutumikisha majini ktk uisilam

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 4 หลายเดือนก่อน

    Majini Wana makabila wapo wema wapo waovu na inafikia steji muovu pia usilimi ilmu ya majini kikweli ni elimu kubwa sana

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni shirki, na wakuombwa msaada ni mungu pekee nasio majini ama pete, IYAAKA NABUDU WAIYAKA NASTAIN

  • @IsaKinyonga
    @IsaKinyonga 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa anapenda dunia si mtu wa dini

  • @EmmasBwe
    @EmmasBwe 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa nime juwa sababu unakosa uherewa na kuhusu juu ya mambo ya Mungu

    • @EmmasBwe
      @EmmasBwe 4 หลายเดือนก่อน

      I don't know if your doing because you wana draw people's attention? Kama Mungu mwenyewe kajiweka wazi kuwa yeye nimsada wetu kwenye mda wama tatitizo yetu,sasa wewe, sasa kama unamiya viumbe vilivyo fungiwa na Mungu, uwo siyo ukosefu? Maneno matakatifu yanasema kuwa Tuwombe kwa Mungu kupitia Jina la Yesu kwa wa khristu alafu tutajibiwa, sasa kama unatumikisha viwumbe vingine apo apatakiwi Mungu na wala mnamuamini yeye,
      Ulisema kwamba kila mtu anajitakia story ili aweze kupokewa na watu ukasema Paul akaona atunge story, nduguyangu hapo ndo umefeli kabisa, kwasababu Imani nikitu ambacho au amini kwasababu umekiwona, lakini unatanguliza imani baadae matokeyo yanafwata, akuna mtu aliyo Mungu navilevile maneno matakatifu yanasema akuna ambae atamuona Mungu na akawa, kwahio Musa alipata nehema mbere za bwana akaona utukufu, nahamini kwenyu kuruan maneno hayo yapo, sasa Paul alisema Yesu ndo alimtokea siyo Mungu, sasa ukiwa unahanza hoja ka na lengo laku ponya watu siyo kukosowa bibila au ukhristu ata wa khristu nawo wasikosowe dini kwasababu Mungu ndo anamufahamisha mtu njia, binadamu ana nguvu hio, yeye kwake niku hubili vingine niva mwenyezi Mungu mwenyewe kutenda

  • @nduwimananadjibu2131
    @nduwimananadjibu2131 2 หลายเดือนก่อน

    Majini wa Africa niweusi!!! Mbona hawana maajabu kamana kuunda airplane,magari,nakadharika..tutakua na blac magic only

  • @asaphmwinukaministry33
    @asaphmwinukaministry33 4 หลายเดือนก่อน

    IPO siku mtamuelewa Huyu mtu,,,Mark my word's

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sule,kwa fani ya majini akuna kitu.nalikua najuliza uyu shekhe mbona ana nuru.

  • @amneally4135
    @amneally4135 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Haydar tuseme hyu ni babu yetu alikua c mshirikina anapenda kusoma Quran siku hio ya alhamis na ndani ya mskit hua pekee yakd na baada ya magharib kuna kisomo mskt

  • @BakariBundala
    @BakariBundala 18 วันที่ผ่านมา

    Dah,mbingu iko mbali sana kwa waislam...hebu mtafuteni MUNGU jamani..ibilisi alitupwa na malaika zake duniani kusubiria moto wa jehanam.msidanganyike ndugu zangu YESU KRISTO anatosha

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa ndiyo umeweka wazi safi

  • @SaddamAbdallah-f9p
    @SaddamAbdallah-f9p หลายเดือนก่อน

    Yaan me nkafikir unaonyesha live sheikh duh,😮😮😮

  • @abasingaruka1872
    @abasingaruka1872 4 หลายเดือนก่อน

    Dr Sule wewe mwenyewe ndio unajieleza uthamani wà mjini, na kuisaliti dini ya kuiislamu Kama wanashirikiana na majini,

  • @NaomiMakori
    @NaomiMakori 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mwenyezi mungu kaumba vitu viote vimtumikie mwamadamu ss leo majini kuututumikia Kuna ubaya sulle huko sawa

  • @AlbertNiyonkuru-l1t
    @AlbertNiyonkuru-l1t 3 หลายเดือนก่อน

    Allaah akuongoze..

