KWA HUZUNI: RAIS SAMIA ALIHUTUBIA TAIFA 'TUMEWAPOTEZA NDUGU ZETU 13, HADI SASA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @CharlesMasese-r9l
    @CharlesMasese-r9l 16 วันที่ผ่านมา

    Asante mama(mh.Rais) nimefarijika sana kusikia kutoka kwako.

  • @hasnashaibu3009
    @hasnashaibu3009 16 วันที่ผ่านมา +2

    Inalillaah waina illah rajiun. 😭Mwenyezi Mungu awapunzishe mahala pema

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 16 วันที่ผ่านมา +3

    Pole sana mama.angu mungu Akupe.subra kwa kipindi hiki kigumu najuwa wajq tutasema mengi juu ya serikali yako.lakini naomba uwe na Subra utusamehe kwa yote tutakayoyaongea kuhusu serikali tusqmehe mama angu utuvumilie tu mama angu kwani mtoto Akikichafuwa kiganja huwezi ukakikata unakiosha na kazi iendelee pole sana mama angu na mungu awaweke pahala pema waliokwenda mbele ya haki na Awape Afuwan waliopata majeruhi wapone na waendelee na shughli zao Amiin.

  • @BarakaMakuza-q7z
    @BarakaMakuza-q7z 16 วันที่ผ่านมา +4

    Mama i love you❤❤❤❤

  • @mwandishisaidkaita7.
    @mwandishisaidkaita7. 16 วันที่ผ่านมา +1

    Inalilalah wainaillah rajighun...
    Mungu Ibariki Tanzania,
    Mungu Ibariki Afrika

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 16 วันที่ผ่านมา

    Pole Mama yetu Mpendwa

  • @Gersah
    @Gersah 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi ndugu zetu mlio tangulia sote njia yetu ni moja,

  • @Sharifa-e7y
    @Sharifa-e7y 16 วันที่ผ่านมา

    Bora Mama umetoa taarifa yaukwel, Kweli kipaumbele nimaisha yawatu kwanza Thanks Mom❤

  • @MakemeKhalid
    @MakemeKhalid 16 วันที่ผ่านมา

    Pole sana dkt samia kwa kipindi hichi kigumu

  • @RabekaMwanja
    @RabekaMwanja 16 วันที่ผ่านมา +2

    Moyo unavuja damu ,,ila tushukuru kwa yote 🙏

  • @somaquran3900
    @somaquran3900 16 วันที่ผ่านมา +2

    إنا لله و انا اليه راجعون اللهم اغفر موتانا و موت الناس

  • @carolinetanui2382
    @carolinetanui2382 16 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana majirani zetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 16 วันที่ผ่านมา

    IRON LADY ❤

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 16 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭

  • @AlexnderAnzigat
    @AlexnderAnzigat 16 วันที่ผ่านมา

    Samia jamani we mama UNAJALI WATU MAMAANGU BAS TU KWELI WE NI MZAZI MAMAANGU MUNGU AKULINDE📖📖📖

  • @GOODLUCKINNOCENT-ch3rh
    @GOODLUCKINNOCENT-ch3rh 16 วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 16 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @joycejoel513
    @joycejoel513 15 วันที่ผ่านมา

    Mitano tena mama, tunatambua uwepo wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha mapinduzi

  • @AdamOman-n2s
    @AdamOman-n2s 16 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏😭

  • @fatmamasoud1398
    @fatmamasoud1398 16 วันที่ผ่านมา

    Mama Samia Allah awatue nguvu Amin

  • @qaboosabdulrrahmaan1314
    @qaboosabdulrrahmaan1314 16 วันที่ผ่านมา +1

    نسأل المولی العلي ألکبير أن يتغمد المفقودين بواسع رحمته و يدخلهم فسيح جناته

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 16 วันที่ผ่านมา

    Jamani mkandalasi aliyejenga gholofa ndiye anayejejua nguzo zote alipaswa awepo

  • @LaizerBoy-n5t
    @LaizerBoy-n5t 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo tumekuelewa mama

  • @yonawilliam9419
    @yonawilliam9419 16 วันที่ผ่านมา

    Mmiliki yeye si mtaalamu hivyo, injinia aliyejenga na watoq vibali vya ujenzi na waandisi wa mkoa na wilaya wahusije katika hili

  • @SharifaMohamad
    @SharifaMohamad 16 วันที่ผ่านมา

    Pole

  • @HabibuMuhunzi
    @HabibuMuhunzi 16 วันที่ผ่านมา

    Yaan uyu anasema 2 uyu mmoja uyu 13 bx kesho mkuu wa mkoa atasema 6

    • @mkondyaesther5074
      @mkondyaesther5074 16 วันที่ผ่านมา

      We fuatilia vizuri update za vifo zinabadika kadri muda unavyoenda na zilitolewa bado zoezi la uokoaji na matibabu unaendelea huyu ndio msemaji mkuu wa nchi

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 16 วันที่ผ่านมา

    💔🪽💔💔🪽🪽

  • @Maryammadafa
    @Maryammadafa 16 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wamkoa anasema wamekufa 4 rais anasema 13 duh

    • @ShaibuMkullu-ck6sl
      @ShaibuMkullu-ck6sl 16 วันที่ผ่านมา +2

      Huyo ndo anapewa taarifa zote.

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 16 วันที่ผ่านมา

      Fuatilia Kwa makini kabla hujahukumu