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nikweli majini wema wapo ,km vile binaadam ,kunawema nawabaya ,tulisha ona majini wanaenda kw biaadam kuwaambia mambo mazuri nakuwapa hadhari ,pale walipowafanyia maudhi ,nitafute nikupe khadith hai ,ila hawapendi kuudhiwa wakikupa onyo ,manawazuri niwazuri kweli ,nakunawatu wanawalazimisha kufanya ubaya nakuwaahid malipo

    • @SalmaMakame-s8u
      @SalmaMakame-s8u 3 หลายเดือนก่อน

      Jini akimuingia binaadamu sijini mzur kabisa jini mzuli jini mzuli hamuingii mtu

    • @jumamohammed1917
      @jumamohammed1917 2 หลายเดือนก่อน

      Naitaka hiyo hadithi ndugu nipate faida

  • @jumannemtawa4535
    @jumannemtawa4535 หลายเดือนก่อน

    Surat Anaam aya ya 112 na hivyo hivyo tulifanya kwa kila nabii kuwa maadui mashetani wa kibinadamu na kijini.
    Kwa hiyo shetani anaweza kuwa jini au mwanadamu kwa hiyo binadamu anaweza kuwa shetani.Na binadamu pia anaweza kuwa shetani na jini pia anaweza kuwa shetani

  • @EmmasBwe
    @EmmasBwe 4 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana technology aija tokea kwajiri ya majini, uwo niuwonga mtupu, kitu chochote ambacho mtu unatengeneza kinatakiwa program, sematu uyo anaye kuhoja ana uherevu, sim siyo nguvu ya majini, mimi ninacho herewa nikwamba kila kitu ukikifanya kwa utafiki haswa, elewa ata binadam amefanyiwa program na mungu kuhanzia utotoni na mpaka anapokuwa

  • @AlbertNiyonkuru-l1t
    @AlbertNiyonkuru-l1t 3 หลายเดือนก่อน

    Mtume na qur'an tayari wamesha eleza kuhusu ilimu hiyo ya majini. Ukenda nahuyo musmamo utajikuta tayari uksha kuwa mushrik..😊

  • @AbduRichardfikiri
    @AbduRichardfikiri หลายเดือนก่อน

    Wanaoshiriki jini Pia yeye ni jini, Musipo mfata Yes Christon Mutaunguwa Motoni siki Zina kuja

  • @theogeorge3773
    @theogeorge3773 4 หลายเดือนก่อน +1

    kazi kweli msafi hafu anaenda kudhuru

  • @RehemaSelemani-t1v
    @RehemaSelemani-t1v หลายเดือนก่อน

    Dr sulle mashallah endelea kutupa madini

    • @NaimaMasoud-ny6zs
      @NaimaMasoud-ny6zs หลายเดือนก่อน

      Majini yapo na NDIO MAANA kuna Aya M/Ungu anasema nimwaumbeni binadamu na. majini ILI mniabidu. Halafu wengine wanalinda MTU mbaya akikujia usingizini unashtuka na kumuona. Naamini yapo.

  • @jumaramadhan1013
    @jumaramadhan1013 หลายเดือนก่อน

    Asalaam a ww, tusitumiye matusi na kejeli bila ilmu coz majini ni niviumbe vya Mungu kama viumbe vingine coz hata mtume suleimani alitumiya majini kwa kazi ,na kuna majini yenye dini na mengine ya measi,kwa hiyo tusome saaana

  • @selemanimngoya1970
    @selemanimngoya1970 3 หลายเดือนก่อน +1

    Majina ni kama binadamu, kuna wabaya na wema. Ila miongoni mwao kuna MASHETANI ambao ndiyo majini wabaya.

  • @muhsinkimaro4283
    @muhsinkimaro4283 4 หลายเดือนก่อน +3

    Muogope Allah shekh, hata gar utasema lina majin ndo maana linatembea

    • @savesadgeneration
      @savesadgeneration 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe hvi saudia wanataka kuunda neom city....whose plan,? knowledge is power... listen

    • @RamadhaniMohamedi-de2vc
      @RamadhaniMohamedi-de2vc 4 หลายเดือนก่อน

      Nikulize swali kwanini ww autaki kutengeneza ndege au gali mm namini majini wamepewa uwezo mukubwa na mungu

  • @experiusmrefu1003
    @experiusmrefu1003 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa....sio Dr...labda ni Daktar

  • @MohammedDereva
    @MohammedDereva 2 หลายเดือนก่อน

    He jamani mumueleewe vizuri sheikh

  • @HassanMuhammed-z1f
    @HassanMuhammed-z1f หลายเดือนก่อน

    Asalam aleikum ustadh achana nao wao wanao pinga ni wapotofu wa elimu mm nkuunga mkono mana hayo ni nayo pia

  • @AladinMsix
    @AladinMsix 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliana na wewe dr sule